Mise à niveau vers Pro

  • Erling Braut Haaland amesaini mkataba na Machester City wa miaka tisa na nusu mpaka 2034 ambao utajumuisha rekodi ya mshahara .

    Mshahara mnono zaidi kuwahi kutokea Man City , na pia mmoja wa mshahara mkubwa katika historia ya Ligi kuu England na Football kiujumla

    Source : @fabriziorom @davidornstein

    Piga hela tu , kuna maisha baada ya kusakata kandanda.!

    #neliudcosih
    Erling Braut Haaland amesaini mkataba na Machester City wa miaka tisa na nusu mpaka 2034 ambao utajumuisha rekodi ya mshahara . Mshahara mnono zaidi kuwahi kutokea Man City , na pia mmoja wa mshahara mkubwa katika historia ya Ligi kuu England na Football kiujumla Source : @fabriziorom @davidornstein Piga hela tu , kuna maisha baada ya kusakata kandanda.! 😀 #neliudcosih
    ·34 Vue
  • Manchester City na Arsenal Football Club wanapewa nafasi kubwa ya kuweza kumsajili kiungo wa kati wa klabu ya Bayern Munich Joshua Kimmich ikiwa ataondoka klabuni hapo.
    Manchester City na Arsenal Football Club wanapewa nafasi kubwa ya kuweza kumsajili kiungo wa kati wa klabu ya Bayern Munich Joshua Kimmich ikiwa ataondoka klabuni hapo.
    Like
    2
    1 Commentaires ·31 Vue
  • Kila la heri @yangasc kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

    @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu @tanfootball
    Kila la heri @yangasc kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu @tanfootball
    Like
    2
    2 Commentaires ·53 Vue
  • *Ukurasa rasmi unaofanya tafiti mbalimbali za mpira wa miguu kwa kutumia takwimu, @cies_football, umechapisha orodha ya wachezaji wa mpira wa miguu ghali zaidi duniani hadi Januari hii 2025.*

    *Katika orodha hiyo, klabu ya Real Madrid ya nchini Uhispania imesheheni nyota ghali zaidi duniani, wakiwemo Jude Bellingham, Vinicius Junior, Kylian Mbappé, Rodrygo, Federico Valverde, pamoja na Eduardo Camavinga. (EUR 1 ni takribani shilingi 2,500)*


    *Ukurasa rasmi unaofanya tafiti mbalimbali za mpira wa miguu kwa kutumia takwimu, @cies_football, umechapisha orodha ya wachezaji wa mpira wa miguu ghali zaidi duniani hadi Januari hii 2025.* *Katika orodha hiyo, klabu ya Real Madrid ya nchini Uhispania imesheheni nyota ghali zaidi duniani, wakiwemo Jude Bellingham, Vinicius Junior, Kylian Mbappé, Rodrygo, Federico Valverde, pamoja na Eduardo Camavinga. (EUR 1 ni takribani shilingi 2,500)*
    Like
    1
    ·67 Vue
  • Manchester United ilianzishwa mwaka 1878 na wafanyakazi wa reli ikijulikana kama Newton Heath LYR Football Club.

    Rangi za kwanza zilizotumiwa na Manchester United wakati klabu hiyo ikiitwa Newton Heath LYR Football Club, zilikuwa kijani na dhahabu.

    Rangi hizo zilikuwa sehemu ya jezi zao za awali na baadaye jina la klabu lilibadilishwa kuwa Manchester United mwaka 1902, na kubadilisha rangi rasmi kuwa nyekundu, nyeupe na nyeusi, ambazo ndizo zinazoihusisha klabu hiyo hadi leo.

