Nguvu ya kuchagua sehemu ya pili.
Nguvu ya kuchagua ndiyo nguvu inayo sitawisha mtu .
Isacka alibarikiwa sana baada ya kuchagua kutii maagizo aliyo ambiwa na Mungu .
Wakati njaa inatokea wengine wote walichagua kwenda misri yeye akapewa jumbe tofauti na alipo sikia akachukua nguvu ya kuanza na akasitawishwa sana.
Mwanzo 26:1-2
Nguvu ya kuchagua lazima iambatane na Nguvu ya kuanza baada ya kuchagua.
Mwanzo 6:12
Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki.
Watu wengi tunamsoma Yusuph kama mtu aliye ishinda zinaa na kufanyika kutengeneza taifa la wenzake tunasahau kitu kimoja tu Nguvu ya kuchagua ndiyo kitu kilicho mfanya aishinde zambi ya zinaa na kuwa mkubwa alipo chagua kutafsiri ndoto ndipo alipo chagua kuonekana na kukumbukwa .
Lugha nyepesi kama angekataa kuchagua vyema angezini na potifa basi ukubwa wake ungeshindwa kutimia .
Nje ya ndoto alizoota akiwakwao lakini nguvu ya kuchagua ndiyo ilimpa baraka za kifalme.
Danieli aliitwa apendwaye sana tu sababu ya kutokuwa tayari kuchagua kula vyakula vya kifalme na kuabudu sanamu .
Na hiyo kutokuwa tayari ni nguvu ya uchaguzi wakati wengine wanachagua kufuata miungu ya mfalme yeye alichagua kufuata vyema.
Ruthu sababu ya kuchagua kumfuata naomi na Mungu wake alijikuta amebarikiwa na kupitia yeye baraka za Yudah zikatimia kupitia yeye daudi anazaliwa na masihi anazaliwa na hii ndiyo inaitwa nguvu ya kuchagua.
Loti alitazama macho ya mwili alichagua kwenda sehemu nzuri kumbe ni sodoma na Gomora baadaye .
Katika kila kuchagua kuna nguvu ya kufanikiwa ndiyo maana msingi wetu unaitwa baraka na laana umepewa mkononi mwako jinsi unavyo chagua ndivyo unavyo elekea mafanikio .
Maisha ni machaguo kichagua vibaya ni kuamua kutoishi .
Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)
#build new eden
##restore men position.

0 التعليقات
·0 المشاركات
·89 مشاهدة