Upgrade to Pro

  • PROFESSOR NA WASHIKAJI ZAKE

    Professor wa kitaa nakwambia utofauti mkubwa kati ya Mwanamke na Mwanaume .

    MWANAMKE

    -Akishindwa na maisha basi atatafuta Mwanaume wa kumuingiza kwenye mtego wa Ndoa ili apate ahueni ya maisha.

    -Ataingia kwenye Ndoa sio kwa ajili ya kujenga familia ijapokuwa ni akae mbali na masumbuko ya maisha . Haitokuwepo amani kwenye Ndoa yako ukioa Mwanamke wa aina hii.

    MWANAUME

    -Maisha yakimshinda Mwanaume yoyote ile basi kuna machaguo mawili ambayo ni

    1. Ajitoe nafsi mwenyewe na kwenda kupokea adhabu kwa Mungu ya kujiondoa uhai kabla ya muda au

    2 Ajifute vumbi na maumivu yote na aendelee kupambana .

    Hauna sehemu ya kulia wala kutoa malalamiko sababu wewe ndiye Mjomba, Shangazi ,Mama na Baba wa kujipa mtaji .

    Endelea kwenda sababu machaguo yako pindi Maisha yakikushinda ni magumu mnoo lakini usisahau na usiku huu nakukumbusha kwamba unamachaguo mawili tu.
    PROFESSOR NA WASHIKAJI ZAKE ✍️ Professor wa kitaa nakwambia utofauti mkubwa kati ya Mwanamke na Mwanaume . MWANAMKE -Akishindwa na maisha basi atatafuta Mwanaume wa kumuingiza kwenye mtego wa Ndoa ili apate ahueni ya maisha. -Ataingia kwenye Ndoa sio kwa ajili ya kujenga familia ijapokuwa ni akae mbali na masumbuko ya maisha . Haitokuwepo amani kwenye Ndoa yako ukioa Mwanamke wa aina hii. MWANAUME -Maisha yakimshinda Mwanaume yoyote ile basi kuna machaguo mawili ambayo ni 1. Ajitoe nafsi mwenyewe na kwenda kupokea adhabu kwa Mungu ya kujiondoa uhai kabla ya muda au 2 Ajifute vumbi na maumivu yote na aendelee kupambana . Hauna sehemu ya kulia wala kutoa malalamiko sababu wewe ndiye Mjomba, Shangazi ,Mama na Baba wa kujipa mtaji . Endelea kwenda sababu machaguo yako pindi Maisha yakikushinda ni magumu mnoo lakini usisahau na usiku huu nakukumbusha kwamba unamachaguo mawili tu.
    Love
    2
    ·33 Views
  • .KUTOKA KWENYE UKURASA WA MWANDISHI MICKJR TANZANIA HUENDA IKAONDOLEWA KWENYE AFCON 2025

    Hiki ndicho kilichotokea na sababu kwa nini Tanzania inaweza kuondolewa katika michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco baada ya kufuzu.

    Dakika ya 73, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyevaa jezi namba 26 Ibrahim Amme lakini kwenye karatasi ya timu waliyoiwasilisha CAF, hakuna mchezaji aliyesajiliwa na jezi namba 26.

    Ibarahim Amme alisajiliwa kwa jezi namba 24

    Hii inakiuka kanuni za CAF kuhusu utambulisho wa wachezaji.

    Guinea imewasilisha rasmi ripoti kwa CAF.

    Je unamaoni Gani kuhusu Hili swala ??
    .🚨KUTOKA KWENYE UKURASA WA MWANDISHI MICKJR TANZANIA HUENDA IKAONDOLEWA KWENYE AFCON 2025 Hiki ndicho kilichotokea na sababu kwa nini Tanzania inaweza kuondolewa katika michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco baada ya kufuzu. 🚨🇹🇿 Dakika ya 73, Tanzania ilifanya mabadiliko na kumuingiza mchezaji aliyevaa jezi namba 26 Ibrahim Amme lakini kwenye karatasi ya timu waliyoiwasilisha CAF, hakuna mchezaji aliyesajiliwa na jezi namba 26. 😳👀 Ibarahim Amme alisajiliwa kwa jezi namba 24 Hii inakiuka kanuni za CAF kuhusu utambulisho wa wachezaji. Guinea imewasilisha rasmi ripoti kwa CAF. Je unamaoni Gani kuhusu Hili swala ??
    Like
    Love
    Sad
    4
    ·152 Views
  • Yamesemwa na Farhan JR (Mchambuzi).

