Upgrade to Pro

  • UZI MPYA WA UBAYA UBWELA CAF2024/25
    UZI MPYA WA UBAYA UBWELA CAF2024/25
    ·60 Views
  • UBAYA UBWELA

    Umependa jezi ipi hapo
    #paulswai
    UBAYA UBWELA 🔥🔥🔥 Umependa jezi ipi hapo #paulswai
    Love
    Like
    6
    2 Reacties ·285 Views
  • AFCON YA UBAYA UBWELA

    #paulswai
    AFCON YA UBAYA UBWELA 🔥🔥 #paulswai
    Like
    Love
    5
    2 Reacties ·319 Views
  • Yamesemwa na Meja Kunta (Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania).

    "Tuishi kwa kujifunza Mitazamo tofauti Ya watu wengi ina mshutumu Huyu dada Mdogo Mwenye Upeo Mkubwa wa kujiongeza. Kilasiku Anakuwa mkubwa zaidi sababu ya Utashi wake Na uthubutu wake Mwenyewe Haimbi wala Kuigiza but jina Lake Linapanda Kila leo

    Kiukweli nina Washangaa wengi walio Ingilia Na kushadadia hili Suala tena Kwa ubaya mna Toa maneno ya moyoni Kisa huyu binti Kuchangisha kwa sababu ya watu je alichangisha kwa Siri..? Lengo lake lilikuwa Lipi..? Je wewe Unaesema yeye Mwizi wewe Umefanya lipi..? Why tunapenda kukuza Mambo ikiwa ata Kwenye mambo serious Je mnajua Jambo Mpaka Serikali ikiliingilia Mnajua yupo kwenye wakati gani ..?

    Em wewe vaa kiatu chake sasahivi Mpaka Waziri Mkuu Ameingilia na kusema utafutwe Popote ulipo Ungefanya nini ??

    Mimi nimevaa Na nimeona Niffer Anahitaji Huruma ya wengi ili Kumalizana na hili Suala"
    Yamesemwa na Meja Kunta (Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania). "Tuishi kwa kujifunza Mitazamo tofauti Ya watu wengi ina mshutumu Huyu dada Mdogo Mwenye Upeo Mkubwa wa kujiongeza. Kilasiku Anakuwa mkubwa zaidi sababu ya Utashi wake Na uthubutu wake Mwenyewe Haimbi wala Kuigiza but jina Lake Linapanda Kila leo Kiukweli nina Washangaa wengi walio Ingilia Na kushadadia hili Suala tena Kwa ubaya mna Toa maneno ya moyoni Kisa huyu binti Kuchangisha kwa sababu ya watu je alichangisha kwa Siri..? Lengo lake lilikuwa Lipi..? Je wewe Unaesema yeye Mwizi wewe Umefanya lipi..? Why tunapenda kukuza Mambo ikiwa ata Kwenye mambo serious Je mnajua Jambo Mpaka Serikali ikiliingilia Mnajua yupo kwenye wakati gani ..? Em wewe vaa kiatu chake sasahivi Mpaka Waziri Mkuu Ameingilia na kusema utafutwe Popote ulipo Ungefanya nini ?? Mimi nimevaa Na nimeona Niffer Anahitaji Huruma ya wengi ili Kumalizana na hili Suala"
    ·164 Views
  • Yule dogo uliyemuita kwenye interview jana, na wakati umeandaa majina yako, amepoteza tumaini tayari.

    Yule kijana uliyemfelisha mtihani kwasababu anapendwa na binti anayekukataa, karudi kwao kulima..

    Yule mchizi uliyemchongea kwa boss, kafukuzwa kazi na hana maisha tena.

    Yule manzi uliyeenda kumsemea ubaya kwa bwana wake, amepoteza ile ndoa na familia yake imemtenga.

    Yule dogo uliyemsema hadharani, tena kwa ukali, amepoteza tayari ile ndoto kwa kujiona hawezi.

    Yule mshindani wako kibiashara, uliyeenda kumroga, kwa sasa Hana mbele wala nyuma.

    Yule ambaye kwako thamani yake ni kama Kijiji tena kisicho na umeme, chenye ukame wa maji..

    Kwa wengine anatazamwa kama dunia, yenye kila utajiri..

    Binadamu sisi ni viburi, wajuaji, lakini kabla haujatuhukumu tazama utawaumiza wangapi walio nyuma yetu. Kisha chagua huruma..

