• Amesema Steve Nyerere.

    "Mstafuuu ,,, Ivi Mama Akipenda kwenda kuangalia Dabi,....Pale uwanja wa Taifa pamoja na Watanzania na mashabiki wa Simba na Yanga Si Itapendeza sana,......Naimani Timu zote zitafurahia kuazimisha Miaka 4 Ya Rais wetu Mpendwa kwa Kucheza Dabi,...Maana ndani ya Miaka 4 Ya Mh @samia_suluhu_hassan Soka Limekuwa kivutio kikubwa sana Na Muanko wa Soka umekuwa mkubwa Baada ya Mh Rais kuhakikisha sekta hii Inapiga hatua,......

    Kuazimisha Miaka 4 Ya kipenzi cha Watanzania Dr Samia Suluhu Hassan Dabi halafu mgeni Rasmi Mama Itapendeza Tutajaaaa balaaa,...Apo vipi.,.," - Steve Nyerere, Mwigizaji wa filamu Tanzania.

    Amesema Steve Nyerere. "Mstafuuu ,,, Ivi Mama Akipenda kwenda kuangalia Dabi,....Pale uwanja wa Taifa pamoja na Watanzania na mashabiki wa Simba na Yanga Si Itapendeza sana,......Naimani Timu zote zitafurahia kuazimisha Miaka 4 Ya Rais wetu Mpendwa kwa Kucheza Dabi,...Maana ndani ya Miaka 4 Ya Mh @samia_suluhu_hassan Soka Limekuwa kivutio kikubwa sana Na Muanko wa Soka umekuwa mkubwa Baada ya Mh Rais kuhakikisha sekta hii Inapiga hatua,...... Kuazimisha Miaka 4 Ya kipenzi cha Watanzania Dr Samia Suluhu Hassan Dabi halafu mgeni Rasmi Mama Itapendeza Tutajaaaa balaaa,...Apo vipi.,.," - Steve Nyerere, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
    0 Comments 0 Shares 222 Views
  • Jarida la Forbes toleo la mwaka huu wa 2025 limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa Watu Matajiri Duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Shilingi Trilioni 5.7 za Kitanzania. Mo Dewji, anakuwa tajiri namba 12 barani Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa kiwango hicho.

    2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha utajiri wa Mo
    Dewji umeongezeka na kufikia, dola bilioni 2.2 kutoka dola bilioni 1.8 mwaka jana.

    3. Orodha ya Forbes ya Matajiri wa Afrika kwa mwaka 2024 ilibainisha kuwa utajiri wa Mo Dewji umeongezeka kutoka dola bilioni 1.5 hadi bilioni 1.8.

    4. Licha ya utajiri huo, MO Dewji kupitia kampuni ya Mohamed Entrprises Limited (MeTL) imezalisha ajira 40,000 kwa Watanzania, kupitia biashara 126 zinazofanywa na kampuni hiyo.

    5. Lengo la Mo Dewji ni kuongeza ajira hadi kufikia laki moja kwa Watanzania na wana-Afrika Mashariki.

    6. Mo Dewji kupitia MoDewjl Foundation, imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maji, kuchimba visima, kukarabati na kutibu maji mkakati uliosaidia Watu zaidi ya 15,000 kupata maji salama ya kunywa.

    7. Utajiri wa Mo Dewji haikushia kwenye maji na afya pekee, umekwenda zaidi na kuwekeza katika tasnia ya michezo ambako ni sehemu ya Mmiliki akiwekeza
    asilimia 49 kwenye klabu ya Simba SC.

    Jarida la Forbes toleo la mwaka huu wa 2025 limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa Watu Matajiri Duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Shilingi Trilioni 5.7 za Kitanzania. Mo Dewji, anakuwa tajiri namba 12 barani Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa kiwango hicho. 2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha utajiri wa Mo Dewji umeongezeka na kufikia, dola bilioni 2.2 kutoka dola bilioni 1.8 mwaka jana. 3. Orodha ya Forbes ya Matajiri wa Afrika kwa mwaka 2024 ilibainisha kuwa utajiri wa Mo Dewji umeongezeka kutoka dola bilioni 1.5 hadi bilioni 1.8. 4. Licha ya utajiri huo, MO Dewji kupitia kampuni ya Mohamed Entrprises Limited (MeTL) imezalisha ajira 40,000 kwa Watanzania, kupitia biashara 126 zinazofanywa na kampuni hiyo. 5. Lengo la Mo Dewji ni kuongeza ajira hadi kufikia laki moja kwa Watanzania na wana-Afrika Mashariki. 6. Mo Dewji kupitia MoDewjl Foundation, imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maji, kuchimba visima, kukarabati na kutibu maji mkakati uliosaidia Watu zaidi ya 15,000 kupata maji salama ya kunywa. 7. Utajiri wa Mo Dewji haikushia kwenye maji na afya pekee, umekwenda zaidi na kuwekeza katika tasnia ya michezo ambako ni sehemu ya Mmiliki akiwekeza asilimia 49 kwenye klabu ya Simba SC.
    0 Comments 0 Shares 223 Views
  • Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza rasmi kuondoa hitaji la visa kwa Watanzania wanaoingia Nchini humo, kuanzia tarehe 20 Machi, 2025. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa uanachama wa DR Congo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na jitihada za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili.

    Ikumbukwe kwamba Nchi ya Tanzania ilikuwa imeondoa utaratibu wa malipo ya visa kwa Raia wa DRC tangu Septemba 2, 2023, ikitarajia hatua ya kurudishiwa fadhila. Uamuzi wa sasa wa DR Congo unaimarisha mahusiano ya ujirani mwema na kufungua fursa zaidi za biashara na ushirikiano wa kikanda.

    Serikali ya Tanzania imesifu hatua hiyo, ikisisitiza kuwa inalingana na ajenda za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Hatua hii inaashiria ushirikiano bora wa kidiplomasia na unaleta unafuu mkubwa kwa Wafanyabiashara na wasafiri wa pande zote mbili.

    Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛 imetangaza rasmi kuondoa hitaji la visa kwa Watanzania wanaoingia Nchini humo, kuanzia tarehe 20 Machi, 2025. Hatua hii ni sehemu ya utekelezaji wa uanachama wa DR Congo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na jitihada za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Tanzania 馃嚬馃嚳 ilikuwa imeondoa utaratibu wa malipo ya visa kwa Raia wa DRC tangu Septemba 2, 2023, ikitarajia hatua ya kurudishiwa fadhila. Uamuzi wa sasa wa DR Congo unaimarisha mahusiano ya ujirani mwema na kufungua fursa zaidi za biashara na ushirikiano wa kikanda. Serikali ya Tanzania imesifu hatua hiyo, ikisisitiza kuwa inalingana na ajenda za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Hatua hii inaashiria ushirikiano bora wa kidiplomasia na unaleta unafuu mkubwa kwa Wafanyabiashara na wasafiri wa pande zote mbili.
    0 Comments 0 Shares 288 Views
  • MTUNZI WA JINA LA 'TANZANIA' AFARIKI

    Hicho ni kipande cha gazeti la The Nationalist la Oktoba 30, 1964. Habari kubwa kwenye gazeti hili na Nchi kwa ujumla ni jina jipya la TANZANIA. Ni kwamba baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa April 26, 1964, jina la nchi mpya lilikuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Lakini jina hili lilikuwa refu sana na kuwa kero kwa Watumiaji.

    Serikali kupitia wizara ya habari na utalii chini ya waziri Dkt. Idrisa Abdul Wakili, ikaanzisha mchakato wa kutafuta jina jipya litakalokuwa fupi na rahisi. Ikatoa tangazo kupitia gazeti la Tanganyika Standard, ambalo sasa ni Daily News, kuwataka Watanzania wenye kuweza kubuni jina jipya la Nchi kufanya hivyo. Ndipo kijana wa miaka 18 kutoka Morogoro, Mohamed Iqbal Dar, Mwanafunzi wa Sekondari ya Aga Khan Morogoro, akaliona tangazo hilo na kushiriki.

    Akatunga jina la Tanzania na kulituma kwenye anwani iliyotangazwa. Baada ya muda kupita, akapata barua kutoka serikalini ikimtaja na kumpongeza yeye kama mmoja wa Washindi 16 na wakatakiwa kufika ofisi za wizara. Kwa pamoja watu hawa walitakiwa kugawana zawadi ya shilingi 200, wakati huo shilingi moja ilikuwa sawa na dola 8 za Marekani.

    Siku ilipofika, watu wawili tu walijitokeza; yeye Mohamed Iqbal Dar na Yusufal Pir Mohamed. Lakini huyo mwenzake hakuwa na ile barua ya kutajwa kama mshindi na kupongezwa... Serikali ikashindwa kumthibitisha hivyo kumtangaza Mohamed Iqbal Dar kama Mshindi pekee. Ndipo Jumatano ya Oktoba 29, 1964 serikali ikatangaza rasmi kwamba jina jipya la nchi ni Tanzania na gazeti la The Nationalist likaichapisha habari hii kubwa, Alhamisi ya Oktoba 30, 1964. Jina la Tanzania likaanza kutumika rasmi Novemba Mosi, 1964.

    - Alitungaje jina?

    TAN - kutoka Tanganyika
    ZAN - kutoka Zanzibar
    I - kutoka jina lake la Iqbal.
    A - kutoka dini yake ya Ahmadiya. Hii pia ikawa rahisi zaidi kwake kwani majina ya nchi nyingi za Afrika yaliishia na A kama Ethiopia, Zambia, Gambia nk.

    - Ni nani huyu Mohamed Iqbal Dar?

    Ni mtoto wa Dkt. Dar, ambaye alikuja Tanzania mwaka 1930 kutoka India. Alifikia Tanga, na ndiko alikozaliwa Mohamed, hakafu akahamia Morogoro. Mohamed amefarikia huko Birmingham Nchini Uingereza .
    MTUNZI WA JINA LA 'TANZANIA' AFARIKI Hicho ni kipande cha gazeti la The Nationalist la Oktoba 30, 1964. Habari kubwa kwenye gazeti hili na Nchi kwa ujumla ni jina jipya la TANZANIA. Ni kwamba baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa April 26, 1964, jina la nchi mpya lilikuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Lakini jina hili lilikuwa refu sana na kuwa kero kwa Watumiaji. Serikali kupitia wizara ya habari na utalii chini ya waziri Dkt. Idrisa Abdul Wakili, ikaanzisha mchakato wa kutafuta jina jipya litakalokuwa fupi na rahisi. Ikatoa tangazo kupitia gazeti la Tanganyika Standard, ambalo sasa ni Daily News, kuwataka Watanzania wenye kuweza kubuni jina jipya la Nchi kufanya hivyo. Ndipo kijana wa miaka 18 kutoka Morogoro, Mohamed Iqbal Dar, Mwanafunzi wa Sekondari ya Aga Khan Morogoro, akaliona tangazo hilo na kushiriki. Akatunga jina la Tanzania na kulituma kwenye anwani iliyotangazwa. Baada ya muda kupita, akapata barua kutoka serikalini ikimtaja na kumpongeza yeye kama mmoja wa Washindi 16 na wakatakiwa kufika ofisi za wizara. Kwa pamoja watu hawa walitakiwa kugawana zawadi ya shilingi 200, wakati huo shilingi moja ilikuwa sawa na dola 8 za Marekani. Siku ilipofika, watu wawili tu walijitokeza; yeye Mohamed Iqbal Dar na Yusufal Pir Mohamed. Lakini huyo mwenzake hakuwa na ile barua ya kutajwa kama mshindi na kupongezwa... Serikali ikashindwa kumthibitisha hivyo kumtangaza Mohamed Iqbal Dar kama Mshindi pekee. Ndipo Jumatano ya Oktoba 29, 1964 serikali ikatangaza rasmi kwamba jina jipya la nchi ni Tanzania na gazeti la The Nationalist likaichapisha habari hii kubwa, Alhamisi ya Oktoba 30, 1964. Jina la Tanzania likaanza kutumika rasmi Novemba Mosi, 1964. - Alitungaje jina? TAN - kutoka Tanganyika ZAN - kutoka Zanzibar I - kutoka jina lake la Iqbal. A - kutoka dini yake ya Ahmadiya. Hii pia ikawa rahisi zaidi kwake kwani majina ya nchi nyingi za Afrika yaliishia na A kama Ethiopia, Zambia, Gambia nk. - Ni nani huyu Mohamed Iqbal Dar? Ni mtoto wa Dkt. Dar, ambaye alikuja Tanzania mwaka 1930 kutoka India. Alifikia Tanga, na ndiko alikozaliwa Mohamed, hakafu akahamia Morogoro. Mohamed amefarikia huko Birmingham Nchini Uingereza 馃嚞馃嚙.
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 544 Views
  • “Ukiwa Mwandishi wa Habari una vitu viwili muhimu vya kuchunga navyo ni Ulimi wako na Mikono yako, unapaswa kufahamu unaongea nini ama unaandika kitu gani, nyuma ya mauaji ya Kimbari yalikuwa ni matamshi ya Watangazaji pia ambao walieneza chuki, kwasasa kuna kazi mbili za hatari nazo ni Ualimu na Waandishi wa Habari, hawa wanaweza kutengeneza taifa la Wajinga ama Waelevu.

