Mise à niveau vers Pro

  • Maana au ujumbe wa tattoo umewekwa kwa kuzingatia sehemu au mahali iliyochorwa hiyo tattoo, rangi iliyotumika kuichora hiyo tattoo, na mtindo uliotumika kuchora kwa tattoo husika
    Kabla hatujachambua orodha yetu ya tattoo maarafu na maana zake, unahitaji kujua mambo mengine ambayo ni muhimu
    1. Sehemu ambayo tattoo imechorwa au imekaa kwenye mwili ina maana kubwa, hasa kama ikiwa imewekwa au kuchorwa mahali fulani kwa ishara kama vile juu ya moyo, nyuma ya sikio au katika sehemu ya siri ya mwili.
    2. Rangi iliyotumika kuchora hiyo tattoo - rangi ya tattoo inaweza kubadilisha kabisa maana. Ua rose nyekundu inaashiria upendo wa kimapenzi na shauku, wakati Ua rose la bluu mara nyingi hutumika kuashiria upendo usioweza kupatikana.
    3. Mtindo uliotumika kuchora tattoo ina maana zaidi. Mfano tattoo ya simba dume kuwakilisha nguvu....au inaweza tu kuwa heshima.

    Huwezi kutambua maana halisi ya tattoo kwa kuiangalia pekee. Ni vyema ukauliza maana kwa mtu mwenye tattoo hiyo ilikupata majibu sahihi na maana sahihi.
    Ikiwa watajibu vyema, endelea na uulize kuhusu maana ya tattoo walizochora. Ikiwa hawaonekani na nia ya kuzungumza juu ya tattoo zao, usilazimishe zaidi.
    Tattoo zinaweza kushikilia maana na kumbukumbu za kina sana, na hata machungu ambayo watu wanapendelea kuweka faragha au siri.
    Maana au ujumbe wa tattoo umewekwa kwa kuzingatia sehemu au mahali iliyochorwa hiyo tattoo, rangi iliyotumika kuichora hiyo tattoo, na mtindo uliotumika kuchora kwa tattoo husika Kabla hatujachambua orodha yetu ya tattoo maarafu na maana zake, unahitaji kujua mambo mengine ambayo ni muhimu 1. Sehemu ambayo tattoo imechorwa au imekaa kwenye mwili ina maana kubwa, hasa kama ikiwa imewekwa au kuchorwa mahali fulani kwa ishara kama vile juu ya moyo, nyuma ya sikio au katika sehemu ya siri ya mwili. 2. Rangi iliyotumika kuchora hiyo tattoo - rangi ya tattoo inaweza kubadilisha kabisa maana. Ua rose nyekundu inaashiria upendo wa kimapenzi na shauku, wakati Ua rose la bluu mara nyingi hutumika kuashiria upendo usioweza kupatikana. 3. Mtindo uliotumika kuchora tattoo ina maana zaidi. Mfano tattoo ya simba dume kuwakilisha nguvu....au inaweza tu kuwa heshima. Huwezi kutambua maana halisi ya tattoo kwa kuiangalia pekee. Ni vyema ukauliza maana kwa mtu mwenye tattoo hiyo ilikupata majibu sahihi na maana sahihi. Ikiwa watajibu vyema, endelea na uulize kuhusu maana ya tattoo walizochora. Ikiwa hawaonekani na nia ya kuzungumza juu ya tattoo zao, usilazimishe zaidi. Tattoo zinaweza kushikilia maana na kumbukumbu za kina sana, na hata machungu ambayo watu wanapendelea kuweka faragha au siri.
    ·179 Vue
  • Kuhusu kile kichapo cha 5-1 kutoka kwa Yanga Kocha wa Magolikipa Daniel Cadena anasema kuwa alikataa Manula asidake lakini ilitolewa amri kuwa kwenye mchezo ule lazima manula adake na akaambiwa kuwa Manula yupo tayari Kwa mchezo ule , lakini yeye kama kocha akamfata Manula faragha na kumuambia asidake lakini manula akadaka kilichotokea wakapoteza 5-1
    Kuhusu kile kichapo cha 5-1 kutoka kwa Yanga Kocha wa Magolikipa Daniel Cadena anasema kuwa alikataa Manula asidake lakini ilitolewa amri kuwa kwenye mchezo ule lazima manula adake na akaambiwa kuwa Manula yupo tayari Kwa mchezo ule , lakini yeye kama kocha akamfata Manula faragha na kumuambia asidake lakini manula akadaka kilichotokea wakapoteza 5-1
    Like
    Love
    2
    1 Commentaires ·99 Vue
  • USHAURI KWA WATU WOTE WALIOAJIRIWA:

    1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati mzuri ktk nyumba yako mwenyewe.

    2. Nenda nyumbani. Usiishie kazini mwaka mzima. Wewe si nguzo ya idara yako. Ikiwa utakufa leo, nafasi yako atapewa mwingine bila kuchelewa na shughuli zitaendelea kama kawaida. Ifanye familia yako kuwa kipaumbele.

    3. Usifukuzie kupandishwa cheo. Boresha ujuzi wako na uwe bora katika kile unachokifanya. Ikiwa wanataka kukupandisha ni sawa ikiwa hawatafanya hivyo sawa tu, wewe zingatia maendeleo yako binafsi.