    #neliudcosiah
    Manchester United ilianzishwa mwaka 1878 na wafanyakazi wa reli ikijulikana kama Newton Heath LYR Football Club. Rangi za kwanza zilizotumiwa na Manchester United wakati klabu hiyo ikiitwa Newton Heath LYR Football Club, zilikuwa kijani na dhahabu. Rangi hizo zilikuwa sehemu ya jezi zao za awali na baadaye jina la klabu lilibadilishwa kuwa Manchester United mwaka 1902, na kubadilisha rangi rasmi kuwa nyekundu, nyeupe na nyeusi, ambazo ndizo zinazoihusisha klabu hiyo hadi leo. #neliudcosiah
    Like
    Haha
    2
    1 Commentaires ·98 Vue
  • Shida nyingine imewasili hapa mjini,timu nyingi zimenza kunyanyasika zikikutana na Yanga.

    Chini ya makocha wawili waliopita (Nabi & Gamond) Yanga walicheza mpira wa pasi nyingi,Yanga walikuwa na utaratibu wa kuwatongoza wapinzani kwa pasi nyingi kabla ya kufunga magoli (TIP TAP FOOTBALL) ila chini ya Ramovic tunashuhudia pira “Gegen-Pressing” au kwa kizungu tunasema “Counter-pressing).

    -Yanga ya Ramovic haitaki pasi 10 kufika kwenye lango la mpinzani,badala yake inahitaji pasi tatu hadi nne kufika kwako na kukufunga

    -Yanga ya Ramovic haitaki back-pass wala Sideway pass,mchezaji akiiba mpira ni kwenda mbele Yanga wako direct sana

    -Yanga ya Ramovic haipigi cross nyingi za juu,badala yake mashambulizi mengi yanatokea pembeni kwa fullbacks na wingers kisha zinapigwa V-pass kwenye 12 na viungo washambuliaji wanafunga…..rejea magoli mawili ya Pacome leo

    JINSI GANI YANGA WANAWEKA MTEGO KABLA YA KUFANYA PRESSING?

    Mara nyingi tumezoea kuona mstari wa kwanza wa namba 9 na 10 ukianzisha pressing kwa walinzi wa timu pinzani,ila Yanga ya Ramovic,inasubiri wapinzani wafike kati kati ya uwanja kisha viungo wazuiaji (Aucho na Muda) wanaweka pressure kwa mchezaji mwenye mpira huku walinzi wa kati (Job na Bacca) wakisogea kati kati ya uwanja kukata passing option…..baada ya kuiba mpira unapigwa pembeni kwa mawinga na fullbacks kisha shambulizi linaanzia hapo

    Ndugu zangu huu mpira wa Yanga una magoli mengi ya “Turnovers” wapinzani wanafanyishwa makosa mengi na kuhadhibiwa.

    FT Yanga 5-0 Fountain Gate.

    Shida nyingine imewasili hapa mjini,timu nyingi zimenza kunyanyasika zikikutana na Yanga. Chini ya makocha wawili waliopita (Nabi & Gamond) Yanga walicheza mpira wa pasi nyingi,Yanga walikuwa na utaratibu wa kuwatongoza wapinzani kwa pasi nyingi kabla ya kufunga magoli (TIP TAP FOOTBALL) ila chini ya Ramovic tunashuhudia pira “Gegen-Pressing” au kwa kizungu tunasema “Counter-pressing). -Yanga ya Ramovic haitaki pasi 10 kufika kwenye lango la mpinzani,badala yake inahitaji pasi tatu hadi nne kufika kwako na kukufunga✍️ -Yanga ya Ramovic haitaki back-pass wala Sideway pass,mchezaji akiiba mpira ni kwenda mbele Yanga wako direct sana✍️ -Yanga ya Ramovic haipigi cross nyingi za juu,badala yake mashambulizi mengi yanatokea pembeni kwa fullbacks na wingers kisha zinapigwa V-pass kwenye 12 na viungo washambuliaji wanafunga…..rejea magoli mawili ya Pacome leo✍️ JINSI GANI YANGA WANAWEKA MTEGO KABLA YA KUFANYA PRESSING? Mara nyingi tumezoea kuona mstari wa kwanza wa namba 9 na 10 ukianzisha pressing kwa walinzi wa timu pinzani,ila Yanga ya Ramovic,inasubiri wapinzani wafike kati kati ya uwanja kisha viungo wazuiaji (Aucho na Muda) wanaweka pressure kwa mchezaji mwenye mpira huku walinzi wa kati (Job na Bacca) wakisogea kati kati ya uwanja kukata passing option…..baada ya kuiba mpira unapigwa pembeni kwa mawinga na fullbacks kisha shambulizi linaanzia hapo✍️ Ndugu zangu huu mpira wa Yanga una magoli mengi ya “Turnovers” wapinzani wanafanyishwa makosa mengi na kuhadhibiwa. FT Yanga 5-0 Fountain Gate.
    ·137 Vue
  • fund wa football
    fund wa football ⚽
    Like
    1
    ·139 Vue
  • HEAVY METAL FOOTBALL, MUDA SI MREFU IPO TIMU ITALIPA MADENI YOTE

