• Dunia imechanganya sana baina ya neno ndoa na uchumba.

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya uchumba na ndoa, japo watu wengi wanaishi kama wanandoa ili hali bado wajaona na hili ndilo hupelekea anguko la kanisa.

    Vijana wajafundishwa kwa uhalisia mipaka iliyopo kati ya uchumba na ndoa .

    Na kutokana na kuwa walagai wamekuwa wengi mjini wamelihwribu kanisa na wachungaji wamebaki tu kufukuza watu wazinifu kanisani na si kulitibu kanisa.

    Laiti kama vijana wangekuwa walau kila mwezi mwaka wanasemina maalumu ya kujifunza kuhusu mtazamo sahii wa biblia kuhusu ndoa pengine tungepunguza hali ya anguko la kanisa


    Bahati mbaya sana unakuta dada anaimba kwaya lakini anawanaume watatu sio labda tu be bali wote anawahudumia kama mke hii ni hatari sana kwa kanisa .

    Mchumba ajawai kuwa mke na hili tusifichane ndilo limepelekea anguko la kanisa chanzo kikubwa ni malezi mabovu ya wazazi kwa watoto wao .

    Mama wa binti anafahamu vijana watano wa mwanae na anahisi mwanae anapendwa akili au matope ?

    Yaaani mwanao anathamani sawa na nyumba ya wageni au gest na mama unaona ni sifa hili baya sana.

    Maneno magumu lakini ndo ukweli sasa kama unawanaume zaidi ya mmoja wewe si ni pumziko la wengine au kipozeo cha wengine wewe na gest tofauti yenu nini hasa?

    Dear my sister kuna mapepo mnasumbua wachungaji wawaombee lakini chanzo chake ni zinaa na siyo tu zinaa peke yake wewe ni mama huruma ?

    Naamaanisha nini dada kila kijana anaye kuja wewe kigezo ni pesa anaweza kuchungulia ndani ya nguo zako kuna nini basi jua umepoteza thamani yako.

    Yaani vijana wanalugha yao utasikia beki hazikabi kabisa yule na unajua kabisa wale ni marafiki na wewe kisa ana gari unatembea naye pia yaani marafiki wawili wanakuvua nguo kama ujionei huruma wewe muonee huruma mama yako.


    Lazima tuikatae zinaa hasa kipindi hiki cha uhamsho kwani tunajaribu kujifichia kwenye uchumba ili hali sisi ni wazinzi wanao ishi .

    Ok najua nimekukela lakini siyo mbaya naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)
    Dunia imechanganya sana baina ya neno ndoa na uchumba. Kuna tofauti kubwa sana kati ya uchumba na ndoa, japo watu wengi wanaishi kama wanandoa ili hali bado wajaona na hili ndilo hupelekea anguko la kanisa. Vijana wajafundishwa kwa uhalisia mipaka iliyopo kati ya uchumba na ndoa . Na kutokana na kuwa walagai wamekuwa wengi mjini wamelihwribu kanisa na wachungaji wamebaki tu kufukuza watu wazinifu kanisani na si kulitibu kanisa. Laiti kama vijana wangekuwa walau kila mwezi mwaka wanasemina maalumu ya kujifunza kuhusu mtazamo sahii wa biblia kuhusu ndoa pengine tungepunguza hali ya anguko la kanisa Bahati mbaya sana unakuta dada anaimba kwaya lakini anawanaume watatu sio labda tu be bali wote anawahudumia kama mke hii ni hatari sana kwa kanisa . Mchumba ajawai kuwa mke na hili tusifichane ndilo limepelekea anguko la kanisa chanzo kikubwa ni malezi mabovu ya wazazi kwa watoto wao . Mama wa binti anafahamu vijana watano wa mwanae na anahisi mwanae anapendwa akili au matope ? Yaaani mwanao anathamani sawa na nyumba ya wageni au gest na mama unaona ni sifa hili baya sana. Maneno magumu lakini ndo ukweli sasa kama unawanaume zaidi ya mmoja wewe si ni pumziko la wengine au kipozeo cha wengine wewe na gest tofauti yenu nini hasa? Dear my sister kuna mapepo mnasumbua wachungaji wawaombee lakini chanzo chake ni zinaa na siyo tu zinaa peke yake wewe ni mama huruma ? Naamaanisha nini dada kila kijana anaye kuja wewe kigezo ni pesa anaweza kuchungulia ndani ya nguo zako kuna nini basi jua umepoteza thamani yako. Yaani vijana wanalugha yao utasikia beki hazikabi kabisa yule na unajua kabisa wale ni marafiki na wewe kisa ana gari unatembea naye pia yaani marafiki wawili wanakuvua nguo kama ujionei huruma wewe muonee huruma mama yako. Lazima tuikatae zinaa hasa kipindi hiki cha uhamsho kwani tunajaribu kujifichia kwenye uchumba ili hali sisi ni wazinzi wanao ishi . Ok najua nimekukela lakini siyo mbaya naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)
    Love
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·915 Views
  • 1.Kama ukijengwa katika dhana hii ya kujua kuwa sex ni ibada kamili yenye Madhabau kamili na maji maji mnayo yatoa ni sadaka kamili uwezi kubali kulala na kila binti unaye muona .

