Ufunuo wa Yohana 6:9-11
[9]Na alipoifungua muhuri ya tano, nikaona chini ya madhabahu roho zao waliochinjwa kwa ajili ya neno la :
[10]Wakalia kwa sauti kuu, wakisema, Ee Mola, Mtakatifu, Mwenye kweli, hata lini kutokuhukumu, wala kuipatia haki damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi?
[11]Nao wakapewa kila mmoja nguo ndefu, nyeupe, wakaambiwa wastarehe bado muda mchache, hata itakapotimia hesabu ya wajoli wao na ndugu zao, watakaouawa vile vile kama wao.
*Unaweza zani unaua Mungu amekuacha kube ni bado kitambo kidogo sana juu yako.*
Na ukitaka kujua bado kitmbo kidogo ukiona imefika wakati kanisa linaanza kushambuliwa jua kumeshakucha tayari mwenye kusikia na asikie maneno ambayo roho ayaambia makanisa.
Ogopa sana wewe kuwa sababu y kukatisha uhai wa mtu katika hii dunia asila ya mungu ikishuka amna namna unaweza kuwa salama.
*Nazungumza na mtu ambaye wewe kuua nafsi za watu kwako ni kawaida ,Mungu anasema amesubiri kidogo tu kilio kama cha watu wale kiongezeke kidogo tu* .
Kama kanisa likasema kuwa haki inaminywa matokeo yake ni kuumia kwa maisha yao basi jua kuwa anguko la pili ni kubwa kuliko la kwanza.
Galatia 6:9-10
*Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.*
Sasa kwa namna yeyote ile kutenda mema kwa kanisa ni pamoja na kusema ukweli panapo hitajika kusema.
*Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote.* Mithali 14:34
Sasa kama kuna damu inamwagika kwa ajiri ya haki jua kinacho fuatia ni aibu mauti (dhambi).
Ole kwako dunia ambaye wewe unashiriki kuua masihi wa Bwana na wasema kweli wote kwani anguko lako ni baya sana kuliko hata asiye amini.
51 *tangu damu ya Abeli mpaka damu ya Zakaria aliyeuawa kati ya madhabahu na mahali patakatifu. Nawaambia kweli, watu wa kizazi hiki wataadhibiwa kwa ajili yao wote* (luka 11:51)
Kama kwa matoleo damu ya Abiri ililia vipi kuhusu haki damu ya watumishi itakayo lia .
Misikilize mathayo alivyo andika maneno aliyo yasema masihi wa Bwana.
Mathayo 23:35
*Hivyo ile damu ya wenye haki wote iliyomwagwa hapa duniani, tangu damu ya Habili, aliyekuwa mwenye haki, hadi damu ya Zakaria mwana wa Barakia, mliyemuua kati ya patakatifu na madhabahu, itawajia juu yenu*
Kanisa la Mungu damu ya wenye haki na watumishi wa mungu si damu za kuzishiriki kwani zinahatari sana .
Cheki laana aliyo ipata kaini baada ya kumuua ndugu yake.
Mwanzo 4:10-12
*Umefanya nini? Damu ya ndugu yako yanililia kutoka udongoni. Sasa wewe umelaaniwa! Hutailima tena ardhi yenye rutuba ambayo kama kinywa imeipokea damu ya nduguyo uliyemuua. Ukiilima ardhi haitakupatia tena mazao yake. Utakuwa mtu wa kutangatanga, asiye na makao maalumu duniani.”*
*Sasa kama taifa ni moja ya madhara yanaweza kukupata wewe ambaye damu ya wataua wa Mungu na wapenda haki unaichezea* .
Unaweza ukamuua huyo mtumishi msema kweli lakini mara zote damu yake utumika kama wino wa kumkumbusha Mungu na matokeo yake unalaaniwa wewe na kizazi chako chote .
*Kama askari wa mbinguni huu ni muda mwafaka wa kumlingana Mungu kuhusu maovu yetu kuliko kuendelea kumwaga damu ya wataua.*
Lakini pia ole kwa kanisa ambalo linaona palipo haribika lakini halitaki kuongea kazi yake kusifiwa na nyinyi pia ole kwenu imefika .
Yeremia 23:1
*Ole wao wachungaji, wanaoharibu kondoo za malisho yangu na kuwatawanya! Asema BWANA*
*Watumishi msidhani kuzini tu ndo ole iyo hata kukaa kimya wakati damu inamwagika pia ni kutawanya kondoo kwani amuwaekezi ukweli kondoo wenu .*
Wako katika Kristo jasusi wa mbinguni SG Mwakabende kutoka build new eden

0 Comments
·0 Shares
·33 Views