Mise à niveau vers Pro

  • .WEWE UNAYEJISAHAU!
    Naomba Nikukumbushe!

    Umepata Maisha !
    Umejipata Sio!
    Unajiweza sana Ndugu!

    Acha Madharau Kwa Wengine!
    Acha kuwapuuza Watu Acha kufunga tinted kwa watu Mliofahamiana nao Kabla ya Hali yako ya Sasa!
    Unapigiwa Simu Hupokei!
    Unawapita Watu bila Salamu!
    Uko bize!
    Kila atakaye kusalimu unahisi anataka kukuomba! Au ana shida !
    Unaanza kukunja uso na kuweka Userious ili kujenga Mazingira ya kutokaribiwa!
    Unachagua Kushiriki Matukio ya Watu kwa Kuangalia Hali zao!

    Wewe ni Tajiri sio!
    Wewe una Mamlaka Sio!
    Wewe ni Maarufu sio!

    Nisikilize Ndugu yangu huenda Ukabadilika!

    Kwenye Maisha hakuna aliyefanikiwa bila ya Mkono wa Mtu( Ukiachana na Kudra za Mwenyezi Mungu).

    Sote tuna historia huko nyuma juu fulani na namna alivyotenda wema kwako na huwa unaukumbuka msaada wake!
    Ingawa wako pia wasiokumbuka mema ya waliowasaidia!
    Lakini kama Ulisaidika kwanini unafunga Milango kwa wengine?

    Sasa hawa unaowadharau na kuwaona sio katika hadhi yako huenda pia wengine dua zao huko nyuma zilikuwa msaada kwako!
    Hakuna mwanadamu asiye na maana, kila mwanadamu ana nafasi yake katika dunia hii ! Hivyo kumdharau mtu bila kosa yoyote kisa tu ana hali duni ! Kisa hana uwezo ulio nao wewe! Hilo ni kosa kubwa!
    Wako Watu wanaoharibikiwa kisa ni Kiburi cha Kuona wana mafanikio!
    Wako watu Walionguka na kuwa madhalili sababu ya kuwadharau viumbe wa mungu!

    Unaweza Ukawa na Kila Kitu Cheo , Mali, Umaaarufu , Afya Njema n.k, lakini ukakosa furaha kabisa, kila mara unajiona huna amani, unaishi kwa hofu , unaogopa kukutana na watu!

    Fahamu ya kuwa wewe unapitia magumu hayo sababu una Kiburi cha Mafanikio na Mungu akaamua akunyang’anye amani ya nafsi! Akaamua akupe Mali akupe vyote lakini ukose kufaidi kwa raha!
    Tabia na Matendo mabaya ya Mtu humfanya mungu abadilishe ile neema aliyokupa kuwa adhabu!

    Kwanini hupokei simu ya wenzako ! Unaogopa kuombwa! Unaogopa wanaokuzunguka watakuona mshamba ? Hao unaowaona ni level yako umewahi kujiuliza wanakuthamini kwa lipi? Je? Wanakuthamini sababu ni binadamu kama wao au kwasababu ya kile unachomiliki!
    Ukigundua sasa weka fikra zako je kitu hicho kikiondoka utakuwa mgeni wa nani?

    Acha Kuiigiza maisha baki katika Uhalisia wako, Usikubali Mazingira Yakubadilishe bali wewe yabadilishe mazingira!

    Salimia watu ! Pokea Simu zao, kumbuka ulipotoka fahamu ya kuwa unaweza kurudi kama zamani ! Wewe sio kwanza kuwa hivyo! Ongea na watu Lugha nzuri hata iwe kweli kuwa anataka kukuomba na hutaki kutoa tafuta njia ya kiistarabu kumkwepa ili hata kama amekosa alichojia basi abaki na tabasamu!

    Watu wengi wanapenda kuheshimika bila kujali hali zao! Heshima ya Mtu ni kitu kikubwa sana! Na haipaswi kuvunjwa kwa namna yoyote ile!

    Ofisi ya Uma ! Nafasi za kuchaguliwa zina mwisho! Watu wengi hustaafu kisha hushindwa kurudi walikotoka, hujikuta wanaishia kuishi ugenini! Ukichunguza utakuta wengi wao sababu kuu ni kwamba hawakuwapa heshima iliyostahili wale waliowaacha huko makwao!hawakuwathamini, waliwadharau!