    Nataka kusema nini? Nataka kusema juu ya kelele na shutuma za Yanga na Singida bado hakuna aliyetupa picha kamili zaidi ni kuwa Mashabiki wanalalamika kwa hisia, Waandishi tunalalamika kwa hisia ila hakuna anayekuja mbele kutoa usahihi, inaitwa Proving beyond reasonable doubt! Nimeona Wadau wanasema TFF haifanyi chochote, lakini wewe umewapa tip gani? Taasisi haifanyi maamuzi kwa hisia, the corporate world works differently from streets.

    Bado kizazi chetu cha Uandishi kuna kitu kinamiss ni INVESTIGATIVE JOURNALISM, binafsi nakiri wazi TUMEFELI sana eneo hili, yaani sote tunalaumu Singida kufanya rotation tunaita kupanga matokeo, tangu lini duniani kubadili kikosi chako ni kupanga matokeo? Ikitokea Coastal kabadili kikosi, ikitokea Simba kabadili ama AZAM? Yani timu inalaumiwa kwa kutumia Wachezaji wake?

    Tunaweza kuwa na hoja ila mpaka sasa hazina mashiko zaidi tunaonekana tunalalama ila tukipelekwa Mahakamani hakuna ambaye atathibitisha chochote, kama kufungwa ni kupanga matokeo mara ya mwisho Simba kumfunga Yanga ndani ya dakika 90 ni lini? Kama kufungwa ni kupanga matokeo lini Singida kamfunga Simba? Kama kufungwa ni kupanga lini Namungo kamfunga Simba lini?

    Sisi WAANDISHI tuna homework tunapaswa kufanya, tutaharibu fikra za Watanzania! Wenzetu Ulaya walipoibua kashfa ya Casciopoli pale Italia walikuja na data, hata UEFA Heated Balls Scandal watu walikuwa na data! Yanga wakisema waende kisheria nani anaweza kuja na hoja za kueleweka? Kama hakuna taarifa sahihi, mifano hai basi tunaongelea hisia, TFF atareact endapo atajitokea Mtu akaattack matter not the subject" - Farhan JR, Mchambuzi.

    “Ukiwa Mwandishi wa Habari una vitu viwili muhimu vya kuchunga navyo ni Ulimi wako na Mikono yako, unapaswa kufahamu unaongea nini ama unaandika kitu gani, nyuma ya mauaji ya Kimbari yalikuwa ni matamshi ya Watangazaji pia ambao walieneza chuki, kwasasa kuna kazi mbili za hatari nazo ni Ualimu na Waandishi wa Habari, hawa wanaweza kutengeneza taifa la Wajinga ama Waelevu. Nataka kusema nini? Nataka kusema juu ya kelele na shutuma za Yanga na Singida bado hakuna aliyetupa picha kamili zaidi ni kuwa Mashabiki wanalalamika kwa hisia, Waandishi tunalalamika kwa hisia ila hakuna anayekuja mbele kutoa usahihi, inaitwa Proving beyond reasonable doubt! Nimeona Wadau wanasema TFF haifanyi chochote, lakini wewe umewapa tip gani? Taasisi haifanyi maamuzi kwa hisia, the corporate world works differently from streets. Bado kizazi chetu cha Uandishi kuna kitu kinamiss ni INVESTIGATIVE JOURNALISM, binafsi nakiri wazi TUMEFELI sana eneo hili, yaani sote tunalaumu Singida kufanya rotation tunaita kupanga matokeo, tangu lini duniani kubadili kikosi chako ni kupanga matokeo? Ikitokea Coastal kabadili kikosi, ikitokea Simba kabadili ama AZAM? Yani timu inalaumiwa kwa kutumia Wachezaji wake? Tunaweza kuwa na hoja ila mpaka sasa hazina mashiko zaidi tunaonekana tunalalama ila tukipelekwa Mahakamani hakuna ambaye atathibitisha chochote, kama kufungwa ni kupanga matokeo mara ya mwisho Simba kumfunga Yanga ndani ya dakika 90 ni lini? Kama kufungwa ni kupanga matokeo lini Singida kamfunga Simba? Kama kufungwa ni kupanga lini Namungo kamfunga Simba lini? Sisi WAANDISHI tuna homework tunapaswa kufanya, tutaharibu fikra za Watanzania! Wenzetu Ulaya walipoibua kashfa ya Casciopoli pale Italia walikuja na data, hata UEFA Heated Balls Scandal watu walikuwa na data! Yanga wakisema waende kisheria nani anaweza kuja na hoja za kueleweka? Kama hakuna taarifa sahihi, mifano hai basi tunaongelea hisia, TFF atareact endapo atajitokea Mtu akaattack matter not the subject" - Farhan JR, Mchambuzi.
    0 Comments 0 Shares 854 Views
  • Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania kufuatia agizo la Rais wa Marekani , Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo:

    "Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo.

    .Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache . Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. … Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani .

    Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania 馃嚬馃嚳 kufuatia agizo la Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo: "Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo. .Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja 馃ぃ馃ぃ馃ぃAtapambana na serikali yake juu chini hadi waniache 馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ. Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. 馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ… Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani 馃嚭馃嚫.
    0 Comments 0 Shares 529 Views
  • We ukiwaona wasalimie tu kwa kiswahili Ni Watanzania wenzio
    We ukiwaona wasalimie tu kwa kiswahili 馃槀 Ni Watanzania wenzio馃槀
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 285 Views
  • Sababu ya Simba SC kuwaombea Wachezaji wake tisa (9) wa kigeni Uraia wa Tanzania.

    " - Wachezaji hao wa Simba SC wa kigeni wanapenda kuwa sehemu ya Jamii ya Watanzania.Wanaipenda nchi ya Tanzania

    - Idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoomba kucheza Ligi ya Tanzania ni kubwa sana kwa sababu ya mvuto wa Ligi ya Tanzania.Hivyo Wachezaji 9 wa kigeni wakipewa uraia wa Tanzania,Simba itakuwa na nafasi ya kuongeza wachezaji wengine wa kigeni" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC via Clouds FM.

