Обновить до Про

  • “…kila mara alikuwa akiniomba pesa, nampa… Akiniomba tena, nampa… Nilipomwambia ya kwamba sitaki tena uhusiano wa kifedha kati yetu, tuendelee na uhusiano kama ndugu, ndipo masahibu hayo yalinikuta…” - Paul Pogba akimzungumzia kaka yake, Mathias Pogba (pichani, mwenye fulana nyeupe)…

    Kesi ya ulaghai ya Paul Pogba, imefungiliwa jana huko Mjini Paris Nchini Ufaransa. Katika kesi hiyo, Watu sita (6) wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kwa ulaghai, kujaribu kupora Euro milioni (18) ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni (50) za Tanzania na kumshikilia Mchezaji huyo wa Timu ya Taifa ya Ufaransa huku wakiwa na silaha (Bunduki).

    Kesi hiyo katika Mahakama ya jinai ya Paris, imewashangaza wengi kwa sababu Watuhumiwa ni Marafiki wa karibu wa Paul Pogba, waliokulia wote sehemu moja, Mitaa ya Roissy-en-Brie, Kaskazini mwa Jiji la Paris, lakini kubwa zaidi, wakishirikiana na Kaka wa Paul Pogba, Mathias Pogba ambaye ni mdogo wake.

    Mmoja wa watuhumiwa hao, aliiambia Mahakama kuwa “alichukizwa kuona Paul Pogba, anawasahau marafiki zake wa ‘kitaa’ na kuwaacha masikini baada ya kupata mafanikio katika soka…”

    Paul Pogba mwenyewe, ambaye wakati wa tukio alikuwa katika mafanikio makubwa Manchester United huku akijiandaa kuhamia Juventus ya Italia, hakuwepo Mahakamani hapo hiyo jana ambapo aliwakilishwa na Mawakili wake watatu (3): Wakili Pierre-Jean Douvier, Wakili Alexia Alfonsi na Wakili Carine Piccio.

    Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa hadi Disemba 3, 2024, huku Watuhumiwa wote wakijiandaa kutumikia kifungo kati ya miaka saba (7) na miaka kumi (10) Jela endapo watakutwa na hatia.
    “…kila mara alikuwa akiniomba pesa, nampa… Akiniomba tena, nampa… Nilipomwambia ya kwamba sitaki tena uhusiano wa kifedha kati yetu, tuendelee na uhusiano kama ndugu, ndipo masahibu hayo yalinikuta…” - Paul Pogba akimzungumzia kaka yake, Mathias Pogba (pichani, mwenye fulana nyeupe)… Kesi ya ulaghai ya Paul Pogba, imefungiliwa jana huko Mjini Paris Nchini Ufaransa. Katika kesi hiyo, Watu sita (6) wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kwa ulaghai, kujaribu kupora Euro milioni (18) ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni (50) za Tanzania 🇹🇿 na kumshikilia Mchezaji huyo wa Timu ya Taifa ya Ufaransa 🇫🇷 huku wakiwa na silaha (Bunduki). Kesi hiyo katika Mahakama ya jinai ya Paris, imewashangaza wengi kwa sababu Watuhumiwa ni Marafiki wa karibu wa Paul Pogba, waliokulia wote sehemu moja, Mitaa ya Roissy-en-Brie, Kaskazini mwa Jiji la Paris, lakini kubwa zaidi, wakishirikiana na Kaka wa Paul Pogba, Mathias Pogba ambaye ni mdogo wake. Mmoja wa watuhumiwa hao, aliiambia Mahakama kuwa “alichukizwa kuona Paul Pogba, anawasahau marafiki zake wa ‘kitaa’ na kuwaacha masikini baada ya kupata mafanikio katika soka…” Paul Pogba mwenyewe, ambaye wakati wa tukio alikuwa katika mafanikio makubwa Manchester United huku akijiandaa kuhamia Juventus ya Italia, hakuwepo Mahakamani hapo hiyo jana ambapo aliwakilishwa na Mawakili wake watatu (3): Wakili Pierre-Jean Douvier, Wakili Alexia Alfonsi na Wakili Carine Piccio. Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa hadi Disemba 3, 2024, huku Watuhumiwa wote wakijiandaa kutumikia kifungo kati ya miaka saba (7) na miaka kumi (10) Jela endapo watakutwa na hatia.
    ·36 Просмотры
  • #BREAKING: Athari za moja kwa moja huko Nahariya, kaskazini mwa Israel kufuatia msururu wa roketi zilizorushwa na Hezbollah kutoka Lebanon..