    "Kwenye jezi zao zote tatu za Yanga hii haina shida kabisa hii ya rangi ya dhahabu (Gold) ukirejea kwenye masuala ya rangi kwanza kuna rangi Mama tatu pekee zinaitwa Primary colours ambazo ni Njano, buluu na Nyekundu ambapo kwenye hizi rangi tatu ukichanganya ndio unapata rangi za pili (secondary colours) na bado kuna rangi zinaitwa Tertiary (somo la siku nyingine)

    Kwahiyo hapa alichofanya Designer wa Yanga ni kuichukua jezi ya ugenini ya Yanga ambayo ni Njano, kupitia njano ndio kaenda kuzalisha rangi ya DHAHABU, ukirejea darasani Dhahabu inapatikana kwa kuchanganya NJANO kwa 87.5% na rangi nyingine moja ndio unazalisha jezi yao namba mbili ya ugenini.

    Kwahiyo hapo hayupo nje kwakuwa GOLD ni sehemu ya njano kwa asilimia kubwa sana, Mimi shida yangu ni jezi yao ya nyumbani ule uzi wa KIJANI pale ndipo kuna shida ila sio hii ya pili na ya tatu."

    Yamesemwa na Farhan JR (Mchambuzi). "Kwenye jezi zao zote tatu za Yanga hii haina shida kabisa hii ya rangi ya dhahabu (Gold) ukirejea kwenye masuala ya rangi kwanza kuna rangi Mama tatu pekee zinaitwa Primary colours ambazo ni Njano, buluu na Nyekundu ambapo kwenye hizi rangi tatu ukichanganya ndio unapata rangi za pili (secondary colours) na bado kuna rangi zinaitwa Tertiary (somo la siku nyingine) Kwahiyo hapa alichofanya Designer wa Yanga ni kuichukua jezi ya ugenini ya Yanga ambayo ni Njano, kupitia njano ndio kaenda kuzalisha rangi ya DHAHABU, ukirejea darasani Dhahabu inapatikana kwa kuchanganya NJANO kwa 87.5% na rangi nyingine moja ndio unazalisha jezi yao namba mbili ya ugenini. Kwahiyo hapo hayupo nje kwakuwa GOLD ni sehemu ya njano kwa asilimia kubwa sana, Mimi shida yangu ni jezi yao ya nyumbani ule uzi wa KIJANI pale ndipo kuna shida ila sio hii ya pili na ya tatu."
    ·83 Views
  • Unaijui hii
    Unaijui hii
    Love
    1
    ·25 Views
  • Kumbe hii rangi ilitumika tangu zama i
    Kumbe hii rangi ilitumika tangu zama i
    ·25 Views
  • Hii rangi ilianza kutumika kitambo
    Hii rangi ilianza kutumika kitambo
    Love
    Like
    5
    1 Commentarios ·179 Views
  • My Sister! Are you Under a Spell?.

    Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo.

    Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu.

    Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu.

    Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri.

    Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu.

    Umefungwa na nini..?
    Nani amekuroga...?

    Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex.

    Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata.

    My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo.

    Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali.

    Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa.

    My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo".

    Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone.

    Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho.