    My dear ukijua kuwa sex ni mlango unao weza ruhusu laana kuingia kwako uwezi kubali kulala na kila mwanaume anaye kuja mbele yako .

    Ukijua kuwa zinaa "KUZINI" Ni amri kama ilivyo USIUE huwezi kubali kusex na kila mwanamke anaye jichekesha mbele yako.

    Namaanisha hivi wewe uliye zini na anaye aliye ua wote kwa Mungu mko sawa acha kuichukilia zinaa kawaida.

    3.Ukijua kuwa zinaa inaangamiza nafsi yako uwezi kuwa unaruhusu kila kijana anaye kuja anakuvua nguo.

    4.Moja ya sifa ambayo inaweza kukutqmbulisha kama mpumbavu ni pamoja na kuwa mtu wa zinaa muda wote .

    Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake mithali 6:32

    5.Aina ya maisha yako yanaamua kiwango cha maisha yako uwezi kuwa na ndoto kubwa arafu ukawa unalala na kila mtu anaye kuja mbele yako .

    Yusuph kwa kuheshimu ndoto yake aliamua kumkimbia potifa.
    Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe.
    *Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkosee Mungu?* Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.Mwanzo 39:9-10.
    Ukubwa wa ndoto ya yusuph akubabaishwa na uzuri na ukuu wa malkia wa misri .
    Hiyo ndiyo maana sahihi ya ndoto.

    6.Zinaa inakuondolea kabisa uwepo wa Mungu kabisa .

    Zinaa inaharibu kusudi la Mungu kwako na unaweza kufa kabla ya wakati muulize sulemani anajua uhalisia kuwa sababu ya zinaa alipoteza nguvu zake .

    Sex ni tendo la agano kama agano lingine ndo mana intial day lazima wakike afunguliwe kwa damu kumwagika na anaye mwaga damu anatoa maji maji huitwa (shahawa) kama kamilisho la agano .

    Acha kuchukulia zinaa kama kitu cha kawaida ni tendo la agano kuna watu wengi mumefungwa na watu wenu wa ujanani mpaka leo mumeolewa au kuoa kimwili uko na mke wako lakini kiroho wewe una agano na mtu mwingine.

    Asante Kristo ni Bwana wa agano jipy anataka vijana waache zinaa kabisa na yeye anasamehe kila jambo baya kama tu ukimwamini na kumpa nafasi leo.


    Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    #build new eden
    #restore men position
    1.Kama ukijengwa katika dhana hii ya kujua kuwa sex ni ibada kamili yenye Madhabau kamili na maji maji mnayo yatoa ni sadaka kamili uwezi kubali kulala na kila binti unaye muona . My dear ukijua kuwa sex ni mlango unao weza ruhusu laana kuingia kwako uwezi kubali kulala na kila mwanaume anaye kuja mbele yako . Ukijua kuwa zinaa "KUZINI" Ni amri kama ilivyo USIUE huwezi kubali kusex na kila mwanamke anaye jichekesha mbele yako. Namaanisha hivi wewe uliye zini na anaye aliye ua wote kwa Mungu mko sawa acha kuichukilia zinaa kawaida. 3.Ukijua kuwa zinaa inaangamiza nafsi yako uwezi kuwa unaruhusu kila kijana anaye kuja anakuvua nguo. 4.Moja ya sifa ambayo inaweza kukutqmbulisha kama mpumbavu ni pamoja na kuwa mtu wa zinaa muda wote . Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake mithali 6:32 5.Aina ya maisha yako yanaamua kiwango cha maisha yako uwezi kuwa na ndoto kubwa arafu ukawa unalala na kila mtu anaye kuja mbele yako . Yusuph kwa kuheshimu ndoto yake aliamua kumkimbia potifa. Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. *Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkosee Mungu?* Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.Mwanzo 39:9-10. Ukubwa wa ndoto ya yusuph akubabaishwa na uzuri na ukuu wa malkia wa misri . Hiyo ndiyo maana sahihi ya ndoto. 6.Zinaa inakuondolea kabisa uwepo wa Mungu kabisa . Zinaa inaharibu kusudi la Mungu kwako na unaweza kufa kabla ya wakati muulize sulemani anajua uhalisia kuwa sababu ya zinaa alipoteza nguvu zake . Sex ni tendo la agano kama agano lingine ndo mana intial day lazima wakike afunguliwe kwa damu kumwagika na anaye mwaga damu anatoa maji maji huitwa (shahawa) kama kamilisho la agano . Acha kuchukulia zinaa kama kitu cha kawaida ni tendo la agano kuna watu wengi mumefungwa na watu wenu wa ujanani mpaka leo mumeolewa au kuoa kimwili uko na mke wako lakini kiroho wewe una agano na mtu mwingine. Asante Kristo ni Bwana wa agano jipy anataka vijana waache zinaa kabisa na yeye anasamehe kila jambo baya kama tu ukimwamini na kumpa nafasi leo. Ok naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden #restore men position
    Wow
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·936 Views
  • MBONA SIJAELEWA HAPA!

    .Me:- mambo

    Dem:- poa

    Me:- unaishi wapi?

    Dem :- hapa tu Nairobi

    Me:- uko chuo?

    Dem:- ndio

    Me :- chuo gani

    Dem :- Urumah University
    Me:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako.

    Dem:- ohooo! I am already to deserve you

    Me:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla..."

    Dem:- Ahsante, una gari aina gani?!

    Me:- Nina land cruiser "

    Dem:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe".

    Me:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu".

    Dem:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana

    Me:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service"

    Dem:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single".

    Me:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni🥹"

    Dem:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawili"

    Me:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager.

    Dem:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto wote walifariki miaka minne iliyopita.

    Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!
    MBONA SIJAELEWA HAPA! .Me🧔:- mambo😊 Dem👰:- poa🤨 Me🧔:- unaishi wapi🙄? Dem 👰:- hapa tu Nairobi 😲 Me🧔:- uko chuo😊? Dem👰:- ndio😟 Me 🧔 :- chuo gani ☺️ Dem 👰:- Urumah University 🥰 Me🧔:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako. Dem👰:- ohooo!🙆 I am already to deserve you 😍 Me🧔:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla...😘" Dem👰:- Ahsante, una gari aina gani😒?! Me🧔:- Nina land cruiser 😊" Dem👰:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe😁". Me🧔:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu🙄". Dem👰:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana💕 Me🧔:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service😊" Dem👰:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single😁😁". Me🧔:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni🥹" Dem👰:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawili✌️" Me🧔:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager🕴️. Dem👰:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto 👪wote walifariki miaka minne iliyopita. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!
    Love
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·1K Views
  • .Dear Customer your ATM Card has been BL0CKED because you have NoT updated yet. If you want to keep using your ATM card please Call our number at ..92146993


    Ndugu zangu mkipata message hiyo hapo juu
    msiwapigie, ni *waongo na wezi*
    usitoe maelezo yako ya bank wala ATM CARD YAKO YA BANK !