    Sababu ya Simba SC kuwaombea Wachezaji wake tisa (9) wa kigeni Uraia wa Tanzania. " - Wachezaji hao wa Simba SC wa kigeni wanapenda kuwa sehemu ya Jamii ya Watanzania.Wanaipenda nchi ya Tanzania - Idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoomba kucheza Ligi ya Tanzania ni kubwa sana kwa sababu ya mvuto wa Ligi ya Tanzania.Hivyo Wachezaji 9 wa kigeni wakipewa uraia wa Tanzania,Simba itakuwa na nafasi ya kuongeza wachezaji wengine wa kigeni" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC via Clouds FM.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 205 Views
  • “Ushindi wa CCM katika uchaguzi mwaka huu hauna mjadala. Wagombea watakuwepo wa vyama vingine lakini sioni namna wanavyoweza kuishinda CCM. Lakini sio kwa ujanja ujanja ni kwa sababu yapo mambo mengi mazuri yaliyofanywa na serikali zetu mbili, lakini ni mambo ambayo yana manufaa kwa Watanzania.” – Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania
    “Ushindi wa CCM katika uchaguzi mwaka huu hauna mjadala. Wagombea watakuwepo wa vyama vingine lakini sioni namna wanavyoweza kuishinda CCM. Lakini sio kwa ujanja ujanja ni kwa sababu yapo mambo mengi mazuri yaliyofanywa na serikali zetu mbili, lakini ni mambo ambayo yana manufaa kwa Watanzania.” – Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Tanzania
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 371 Views
  • WATU 10 AMBAO WALIPOTEA NA HAWAJAWI ONEKANA
    #1
    Kupotea kwa mwanasiasa Ben Saanane takribani miaka miwili iliyopita pamoja na kupotea kwa mwanahabari Azory Agwanda mwaka mmoja uliopita,kuliwashtua Watanzania walio wengi na kuibua minong'ono juu ya mahali walipo watu hao. Mpaka leo hatujui walipo Ben Saanane pamoja na Azory Agwanda. Miaka ya nyuma, aliwahi kupotea mwanasiasa mahiri wa miaka hiyo hapa nchini Abdallah Kassim Hanga, ambaye mpaka leo hajulikani alipelekwa wapi licha ya kuwa mpaka kupotea kwake alikuwa kwenye mikono ya dola. Hayo ni machache.

    Leo tujionee watu maarufu ambao walipotea, hawajulikani walipo na hawakuwahi kuonekana tena hapa Duniani. Baadhi yao ni viongozi, wahalifu na watu wa kawaida tu.

    10.Jim Sullivan

    Huyu alikuwa ni mwanamuziki wa kimarekani. Mwaka 1969 alitoa albamu iliyoitwa U.F.O. Ndani ya albamu hiyo kulikuwa na vibao vyenye utata wa majina, kama vile Aliens, I"never die na vinginevyo vingi. Alitoweka mwaka 1975 na mpaka leo hajulikani ni wapi alipo.

    9.Bison Dele

    Alikuwa ni mchezaji wa mpira wakikapu katika ligi ya NBA na alichezea vilabu kadhaa vikiwemo Detroit Pistons, Chicago bulls nk. Alitoweka mwaka 2002 wakati akiwa na mchumba wake kwenye boti yao huko Tahiti katika bahari ya Pacific. Vyanzo mbalimbali vinadai kuwa Bison Dele alikuwa na kaka yake siku ya safari katika boti, pia aligombana na kaka yake hivyo walipigana wakiwa katika boti na kupelekea kuuliwa na bastola yeye pamoja na mchumba wake. Boti yao ilikuja kupatikana ikiwa haina mtu yoyote ndani yake.

    8.Frank Morris

    Huyu alikuwa ni mfungwa aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 10 katika gereza la Alcatraz huko nchini Marekani. Alipelekwa katika gereza Alcatraz baada ya kutoroka gereza la Louisiana. Hivyo baada ya kukamatwa alipelekwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali na lililopo kisiwani Alcatraz, gereza hilo limezungukwa ma maji yenye kina kirefu na eneo lenye samaki wengi aina ya papa.

    Mwanaume huyu na mapacha wawili walifanikiwa kutoroka mwaka 1962 na mpaka leo hajulikani alipo licha ya msako mkali wa FBI. Kuna wanaoamini huenda Frank aliuwawa na papa ndani ya bahari lakini hakuna aliyethibitisha. Mpaka leo jalada la kesi yake bado lipo wazi.

    7. Mapacha John and Clarence Anglin

    Hawa ni mapacha ambao kwa pamoja waliungana na Jambazi Frank Morris kutoroka katika jela yenye ulinzi mkali na iliyozungukwa na maji ya Alcatraz. Walitoroka mwaka 1962 na mpaka leo hawajwahi kuonekana tena. Inasemekana baada ya kutoroka walikimbilia nchini Brazil ambapo wamekuwa wakiishi na kwasiliana na familia zao kwa siri lakini hakuna aliyewahi kuthibitisha madai hayo. Sasa ni zaidi ya miaka 56 toka watoroke jela hawajawahi kuonekana tena na jalada lao lipo wazi bado halijafungwa.

    6.Oscar Zeta Acosta

    Alikuwa ni mwanasiasa, mwanafasihi na mwanasheria nguli kutoka nchini Marekani ambapo alikuwa ni mkosoaji mkubwa sana wa biashara ya madawa ya kulevya. Alipotea mwaka 1974 alipokuwa anaelekea Mexico. Inaaminika Acosta aliuwawa na wafanya biashara wa madawa ya kulevya na kuna wanaoamini Acosta aliuwawa kwasababu za kisiasa lakini mpaka leo hakuwahi kupatikana tena.

    5.Amelia Earhart

    Alikuwa ni rubani mahiri wa ndege huko Marekani. Pia alikuwa ni mwalimu, mwanamitindo na Mhariri wa majarida mbalimbali. Alikuwa mwanamke wa kwanza kurusha ndege peke yake na kuzunguka bahari ya Pacific.