    #KnowYourValueAndAct
    #MarriageUnderGodFoundation
    #MarriageIsBeautifu
    My Sister! Are you Under a Spell?. Naona wadada wengi ambao hawajaolewa, wazuri na wengine wakiwa na careers zao nzuri tu wapo kwenye mahusiano ya hovyo kupata kutokea. Sijajua ni kwanini lakini nashangaa bado waking'ang'ania hali hiyo. Mwanaume anakupiga, lakini bado upo, anakusaliti mbele ya macho yako lakini bado umeng'ang'ana tu...anakuumiza hisia zako, anakuongelea vibaya, haku-support, hajawahi kukununulia hata nguo ya ndani na hakuheshimu lakini bado upo tu. Sehemu pekee anayokupeleka ni kitandani au Bar, hamjawahi kutembea pamoja maeneo ya wazi, sehemu mnayoonekana pamoja ni kwenye giza giza lakini bado unaona sawa tu. Anakwambia anaweka mahusiano yenu private, lakini wewe bado unajionyesha kwake na unamuacha ana-enjoy sehemu zako za siri za mwili wako mzuri. Nafikiri unahitaji semina binafsi...watu pekee wanaokufahamu kwa upande wake ni marafiki na binamu zake basi, mwanaume anaekutambulisha kwa marafiki tu sio wa kumuamini moja kwa moja..yeye hajali ni kwa kiasi gani hao watu wanamfahamu kwa kuwa obvious watamfichia siri yake tu. Umefungwa na nini..? Nani amekuroga...? Ngoja nikwambie kitu kuhusiana na sisi wanaume. Hatuna tofauti sana na yule mwajiriwa wa kawaida...mwajiriwa wa kawaida yuko radhi afanye chochote kile ilimradi mwisho wa mwezi alipwe mshahara..sawa na sisi: hufanya lolote lile ilimradi tupate sex. Ndio, hata kuwadanganyeni kuwa tutawaoa, hata kuonekana kwa wazazi wenu as long as you guarantee us a sex...sasa imagine unaolewa na mwanaume wa hivyo, unafikiri atakua mume bora? Unafikiri atakupa furaha? Au unafikiri atabadilika? Hilo sahau..unaloliona ndilo utakalolipata. My sister, unatakiwa ujue thamani yako. Hata siku moja usijaribu kujishushia heshima na thamani yako ili tu umkamate mwanaume. Mwanaume ambae hawezi kukuheshimu na kuku-treat vizuri hakustahili hata kidogo. Ni bora uwe single, ukijigeuza huku na huku kitandani pekeyako kuhangaika na network ya Tigo kuliko kugeuzwa geuzwa kitandani na mwanaume ambae hastahili kupewa hiyo asali. Kamwe usiuze utu wako kwa minajili kwamba na wewe ujiite "am in a relationship"... hapana dada yangu hayo sio mahusiano, hizo ni personal benefits na tena anafaidi kweli, maana kila anapokuhitaji anakupata na unampa tu, anakuchafua na baada ya hapo maumivu tu kwa upande wako ukitarajia atabadilika na kuja kukuoa. My sister, hold yourself in so high esteem kiasi ya kwamba hata ukipita katikati ya kundi la wanaume, hakuna hata mmoja atainua kidole chake na kusema kwamba "nimeshakula ile mambo". Jiheshimu na heshimu hisia na mwili wako, hilo tunda anastahili mume wako tu, litunze ili usije ukampa likiwa limeliwa vya kutosha na limechacha...It's starts with you, if you don't know your value, you will be as common as a coin... Know your value and never be demeaned by anyone. Najua wanaume hawataipenda hii, ila muda mwingine lazima tuwaelimishe hawa dada zetu, ndio walezi wa kizazi kijacho. #KnowYourValueAndAct #MarriageUnderGodFoundation #MarriageIsBeautifu
    ·130 Views
  • Hii imetulia sana wananchi






    #youngafrica #wananchi #socialPop
    Hii imetulia sana wananchi #youngafrica #wananchi #socialPop
    Like
    Love
    2
    1 Commentarios ·189 Views
  • Hii vipi
    Hii vipi
    ·38 Views
  • Ameandika Peter Msechu (Msanii wa muziki Tanzania)

    "Nimeshangazwa sana katika kipindi hiki kigumu watu wanauchungu na kupotelewa na ndugu zao kituo kikubwa cha redio mnaona ni wakati wa kuandika taarifa kama hii iliyojaaa kejeli na kebehi namna hii hivi mnafikiri huwa nanufaika kuimba nyimbo za misiba au mnafikiri kwangu huwa ni sifa au kitu cha kujisifu??? NIMESIKITIKA SANA SANA SIKUTEGEMEA KABISA KAMA KITUO HIKI CHA REDIO KITACHAPISHA HABARI HII NA KUICHA HUKU NIKIAAMINI KITUO HIKI KINA VIONGOZI WAADILIFU WANAOWEZA KUCHAMBUA HABARI IPI IPANDISHWE IPI ISIPANDISHWE.

    Mmewakosea heshima wafiwa. @bongotzfm mmekosa habari ya kuandika mkaona hii ndio habari????

    KUANZIA LEO (jana) 17.11.2024 MIMI PETER MSECHU NAOMBA KITUO CHA REDIO CHA BONGO FM @bongotzfm MUACHE MARA MOJA KUANDIKA HABARI YA AINA YEYOTE ILE ITAKAYOHUSISHA JINA LANGU AMA SHUGHULI ZANGU WALA NYIMBO ZANGU NAOMBA ZISICHEZWE KATIKA KITUO CHENU KWA MAZINGIRA YEYOTE YALE.

