• Fahamu Barcelona wako tayari kumuuza Fermin Lopez ila Si chini ya ada ya €100m.

    Chelsea FC leo walitoa ofa ya £50m pamoja na nyongeza lakini Barcelona wameona ni ofa ndogo kwa Lopez. ❎️

    Source The Touchline T

    #SportsElite
    🚨 Fahamu Barcelona wako tayari kumuuza Fermin Lopez ila Si chini ya ada ya €100m. Chelsea FC leo walitoa ofa ya £50m pamoja na nyongeza lakini Barcelona wameona ni ofa ndogo kwa Lopez. ❎️🔵 Source The Touchline T #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·140 Ansichten
  • SIKU YA MWANANCHI

    #EXCLUSIVE;Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki siku ya mwananchi tarehe 12.9.2025 dhidi ya timu ya BANDARI FC kutoka nchini Kenya.

    #BandariFc #SikuYaMwananchi #YangaSC

    #SportsElite
    SIKU YA MWANANCHI 🚨#EXCLUSIVE;Timu ya Wananchi Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki siku ya mwananchi tarehe 12.9.2025 dhidi ya timu ya BANDARI FC kutoka nchini Kenya. #BandariFc #SikuYaMwananchi #YangaSC #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·391 Ansichten


  • Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo cha Bild cha nchini Ujerumani, Chelsea imekuwa ikihusishwa kuwania saini ya beki raia wa Ecuador, taifa wanalotokea Moises Caicedo na Kendry Paez, Piero Hincapie.

    Nyota huyo anayecheza nafasi ya beki alimwaga machozi wakati klabu yake ya Bayer Leverkusen ilipofungwa 2-1 jumamosi ya wiki iliyoisha na kitendo hicho kimehusishwa kama ishara ya kuondoka klabuni hapo na kujiunga na klabu mojawapo huku Chelsea ikitajwa kwenye orodha.

    Dirisha la usajili limebakiza siku 7 tu kabla ya kufungwa.
    #d1905_usajili

    #SportsElite
    🚨🚨 Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa chanzo cha Bild cha nchini Ujerumani, Chelsea imekuwa ikihusishwa kuwania saini ya beki raia wa Ecuador, taifa wanalotokea Moises Caicedo na Kendry Paez, Piero Hincapie. Nyota huyo anayecheza nafasi ya beki alimwaga machozi wakati klabu yake ya Bayer Leverkusen ilipofungwa 2-1 jumamosi ya wiki iliyoisha na kitendo hicho kimehusishwa kama ishara ya kuondoka klabuni hapo na kujiunga na klabu mojawapo huku Chelsea ikitajwa kwenye orodha. Dirisha la usajili limebakiza siku 7 tu kabla ya kufungwa. #d1905_usajili #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·239 Ansichten
  • Liverpool FC inaendelea kuisisitiza Real Madrid haitaweza kumuuza beki wake Ibrahima Konaté chini ya kiasi cha €50M.

    (Source: AS)

    #SportsElite
    🚨 Liverpool FC inaendelea kuisisitiza Real Madrid haitaweza kumuuza beki wake Ibrahima Konaté chini ya kiasi cha €50M. (Source: AS) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·132 Ansichten
  • Nahodha wa kwanza Mweusi wa Athletic Club ameshinda mechi yake ya kwanza ya La Liga!

    Jumapili, Bilbao ilipiga Sevilla 3-2 chini ya Uongozi wa huyu mwamba.

    Inaki Williams, Dogo kutoka Ghana...Onto the Next One!

    #SportsElite
    🖤🇬🇭🇪🇸Nahodha wa kwanza Mweusi wa Athletic Club ameshinda mechi yake ya kwanza ya La Liga! Jumapili, Bilbao ilipiga Sevilla 3-2 chini ya Uongozi wa huyu mwamba. Inaki Williams, Dogo kutoka Ghana...Onto the Next One! #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·92 Ansichten
  • Mchezo wa kirafiki kati ya Simba Sc dhidi ya Al-Zulfi SFC ya nchini Saudia umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣.

    Goli la Simba limefungwa mapema kipindi cha kwanza na kiungo Jean Ahoua kwa faulo ya moja kwa moja.

    #SportsElite
    🚨🚨Mchezo wa kirafiki kati ya Simba Sc dhidi ya Al-Zulfi SFC ya nchini Saudia umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa goli 1️⃣ kwa 0️⃣. Goli la Simba limefungwa mapema kipindi cha kwanza na kiungo Jean Ahoua kwa faulo ya moja kwa moja. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·176 Ansichten
  • Polisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita.

    Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana.

    Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyo
    Polisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita. Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana. Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyo
    0 Kommentare ·0 Anteile ·485 Ansichten
  • Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu.

    Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu. Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·513 Ansichten
  • RWANDA,

    #EXCLUSIVE;Beki Frank Assinki amejumuishwa kwenye msafara wa Wachezaji ambao wameondoka leo kwenda nchini Rwanda.

    #SportsElite
    RWANDA,🇷🇼 🚨#EXCLUSIVE;Beki Frank Assinki amejumuishwa kwenye msafara wa Wachezaji ambao wameondoka leo kwenda nchini Rwanda. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·179 Ansichten
  • Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi.

    Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi. Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·347 Ansichten
  • Rushine De Reuck Kitasa kipya cha Simba,jamaa yuko aggressive,muda wote ananusa hatari na kufika kwenye matukio ili kufanya interception,tackling,clearance n.k.

    Rushine De Reuck Ni dominant kwenye mipira ya juu na chini…jamaa akiwa kwenye siku zake ni ngumu kwa mshambuliaji kukabiliana nae.

    Yote kwa yote ukimtazama akiwa na mali mguuni uta-enjoy…jamaa ni ball-playing defender

    Wana simba hapa mmepata beki,jamaa ana uzoefu mkubwa pia ana uwezo wa kucheza maeneo yote ya nyuma

    Super Signing

    #SportsElite
    🚨🚨Rushine De Reuck Kitasa kipya cha Simba,jamaa yuko aggressive,muda wote ananusa hatari na kufika kwenye matukio ili kufanya interception,tackling,clearance n.k. Rushine De Reuck Ni dominant kwenye mipira ya juu na chini…jamaa akiwa kwenye siku zake ni ngumu kwa mshambuliaji kukabiliana nae. Yote kwa yote ukimtazama akiwa na mali mguuni uta-enjoy…jamaa ni ball-playing defender🙌 Wana simba hapa mmepata beki,jamaa ana uzoefu mkubwa pia ana uwezo wa kucheza maeneo yote ya nyuma🖐️ Super Signing🔥 #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·408 Ansichten
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji, Lassine Kouma (21) raia wa Mali akitokea klabu ya Stade Malien ya Nchini kwao na atavaa jezi namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na Khalid Aucho.

    #SportsElite
    📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji, Lassine Kouma (21) raia wa Mali akitokea klabu ya Stade Malien ya Nchini kwao na atavaa jezi namba 8 iliyokuwa ikivaliwa na Khalid Aucho. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·268 Ansichten
  • JUST IN: Simba wamemsajili beki wa kati wa Mamelodi,Rushine De Reuck (29) kwa mkataba wa mwaka mmoja.

    Beki huyo mwenye umri wa miaka 29 alitumia kipindi cha pili cha msimu uliopita kwa mkopo katika klabu ya Maccabi Petah Tikva ya Israel ambapo alishiriki katika michezo minne,na sasa ataanza safari mpya baada ya miaka minne na Sundowns.

    Alijiunga na Masandawana kama Beki Bora wa Msimu wa Ligi Kuu ya Soka, wakati akiwa na Maritzburg United,mwaka 2021, ambako alikuwa akifanya kazi chini ya Kocha Mkuu wa sasa wa Simba, Fadlu Davids.


    #SportsElite
    🚨🚨 JUST IN: Simba wamemsajili beki wa kati wa Mamelodi,Rushine De Reuck (29) kwa mkataba wa mwaka mmoja. Beki huyo mwenye umri wa miaka 29 alitumia kipindi cha pili cha msimu uliopita kwa mkopo katika klabu ya Maccabi Petah Tikva ya Israel 🇮🇱ambapo alishiriki katika michezo minne,na sasa ataanza safari mpya baada ya miaka minne na Sundowns. Alijiunga na Masandawana kama Beki Bora wa Msimu wa Ligi Kuu ya Soka, wakati akiwa na Maritzburg United,mwaka 2021, ambako alikuwa akifanya kazi chini ya Kocha Mkuu wa sasa wa Simba, Fadlu Davids. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·370 Ansichten
  • Ac Milan wamekamilisha usajili wa Pervis Estupinan (27) kutoka Brighton kama mbadala wa Theo Hernandez aliyetimkia Al hilal ya nchini Saudia.

    Uhamisho wa beki huyo wa pembeni umegharimu kiasi cha €17M pamoja na nyongeza ya €2M ili kukamilisha dili hilo.

