• Mlinzi wa kushoto wa Bayern Munich Alphonso Davies akielezea namna anavyojiona amepoteza uhuru wake baada ya kuwa mchezaji professional

    “Nipo mbali na familia yangu , siishi na girlfriend wangu marafiki zangu hawafiki watano yote haya yananifanya nijione nimepoteza kila kitu kwenye maisha”

    “Maisha ya kuwa mchezaji ni magumu sana ,kuna muda baada ya mazoezi unatakiwa kulala na sio kufanya chochote”

    Mpira wa miguu ni mchezo unaohitaji kujitoa sana hasa unapokuwa professional , ili kuishi mpira unavyotaka basi ni lazima uipe mgongo dunia na hiko ndicho anachopitia Davies hadi kujiona amepoteza kila kitu , imagine pesa unayo ya kutosha ila unapangiwa vitamu usile

    #SportsElite
    Mlinzi wa kushoto wa Bayern Munich Alphonso Davies akielezea namna anavyojiona amepoteza uhuru wake baada ya kuwa mchezaji professional “Nipo mbali na familia yangu , siishi na girlfriend wangu marafiki zangu hawafiki watano yote haya yananifanya nijione nimepoteza kila kitu kwenye maisha” “Maisha ya kuwa mchezaji ni magumu sana ,kuna muda baada ya mazoezi unatakiwa kulala na sio kufanya chochote” Mpira wa miguu ni mchezo unaohitaji kujitoa sana hasa unapokuwa professional , ili kuishi mpira unavyotaka basi ni lazima uipe mgongo dunia na hiko ndicho anachopitia Davies hadi kujiona amepoteza kila kitu , imagine pesa unayo ya kutosha ila unapangiwa vitamu usile #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·96 Views
  • Lamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG).

    Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza.

    Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa?

    FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE
    Ureno 2-2 Uhispania (P 5-3)
    Mendes
    Ronaldo

    Zubimendi
    Oyarzabal

    #UCL
    Barcelona 1-2 PSG
    19' Torres
    38' Mayulu( Mendes)
    90' Ramos ( Hakimi)


    #SportsElite
    Lamine Yamal ni mmoja wa mawinga bora kabisa wa kulia kwenye soka kwa sasa huku Nuno Mendes akiwa beki bora kabisa wa kushoto kwa sasa Duniani wakati wawili hawa wakikutana mara mbili hivi karibuni kwenye mchezo wa UEFA Nations League (Fainali, Ureno vs Uhispania) na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL), (Barcelona vs PSG). Kwenye mechi zote mbili Yamal ameshindwa kutamba mbele ya Mreno huyo ambaye alifunga goli na kutoa 'assist' na kuwa nyota wa mchezo huku timu yake ikishinda mara zote wakati Yamal akitoka patupu bila goli huku timu yake ikipoteza. ✍️ Je unadhani kuna winga anaweza kummudu Nuno Mendes kwa sasa? FAINALI: #UEFANATIONS LEAGUE Ureno 🇵🇹 2-2 🇪🇸 Uhispania (P 5-3) ⚽ Mendes ⚽ Ronaldo ⚽ Zubimendi ⚽ Oyarzabal #UCL Barcelona 🇪🇸 1-2 🇫🇷 PSG ⚽ 19' Torres ⚽ 38' Mayulu(🅰️ Mendes) ⚽ 90' Ramos (🅰️ Hakimi) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·68 Views
  • Timu ya Argentina's wamezindua jezi ya ugenini itakayotumika katika kombe la dunia 2026


    #SportsElite
    🚨🚨 🇦🇷Timu ya Argentina's wamezindua jezi ya ugenini itakayotumika katika kombe la dunia 2026 #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·58 Views
  • Leonardo Bonucci : " Nilipokabiliana na Messi kwenye Fainali ya 2022, nilimpongeza kwa kushinda Copa America na nikamwambia, "Messi, unastahili. Ulijitolea kwa ajili ya Argentina. Sasa huna chochote cha kuthibitisha kwa ulimwengu. Umeshinda kila kitu kwenye soka. Unaweza kustaafu ukiwa na amani ya akili.”