    WATUMIE WENGINE MESSAGE HII WASIOJUA, WASIJE KUIBIWA PESA ZAO !
    .Dear Customer your ATM Card has been BL0CKED because you have NoT updated yet. If you want to keep using your ATM card please Call our number at ..92146993 Ndugu zangu mkipata message hiyo hapo juu msiwapigie, ni *waongo na wezi* usitoe maelezo yako ya bank wala ATM CARD YAKO YA BANK ! WATUMIE WENGINE MESSAGE HII WASIOJUA, WASIJE KUIBIWA PESA ZAO !
    Like
    Love
    4
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·879 Views
  • TUTAREJEA KATIKA UIMARA WETU, NIAMINI - PACOME
    Mchezaji wa Yanga @pacom_zouzoua kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

    "Habari za jioni, hivi karibuni klabu yetu imekuwa katika nyakati ngumu kwa kufungwa mfululizo, lakini niwahakikishie kuwa msimu ni mrefu sana na lazima tujifunze kutokana na vipigo vyetu ili tuweze kurejea Imara , si rahisi kwa shabiki kuuona timu yake aipendayo inafungwa kwa mara kwa mara hili tunalifahamu kwa sababu hatujawazoesha wapendwa Wananchi,

    lakini nawaahidi kuwa tutapambana kwelikweli, tutapambana kama msimu uliopita ili kurudisha heshima ya klabu bora nchini... sisi tutarejea katika muda uliopangwa ujao, niamini.
    Tunashindwa pamoja na tunashinda pamoja.

    Asanteni wapendwa Wananchi

    Profesa"

    Kwa lugha ya Kingereza

    Good evening everyone, lately, the club has been going through difficult times with successive defeats, but I assure you that the season is very long and we must learn from our defeats to bounce back, it is not easy for a supporter to see his favorite team chain defeats after defeats, we are aware of this because we have not accustomed you to this dear Citizens, but I promise you that we will really fight, fight like last season to restore the reputation of the best club in the country ... we will bounce back in the upcoming deadlines, believe me.
    We lose together and we win together.

    Thank you dear Wananchi

    The professor
    TUTAREJEA KATIKA UIMARA WETU, NIAMINI - PACOME Mchezaji wa Yanga @pacom_zouzoua kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika "Habari za jioni, hivi karibuni klabu yetu imekuwa katika nyakati ngumu kwa kufungwa mfululizo, lakini niwahakikishie kuwa msimu ni mrefu sana na lazima tujifunze kutokana na vipigo vyetu ili tuweze kurejea Imara , si rahisi kwa shabiki kuuona timu yake aipendayo inafungwa kwa mara kwa mara hili tunalifahamu kwa sababu hatujawazoesha wapendwa Wananchi, lakini nawaahidi kuwa tutapambana kwelikweli, tutapambana kama msimu uliopita ili kurudisha heshima ya klabu bora nchini... sisi tutarejea katika muda uliopangwa ujao, niamini. Tunashindwa pamoja na tunashinda pamoja. Asanteni wapendwa Wananchi 💚💛 Profesa✅" Kwa lugha ya Kingereza Good evening everyone, lately, the club has been going through difficult times with successive defeats, but I assure you that the season is very long and we must learn from our defeats to bounce back, it is not easy for a supporter to see his favorite team chain defeats after defeats, we are aware of this because we have not accustomed you to this dear Citizens, but I promise you that we will really fight, fight like last season to restore the reputation of the best club in the country ... we will bounce back in the upcoming deadlines, believe me. We lose together and we win together. Thank you dear Wananchi 💚💛 The professor✅
    Like
    Love
    3
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·1K Views
  • Dear men,
    "Jitahidi Kaa karibu na mkeo sio kumwamby mtu kaa mbalii na mke wangu"
    Dear men, "Jitahidi Kaa karibu na mkeo sio kumwamby mtu kaa mbalii na mke wangu" 🙃🙃
    Yay
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·199 Views
  • WANAUME WENGINE NI KAMA MAMBA.

    "MAMBA Kila Asubuhi Huamka na Kutoka Nje ya MAJI, Kisha Huachama na Kuacha MDOMO Wake Wazi Hali inayopelekea Kutoa Harufu Mbaya Ambayo Huwafanya NZI Kuvutiwa Nayo na Kuikimbilia Haraka Wakijua Wamepata CHAKULA Cha BURE, na Wakishajaa tu Mdomoni MAMBA Hufunga Mdomo Wake na Kuwatafuna Wote na Kumfanya MAMBA Apate Kifungua Kinywa na Kufaidika Zaidi Kisha Hurudi Zake Majini, Until Further Notice!

