Upgrade to Pro

  • Kadiri siku ya mwisho ya amri ya kupiga marufuku au kuuzwa kwa TikTok inavyokaribia Januari 19, 2025, Watumiaji wengi wa TikTok kutoka Marekani wamehamia kwenye Xiaohongshu, jukwaa maarufu la miandao wa kijamii la Kichina.

    Hii inakuja baada ya amri inayotaka kampuni mama ya TikTok, ByteDance, kuuza biashara yake ya Marekani au kukabiliwa na kupigwa marufuku kutokana na wasiwasi wa usalama wa kitaifa.

    Watumiaji wengi wa TikTok wanapigania marufuku hiyo kwa kuhamia Xiaohongshu, na kuitwa wakimbizi wa TikTok. Hali iliyopeleka pelekea Xiaohongshu kupanda kwenye orodha ya programu zinazopakuliwa zaidi.

    Hata hivyo, baadhi ya Wanaharakati wa Kichina wanakosoa hatua hii, wakisema inapuuzia mbali mateso halisi ya Watu chini ya utawala wa China. Kwa upande mwingine, mamlaka za China zinaona hili kama fursa ya kupanua ushawishi wao duniani, na Xiaohongshu inaboresha zana za tafsiri ili kuwezesha mawasiliano na Watumiaji wa kimataifa.

    Kadiri siku ya mwisho ya amri ya kupiga marufuku au kuuzwa kwa TikTok inavyokaribia Januari 19, 2025, Watumiaji wengi wa TikTok kutoka Marekani wamehamia kwenye Xiaohongshu, jukwaa maarufu la miandao wa kijamii la Kichina. Hii inakuja baada ya amri inayotaka kampuni mama ya TikTok, ByteDance, kuuza biashara yake ya Marekani au kukabiliwa na kupigwa marufuku kutokana na wasiwasi wa usalama wa kitaifa. Watumiaji wengi wa TikTok wanapigania marufuku hiyo kwa kuhamia Xiaohongshu, na kuitwa wakimbizi wa TikTok. Hali iliyopeleka pelekea Xiaohongshu kupanda kwenye orodha ya programu zinazopakuliwa zaidi. Hata hivyo, baadhi ya Wanaharakati wa Kichina wanakosoa hatua hii, wakisema inapuuzia mbali mateso halisi ya Watu chini ya utawala wa China. Kwa upande mwingine, mamlaka za China zinaona hili kama fursa ya kupanua ushawishi wao duniani, na Xiaohongshu inaboresha zana za tafsiri ili kuwezesha mawasiliano na Watumiaji wa kimataifa.
    ·18 Views
  • Je ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani mwaka 1985?

    🗣Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na machapisho mengi ya watu wa afrika ya kusini yanayodai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tuliye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka 1985. Kwa mujibu wa maelezo nikwamba huyu tuliye mzika sisi hivi karibuni ama tuliye mfahamu hakuwa Nelson mwenyewe. Makaburu waliamua kutafuta mtu anayeendana naye kidogo na alilazimishwa kutoa talaka kwa Winnie Mandela maana wangekaa pamoja mwanamama huyu angejua kuwa huyu jamaa hakuwa Mumewe Original.

    Inasemekana mwanamuziki Johnny Clegg alishawahi pia kuimba kitu hiki katika wimbo wake wa "Asimbonanga" yaani hatujamwona yeye. Kwenye wimbo huo kuna maneno Asimbonang' uMandela thina akimaanisha hatujamwona Mandela Laph'ekhona - mahali alipo Laph'ehleli - mahali alipo zikwa. Wimbo huu ulitoka mwaka 1987. Ikumbukwe South Africa ilitoka amri kuwa ni marufuku kukutwa unasikiliza ama una miliki album zenye nyimbo za Jonh Clegg, tangu kipindi cha makaburu mpaka kipindi cha mandera huyu aliyetoka gerezani. Maana ngoma za jamaa huyo zilikuwa zinahamasisha harakati za kupinga ubaguzi.

    Nani aliyetolewa gerezani 1990?

