• BREAKING Arsenal wako karibu sana kukamilisha Usajili wa Beki wa Bayer Leverkusen Piero Hincape kwa mkopo makubaliano yako karibu kufikiwa.

    Here we Go hivi karibuni.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Arsenal wako karibu sana kukamilisha Usajili wa Beki wa Bayer Leverkusen Piero Hincape kwa mkopo makubaliano yako karibu kufikiwa.🔴 🇨🇴 Here we Go hivi karibuni. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·216 Views
  • Tottenham Hotspur iko karibu kukamilisha uhamisho wa mkopo kwa Rodrygo .


    (Source: Defensa Central)

    #SportsElite
    🚨 Tottenham Hotspur iko karibu kukamilisha uhamisho wa mkopo kwa Rodrygo . (Source: Defensa Central) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·71 Views
  • Karibu Simba SC, Neo Maema.

    Karibu Simba SC, Neo Maema.🦁💪
    Love
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·281 Views
  • Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo.

    Source Pletti Goal

    #SportsElite
    🚨 Borussia Dortmund wako karibu kumsajili kiungo Carney Chukwuemeka kwa usajili wa kudumu kutoka Chelsea na Beki Aaron Anselmino kwa mkopo. 🟡 🇩🇪 Source Pletti Goal #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·260 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wolves iko karibu kukamilisha uhamisho wa Ladislav Krejčí (26) kutoka Girona.

    Ada ya uhamisho €30m,

    reports @MatteMoretto.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wolves iko karibu kukamilisha uhamisho wa Ladislav Krejčí (26) kutoka Girona. Ada ya uhamisho €30m, reports @MatteMoretto. 🐺 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·152 Views
  • Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka

    Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane.

    Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake.

    Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL.

    Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.

    🚨Van Dijk Ampongeza Isak Wakati Liverpool Wakiendelea Kumsaka Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amemtaja Alexander Isak kuwa miongoni mwa washambuliaji wagumu zaidi aliowahi kukutana nao kwenye Ligi Kuu ya England, akimtaja sambamba na majina makubwa kama Erling Haaland, Ollie Watkins na Harry Kane. Isak ambaye amefunga mabao manne katika mechi sita dhidi ya Liverpool, hivi karibuni alieleza kutoridhishwa kwake na hali yake ndani ya Newcastle United. Straika huyo wa Kiswidi amesema hataki tena kucheza katika Uwanja wa St. James’ Park, akidai uongozi wa klabu hiyo umemzuia kupitia upya mkataba wake. Liverpool tayari walitoa dau la pauni milioni 110 ambalo Newcastle walilikataa, wakisisitiza hawana mpango wa kumuuza nyota wao. Hata hivyo, Isak amesisitiza nia ya kuondoka, jambo linaloweza kuwa pigo kubwa kwa Newcastle ikizingatiwa mchango wake kwenye mafanikio ya hivi karibuni, ikiwemo kutwaa Carabao Cup na kuchaguliwa katika kikosi bora cha msimu wa EPL. Hali hiyo sasa imeweka sintofahamu kuhusu hatima ya mshambuliaji huyo, huku Liverpool wakionekana kutafuta kwa nguvu saini yake.
    0 Comments ·0 Shares ·319 Views
  • Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni.

    (Source: Daily Mail Sport)

    #SportsElite
    🚨 Huwenda Eberechi Eze akajiunga na Tottenham siku za hivi karibuni. (Source: Daily Mail Sport) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·124 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M .

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Crystal Palace ipo karibu kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Leicester City Bilal El Khannouss kwa ada ya £32M . (Source: Sky Sports) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·80 Views
  • Crystal Palace inapanga kukamilisha usajiri kabla ya dirisha kufungwa na tayari wamegonga hodi kwa Liverpool kumpata kiungo Harvey Elliott.

    Liverpool wanahitaji karibu £40M au ifanyike mabadiilishano kati ya Marc Guehi na Harvey Elliott....

    (Source: Sun Sport)

    #SportsElite
    🚨 Crystal Palace inapanga kukamilisha usajiri kabla ya dirisha kufungwa na tayari wamegonga hodi kwa Liverpool kumpata kiungo Harvey Elliott. Liverpool wanahitaji karibu £40M au ifanyike mabadiilishano kati ya Marc Guehi na Harvey Elliott.... (Source: Sun Sport) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·296 Views
  • Savinho Kutimkia Spurs *

    Tottenham wapo kwenye mazungumzo na Manchester City juu ya kutaka kumsajili Winga wa Brazil Savinho.

    Majadiliano yamefanyika kati ya klabu hizo mbili katika siku za hivi karibuni kuhusu uwezekano wa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 lakini itachukua ofa ya zaidi ya pauni milioni 50 kuwashawishi City kumuuza Staa huyo.

    #SportsElite
    🚨Savinho Kutimkia Spurs 🤝* Tottenham wapo kwenye mazungumzo na Manchester City juu ya kutaka kumsajili Winga wa Brazil Savinho. Majadiliano yamefanyika kati ya klabu hizo mbili katika siku za hivi karibuni kuhusu uwezekano wa kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 lakini itachukua ofa ya zaidi ya pauni milioni 50 kuwashawishi City kumuuza Staa huyo. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·192 Views
  • Bournemouth ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Amine Adli baada ya kufikia makubaliano binafsi ya mkataba na mchezaji..