    "...Ndivyo Walivyo Hata Baadhi ya WANAUME, Wengi ni Kama MAMBA, Atakuonyesha na Kukuvuta Kwa Mambo Mazuri na Vitu Vingi Vyakutamanika Kama Hela, Gari, AHadi Nzuri, Zawadi, Nyumba, n k Nawewe Ukaingia Kwenye Mfumo Ukizani Wewe ndo Utafaidi na Kunufaika Kumbe Anakusubiri Ujae Kisha AKUTAFUNE Kama NZI Mdomoni Mwa MAMBA!

    "..Huu Ndio Unaitwa UPENDO wa MAMBA na Ndio Umeacha Maumivu, Vidonda, Machozi, Mimba, Majuto, Magonjwa na Usaliti Kwa Mabinti/Wanawake Wengi, Waliozani Wanapendwa na Kwamba Watafaidi Hizo Hela, AHadi Nzuri, Gari, Zawadi Walizoonyeshwa na Kupewa, Bila Kujua Huo ni Mtego Wa MAMBA Kujipatia KIFUNGUA KINYWA na Kushibisha MATAMANIO Yake, Mwisho Wakajikuta Kwenye Dimbwi Zito la MAJUTO, MACHOZI, GIZA na KUHARIBIKIWA MAISHA YAO"

    "..Dear LADIES, Hata Eva Wakati Anapewa AHadi Nzuri ya Tunda Kule Eden Alizani Anapendwa na Kujariwa, Kumbe Lilikuwa na Agenda Yake na Ndilo Lililoleta Mauti, Machozi, Maumivu, Kufukuzwa Bustanini na Kuzaa Kwa Uchungu Mpaka Leo"

    ..So Binti Be Very Careful na Huo UPENDO wa MAMBA Anaokuonyesha Huyo Jamaa Unayemuita Mpenzi au Mchumba!