    #BagaBoy
    #Mauzoo

    Credit Azizi kasese
    Yule dogo uliyemuita kwenye interview jana, na wakati umeandaa majina yako, amepoteza tumaini tayari. Yule kijana uliyemfelisha mtihani kwasababu anapendwa na binti anayekukataa, karudi kwao kulima.. Yule mchizi uliyemchongea kwa boss, kafukuzwa kazi na hana maisha tena. Yule manzi uliyeenda kumsemea ubaya kwa bwana wake, amepoteza ile ndoa na familia yake imemtenga. Yule dogo uliyemsema hadharani, tena kwa ukali, amepoteza tayari ile ndoto kwa kujiona hawezi. Yule mshindani wako kibiashara, uliyeenda kumroga, kwa sasa Hana mbele wala nyuma. Yule ambaye kwako thamani yake ni kama Kijiji tena kisicho na umeme, chenye ukame wa maji.. Kwa wengine anatazamwa kama dunia, yenye kila utajiri.. Binadamu sisi ni viburi, wajuaji, lakini kabla haujatuhukumu tazama utawaumiza wangapi walio nyuma yetu. Kisha chagua huruma.. #BagaBoy #Mauzoo Credit Azizi kasese
    ·267 Views
  • Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi.

    Malalamiko, ubishi na kelele vinamuudhi kila mwanaume, ila utulivu na unyenyekevu unamfanya mwanaume awe mpole kwako.

    Ubaya wowote wa mwanaume hutokea kwa sababu fulani na uwezo wa kukabiliana na huo ubaya upo katika busara za mwanamke wake.

    Kutambua maumivu ya mwanamke ni rahisi, kwa sababu hawezi kukaa nayo moyoni ni wazi atamueleza yule anaemuamini. Ila wanaume maumivu yao ni ya ndani kwa ndani na kuweza kuyang'amua inahitaji mwanamke aliye na busara ya kiungu.

    Mwisho wa siku maneno yatokayo kinywani mwako ndio ya msingi zaidi kuliko uzuri wako. Hivyo basi wekeza katika maneno yaliyo jaa busara na hekima.

    Mtii mwanaume na mpe heshima yake nae atakufanya uwe msaidizi wa kila kitu anachokifanya. Jifunze kutengeneza 'mood' ya mwanaume wako na utafanikiwa kuushinda moyo wake.

    Mwanaume yupo tayari akushirikishe mambo yake yote kama ataona 'maturity' kubwa uliyonayo. Ni vema kama mawazo yako ni ya kawaida (mediocrity) ukajiongeza na kuleta mawazo yenye tija ili aweze kukuamini.

    Wanawake wapo kila mahala tena ni wengi kuliko wanaume ila Malikia wa nguvu ni wachache mno. Jitengeneze kuwa malikia wa nguvu, ili mfalme wa nguvu aje katika maisha yako.

    Mwanamke atajenga nyumba yake kwa kinywa chake kilichojaa maneno ya busara.

    Busara yangu: For a man wins nothing better than a good wife, and then again nothing deadlier than a bad one!!

    Je wewe ni malikia wa nguvu?
    Uzuri huvutia wanaume, ila busara pekee ndio itakufanya udumu katika mahusiano. Ushawishi unaweza ukadaka utulivu wa mwanaume ila akili yako kubwa inaweza ikafanikiwa kumshawishi. Malalamiko, ubishi na kelele vinamuudhi kila mwanaume, ila utulivu na unyenyekevu unamfanya mwanaume awe mpole kwako. Ubaya wowote wa mwanaume hutokea kwa sababu fulani na uwezo wa kukabiliana na huo ubaya upo katika busara za mwanamke wake. Kutambua maumivu ya mwanamke ni rahisi, kwa sababu hawezi kukaa nayo moyoni ni wazi atamueleza yule anaemuamini. Ila wanaume maumivu yao ni ya ndani kwa ndani na kuweza kuyang'amua inahitaji mwanamke aliye na busara ya kiungu. Mwisho wa siku maneno yatokayo kinywani mwako ndio ya msingi zaidi kuliko uzuri wako. Hivyo basi wekeza katika maneno yaliyo jaa busara na hekima. Mtii mwanaume na mpe heshima yake nae atakufanya uwe msaidizi wa kila kitu anachokifanya. Jifunze kutengeneza 'mood' ya mwanaume wako na utafanikiwa kuushinda moyo wake. Mwanaume yupo tayari akushirikishe mambo yake yote kama ataona 'maturity' kubwa uliyonayo. Ni vema kama mawazo yako ni ya kawaida (mediocrity) ukajiongeza na kuleta mawazo yenye tija ili aweze kukuamini. Wanawake wapo kila mahala tena ni wengi kuliko wanaume ila Malikia wa nguvu ni wachache mno. Jitengeneze kuwa malikia wa nguvu, ili mfalme wa nguvu aje katika maisha yako. Mwanamke atajenga nyumba yake kwa kinywa chake kilichojaa maneno ya busara. Busara yangu: For a man wins nothing better than a good wife, and then again nothing deadlier than a bad one!! Je wewe ni malikia wa nguvu?
    ·219 Views
  • UBAYA UBWELA
    #paulswai
    UBAYA UBWELA 😂 #paulswai
    Like
    1
    ·156 Views
  • Kikosi cha Ubaya Ubwela. NBCPremierLeague
    #paulswai
    Kikosi cha Ubaya Ubwela. NBCPremierLeague #paulswai
    Like
    Love
    2
    ·197 Views
  • TAREHE 19 NI UBAYA UBWELA
    #paulswai
    TAREHE 19 NI UBAYA UBWELA #paulswai
    Like
    3
    ·152 Views ·30 Views
  • TAREHE 19/10/2024 NI MWENDO WA UBAYA UBWELA
    #paulswai
    TAREHE 19/10/2024 NI MWENDO WA UBAYA UBWELA #paulswai
    Like
    2
    1 Reacties ·136 Views
  • hii inaitwa UBAYA UBWELA