    Juzi baada ya mechi ya TP Mazembe na Yanga kumalizika,wachezaji waliotumika kwa dakika nyingi kwenye mechi hiyo walihesabiwa “Sessioni” moja,na wale ambao walicheza dakika chache za mwisho plus wale wa benchi walifanya “session” ya pamoja ili kujiweka sawa.

    Kilio cha Ramovic ni Fitnesa ndogo ambayo inapelekea wachezaji wake kuchoka haraka,lakini pia kupata injury za ajabu.

    Baada ya kikosi kurejea Dar es laam,wikii hii kimeanza program ya mazoezi makali sana,watu wa ndani wa Yanga wanasema wiki kadhaa zilizopita wachezaji wa Yanga walitumia katoni 10 za maji kila wafanyapo mazoezi,ila kuanzia wiki hii matumizi ya maji yameongezeka x2 kutoka katoni 10 hadi katoni 25.

    Yes! Saaa hivi wachezaji wa Yanga wanatumia katoni 25 za maji kila siku pale Avic.

    Inasemekana mazoezi ya Ramovic,wiki hii ni makali sana,yana intensty ya juu sana hivyo wachezaji wanakunywa sana maji.

    Inasemekana Ramovic ni muunini wa “heavy metal football” anataka wachezaji wake wakimbie sana wakiwa na mpira na bila mpira na tayari *mapishi ya “heavy metal football” yameanza, muda siyo mrefu kuna timu italipa madeni yote*
    HEAVY METAL FOOTBALL, MUDA SI MREFU IPO TIMU ITALIPA MADENI YOTE Juzi baada ya mechi ya TP Mazembe na Yanga kumalizika,wachezaji waliotumika kwa dakika nyingi kwenye mechi hiyo walihesabiwa “Sessioni” moja,na wale ambao walicheza dakika chache za mwisho plus wale wa benchi walifanya “session” ya pamoja ili kujiweka sawa. Kilio cha Ramovic ni Fitnesa ndogo ambayo inapelekea wachezaji wake kuchoka haraka,lakini pia kupata injury za ajabu. Baada ya kikosi kurejea Dar es laam,wikii hii kimeanza program ya mazoezi makali sana,watu wa ndani wa Yanga wanasema wiki kadhaa zilizopita wachezaji wa Yanga walitumia katoni 10 za maji kila wafanyapo mazoezi,ila kuanzia wiki hii matumizi ya maji yameongezeka x2 kutoka katoni 10 hadi katoni 25. Yes! Saaa hivi wachezaji wa Yanga wanatumia katoni 25 za maji kila siku pale Avic. Inasemekana mazoezi ya Ramovic,wiki hii ni makali sana,yana intensty ya juu sana hivyo wachezaji wanakunywa sana maji. Inasemekana Ramovic ni muunini wa “heavy metal football” anataka wachezaji wake wakimbie sana wakiwa na mpira na bila mpira na tayari *mapishi ya “heavy metal football” yameanza, muda siyo mrefu kuna timu italipa madeni yote*😄
    Like
    Love
    2
    ·177 Vue
  • Best kits men football from CAF and FIFA
    #everyone #followers #friend #socialpop #football #caf #fifa #anyone
    Best kits men football from CAF and FIFA #everyone #followers #friend #socialpop #football #caf #fifa #anyone
    Like
    Love
    3
    3 Commentaires ·455 Vue
  • ✍🏻Kwenye football huwa inaongelewa sana " MBINU " lakini kabla ya mbinu kitu namba moja cha msingi : Shinda mipambano yako :- Kuwania mpira ( Juu & Chini ) , kwenye 50/50 kuwa imara baada ya hapo ndio mbinu zinakuja . Liverpool walikuwa sharp sana , kasi , nguvu , walipasia mpira vizuri ( Ni vile tu Liverpook hawakutoa adhabu kali sana )