    https://www.facebook.com/100065398263779/videos/915805180021945/?app=fbl

    #BREAKING: Athari za moja kwa moja huko Nahariya, kaskazini mwa Israel kufuatia msururu wa roketi zilizorushwa na Hezbollah kutoka Lebanon.. https://www.facebook.com/100065398263779/videos/915805180021945/?app=fbl
    WWW.FACEBOOK.COM
    #BREAKING: Athari za moja kwa moja huko Nahariya, kaskazini mwa Israel kufuatia msururu wa roketi zilizorushwa na Hezbollah kutoka Lebanon.. | By Mk Swahili
    #BREAKING: Athari za moja kwa moja huko Nahariya, kaskazini mwa Israel kufuatia msururu wa roketi zilizorushwa na Hezbollah kutoka Lebanon..
    Like
    1
    ·3 Просмотры
  • Tiba Ya Jadi

    Tsh10000

     Другое
    Kisemvule, Dar es salaam· Новое · В наличии

    Karibuni kwa matibabu mbal mbal ya kidunia insha allah nipo Dar, Kisemvule 0736366536 / 0784366536.
    Karibuni kwa matibabu mbal mbal ya kidunia insha allah nipo Dar, Kisemvule 0736366536 / 0784366536.
    Like
    Love
    2
    ·57 Просмотры
  • Karibu sana kwa huduma za kitiba kwa mawasiliano zaid 0736366536 / 0784366536 nipo dar kisemvule insha allah.
    Karibu sana kwa huduma za kitiba kwa mawasiliano zaid 0736366536 / 0784366536 nipo dar kisemvule insha allah.
    Like
    Love
    2
    ·52 Просмотры ·4 Просмотры
  • Alhamdulillah
    Alhamdulillah
    Love
    1
    1 Комментарии ·72 Просмотры
  • "Nimefika hapa Kariakoo kwa lengo la kusaidiana na waokoaji wengine, kiukweli sio kazi rahisi, ukifika hapa maumivu yake ni zaidi ya unayoyapata ukiwa unafatilia taarifa mtandaoni kwasababu unasikia sauti za watu wakilia kutaka msaada. Bado chini kuna watu ila changamoto ni kwamba ukuta wa jengo ni mgumu sana alafu mpana kwahiyo sio rahisi kuwafikia. Sio jambo la masaa matatu wala manne, linahitaji muda mrefu kuwafikia. Kesho Inshaallah nitarudi tena kuendelea na zoezi"- Hassan Mwakinyo, Bondia wa kimataifa wa Tanzania.
    "Nimefika hapa Kariakoo kwa lengo la kusaidiana na waokoaji wengine, kiukweli sio kazi rahisi, ukifika hapa maumivu yake ni zaidi ya unayoyapata ukiwa unafatilia taarifa mtandaoni kwasababu unasikia sauti za watu wakilia kutaka msaada. Bado chini kuna watu ila changamoto ni kwamba ukuta wa jengo ni mgumu sana alafu mpana kwahiyo sio rahisi kuwafikia. Sio jambo la masaa matatu wala manne, linahitaji muda mrefu kuwafikia. Kesho Inshaallah nitarudi tena kuendelea na zoezi"- Hassan Mwakinyo, Bondia wa kimataifa wa Tanzania.
    ·212 Просмотры
  • This is tough!!

    Mungu atufanyie wepesi Inshallah
    This is tough!! Mungu atufanyie wepesi Inshallah🙏
    ·103 Просмотры
  • Ni tetesi

    Inasemekana kuwa klabu ya Yanga SC imemsajili Beki wa klabu ya KMC, Abdallah Said Lanso kwa mkataba wa miaka miwili (2). Mchezaji anasubiriwa kujiunga na Mabingwa hao wa kihistoria kwenye dirisha dogo la usajili.

    Ni tetesi Inasemekana kuwa klabu ya Yanga SC imemsajili Beki wa klabu ya KMC, Abdallah Said Lanso kwa mkataba wa miaka miwili (2). Mchezaji anasubiriwa kujiunga na Mabingwa hao wa kihistoria kwenye dirisha dogo la usajili.
    ·153 Просмотры
  • F E W D A T I N G T I P S .

