Upgrade to Pro

  • .KUTOKA KWENYE UKURASA WA MWANDISHI MICKJR TANZANIA HUENDA IKAONDOLEWA KWENYE AFCON 2025

    Hiki ndicho kilichotokea na sababu kwa nini Tanzania inaweza kuondolewa katika michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco baada ya kufuzu.

    Dakika ya 73, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyevaa jezi namba 26 Ibrahim Amme lakini kwenye karatasi ya timu waliyoiwasilisha CAF, hakuna mchezaji aliyesajiliwa na jezi namba 26.

    Ibarahim Amme alisajiliwa kwa jezi namba 24

    Hii inakiuka kanuni za CAF kuhusu utambulisho wa wachezaji.

    Guinea imewasilisha rasmi ripoti kwa CAF.

    Je unamaoni Gani kuhusu Hili swala ??
    .🚨KUTOKA KWENYE UKURASA WA MWANDISHI MICKJR TANZANIA HUENDA IKAONDOLEWA KWENYE AFCON 2025 Hiki ndicho kilichotokea na sababu kwa nini Tanzania inaweza kuondolewa katika michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco baada ya kufuzu. 🚨🇹🇿 Dakika ya 73, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyevaa jezi namba 26 Ibrahim Amme lakini kwenye karatasi ya timu waliyoiwasilisha CAF, hakuna mchezaji aliyesajiliwa na jezi namba 26. 😳👀 Ibarahim Amme alisajiliwa kwa jezi namba 24 Hii inakiuka kanuni za CAF kuhusu utambulisho wa wachezaji. Guinea imewasilisha rasmi ripoti kwa CAF. Je unamaoni Gani kuhusu Hili swala ??
    Like
    Love
    3
    ·76 Views
  • Yamesemwa na Farhan JR (Mchambuzi).

    "Kwenye jezi zao zote tatu za Yanga hii haina shida kabisa hii ya rangi ya dhahabu (Gold) ukirejea kwenye masuala ya rangi kwanza kuna rangi Mama tatu pekee zinaitwa Primary colours ambazo ni Njano, buluu na Nyekundu ambapo kwenye hizi rangi tatu ukichanganya ndio unapata rangi za pili (secondary colours) na bado kuna rangi zinaitwa Tertiary (somo la siku nyingine)

    Kwahiyo hapa alichofanya Designer wa Yanga ni kuichukua jezi ya ugenini ya Yanga ambayo ni Njano, kupitia njano ndio kaenda kuzalisha rangi ya DHAHABU, ukirejea darasani Dhahabu inapatikana kwa kuchanganya NJANO kwa 87.5% na rangi nyingine moja ndio unazalisha jezi yao namba mbili ya ugenini.

    Kwahiyo hapo hayupo nje kwakuwa GOLD ni sehemu ya njano kwa asilimia kubwa sana, Mimi shida yangu ni jezi yao ya nyumbani ule uzi wa KIJANI pale ndipo kuna shida ila sio hii ya pili na ya tatu."

    Yamesemwa na Farhan JR (Mchambuzi). "Kwenye jezi zao zote tatu za Yanga hii haina shida kabisa hii ya rangi ya dhahabu (Gold) ukirejea kwenye masuala ya rangi kwanza kuna rangi Mama tatu pekee zinaitwa Primary colours ambazo ni Njano, buluu na Nyekundu ambapo kwenye hizi rangi tatu ukichanganya ndio unapata rangi za pili (secondary colours) na bado kuna rangi zinaitwa Tertiary (somo la siku nyingine) Kwahiyo hapa alichofanya Designer wa Yanga ni kuichukua jezi ya ugenini ya Yanga ambayo ni Njano, kupitia njano ndio kaenda kuzalisha rangi ya DHAHABU, ukirejea darasani Dhahabu inapatikana kwa kuchanganya NJANO kwa 87.5% na rangi nyingine moja ndio unazalisha jezi yao namba mbili ya ugenini. Kwahiyo hapo hayupo nje kwakuwa GOLD ni sehemu ya njano kwa asilimia kubwa sana, Mimi shida yangu ni jezi yao ya nyumbani ule uzi wa KIJANI pale ndipo kuna shida ila sio hii ya pili na ya tatu."
    ·10 Views
  • Wanawake bora wanazo levels na class zao, hawasheherekei WEEKEND bali husheherekea MAFANIKIO. Hawapendi HARUSI bali wanapenda NDOA.