    4. Epuka porojo za ofisini au kazini. Epuka mambo yanayochafua jina au sifa yako. Usijiunge na genge la kejeli kwa wakuu wako na wenzako. Kaa mbali na mikusanyiko hasi ambayo ajenda yao ni kujadili watu tu.

    5. Kamwe usishindane na mabosi zako. Utachoma vidole vyako wala usishindane na wafanyakazi wenzako, utakaanga ubongo wako.

    6. Hakikisha una biashara ya kando. Mshahara wako hautakidhi mahitaji yako kwa muda mrefu.

    7. Okoa pesa. ruhusu ikatwe moja kwa moja kwenye payslip yako.

    8. Kopa mkopo kuwekeza katika biashara au kubadilisha mazingira ya kipato siyo kwa ajili ya kutumia ktk mambo ya anasa. Tumia faida kufanya starehe zako.

    9. Hebu fanya maisha yako ya ndoa na familia kuwa ya faragha(siri). Waache wanafamilia wakae mbali na masuala yako ya kazi. Hii ni muhimu sana.

    10. Uwe mwaminifu kwako mwenyewe na uamini katika kazi yako. Kukaa karibu sana na bosi wako kutakufitinisha na wenzako na bosi wako hatimaye anaweza kukustukia na kukutenga.

    11. Jitahidi kustaafu mapema. Njia bora ya kupanga kuondoka kwako ilikuwa wakati ulipokea barua ya ajira. Wakati mwingine mzuri ni leo. Ktk umri wa miaka 40 hadi 50 uwe umestaafu.

    12. Jiunge na Taasisi ya Ustawi wa kazi na uwe mwanachama hai kila wakati. Itakusaidia sana wakati tukio lolote litatokea.

    13.Siku za likizo zitumie kwa kuendeleza nyumba au miradi ya siku zijazo, kwa kawaida unachofanya wakati wa siku za likizo ya mwaka huakisi jinsi utakavyoishi baada ya kustaafu. Hii ina maana kuwa kama utatumia muda huo kukaa kizembe kama vile kushinda unatazama tamthilia ktk TV yaani rimoti haitoki mikononi basi usitegemee chochote cha tofauti baada ya kustaafu.

    14. Anzisha mradi ukiwa bado unahudumu au unafanya kazi. Hebu mradi wako ufanyike ukiwa kazini na ikiwa haufanyi vizuri, anza mwingine hadi ufanye vizuri kabisa. Wakati mradi wako unaendelea vizuri basi staafu ili kusimamia biashara zako. Watu wengi au wastaafu wanashindwa maisha kwa sababu wanastaafu kuanzisha mradi badala ya kustaafu kuendesha mradi.

    15. Pesa ya pensheni si kwa ajili ya kuanzisha mradi au kununua shamba au kujenga nyumba bali ni fedha kwa ajili ya kukutunza au kujitunza katika afya njema. Pesa ya pensheni si ya kulipia karo ya shule au kuoa mke mdogo bali ni kujiangalia wewe mwenyewe na maisha yako ya uzeeni.

    16. Kila wakati ukumbuke kuwa, unapostaafu hutakiwi kuwa mfano wa kuishi maisha duni baada ya kustaafu bali uwe mfano wa kuigwa na wenzako kufikiria kustaafu pia.

    17. Usistaafu kwa sababu tu umezeeka au sasa wewe ni mzigo kwa kampuni na unasubiri siku yako ya kufa. Staafu ukiwa bado kijana au ukiwa bado una nguvu za kufurahia kuamka kwa kikombe cha kahawa, kufurahia jua, kupokea pesa kutoka kwa biashara yako, tembelea sehemu nzuri ambayo umeikumbuka na kutumia wakati mzuri na familia. Wale wanaostaafu wakiwa wamechelewa, hutumia takriban 95% ya muda wao kazini kuliko kuwa na familia zao na ndiyo maana wanaona ni vigumu kukaa na familia zao wanapostaafu lakini wanaishia kutafuta kazi nyingine hadi wanakufa. Wasipopata kazi nyingine, wanakufa mapema.

    18. Staafu ukiwa nyumbani kwako kuliko katika makazi ya serikali ili unapostaafu uweze kufaa katika jamii iliyokulea. Si rahisi kuzoea kuishi katika eneo baada ya kukaa kwa miaka mingi kwenye nyumba ya kampuni au katika nyumba ya serikali.

    19. Usiruhusu kamwe faida za ajira yako zikufanye usahau kuhusu kustaafu kwako. Manufaa ya ajira yanakusudiwa tu kukufanya uwe na utulivu, ujichokee wakati muda unasonga. Kumbuka ukistaafu hakuna mtu atakayekuita bosi ikiwa huna biashara inayoweza kukutegemeza.