    1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi.

    2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa litakuja lenyewe tu.

    3. Mwanaume aliye bora na mwanamke aliye mzuri hapimwi kwa idadi ya watu aliolala nao, ila kwa idadi ya watu aliopata ujasiri wa kuwaambia mimi tayari niko na mtu licha ya ushawishi mkubwa aliokumbana nao.

    4. Kuna aina ya wanawake ambao mwanaume kwa namna yoyote unahitaji kuwaepuka. Yule mwanamke anaedhani uzuri wake ni zaidi kuliko tabia yake.

    5. Heshimu hisia za mwenzako, usitumie kama silaha ya ku-compromise kupata kile unachokitaka. Hicho ndicho kinachotofautisha kati ya 'Wavulana' na 'Wanaume' na 'Wasichana' na 'Wanawake'.

    6. Watu hatari sana katika mahusiano ni wale ambao huko mwanzo walidanganywa, walisalitiwa, na kuchezewa....

    7. Usimwite mwanamke kwamba yuko cheap kwa sababu amekua mrahisi kwako. Inawezekana kabisa amekua mrahisi kwako kwa sababu anakupenda, ila kwa wengine ni mgumu zaidi ya chuma cha pua.

    8. Wanaume na wanawake waliokamilika hawapo. Ila wanaume na wanawake bora wapo kila mahala.

    9. Kama unampenda mtu, mueleze ukweli ajue. Na kama humpendi pia mweleze ukweli. Tuko nyuma ya muda.. Achana na Masuala ya kupotezeana muda..huo ni utoto.

    10. Ajabu ni kwamba, mwanamke/mwanaume anaweza kukusaliti.
    Ila daima Mungu hawezi kukusaliti.
    Having GOD must be your primary focus then relationship should come second.

    Siku Njema..
    F E W D A T I N G T I P S . 1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi. 2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa litakuja lenyewe tu. 3. Mwanaume aliye bora na mwanamke aliye mzuri hapimwi kwa idadi ya watu aliolala nao, ila kwa idadi ya watu aliopata ujasiri wa kuwaambia mimi tayari niko na mtu licha ya ushawishi mkubwa aliokumbana nao. 4. Kuna aina ya wanawake ambao mwanaume kwa namna yoyote unahitaji kuwaepuka. Yule mwanamke anaedhani uzuri wake ni zaidi kuliko tabia yake. 5. Heshimu hisia za mwenzako, usitumie kama silaha ya ku-compromise kupata kile unachokitaka. Hicho ndicho kinachotofautisha kati ya 'Wavulana' na 'Wanaume' na 'Wasichana' na 'Wanawake'. 6. Watu hatari sana katika mahusiano ni wale ambao huko mwanzo walidanganywa, walisalitiwa, na kuchezewa.... 7. Usimwite mwanamke kwamba yuko cheap kwa sababu amekua mrahisi kwako. Inawezekana kabisa amekua mrahisi kwako kwa sababu anakupenda, ila kwa wengine ni mgumu zaidi ya chuma cha pua. 8. Wanaume na wanawake waliokamilika hawapo. Ila wanaume na wanawake bora wapo kila mahala. 9. Kama unampenda mtu, mueleze ukweli ajue. Na kama humpendi pia mweleze ukweli. Tuko nyuma ya muda.. Achana na Masuala ya kupotezeana muda..huo ni utoto. 10. Ajabu ni kwamba, mwanamke/mwanaume anaweza kukusaliti. Ila daima Mungu hawezi kukusaliti. Having GOD must be your primary focus then relationship should come second. Siku Njema..
    ·187 Просмотры
  • NANI MWAMBA KATI YA SIMBA NA YANGA ?

    A. REKODI ZA YANGA:

    1. Kama kuna timu imewahi kuinyanyasa SIMBA, basi ni YANGA. Hakuna timu imeifunga SIMBA mara nyingi toka ianzishwe 8.8.1936 kama YANGA.

    2. YANGA imetwaa ubingwa wa Ligi mara 30, SIMBA mara 22 ie Mama Samia ataondoka madarakani 2030 SIMBA ikiwa haijavunja rekodi hii hata ikishinda mfululizo!