    Alitabasamu na kuniambia, "Nilifanya hivi kwa ajili ya nchi yangu, si kwa ajili yangu mwenyewe. Ni hayo tu. Sifikirii kuhusu mafanikio ya mtu binafsi zaidi ya mataji ya nchi yangu, lakini ikiwa sitashinda Kombe la Dunia, sitastaafu." [Anacheka] Kwa hivyo nikamwambia, "Umefanya kila kitu kwenye soka. Hata kama hutashinda Kombe la Dunia, wewe ni mchezaji bora zaidi katika historia."

    Lakini baada ya Messi kushinda Kombe la Dunia, niliiambia familia yangu, "Hii ni haki ya mpira wa miguu. Messi anastahili kuwa na Kombe la Dunia zaidi ya moja kwa sababu ya muujiza wa soka aliofanya na jinsi ulimwengu ulivyofurahia kile alichokifanya. Nikikutana naye tena, nitamwambia, "Sasa unaweza kustaafu na utulivu wa akili." Hata neno bora katika historia halitoshi kwa Messi."

    #SportsElite
    🎙️Leonardo Bonucci🇮🇹 : " Nilipokabiliana na Messi kwenye Fainali ya 2022, nilimpongeza kwa kushinda Copa America na nikamwambia, "Messi, unastahili. Ulijitolea kwa ajili ya Argentina. Sasa huna chochote cha kuthibitisha kwa ulimwengu. Umeshinda kila kitu kwenye soka. Unaweza kustaafu ukiwa na amani ya akili.” Alitabasamu na kuniambia, "Nilifanya hivi kwa ajili ya nchi yangu, si kwa ajili yangu mwenyewe. Ni hayo tu. Sifikirii kuhusu mafanikio ya mtu binafsi zaidi ya mataji ya nchi yangu, lakini ikiwa sitashinda Kombe la Dunia, sitastaafu." [Anacheka] Kwa hivyo nikamwambia, "Umefanya kila kitu kwenye soka. Hata kama hutashinda Kombe la Dunia, wewe ni mchezaji bora zaidi katika historia." Lakini baada ya Messi kushinda Kombe la Dunia, niliiambia familia yangu, "Hii ni haki ya mpira wa miguu. Messi anastahili kuwa na Kombe la Dunia zaidi ya moja kwa sababu ya muujiza wa soka aliofanya na jinsi ulimwengu ulivyofurahia kile alichokifanya. Nikikutana naye tena, nitamwambia, "Sasa unaweza kustaafu na utulivu wa akili." Hata neno bora katika historia halitoshi kwa Messi." #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·83 Views
  • 5.WATU WANAO WEZA KUKUTAMBULISHA.

    Zawadi kubwa mtu anayo pewa na Mungu ni watu .

    Ukipata watu wanao weza kukutambulisha au kutambulisha maono yako basi jua umepiga hatua.

    Kila aliye fanikiwa anao watu walimshikaga mkono na kuntambulisha kwebye jamii na jamii ikaanza kumuamini kama inavyo muamini aliye kutambulisha.

    Daudi pamoja na kupakwa mafuta lakini bado ili ufalme ukamilike alijitaji mtu anaye weza kutambulisha .

    1 Samweli 16:17-18
    [17]Basi Sauli akawaambia, Vema, nitafutieni mtu aliye stadi wa kupiga kinubi, mkaniletee.

    [18]Ndipo akajibu mmoja wa watumishi wake akasema, Tazama, nimemwona mwana mmoja wa Yese, Mbethlehemi, aliye stadi wa kupiga kinubi, tena ni mtu shujaa, hodari wa vita, anenaye kwa busara, mtu mzuri, ambaye BWANA yu pamoja naye.

    Ile Daudi kupakwa mafuta peke yake haikumfanya awe mfalme ni mpaka alipo patikana mtu anayeweza kuntambulisha na huyu akikutambulisha vyema umeiteka dunia.

    Mfano mwingine Yusuph aliota ndoto akiwa mdogo kuwa ndugu zake na baba yake wote wanamtumikia .

    Lakini ili itimie ndoto ile ilihitaji mtu anaye weza mtambulisha

    Mwanzo 41:9-14
    [9]Basi mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao akisema, Nayakumbuka makosa yangu leo.

