·19 Ansichten
NELIUD COSIAH
@nelly2020
-
-
Jeshi la Magereza Tanzania limesema limesikitishwa na kauli iliyotajwa kuwa isiyo ya kiungwana iliyotolewa na Haji Manara kwa jeshi hilo baada ya mechi ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Magereza imesema Manara alikuwa akizungumza na waandishi wa habari huku akiwa ameegesha gari lake mbele ya gari ya Jeshi la Magereza na kwamba kwakuwa alikuwa amelizuia gari hilo, aliombwa kusogeza gari lake na kuruhusu gari hilo liweze kupita lakini alitoa kauli isiyofaa.
Jeshi la Magereza Tanzania limesema limesikitishwa na kauli iliyotajwa kuwa isiyo ya kiungwana iliyotolewa na Haji Manara kwa jeshi hilo baada ya mechi ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Magereza imesema Manara alikuwa akizungumza na waandishi wa habari huku akiwa ameegesha gari lake mbele ya gari ya Jeshi la Magereza na kwamba kwakuwa alikuwa amelizuia gari hilo, aliombwa kusogeza gari lake na kuruhusu gari hilo liweze kupita lakini alitoa kauli isiyofaa.1 Kommentare ·25 Ansichten -
Tumewasili Dodoma salama. #timuyawananchi #yangasc #neliudcosiah·91 Ansichten
-
BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea kupewa matibabu katika hospitali teule ya biharamulo, tarehe 21 Disemba 2024.
Basi hilo liliokuwa linafanya safari kutoka Kigoma kwenda Bukoba wakati liliposimama kushusha abiria ambae alipitilizwa kwenye kituo, lilishindwa kuondoka na kuanza kurudi nyuma kisha kuacha njia na kupinduka.
Ajali hiyo imesababisha vifo vya abiria 11 na majeruhi 16 ambapo Majeruhi wanaendelea na matibabu katika hospitali teule ya Biharamulo mkoani Kagera.
Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi, Waziri Bashungwa ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wote walioguswa na ajali hiyo na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwaombea majeruhi.
Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Wizara imeanza kufanyia kazi Maelekezo ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya marekebisho ya kuwa na mfumo wa leseni za udereva ili kuwapunguzia alama madereva wanafanya makosa yenye kuhatarisha usalama barabarani ambazo zitapelekea kuwafungia leseni.
Kwa Upande wake, Mganga mkuu wa Hospitali teule ya Biharamulo, Gresmus Sebuyoya ameeleza kwa majeruhi 26 wameruhusiwa na wengine 16 wanaendelea na matibabu na ungalizi wa karibu.
BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo mkoani Kagera na kuwajulia hali majeruhi wanaoendelea kupewa matibabu katika hospitali teule ya biharamulo, tarehe 21 Disemba 2024. Basi hilo liliokuwa linafanya safari kutoka Kigoma kwenda Bukoba wakati liliposimama kushusha abiria ambae alipitilizwa kwenye kituo, lilishindwa kuondoka na kuanza kurudi nyuma kisha kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo imesababisha vifo vya abiria 11 na majeruhi 16 ambapo Majeruhi wanaendelea na matibabu katika hospitali teule ya Biharamulo mkoani Kagera. Akizungumza baada ya kutembelea majeruhi, Waziri Bashungwa ametoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wote walioguswa na ajali hiyo na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwaombea majeruhi. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Wizara imeanza kufanyia kazi Maelekezo ya Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya marekebisho ya kuwa na mfumo wa leseni za udereva ili kuwapunguzia alama madereva wanafanya makosa yenye kuhatarisha usalama barabarani ambazo zitapelekea kuwafungia leseni. Kwa Upande wake, Mganga mkuu wa Hospitali teule ya Biharamulo, Gresmus Sebuyoya ameeleza kwa majeruhi 26 wameruhusiwa na wengine 16 wanaendelea na matibabu na ungalizi wa karibu.·108 Ansichten -
Sad news from Nigeria as 17 people die in Anambra State, 10 die in Abuja during rice sharing stampedes.