    MMENIDHALILISHA SANA LEO.

    AHSANTENI

    Mwisho."
    Ameandika Peter Msechu (Msanii wa muziki Tanzania) "Nimeshangazwa sana katika kipindi hiki kigumu watu wanauchungu na kupotelewa na ndugu zao kituo kikubwa cha redio mnaona ni wakati wa kuandika taarifa kama hii iliyojaaa kejeli na kebehi namna hii😌😌😌😌 hivi mnafikiri huwa nanufaika kuimba nyimbo za misiba au mnafikiri kwangu huwa ni sifa au kitu cha kujisifu??? NIMESIKITIKA SANA SANA SIKUTEGEMEA KABISA KAMA KITUO HIKI CHA REDIO KITACHAPISHA HABARI HII NA KUICHA HUKU NIKIAAMINI KITUO HIKI KINA VIONGOZI WAADILIFU WANAOWEZA KUCHAMBUA HABARI IPI IPANDISHWE IPI ISIPANDISHWE. Mmewakosea heshima wafiwa. @bongotzfm mmekosa habari ya kuandika mkaona hii ndio habari???? KUANZIA LEO (jana) 17.11.2024 MIMI PETER MSECHU NAOMBA KITUO CHA REDIO CHA BONGO FM @bongotzfm MUACHE MARA MOJA KUANDIKA HABARI YA AINA YEYOTE ILE ITAKAYOHUSISHA JINA LANGU AMA SHUGHULI ZANGU WALA NYIMBO ZANGU NAOMBA ZISICHEZWE KATIKA KITUO CHENU KWA MAZINGIRA YEYOTE YALE. MMENIDHALILISHA SANA LEO. AHSANTENI🙏 Mwisho."
    ·48 Views
  • TANZANIA VS GUINEA, kuwania kufuzu AFCON2025 mashindano yatakayo fanyika nchi Morocco, mechi hii itachezewa nchi Tanzania katika uwanja wa Benjamin mkapa November 19
    TANZANIA VS GUINEA, kuwania kufuzu AFCON2025 mashindano yatakayo fanyika nchi Morocco, mechi hii itachezewa nchi Tanzania katika uwanja wa Benjamin mkapa November 19
    1 Commentarios ·55 Views

  • JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA.

    Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake.

    Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa .

    #paulswai
    JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA. Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake. Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa . #paulswai
    Love
    Angry
    Like
    Haha
    7
    3 Commentarios ·217 Views ·1 Acciones

  • JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA.

    Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake.

    Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa .

    #paulswai
    JEAN CHARLES AHOUA NDO KIUNGO HATARI MPAKA SASA. Ukiangalia kwenye list ya viungo washambuliaji waliofanya vizuri mpaka sasa kwenye ligi yetu kiungo wa Simba anashika nafasi ya kwanza kwa mchango wake. Ahoua amehusika kwenye magoli tisa mpaka sasa ameweka kambani goli 5 na ametoa assist 4, hakuna kiungo amefanya hivi kwenye hii ligi mpaka sasa . #paulswai
    Angry
    Yay
    2
    2 Commentarios ·193 Views
  • Tunaamini Mungu wa Huruma atasimama na wapambanaji wenzetu wote waliokumbwa na ajali hii, Amin 🙏🏽

    #paulswai
    Tunaamini Mungu wa Huruma atasimama na wapambanaji wenzetu wote waliokumbwa na ajali hii, Amin 🙏🏽 #paulswai
    Like
    Sad
    Love
    Haha
    6
    1 Commentarios ·174 Views
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    Sad
    5
    3 Commentarios ·314 Views
  • .Mechi yetu dhidi ya Al Hilal itachezwa saa 10 Jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Viingilio vya Mechi hii ni kama ifuatvyo;

    • VIP A 30,000
    • VIP B 20,000
    • VIP C 10,000
    • Machungwa na Mzunguko 3000

    Tiketi za mchezo huu zinaanza kuuzwa sasahivi hapa Makao Makuu ya Klabu Jangwani, kwenye mitandao ya simu na vituo mbalimbali vitakavyotajwa leo hii kwenye mitandao yetu ya kijamii" Ally Kamwe