    Alitoweka na ndege yake mwaka 1937 akiwa angani na mpaka leo hajulikani alipo. Japo kuna wanaoamini kuwa alipewa kazi ya ujasusi na utawala wa Rais wa kipindi hiko Marekani ndugu Franklin D. Roosevelt ya kwenda kuichunguza Japan. Pia wapo wanaoamini kuwa aliamua kujibadilisha kimwili na jina na kuishi maisha yake nje ya awali. Mpaka leo hajawahi kupatikana tena.

    4.Camilo Cienfuegos

    Ni mwanamapinduzi wa Cuba aliyeshiriki kikamilifu Mapinduzi ya Nchi hiyo akiwa sambamba na akina Fidel castro, Che Guevara na wengineo. Ndege aliyopanda akitokea Camaguey alikotoka kumkamata mwanamapinduzi mwenzake aliyeasi Huber Matos, ilipotea angani na haijaonekana tena mpaka leo hii. Wengi wanadai Camilo alifanyiwa faulo na wenzake hasa Fidel Castro ili kuizima nyota yake iliyokuwa inang'aa kwa kasi.

    3.Jimmy Hoffa

    Alikuwa ni kiongozi wa chama cha wafanyakazi nchini Marekani. Pia alikuwa anajihusisha na makundi ya kihalifu. Anajulikana kama kiongozi mtata, mpendwa rushwa na mwizi ambapo kuna wakati alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela kwa kosa la utakatishaji pesa. Aliachiwa kwa msamaha wa Rais wa kipindi hiko wa Marekani Richard Nixon.

    Mchana wa july 30 mwaka 1975 katika parking ya Mgahawa wa Red Fox, Jimmy hoffa alitoweka na hakuonekana tena mpaka leo. Haijulikani ni akina nani haswa walihusika katika kumteka, kuna wanaosema Serikali, kuna wanaosema Mafia. Licha ya msako mkali wa FBI kiongozi huyo hakuwahi kupatikana tena.

    2. Harlod Holt

    Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 17 wa Australia mpaka kupotea kwake. Jioni ya 17 december mwaka 1967 wananchi wa Australia hawatoisahau katika kumbukumbu zao baada ya kupotea kwa Waziri Mkuu wao.

    Waziri Mkuu Holt alipotea alipokuwa anaogelea baharini huko Portsea, Victoria nchini Australia alipokuwa katika likizo ya mwisho wa mwaka.Licha ya msako mkali wa kwenye maji, mwili wa Waziri Mkuu Holt hakuwahi kuoekana tena. Minong'ono ilizuka kuwa Waziri mkuu huyo alitekwa na Submarine (nyambizi) ya China kwakuwa alikuwa ni jasusi wao lakini hakuna aliyethibitisha. Kuna wanaosema Harold Holt alifeki kifo chake ili aishi kwa uhuru mara baada ya kuchoshwa na maisha ya siasa ikiwa ni miaka miwili tu toka achaguliwe kuwa Waziri Mkuu. Mpaka leo mwili wake haukuwahi kupatikana tena.

    1.D.B Cooper

    D.B.Cooper ni jina linalotumika kumrejelea mwanaume mmoja wa makamo ambaye jioni ya November 24, mwaka 1971 alichukua kiasi cha Dola za Kimarekani 200,000 kama malipo mara baada ya kuiteka ndege huko portland nchini Marekani.

    Licha ya msako mkali wa zaidi ya miaka 45 uliofanywa na FBI kwa kushirikiana na idara nyingine za kiusalama nchini Marekani, bado D.B Cooper hafahamiki ni wapi alipo wala pesa alizopewa hazikuwahi kuingia kwenye mzunguko wala kupatikana. kuna wanaoamini kuwa D.B Cooper alitengenezwa na kusaidiwa na FBI wenyewe ili wajipatie pesa. Kuna wanaoamini Cooper alifariki mara baada ya kuruka toka kwenye ndege angani lakini mbona pesa hazijapatikana? D.B Cooper ameacha maswali mengi kuliko majibu na mpaka leo hajawahi kuonekana tena baada ya jioni ile ya mwaka 1971.