    3. YANGA imeshinda mechi nyingi zaidi za ligi kuliko SIMBA.

    4. YANGA imefunga magoli mengi ya Ligi kuliko SIMBA. YANGA ndio imefungwa mabao machache zaidi mechi za watani.

    5. YANGA imeshinda mechi nyingi za watani kuliko SIMBA. Mechi 4 za mwisho, SIMBA kafa zote!

    6. YANGA ndio ilishinda pambano la kwanza la watani (Juni 7, 1965)

    7. YANGA imetoa mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi ya ligi kwa misimu mingi (Kitwana Manara).

    8. YANGA imetoa mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi kwa msimu mmoja (MOHAMMED HUSSEIN "MMACHINGA")

    9. YANGA imetoa Mchezaji Bora kuwahi kutokea nchini (SUNDAY MANARA "COMPUTER").

    10. YANGA ilitoa mchezaji wa _"Kombaini ya Afrika 1973"_ (MAULID DILUNGA)1973. Kamba za SIMBA kuwa nao walitoa mchezaji (OMAR MAHADHI ziliumbuliwa baada ya kubainika MAHADHI alijiunga SIMBA 1975. 1973 MAHADHI alikuwa African Sports!)

    11. YANGA ndio timu iliyoshinda pambano la Kihistoria na Bora kuliko yote ya watani (Nyamagana 10.8.1974: 2-1)

    12. YANGA ndio timu pekee iliyofika fainali kombe la 2 kwa ukubwa Afrika (CAF Confederation cup 2023). SIMBA ilifika fainali 1993 kwenye kombe lililokuwa la 3 kwa hadhi ie "Caf cup". Kombe hili lilikuwa nyuma ya Kombe la Klabu Bingwa na Kombe la Washindi). Kwenye fainali, YANGA ilikosa kombe kwa Kanuni ya goli la ugenini (2-2) ila SIMBA ilikandwa kiduwanzi 2-0.

    13. YANGA ndio timu pekee nchini iliyowahi kuingia "TOP 5" ya kinyang'anyiro cha timu bora Afrika (2023).

    14. YANGA ndio timu pekee iliyotwaa ubingwa nje ya nchi (1993 & 1999)

    15. YANGA ndio timu iliyoalikwa Ikulu na Marais wengi kuliko timu yeyote (Novemba 11, 1969 ilialikwa na Rais Nyerere, Februari 4, 1993 ilialikwa na Rais Mwinyi na Juni 4, 2023 ilialikwa na Rais Samia).

    16. YANGA ndiyo timu pekee nchini iliyowahi kualikwa kwenye sherehe za uhuru wa Taifa jingine (Malawi Julai 7, 2023).

    17. YANGA iliweka rekodi (2023) ya kuwa timu ya kwanza nchini kushinda mechi nyingi zaidi nje ya nchi michuano ya Afrika

    *NB:* Mashabiki maandazi wa SIMBA wanalialia eti YANGA inapata mafanikio kwaajili GSM anadhamini timu nyingi. Huu ni Upuuzi wa kiwango cha SGR! Kwani GSM alikuepo 1960s, 1970s, 1980s, nk ?

    B. REKODI MUJARAB ZA SIMBA:

    1. Bw. Ramadhani Ali, Mnazi kindakindaki wa SIMBA, aliweka rekodi ya watani baada ya kumkabidhi mkewe, Bi Mwajuma Sadiki Ali kwa mnazi wa Yanga, Bw. Juma Gobe, magomeni Juni 1, 1968 baada ya Yanga kuitandika SIMBA 5-0. Hao jamaa walikuwa wamepinga kabla ya mechi kuwa timu itakayofungwa, aliyefungwa atamgawa mkewe !.

    2. SIMBA ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuweka mpira kwapani mechi ya watani (Machi 3, 1969)

    3. Mnazi wa Simba wa Tabora aliandika rekodi ya kujiua kwa kujitumbukiza kwenye pipa la mafuta baada ya SIMBA kufungwa 2-1 Nyamagana 10.8.1974. Timu ya SIMBA ilionesha ubinadamu ilipoenda Tabora kuhani msiba. Abdallah Kibaden "King" ndiye aliyekabidhi ubani.

    4. Nicco Njohole wa SIMBA aliliaibisha Taifa baada ya kupigwa umeme 1979 Nchumbiji kwa kukojoa uwanjani!

    5. Mwaka 1987, Kiongozi 1 wa SIMBA alienda kwa Idd Pazi, kipa wa PILSNER wakakubaliana ampe Tshs 50,000 ili afungishe kwenye mechi ya kwanza. SIMBA ilikiwa inachungulia kaburi. Kiongozi huyo akampa Tshs 25,000/= tu, hakumalizia. SIMBA ikatandikwa 2-0.