    20. Usichukie kustaafu maana lazima ipo siku utastaafu tu ama kwa hiari au kwa kutopenda.

    USHAURI KWA WATU WOTE WALIOAJIRIWA: 1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati mzuri ktk nyumba yako mwenyewe. 2. Nenda nyumbani. Usiishie kazini mwaka mzima. Wewe si nguzo ya idara yako. Ikiwa utakufa leo, nafasi yako atapewa mwingine bila kuchelewa na shughuli zitaendelea kama kawaida. Ifanye familia yako kuwa kipaumbele. 3. Usifukuzie kupandishwa cheo. Boresha ujuzi wako na uwe bora katika kile unachokifanya. Ikiwa wanataka kukupandisha ni sawa ikiwa hawatafanya hivyo sawa tu, wewe zingatia maendeleo yako binafsi. 4. Epuka porojo za ofisini au kazini. Epuka mambo yanayochafua jina au sifa yako. Usijiunge na genge la kejeli kwa wakuu wako na wenzako. Kaa mbali na mikusanyiko hasi ambayo ajenda yao ni kujadili watu tu. 5. Kamwe usishindane na mabosi zako. Utachoma vidole vyako wala usishindane na wafanyakazi wenzako, utakaanga ubongo wako. 6. Hakikisha una biashara ya kando. Mshahara wako hautakidhi mahitaji yako kwa muda mrefu. 7. Okoa pesa. ruhusu ikatwe moja kwa moja kwenye payslip yako. 8. Kopa mkopo kuwekeza katika biashara au kubadilisha mazingira ya kipato siyo kwa ajili ya kutumia ktk mambo ya anasa. Tumia faida kufanya starehe zako. 9. Hebu fanya maisha yako ya ndoa na familia kuwa ya faragha(siri). Waache wanafamilia wakae mbali na masuala yako ya kazi. Hii ni muhimu sana. 10. Uwe mwaminifu kwako mwenyewe na uamini katika kazi yako. Kukaa karibu sana na bosi wako kutakufitinisha na wenzako na bosi wako hatimaye anaweza kukustukia na kukutenga. 11. Jitahidi kustaafu mapema. Njia bora ya kupanga kuondoka kwako ilikuwa wakati ulipokea barua ya ajira. Wakati mwingine mzuri ni leo. Ktk umri wa miaka 40 hadi 50 uwe umestaafu. 12. Jiunge na Taasisi ya Ustawi wa kazi na uwe mwanachama hai kila wakati. Itakusaidia sana wakati tukio lolote litatokea. 13.Siku za likizo zitumie kwa kuendeleza nyumba au miradi ya siku zijazo, kwa kawaida unachofanya wakati wa siku za likizo ya mwaka huakisi jinsi utakavyoishi baada ya kustaafu. Hii ina maana kuwa kama utatumia muda huo kukaa kizembe kama vile kushinda unatazama tamthilia ktk TV yaani rimoti haitoki mikononi basi usitegemee chochote cha tofauti baada ya kustaafu. 14. Anzisha mradi ukiwa bado unahudumu au unafanya kazi. Hebu mradi wako ufanyike ukiwa kazini na ikiwa haufanyi vizuri, anza mwingine hadi ufanye vizuri kabisa. Wakati mradi wako unaendelea vizuri basi staafu ili kusimamia biashara zako. Watu wengi au wastaafu wanashindwa maisha kwa sababu wanastaafu kuanzisha mradi badala ya kustaafu kuendesha mradi. 15. Pesa ya pensheni si kwa ajili ya kuanzisha mradi au kununua shamba au kujenga nyumba bali ni fedha kwa ajili ya kukutunza au kujitunza katika afya njema. Pesa ya pensheni si ya kulipia karo ya shule au kuoa mke mdogo bali ni kujiangalia wewe mwenyewe na maisha yako ya uzeeni. 16. Kila wakati ukumbuke kuwa, unapostaafu hutakiwi kuwa mfano wa kuishi maisha duni baada ya kustaafu bali uwe mfano wa kuigwa na wenzako kufikiria kustaafu pia. 17. Usistaafu kwa sababu tu umezeeka au sasa wewe ni mzigo kwa kampuni na unasubiri siku yako ya kufa. Staafu ukiwa bado kijana au ukiwa bado una nguvu za kufurahia kuamka kwa kikombe cha kahawa, kufurahia jua, kupokea pesa kutoka kwa biashara yako, tembelea sehemu nzuri ambayo umeikumbuka na kutumia wakati mzuri na familia. Wale wanaostaafu wakiwa wamechelewa, hutumia takriban 95% ya muda wao kazini kuliko kuwa na familia zao na ndiyo maana wanaona ni vigumu kukaa na familia zao wanapostaafu lakini wanaishia kutafuta kazi nyingine hadi wanakufa. Wasipopata kazi nyingine, wanakufa mapema. 18. Staafu ukiwa nyumbani kwako kuliko katika makazi ya serikali ili unapostaafu uweze kufaa katika jamii iliyokulea. Si rahisi kuzoea kuishi katika eneo baada ya kukaa kwa miaka mingi kwenye nyumba ya kampuni au katika nyumba ya serikali. 19. Usiruhusu kamwe faida za ajira yako zikufanye usahau kuhusu kustaafu kwako. Manufaa ya ajira yanakusudiwa tu kukufanya uwe na utulivu, ujichokee wakati muda unasonga. Kumbuka ukistaafu hakuna mtu atakayekuita bosi ikiwa huna biashara inayoweza kukutegemeza. 20. Usichukie kustaafu maana lazima ipo siku utastaafu tu ama kwa hiari au kwa kutopenda. 🤡🤡🤡
    Like
    Love
    Sad
    4
    2 Commentaires ·256 Vue
  • HATUA ZA KUFUATA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI !.