    ✍🏻Liverpool walikuwa na njia zote tatu za kupita dhidi ya muundo wa ulinzi wa City ( Defensive Block )

    1: Walipita pembeni yao ( Around them ) : Gakpo + Robbo & Salah & Trent

    2: Walipita ndani yao vizuri ( Play through the block ) : Ryan Grav , Mac Allister na Szobo

    3: Walipita kwa mipira ya juu ( over the block ) : mipira mirefu ya Gomez , VVD na TAA .

    Ukiona hivyo kama wewe mpinzani basi ujue upo matatizoni maana kwa kawaida mpinzani anapaswa kuwa na njia chache kati ya hizo tatu .

    ✍🏻Man City mpango wa kutengeneza idadi kubwa ya wachezaji nyuma wakianzisha mpira ulikuwa sahihi wachezaji watano ( 3-2 muundo huu, nyuma watatu na mbele yao wawili : Akanji na Gundo ) lakini ukifanya hivyo kama mbele hauna wa kukutoa nyuma ( OUTLETS ) basi ni inakuwa kama unajikaba : Ukiondoa Haaland hakuna mwingine mwenye kasi .

    ✍🏻Kipindi cha pili City kutumia wingers wawili ilikuwa muhimu : Doku na Savinho kuutanua uwanja kufanya Liverpool kuzuia eneo kubwa la uwanja na kukabia chini zaidi ( shida kwa City ni Liverpool walizuia vizuri sana )

    NOTE

    1: City kwanza waanze kupunguza makosa binafsi kwa wachezaji ( upo nyuma 1-0 halafu Dias anafanya lile kosa )

    2: Luis Diaz kucheza pale kwa namba 9 kama pameanza kumfaa , movements na kuanzisha pressing

    3: Kiungo cha Rico , Gundo na Silva hapana , hakuna nguvu na kasi pale

    4: Gakpo anaendelea kufunga tu ( Madrid & City )

    5: Haaland bila huduma changamoto

    6: Pasi ya Mo Salah goli la Gakpo

    7: VVD ... najua Man of the match kachukua Salah lakini kwangu VVD leo kauchapa sana katawala Maboksi yote mawili , passing