    Huweka mambo ya kipuuzi pembeni ili kufanikisha mambo ya msingi. Na mara wanapofanikiwa ndio huenda mahala na kujipongeza kwa kufikia mafanikio yao.

    Wanawake walio katika class zao hawawezi kumvumilia boyfriend asie na ndoto wala bidii yoyote ile katika maisha.
    Wanachelewa kulala sio kwa sababu wanachat na boyfriends wenye vichaa vya ngono bali kwa sababu wanaandika business proposal na kupanga mipango ya maendeleo.
    Wanawake walio ktk class zao hawachat na boyfriends ambao wanashindwa hata kuandika vizuri kwa sababu boufriends hao wako bize kuchat na wanawake wengine!

    Kwa sababu wanawake wanahitaji kuolewa, kwao ndoa sio ndio kila kitu na jambo la kuomba na kujirahisisha ili tu kuolewa. Wanafahamu falsafa ya "mtu bora, hutambua mtu bora" (real recognizes real). Wana-enjoy maisha sio kwa sababu ni weekend no, bali kwa sababu wamefanikiwa kwenye masomo, kazi, na career zao.
    Na kama wakienda ku-enjoy wanaenda wenyewe na wanarudi wenyewe! Hawaamki asubuhi wakiwa katika vitanda vigeni na wanaume wageni baada ya usiku kufanya vitu vigeni hawapotezi muda na wanaume wanaojiita wenye nazo mjini ambao nguvu yao ni pesa pekee lakini kichwani hamna kitu. Hawa ndio wanawake walio katika ubora wao!

    Tupate wapi wanawake kama hawa ! ?
    Wanawake bora wanazo levels na class zao, hawasheherekei WEEKEND bali husheherekea MAFANIKIO. Hawapendi HARUSI bali wanapenda NDOA. Huweka mambo ya kipuuzi pembeni ili kufanikisha mambo ya msingi. Na mara wanapofanikiwa ndio huenda mahala na kujipongeza kwa kufikia mafanikio yao. Wanawake walio katika class zao hawawezi kumvumilia boyfriend asie na ndoto wala bidii yoyote ile katika maisha. Wanachelewa kulala sio kwa sababu wanachat na boyfriends wenye vichaa vya ngono bali kwa sababu wanaandika business proposal na kupanga mipango ya maendeleo. Wanawake walio ktk class zao hawachat na boyfriends ambao wanashindwa hata kuandika vizuri kwa sababu boufriends hao wako bize kuchat na wanawake wengine! Kwa sababu wanawake wanahitaji kuolewa, kwao ndoa sio ndio kila kitu na jambo la kuomba na kujirahisisha ili tu kuolewa. Wanafahamu falsafa ya "mtu bora, hutambua mtu bora" (real recognizes real). Wana-enjoy maisha sio kwa sababu ni weekend no, bali kwa sababu wamefanikiwa kwenye masomo, kazi, na career zao. Na kama wakienda ku-enjoy wanaenda wenyewe na wanarudi wenyewe! Hawaamki asubuhi wakiwa katika vitanda vigeni na wanaume wageni baada ya usiku kufanya vitu vigeni hawapotezi muda na wanaume wanaojiita wenye nazo mjini ambao nguvu yao ni pesa pekee lakini kichwani hamna kitu. Hawa ndio wanawake walio katika ubora wao! Tupate wapi wanawake kama hawa ! ?
    ·11 Views
  • SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..!

    Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa.

    Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious.

    Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana.......

    Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako.

    Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe."

    #SexIsNotLove
    #Inauma
    SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..! Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa. Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious. Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana....... Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako. Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe." #SexIsNotLove #Inauma
    ·15 Views
  • My Sister! Are you Under a Spell?.

    Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo.

    Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu.

    Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu.

    Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri.

    Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu.

    Umefungwa na nini..?
    Nani amekuroga...?

    Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex.

    Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata.

    My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo.

    Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali.

    Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa.

    My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo".

    Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone.

    Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho.

    #KnowYourValueAndAct
    #MarriageUnderGodFoundation
    #MarriageIsBeautifu
    My Sister! Are you Under a Spell?. Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo. Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu. Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu. Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri. Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu. Umefungwa na nini..? Nani amekuroga...? Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex. Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata. My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo. Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali. Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa. My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo". Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone. Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho. #KnowYourValueAndAct #MarriageUnderGodFoundation #MarriageIsBeautifu
    ·16 Views
  • TANZANIA BRAVO ; Ujasiri wenu ndio ulio wafanya mfike MOROCCO Hongereni sana
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #tanzania
    TANZANIA BRAVO 👏; Ujasiri wenu ndio ulio wafanya mfike MOROCCO ⚽Hongereni sana🎉🎉🎉🎉 #sokachampions #soccersportstz #tanzania
    ·48 Views
  • .PANGA ZAIDI LINAKUJA YANGA SC.
    .
    Kama Ulidhani Panga la Yanga limeishia kwa Gamondi basi Umekosea kwani Mabosi wa Klabu hiyo wamepanga kuanza upya kwa kuwaondoa baadhi ya wafanyakazi Katika vitengo vingine huku wengine waliowahi Kuondolewa wakirudishwa.
    .
    Mchakato huo tayari umepata baraka ya Kamati tendaji Katika kikao kilichoketi November 7 mwaka huu Dar es Salaam kwa watendaji hao kutoongezewa mikataba yao.
    .
    Mabadiliko hayo yataanzia idara ya fedha ambapo mtu mmoja atachomolewa. Idara ya Sheria nayo itakumbana na mabadiliko hayo kwa bosi mmoja naye kuondolewa.
    .
    Kitengo cha mauzo ya jezi nako kutapita fagio kubwa. Tayari kuna baadhi ya tuhuma zimewaweka nje watendaji watatu ambao wanasimamia mauzo ya jezi za klabu hiyo moja ya madai ikiwa kubainika kujihusisha na bidhaa feki.
    .🚨PANGA ZAIDI LINAKUJA YANGA SC. . Kama Ulidhani Panga la Yanga limeishia kwa Gamondi basi Umekosea kwani Mabosi wa Klabu hiyo wamepanga kuanza upya kwa kuwaondoa baadhi ya wafanyakazi Katika vitengo vingine huku wengine waliowahi Kuondolewa wakirudishwa. . Mchakato huo tayari umepata baraka ya Kamati tendaji Katika kikao kilichoketi November 7 mwaka huu Dar es Salaam kwa watendaji hao kutoongezewa mikataba yao. . Mabadiliko hayo yataanzia idara ya fedha ambapo mtu mmoja atachomolewa. Idara ya Sheria nayo itakumbana na mabadiliko hayo kwa bosi mmoja naye kuondolewa. . Kitengo cha mauzo ya jezi nako kutapita fagio kubwa. Tayari kuna baadhi ya tuhuma zimewaweka nje watendaji watatu ambao wanasimamia mauzo ya jezi za klabu hiyo moja ya madai ikiwa kubainika kujihusisha na bidhaa feki.
    Like
    2
    ·165 Views
  • KUTOKA KWA NASRDIN NABI

    “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa.

    “Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu.

    “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri.

    “Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia.

    “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’

    AMESEMA PROF. NABI
    KUTOKA KWA NASRDIN NABI “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. “Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu. “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. “Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia. “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ AMESEMA PROF. NABI
    Like
    2
    1 Comments ·165 Views
  • Yamesemwa na Meja Kunta (Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania).