    WAPENZI na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza!

    Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani ya dakika sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo.

    Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo endapo tabia hiyo ya mwanaume itaendelea.

    Kunahatua nne muhimu ambazo wapendanao wakizishika na kuzitekeleza ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana na kwa hakika watakuwa miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha kila wakutanapo!

    Hatua ya kwanza ni kusameheana:
    Wanandoa wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na kushindwa kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote baina ya wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya mlo wa usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya mioyo yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo!Hivyo basi endapo unataka kufurahia mambo fulani hakikisha unamaliza tofauti, ombaneni msamaha na samehaneni kwa dhati kwani kwa kufanya hivyo kutawasaidia muwapo faragha kufurahia kile mnachokifanya kwa kuwa mtakuwa mmemalzia tofauti zenu.

    Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba:
    Mashamsham hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye uwanya wa raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale anapokutana an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya kuianza safari yenyewe!
    Michezo hii husaidia kuamzsha hamasa na muhemko baina ya wapendanao, hivyo ili wapendanao waweze kufika mwisho wa safari pamoja na kila mmoja alidhike na udereva wa mwenzake uliowafikisha safari yao lazima watumiye muda wakutosha katika michozo yakimahaba!

    Hata hivyo kila mmoja wenu anapaswa kuujua mwili wa mwenza wake. Mwili wa mwanaume ni rahisi kuuelewa kwani una sehemu moja kuu ambayo ni kama kiini cha muhemko na msisimko wa mapenzi. Sehemu hiyo ni uume. Hivyo endapo mwanamke yoyote atatumia muda wakutosha kuhangaika na sehemu hiyo basi mambo huwa safi kwa upande wa mwanaume.

    Mwili wa mwanamke una shughuli pevu kubaini sehemu zenye ambazo huamsha hisia za mapenzi na ndiyo maana wanaume wengi hushindwa kuwafikisha mwisho wa safari wapenzi wao. Kiini cha hisia za mapenzi kwa mwanamke ziko kwenye kipegere G (namaanisha critoris wadu, haya ni mambo ya infenizimu tu). Kipegere G kipo nje ya uke ambapo wataalamu hudai kuwa kipo sentimita 4 kutioka ukeni.

    Wanaume wengi wanaelewa hili lakini walio wengi wamegubikwa na imani potofu kuwa, kwa kuingiza kidole ukeni watafanikiwa kuinua hamasa ya za wenza wao kutaka kuanzisha safari jambo ambalo si kweli, kwani wanawake wengi hujisikia vibaya kuingizwa vidole ukeni kutokana na ukweli kwamba kucha zinabeba uchafu na bakteria wengi ambao huwasababishia kupata fangasi!

    Hivyo basi, endapo wewe ni miongoni mwa wanaume waliokuwa wakiaminin dhana hii nataka nikujulishe kuwa, ukitaka kumpa msisimko uliotukuka mwenza wako usiangaike kuingiza kidole chote ukeni badala yake hakikisha unatumia kidole chako (hakikisha si kikavu) kucheza na sehemu ya nje ya uke ambapo utakutana na kipegere G na lips za ndani. Hata hivyo usisahamu kuhangaika na uke pia lakini hasa shughulika na sehemu za nje!

    MUHIMU KUJUA: Mwanaume huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke humchukua takriban dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe tayari kwa kuianza safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye mbinafsi huakikisha anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla ya kuanza safari! Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa kuzingatia hatua tatu muhimu ambazo ni:-

    Sehemu ya juu:

    Wanume wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili wa mwanamke yaani kunako na kuanza ama kupapasa kwa kidole chake ama ulimi na baada ya sekunde chache huanza kumwingilia mwanamke, lakini mwanaume mwenye kumjali ampendaye na mwenye nia hasa yakumfikisha kwenye kilele cha raha huwa hana papara huhakikisha anamhagi na kumpiga mabusu sehemu ya juu ya mwili wake yaani mdomoni, shingoni, kwenye matiti, chuchu etc.

    Hata hivyo, si wanawake wote wako sawa, kuna amabo hufurahia kutomaswa maziwa yao huku wengine wakichukizwa kutokana na sababu mbalimbali kwa mfano kama mwanaume ni mtu wamitungi ama mvuta sigara mara nyingi kinywa chake hutoa harufu mbaya hivyo huwa vigumu kwa mwanamke asiyependezewa na matumizi ya vitu hivyo kufurahia kupigwa denda!

    Kimsingi mwanamke kama kweli unampenda mpenzi wako na unataka ufurahie majambozi anayokupa hakikisha unakuwa muwazi kwa kuanza na kumuonyesha sehemu zinazokupa hamasa ya kufanya mapenzi, si lazima ushike mkono wake na kuupeleka kunako hiyo sehemu!