    [10]Farao aliwakasirikia watumwa wake, akanitia nifungwe nyumbani mwa mkuu wa askari, mimi na mkuu wa waokaji.

    [11]Tukaota ndoto usiku mmoja, mimi na yeye; kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake tukaota.
    .
    [12]Na huko pamoja nasi palikuwa na kijana; Mwebrania, mtumishi wa mkuu wa askari, tukamhadithia, naye akatufasiria ndoto zetu; akamfasiria kila mtu kama ilivyokuwa ndoto yake.
    .
    [13]Ikawa, kama vile alivyotufasiria ndivyo ilivyotokea; mimi nalirudishwa katika kazi yangu, na yeye alitundikwa.
    .
    [14]Ndipo Farao akapeleka watu, akamwita Yusufu, wakamleta upesi kutoka gerezani. Akanyoa, akabadili nguo zake, na kuingia kwa Farao.

    Kukamilika kwa ndoto alizo ota akiwa mdogo Yusuph ni mpaka alipo patikana mtu anayeweza kuntambulisha tu.

    Jifunze kuwa na prayer point ya kumuomba Mungu akupe mtu anaye weza kukutambulisha na watu wakamkubali hakika

    Changamoto kubwa ya vijana wengi leo hawako tayari kuwa heshimu watu hivyo wanakosa watu wanao weza kuwapa mkono wa shirika na kuwatambulisha.

    Nikwambie ukweli akuna chochote duniani kinakuwa bila watu kukupa mkono wa shirika na kukutambulisha.

    Niwatakie asubui njema na siku njema. Usisahau kutufollow sikiliza mwanangu

    Sylvester Mwakabende
    Build new eden
    0622625340
    5.WATU WANAO WEZA KUKUTAMBULISHA. Zawadi kubwa mtu anayo pewa na Mungu ni watu . Ukipata watu wanao weza kukutambulisha au kutambulisha maono yako basi jua umepiga hatua. Kila aliye fanikiwa anao watu walimshikaga mkono na kuntambulisha kwebye jamii na jamii ikaanza kumuamini kama inavyo muamini aliye kutambulisha. Daudi pamoja na kupakwa mafuta lakini bado ili ufalme ukamilike alijitaji mtu anaye weza kutambulisha . 1 Samweli 16:17-18 [17]Basi Sauli akawaambia, Vema, nitafutieni mtu aliye stadi wa kupiga kinubi, mkaniletee. [18]Ndipo akajibu mmoja wa watumishi wake akasema, Tazama, nimemwona mwana mmoja wa Yese, Mbethlehemi, aliye stadi wa kupiga kinubi, tena ni mtu shujaa, hodari wa vita, anenaye kwa busara, mtu mzuri, ambaye BWANA yu pamoja naye. Ile Daudi kupakwa mafuta peke yake haikumfanya awe mfalme ni mpaka alipo patikana mtu anayeweza kuntambulisha na huyu akikutambulisha vyema umeiteka dunia. Mfano mwingine Yusuph aliota ndoto akiwa mdogo kuwa ndugu zake na baba yake wote wanamtumikia . Lakini ili itimie ndoto ile ilihitaji mtu anaye weza mtambulisha Mwanzo 41:9-14 [9]Basi mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao akisema, Nayakumbuka makosa yangu leo. [10]Farao aliwakasirikia watumwa wake, akanitia nifungwe nyumbani mwa mkuu wa askari, mimi na mkuu wa waokaji. [11]Tukaota ndoto usiku mmoja, mimi na yeye; kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake tukaota. . [12]Na huko pamoja nasi palikuwa na kijana; Mwebrania, mtumishi wa mkuu wa askari, tukamhadithia, naye akatufasiria ndoto zetu; akamfasiria kila mtu kama ilivyokuwa ndoto yake. . [13]Ikawa, kama vile alivyotufasiria ndivyo ilivyotokea; mimi nalirudishwa katika kazi yangu, na yeye alitundikwa. . [14]Ndipo Farao akapeleka watu, akamwita Yusufu, wakamleta upesi kutoka gerezani. Akanyoa, akabadili nguo zake, na kuingia kwa Farao. Kukamilika kwa ndoto alizo ota akiwa mdogo Yusuph ni mpaka alipo patikana mtu anayeweza kuntambulisha tu. Jifunze kuwa na prayer point ya kumuomba Mungu akupe mtu anaye weza kukutambulisha na watu wakamkubali hakika Changamoto kubwa ya vijana wengi leo hawako tayari kuwa heshimu watu hivyo wanakosa watu wanao weza kuwapa mkono wa shirika na kuwatambulisha. Nikwambie ukweli akuna chochote duniani kinakuwa bila watu kukupa mkono wa shirika na kukutambulisha. Niwatakie asubui njema na siku njema. Usisahau kutufollow sikiliza mwanangu Sylvester Mwakabende Build new eden 0622625340
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·407 Views
  • Kuna jamaa alisema... kama hapa duniani unatafuta hela kwa lengo la kula, kunywa, na kulala, basi huna utofauti sana na chura au kunguru