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .Mechi yetu dhidi ya Al Hilal itachezwa saa 10 Jioni katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Viingilio vya Mechi hii ni kama ifuatvyo; • VIP A 30,000 • VIP B 20,000 • VIP C 10,000 • Machungwa na Mzunguko 3000 Tiketi za mchezo huu zinaanza kuuzwa sasahivi hapa Makao Makuu ya Klabu Jangwani, kwenye mitandao ya simu na vituo mbalimbali vitakavyotajwa leo hii kwenye mitandao yetu ya kijamii" Ally Kamwe #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Love
    1
    ·315 Views
  • ."Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi wamejiuliza je hatuna jezi mpya msimu huu? Niwaambie Wananchi jezi mpya za ligi ya mabingwa zipo tayari na zitazinduliwa tarehe 20, Jezi hizi zitauzwa shilingi elfu 50, Safari hii hatuna bei ya jumla tuna bei ya rejareja, Jezi hizi zitauzwa hapa Makao Makuu Jangwani na katika maduka yote ya GSM Malls

    Ally Kamwe

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    ."Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi wamejiuliza je hatuna jezi mpya msimu huu? Niwaambie Wananchi jezi mpya za ligi ya mabingwa zipo tayari na zitazinduliwa tarehe 20, Jezi hizi zitauzwa shilingi elfu 50, Safari hii hatuna bei ya jumla tuna bei ya rejareja, Jezi hizi zitauzwa hapa Makao Makuu Jangwani na katika maduka yote ya GSM Malls Ally Kamwe #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Love
    1
    1 Commentarios ·304 Views
  • "Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    "Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    ·97 Views
  • "Leo tutakuwa na habari mbili kubwa, tunakwenda kufanya maboresho mengine kwenye benchi letu la ufundi hivyo taarifa hizi zitatolewa kupitia Yanga SC APP. Tumeshakubaliana Wananchi, Kama taarifa haipo Yanga SC APP ipotezee.

    Kocha wetu baada ya kutangazwa hapo jana aliita kikao na wasaidizi wake, Mjerumani huyu hana kupoa kafika tu kataka kujua kila kinachoendelea na leo hii atakuwa na kikao kingine kwaajili ya kuhakikisha tunakwenda sawa kwenye maandalizi ya timu yetu kuelekea mchezo wetu dhidi ya Al Hilal tarehe 26.11.2024" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    "Leo tutakuwa na habari mbili kubwa, tunakwenda kufanya maboresho mengine kwenye benchi letu la ufundi hivyo taarifa hizi zitatolewa kupitia Yanga SC APP. Tumeshakubaliana Wananchi, Kama taarifa haipo Yanga SC APP ipotezee. Kocha wetu baada ya kutangazwa hapo jana aliita kikao na wasaidizi wake, Mjerumani huyu hana kupoa kafika tu kataka kujua kila kinachoendelea na leo hii atakuwa na kikao kingine kwaajili ya kuhakikisha tunakwenda sawa kwenye maandalizi ya timu yetu kuelekea mchezo wetu dhidi ya Al Hilal tarehe 26.11.2024" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    ·122 Views
  • "Timu yetu haijawahi kufungwa mara tatu mfululizo katika rekodi za hivi karibuni, itakuwa aibu mchezo ujao tukapoteza tena, tafadhali ndugu zangu wananchi, twendeni tukapigane Vita hii Benjamin Mkapa kwa pamoja, twendeni tukawape Sapoti kubwa wachezaji wetu, twendeni tukarudishe Heshima yetu, Hii siyo kazi ya Viongozi wetu peke yao, siyo kazi ya Benchi la ufundi peke yao, ni kazi yetu sote Wananchi, Safari hii hatucheki na yoyote tunailinda Yanga yetu" Ally kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC
    "Timu yetu haijawahi kufungwa mara tatu mfululizo katika rekodi za hivi karibuni, itakuwa aibu mchezo ujao tukapoteza tena, tafadhali ndugu zangu wananchi, twendeni tukapigane Vita hii Benjamin Mkapa kwa pamoja, twendeni tukawape Sapoti kubwa wachezaji wetu, twendeni tukarudishe Heshima yetu, Hii siyo kazi ya Viongozi wetu peke yao, siyo kazi ya Benchi la ufundi peke yao, ni kazi yetu sote Wananchi, Safari hii hatucheki na yoyote tunailinda Yanga yetu" Ally kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC
    ·91 Views
Resultados de la búsqueda