    "Tuishi kwa kujifunza Mitazamo tofauti Ya watu wengi ina mshutumu Huyu dada Mdogo Mwenye Upeo Mkubwa wa kujiongeza. Kilasiku Anakuwa mkubwa zaidi sababu ya Utashi wake Na uthubutu wake Mwenyewe Haimbi wala Kuigiza but jina Lake Linapanda Kila leo

    Kiukweli nina Washangaa wengi walio Ingilia Na kushadadia hili Suala tena Kwa ubaya mna Toa maneno ya moyoni Kisa huyu binti Kuchangisha kwa sababu ya watu je alichangisha kwa Siri..? Lengo lake lilikuwa Lipi..? Je wewe Unaesema yeye Mwizi wewe Umefanya lipi..? Why tunapenda kukuza Mambo ikiwa ata Kwenye mambo serious Je mnajua Jambo Mpaka Serikali ikiliingilia Mnajua yupo kwenye wakati gani ..?

    Em wewe vaa kiatu chake sasahivi Mpaka Waziri Mkuu Ameingilia na kusema utafutwe Popote ulipo Ungefanya nini ??

    Mimi nimevaa Na nimeona Niffer Anahitaji Huruma ya wengi ili Kumalizana na hili Suala"
    Yamesemwa na Meja Kunta (Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania). "Tuishi kwa kujifunza Mitazamo tofauti Ya watu wengi ina mshutumu Huyu dada Mdogo Mwenye Upeo Mkubwa wa kujiongeza. Kilasiku Anakuwa mkubwa zaidi sababu ya Utashi wake Na uthubutu wake Mwenyewe Haimbi wala Kuigiza but jina Lake Linapanda Kila leo Kiukweli nina Washangaa wengi walio Ingilia Na kushadadia hili Suala tena Kwa ubaya mna Toa maneno ya moyoni Kisa huyu binti Kuchangisha kwa sababu ya watu je alichangisha kwa Siri..? Lengo lake lilikuwa Lipi..? Je wewe Unaesema yeye Mwizi wewe Umefanya lipi..? Why tunapenda kukuza Mambo ikiwa ata Kwenye mambo serious Je mnajua Jambo Mpaka Serikali ikiliingilia Mnajua yupo kwenye wakati gani ..? Em wewe vaa kiatu chake sasahivi Mpaka Waziri Mkuu Ameingilia na kusema utafutwe Popote ulipo Ungefanya nini ?? Mimi nimevaa Na nimeona Niffer Anahitaji Huruma ya wengi ili Kumalizana na hili Suala"
    ·31 Views
  • “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu.

    “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia.

    “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ Nabi, Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    “Ndio nimesikia kwamba Yanga imefanya mabadiliko kwenye benchi la ufundi, kwanza niwapongeze viongozi kwa kumpata kocha mwingine bora ambaye mimi sina mashaka naye kabisa. Namjua Sead (Ramovic) ni kocha kijana lakini falsafa ya soka lake limenivutia sana tangu nimemjua, naamini Yanga itacheza vizuri sana kwa kushambulia na kukaba kwa nguvu. “Hapa Afrika Kusini tangu nilipofika tukajikuta tunakuwa marafiki kwa muda mfupi, kila mmoja alikuwa anavutiwa na mbinu za wenzake, hivyo ni wazi Yanga imepata kocha mzuri. Nadhani kitu ambacho naweza kuwaambia wachezaji wa Yanga wajitume lakini pia wajichunge na nidhamu, Sead ni kocha ambaye anataka kwanza mchezaji awe na nidhamu ya hali ya juu, haogopi presha wala havumilii utovu wa nidhamu kisa unafanywa na mchezaji mwenye jina kubwa, atawafukuza, hilo ni muhimu wakazingatia. “Mashabiki wa Yanga nadhani wampe ushirikiano, atawafurahisha tu, hilo sina mashaka nalo, bahati nzuri anakwenda kukutana na timu yenye wachezaji bora.’’ Nabi, Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    ·18 Views
  • Wakati Nchi ya Tanzania ikiwa kwenye majonzi na hofu kubwa, Diva Thebowse, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuanzisha michango kwa ajili ya Waathirika wa Kariakoo. Kwa mujibu wake ni kwamba alifungua bakuli hilo la sadaka ili pesa itakayopatikana akanunue maji na soda kwa ajili ya Watu wanaosaidia kuokoa manusura huko Kariakoo.