    MWISHO
    WATU 10 AMBAO WALIPOTEA NA HAWAJAWI ONEKANA #1 Kupotea kwa mwanasiasa Ben Saanane takribani miaka miwili iliyopita pamoja na kupotea kwa mwanahabari Azory Agwanda mwaka mmoja uliopita,kuliwashtua Watanzania walio wengi na kuibua minong'ono juu ya mahali walipo watu hao. Mpaka leo hatujui walipo Ben Saanane pamoja na Azory Agwanda. Miaka ya nyuma, aliwahi kupotea mwanasiasa mahiri wa miaka hiyo hapa nchini Abdallah Kassim Hanga, ambaye mpaka leo hajulikani alipelekwa wapi licha ya kuwa mpaka kupotea kwake alikuwa kwenye mikono ya dola. Hayo ni machache. Leo tujionee watu maarufu ambao walipotea, hawajulikani walipo na hawakuwahi kuonekana tena hapa Duniani. Baadhi yao ni viongozi, wahalifu na watu wa kawaida tu. 10.Jim Sullivan Huyu alikuwa ni mwanamuziki wa kimarekani. Mwaka 1969 alitoa albamu iliyoitwa U.F.O. Ndani ya albamu hiyo kulikuwa na vibao vyenye utata wa majina, kama vile Aliens, I"never die na vinginevyo vingi. Alitoweka mwaka 1975 na mpaka leo hajulikani ni wapi alipo. 9.Bison Dele Alikuwa ni mchezaji wa mpira wakikapu katika ligi ya NBA na alichezea vilabu kadhaa vikiwemo Detroit Pistons, Chicago bulls nk. Alitoweka mwaka 2002 wakati akiwa na mchumba wake kwenye boti yao huko Tahiti katika bahari ya Pacific. Vyanzo mbalimbali vinadai kuwa Bison Dele alikuwa na kaka yake siku ya safari katika boti, pia aligombana na kaka yake hivyo walipigana wakiwa katika boti na kupelekea kuuliwa na bastola yeye pamoja na mchumba wake. Boti yao ilikuja kupatikana ikiwa haina mtu yoyote ndani yake. 8.Frank Morris Huyu alikuwa ni mfungwa aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 10 katika gereza la Alcatraz huko nchini Marekani. Alipelekwa katika gereza Alcatraz baada ya kutoroka gereza la Louisiana. Hivyo baada ya kukamatwa alipelekwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali na lililopo kisiwani Alcatraz, gereza hilo limezungukwa ma maji yenye kina kirefu na eneo lenye samaki wengi aina ya papa. Mwanaume huyu na mapacha wawili walifanikiwa kutoroka mwaka 1962 na mpaka leo hajulikani alipo licha ya msako mkali wa FBI. Kuna wanaoamini huenda Frank aliuwawa na papa ndani ya bahari lakini hakuna aliyethibitisha. Mpaka leo jalada la kesi yake bado lipo wazi. 7. Mapacha John and Clarence Anglin Hawa ni mapacha ambao kwa pamoja waliungana na Jambazi Frank Morris kutoroka katika jela yenye ulinzi mkali na iliyozungukwa na maji ya Alcatraz. Walitoroka mwaka 1962 na mpaka leo hawajwahi kuonekana tena. Inasemekana baada ya kutoroka walikimbilia nchini Brazil ambapo wamekuwa wakiishi na kwasiliana na familia zao kwa siri lakini hakuna aliyewahi kuthibitisha madai hayo. Sasa ni zaidi ya miaka 56 toka watoroke jela hawajawahi kuonekana tena na jalada lao lipo wazi bado halijafungwa. 6.Oscar Zeta Acosta Alikuwa ni mwanasiasa, mwanafasihi na mwanasheria nguli kutoka nchini Marekani ambapo alikuwa ni mkosoaji mkubwa sana wa biashara ya madawa ya kulevya. Alipotea mwaka 1974 alipokuwa anaelekea Mexico. Inaaminika Acosta aliuwawa na wafanya biashara wa madawa ya kulevya na kuna wanaoamini Acosta aliuwawa kwasababu za kisiasa lakini mpaka leo hakuwahi kupatikana tena. 5.Amelia Earhart Alikuwa ni rubani mahiri wa ndege huko Marekani. Pia alikuwa ni mwalimu, mwanamitindo na Mhariri wa majarida mbalimbali. Alikuwa mwanamke wa kwanza kurusha ndege peke yake na kuzunguka bahari ya Pacific. Alitoweka na ndege yake mwaka 1937 akiwa angani na mpaka leo hajulikani alipo. Japo kuna wanaoamini kuwa alipewa kazi ya ujasusi na utawala wa Rais wa kipindi hiko Marekani ndugu Franklin D. Roosevelt ya kwenda kuichunguza Japan. Pia wapo wanaoamini kuwa aliamua kujibadilisha kimwili na jina na kuishi maisha yake nje ya awali. Mpaka leo hajawahi kupatikana tena. 4.Camilo Cienfuegos Ni mwanamapinduzi wa Cuba aliyeshiriki kikamilifu Mapinduzi ya Nchi hiyo akiwa sambamba na akina Fidel castro, Che Guevara na wengineo. Ndege aliyopanda akitokea Camaguey alikotoka kumkamata mwanamapinduzi mwenzake aliyeasi Huber Matos, ilipotea angani na haijaonekana tena mpaka leo hii. Wengi wanadai Camilo alifanyiwa faulo na wenzake hasa Fidel Castro ili kuizima nyota yake iliyokuwa inang'aa kwa kasi. 3.Jimmy Hoffa Alikuwa ni kiongozi wa chama cha wafanyakazi nchini Marekani. Pia alikuwa anajihusisha na makundi ya kihalifu. Anajulikana kama kiongozi mtata, mpendwa rushwa na mwizi ambapo kuna wakati alihukumiwa kifungo cha miaka 13 jela kwa kosa la utakatishaji pesa. Aliachiwa kwa msamaha wa Rais wa kipindi hiko wa Marekani Richard Nixon. Mchana wa july 30 mwaka 1975 katika parking ya Mgahawa wa Red Fox, Jimmy hoffa alitoweka na hakuonekana tena mpaka leo. Haijulikani ni akina nani haswa walihusika katika kumteka, kuna wanaosema Serikali, kuna wanaosema Mafia. Licha ya msako mkali wa FBI kiongozi huyo hakuwahi kupatikana tena. 2. Harlod Holt Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 17 wa Australia mpaka kupotea kwake. Jioni ya 17 december mwaka 1967 wananchi wa Australia hawatoisahau katika kumbukumbu zao baada ya kupotea kwa Waziri Mkuu wao. Waziri Mkuu Holt alipotea alipokuwa anaogelea baharini huko Portsea, Victoria nchini Australia alipokuwa katika likizo ya mwisho wa mwaka.Licha ya msako mkali wa kwenye maji, mwili wa Waziri Mkuu Holt hakuwahi kuoekana tena. Minong'ono ilizuka kuwa Waziri mkuu huyo alitekwa na Submarine (nyambizi) ya China kwakuwa alikuwa ni jasusi wao lakini hakuna aliyethibitisha. Kuna wanaosema Harold Holt alifeki kifo chake ili aishi kwa uhuru mara baada ya kuchoshwa na maisha ya siasa ikiwa ni miaka miwili tu toka achaguliwe kuwa Waziri Mkuu. Mpaka leo mwili wake haukuwahi kupatikana tena. 1.D.B Cooper D.B.Cooper ni jina linalotumika kumrejelea mwanaume mmoja wa makamo ambaye jioni ya November 24, mwaka 1971 alichukua kiasi cha Dola za Kimarekani 200,000 kama malipo mara baada ya kuiteka ndege huko portland nchini Marekani. Licha ya msako mkali wa zaidi ya miaka 45 uliofanywa na FBI kwa kushirikiana na idara nyingine za kiusalama nchini Marekani, bado D.B Cooper hafahamiki ni wapi alipo wala pesa alizopewa hazikuwahi kuingia kwenye mzunguko wala kupatikana. kuna wanaoamini kuwa D.B Cooper alitengenezwa na kusaidiwa na FBI wenyewe ili wajipatie pesa. Kuna wanaoamini Cooper alifariki mara baada ya kuruka toka kwenye ndege angani lakini mbona pesa hazijapatikana? D.B Cooper ameacha maswali mengi kuliko majibu na mpaka leo hajawahi kuonekana tena baada ya jioni ile ya mwaka 1971. MWISHO
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • *Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ameeleza masikitiko yake kutokana na Watanzania wengi kutokwenda kuchukua vitambulisho vyao vya NIDA baada ya kuwa tayari vimeandaliwa.*

    *Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ameeleza masikitiko yake kutokana na Watanzania wengi kutokwenda kuchukua vitambulisho vyao vya NIDA baada ya kuwa tayari vimeandaliwa.*
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 257 Views
  • Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe.

    "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema.

    Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe.

    Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza.

    Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo!

    Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 馃檹馃従馃檹馃従" ameandika Wolper.

    Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe. "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema. Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe. Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza. Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo! Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 馃檹馃従馃檹馃従" ameandika Wolper.
    Wow
    1
    0 Comments 0 Shares 791 Views
  • BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16.

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea kupewa matibabu katika hospitali teule ya biharamulo, tarehe 21 Disemba 2024.

    Basi hilo liliokuwa linafanya safari kutoka Kigoma kwenda Bukoba wakati liliposimama kushusha abiria ambae alipitilizwa kwenye kituo, lilishindwa kuondoka na kuanza kurudi nyuma kisha kuacha njia na kupinduka.

    Ajali hiyo imesababisha vifo vya abiria 11 na majeruhi 16 ambapo Majeruhi wanaendelea na matibabu katika hospitali teule ya Biharamulo mkoani Kagera.

    Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi, Waziri Bashungwa ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wote walioguswa na ajali hiyo na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwaombea majeruhi.

    Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Wizara imeanza kufanyia kazi Maelekezo ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya marekebisho ya kuwa na mfumo wa leseni za udereva ili kuwapunguzia alama madereva wanafanya makosa yenye kuhatarisha usalama barabarani ambazo zitapelekea kuwafungia leseni.

    Kwa Upande wake, Mganga mkuu wa Hospitali teule ya Biharamulo, Gresmus Sebuyoya ameeleza kwa majeruhi 26 wameruhusiwa na wengine 16 wanaendelea na matibabu na ungalizi wa karibu.

    BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea kupewa matibabu katika hospitali teule ya biharamulo, tarehe 21 Disemba 2024. Basi hilo liliokuwa linafanya safari kutoka Kigoma kwenda Bukoba wakati liliposimama kushusha abiria ambae alipitilizwa kwenye kituo, lilishindwa kuondoka na kuanza kurudi nyuma kisha kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo imesababisha vifo vya abiria 11 na majeruhi 16 ambapo Majeruhi wanaendelea na matibabu katika hospitali teule ya Biharamulo mkoani Kagera. Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi, Waziri Bashungwa ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wote walioguswa na ajali hiyo na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwaombea majeruhi. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Wizara imeanza kufanyia kazi Maelekezo ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya marekebisho ya kuwa na mfumo wa leseni za udereva ili kuwapunguzia alama madereva wanafanya makosa yenye kuhatarisha usalama barabarani ambazo zitapelekea kuwafungia leseni. Kwa Upande wake, Mganga mkuu wa Hospitali teule ya Biharamulo, Gresmus Sebuyoya ameeleza kwa majeruhi 26 wameruhusiwa na wengine 16 wanaendelea na matibabu na ungalizi wa karibu.
    Love
    Sad
    2
    0 Comments 0 Shares 497 Views
  • MTANDAO MPYA WA NYUMBANI TANZANIA

    Ilipo Teknolojia nami nipo hapo, Mtanzania Mwenzetu na Mpambanaji Ameanzisha Mtandao wa Kijamii Mpya Kabisa Unaoitwa Social Pop ambao ni mtandao fanani kama Facebook but Humo ndani kwa Ubunifu wake Ameongeza Mambo Mbalimbali yenye Kuvutia na Kikubwa zaidi Mtu Anaweza Kujiingiza Kipato kupitia Posts na Video Pia kama Ilivyo Mitandao Mingine ya Kijamii.

    Ni Moja ya Hatua katika Ukuaji wa Teknolojia Nchini Tanzania Nimefurahishwa sana na Juhudi zake.

    Kwa Umoja wetu na Nguvu yetu Watanzania na Wana Teknolojia tukamuunge Mkono na Ikiwa Kuna Feature utaona Inastahili Kuongezwa basi Usisite Kuchangia Maoni (Rate App) katika Playstore ili Aendelee Kuboresha zaidi.

    Kuanzisha App si jambo rahisi ni Juhudi, Muda na Akili pia. Tumuunge Mkono.
    Ingia Playstore Search “SocialPop”

    Download https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mr.chatplace

    Website https://socialpop.online/

    Posted by ptechtanzania
    MTANDAO MPYA WA NYUMBANI TANZANIA Ilipo Teknolojia nami nipo hapo, Mtanzania Mwenzetu na Mpambanaji Ameanzisha Mtandao wa Kijamii Mpya Kabisa Unaoitwa Social Pop ambao ni mtandao fanani kama Facebook but Humo ndani kwa Ubunifu wake Ameongeza Mambo Mbalimbali yenye Kuvutia na Kikubwa zaidi Mtu Anaweza Kujiingiza Kipato kupitia Posts na Video Pia kama Ilivyo Mitandao Mingine ya Kijamii. Ni Moja ya Hatua katika Ukuaji wa Teknolojia Nchini Tanzania Nimefurahishwa sana na Juhudi zake. Kwa Umoja wetu na Nguvu yetu Watanzania na Wana Teknolojia tukamuunge Mkono na Ikiwa Kuna Feature utaona Inastahili Kuongezwa basi Usisite Kuchangia Maoni (Rate App) katika Playstore ili Aendelee Kuboresha zaidi. Kuanzisha App si jambo rahisi ni Juhudi, Muda na Akili pia. Tumuunge Mkono. Ingia Playstore Search “SocialPop” Download 馃憠https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mr.chatplace Website https://socialpop.online/ Posted by ptechtanzania
    SocialPop - Apps on Google Play
    play.google.com
    Meet new friends from different parts of the world
    Like
    Love
    Yay
    4
    1 Comments 0 Shares 894 Views
  • NI KWELI YANGA IMEFUNGWA, LAKINI...

    Masaa yangu manne (4) mtandaoni nikipitia maoni ya wadau wa soka kuhusu matokeo ya @yangasc kufungwa mabao 2-0 na Al Hilal leo, yamenikumbusha Novemba 24, 2023 wakati Yanga hii hii ikifungwa mabao 3-0 na CR Belouizdad (ugenini).

    Maoni hayo ya wadau yakanipeleka Disemba 2, 2023 wakati Yanga ikilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Al Ahly (nyumbani), yote hayo kwenye hatua ya makundi ya michuano hii hii ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
    Mnakumbuka kilichofuata baada ya hapo?.

    Yanga walimaliza hatua ya makundi wakiwa nafasi ya pili na wakafuzu hatua ya robo fainali ambako waliondolewa tu kwa mambo yasiyofaa kuyaelezea sana.