    #paulswai
    😂😂😂😀😀 hii inaitwa UBAYA UBWELA 😂🤣 #paulswai
    Like
    1
    ·138 Views ·10 Views
  • Simba wamesema watafika fainali na kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho barani Afrika

    Kupitia ukurasa rasmi wa instagram wa CAF kwa ajili ya mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika la ligi ya mabingwa barani Afrika waliuliza Simba SC watafika katika hatua gani.

    Simba kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram wakajibu hatua ya fainali na watachukua ubingwa wa kombe hilo.

    Mwanasimba jipige kifua ubaya ubwela unafika fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika

    #paulswai
    Simba wamesema watafika fainali na kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho barani Afrika Kupitia ukurasa rasmi wa instagram wa CAF kwa ajili ya mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika la ligi ya mabingwa barani Afrika waliuliza Simba SC watafika katika hatua gani. Simba kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram wakajibu hatua ya fainali na watachukua ubingwa wa kombe hilo. Mwanasimba jipige kifua ubaya ubwela unafika fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika #paulswai
    Like
    1
    ·186 Views

  • Simba wamesema watafika fainali na kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho barani Afrika .

    Kupitia ukurasa rasmi wa instagram wa CAF kwa ajili ya mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika la ligi ya mabingwa barani Afrika waliuliza Simba SC watafika katika hatua gani.

    Simba kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram wakajibu hatua ya fainali na watachukua ubingwa wa kombe hilo.

    Mwanasimba jipige kifua ubaya ubwela unafika fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika

    #paulswai
    📱Simba wamesema watafika fainali na kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho barani Afrika . 📱 Kupitia ukurasa rasmi wa instagram wa CAF kwa ajili ya mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika la ligi ya mabingwa barani Afrika waliuliza Simba SC watafika katika hatua gani. 📱 Simba kupitia ukurasa wake rasmi wa instagram wakajibu hatua ya fainali na watachukua ubingwa wa kombe hilo. 📱 Mwanasimba jipige kifua ubaya ubwela unafika fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika #paulswai
    Like
    1
    ·188 Views

  • UBAYA UBWELA MPAKA KWA MTAA
    #paulswai
    UBAYA UBWELA MPAKA KWA MTAA😁😁 #paulswai
    Like
    1
    ·169 Views ·19 Views
  • Nimekaa nikawaza mwisho nikagundua ya kuwa…

    "Mchezo dhidi ya Coastal Union umetupa mwanga wa mechi ya derby, yale makosa ambayo yalitakiwa yakafanyike kwenye derby yameanza kuonekana kabla ya mchezo wenyewe."

    "Nadhani mwalimu kayaona makosa mengi sana dhidi ya Coastal Union ambayo yanaweza kurekebishika na tukafanya vizuri zaidi kwenye mechi ijayo."

    "Lakini pia ni matokeo ya mchezo mzma ambayo yanaweza kuleta chachu kwa wachezaji kwenda kupambana dhidi ya WATANI ili kuhakikisha tunaukata mzizi wa fitina na kuendelea kukaa juu ya msimamo.."

    "Kudondosha alama 2 dhidi ya Coastal Union ni jambo ambalo halikutegemewa na wengi lkn kama tunatambua misingi ya mpira basi alam moja ni muhimu sana kuliko kukosa kabisa.."

    "Bado mapema sana na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuchukua ubingwa mpaka sasa pengne level za akina KenGold ndio timu ambazo zimeanza kujua wapi wataishia japo hata wao wanaamini watafanya vizuri ili wasalie ligi kuu.."

    "Mashabiki jukumu letu ni kuendelea kuisapoti timu yetu popote inapokuwa na kwa hali yoyote maana sisi ndio wachezaji wa 12 na tuna mchango wetu kwenye timu hasa upatikanaji wa matokeo.."

