"Haitochukua muda Wananchi wataanza tena kurejea ule mpira wao na mabao yao, haitochukua muda kabla Clement Mzize aanze kupokea ofa nyingi huko nje, haitochukua muda kuanza kutenganisha maji na mafuta, haichukui muda kugundua Prince Dube kamba zote hajafunga penati, haitochukua muda timu zitaanza kuitwa Matawi.
Kama hii hali itaendelea haitochukua muda jina la GSM na udhamini kuanza kuwa kiitikio kwenye ule wimbo maarufu, haitochukua muda kusikia Marefa na TFF wote ni Wananchi, haitochukua muda sana" - Farhan JR, Mchambuzi.

Kama hii hali itaendelea haitochukua muda jina la GSM na udhamini kuanza kuwa kiitikio kwenye ule wimbo maarufu, haitochukua muda kusikia Marefa na TFF wote ni Wananchi, haitochukua muda sana😀" - Farhan JR, Mchambuzi.
·66 Visualizações