    Hakikisha pindi mwanaume anapokugusa sehemu inayokusisimua unamwonyesha wazi kuwa hapo unasikia utamu yaani kama miguno ilikuwa haitoki hakikisha inaanza toka, kama pumzi zilikuwa zatoka kawaida basi zianze toka isivyo kawaida, nachomaanisha hapa ni kuwa unapaswa kuonyesha umepagawa kwa raha unayopata basi kwa mwanaume aliye kamili hatasita kuishughulikia kikamilifu sehemu hiyo!

    Sehemu ya chini:
    Baada ya kumtomasa kiasi cha kutosha sehemu ya juu ya mwanamke, mwanamke huhitaji kutomaswa sehemu ya chini na hapa ndipo ambapo unaweza kuhisi anataka kuingilia mana huanza ama kujishikasiika sehemu za chini ama hukupeleka maeneo yake nyeti upate kumwingilia kwani huwa amehamasika na ilim kujua kama amaehamasika basi uke wake huwa unamajimaji ambayo hutoka kwa ajili ya kulainisha nyia ya kupita bwanamkubwa yaani uume.

    Hata hivyo, ili mchezo uwe mtamu mwanaume anapaswa kuhakikisha anatumia dakika kadhaa kuuchezea uke na kufuatia kinena. Hapa ieleweke kuwa kuna wanawake baada ya mizuka kuwapanda hutokwa na majimaji mengi sehemu zao za siri hivyo endapo mwanaume ukikutana na hali hiyo usishutuke jua mzuka imempanda mpenzi wako tu na si vinginevyo!

    Katika kuchezea sehemu zake za siri mwanaume anapaswa kujua kuwa kuna wanake wanapenda chezewa kinena pekee na wengine hupenda mwanaume atumie ulimi ama akidole chake (kisiwe kikavu) kuingiza ukeni huku kidole kingine kikitomasa kinena hali inayomsisimua mwanamke. Hivyo mwanamke anapaswa kuwa muwazi nini anapenda kufanyiwa!

    Katika kipindi hiki mwanamke naye anatakiwa kutoa ushirikianao wa miguno na viuno vya hapa na pale kuashiria anapata raha na asisahau mptomasa mwanaume, lakini ikumbukwe kuwa mwanaume ana sehemu kuu moja inayomtia wazimu ambayo ni uume wake hivyo ni rahisi kwa mwanaume kufika mshindo hata kabla ya tendon a hapo ndipo tatizo huibuka kwani wengine baada ya tendo moja huwa hawana uwezo wakurudia mzunguko wa pili!

    Nini mwanaume anapashwa kufanya sasa ili kuhakikisha hamalizi mzungoko haraka? Anapaswa kuwa muwazi kwa mwenza wake endapo mwenza wake atakuwa anamshika sehemu ambayo inamnyegesha sana na kumfanya ajisikie kumaliza biashara basi amueleze wazi kuwa aiache sehemu hiyo kwa muda ili uweze kudumu kunako majambozi!!

    Hata siku moja msifanye mahaba kimya kimya! Simaanishi mpige mikelele hadi iwe kero kwa majirani na nk, elezenaneni kwa sauti za mahaba nini kila mmoja wenu anapenda mwenzi wake afanyiwe na mwenza wake.

    Hatua ya tatu:

    Kuingiliana kimwili
    Mwanaume anapaswa kuahkikisha amasa za mapenzi za mwanamke zimeamka kabla ya kumwingilia. Wanaume wengi kutokana na papara hujikuta wanawaingilia wenza wao hata kabla hawajahamasika na hatimaye kumaliza tendo pasipo kuwafikisha kileleni na hili ni tatizo la kawaida kwa wapenzi wanaokutana kwa mara ya kwanza na has amwanamke akiwa na zile nataka sitaki yani atasumbuana na mwanaume weeeee na hatimaye hadi dume lifanikiwe kumwingilia kimwili inakuwa kama mbakano tu!