35 people died in Ibadan during a funfair stampede.
Source: Vanguard.
Sad news from Nigeria as 17 people die in Anambra State, 10 die in Abuja during rice sharing stampedes. 35 people died in Ibadan during a funfair stampede. Source: Vanguard.·22 Ansichten -
*Idadi ya wagonjwa wa afya ya akili imeendelea kupungua katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe iliyoko Dodoma kwa mwaka 2023-24, kufuatia juhudi za kutoa elimu kuhusu msongo wa mawazo na njia za kukabiliana na changamoto hiyo.
*Idadi ya wagonjwa wa afya ya akili imeendelea kupungua katika Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe iliyoko Dodoma kwa mwaka 2023-24, kufuatia juhudi za kutoa elimu kuhusu msongo wa mawazo na njia za kukabiliana na changamoto hiyo.·29 Ansichten -
Habari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube
#timuyawananchi
#yangasc
#daimambelenyumamwikoHabari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube 😂😀💪 #timuyawananchi #yangasc #daimambelenyumamwiko·38 Ansichten -
TANGAZO TANGAZO.
Kwa wale *mnaokuja* kula *christmas vijijini* zingatia yafuatayo:
1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia.
2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako.
3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga mtoni unaenda mwenyewe.
4. Mje na midoli ya kuchezea watoto wenu wasije kutunyongea vifaranga.
5. Hakuna kuchinjiwa kuku hadi siku ya christmas.
6. Ukimaliza kuoga toka na sabuni kwa sababu hiyo hiyo ndo tunaoshea vyombo.
7. Ukija na mke au mume wako asianze kusema mboga hii akila anaumwa tumbo sisi tunakujua tangu ulivyokuwa mdogo ulikuwa unakula maembe yenye wadudu na haukuwahi kuumwa tumbo kwa hiyo mtakula chochote kitakachopikwa.
8. Huku hakuna kumbembeleza mtoto wakati wa kula akikataa kula sisi tunakula na tunamaliza.
9. Usiku hakuna kumulikiwa tundu la choo unapapasa na mguu tu.
10. Hakuna Kutupa ugali uliolala huo ni mkate wetu asubuhi.
11. Hakuna mto wa kulalia huku unalalia mikono tu.
12. La mwisho wale mliopo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 na huku nyumbani hamjajenga mtakuwa mnalala kwa mwenyekiti.
Ahsanteni na karibuni sana
🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿 Kwa wale *mnaokuja* kula *christmas vijijini* zingatia yafuatayo: 1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga mtoni unaenda mwenyewe. 4. Mje na midoli ya kuchezea watoto wenu wasije kutunyongea vifaranga. 5. Hakuna kuchinjiwa kuku hadi siku ya christmas. 6. Ukimaliza kuoga toka na sabuni kwa sababu hiyo hiyo ndo tunaoshea vyombo. 7. Ukija na mke au mume wako asianze kusema mboga hii akila anaumwa tumbo sisi tunakujua tangu ulivyokuwa mdogo ulikuwa unakula maembe yenye wadudu na haukuwahi kuumwa tumbo kwa hiyo mtakula chochote kitakachopikwa. 8. Huku hakuna kumbembeleza mtoto wakati wa kula akikataa kula sisi tunakula na tunamaliza. 9. Usiku hakuna kumulikiwa tundu la choo unapapasa na mguu tu. 10. Hakuna Kutupa ugali uliolala huo ni mkate wetu asubuhi. 11. Hakuna mto wa kulalia huku unalalia mikono tu. 12. La mwisho wale mliopo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 na huku nyumbani hamjajenga mtakuwa mnalala kwa mwenyekiti. Ahsanteni na karibuni sana 🙏🙏😂·33 Ansichten
Mehr Artikel