    Leo wameanza tena hatua ya makundi kwa kupoteza, ni matokeo mabaya kwa klabu na watanzania kwa ujumla....ila nadhani kuna umuhimu wa kuhifadhi baadhi ya maneno yetu. Football ina mambo yake na inapenda sana kuheshimiwa na watu wa rika zote, tusijimalize.

    #Kumbukeni, 'wakali' kutoka @ligikuu ya @nbc_tanzania hawaanguki jumla, wanajikwaa wanainuka haraka, safari inaendelea

    #LadhaZaLigiKuu
    NI KWELI YANGA IMEFUNGWA, LAKINI... Masaa yangu manne (4) mtandaoni nikipitia maoni ya wadau wa soka kuhusu matokeo ya @yangasc kufungwa mabao 2-0 na Al Hilal leo, yamenikumbusha Novemba 24, 2023 wakati Yanga hii hii ikifungwa mabao 3-0 na CR Belouizdad (ugenini). Maoni hayo ya wadau yakanipeleka Disemba 2, 2023 wakati Yanga ikilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Al Ahly (nyumbani), yote hayo kwenye hatua ya makundi ya michuano hii hii ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mnakumbuka kilichofuata baada ya hapo?. Yanga walimaliza hatua ya makundi wakiwa nafasi ya pili na wakafuzu hatua ya robo fainali ambako waliondolewa tu kwa mambo yasiyofaa kuyaelezea sana. Leo wameanza tena hatua ya makundi kwa kupoteza, ni matokeo mabaya kwa klabu na watanzania kwa ujumla....ila nadhani kuna umuhimu wa kuhifadhi baadhi ya maneno yetu. Football ina mambo yake na inapenda sana kuheshimiwa na watu wa rika zote, tusijimalize. #Kumbukeni, 'wakali' kutoka @ligikuu ya @nbc_tanzania hawaanguki jumla, wanajikwaa wanainuka haraka, safari inaendelea 馃敟 #LadhaZaLigiKuu
    Like
    Love
    4
    0 Comments 0 Shares 913 Views
  • "Tukiwa katika majonzi na kazi ikiendelea katika kuwatafuta ndugu zetu ambao tunaamini bado wako hai kufuatia kuporomoka kwa jengo eneo la Kariakoo, ninawapongeza vijana wetu Taifa Stars kwa ushindi na kufuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Mmeandika historia kwa Taifa letu, ikiwa ni mara yetu ya nne kufikia mafanikio haya makubwa katika kipindi cha zaidi ya miaka arobaini.

    Hongera kwa kazi nzuri nyote tuliowapa dhamana kusimama na vijana wetu kukamilisha jukumu hili katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Benchi la Ufundi na Watanzania wote kwa kuendelea kuipenda, kuithamini na kuipa hamasa Timu ya Taifa.

    Baada ya ushindi huu, sasa tujikite katika maandalizi mazuri zaidi kwa mashindano yajayo" - Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.

    "Tukiwa katika majonzi na kazi ikiendelea katika kuwatafuta ndugu zetu ambao tunaamini bado wako hai kufuatia kuporomoka kwa jengo eneo la Kariakoo, ninawapongeza vijana wetu Taifa Stars kwa ushindi na kufuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Mmeandika historia kwa Taifa letu, ikiwa ni mara yetu ya nne kufikia mafanikio haya makubwa katika kipindi cha zaidi ya miaka arobaini. Hongera kwa kazi nzuri nyote tuliowapa dhamana kusimama na vijana wetu kukamilisha jukumu hili katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Benchi la Ufundi na Watanzania wote kwa kuendelea kuipenda, kuithamini na kuipa hamasa Timu ya Taifa. Baada ya ushindi huu, sasa tujikite katika maandalizi mazuri zaidi kwa mashindano yajayo" - Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.
    0 Comments 0 Shares 655 Views
  • November 27 uchaguzi wa serikari za mitaa watanzania tujitokeze kwenda kupiga kura kwani kura yako ndiyo itaijenga Tanzania Bora hapo kesho
    November 27 uchaguzi wa serikari za mitaa watanzania tujitokeze kwenda kupiga kura kwani kura yako ndiyo itaijenga Tanzania Bora hapo kesho
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 213 Views
  • Tunatoa Pole kwa wana Kariakoo wote na watanzania kiujumba
    Mungu awafanyie wepesi.
    Tunatoa Pole kwa wana Kariakoo wote na watanzania kiujumba Mungu awafanyie wepesi.馃槶馃檹馃檹
    Like
    Love
    Sad
    Angry
    10
    2 Comments 0 Shares 685 Views
  • 饾棔饾棬饾棜饾棓

    Ile siku ya Wananchi huwezi amini sijalipwa hata Senti moja (Akiwa Clouds FM)

    Mimi Yanga ni nyumbani nipo tayari kutoa 90%ya nguvu yangu kuitumikia Yanga,,Halafu watu walielewa vibaya mimi mbona sijamanisha kuwa na Siongeni na Eng Hersi,Nilichomanisha ni kuwa sijampigia simu muda mrefu kutokana na Kila mtu Kwa sasa yupo busy ila mbona huwa tunaonana sana Salamander Tower pale.

    Mimi ni Mwananchi hata familia yangu,, Watanzania wanalijua hilo.(Leo kwenye Manara TV)
    饾棔饾棬饾棜饾棓 Ile siku ya Wananchi huwezi amini sijalipwa hata Senti moja (Akiwa Clouds FM) Mimi Yanga ni nyumbani nipo tayari kutoa 90%ya nguvu yangu kuitumikia Yanga,,Halafu watu walielewa vibaya mimi mbona sijamanisha kuwa na Siongeni na Eng Hersi,Nilichomanisha ni kuwa sijampigia simu muda mrefu kutokana na Kila mtu Kwa sasa yupo busy ila mbona huwa tunaonana sana Salamander Tower pale. Mimi ni Mwananchi hata familia yangu,, Watanzania wanalijua hilo.(Leo kwenye Manara TV)
    Love
    Like
    3
    1 Comments 0 Shares 463 Views
  • Tafakuri ya Leo 馃馃 WATANZANIA TUAMKE RELIGION
    Tafakuri ya Leo 馃槀馃馃 WATANZANIA TUAMKE 馃拃 RELIGION 馃毊
    Like
    Love
    Yay
    9
    2 Comments 0 Shares 453 Views 83
More Results