    6. Kwenye mechi ya pili, PAZI aliitwa nyumbani kwa Mwenyekiti Yusuph Hazzali Ilala. Akamkuta na kapteni Malota Soma. Wakamsihi sana afungishe kwani ye ni "mwana" ila hawakumpa fedha. PAZI akamsimulia JAMHURI KIHWELU ambaye alikataa ujinga huo. Dakika ya 10 tu, Zicco wa Kilosa akafunga. Kabla ya HT, PAZI akaachia mpira uingie wavuni lakini JAMHURI akaenda kuuokolea kwenye chaki! Kipindi cha pili PAZI akaachia goli, SIMBA iliyopachikwa jina "Guluguja" kwa kufungwafungwa, ikaambulia sare !

    7. Mwaka 1987, SIMBA ilikuwa inashika mkia. Kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Bingwa mtetezi Tukuyu stars, ilitakiwa kutoa sare 5-5 ili inusurike kushuka daraja. Na kweli ikala njama na Tukuyu stars zikatoka sare 5-5. FAT ikaishia tu kuzionya!

    8. SIMBA imenusurika kushuka daraja mara 3 mfululizo (1987, 1988 & 1989).

    9. Novemba 30, 1993, SIMBA ililazimika kutia kiberiti makontena 5 ya Khanga zilizoandikwa _"SIMBA BINGWA CAF 1993"_ baada ya kufilimbwa 2-0 na Stela Abidjan.

    10. Manazi wa SIMBA waliandika rekodi ya kung'oa viti Oktoba 1, 2016.

    11. SIMBA ililiaibisha Taifa kwa uchawi kwa kuwasha moto uwanjani mbungi dhidi ya Orlando Pirates Aprili 25, 2022 na Caf kuilima faini $ 10,000

    12. Manazi wa SIMBA waliweka rekodi ya kulipiga mawe basi lao toka Ntwara hadi Dsm kote lilikopita baada ya kuchalazwa 2-1 na Azam Mei 8, 2023 uwanja wa Nangwanda Sijaona.

    13. SIMBA ina tabia za Mbwa koko- Mbwa koko hubweka nyumbani tu. SIMBA haijawahi kutwaa kombe nje ya nchi. SIMBA hutia aibu sana mechi za kimataifa nje ya nchi, inategemea Bongo _"Kwa Mkapa Hatoki Mtu"_!

    14. Manazi wa SIMBA walifanya tukio la hovyo kuwahi kutokea katika Historia ya mpira wa miguu. Hassan Dalali aliwahi kusimulia kwa uchungu :