    Ouch! Unfiltered, brutal, reality.
    Kuna jamaa alisema... kama hapa duniani unatafuta hela kwa lengo la kula, kunywa, na kulala, basi huna utofauti sana na chura au kunguru Ouch! Unfiltered, brutal, reality.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·228 Views
  • https://www.digidunia.com/
    https://www.digidunia.com/
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·163 Views
  • Digi Dunia is a passionate platform exploring the lifestyles of celebrities, athletes, entrepreneurs, and businessmen. We provide authentic, accurate, and consolidated information about their journeys, achievements, and net worth. Our mission is to deliver a comprehensive, trustworthy view, making it easier for readers to access reliable insights in one place.
    Digi Dunia is a passionate platform exploring the lifestyles of celebrities, athletes, entrepreneurs, and businessmen. We provide authentic, accurate, and consolidated information about their journeys, achievements, and net worth. Our mission is to deliver a comprehensive, trustworthy view, making it easier for readers to access reliable insights in one place.
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·222 Views
  • Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae

    haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini
    🚨🚨Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini😂😂😂😂
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·556 Views
  • OFFICIAL Kikosi cha Portugal kwa ajili ya michezo miwili ya Kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Armenia na Hungary.

    #SportsElite
    🚨 OFFICIAL Kikosi cha Portugal kwa ajili ya michezo miwili ya Kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Armenia na Hungary. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·283 Views
  • Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote... Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu

    Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani
    🌀Cristiano Ronaldo ni Ni moja ya Magwiji wakubwa Sana kwenye soccer Duniani hio Haina hata ubishi wowote...✊ Lakini kwenye hao magwiji lazima utampata Gwiji namba moja, .... Na kama unaakili timamu lazima ulitaje jina la #LIONEL_MESSI ndiye mchezaji Bora Zaidi Duniani,.... Na kwenye huo Ubora unapimwa na vitu alivyo fanikiwa kubeba kwenye soccer ,... Sasa bwana huyu Mchawi mfupi hakuna kitu alicho kiacha kwenye Dunia ya Soka Kwa taarifa yenu😀 Any way huyo Alie kua na Ronaldo ni nani ❔❓😀
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·567 Views
  • “Mashabiki duniani kote walitarajia tufunge penalti. Lakini tunawezaje kuwa wazuri wa kufunga penalti ikiwa Ronaldo ndiye anayepiga penalti zote kwenye mazoezi?” .

    Dogo aliamua kuweka wazi tatizo la wao kushindwa kwenye mikwaju ya penalti .

    #fcbarcelonaswahilinews

    #SportsElite
    🚨🚨“Mashabiki duniani kote walitarajia tufunge penalti. Lakini tunawezaje kuwa wazuri wa kufunga penalti ikiwa Ronaldo ndiye anayepiga penalti zote kwenye mazoezi?” 😂🤣. Dogo aliamua kuweka wazi tatizo la wao kushindwa kwenye mikwaju ya penalti 😏. #fcbarcelonaswahilinews #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·458 Views
  • Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu.

    Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu. Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·736 Views
  • Achana na Andre onana kule nyuma aliyepiga goti, achana na Bernado silva, ebu mtazame huyo namba 47 Phill Foden...