    Mwenye Masikio na Asikie!
    *-MUNGU KWANZA-*
    WANAUME WENGINE NI KAMA MAMBA. "MAMBA Kila Asubuhi Huamka na Kutoka Nje ya MAJI, Kisha Huachama na Kuacha MDOMO Wake Wazi Hali inayopelekea Kutoa Harufu Mbaya Ambayo Huwafanya NZI Kuvutiwa Nayo na Kuikimbilia Haraka Wakijua Wamepata CHAKULA Cha BURE, na Wakishajaa tu Mdomoni MAMBA Hufunga Mdomo Wake na Kuwatafuna Wote na Kumfanya MAMBA Apate Kifungua Kinywa na Kufaidika Zaidi Kisha Hurudi Zake Majini, Until Further Notice! "...Ndivyo Walivyo Hata Baadhi ya WANAUME, Wengi ni Kama MAMBA, Atakuonyesha na Kukuvuta Kwa Mambo Mazuri na Vitu Vingi Vyakutamanika Kama Hela, Gari, AHadi Nzuri, Zawadi, Nyumba, n k Nawewe Ukaingia Kwenye Mfumo Ukizani Wewe ndo Utafaidi na Kunufaika Kumbe Anakusubiri Ujae Kisha AKUTAFUNE Kama NZI Mdomoni Mwa MAMBA! "..Huu Ndio Unaitwa UPENDO wa MAMBA na Ndio Umeacha Maumivu, Vidonda, Machozi, Mimba, Majuto, Magonjwa na Usaliti Kwa Mabinti/Wanawake Wengi, Waliozani Wanapendwa na Kwamba Watafaidi Hizo Hela, AHadi Nzuri, Gari, Zawadi Walizoonyeshwa na Kupewa, Bila Kujua Huo ni Mtego Wa MAMBA Kujipatia KIFUNGUA KINYWA na Kushibisha MATAMANIO Yake, Mwisho Wakajikuta Kwenye Dimbwi Zito la MAJUTO, MACHOZI, GIZA na KUHARIBIKIWA MAISHA YAO" "..Dear LADIES, Hata Eva Wakati Anapewa AHadi Nzuri ya Tunda Kule Eden Alizani Anapendwa na Kujariwa, Kumbe Lilikuwa na Agenda Yake na Ndilo Lililoleta Mauti, Machozi, Maumivu, Kufukuzwa Bustanini na Kuzaa Kwa Uchungu Mpaka Leo" ..So Binti Be Very Careful na Huo UPENDO wa MAMBA Anaokuonyesha Huyo Jamaa Unayemuita Mpenzi au Mchumba! Mwenye Masikio na Asikie! *-MUNGU KWANZA-*
    0 Reacties ·0 aandelen ·948 Views
  • Dear Social pop owner, I hope you're doing fine with your team. Please try to make this social media to flexible like other social networks.
    I need to see this social pop to be famous lather than other social networks. I'll be happy if it will be easier to post pictures, videos and paste other documents from another source to link account with another social media. Have a good day
    Dear Social pop owner, I hope you're doing fine with your team. Please try to make this social media to flexible like other social networks. I need to see this social pop to be famous lather than other social networks. I'll be happy if it will be easier to post pictures, videos and paste other documents from another source to link account with another social media. Have a good day
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·915 Views
  • nje wanikandia kumbe ndani wananizimia/
    nikute kwenye kaunta nikupe moja Bavaria/
    tupeane lines kadhaa huku tukimimina bia/
    my dear ila punguza hasira usije ukalia/
    nna kauli za kashfa na kejeli umenisikia/
    verse inatosha muda wangu umeshawadia/
    ntarudi tena pindi tu stimu zikinijia/
    nje wanikandia kumbe ndani wananizimia/ nikute kwenye kaunta nikupe moja Bavaria/ tupeane lines kadhaa huku tukimimina bia/ my dear ila punguza hasira usije ukalia/ nna kauli za kashfa na kejeli umenisikia/ verse inatosha muda wangu umeshawadia/ ntarudi tena pindi tu stimu zikinijia/
    Like
    Love
    4
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·128 Views
  • nje wanikandia kumbe ndani wananizimia/
    nikute kwenye kaunta nikupe moja Bavaria/
    tupeane lines kadhaa huku tukimimina bia/
    my dear ila punguza hasira usije ukalia/
    nna kauli za kashfa na kejeli umenisikia/
    verse inatosha muda wangu umeshawadia/
    ntarudi tena pindi tu stimu zikinijia/
    nje wanikandia kumbe ndani wananizimia/ nikute kwenye kaunta nikupe moja Bavaria/ tupeane lines kadhaa huku tukimimina bia/ my dear ila punguza hasira usije ukalia/ nna kauli za kashfa na kejeli umenisikia/ verse inatosha muda wangu umeshawadia/ ntarudi tena pindi tu stimu zikinijia/
    Like
    Love
    2
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·137 Views
  • Mtoto tia nidhamu...
    Msoto Tanzania ni damu...
    Na sikU HIZI SiO NGURUE TUU,HATA BOKO PIA HARAMU...
    Joto LA dear ni hamu...
    Moto chukia jehanam...
    Kila chocho kuna pepo,na machoko wanalilia utamu...
    Kiumeni ficha kichwa cha pili ukitishwa fikra bisha..
    Linapisha rika ukisita ni picha lime kwisha..
    Mtoto tia nidhamu... Msoto Tanzania ni damu... Na sikU HIZI SiO NGURUE TUU,HATA BOKO PIA HARAMU... Joto LA dear ni hamu... Moto chukia jehanam... Kila chocho kuna pepo,na machoko wanalilia utamu... Kiumeni ficha kichwa cha pili ukitishwa fikra bisha.. Linapisha rika ukisita ni picha lime kwisha..
    Like
    2
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·169 Views
  • "Be Smart With Everyone!!"
    But
    Always Be Silly With
    Your Dear Ones!!"
    It's A Beautiful Secret
    For A Lovely Relationship...!
    #memoryofjosephcharles
    #quotes
    "Be Smart With Everyone!!" But Always Be Silly With Your Dear Ones!!" It's A Beautiful Secret For A Lovely Relationship...! #memoryofjosephcharles #quotes
    Love
    Like
    3
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·266 Views
  • MUNGU ALIMTOA MWANAE WA PEKEE AOKOE ULIMWENGU NA BAADAE AKARUDI KWAKE...... (Huwa unashukuru)

    WEWE KUTOA GARI LAKO LA PEKEE LIPELEKE MSIBA/MGONJWA NA BAADAE URUDISHIWE.....
    ¶UNAWAZA MAFUTA.
    ¶UTAWAZA SHOKAPU.
    ¶UTAWAZA MEEEENGIIII MWISHONI UTASEMA nimelitoa juzi tu service na nimegharamia kweli....