    _"Simba tulipofungwa na Azzam 2-1, mashabiki wetu walifanya tukio la hovyo kupita kiasi. Walienda Kariakoo wakanunua mapera wakala. Zikaja coaster 3 nyumbani kwangu. Wakaanza kupiga mawe nyumba yangu. Haraka nikaificha familia yangu. Wakaingia wakaanza kunya sebuleni na kwingine. Nikawauliza wamemaliza? Nikawaambia waende uani kuna jaba la maji wakajisafishe. Walinisikitisha sana kwani walienda hadi chumba maalum nikako swalia wakanya. Nilihuzunika sana. Siku ya pili nikaenda klabuni nikajiuzulu"
    NANI MWAMBA KATI YA SIMBA NA YANGA ? A. REKODI ZA YANGA: 1. Kama kuna timu imewahi kuinyanyasa SIMBA, basi ni YANGA. Hakuna timu imeifunga SIMBA mara nyingi toka ianzishwe 8.8.1936 kama YANGA. 2. YANGA imetwaa ubingwa wa Ligi mara 30, SIMBA mara 22 ie Mama Samia ataondoka madarakani 2030 SIMBA ikiwa haijavunja rekodi hii hata ikishinda mfululizo! 3. YANGA imeshinda mechi nyingi zaidi za ligi kuliko SIMBA. 4. YANGA imefunga magoli mengi ya Ligi kuliko SIMBA. YANGA ndio imefungwa mabao machache zaidi mechi za watani. 5. YANGA imeshinda mechi nyingi za watani kuliko SIMBA. Mechi 4 za mwisho, SIMBA kafa zote! 6. YANGA ndio ilishinda pambano la kwanza la watani (Juni 7, 1965) 7. YANGA imetoa mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi ya ligi kwa misimu mingi (Kitwana Manara). 8. YANGA imetoa mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi kwa msimu mmoja (MOHAMMED HUSSEIN "MMACHINGA") 9. YANGA imetoa Mchezaji Bora kuwahi kutokea nchini (SUNDAY MANARA "COMPUTER"). 10. YANGA ilitoa mchezaji wa _"Kombaini ya Afrika 1973"_ (MAULID DILUNGA)1973. Kamba za SIMBA kuwa nao walitoa mchezaji (OMAR MAHADHI ziliumbuliwa baada ya kubainika MAHADHI alijiunga SIMBA 1975. 1973 MAHADHI alikuwa African Sports!) 11. YANGA ndio timu iliyoshinda pambano la Kihistoria na Bora kuliko yote ya watani (Nyamagana 10.8.1974: 2-1) 12. YANGA ndio timu pekee iliyofika fainali kombe la 2 kwa ukubwa Afrika (CAF Confederation cup 2023). SIMBA ilifika fainali 1993 kwenye kombe lililokuwa la 3 kwa hadhi ie "Caf cup". Kombe hili lilikuwa nyuma ya Kombe la Klabu Bingwa na Kombe la Washindi). Kwenye fainali, YANGA ilikosa kombe kwa Kanuni ya goli la ugenini (2-2) ila SIMBA ilikandwa kiduwanzi 2-0. 13. YANGA ndio timu pekee nchini iliyowahi kuingia "TOP 5" ya kinyang'anyiro cha timu bora Afrika (2023). 14. YANGA ndio timu pekee iliyotwaa ubingwa nje ya nchi (1993 & 1999) 15. YANGA ndio timu iliyoalikwa Ikulu na Marais wengi kuliko timu yeyote (Novemba 11, 1969 ilialikwa na Rais Nyerere, Februari 4, 1993 ilialikwa na Rais Mwinyi na Juni 4, 2023 ilialikwa na Rais Samia). 16. YANGA ndiyo timu pekee nchini iliyowahi kualikwa kwenye sherehe za uhuru wa Taifa jingine (Malawi Julai 7, 2023). 17. YANGA iliweka rekodi (2023) ya kuwa timu ya kwanza nchini kushinda mechi nyingi zaidi nje ya nchi michuano ya Afrika *NB:* Mashabiki maandazi wa SIMBA wanalialia eti YANGA inapata mafanikio kwaajili GSM anadhamini timu nyingi. Huu ni Upuuzi wa kiwango cha SGR! Kwani GSM alikuepo 1960s, 1970s, 1980s, nk ? B. REKODI MUJARAB ZA SIMBA: 1. Bw. Ramadhani Ali, Mnazi kindakindaki wa SIMBA, aliweka rekodi ya watani baada ya kumkabidhi mkewe, Bi Mwajuma Sadiki Ali kwa mnazi wa Yanga, Bw. Juma Gobe, magomeni Juni 1, 1968 baada ya Yanga kuitandika SIMBA 5-0. Hao jamaa walikuwa wamepinga kabla ya mechi kuwa timu itakayofungwa, aliyefungwa atamgawa mkewe !. 