    Inasemekana ni mtu ajulikanaye kwa jina la Gibson Makanda, ambaye alipelekwa katika gereza la Pollsmor mwezi May mwaka 1985. Akiwa huko alifanyiwa plastic surgery iliyofanywa na timu ya madaktari wachache toka London Uingereza. Mara baada ya zoezi hilo kufanikiwa alipatiwa mazoezi ya kuongea na kutembea kama Nelson Mandela mpaka alipo fuzu ndipo mpango wa kumtoa ukatekelezwa. ndomaana hata baada yakutoka alilegeza sana masharti kwa watu weupe. na aliamua kuunda tume ya msamaha. Ambayo iliwapa nafasi makaburu kutubu waliyowafanyia wazulu kwenye hadhara.

    Kwa hivyo kundi hili la watu wanaoamini katika njama hii wanaona uwezekano mkubwa sana kwamba Nelson Mandela lazima aliuawa wakati wa maandamano, na kwamba serikali ya Makaburu Afrika Kusini ilijibu kwa kuwapa mfano ili kuzuia maandamano mengine kwa kuwa walijua aliyekufa alikuwa kiongozi mpendwa na mtu mwenye ushawishi mkubwa.

    Inasemekana jamaa baada ya kumpa taraka mama Mandera alitokea kumpenda mke wa raisi wa msumbiji, Samora Machel. Ndio maana baada ya raisi huyo kufariki mchizi akaamua kumuoa mama Machel. Mama akashika rekodi ya kuwa mke wa raisi katika nchi mbili tofauti. Pia usisahau kuwa msumbiji kwa Samora Machel ndipo kulikuwa na kambi ya kikundi cha wapiganaji wa South Afrika waliokuwa wanapinga serikali ya Makaburu, Maarufu kama Umkhonto we Sizwe(Mkuki wa taifa).

    Nilipitia pia vyanzo mbalimbali mtandaoni nikakutana na zaidi ya waandishi 50 tofauti wakizungumzia juu ya Gibson Makanda kuigiza kama Nelson Mandela. mwaka wa 2018 wakati programu maarufu ya Android inayoitwa Face App ilitolewa. Programu hii inaweza kuonyesha nyuso za watumiaji jinsi watakavyokuwa katika siku za usoni (athari za uzee). Mtumiaji wa Twitter @Jether_Calypso alitumia picha ya ujana inayopatikana ya Nelson Mandela na ​​kuifanyia kazi, akitumia athari ya uzee na matokeo yalionekana kuwa tofauti na sura ya Nelson Mandela katika miaka yake ya hivi majuzi kabla ya kifo.
    #dorka🗣
    Je, nikweli Nelson Mandela alifariki mwaka 1985?
    Je ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani mwaka 1985?🤔 🗣Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na machapisho mengi ya watu wa afrika ya kusini yanayodai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tuliye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka 1985. Kwa mujibu wa maelezo nikwamba huyu tuliye mzika sisi hivi karibuni ama tuliye mfahamu hakuwa Nelson mwenyewe. Makaburu waliamua kutafuta mtu anayeendana naye kidogo na alilazimishwa kutoa talaka kwa Winnie Mandela maana wangekaa pamoja mwanamama huyu angejua kuwa huyu jamaa hakuwa Mumewe Original. Inasemekana mwanamuziki Johnny Clegg alishawahi pia kuimba kitu hiki katika wimbo wake wa "Asimbonanga" yaani hatujamwona yeye. Kwenye wimbo huo kuna maneno Asimbonang' uMandela thina akimaanisha hatujamwona Mandela Laph'ekhona - mahali alipo Laph'ehleli - mahali alipo zikwa. Wimbo huu ulitoka mwaka 1987. Ikumbukwe South Africa ilitoka amri kuwa ni marufuku kukutwa unasikiliza ama una miliki album zenye nyimbo za Jonh Clegg, tangu kipindi cha makaburu mpaka kipindi cha mandera huyu aliyetoka gerezani. Maana ngoma za jamaa huyo zilikuwa zinahamasisha harakati za kupinga ubaguzi. Nani aliyetolewa gerezani 1990? Inasemekana ni mtu ajulikanaye kwa jina la Gibson Makanda, ambaye alipelekwa katika gereza la Pollsmor mwezi May mwaka 1985. Akiwa huko alifanyiwa plastic surgery iliyofanywa na timu ya madaktari wachache toka London Uingereza. Mara baada ya zoezi hilo kufanikiwa alipatiwa mazoezi ya kuongea na kutembea kama Nelson Mandela mpaka alipo fuzu ndipo mpango wa kumtoa ukatekelezwa. ndomaana hata baada yakutoka alilegeza sana masharti kwa watu weupe. na aliamua kuunda tume ya msamaha. Ambayo iliwapa nafasi makaburu kutubu waliyowafanyia wazulu kwenye hadhara. Kwa hivyo kundi hili la watu wanaoamini katika njama hii wanaona uwezekano mkubwa sana kwamba Nelson Mandela lazima aliuawa wakati wa maandamano, na kwamba serikali ya Makaburu Afrika Kusini ilijibu kwa kuwapa mfano ili kuzuia maandamano mengine kwa kuwa walijua aliyekufa alikuwa kiongozi mpendwa na mtu mwenye ushawishi mkubwa. Inasemekana jamaa baada ya kumpa taraka mama Mandera alitokea kumpenda mke wa raisi wa msumbiji, Samora Machel. Ndio maana baada ya raisi huyo kufariki mchizi akaamua kumuoa mama Machel. Mama akashika rekodi ya kuwa mke wa raisi katika nchi mbili tofauti. Pia usisahau kuwa msumbiji kwa Samora Machel ndipo kulikuwa na kambi ya kikundi cha wapiganaji wa South Afrika waliokuwa wanapinga serikali ya Makaburu, Maarufu kama Umkhonto we Sizwe(Mkuki wa taifa). Nilipitia pia vyanzo mbalimbali mtandaoni nikakutana na zaidi ya waandishi 50 tofauti wakizungumzia juu ya Gibson Makanda kuigiza kama Nelson Mandela. mwaka wa 2018 wakati programu maarufu ya Android inayoitwa Face App ilitolewa. Programu hii inaweza kuonyesha nyuso za watumiaji jinsi watakavyokuwa katika siku za usoni (athari za uzee). Mtumiaji wa Twitter @Jether_Calypso alitumia picha ya ujana inayopatikana ya Nelson Mandela na ​​kuifanyia kazi, akitumia athari ya uzee na matokeo yalionekana kuwa tofauti na sura ya Nelson Mandela katika miaka yake ya hivi majuzi kabla ya kifo. #dorka🗣 Je, nikweli Nelson Mandela alifariki mwaka 1985?🤔
    Like
    1
    ·293 Views
  • MSIKIE KOCHA FADLU