    Hivyo basi, mwanaume unapaswa kujua kweli mpenzi wako yuko tayari kwa tendo la ndoa na utajua kwa kungalia kwanza mashavu ya uke wake kama yamekakamaa na kuongezeka ukubwa huku kinembe chake kikionyesha kukaza na mwanamke akifikia hali hii basi mwanaume huweza kuingiza uuume wake ambao umesimama kiurahisi kwani kuta za uke zitakuwa na ute unaoteleza huku uume nao ukiwa na ute unaotoka sehemu ya mbele kabisa hali inayowafanya wapendanao kufurahia tendo kwani hawataumizana !.
    HATUA ZA KUFUATA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI !. WAPENZI na wanandoa wengi hivi leo wanapoingia kitandani tayari kwa kuianza safari ya kupeana haki zao za msingi hushindwa kufurahia tendo na hasa hali hii hujitokezwa kwa wanawake kwani mwanaume huwa na haraka iliyopitiliza! Mwanaume atamkumbatia na kumbusu mwanamke kwa muda mfupi na kabla hata hamasa ya mapenzi ya mwanamke ahaijashika hatama, atamwingilia na ndani ya dakika sekunde ama dakika zisizozidi 3, mwanamme hufika mshindo. Katika hali ya kusikitisha baada ya mwanaume kujitosheleza hujongea pembeni bila kujali mwenza wake hajafika mwisho wa safari hali inayosababisha mwanamke kupoteza hamu ya tendo endapo endapo tabia hiyo ya mwanaume itaendelea. Kunahatua nne muhimu ambazo wapendanao wakizishika na kuzitekeleza ipasavyo basi watafanikiwa kujitosheleza kila wanapokutana na kwa hakika watakuwa miongoni mwa watu wachache wanaofurahia faragha kila wakutanapo! Hatua ya kwanza ni kusameheana: Wanandoa wengi hushindwa kupata raha ya mlo wa usiku kutokana na kushindwa kumaliza tofauti zao kabla ya giza halijaingia, mgogoro wowote baina ya wapendanao ni lazima umalizwe kabla ya kukutana kwa ajili ya mlo wa usiku. Hii husaidia kuondoa kinyongo miongoni mwao na kuwafanya mioyo yao igubikwe na upendo ambao humfanya ahamasike kunako majambo!Hivyo basi endapo unataka kufurahia mambo fulani hakikisha unamaliza tofauti, ombaneni msamaha na samehaneni kwa dhati kwani kwa kufanya hivyo kutawasaidia muwapo faragha kufurahia kile mnachokifanya kwa kuwa mtakuwa mmemalzia tofauti zenu. Hatua ya pili ni mchezo ya mahaba: Mashamsham hunoga na kupamba moto kiasi cha kumfanya yoyote aliye kwenye uwanya wa raha kusahau kwa muda shida na matatizo yanayomuandama pale anapokutana an mtu anayeweza kumpagawisha kwa michezo ya mahaba kabla ya kuianza safari yenyewe! Michezo hii husaidia kuamzsha hamasa na muhemko baina ya wapendanao, hivyo ili wapendanao waweze kufika mwisho wa safari pamoja na kila mmoja alidhike na udereva wa mwenzake uliowafikisha safari yao lazima watumiye muda wakutosha katika michozo yakimahaba! Hata hivyo kila mmoja wenu anapaswa kuujua mwili wa mwenza wake. Mwili wa mwanaume ni rahisi kuuelewa kwani una sehemu moja kuu ambayo ni kama kiini cha muhemko na msisimko wa mapenzi. Sehemu hiyo ni uume. Hivyo endapo mwanamke yoyote atatumia muda wakutosha kuhangaika na sehemu hiyo basi mambo huwa safi kwa upande wa mwanaume. Mwili wa mwanamke una shughuli pevu kubaini sehemu zenye ambazo huamsha hisia za mapenzi na ndiyo maana wanaume wengi hushindwa kuwafikisha mwisho wa safari wapenzi wao. Kiini cha hisia za mapenzi kwa mwanamke ziko kwenye kipegere G (namaanisha critoris wadu, haya ni mambo ya infenizimu tu). Kipegere G kipo nje ya uke ambapo wataalamu hudai kuwa kipo sentimita 4 kutioka ukeni. Wanaume wengi wanaelewa hili lakini walio wengi wamegubikwa na imani potofu kuwa, kwa kuingiza kidole ukeni watafanikiwa kuinua hamasa ya za wenza wao kutaka kuanzisha safari jambo ambalo si kweli, kwani wanawake wengi hujisikia vibaya kuingizwa vidole ukeni kutokana na ukweli kwamba kucha zinabeba uchafu na bakteria wengi ambao huwasababishia kupata fangasi! Hivyo basi, endapo wewe ni miongoni mwa wanaume waliokuwa wakiaminin dhana hii nataka nikujulishe kuwa, ukitaka kumpa msisimko uliotukuka mwenza wako usiangaike kuingiza kidole chote ukeni badala yake hakikisha unatumia kidole chako (hakikisha si kikavu) kucheza na sehemu ya nje ya uke ambapo utakutana na kipegere G na lips za ndani. Hata hivyo usisahamu kuhangaika na uke pia lakini hasa shughulika na sehemu za nje! MUHIMU KUJUA: Mwanaume huahamasika kwa sekunde kadhaa lakini mwanamke humchukua takriban dakika 20 kuweza kuamsha hisia zake na kumfanya awe tayari kwa kuianza safari! Hivyo, mwanaume mwenye busara yaani asiye mbinafsi huakikisha anatumia muda wakutosha kumuuanda mwenza wake kabla ya kuanza safari! Hivyo mwanaume anapaswa kunza michezo ya mahaba kwa kuzingatia hatua tatu muhimu ambazo ni:- Sehemu ya juu: Wanume wengi kutokana ana haraka zao hukimbilia sehemu ya chini ya mwili wa mwanamke yaani kunako na kuanza ama kupapasa kwa kidole chake ama ulimi na baada ya sekunde chache huanza kumwingilia mwanamke, lakini