    FT: Liverpool 2-0 Man City
    (Geogea Ambangile)
    ✍🏻Kwenye football huwa inaongelewa sana " MBINU " lakini kabla ya mbinu kitu namba moja cha msingi : Shinda mipambano yako :- Kuwania mpira ( Juu & Chini ) , kwenye 50/50 kuwa imara baada ya hapo ndio mbinu zinakuja . Liverpool walikuwa sharp sana , kasi , nguvu , walipasia mpira vizuri ( Ni vile tu Liverpook hawakutoa adhabu kali sana ) ✍🏻Liverpool walikuwa na njia zote tatu za kupita dhidi ya muundo wa ulinzi wa City ( Defensive Block ) 1: Walipita pembeni yao ( Around them ) : Gakpo + Robbo & Salah & Trent 2: Walipita ndani yao vizuri ( Play through the block ) : Ryan Grav , Mac Allister na Szobo 3: Walipita kwa mipira ya juu ( over the block ) : mipira mirefu ya Gomez , VVD na TAA . Ukiona hivyo kama wewe mpinzani basi ujue upo matatizoni maana kwa kawaida mpinzani anapaswa kuwa na njia chache kati ya hizo tatu . ✍🏻Man City mpango wa kutengeneza idadi kubwa ya wachezaji nyuma wakianzisha mpira ulikuwa sahihi wachezaji watano ( 3-2 muundo huu, nyuma watatu na mbele yao wawili : Akanji na Gundo ) lakini ukifanya hivyo kama mbele hauna wa kukutoa nyuma ( OUTLETS ) basi ni inakuwa kama unajikaba : Ukiondoa Haaland hakuna mwingine mwenye kasi . ✍🏻Kipindi cha pili City kutumia wingers wawili ilikuwa muhimu : Doku na Savinho kuutanua uwanja kufanya Liverpool kuzuia eneo kubwa la uwanja na kukabia chini zaidi ( shida kwa City ni Liverpool walizuia vizuri sana ) NOTE 1: City kwanza waanze kupunguza makosa binafsi kwa wachezaji ( upo nyuma 1-0 halafu Dias anafanya lile kosa ) 2: Luis Diaz kucheza pale kwa namba 9 kama pameanza kumfaa , movements na kuanzisha pressing 3: Kiungo cha Rico , Gundo na Silva hapana , hakuna nguvu na kasi pale 4: Gakpo anaendelea kufunga tu 🔥 ( Madrid & City ) 5: Haaland bila huduma changamoto 6: Pasi ya Mo Salah goli la Gakpo 🔥 7: VVD ... najua Man of the match kachukua Salah lakini kwangu VVD leo kauchapa sana katawala Maboksi yote mawili , passing 🔥 FT: Liverpool 2-0 Man City (Geogea Ambangile)
    Like
    3
    ·323 Vue
  • KI AZIZ; Mbili ya shauri zangu kuhusu DIARA na DUBE tayari zimefanyiwa kazi, sasa kilicho baki ni Kwa STEPHANIE KI AZIZ, huyu mwamba bado anakitu Cha kutuonesha bado hajafeli sema kakosa FITNESS tu!, Ushauri wangu Kwa uongozi wa yanga huyu mwamba apumzishwe michezo kama mitatu hivi ama miwili Kwa lengo la kumpa HOW TO RETURN IN FOOTBALL IF YOU LOST FITNESS{ Jinsi ya kurudi kwenye mpira wa miguu ikiwa umepoteza usawa }.Nimeandika mimi #soccersports
    KI AZIZ; Mbili ya shauri zangu kuhusu DIARA na DUBE tayari zimefanyiwa kazi, sasa kilicho baki ni Kwa STEPHANIE KI AZIZ, huyu mwamba bado anakitu Cha kutuonesha bado hajafeli sema kakosa FITNESS tu!, Ushauri wangu Kwa uongozi wa yanga huyu mwamba apumzishwe michezo kama mitatu hivi ama miwili Kwa lengo la kumpa 🔥HOW TO RETURN IN FOOTBALL IF YOU LOST FITNESS🔥{ Jinsi ya kurudi kwenye mpira wa miguu ikiwa umepoteza usawa }.Nimeandika mimi #soccersports ✍️
    Love
    Like
    Yay
    7
    ·386 Vue
  • NI KWELI YANGA IMEFUNGWA, LAKINI...

    Masaa yangu manne (4) mtandaoni nikipitia maoni ya wadau wa soka kuhusu matokeo ya @yangasc kufungwa mabao 2-0 na Al Hilal leo, yamenikumbusha Novemba 24, 2023 wakati Yanga hii hii ikifungwa mabao 3-0 na CR Belouizdad (ugenini).