    “Kwa kweli, kucheza nyumbani ni faida kubwa kwetu. Tutakuwa na programu za mazoezi kwa siku chache zilizopo mbele yetu ili kuwa tayari kwa mchezo huu. Nitahakikisha mpango wetu wa kimbinu ni tofauti na ule tulioutumia kule Algeria.”

    “Nidhamu ya kulinda itakuwa sehemu muhimu ya mchezo wetu, lakini tunahitaji kuwa na mashambulizi ya haraka na kuzuia makosa tuliyofanya kwenye mchezo wa awali, Lengo ni kuhakikisha kuwa tunapata matokeo mazuri na kuweka hesabu zetu sawa katika michuano hii ya CAF.”
    #paulswai
    MSIKIE KOCHA FADLU “Kwa kweli, kucheza nyumbani ni faida kubwa kwetu. Tutakuwa na programu za mazoezi kwa siku chache zilizopo mbele yetu ili kuwa tayari kwa mchezo huu. Nitahakikisha mpango wetu wa kimbinu ni tofauti na ule tulioutumia kule Algeria.” “Nidhamu ya kulinda itakuwa sehemu muhimu ya mchezo wetu, lakini tunahitaji kuwa na mashambulizi ya haraka na kuzuia makosa tuliyofanya kwenye mchezo wa awali, Lengo ni kuhakikisha kuwa tunapata matokeo mazuri na kuweka hesabu zetu sawa katika michuano hii ya CAF.” #paulswai
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·259 Views
  • ​​Kuna njia mbili za kuweka Root kwenye simu yako ya Android, kwa kutumia Kingroot au kwa kutumia Laptop yako. Hapa ni jinsi ya kufanya hivyo:

    Kutumia Kingroot:

    1. Pakua Kingroot kwenye simu yako ya Android kutoka kwenye tovuti yao rasmi.

    2. Baada ya kupakua na kusakinisha Kingroot, fungua programu hiyo na bonyeza "Root" ili kuanza mchakato wa kuweka root.

    3. Subiri hadi Kingroot itapata njia bora ya kuweka root kwenye simu yako. Inaweza kuchukua dakika chache au zaidi.

    4. Baada ya Kingroot kupata njia bora ya kuweka root, bonyeza "Root" tena ili kuanza mchakato wa kuweka root.

    5. Subiri hadi mchakato wa kuweka mizizi utakapokamilika, ambayo inaweza kuchukua dakika chache.

    6. Baada ya mchakato wa kuweka mizizi kukamilika, simu yako itaanza upya na sasa itakuwa imefungua root.

    Kutumia Laptop:

    1. Pakua na sakinisha programu ya Kingroot kwenye Laptop yako kutoka kwenye tovuti yao rasmi.

    2. Baada ya kusakinisha Kingroot kwenye Laptop yako, unahitaji kuunganisha simu yako ya Android kwa Laptop kwa kutumia kebo ya USB.

    3. Baada ya simu yako kuunganishwa, fungua Kingroot kwenye Laptop yako na bonyeza "Root" ili kuanza mchakato wa kuweka root.