2. SIMBA ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuweka mpira kwapani mechi ya watani (Machi 3, 1969) 3. Mnazi wa Simba wa Tabora aliandika rekodi ya kujiua kwa kujitumbukiza kwenye pipa la mafuta baada ya SIMBA kufungwa 2-1 Nyamagana 10.8.1974. Timu ya SIMBA ilionesha ubinadamu ilipoenda Tabora kuhani msiba. Abdallah Kibaden "King" ndiye aliyekabidhi ubani. 4. Nicco Njohole wa SIMBA aliliaibisha Taifa baada ya kupigwa umeme 1979 Nchumbiji kwa kukojoa uwanjani! 5. Mwaka 1987, Kiongozi 1 wa SIMBA alienda kwa Idd Pazi, kipa wa PILSNER wakakubaliana ampe Tshs 50,000 ili afungishe kwenye mechi ya kwanza. SIMBA ilikiwa inachungulia kaburi. Kiongozi huyo akampa Tshs 25,000/= tu, hakumalizia. SIMBA ikatandikwa 2-0. 6. Kwenye mechi ya pili, PAZI aliitwa nyumbani kwa Mwenyekiti Yusuph Hazzali Ilala. Akamkuta na kapteni Malota Soma. Wakamsihi sana afungishe kwani ye ni "mwana" ila hawakumpa fedha. PAZI akamsimulia JAMHURI KIHWELU ambaye alikataa ujinga huo. Dakika ya 10 tu, Zicco wa Kilosa akafunga. Kabla ya HT, PAZI akaachia mpira uingie wavuni lakini JAMHURI akaenda kuuokolea kwenye chaki! Kipindi cha pili PAZI akaachia goli, SIMBA iliyopachikwa jina "Guluguja" kwa kufungwafungwa, ikaambulia sare ! 7. Mwaka 1987, SIMBA ilikuwa inashika mkia. Kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Bingwa mtetezi Tukuyu stars, ilitakiwa kutoa sare 5-5 ili inusurike kushuka daraja. Na kweli ikala njama na Tukuyu stars zikatoka sare 5-5. FAT ikaishia tu kuzionya! 8. SIMBA imenusurika kushuka daraja mara 3 mfululizo (1987, 1988 & 1989). 9. Novemba 30, 1993, SIMBA ililazimika kutia kiberiti makontena 5 ya Khanga zilizoandikwa _"SIMBA BINGWA CAF 1993"_ baada ya kufilimbwa 2-0 na Stela Abidjan. 10. Manazi wa SIMBA waliandika rekodi ya kung'oa viti Oktoba 1, 2016. 11. SIMBA ililiaibisha Taifa kwa uchawi kwa kuwasha moto uwanjani mbungi dhidi ya Orlando Pirates Aprili 25, 2022 na Caf kuilima faini $ 10,000 12. Manazi wa SIMBA waliweka rekodi ya kulipiga mawe basi lao toka Ntwara hadi Dsm kote lilikopita baada ya kuchalazwa 2-1 na Azam Mei 8, 2023 uwanja wa Nangwanda Sijaona. 13. SIMBA ina tabia za Mbwa koko- Mbwa koko hubweka nyumbani tu. SIMBA haijawahi kutwaa kombe nje ya nchi. SIMBA hutia aibu sana mechi za kimataifa nje ya nchi, inategemea Bongo _"Kwa Mkapa Hatoki Mtu"_! 14. Manazi wa SIMBA walifanya tukio la hovyo kuwahi kutokea katika Historia ya mpira wa miguu. Hassan Dalali aliwahi kusimulia kwa uchungu : _"Simba tulipofungwa na Azzam 2-1, mashabiki wetu walifanya tukio la hovyo kupita kiasi. Walienda Kariakoo wakanunua mapera wakala. Zikaja coaster 3 nyumbani kwangu. Wakaanza kupiga mawe nyumba yangu. Haraka nikaificha familia yangu. Wakaingia wakaanza kunya sebuleni na kwingine. Nikawauliza wamemaliza? Nikawaambia waende uani kuna jaba la maji wakajisafishe. Walinisikitisha sana kwani walienda hadi chumba maalum nikako swalia wakanya. Nilihuzunika sana. Siku ya pili nikaenda klabuni nikajiuzulu"
    Love
    Like
    Wow
    7
    3 Комментарии ·898 Просмотры