    Maoni hayo ya wadau yakanipeleka Disemba 2, 2023 wakati Yanga ikilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Al Ahly (nyumbani), yote hayo kwenye hatua ya makundi ya michuano hii hii ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
    Mnakumbuka kilichofuata baada ya hapo?.

    Yanga walimaliza hatua ya makundi wakiwa nafasi ya pili na wakafuzu hatua ya robo fainali ambako waliondolewa tu kwa mambo yasiyofaa kuyaelezea sana.

    Leo wameanza tena hatua ya makundi kwa kupoteza, ni matokeo mabaya kwa klabu na watanzania kwa ujumla....ila nadhani kuna umuhimu wa kuhifadhi baadhi ya maneno yetu. Football ina mambo yake na inapenda sana kuheshimiwa na watu wa rika zote, tusijimalize.

    #Kumbukeni, 'wakali' kutoka @ligikuu ya @nbc_tanzania hawaanguki jumla, wanajikwaa wanainuka haraka, safari inaendelea

    #LadhaZaLigiKuu
    NI KWELI YANGA IMEFUNGWA, LAKINI... Masaa yangu manne (4) mtandaoni nikipitia maoni ya wadau wa soka kuhusu matokeo ya @yangasc kufungwa mabao 2-0 na Al Hilal leo, yamenikumbusha Novemba 24, 2023 wakati Yanga hii hii ikifungwa mabao 3-0 na CR Belouizdad (ugenini). Maoni hayo ya wadau yakanipeleka Disemba 2, 2023 wakati Yanga ikilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Al Ahly (nyumbani), yote hayo kwenye hatua ya makundi ya michuano hii hii ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mnakumbuka kilichofuata baada ya hapo?. Yanga walimaliza hatua ya makundi wakiwa nafasi ya pili na wakafuzu hatua ya robo fainali ambako waliondolewa tu kwa mambo yasiyofaa kuyaelezea sana. Leo wameanza tena hatua ya makundi kwa kupoteza, ni matokeo mabaya kwa klabu na watanzania kwa ujumla....ila nadhani kuna umuhimu wa kuhifadhi baadhi ya maneno yetu. Football ina mambo yake na inapenda sana kuheshimiwa na watu wa rika zote, tusijimalize. #Kumbukeni, 'wakali' kutoka @ligikuu ya @nbc_tanzania hawaanguki jumla, wanajikwaa wanainuka haraka, safari inaendelea 🔥 #LadhaZaLigiKuu
    Like
    Love
    4
    ·429 Vue

  • Huu ndio Mpira sasa na hii ndio maana ya Ligi kuu,
    Tukubali leo tumejaa kwenye mfumo na tuwape hongera Tabora United.
    Tumepoteza Points Sita mfululizo lakini hatujanyang’anywa bado Ubingwa wetu.

    Yes ::kuna Siku kila kitu hukataa ndani ya Uwanja hata mkiwa bora kiasi gani, Hiyo ndio football tunayoijua sisi,
    Muhimu turudi kujipanga na kujiuliza nini kinatusibu kwa sasa na pia kuacha kujiamini kupitiliza.

    @yangasc
    Huu ndio Mpira sasa na hii ndio maana ya Ligi kuu, Tukubali leo tumejaa kwenye mfumo na tuwape hongera Tabora United. Tumepoteza Points Sita mfululizo lakini hatujanyang’anywa bado Ubingwa wetu. Yes ::kuna Siku kila kitu hukataa ndani ya Uwanja hata mkiwa bora kiasi gani, Hiyo ndio football tunayoijua sisi, Muhimu turudi kujipanga na kujiuliza nini kinatusibu kwa sasa na pia kuacha kujiamini kupitiliza. @yangasc 🙏
    Like
    Love
    Sad
    Haha
    15
    4 Commentaires ·589 Vue
  • They met it hot
    Football in UCL has no mercy on big clubs
    They met it hot😀 Football in UCL has no mercy on big clubs
    ·230 Vue