    #SportsElite
    Ac Milan wamekamilisha usajili wa Pervis Estupinan (27) kutoka Brighton kama mbadala wa Theo Hernandez aliyetimkia Al hilal ya nchini Saudia. Uhamisho wa beki huyo wa pembeni umegharimu kiasi cha €17M pamoja na nyongeza ya €2M ili kukamilisha dili hilo. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·223 Ansichten
  • | BREAKING

    AS Roma ya nchini Italy imefikia makubaliano ya kumnunua beki wa pembeni wa flamengo, Wesley kwa dau la €25M pamoja na nyongeza.

    Kila kitu kipo tayari na mchezaji anaitaka AS Roma pekee, Flamengo wanafanya jitihada za kutafuta mbadala wa Wesley ili wamluhusu rasmi akajiunge na Roma.

    #SportsElite
    🚨 | BREAKING AS Roma ya nchini Italy imefikia makubaliano ya kumnunua beki wa pembeni wa flamengo, Wesley kwa dau la €25M pamoja na nyongeza. Kila kitu kipo tayari na mchezaji anaitaka AS Roma pekee, Flamengo wanafanya jitihada za kutafuta mbadala wa Wesley ili wamluhusu rasmi akajiunge na Roma. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·346 Ansichten
  • Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba.

    Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia.

    Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko..

    #SportsElite
    Inaelezwa kuwa Mshahara wa nyota mpya wa Young Africans Sports Club Moussa Balla Conte ni USD 12K sawa na zaidi ya Tsh million 31.4 Kwa mwezi ambao utapanda hadi USD 14K sawa zaidi ya Tsh million 37 kwenye mwaka wake wa mwisho wa mkataba. Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia wananchi akitokea CS Sfaxien ya nchini Tunisia. Kwa Sasa ni dhahili shahili Wachezaji wengi watapenda kuja kucheza Tz maana Pesa iko.. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·461 Ansichten
  • Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios

    Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon

    #SportsElite
    🚨 Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil 🇧🇷 leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios 🙌 Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon 🙌 #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·225 Ansichten
  • Mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 19, Nestory Irankunda amejiunga na Klabu ya Watford FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza akitokea Bayern Munich kwa dau la Euro Milioni 4 ambayo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 12 za Kitanzania kwa Mkataba wa Miaka minne wenye kipengele cha kupata asilimia 50 ya mauzo yake.

    Irankunda ni mzaliwa wa Kigoma Tanzania kwenye kambi ya Wakimbizi kutoka kwa Wazazi wakimbizi kutoka Burundi huku yeye akiwa na uraia wa Australia .

    #SportsElite
    Mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 19, Nestory Irankunda amejiunga na Klabu ya Watford FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza akitokea Bayern Munich kwa dau la Euro Milioni 4 ambayo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 12 za Kitanzania kwa Mkataba wa Miaka minne wenye kipengele cha kupata asilimia 50 ya mauzo yake. Irankunda ni mzaliwa wa Kigoma Tanzania 🇹🇿 kwenye kambi ya Wakimbizi kutoka kwa Wazazi wakimbizi kutoka Burundi 🇧🇮 huku yeye akiwa na uraia wa Australia 🇦🇺. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·459 Ansichten
  • Klabu ya Napoli ya nchini Italy imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Noa Lang (26) akitokea PSV ya nchini uholanzi.

    Noa Lang ni moja ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana na kipaji kikubwa akifanikiwa kufunga magoli 15 na kutoa pasi za magoli 12 msimu uliopita akiwa na PSV pamoja na timu ya taifa.

    #SportsElite
    🚨Klabu ya Napoli ya nchini Italy imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake mpya, Noa Lang (26) akitokea PSV ya nchini uholanzi. Noa Lang ni moja ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana na kipaji kikubwa akifanikiwa kufunga magoli 15 na kutoa pasi za magoli 12 msimu uliopita akiwa na PSV pamoja na timu ya taifa. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·265 Ansichten
  • Manchester united imeweka wazi bei ya winga wake hatari Antony €58M na sio chini ya hapo.

    United wapo tayari kuachana na Antony na vilabu kadhaa vikubwa vimeonesha nia ya kumuhitaji ikiwemo;

    Newcastle
    Brighton
    Bayer Leverkusen
    RB Leipzig.

    Credit [365Scores]

    #SportsElite
    🚨Manchester united imeweka wazi bei ya winga wake hatari Antony €58M na sio chini ya hapo. United wapo tayari kuachana na Antony na vilabu kadhaa vikubwa vimeonesha nia ya kumuhitaji ikiwemo; 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Newcastle 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Brighton 🇩🇪 Bayer Leverkusen 🇩🇪 RB Leipzig. Credit [365Scores] #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·437 Ansichten
Suchergebnis