    Majadiliano yanaendelea baina ya Bournemouth na Bayer Leverkusen,

    (Source: Foot Mercato)

    #SportsElite
    🚨 Bournemouth ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Amine Adli baada ya kufikia makubaliano binafsi ya mkataba na mchezaji.. Majadiliano yanaendelea baina ya Bournemouth na Bayer Leverkusen, (Source: Foot Mercato) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·96 Views
  • 𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄: Newcastle ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Jacob Ramsey⚪️⚫️⚡️

    Makubaliano hayo baina ya Aston Villa yatahusisha kiasi cha £40m na mda sio mrefu uhamisho utakamilika kwa 100%

    #SportsElite
    🚨 𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄: Newcastle ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Jacob Ramsey⚪️⚫️⚡️ Makubaliano hayo baina ya Aston Villa yatahusisha kiasi cha £40m na mda sio mrefu uhamisho utakamilika kwa 100% #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·87 Views
  • AC Milan yapigania kumsajili Darwin Núñez!

    Klabu hiyo ya Italia iko kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa Liverpool kuhusu uhamisho kwenda San Siro , lakini inakumbana na ushindani mkali kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabia ambao tayari wamewasilisha ofa rasmi .

    Liverpool wanahitaji karibu £70 milioni , huku Núñez akionekana kupendelea kubaki barani Ulaya .

    #ACMilan #Liverpool #DarwinNúñez #TransferNews #AlHilal #SanSiro

    #SportsElite
    🚨 AC Milan yapigania kumsajili Darwin Núñez! Klabu hiyo ya Italia iko kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa Liverpool kuhusu uhamisho kwenda San Siro 🏟️, lakini inakumbana na ushindani mkali kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabia 🇸🇦 ambao tayari wamewasilisha ofa rasmi 💰. Liverpool wanahitaji karibu £70 milioni 💸, huku Núñez akionekana kupendelea kubaki barani Ulaya 🌍. #ACMilan #Liverpool #DarwinNúñez #TransferNews #AlHilal #SanSiro #SportsElite
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·478 Views
  • Rodrigo de paul atavaa jezi no.7 kwenye club ya Inter Miami ya marekani, ndoto yake ya kucheza club moja na Messi huenda imetimia, rasmi Messi atakuwa karibu na bodyguard wake kuanzia sasa popote awapo

    #SportsElite
    Rodrigo de paul atavaa jezi no.7 kwenye club ya Inter Miami ya marekani, ndoto yake ya kucheza club moja na Messi huenda imetimia, rasmi Messi atakuwa karibu na bodyguard wake kuanzia sasa popote awapo #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·384 Views
  • Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.

    Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo.

    Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao.

    "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo.

    #SportsElite
    🚨🚨Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo. Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao. "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·705 Views
  • OFFICIAL : Garnacho, Sancho, Antony pamoja na Tyrell Malacia wote wameondolewa kwenye kikosi cha Man United kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.

    Harry Maguire hayupo na timu lakini kwa sababu za kibinafsi tu, ila atarejea hivi karibuni kambini

    Jadon Sancho, Alejandro Garnacho, Antony pamoja na Tyler Malacia wote wako Sokoni wanauzwa.

    #SportsElite
    👋🚨OFFICIAL : Garnacho, Sancho, Antony pamoja na Tyrell Malacia wote wameondolewa kwenye kikosi cha Man United kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.🔴 Harry Maguire hayupo na timu lakini kwa sababu za kibinafsi tu, ila atarejea hivi karibuni kambini Jadon Sancho, Alejandro Garnacho, Antony pamoja na Tyler Malacia wote wako Sokoni wanauzwa. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·373 Views
  • Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen

    Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen .

    Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno na Ufaransa zilizochezwa Juni 4 na 8.

    Ripoti hiyo imeongeza:

    > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani ."

    Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa .

    Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo.

    Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay wakati wa Copa América 2024.

    Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni.

    #SportsElite
    🚨 Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen 💰 Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen 🤕. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno 🇵🇹 na Ufaransa 🇫🇷 zilizochezwa Juni 4 na 8. Ripoti hiyo imeongeza: > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani 🇩🇪." Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa 🏥. Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo. Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania 🇪🇸 mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay 🇺🇾 wakati wa Copa América 2024. Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·686 Views
  • Sasa dili limetikiii rasmi club ya Barcelona imekubali kumsainii mchezaji Marcus Rashford wa Manchester united,, na club hyo ya Manchester imetoa tamko mchezaji huyo atajiunga na Club ya Barcelona hivi karibunii


    #SportsElite
    🚨 Sasa dili limetikiii rasmi club ya Barcelona imekubali kumsainii mchezaji Marcus Rashford wa Manchester united,, na club hyo ya Manchester imetoa tamko mchezaji huyo atajiunga na Club ya Barcelona hivi karibunii #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·271 Views
  • Al-Ettifaq iko karibu kufikia makubaliano na Pierre-Emerick Aubameyang kama mchezaji huru

    (Source: @ahmad2man)

    #SportsElite
    🚨 Al-Ettifaq iko karibu kufikia makubaliano na Pierre-Emerick Aubameyang kama mchezaji huru 🇬🇦🤝 (Source: @ahmad2man) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·249 Views
  • Aston Villa wako kwa ukaribu kuinasa saini yabAlejandro Garnacho wa Manchester United.

    #SportsElite
    🚨 Aston Villa wako kwa ukaribu kuinasa saini yabAlejandro Garnacho wa Manchester United. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·193 Views
More Results