  • KAMA UNAELEWA SAYANSI YA MPIRA UTAMUELEWA FADLU, SIMBA YA JANA

    Sayansi ya mpira inasema kabla ya mechi msome sana mpinzani, wazungu wanaita game guiding, lakini pia wakati wa mchezo, ile mechi inaanza tu shika peni na karatasi noti vitu muhimu kwa mpinzani, amekuja kujaje.

    Itasaidia kukupa ABC kudili naye, kutambua ulipo ubora wake & ulipo udhaifu wake. Unaweza kuvunja mitego yake, vunja. Kuna eneo yeye ni bora sana, wewe boresha ilipo nguvu yako kwa lengo la kuudhibiti ubora wake.

    Davids Fadlu kaichukua Simba ambapo moja kati ya eneo lilikuwa linavuja sana ni safu ya ulinzi. Kutoruhusu goli mechi mbili za Ligi Kuu NBC haiwezi kutumika kama guarantee ya kwenda kujilipua ugenini mchezo wa CAF mtoano mbele ya Waarabu.

    Nidhamu ya kwanza ya kimbinu kama mpango kazi, inakulazimu plan A iwe ni kuziba mianya kwa namba kubwa. Sio tena kazi ya mabeki pekee hiyo bali kazi ya timu. System ni mid-block.

    Ilikuwa ni rahisi kumuona mtu kama deep playmaker Deborah Fernandes Mavambo akicheza zaidi chini kuliko ilivyozoeleka. Game Aproach ilimhitaji acheze hivyo.

    Plan A ya kuzima mashambulizi ya mpinzani ilitiki, Plan B ya counter attack ikakataa.Mutale&Balua wakimezwa. Kwenye football kawaida inatokea, kimoja kukubali, kingine kukataa.

    Take away:Bora nusu kitu kuliko kukosa kabisa.
    #paulswai
    KAMA UNAELEWA SAYANSI YA MPIRA UTAMUELEWA FADLU, SIMBA YA JANA Sayansi ya mpira inasema kabla ya mechi msome sana mpinzani, wazungu wanaita game guiding, lakini pia wakati wa mchezo, ile mechi inaanza tu shika peni na karatasi noti vitu muhimu kwa mpinzani, amekuja kujaje. Itasaidia kukupa ABC kudili naye, kutambua ulipo ubora wake & ulipo udhaifu wake. Unaweza kuvunja mitego yake, vunja. Kuna eneo yeye ni bora sana, wewe boresha ilipo nguvu yako kwa lengo la kuudhibiti ubora wake. Davids Fadlu kaichukua Simba ambapo moja kati ya eneo lilikuwa linavuja sana ni safu ya ulinzi. Kutoruhusu goli mechi mbili za Ligi Kuu NBC haiwezi kutumika kama guarantee ya kwenda kujilipua ugenini mchezo wa CAF mtoano mbele ya Waarabu. Nidhamu ya kwanza ya kimbinu kama mpango kazi, inakulazimu plan A iwe ni kuziba mianya kwa namba kubwa. Sio tena kazi ya mabeki pekee hiyo bali kazi ya timu. System ni mid-block. Ilikuwa ni rahisi kumuona mtu kama deep playmaker Deborah Fernandes Mavambo akicheza zaidi chini kuliko ilivyozoeleka. Game Aproach ilimhitaji acheze hivyo. Plan A ya kuzima mashambulizi ya mpinzani ilitiki, Plan B ya counter attack ikakataa.Mutale&Balua wakimezwa. Kwenye football kawaida inatokea, kimoja kukubali, kingine kukataa. Take away:Bora nusu kitu kuliko kukosa kabisa. #paulswai
    Like
    1
    ·622 Vue
  • https://www.longhornsfootballgear.com/Texas-Longhorns-Jahdae-Barron-Jersey
    https://www.longhornsfootballgear.com/Texas-Longhorns-Jahdae-Barron-Jersey
    WWW.LONGHORNSFOOTBALLGEAR.COM
    Just a moment...
    ·268 Vue
  • Georgia Survives Scare Against South Carolina
    Georgia narrowly escaped an upset against South Carolina, winning 24-21 on September 8, 2024. Carson Beck threw for 280 yards and two touchdowns, but South Carolina’s defense kept the game close, forcing two turnovers. Georgia’s defense held strong in the final minutes, securing the victory and maintaining their undefeated season.
    https://www.longhornsfootballgear.com/Texas-Longhorns-Arch-Manning-Jersey

