"Siamini na sitakaa niamini kama TFF kupitia kamati yake inakwenda kumfungia Ali Kamwe kama tetesi zinavyosema, nataka kuamini huenda wanaanzisha jambo kuangalia mapokeo ya watu”
“Maoni yangu kama kuna jambo ambalo TFF linapaswa kulitazama ni hili la kuanza kuwaandama wasemaji wa vilabu haswa klabu ya Yanga, kwa taarifa niliyonayo na ninayoifahamu alifungiwa Hassan Bumbuli, Antonio Nugaz, nimefungiwa mimi (Jerry Muro),amefunguwa Haji Manara na sasa wanataka kumfungia Ali Kamwe watu watano katika kipindi cha miaka mitano sitaki kusema kama hawa waliofungiwa wamefanya makosa kuliko wengine”
“Wasemaji ni sehemu ya familia ya mpira japo sio main actors kwenye mpira sio wachezaji,sio benchi la ufundi, sio mwenyekiti wala makatibu hawa ni familia ya mpira,nachotaka kuwashauri kabla ya kuwafungia wasemaji sasa ni wakati wa TFF kutengeneza kanuni na miongozo na taratibu zinazosimamia eneo la usemaji kama zinavyotengenezwa kanuni za chama cha marefa au soka la wanawake” - Jerry Muro.