    Hata hivyo nia yake hiyo njema imepokelewa kama nio ovu baada ya watu kumjia juu wakidai hawaliamini changisho lake kwasababu limekaa kitapeli na anafanya hivyo kwa tamaa baada ya kuona Niffer amechangisha milioni 17 kwa dakika 20 ndipo na yeye mate yakamtoka akapata wazo la kutega ulimbo ili pesa zinase.

    Baada ya tuhuma hizo, Diva amejitetea kwa kusema yeye ni tajiri na hivi karibuni gari yake aina ya G Wagon lenye thamani ya mamilioni ya pesa lipo njiani linakuja hivyo hana shida na pesa za sadaka.
    Wakati Nchi ya Tanzania ikiwa kwenye majonzi na hofu kubwa, Diva Thebowse, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuanzisha michango kwa ajili ya Waathirika wa Kariakoo. Kwa mujibu wake ni kwamba alifungua bakuli hilo la sadaka ili pesa itakayopatikana akanunue maji na soda kwa ajili ya Watu wanaosaidia kuokoa manusura huko Kariakoo. Hata hivyo nia yake hiyo njema imepokelewa kama nio ovu baada ya watu kumjia juu wakidai hawaliamini changisho lake kwasababu limekaa kitapeli na anafanya hivyo kwa tamaa baada ya kuona Niffer amechangisha milioni 17 kwa dakika 20 ndipo na yeye mate yakamtoka akapata wazo la kutega ulimbo ili pesa zinase. Baada ya tuhuma hizo, Diva amejitetea kwa kusema yeye ni tajiri na hivi karibuni gari yake aina ya G Wagon lenye thamani ya mamilioni ya pesa lipo njiani linakuja hivyo hana shida na pesa za sadaka.
    ·16 Views

  • JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA.

    Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake.

    Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa .

    #paulswai
    JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA. Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake. Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa . #paulswai
    Love
    Angry
    Like
    Haha
    7
    3 Comments ·161 Views ·1 Shares

  • JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA.

    Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake.

    Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa .

    #paulswai
    JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA. Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake. Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa . #paulswai
    Angry
    Yay
    2
    2 Comments ·148 Views
  • Kuwa mwaminifu kwako mwenyewe.

    Usijali kuhusu watu wanafikiria nini kukuhusu au jinsi wanavyojaribu kukufanya uhisi. Ikiwa watu wanataka kukuona kama mtu mzuri, watakuona. Ikiwa wanataka kukuona wewe ni mtu mbaya, hakuna chochote utakachofanya kitakachowazuia. Ajabu ni kwamba, kadri unavyojaribu kuwaonyesha nia yako nzuri, ndivyo unavyowapa sababu zaidi ya kukuangusha ikiwa wamejitolea kukuelewa vibaya. Weka kichwa chako juu na uwe na ujasiri katika kile unachofanya. Jiamini katika nia yako na weka macho yako mbele badala ya kupoteza muda wako kwa wale wanaotaka kukurudisha nyuma. Kwa sababu huwezi kubadilisha maoni ya watu, lazima uamini kuwa mabadiliko ya kweli kwako mwenyewe yanatoka ndani yako, sio kutoka kwa mtu mwingine yeyote.