    #dear ukifa ulazwe hapo hapo unapolaza gari.

    #wachache_tanzania_watu.

    j. Pili ijayo usiitii ya kanisa.
    MUNGU ALIMTOA MWANAE WA PEKEE AOKOE ULIMWENGU NA BAADAE AKARUDI KWAKE...... (Huwa unashukuru) WEWE KUTOA GARI LAKO LA PEKEE LIPELEKE MSIBA/MGONJWA NA BAADAE URUDISHIWE..... ¶UNAWAZA MAFUTA. ¶UTAWAZA SHOKAPU. ¶UTAWAZA MEEEENGIIII MWISHONI UTASEMA nimelitoa juzi tu service na nimegharamia kweli.... #dear ukifa ulazwe hapo hapo unapolaza gari. #wachache_tanzania_watu. 🔕j. Pili ijayo usiitii 🔕 ya kanisa.
    0 Reacties ·0 aandelen ·189 Views
  • Dear nipo safari ya mbali japo sijahana sayari

    Bado nausaka ugali ugali japo ni msoto mkali

    Nitarudi usijali nasaka usiku silali life bado kabali

    Kwamungu nasali vizuli naomba nipate mia nisije pata sifuli

    Mvumilivu hula matunda mazuri kua na amani epuka kibuli
    Dear nipo safari ya mbali japo sijahana sayari Bado nausaka ugali ugali japo ni msoto mkali Nitarudi usijali nasaka usiku silali life bado kabali Kwamungu nasali vizuli naomba nipate mia nisije pata sifuli Mvumilivu hula matunda mazuri kua na amani epuka kibuli
    0 Reacties ·0 aandelen ·780 Views
  • Dear nipo safari ya mbali japo sijahana sayari

    Bado nausaka ugali ugali japo ni msoto mkali

    Nitarudi usijali nasaka usiku silali life bado kabali

    Kwamungu nasali vizuli naomba nipate mia nisije pata sifuli

    Mvumilivu hula matunda mazuri kua na amani epuka kibuli
    Dear nipo safari ya mbali japo sijahana sayari Bado nausaka ugali ugali japo ni msoto mkali Nitarudi usijali nasaka usiku silali life bado kabali Kwamungu nasali vizuli naomba nipate mia nisije pata sifuli Mvumilivu hula matunda mazuri kua na amani epuka kibuli
    0 Reacties ·0 aandelen ·700 Views
  • WHO CAN SING WITH ME A COLLABORATION?
    Let me show you my tear
    cause of you i'm in the fear
    I sing for you my dear
    Your matter i can bear
    CAN I CONTINUE?
    WHO CAN SING WITH ME A COLLABORATION? Let me show you my tear cause of you i'm in the fear I sing for you my dear Your matter i can bear CAN I CONTINUE?
    Like
    Love
    3
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·168 Views
  • _Letter from a Teacher to a child's Parents:_

    " *Dear Parents, Charles is not smelling nice in class, will you please wash him properly.*

    _Parents' reply:"_

    *Dear Teacher, Charles is not a rose, don't smell him, just teach him** !



    #memoryofjosephcharles
    _Letter from a Teacher to a child's Parents:_ " *Dear Parents, Charles is not smelling nice in class, will you please wash him properly.* _Parents' reply:"_ *Dear Teacher, Charles is not a rose, don't smell him, just teach him** ! 😁😁 #memoryofjosephcharles
    Like
    Love
    Haha
    9
    · 2 Reacties ·0 aandelen ·181 Views
  • Dear Lord…. Asante kwa upendo wako, huruma na msamaha. Tushike mkono tuvuke salama leo! Good morning
    Dear Lord…. Asante kwa upendo wako, huruma na msamaha. Tushike mkono tuvuke salama leo! Good morning
    Love
    Like
    7
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·164 Views
  • Dear problems… Our God is bigger than you! Good afternoon
    Dear problems… Our God is bigger than you! Good afternoon
    Like
    Love
    2
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·123 Views
  • Ineed frends Who like football and Exchange Idear
    Ineed frends Who like football and Exchange Idear😎
    0 Reacties ·0 aandelen ·556 Views
Zoekresultaten