    Nakukumbusha Acha Kiburi, Acha Madharau! Acha Kujiona Umefika! Acha kuhisi kuwa hakuna wa kukueleza kitu!

    Hii Dunia iliumbwa ili sote tufurahie Maisha! Hao unaowakimbia kwa hofu ya kuwa watataka kitu kwako ! Kumbe na wao wala hata hawana habari na hicho unachodhani wanatufa tu furaha ya dunia! Na wengine Wanaangalia tu Sarakasi na Maigizo yako!

    Watu wengi wenye tabia ya aina hiii ni washamba wa maisha! Wengi Wamekutana Fedha za ghafla Ukubwani! Hivyo kinachowasumbua ni Ushamba wa Maisha!
    Kama gari uliizizoea kuziona toka zamani sidhani kama zitakupa kiherehere sasa ,eti mpaka Uwapite Watu bila ya Salamu!

    Juzi ulikuwa unasota na wenzako Kwenye Magheto au kwenye Nyumba za Kupanga! Eti Leo Umejenga yako basi unawaona wote wasio na nyumba wajinga wala hawana cha kukushauri katika Maisha!

    Eti Umepenya umekuwa Mbunge , Diwani , RC, DC , Waziri basi wengine wote hawawezi kukuambia kitu ! Wewe ndiye Mwenye kauli ya mwisho mjini hamna wa kukushauri iwe ni kwenye Familia au Mitaani! Wewe ndiye alfa na Omega!
    Huo ni Ushamba wa Madaraka Ndugu! Vyeo hivi huja na kuondoka! Na wewe sio wa kwanza kupata na kuikosa ! Kwanini Uvimbe Kichwa! Kwanini Uwadharau watu!

    Ishi Ukifahamu Ya Kuwa Cheo Chako , Mali yako ni Kwa Manufaa yako!
    Hakuna Mtu mwenye akili timamu atayejisifu au kuishi kwa kutegemea vitu vya mtu mwingine!

    Wanachohitaji watu kutoka kwako ni Heshima tu!