    4. Subiri hadi Kingroot itapata njia bora ya kuweka root kwenye simu yako. Inaweza kuchukua dakika chache au zaidi.

    5. Baada ya Kingroot kupata njia bora ya kuweka root, bonyeza "Root" tena ili kuanza mchakato wa kuweka mizizi.

    6. Subiri hadi mchakato wa kuweka root utakapokamilika, ambayo inaweza kuchukua dakika chache.

    7. Baada ya mchakato wa kuweka mizizi kukamilika, simu yako itaanza upya na sasa itakuwa imefungua root

    Kumbuka kwamba kufungua root kunaweza kuhatarisha usalama wa simu yako na inaweza kusababisha matatizo ikiwa hautafuata maelekezo vizuri.
    ​​Kuna njia mbili za kuweka Root kwenye simu yako ya Android, kwa kutumia Kingroot au kwa kutumia Laptop yako. Hapa ni jinsi ya kufanya hivyo: Kutumia Kingroot: 1. Pakua Kingroot kwenye simu yako ya Android kutoka kwenye tovuti yao rasmi. 2. Baada ya kupakua na kusakinisha Kingroot, fungua programu hiyo na bonyeza "Root" ili kuanza mchakato wa kuweka root. 3. Subiri hadi Kingroot itapata njia bora ya kuweka root kwenye simu yako. Inaweza kuchukua dakika chache au zaidi. 4. Baada ya Kingroot kupata njia bora ya kuweka root, bonyeza "Root" tena ili kuanza mchakato wa kuweka root. 5. Subiri hadi mchakato wa kuweka mizizi utakapokamilika, ambayo inaweza kuchukua dakika chache. 6. Baada ya mchakato wa kuweka mizizi kukamilika, simu yako itaanza upya na sasa itakuwa imefungua root. Kutumia Laptop: 1. Pakua na sakinisha programu ya Kingroot kwenye Laptop yako kutoka kwenye tovuti yao rasmi. 2. Baada ya kusakinisha Kingroot kwenye Laptop yako, unahitaji kuunganisha simu yako ya Android kwa Laptop kwa kutumia kebo ya USB. 3. Baada ya simu yako kuunganishwa, fungua Kingroot kwenye Laptop yako na bonyeza "Root" ili kuanza mchakato wa kuweka root. 4. Subiri hadi Kingroot itapata njia bora ya kuweka root kwenye simu yako. Inaweza kuchukua dakika chache au zaidi. 5. Baada ya Kingroot kupata njia bora ya kuweka root, bonyeza "Root" tena ili kuanza mchakato wa kuweka mizizi. 6. Subiri hadi mchakato wa kuweka root utakapokamilika, ambayo inaweza kuchukua dakika chache. 7. Baada ya mchakato wa kuweka mizizi kukamilika, simu yako itaanza upya na sasa itakuwa imefungua root Kumbuka kwamba kufungua root kunaweza kuhatarisha usalama wa simu yako na inaweza kusababisha matatizo ikiwa hautafuata maelekezo vizuri.
    Like
    Love
    2
    ·208 Views
  • Leo tukachambue machache kuhusu Google Play Protect
    Google Play Protect ni huduma ya usalama inayotolewa na Google kwa watumiaji wa Android. Inasaidia kulinda simu yako dhidi ya programu hatarishi, virusi, na programu zisizoaminika kwa kuchambua programu zote zinazopakuliwa kutoka kwenye Google Play Store na unazoinstall katika simu yako na kuangalia ikiwa zina hatari yoyote ya usalama.
    Umuhimu wa Google Play Protect:
    1. Inalinda simu yako dhidi ya programu hatarishi, Google Play Protect inachambua programu zote unazopakua kutoka kwenye Google Play Store na inakusaidia kugundua programu hatarishi kabla ya kuziweka kwenye simu yako.
    2. Inakusaidia kugundua na kuondoa programu hatarishi zilizojificha katika simu yako, Google Play Protect inakusaidia kugundua na kuondoa programu zisizoaminika zilizowekwa kwenye simu yako bila idhini yako.
    3. Inakupa taarifa za usalama: Google Play Protect inakupa taarifa za usalama kuhusu programu zilizowekwa kwenye simu yako na inakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu programu ambazo unaweza kuweka kwenye simu yako.
    Jinsi ya kuipata Google Play Protect
    1. Nenda kwenye app yako ya play store
    2.upande wa kulia juu kuna icon ya gmail yako unayotumia kwenye simu bonyeza apo
    3.tafuta sehemu iliyoandikwa play protect bonyeza apo
    Unaweza scan ili kuweza kujua kama kuna program yoyote ambayo ni hatarishi kwenye simu yako.
    Leo tukachambue machache kuhusu Google Play Protect Google Play Protect ni huduma ya usalama inayotolewa na Google kwa watumiaji wa Android. Inasaidia kulinda simu yako dhidi ya programu hatarishi, virusi, na programu zisizoaminika kwa kuchambua programu zote zinazopakuliwa kutoka kwenye Google Play Store na unazoinstall katika simu yako na kuangalia ikiwa zina hatari yoyote ya usalama. Umuhimu wa Google Play Protect: 1. Inalinda simu yako dhidi ya programu hatarishi, Google Play Protect inachambua programu zote unazopakua kutoka kwenye Google Play Store na inakusaidia kugundua programu hatarishi kabla ya kuziweka kwenye simu yako. 2. Inakusaidia kugundua na kuondoa programu hatarishi zilizojificha katika simu yako, Google Play Protect inakusaidia kugundua na kuondoa programu zisizoaminika zilizowekwa kwenye simu yako bila idhini yako. 3. Inakupa taarifa za usalama: Google Play Protect inakupa taarifa za usalama kuhusu programu zilizowekwa kwenye simu yako na inakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu programu ambazo unaweza kuweka kwenye simu yako. Jinsi ya kuipata Google Play Protect 1. Nenda kwenye app yako ya play store 2.upande wa kulia juu kuna icon ya gmail yako unayotumia kwenye simu bonyeza apo 3.tafuta sehemu iliyoandikwa play protect bonyeza apo Unaweza scan ili kuweza kujua kama kuna program yoyote ambayo ni hatarishi kwenye simu yako.
    Like
    3
    ·183 Views
  • Zana 10 Bora Za Ai Kwaajili yakuchuma pesa

