• VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending.

    The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer.

    (Source: Mirror Football)
    🚨 VilNicolas Jackson is being offered for £60M-plus as Chelsea prepare to carry on spending. The striker wants guarantees of regular football and the likes of Newcastle, Aston Villa, Manchester United and Arsenal have all been sounded out this summer. (Source: Mirror Football)
    0 Kommentare ·0 Anteile ·136 Ansichten
  • Manchester United iko tayari kutoa kiasi cha £56M kama ada ya uhamisho wa Harry Kane..


    (Source: Football Insider)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United iko tayari kutoa kiasi cha £56M kama ada ya uhamisho wa Harry Kane.. (Source: Football Insider) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·130 Ansichten
  • Everton imetuma ofa ya €42.8M kwa AS Roma juu ya Artem Dovbyk.

    (Source: Football Insider )

    #SportsElite
    🚨 Everton imetuma ofa ya €42.8M kwa AS Roma juu ya Artem Dovbyk. (Source: Football Insider ) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·112 Ansichten
  • RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ⚽️

    Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!

    Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
    Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ⚽️

    Source:- Micky Jnr African Football Journalist

    #SportsElite
    🚨🚨 RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! 🇹🇿🔥⚽️ 🔸 Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! 🤔 Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? 🦁🟢🔵 Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! 🌍⚽️ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·395 Ansichten
  • Everton Football Club inapanga kumsajili beki wa kati wa Adam Aznou kutoka Bayern Munich.

    Ada ya uhamisho €9M na nyongeza ya €3M..

    (Source: Paddy Boyland

    #SportsElite
    🚨 Everton Football Club inapanga kumsajili beki wa kati wa Adam Aznou kutoka Bayern Munich. Ada ya uhamisho €9M na nyongeza ya €3M.. (Source: Paddy Boyland #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·210 Ansichten
  • ⚪️𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City bado wanafanya mazungumzo na Newcastle United kumuhitaji beki Tino Livramento.

    Manchester City wako tayari kutoa £50million kwaajili ya beki huyo Tino Livramento.

    Graeme Bailey/ TBR football/ Goal.

    #SportsElite
    ⚪️🔵🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City bado wanafanya mazungumzo na Newcastle United kumuhitaji beki Tino Livramento. Manchester City wako tayari kutoa £50million kwaajili ya beki huyo Tino Livramento. Graeme Bailey/ TBR football/ Goal. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·293 Ansichten
  • Arsenal inapanga kumuongeza mkataba William Saliba ambae anawindwa na Real Madrid.

    (Source: Football Transfers)

    #SportsElite
    🚨 Arsenal inapanga kumuongeza mkataba William Saliba ambae anawindwa na Real Madrid. (Source: Football Transfers) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·211 Ansichten
  • West Ham United na hatua za kumpata kiungo wa Bournemouth Marcus Tavernier.

    (Source: Football Insider)

    #SportsElite
    🚨 West Ham United na hatua za kumpata kiungo wa Bournemouth Marcus Tavernier. (Source: Football Insider) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·256 Ansichten
  • Today's Match 🏟

    PSG vs REAL MADRID
    ⌚️ 22:00 EAT

    Stream live here
    https://duduumendez.xyz/FootballLiveMatch


    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4
    ▶︎ ●────────── 0:41
    Today's Match 🏟 PSG vs REAL MADRID ⌚️ 22:00 EAT Stream live here 👇👇 https://duduumendez.xyz/FootballLiveMatch > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 ▶︎ ●────────── 0:41
    0 Kommentare ·0 Anteile ·398 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Nottingham Forest inamuwinda Johan Bakayoko (22) wa PSV, reports @TeleFootball!

    Nottingham inataka kuziba pengo la Elanga amber anaweza kutimkia Newcastle.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇧🇪 Nottingham Forest inamuwinda Johan Bakayoko (22) wa PSV, reports @TeleFootball! Nottingham inataka kuziba pengo la Elanga amber anaweza kutimkia Newcastle. ⏳
    Love
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·194 Ansichten
  • Mchezaji wa zamani wa Brentford Ivan Toney anaweza kujiunga Manchester United.

    (Source: Football Insider)

    #SportsElite
    🚨 Mchezaji wa zamani wa Brentford Ivan Toney anaweza kujiunga Manchester United. (Source: Football Insider) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·256 Ansichten
  • Explore rare Manchester United signed memorabilia, from legendary autographs to modern stars, capturing historic moments and the legacy of one of football’s greatest clubs.
    https://www.bipluxuryapts.com/rare-and-valuable-manchester-united-signed-memorabilia-you-should-know-about
    Explore rare Manchester United signed memorabilia, from legendary autographs to modern stars, capturing historic moments and the legacy of one of football’s greatest clubs. https://www.bipluxuryapts.com/rare-and-valuable-manchester-united-signed-memorabilia-you-should-know-about
    Rare and Valuable Manchester United Signed Memorabilia You Should Know About
    www.bipluxuryapts.com
    Explore rare Manchester United signed memorabilia, from legendary autographs to modern stars, capturing historic moments and the legacy of one of football’s greatest clubs.
    0 Kommentare ·0 Anteile ·256 Ansichten
  • BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.
    .
    Q Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania:

    “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania,

    Source BBC Sports
    .
    DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL

    🏟 Michezo - 182
    ⚽️ Mabao - 65
    Asisst - 22

    Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki.

    Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii

    R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti
    .
    🗣 Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota
    .
    🕊🎙 " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu źa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"
    .
    Weka Alama hii Kama kumuombea Diogo Jota.

    Mungu Atupe mwisho Mwema 🕊.
    .
    #RIPJOTA || #SportsElite #football
    🇵🇹 😢 BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.😢 . Q🚨 Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania: “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania, Source BBC Sports . 🚨 DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL 🏟 Michezo - 182 ⚽️ Mabao - 65 🎯 Asisst - 22 Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki. 😢 Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii😭 R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti 💔 . 🗣 Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota . 🕊🎙 " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu źa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"😢 . Weka Alama hii 🙏 Kama kumuombea Diogo Jota. 💔 Mungu Atupe mwisho Mwema 💔🙏🕊. . #RIPJOTA || #SportsElite #football
    0 Kommentare ·0 Anteile ·614 Ansichten
  • Manchester United iko kwenye hatua za mwisho na Aston Villa ili kumsajiri Ollie Watkins.

    Manchester hawatakuwa tayari kuwalipa Villa kiasi cha £60m kama wanavyo hitaji kutokana na umri wa mchezaji mwenyewe pamoja na thamani kwenye soko la usajili

    (Source: Mirror Football)

    #SportsElite
    🚨 Manchester United iko kwenye hatua za mwisho na Aston Villa ili kumsajiri Ollie Watkins. Manchester hawatakuwa tayari kuwalipa Villa kiasi cha £60m kama wanavyo hitaji kutokana na umri wa mchezaji mwenyewe pamoja na thamani kwenye soko la usajili (Source: Mirror Football) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·198 Ansichten
  • Chelsea Football Club inaimani huenda ikamuuza Christopher Nkunku kwa ada ya £35m kwa timu itakayo muhitaji
    (Source: Metro)

    #SportsElite
    🚨 Chelsea Football Club inaimani huenda ikamuuza Christopher Nkunku kwa ada ya £35m kwa timu itakayo muhitaji (Source: Metro) #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·226 Ansichten
  • Filip Kostic ataondoka Juventus baada ya mkataba wake wa mkopo kutamatika Fenerbahce.

    Atalanta wako kwa ukaribu zaidi kuinasa saini ya kinara huyo Filip Kostic mbele ya Roma na Bologna.

    (Source: Football Italia)

    #sportselite
    🚨 Filip Kostic ataondoka Juventus baada ya mkataba wake wa mkopo kutamatika Fenerbahce. Atalanta wako kwa ukaribu zaidi kuinasa saini ya kinara huyo Filip Kostic mbele ya Roma na Bologna. (Source: Football Italia) #sportselite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·359 Ansichten
  • Eberechi Eze anaamini huwenda akaondoka majira haya na vilabu kama Tottenham na Arsenal vinamuwinda mwamba huyo

    (Source: TBR Football)

    #sportselite
    🚨 Eberechi Eze anaamini huwenda akaondoka majira haya na vilabu kama Tottenham na Arsenal vinamuwinda mwamba huyo (Source: TBR Football) #sportselite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·239 Ansichten
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Burnley imekamilisha usajiri wa beki wa kati Axel Tuanzebe kama mchezaji huru kutoka Ipswich Town.

    (Source: Burnley Football Club)

    #sportselite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Burnley imekamilisha usajiri wa beki wa kati Axel Tuanzebe kama mchezaji huru kutoka Ipswich Town. (Source: Burnley Football Club) #sportselite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·243 Ansichten
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Burnley imekamilisha usajiri wa Quilindschy Hartman kutoka Feyenoord kwa mkataba wa miaka 4

    (Source: Burnley Football Club)

    #sportselite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Burnley imekamilisha usajiri wa Quilindschy Hartman kutoka Feyenoord kwa mkataba wa miaka 4 (Source: Burnley Football Club) #sportselite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·237 Ansichten
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Leicester City Football Club inamuwinda kocha Ruud van Nistelrooy.

    (Source: @FabrizioRomano)

    #sportselite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Leicester City Football Club inamuwinda kocha Ruud van Nistelrooy. (Source: @FabrizioRomano) #sportselite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·229 Ansichten
Suchergebnis