    ---------
    Kuwa mwaminifu kwako mwenyewe. Usijali kuhusu watu wanafikiria nini kukuhusu au jinsi wanavyojaribu kukufanya uhisi. Ikiwa watu wanataka kukuona kama mtu mzuri, watakuona. Ikiwa wanataka kukuona wewe ni mtu mbaya, hakuna chochote utakachofanya kitakachowazuia. Ajabu ni kwamba, kadri unavyojaribu kuwaonyesha nia yako nzuri, ndivyo unavyowapa sababu zaidi ya kukuangusha ikiwa wamejitolea kukuelewa vibaya. Weka kichwa chako juu na uwe na ujasiri katika kile unachofanya. Jiamini katika nia yako na weka macho yako mbele badala ya kupoteza muda wako kwa wale wanaotaka kukurudisha nyuma. Kwa sababu huwezi kubadilisha maoni ya watu, lazima uamini kuwa mabadiliko ya kweli kwako mwenyewe yanatoka ndani yako, sio kutoka kwa mtu mwingine yeyote. ---------
    Love
    1
    ·17 Views
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    Sad
    5
    3 Comments ·205 Views
  • Katika miaka yangu 20 kama mtaalamu wa soka, sijawahi kukutaba na mtu ambae ni mwaminifu na muwazi kwa wachezaji na wafanyakazi wote kwa jina la ukuaji binafsi, kuongezeka kiwango, katika maisha na katika soka yaani ndani na nje ya uwanja.
    Ilikuwa ni furaha kabisa kufundishwa na wewe vilevile msaada wa timu yako kiufundi, rafiki wa kweli, muungwana kweli kweli, kaka na mtu mkubwa ambae anataka tu kupambana kwa ajili ya mafanikio ya timu yake

    Nakutakia kila la heri katika juhudi zako za baadaye bwana.
    Upendo na baraka
    Katika miaka yangu 20 kama mtaalamu wa soka, sijawahi kukutaba na mtu ambae ni mwaminifu na muwazi kwa wachezaji na wafanyakazi wote kwa jina la ukuaji binafsi, kuongezeka kiwango, katika maisha na katika soka yaani ndani na nje ya uwanja. Ilikuwa ni furaha kabisa kufundishwa na wewe vilevile msaada wa timu yako kiufundi, rafiki wa kweli, muungwana kweli kweli, kaka na mtu mkubwa ambae anataka tu kupambana kwa ajili ya mafanikio ya timu yake Nakutakia kila la heri katika juhudi zako za baadaye bwana. Upendo na baraka 🙏
    Love
    2
    ·179 Views
  • "Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    "Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    ·42 Views
  • "Leo tutakuwa na habari mbili kubwa, tunakwenda kufanya maboresho mengine kwenye benchi letu la ufundi hivyo taarifa hizi zitatolewa kupitia Yanga SC APP. Tumeshakubaliana Wananchi, Kama taarifa haipo Yanga SC APP ipotezee.

    Kocha wetu baada ya kutangazwa hapo jana aliita kikao na wasaidizi wake, Mjerumani huyu hana kupoa kafika tu kataka kujua kila kinachoendelea na leo hii atakuwa na kikao kingine kwaajili ya kuhakikisha tunakwenda sawa kwenye maandalizi ya timu yetu kuelekea mchezo wetu dhidi ya Al Hilal tarehe 26.11.2024" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    "Leo tutakuwa na habari mbili kubwa, tunakwenda kufanya maboresho mengine kwenye benchi letu la ufundi hivyo taarifa hizi zitatolewa kupitia Yanga SC APP. Tumeshakubaliana Wananchi, Kama taarifa haipo Yanga SC APP ipotezee. Kocha wetu baada ya kutangazwa hapo jana aliita kikao na wasaidizi wake, Mjerumani huyu hana kupoa kafika tu kataka kujua kila kinachoendelea na leo hii atakuwa na kikao kingine kwaajili ya kuhakikisha tunakwenda sawa kwenye maandalizi ya timu yetu kuelekea mchezo wetu dhidi ya Al Hilal tarehe 26.11.2024" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    ·40 Views
  • Ameandika Castor Yanga (Shabiki wa Yanga)

    Bado tuna ushamba sana haswa kwenye soka letu Kwa ujumla,,Duniani kote Kila timu inakuwa na mipango yake nini wanataka kufanya ndani msimu husika.Kupitia mkutano mkuu wa Yanga 2024 moja ya agenda kuu ilikuwa ni malengo ya klabu.

