#HABARI Wanaodaiwa kuwa ni wamiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka katika eneo la Kariakoo na kusababisha vifo vya watu 29, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia.
Washtakiwa hao watatu wamepandishwa kizimbani mahakamani hapo hii leo Novemba 29 na kusomewa mashtaka ya kesi hiyo na hayo na mawakili watatu waandamizi wa serikali Adolf Lema, Grace Mwanga na Erick Kamala mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Godfrey Mhini.
Waliofikishwa mahakamani hapo ni Leondela Mdete (49), mkazi wa Mbezi Beach, Zenabu Islam (61), mkazi wa Kariakoo na Ashour Awadh Ashour (38), mkazi wa Ilala.
Kwenye mashtaka hayo, washtakiwa hao wanadaiwa Novemba 16, 2024 katika mtaa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam, isivyo halali, kwa pamoja walishindwa kutimiza majukumu na kusabashisha vifo vya watu 29.

·49 Views