    Georgia Survives Scare Against South Carolina Georgia narrowly escaped an upset against South Carolina, winning 24-21 on September 8, 2024. Carson Beck threw for 280 yards and two touchdowns, but South Carolina’s defense kept the game close, forcing two turnovers. Georgia’s defense held strong in the final minutes, securing the victory and maintaining their undefeated season. https://www.longhornsfootballgear.com/Texas-Longhorns-Arch-Manning-Jersey
    WWW.LONGHORNSFOOTBALLGEAR.COM
    Just a moment...
    ·316 Vue
  • AWESU AWESU BADO NI MALI YA KMC!!!

    Baada ya kikao cha kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya (TFF) kilichofanyika leo kuhusu sakata la uhamisho wa Awesu Awesu kutoka KMC kwenda Simba SC. Mwanasheria wa KMC amesema...

    "Awesu Awesu bado ni mchezaji halali wa klabu ya KMC, Simba SC wakimtaka warudi mezani kwa mazungumzo wakiwa na Sh 200 milioni."

    "Mambo yamekwenda vizuri Tunasubiri uamuzi wa kamati"

    Chief Said.
    Mwanasheria wa KMC na mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi KMC Football Club. #paulswai
    🚨AWESU AWESU BADO NI MALI YA KMC!!! Baada ya kikao cha kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya (TFF) kilichofanyika leo kuhusu sakata la uhamisho wa Awesu Awesu kutoka KMC kwenda Simba SC. Mwanasheria wa KMC amesema... "Awesu Awesu bado ni mchezaji halali wa klabu ya KMC, Simba SC wakimtaka warudi mezani kwa mazungumzo wakiwa na Sh 200 milioni." "Mambo yamekwenda vizuri Tunasubiri uamuzi wa kamati" ©️ Chief Said. Mwanasheria wa KMC na mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi KMC Football Club. #paulswai
    Like
    5
    1 Commentaires ·344 Vue
  • TUNIS WOMEN’S CUP 2024.

    HT’ Tunisia 0️⃣- 3️⃣ @twigastarstz
    Aisha Juma
    Oppa Clement ⚽

    @CAF_Online @tanfootball
    #cktvtanzania
    TUNIS WOMEN’S CUP 2024. HT’ Tunisia 🇹🇳 0️⃣- 3️⃣🇹🇿 @twigastarstz Aisha Juma ⚽️⚽ Oppa Clement ⚽ @CAF_Online @tanfootball #cktvtanzania
    Love
    Like
    3
    ·416 Vue
  • TUNIS WOMEN’S CUP 2024.

    35’ Tunisia 0️⃣- 2️⃣ @twigastarstz
    Aisha Juma ️⚽

    @CAF_Online @Tanfootball
    #cktvtanzania
    TUNIS WOMEN’S CUP 2024. 35’ Tunisia 🇹🇳 0️⃣- 2️⃣🇹🇿 @twigastarstz Aisha Juma ⚽️⚽ @CAF_Online @Tanfootball #cktvtanzania
    Love
    Like
    3
    ·415 Vue
Plus de résultats