    (01)Kutetea Ubingwa.(HADI SASA TIMU IPO NAFASI YA PILI )

    (02)Kushinda Ngao ya jamii (100% TUMESHINDA UBINGWA WA NGAO YA JAMII)

    (03)Kufuzu makundi CAF CHAMPIONS LEAGUE (TIMU IPO MAKUNDI)

    Kwa mafanikio haya ni zaidi ya 80% Kocha Miguel Angel Gamondi amefanikiwa.Sijajua ni wapi tunaferi Yanga,,Tunafanya maamuzi Kwa mihemko sana 🫰 Kisa Kelele za watu Wachache ambao ndio wametufikisha hapa.

    Gamondi toka aichukue Yanga haijafungwa mechi Zaidi ya 8 ana Ushindi zaidi ya 85% kwenye mashindano yote ambayo ameshiriki na kikosi chake,,Tuna mechi za kimataifa Bado siku 12 tu Leo hii Uongozi unamfukuza kocha,,Wapi tunataka kwenda Yanga...!!?

    Kwanini tunashindwa kuamini Projects Zetu wenyewe Kwa kuwa wavumilivu,,Pep Guardiola amepoteza mechi Nne mfululizo hakuna Kelele wala mashabiki wa Manchester city ambaye anataka kuona Pep Guardiola anaondoka.Uongozi mmetukosea sana Wananchi.Hakuna timu duniani ambayo hajifungwi kuendelea kukarili kuwa na matokeo yetu vichwani kuwa Yanga ni bora kuliko Vilabu vingine ni ujinga.

    Kama Viongozi mmeamua kufanya usafi basi fanyeni usafi hadi ndani ya Uongozi wenyewe,,Yanga princess haijashida hata mechi moja lakini hadi sasa Uongozi upo kimya kama matokeo mabovu wanayopata hawayaoni.Tunakimbilia kujifucha huku Kwa wakubwa ili tuone mpo active.

    Mnaajili kocha mpya katikati ya msimu vipi akifeli nae,,Je Vipi kocha mpya nae akitoa project yake je tuakuwa na uvumilivu...? Binafsi nimeumia sana Miguel Angel Gamondi kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Yanga kwasababu ni kocha ambaye alishatengeneza patten nzuri ndani ya Yanga.