    Acha hizo Ndugu yangu ! !!
    .WEWE UNAYEJISAHAU! Naomba Nikukumbushe! Umepata Maisha ! Umejipata Sio! Unajiweza sana Ndugu! Acha Madharau Kwa Wengine! Acha kuwapuuza Watu Acha kufunga tinted kwa watu Mliofahamiana nao Kabla ya Hali yako ya Sasa! Unapigiwa Simu Hupokei! Unawapita Watu bila Salamu! Uko bize! Kila atakaye kusalimu unahisi anataka kukuomba! Au ana shida ! Unaanza kukunja uso na kuweka Userious ili kujenga Mazingira ya kutokaribiwa! Unachagua Kushiriki Matukio ya Watu kwa Kuangalia Hali zao! Wewe ni Tajiri sio! Wewe una Mamlaka Sio! Wewe ni Maarufu sio! Nisikilize Ndugu yangu huenda Ukabadilika! Kwenye Maisha hakuna aliyefanikiwa bila ya Mkono wa Mtu( Ukiachana na Kudra za Mwenyezi Mungu). Sote tuna historia huko nyuma juu fulani na namna alivyotenda wema kwako na huwa unaukumbuka msaada wake! Ingawa wako pia wasiokumbuka mema ya waliowasaidia! Lakini kama Ulisaidika kwanini unafunga Milango kwa wengine? Sasa hawa unaowadharau na kuwaona sio katika hadhi yako huenda pia wengine dua zao huko nyuma zilikuwa msaada kwako! Hakuna mwanadamu asiye na maana, kila mwanadamu ana nafasi yake katika dunia hii ! Hivyo kumdharau mtu bila kosa yoyote kisa tu ana hali duni ! Kisa hana uwezo ulio nao wewe! Hilo ni kosa kubwa! Wako Watu wanaoharibikiwa kisa ni Kiburi cha Kuona wana mafanikio! Wako watu Walionguka na kuwa madhalili sababu ya kuwadharau viumbe wa mungu! Unaweza Ukawa na Kila Kitu Cheo , Mali, Umaaarufu , Afya Njema n.k, lakini ukakosa furaha kabisa, kila mara unajiona huna amani, unaishi kwa hofu , unaogopa kukutana na watu! Fahamu ya kuwa wewe unapitia magumu hayo sababu una Kiburi cha Mafanikio na Mungu akaamua akunyang’anye amani ya nafsi! Akaamua akupe Mali akupe vyote lakini ukose kufaidi kwa raha! Tabia na Matendo mabaya ya Mtu humfanya mungu abadilishe ile neema aliyokupa kuwa adhabu! Kwanini hupokei simu ya wenzako ! Unaogopa kuombwa! Unaogopa wanaokuzunguka watakuona mshamba ? Hao unaowaona ni level yako umewahi kujiuliza wanakuthamini kwa lipi? Je? Wanakuthamini sababu ni binadamu kama wao au kwasababu ya kile unachomiliki! Ukigundua sasa weka fikra zako je kitu hicho kikiondoka utakuwa mgeni wa nani? Acha Kuiigiza maisha baki katika Uhalisia wako, Usikubali Mazingira Yakubadilishe bali wewe yabadilishe mazingira! Salimia watu ! Pokea Simu zao, kumbuka ulipotoka fahamu ya kuwa unaweza kurudi kama zamani ! Wewe sio kwanza kuwa hivyo! Ongea na watu Lugha nzuri hata iwe kweli kuwa anataka kukuomba na hutaki kutoa tafuta njia ya kiistarabu kumkwepa ili hata kama amekosa alichojia basi abaki na tabasamu! Watu wengi wanapenda kuheshimika bila kujali hali zao! Heshima ya Mtu ni kitu kikubwa sana! Na haipaswi kuvunjwa kwa namna yoyote ile! Ofisi ya Uma ! Nafasi za kuchaguliwa zina mwisho! Watu wengi hustaafu kisha hushindwa kurudi walikotoka, hujikuta wanaishia kuishi ugenini! Ukichunguza utakuta wengi wao sababu kuu ni kwamba hawakuwapa heshima iliyostahili wale waliowaacha huko makwao!hawakuwathamini, waliwadharau! Nakukumbusha Acha Kiburi, Acha Madharau! Acha Kujiona Umefika! Acha kuhisi kuwa hakuna wa kukueleza kitu! Hii Dunia iliumbwa ili sote tufurahie Maisha! Hao unaowakimbia kwa hofu ya kuwa watataka kitu kwako ! Kumbe na wao wala hata hawana habari na hicho unachodhani wanatufa tu furaha ya dunia! Na wengine Wanaangalia tu Sarakasi na Maigizo yako! Watu wengi wenye tabia ya aina hiii ni washamba wa maisha! Wengi Wamekutana Fedha za ghafla Ukubwani! Hivyo kinachowasumbua ni Ushamba wa Maisha! Kama gari uliizizoea kuziona toka zamani sidhani kama zitakupa kiherehere sasa ,eti mpaka Uwapite Watu bila ya Salamu! Juzi ulikuwa unasota na wenzako Kwenye Magheto au kwenye Nyumba za Kupanga! Eti Leo Umejenga yako basi unawaona wote wasio na nyumba wajinga wala hawana cha kukushauri katika Maisha! Eti Umepenya umekuwa Mbunge , Diwani , RC, DC , Waziri basi wengine wote hawawezi kukuambia kitu ! Wewe ndiye Mwenye kauli ya mwisho mjini hamna wa kukushauri iwe ni kwenye Familia au Mitaani! Wewe ndiye alfa na Omega! Huo ni Ushamba wa Madaraka Ndugu! Vyeo hivi huja na kuondoka! Na wewe sio wa kwanza kupata na kuikosa ! Kwanini Uvimbe Kichwa! Kwanini Uwadharau watu! Ishi Ukifahamu Ya Kuwa Cheo Chako , Mali yako ni Kwa Manufaa yako! Hakuna Mtu mwenye akili timamu atayejisifu au kuishi kwa kutegemea vitu vya mtu mwingine! Wanachohitaji watu kutoka kwako ni Heshima tu! Acha hizo Ndugu yangu ! !!
    Like
    Love
    2
    ·556 Vue
  • Teknolojia Mpya:
    Spacetop G1 na Uhalisia wa Ongezeko

    Kompyuta ya Spacetop G1 inabadilisha jinsi tunavyoona teknolojia ya uhalisia. Ikiwa na miwani ya AR, unaweza kujionea skrini kubwa ya inchi 100 ikionekana hewani, ingawa kompyuta yenyewe haina skrini ya kawaida. Teknolojia hii inaleta uzoefu mpya wa matumizi ya kompyuta kwa njia ya kipekee na ya kisasa.