mwanaume mwenye kumjali ampendaye na mwenye nia hasa yakumfikisha kwenye kilele cha raha huwa hana papara huhakikisha anamhagi na kumpiga mabusu sehemu ya juu ya mwili wake yaani mdomoni, shingoni, kwenye matiti, chuchu etc. Hata hivyo, si wanawake wote wako sawa, kuna amabo hufurahia kutomaswa maziwa yao huku wengine wakichukizwa kutokana na sababu mbalimbali kwa mfano kama mwanaume ni mtu wamitungi ama mvuta sigara mara nyingi kinywa chake hutoa harufu mbaya hivyo huwa vigumu kwa mwanamke asiyependezewa na matumizi ya vitu hivyo kufurahia kupigwa denda! Kimsingi mwanamke kama kweli unampenda mpenzi wako na unataka ufurahie majambozi anayokupa hakikisha unakuwa muwazi kwa kuanza na kumuonyesha sehemu zinazokupa hamasa ya kufanya mapenzi, si lazima ushike mkono wake na kuupeleka kunako hiyo sehemu! Hakikisha pindi mwanaume anapokugusa sehemu inayokusisimua unamwonyesha wazi kuwa hapo unasikia utamu yaani kama miguno ilikuwa haitoki hakikisha inaanza toka, kama pumzi zilikuwa zatoka kawaida basi zianze toka isivyo kawaida, nachomaanisha hapa ni kuwa unapaswa kuonyesha umepagawa kwa raha unayopata basi kwa mwanaume aliye kamili hatasita kuishughulikia kikamilifu sehemu hiyo! Sehemu ya chini: Baada ya kumtomasa kiasi cha kutosha sehemu ya juu ya mwanamke, mwanamke huhitaji kutomaswa sehemu ya chini na hapa ndipo ambapo unaweza kuhisi anataka kuingilia mana huanza ama kujishikasiika sehemu za chini ama hukupeleka maeneo yake nyeti upate kumwingilia kwani huwa amehamasika na ilim kujua kama amaehamasika basi uke wake huwa unamajimaji ambayo hutoka kwa ajili ya kulainisha nyia ya kupita bwanamkubwa yaani uume. Hata hivyo, ili mchezo uwe mtamu mwanaume anapaswa kuhakikisha anatumia dakika kadhaa kuuchezea uke na kufuatia kinena. Hapa ieleweke kuwa kuna wanawake baada ya mizuka kuwapanda hutokwa na majimaji mengi sehemu zao za siri hivyo endapo mwanaume ukikutana na hali hiyo usishutuke jua mzuka imempanda mpenzi wako tu na si vinginevyo! Katika kuchezea sehemu zake za siri mwanaume anapaswa kujua kuwa kuna wanake wanapenda chezewa kinena pekee na wengine hupenda mwanaume atumie ulimi ama akidole chake (kisiwe kikavu) kuingiza ukeni huku kidole kingine kikitomasa kinena hali inayomsisimua mwanamke. Hivyo mwanamke anapaswa kuwa muwazi nini anapenda kufanyiwa! Katika kipindi hiki mwanamke naye anatakiwa kutoa ushirikianao wa miguno na viuno vya hapa na pale kuashiria anapata raha na asisahau mptomasa mwanaume, lakini ikumbukwe kuwa mwanaume ana sehemu kuu moja inayomtia wazimu ambayo ni uume wake hivyo ni rahisi kwa mwanaume kufika mshindo hata kabla ya tendon a hapo ndipo tatizo huibuka kwani wengine baada ya tendo moja huwa hawana uwezo wakurudia mzunguko wa pili! Nini mwanaume anapashwa kufanya sasa ili kuhakikisha hamalizi mzungoko haraka? Anapaswa kuwa muwazi kwa mwenza wake endapo mwenza wake atakuwa anamshika sehemu ambayo inamnyegesha sana na kumfanya ajisikie kumaliza biashara basi amueleze wazi kuwa aiache sehemu hiyo kwa muda ili uweze kudumu kunako majambozi!! Hata siku moja msifanye mahaba kimya kimya! Simaanishi mpige mikelele hadi iwe kero kwa majirani na nk, elezenaneni kwa sauti za mahaba nini kila mmoja wenu anapenda mwenzi wake afanyiwe na mwenza wake. Hatua ya tatu: Kuingiliana kimwili Mwanaume anapaswa kuahkikisha amasa za mapenzi za mwanamke zimeamka kabla ya kumwingilia. Wanaume wengi kutokana na papara hujikuta wanawaingilia wenza wao hata kabla hawajahamasika na hatimaye kumaliza tendo pasipo kuwafikisha kileleni na hili ni tatizo la kawaida kwa wapenzi wanaokutana kwa mara ya kwanza na has amwanamke akiwa na zile nataka sitaki yani atasumbuana na mwanaume weeeee na hatimaye hadi dume lifanikiwe kumwingilia kimwili inakuwa kama mbakano tu! Hivyo basi, mwanaume unapaswa kujua kweli mpenzi wako yuko tayari kwa tendo la ndoa na utajua kwa kungalia kwanza mashavu ya uke wake kama yamekakamaa na kuongezeka ukubwa huku kinembe chake kikionyesha kukaza na mwanamke akifikia hali hii basi mwanaume huweza kuingiza uuume wake ambao umesimama kiurahisi kwani kuta za uke zitakuwa na ute unaoteleza huku uume nao ukiwa na ute unaotoka sehemu ya mbele kabisa hali inayowafanya wapendanao kufurahia tendo kwani hawataumizana !.
    Like
    1
    ·123 Vue
  • Wakati mwingine uchaguzi mbaya wa style unaweza kufanya watu wasifurahie faragha yao,
    Mwanamke mnene sana akiwa na mwanaume mwenye maumbile mafupi basi syle ya ubavu au kulaliwa mgongoni huwa haenjoy sana Kwa sababu mwanaume hafiki vizuri inavyotakiwa.
    Ila akiwa na maumbile marefu na akajua namna ya kushuka chini kidogo na kutafuta mkunjo sahihi,
    basi wataenjoy sana.
    Kwa sababu uume utakuwa unapita katikati ya mapanja mpaka ukeni unagusa kile kinembe.