    Momen: Unda programu za wavuti kwa kasi zaidi bila msimbo. momen.app

    2. Midjourney: Tengeneza picha za ubora wa juu ukitumia Midjourney. midjourney.com

    3. Figma: Figma ni programu shirikishi ya wavuti kwa muundo wa kiolesura. figma.com

    4. Tovuti ya Kutua: Mjenzi wa tovuti ya AI. landingsite.ai

    5. Mzinga wa Nyuki: Jukwaa la jarida la AI lililojengwa kwa ukuaji. beehiiv.com

    6. Claude AI: Claude ni msaidizi wa AI wa kizazi kijacho kwa kazi zako. claude.ai

    7. Looks: Jenereta bora ya nembo ya AI. looka.com

    8. Codeium: Nguvu kuu ya kisasa ya kusimba AI. codeium.com

    9. Picha: Pictory ni jenereta ya video ya AI. pictory.ai

    10. Lovo.ai: Lovo AI ni jenereta ya sauti inayotokana na AI iliyoshinda tuzo na jukwaa la maandishi-kwa-hotuba.

    #Ai
    #everyonefollowers
    #highlightseveryonefollowers2024
    Zana 10 Bora Za Ai Kwaajili yakuchuma pesa🌐 Momen: Unda programu za wavuti kwa kasi zaidi bila msimbo. 👉 momen.app 2. Midjourney: Tengeneza picha za ubora wa juu ukitumia Midjourney. 👉midjourney.com 3. Figma: Figma ni programu shirikishi ya wavuti kwa muundo wa kiolesura. 👉 figma.com 4. Tovuti ya Kutua: Mjenzi wa tovuti ya AI. 👉 landingsite.ai 5. Mzinga wa Nyuki: Jukwaa la jarida la AI lililojengwa kwa ukuaji. 👉 beehiiv.com 6. Claude AI: Claude ni msaidizi wa AI wa kizazi kijacho kwa kazi zako. 👉 claude.ai 7. Looks: Jenereta bora ya nembo ya AI. 👉 looka.com 8. Codeium: Nguvu kuu ya kisasa ya kusimba AI. 👉 codeium.com 9. Picha: Pictory ni jenereta ya video ya AI. 👉 pictory.ai 10. Lovo.ai: Lovo AI ni jenereta ya sauti inayotokana na AI iliyoshinda tuzo na jukwaa la maandishi-kwa-hotuba. #Ai #everyonefollowers #highlightseveryonefollowers2024
    Like
    Love
    2
    ·391 Views
  • Mgonjwa wa Kwanza wa Neuralink Aeleza Uzoefu Wake

    🎙Katika mahojiano, mgonjwa wa kwanza aliyewekewa kipandikizi cha Neuralink ameeleza uzoefu wake. Mgonjwa huyu, ambaye ni kiwete kutoka shingo kushuka chini, sasa anaweza kudhibiti vifaa kwa nguvu ya mawazo yake. Wakati wa kuwekewa kipandikizi kwa mara ya kwanza, kilitoka kwa sababu wanasayansi hawakuzingatia harakati za ubongo ndani ya kipenyo cha milimita moja, na ilibidi wafanye upasuaji tena.

    Sasa, mgonjwa huyu anaweza kuvinjari TikTok, kuwasiliana kupitia Twitter, kufanya manunuzi mtandaoni, na kucheza michezo ya kompyuta kwa kuunganisha kipandikizi kwenye kompyuta kupitia Bluetooth na programu maalum. Amebainisha kuwa kipandikizi hicho hakileti maumivu wala hali ya kutojisikia vizuri.

    #Hora_Tech
    #Neuralink #mahojiano #Bluetooth
    🧠 Mgonjwa wa Kwanza wa Neuralink Aeleza Uzoefu Wake 🌐 🎙Katika mahojiano, mgonjwa wa kwanza aliyewekewa kipandikizi cha Neuralink ameeleza uzoefu wake. Mgonjwa huyu, ambaye ni kiwete kutoka shingo kushuka chini, sasa anaweza kudhibiti vifaa kwa nguvu ya mawazo yake. Wakati wa kuwekewa kipandikizi kwa mara ya kwanza, kilitoka kwa sababu wanasayansi hawakuzingatia harakati za ubongo ndani ya kipenyo cha milimita moja, na ilibidi wafanye upasuaji tena. 🥸 Sasa, mgonjwa huyu anaweza kuvinjari TikTok, kuwasiliana kupitia Twitter, kufanya manunuzi mtandaoni, na kucheza michezo ya kompyuta kwa kuunganisha kipandikizi kwenye kompyuta kupitia Bluetooth na programu maalum. Amebainisha kuwa kipandikizi hicho hakileti maumivu wala hali ya kutojisikia vizuri. ➤ #Hora_Tech #Neuralink #mahojiano #Bluetooth
    Like
    Love
    2
    ·842 Views
  • Sababu za Marekani kutaka kupiga marufuku TikTok:

    Serikali ya Marekani ina wasiwasi kuhusu usalama wa taifa unaohusiana na programu ya TikTok. Wasiwasi huo unazingatia mambo mawili makuu:

    1. Ufikiaji wa data ya watumiaji:

    Inaaminika kuwa serikali ya China inaweza kupata data ya watumiaji wa TikTok, ikijumuisha taarifa za kibinafsi na shughuli za mtandaoni.
    Hii inaleta wasiwasi kuhusu uwezekano wa serikali ya China kutumia data hii kwa ajili ya ujasusi au ushawishi.
    2. Udhibiti wa maudhui:

    Kuna wasiwasi kuwa TikTok inaweza kutumika kusambaza propaganda ya serikali ya China au kudhibiti maudhui yanayoonekana na watumiaji wa Marekani.
    Hii inaleta tishio kwa uhuru wa kujieleza na demokrasia nchini Marekani.
    Mambo mengine ya kuzingatia:

    Mvutano wa kisiasa kati ya Marekani na China unachangia wasiwasi kuhusu TikTok.
    Baadhi ya watu wanaamini kuwa marufuku ya TikTok ni hatua kali sana na haina msingi wa kutosha.
    Wengine wanaamini kuwa ni hatua muhimu ya kulinda usalama wa taifa.
    Hitimisho:

    Sababu za Marekani kutaka kupiga marufuku TikTok ni ngumu na zinahusisha masuala ya usalama wa taifa, ufikiaji wa data, udhibiti wa maudhui, na siasa za kimataifa. Ni muhimu kupata taarifa kutoka kwa vyanzo mbalimbali vya kuaminika ili kuunda maoni yako binafsi kuhusu suala hili.

    Ulimwengu_Wako
    #TikTok #Marufuku #Marekani #Habari
    Sababu za Marekani kutaka kupiga marufuku TikTok: Serikali ya Marekani ina wasiwasi kuhusu usalama wa taifa unaohusiana na programu ya TikTok. Wasiwasi huo unazingatia mambo mawili makuu: 1. Ufikiaji wa data ya watumiaji: Inaaminika kuwa serikali ya China inaweza kupata data ya watumiaji wa TikTok, ikijumuisha taarifa za kibinafsi na shughuli za mtandaoni. Hii inaleta wasiwasi kuhusu uwezekano wa serikali ya China kutumia data hii kwa ajili ya ujasusi au ushawishi. 2. Udhibiti wa maudhui: Kuna wasiwasi kuwa TikTok inaweza kutumika kusambaza propaganda ya serikali ya China au kudhibiti maudhui yanayoonekana na watumiaji wa Marekani. Hii inaleta tishio kwa uhuru wa kujieleza na demokrasia nchini Marekani. Mambo mengine ya kuzingatia: Mvutano wa kisiasa kati ya Marekani na China unachangia wasiwasi kuhusu TikTok. Baadhi ya watu wanaamini kuwa marufuku ya TikTok ni hatua kali sana na haina msingi wa kutosha. Wengine wanaamini kuwa ni hatua muhimu ya kulinda usalama wa taifa. Hitimisho: Sababu za Marekani kutaka kupiga marufuku TikTok ni ngumu na zinahusisha masuala ya usalama wa taifa, ufikiaji wa data, udhibiti wa maudhui, na siasa za kimataifa. Ni muhimu kupata taarifa kutoka kwa vyanzo mbalimbali vya kuaminika ili kuunda maoni yako binafsi kuhusu suala hili. Ulimwengu_Wako #TikTok #Marufuku #Marekani #Habari
    Like
    Love
    3
    ·546 Views
  • Marekani Hiko Karibu Kupiga Marufuku TikTok!

    Senati ya Marekani imepitisha sheria ya kupiga marufuku mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo. Hatua hii inangojea saini ya mwisho kutoka kwa Rais Biden, ambaye ameonyesha nia ya kuidhinisha.

    Iwapo TikTok haitauzwa kwa kampuni ya Marekani ndani ya miezi mitano ijayo, Apple na Google watalazimika kuondoa programu hiyo kutoka kwa maduka yao ya App Store na Google Play.

    Nini kitafuata?
    Tunasubiri Rais Biden asaini sheria hii. Tukishapata taarifa mpya, nitahakikisha kuwa nakushirikisha kupitia chaneli hii ya Telegramu ya https://t.me/Ulimwengu_Wako

    #TikTok #Marufuku #Marekani #Habari
    Marekani Hiko Karibu Kupiga Marufuku TikTok! 🇺🇸 Senati ya Marekani imepitisha sheria ya kupiga marufuku mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo. Hatua hii inangojea saini ya mwisho kutoka kwa Rais Biden, ambaye ameonyesha nia ya kuidhinisha. ✍️ Iwapo TikTok haitauzwa kwa kampuni ya Marekani ndani ya miezi mitano ijayo, Apple na Google watalazimika kuondoa programu hiyo kutoka kwa maduka yao ya App Store na Google Play. Nini kitafuata?⏳ Tunasubiri Rais Biden asaini sheria hii. Tukishapata taarifa mpya, nitahakikisha kuwa nakushirikisha kupitia chaneli hii ya Telegramu ya https://t.me/Ulimwengu_Wako #TikTok #Marufuku #Marekani #Habari
    Like
    Love
    3
    ·525 Views
  • Marekani Hiko Karibu Kupiga Marufuku TikTok!