    #Hora_Tech
    #Spacetop #Computer #AR #Uhalisia
    🌐 Teknolojia Mpya: Spacetop G1 na Uhalisia wa Ongezeko 💻 Kompyuta ya Spacetop G1 inabadilisha jinsi tunavyoona teknolojia ya uhalisia. Ikiwa na miwani ya AR, unaweza kujionea skrini kubwa ya inchi 100 ikionekana hewani, ingawa kompyuta yenyewe haina skrini ya kawaida. Teknolojia hii inaleta uzoefu mpya wa matumizi ya kompyuta kwa njia ya kipekee na ya kisasa. ➤ #Hora_Tech #Spacetop #Computer #AR #Uhalisia
    Like
    Love
    2
    ·589 Vue
  • Nita stay conscious ata hii dunia ipunduke!!
    Master mind mwenye delicious flow naifanya tasnia ikumbukwe!!
    Mi striker mwenye goal vision,, usi form battle bila ambition??
    Ulisha feli ku complish small mission!!
    Kwa hii mikato isiyo affect genesis!!
    Na go straight to enemies?!
    Energy sio utimamu wa mwenye nguvu!!
    Watch me clear asala malekhum!!
    Ukiwapoteza kondoo itabakia hasara kwa yesu!!
    Kwa huu msafara wa peku!!
    Angalia unapo kanyaga ewe mwana wa kwetu!!
    Tabu kujua rap ni above the law!!
    Dj zima ngoma nipite kavu kwa show!!
    Kuendeshwa na mapenzi ni upumbavu aloooh!!
    Kivipi nikabidhi maisha kwa huu udhaifu wa roho!!
    Natema bars nyingi zenye uhalisia!!
    Nakaa kitako na madingi na wa hadithia!!
    Kabla sijakata moto nawaambia!!
    Pigania haki ila urithi sio wa kupigania!!
    Nita stay conscious ata hii dunia ipunduke!! Master mind mwenye delicious flow naifanya tasnia ikumbukwe!! Mi striker mwenye goal vision,, usi form battle bila ambition?? Ulisha feli ku complish small mission!! Kwa hii mikato isiyo affect genesis!! Na go straight to enemies?! Energy sio utimamu wa mwenye nguvu!! Watch me clear asala malekhum!! Ukiwapoteza kondoo itabakia hasara kwa yesu!! Kwa huu msafara wa peku!! Angalia unapo kanyaga ewe mwana wa kwetu!! Tabu kujua rap ni above the law!! Dj zima ngoma nipite kavu kwa show!! Kuendeshwa na mapenzi ni upumbavu aloooh!! Kivipi nikabidhi maisha kwa huu udhaifu wa roho!! Natema bars nyingi zenye uhalisia!! Nakaa kitako na madingi na wa hadithia!! Kabla sijakata moto nawaambia!! Pigania haki ila urithi sio wa kupigania!!
    ·159 Vue
  • mwonekano wa mtu sio uhalisia wake kuwa makini
    mwonekano wa mtu sio uhalisia wake kuwa makini
    Love
    1
    ·157 Vue
  • ipo siku uhalisia utakua na nafasi kubwa kuliko ndoto zako.
    ipo siku uhalisia utakua na nafasi kubwa kuliko ndoto zako.💪💪
    Like
    4
    1 Commentaires ·102 Vue
  • Kuna siku nilikutana na mdada fulani hivi kwenye ofisi x.
    Wakati huo nilikuwa nafuatilia huko jambo fulani hivi.
    Wote tulikuwa mapokezi na mimi nilikuwa nimeshahudumiwa kwa hivi nilikuwa nasubiri kuitwa mahali nilipokuwa naelekea.