    Haha
    Wow
    Sad
    6
    2 Комментарии ·885 Просмотры
  • #lah
    #lah
    ·74 Просмотры
  • Kumbe kama fb had laha
    Kumbe kama fb had laha
    ·184 Просмотры
  • .... 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦

    Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi

    Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga:

    Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM).

    ➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo.

    ➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda.

    Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ?

    Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2).

    MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi.

    Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?!

    By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO.

    Manchester United 0 - 3 Liverpool
    ➜ MOTM : Mohamed Salah.

    Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur
    ➜ MOTM : Alexander Isak.

    Man United 1 - 0 Fullham
    ➜ MOTM : Joshua Zirkzee

    Brentford 3 - 1 Southampton
    ➜ MOTM : Bryan Mbeumo

    Everton 2 - 3 Bournemouth
    ➜ MOTM : Antoine Semenyo

    Leicester City 1 - 2 Aston Villa
    ➜ MOTM : Jhòn Duran

    West Ham 1 - 3 Man City
    ➜ MOTM : Erling Haaland

    Real Madrid 2 - 0 Betis
    ➜ Kylian Mbape.

    Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!!

    Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!?

    Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
    .... ℹ️ 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦 Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga: Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM). ➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo. ➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda. ℹ️ Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ? Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2). MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi. Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?! By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO. Manchester United 0 - 3 Liverpool ➜ MOTM : Mohamed Salah. Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur ➜ MOTM : Alexander Isak. Man United 1 - 0 Fullham ➜ MOTM : Joshua Zirkzee Brentford 3 - 1 Southampton ➜ MOTM : Bryan Mbeumo Everton 2 - 3 Bournemouth ➜ MOTM : Antoine Semenyo Leicester City 1 - 2 Aston Villa ➜ MOTM : Jhòn Duran West Ham 1 - 3 Man City ➜ MOTM : Erling Haaland Real Madrid 2 - 0 Betis ➜ Kylian Mbape. ℹ️ Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!! 😀 Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!? Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
    Like
    3
    1 Комментарии ·464 Просмотры
  • #trustallah
    #trustallah
    ·381 Просмотры
  • #allahuakbar #allah
    #allahuakbar #allah
    Like
    1
    ·391 Просмотры
  • Maisha ya online yangekuwa ya kwako wallah taifa lingejivunis
    Maisha ya online yangekuwa ya kwako wallah taifa lingejivunis
    ·228 Просмотры
  • Allah
    Allah
    ·211 Просмотры
  • Mshambuliaji Ranga Chivaviro wa Kaizer Chiefs ambaye aliwahi kuwindwa na Yanga akachomoa dakika za mwisho, amesema Yanga iliwaweka kwenye wakati mgumu ambapo nidhamu yao wakati hawana mpira ni ilikuwa kitu kigumu kwao kuweza kuhimili.

    Chivaviro ambaye ana asili ya Zimbabwe, alisema walikutana na kipimo kigumu katika mchezo wa kwanza wa kirafiki tangu waanze maandalizi.

    "Ilikuwa ngumu kwetu, ni kama hawakutupa nafasi ya kujipanga wakati tukiwa tuna mpira, walikuwa wanalazimisha haraka tuupoteze uwe chini yao nadhani ndio silaha waliyoitumia kutengeneza ushindi kama ule," alisema mshambuliaji huyo wa zamani wa Marumo Gallants.

    "Unajua huu ulikuwa mchezo wetu wa kwanza wa kirafiki wenzetu walionekana kuwa wepesi kuliko sisi ilitufanya kuonekana hatukuwa tayari kukutana na watu kama wao, nadhani tutabadilika kwa kuwa tupo chini ya makocha wapya ambao wanaaanza kutupa falsafa mpya."
    Mshambuliaji Ranga Chivaviro wa Kaizer Chiefs ambaye aliwahi kuwindwa na Yanga akachomoa dakika za mwisho, amesema Yanga iliwaweka kwenye wakati mgumu ambapo nidhamu yao wakati hawana mpira ni ilikuwa kitu kigumu kwao kuweza kuhimili. Chivaviro ambaye ana asili ya Zimbabwe, alisema walikutana na kipimo kigumu katika mchezo wa kwanza wa kirafiki tangu waanze maandalizi. "Ilikuwa ngumu kwetu, ni kama hawakutupa nafasi ya kujipanga wakati tukiwa tuna mpira, walikuwa wanalazimisha haraka tuupoteze uwe chini yao nadhani ndio silaha waliyoitumia kutengeneza ushindi kama ule," alisema mshambuliaji huyo wa zamani wa Marumo Gallants. "Unajua huu ulikuwa mchezo wetu wa kwanza wa kirafiki wenzetu walionekana kuwa wepesi kuliko sisi ilitufanya kuonekana hatukuwa tayari kukutana na watu kama wao, nadhani tutabadilika kwa kuwa tupo chini ya makocha wapya ambao wanaaanza kutupa falsafa mpya."
    ·248 Просмотры
  • FULL TIME

    Simba Sc 2-1 Al Adalah

    9' Steven Mukwala ( Fabrice Ngoma)
    32' Joshua Mutale
    FULL TIME Simba Sc 🇹🇿 2-1 Al Adalah 🇸🇦 ⚽ 9' Steven Mukwala (🎯 Fabrice Ngoma) ⚽ 32' Joshua Mutale
    Like
    2
    ·112 Просмотры
Расширенные страницы