    Kila la heri Gamondi.
    Ameandika Castor Yanga (Shabiki wa Yanga) Bado tuna ushamba sana haswa kwenye soka letu Kwa ujumla,,Duniani kote Kila timu inakuwa na mipango yake nini wanataka kufanya ndani msimu husika.Kupitia mkutano mkuu wa Yanga 2024 moja ya agenda kuu ilikuwa ni malengo ya klabu. (01)Kutetea Ubingwa.(HADI SASA TIMU IPO NAFASI YA PILI ) (02)Kushinda Ngao ya jamii (100% TUMESHINDA UBINGWA WA NGAO YA JAMII) (03)Kufuzu makundi CAF CHAMPIONS LEAGUE (TIMU IPO MAKUNDI) Kwa mafanikio haya ni zaidi ya 80% Kocha Miguel Angel Gamondi amefanikiwa.Sijajua ni wapi tunaferi Yanga,,Tunafanya maamuzi Kwa mihemko sana 🫰 Kisa Kelele za watu Wachache ambao ndio wametufikisha hapa. Gamondi toka aichukue Yanga haijafungwa mechi Zaidi ya 8 ana Ushindi zaidi ya 85% kwenye mashindano yote ambayo ameshiriki na kikosi chake,,Tuna mechi za kimataifa Bado siku 12 tu Leo hii Uongozi unamfukuza kocha,,Wapi tunataka kwenda Yanga...!!? Kwanini tunashindwa kuamini Projects Zetu wenyewe Kwa kuwa wavumilivu,,Pep Guardiola amepoteza mechi Nne mfululizo hakuna Kelele wala mashabiki wa Manchester city ambaye anataka kuona Pep Guardiola anaondoka.Uongozi mmetukosea sana Wananchi.Hakuna timu duniani ambayo hajifungwi kuendelea kukarili kuwa na matokeo yetu vichwani kuwa Yanga ni bora kuliko Vilabu vingine ni ujinga. Kama Viongozi mmeamua kufanya usafi basi fanyeni usafi hadi ndani ya Uongozi wenyewe,,Yanga princess haijashida hata mechi moja lakini hadi sasa Uongozi upo kimya kama matokeo mabovu wanayopata hawayaoni.Tunakimbilia kujifucha huku Kwa wakubwa ili tuone mpo active. Mnaajili kocha mpya katikati ya msimu vipi akifeli nae,,Je Vipi kocha mpya nae akitoa project yake je tuakuwa na uvumilivu...? Binafsi nimeumia sana Miguel Angel Gamondi kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Yanga kwasababu ni kocha ambaye alishatengeneza patten nzuri ndani ya Yanga. Kila la heri Gamondi.
    ·33 Views
  • WIZI MPYA

    Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa
    'IMERUKA'.

    Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake.

    Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka.

    Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo.

    Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako.

    Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo).

    Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako.

    Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako.

    Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia.

    Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi.

    Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo.

    Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia.

    Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho.

    KAA MACHO
    WIZI MPYA Kuna mbinu mpya ya matapeli wamekuja na kuwalaghai watu inaoitwa 'IMERUKA'. Tapeli hukutumia pesa kwenye simu yako akitumia namba yake. Hii si pesa fake, ni ya kweli kabisa anakutumia pesa kidogo kama laki 100000 au elf 50000 na hata hana shaka. Baada ya kutuma pesa hizi kisha anaanzisha muamala wa kutoa pesa kwenye account yako yako. kuna menyu ya kurequest muamala kutoka kwenye namba ya mtu mwingine ambae yupo mbali. Ila yule mtu atatakiwa aweke namba yake ya siri ili kuruhusu muamala huo. Sasa tapeli anafanya hivyo kwa sababu anajua Unapopokea ujumbe kwenye simu yako kuwa umepokea pesa jambo la kawaida ni kufurahia na kisha kutaka kuangalia salio lako. Ili kuangalia salio utahitaji kuweka Nambari yako ya siri (Msimbo). Mara tu utakapofanya hivi utakuwa umethibitisha ombi lake la kutoa pesa kwenye akaunti yako. Akaunti yako itaruhusu ombi lake la kutoa hela kiotomatiki na kuchukua pesa zako. Ujanja ni kukurubuni tu kwa kiasi kidogo ili kukuibia. Ili kujilinda dhidi ya ulaghai huu wakati wowote ulipopokea amana hiyo isiyotarajiwa, ili kuangalia salio lako kwanza weka Nambari ya Msimbo isiyo sahihi makusudi. Kitendo cha wewe kuweka Msimbo wa uongo itafuta maombi yoyote ya tapeli kiutoa fedha toka akaunti yako. Kisha angalia salio lako kwa Nambari yako halisi ya Msimbo. Kwa uhamisho huu mpya wa pesa za kielektroniki na Artificial Intelligence (AI) tufanye hivyo kila wakati ili kuepuka kudanganywa na matapeli hawa ambao kila mara wanakuja na mbinu mpya za kujaribu kutuibia. Shiriki habari kama hizi kila wakati na familia na wafanyikazi wenza pia ili kuwafahamisha na kuwa macho. KAA MACHO ‼️
    Like
    Wow
    2
    ·164 Views
More Results