    Yeye katika shida yake aliyokuwa amefika ili asaidiwe kuitatua aliulizwa maswali haya;

    1. Una baba? Akajibu sina, simfahamu hata sijui yuko wapi, kwani hata sijawahi kumwona.

    2. Una mama? Akajibu mama pia simfahamu maana alifariki ningali mdogo sana.

    3. Sasa kabila lako ni lipi? Akajibu hata kabila silijui kwa kuwa simfahamu baba, kwa kuwa nimekulia kwa bibi mzaa mama nitataja kabila lake.

    Na maswali mengi yaliyofuatia.
    Mimi kilichonishangaza na kunishawishi nijiulize maswali mengi ni hiyo namba moja.

    Swali ambalo binti ameulizwa kama ana baba akajibu hata hamfahamu. Kiuhalisia wanaume wengi tumekuwa tukiyakimbia majukumu yetu sana. Fikiria mtu anajua kabisa kuwa alimpa mwanamke ujauzito, hata kama haikuwa wakati sahihi badala ya kuonesha japo ushirikiano na mwanamke huyo anamkimbia.

    Mwanamke anakuwa na maumivu mengi, maumivu ya kukimbiwa na mtu aliyempenda, maumivu ya kutukanwa kuwa amepatia ujauzito nyumbani, maumivu ya kubezwa, maumivu ya ujauzito kama mama, uchovu na kila aina ya kejeli.
    Katika nyakati zile ambazo wanatuhtaji sana tunawakimbia.

    Matokeo yake ambalo hatuombei mama akipata shida wakati wa kujifungua akafariki, mtoto anabaki mpweke, haonji upendo wa yeyote. Anaingia kwenye ulimwengu wa mahangaiko peke yake na huku baba yake upo bize na mambo mengine.
    Nafikiri tuwe na huruma nao, tusiwatelekeze watoto ambao ndio taifa la kesho.

    Poleni sana wanawake kwa yanayowakumba.

    Kuna siku nilikutana na mdada fulani hivi kwenye ofisi x. Wakati huo nilikuwa nafuatilia huko jambo fulani hivi. Wote tulikuwa mapokezi na mimi nilikuwa nimeshahudumiwa kwa hivi nilikuwa nasubiri kuitwa mahali nilipokuwa naelekea. Yeye katika shida yake aliyokuwa amefika ili asaidiwe kuitatua aliulizwa maswali haya; 1. Una baba? Akajibu sina, simfahamu hata sijui yuko wapi, kwani hata sijawahi kumwona. 2. Una mama? Akajibu mama pia simfahamu maana alifariki ningali mdogo sana. 3. Sasa kabila lako ni lipi? Akajibu hata kabila silijui kwa kuwa simfahamu baba, kwa kuwa nimekulia kwa bibi mzaa mama nitataja kabila lake. Na maswali mengi yaliyofuatia. Mimi kilichonishangaza na kunishawishi nijiulize maswali mengi ni hiyo namba moja. Swali ambalo binti ameulizwa kama ana baba akajibu hata hamfahamu. Kiuhalisia wanaume wengi tumekuwa tukiyakimbia majukumu yetu sana. Fikiria mtu anajua kabisa kuwa alimpa mwanamke ujauzito, hata kama haikuwa wakati sahihi badala ya kuonesha japo ushirikiano na mwanamke huyo anamkimbia. Mwanamke anakuwa na maumivu mengi, maumivu ya kukimbiwa na mtu aliyempenda, maumivu ya kutukanwa kuwa amepatia ujauzito nyumbani, maumivu ya kubezwa, maumivu ya ujauzito kama mama, uchovu na kila aina ya kejeli. Katika nyakati zile ambazo wanatuhtaji sana tunawakimbia. Matokeo yake ambalo hatuombei mama akipata shida wakati wa kujifungua akafariki, mtoto anabaki mpweke, haonji upendo wa yeyote. Anaingia kwenye ulimwengu wa mahangaiko peke yake na huku baba yake upo bize na mambo mengine. Nafikiri tuwe na huruma nao, tusiwatelekeze watoto ambao ndio taifa la kesho. Poleni sana wanawake kwa yanayowakumba. 🤡🤡🤡
    Like
    1
    ·138 Vue