    "Tarehe 19 tujitokeze kwa wingi kuendelea kuisapoti timu yetu pendwa ya Simba Sc.."

    "SimbaNguvuMoja
    "UbayaUbwela.

    #paulswai
    Nimekaa nikawaza mwisho nikagundua ya kuwa… "Mchezo dhidi ya Coastal Union umetupa mwanga wa mechi ya derby, yale makosa ambayo yalitakiwa yakafanyike kwenye derby yameanza kuonekana kabla ya mchezo wenyewe." "Nadhani mwalimu kayaona makosa mengi sana dhidi ya Coastal Union ambayo yanaweza kurekebishika na tukafanya vizuri zaidi kwenye mechi ijayo." "Lakini pia ni matokeo ya mchezo mzma ambayo yanaweza kuleta chachu kwa wachezaji kwenda kupambana dhidi ya WATANI ili kuhakikisha tunaukata mzizi wa fitina na kuendelea kukaa juu ya msimamo.." "Kudondosha alama 2 dhidi ya Coastal Union ni jambo ambalo halikutegemewa na wengi lkn kama tunatambua misingi ya mpira basi alam moja ni muhimu sana kuliko kukosa kabisa.." "Bado mapema sana na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuchukua ubingwa mpaka sasa pengne level za akina KenGold ndio timu ambazo zimeanza kujua wapi wataishia japo hata wao wanaamini watafanya vizuri ili wasalie ligi kuu.." "Mashabiki jukumu letu ni kuendelea kuisapoti timu yetu popote inapokuwa na kwa hali yoyote maana sisi ndio wachezaji wa 12 na tuna mchango wetu kwenye timu hasa upatikanaji wa matokeo.." "Tarehe 19 tujitokeze kwa wingi kuendelea kuisapoti timu yetu pendwa ya Simba Sc.." "SimbaNguvuMoja "UbayaUbwela. #paulswai
    Like
    1
    ·476 Views
  • UBAYA UBWELA
    #paulswai
    UBAYA UBWELA 🦁🦁🔥🔥💪 #paulswai
    Like
    2
    ·197 Views ·34 Views
  • HII NDIO MAANA HALISI YA UBAYA UBWELA!!!!!!

    Haya Mambo ya Man Of the Match Simba kwa Misimu mitatu mfululizo walikua wanazisikia kwenye bomba lakini Msimu huu , wanabeba kila Mechi ,

    Hizi tuzo zina Maana kubwa sana kwa Wachezaji wa Simba, kuongeza Upambanaji uwanjani lakini , Kucheza jihadi kila mechi hadi wanawapa tabu Kamati ya tuzo wampe nani kwasababu kila Mchezaji anaonesha ubora Mkubwa

    UBAYA UBWELA UMERUDI MSIMBAZI

    #paulswai
    HII NDIO MAANA HALISI YA UBAYA UBWELA!!!!!! Haya Mambo ya Man Of the Match Simba kwa Misimu mitatu mfululizo walikua wanazisikia kwenye bomba lakini Msimu huu , wanabeba kila Mechi , Hizi tuzo zina Maana kubwa sana kwa Wachezaji wa Simba, kuongeza Upambanaji uwanjani lakini , Kucheza jihadi kila mechi hadi wanawapa tabu Kamati ya tuzo wampe nani kwasababu kila Mchezaji anaonesha ubora Mkubwa 📌 UBAYA UBWELA UMERUDI MSIMBAZI #paulswai
    Like
    2
    1 Reacties ·339 Views
  • UBAYA UBWELA
    #paulswai
    UBAYA UBWELA 🔥🔥🔥 #paulswai
    Like
    Love
    2
    1 Reacties ·115 Views
  • 𝐉𝐔𝐌𝐋𝐀 𝗬𝗔𝗣𝗢 𝑴𝑨𝑻𝑨𝑻𝑼 𝙀𝙇𝙁𝙐 𝙆𝙐𝙈𝙄 𝙉𝘼𝙉𝘼𝙉𝙀 UBAYA UBWELA
    #paulswai
    𝐉𝐔𝐌𝐋𝐀 𝗬𝗔𝗣𝗢 𝑴𝑨𝑻𝑨𝑻𝑼 𝙀𝙇𝙁𝙐 𝙆𝙐𝙈𝙄 𝙉𝘼𝙉𝘼𝙉𝙀 UBAYA UBWELA 😂😂🤣 #paulswai
    Like
    1
    ·125 Views ·23 Views
  • UBAYA UBWELA
    #paulswai
    UBAYA UBWELA 🦁🔥 #paulswai
    Like
    3
    ·136 Views ·41 Views
Zoekresultaten