    Senati ya Marekani imepitisha sheria ya kupiga marufuku mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo. Hatua hii inangojea saini ya mwisho kutoka kwa Rais Biden, ambaye ameonyesha nia ya kuidhinisha.

    Iwapo TikTok haitauzwa kwa kampuni ya Marekani ndani ya miezi mitano ijayo, Apple na Google watalazimika kuondoa programu hiyo kutoka kwa maduka yao ya App Store na Google Play.

    Nini kitafuata?
    Tunasubiri Rais Biden asaini sheria hii. Tukishapata taarifa mpya, nitahakikisha kuwa nakushirikisha kupitia chaneli hii ya Telegramu ya https://t.me/Ulimwengu_Wako

    #TikTok #Marufuku #Marekani #Habari #socialpop #Online
    Marekani Hiko Karibu Kupiga Marufuku TikTok! 🇺🇸 Senati ya Marekani imepitisha sheria ya kupiga marufuku mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo. Hatua hii inangojea saini ya mwisho kutoka kwa Rais Biden, ambaye ameonyesha nia ya kuidhinisha. ✍️ Iwapo TikTok haitauzwa kwa kampuni ya Marekani ndani ya miezi mitano ijayo, Apple na Google watalazimika kuondoa programu hiyo kutoka kwa maduka yao ya App Store na Google Play. Nini kitafuata?⏳ Tunasubiri Rais Biden asaini sheria hii. Tukishapata taarifa mpya, nitahakikisha kuwa nakushirikisha kupitia chaneli hii ya Telegramu ya https://t.me/Ulimwengu_Wako #TikTok #Marufuku #Marekani #Habari #socialpop #Online
    Love
    Like
    Sad
    10
    ·509 Views
  • Telegram vs Telegram X ..... Je, ni ipi bora kwako?

    Unatumia programu gani ya kutuma ujumbe? Je, unajua kuna programu mbili tofauti zinazoitwa Telegram?

    Zote mbili ni salama, za haraka, na zenye vipengele vingi, lakini zinatofautiana kidogo.

    Telegram:
    Ina usimbaji fiche wa hali ya juu
    Jamii kubwa na yenye shughuli nyingi
    Vipengele vingi vya bure na vya kulipisha

    Telegram X:
    baadhi wanaamini ni salama zaidi..
    Vipengele vya ziada vya kubinafsisha
    Jamii ndogo ..Lakini kuna siri moja kubwa: Telegram X ni haraka sana kuliko Telegram! ⚡️

    Jaribu zote mbili na uone ni ipi unayopenda zaidi!

    #telegram #telegramx #ufungashaji #faragha #usalama #programu #kutumaujumbe #kasi #Hora #Tech
    Telegram vs Telegram X ..... Je, ni ipi bora kwako? 💎 Unatumia programu gani ya kutuma ujumbe? Je, unajua kuna programu mbili tofauti zinazoitwa Telegram? Zote mbili ni salama, za haraka, na zenye vipengele vingi, lakini zinatofautiana kidogo. Telegram: ⬇️ Ina usimbaji fiche wa hali ya juu Jamii kubwa na yenye shughuli nyingi Vipengele vingi vya bure na vya kulipisha Telegram X: ⬇️ baadhi wanaamini ni salama zaidi.. Vipengele vya ziada vya kubinafsisha Jamii ndogo ..Lakini kuna siri moja kubwa: Telegram X ni haraka sana kuliko Telegram! ⚡️ Jaribu zote mbili na uone ni ipi unayopenda zaidi! #telegram #telegramx #ufungashaji #faragha #usalama #programu #kutumaujumbe #kasi #Hora #Tech
    Like
    Love
    6
    1 Comments ·450 Views