    Baadhi ya style nzuri kwa mwanamke mnene ni hizi.

    Mwanamke apige magoti au kuinama, kisha mwanaume akuje goti moja hii sawa.

    Mwanamke alale chalii kisha aweke mto chini ya tumbo lake, kisha mwanaume awe nyuma yake sasa.

    Mwanamke alale ubavu kisha miguu yake aikunje iwe kama kiti kilicholazwa, yaani Z fulani hivi na mwanaume alale juu ya ubavu wa mwanamke au apige tu goti amshike nyoga mwanamke.

    Nyingine ni kifo cha mende,
    ila usimruhusu achanue miguu ikusanye kisha umbane iwe ndogo uone anavyotamani kutanua miguu maana...
    Ukikutana na kifua kikubwa zile nyonyo huwa zinatikisika sana zitakutia moto au zichezee tu

    Wanawake wanene wengi hupenda kuachama mdomo raha ikizidi,
    wapo wanaong'ang'ania shuka au mto,
    lakini wakati mwingine ukilaza tumbo tarajia kukuta ramani ya bibi kwenye shuka imejichora.
    Wakati mwingine uchaguzi mbaya wa style unaweza kufanya watu wasifurahie faragha yao, Mwanamke mnene sana akiwa na mwanaume mwenye maumbile mafupi basi syle ya ubavu au kulaliwa mgongoni huwa haenjoy sana Kwa sababu mwanaume hafiki vizuri inavyotakiwa. Ila akiwa na maumbile marefu na akajua namna ya kushuka chini kidogo na kutafuta mkunjo sahihi, basi wataenjoy sana. Kwa sababu uume utakuwa unapita katikati ya mapanja mpaka ukeni unagusa kile kinembe. Baadhi ya style nzuri kwa mwanamke mnene ni hizi. 👉Mwanamke apige magoti au kuinama, kisha mwanaume akuje goti moja hii sawa. 👉Mwanamke alale chalii kisha aweke mto chini ya tumbo lake, kisha mwanaume awe nyuma yake sasa. 👉Mwanamke alale ubavu kisha miguu yake aikunje iwe kama kiti kilicholazwa, yaani Z fulani hivi na mwanaume alale juu ya ubavu wa mwanamke au apige tu goti amshike nyoga mwanamke. 👉Nyingine ni kifo cha mende, ila usimruhusu achanue miguu ikusanye kisha umbane iwe ndogo uone anavyotamani kutanua miguu maana... Ukikutana na kifua kikubwa zile nyonyo huwa zinatikisika sana zitakutia moto au zichezee tu Wanawake wanene wengi hupenda kuachama mdomo raha ikizidi, wapo wanaong'ang'ania shuka au mto, lakini wakati mwingine ukilaza tumbo tarajia kukuta ramani ya bibi kwenye shuka imejichora.
    Like
    3
    ·126 Vue
  • Telegram vs Telegram X ..... Je, ni ipi bora kwako?

    Unatumia programu gani ya kutuma ujumbe? Je, unajua kuna programu mbili tofauti zinazoitwa Telegram?

    Zote mbili ni salama, za haraka, na zenye vipengele vingi, lakini zinatofautiana kidogo.

    Telegram:
    Ina usimbaji fiche wa hali ya juu
    Jamii kubwa na yenye shughuli nyingi
    Vipengele vingi vya bure na vya kulipisha

    Telegram X:
    baadhi wanaamini ni salama zaidi..
    Vipengele vya ziada vya kubinafsisha
    Jamii ndogo ..Lakini kuna siri moja kubwa: Telegram X ni haraka sana kuliko Telegram! ⚡️

    Jaribu zote mbili na uone ni ipi unayopenda zaidi!

    #telegram #telegramx #ufungashaji #faragha #usalama #programu #kutumaujumbe #kasi #Hora #Tech
    Telegram vs Telegram X ..... Je, ni ipi bora kwako? 💎 Unatumia programu gani ya kutuma ujumbe? Je, unajua kuna programu mbili tofauti zinazoitwa Telegram? Zote mbili ni salama, za haraka, na zenye vipengele vingi, lakini zinatofautiana kidogo. Telegram: ⬇️ Ina usimbaji fiche wa hali ya juu Jamii kubwa na yenye shughuli nyingi Vipengele vingi vya bure na vya kulipisha Telegram X: ⬇️ baadhi wanaamini ni salama zaidi.. Vipengele vya ziada vya kubinafsisha Jamii ndogo ..Lakini kuna siri moja kubwa: Telegram X ni haraka sana kuliko Telegram! ⚡️ Jaribu zote mbili na uone ni ipi unayopenda zaidi! #telegram #telegramx #ufungashaji #faragha #usalama #programu #kutumaujumbe #kasi #Hora #Tech
    Like
    Love
    6
    1 Commentaires ·304 Vue