    Kwa nini dunia , kwa nini mpira, kwa nini iwe kwa Phill Foden ?

    Labda ni wapi alipoikosea dunia Foden ? Wapi alipoteleza kijana wa Malkia ?

    Binafsi naamini katika wachezaji watatu bora wa pembeni wa kiingereza Foden ni mmoja wao..

    Achana na yule Foden wa mashindano ya Euro kule Germany, ebu mtazame Foden wa Pep Guardiola akiwa pale City the dream...

    Mimi ukiniuliza unaona nini kwa Phill Foden, jibu langu litakuwa Foden atakuwa Ballond'ior winner siku moja...

    Utakataa labda kwa sababu hayupo Kwenye timu yako pendwa, hayupo Kwenye timu inayopigiwa promo Kwenye vyombo vya habari...

    Ila Phill Foden ni kipaji haswa cha mpira wa miguu, amekuja kuzibariki nyasi za mpira pale Uingereza...

    #SportsElite
    Achana na Andre onana kule nyuma aliyepiga goti, achana na Bernado silva, ebu mtazame huyo namba 47 Phill Foden... Kwa nini dunia , kwa nini mpira, kwa nini iwe kwa Phill Foden ? Labda ni wapi alipoikosea dunia Foden ? Wapi alipoteleza kijana wa Malkia ? Binafsi naamini katika wachezaji watatu bora wa pembeni wa kiingereza Foden ni mmoja wao.. Achana na yule Foden wa mashindano ya Euro kule Germany, ebu mtazame Foden wa Pep Guardiola akiwa pale City the dream... Mimi ukiniuliza unaona nini kwa Phill Foden, jibu langu litakuwa Foden atakuwa Ballond'ior winner siku moja... Utakataa labda kwa sababu hayupo Kwenye timu yako pendwa, hayupo Kwenye timu inayopigiwa promo Kwenye vyombo vya habari... Ila Phill Foden ni kipaji haswa cha mpira wa miguu, amekuja kuzibariki nyasi za mpira pale Uingereza... #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·676 Views
  • :Real Madrid wanaripotiwa kupokea ofa ya zaidi ya £𝟑𝟎𝟎𝐌 kumnunua Vinicius Junior

    Ofa itavunja ada inayoshikilia rekodi ya dunia ya £198m, iliyolipwa na PSG kwa Neymar mnamo 2017

    #SportsElite
    🚨⚪:Real Madrid wanaripotiwa kupokea ofa ya zaidi ya £𝟑𝟎𝟎𝐌 kumnunua Vinicius Junior 😱💰 Ofa itavunja ada inayoshikilia rekodi ya dunia ya £198m, iliyolipwa na PSG kwa Neymar mnamo 2017 #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·333 Views
  • Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki.

    Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani.

    #SportsElite
    🚨Klabu ya Chelsea itapata heshima ya kuvaa nembo ya Fifa Club World Cup kwa muda wa miaka minne kwenye jezi zao na hii imekuja baada ya Michuano hiyo kuanza kufanyika kila baada ya miaka minne baada ya mabadiliko yaliyofanyika ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya timu shiriki. Pia Chelsea wamepewa heshima hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa ngazi ya klabu kwa kuwachapa Psg mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Metlife Nchini Marekani. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·670 Views
  • | CONFIRMED

    Wolves imekamilisha usajili wa nyota wa Fluminense, John Arias kwa dau la £17M .

    John Arias ni moja ya nyota wachache waliofanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa dunia pale Marekani akiisaidia timu yake Fluminense kufika hatua nzuri ya nusu fainali.

    #SportsElite

    🚨 | CONFIRMED ✅ Wolves imekamilisha usajili wa nyota wa Fluminense, John Arias kwa dau la £17M . John Arias ni moja ya nyota wachache waliofanya vizuri kwenye michuano ya klabu bingwa dunia pale Marekani akiisaidia timu yake Fluminense kufika hatua nzuri ya nusu fainali. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·456 Views
  • Mambo kumi muhimu ambayo ukiyafuata yatakupa mafanikio .

    1.Mafanikio ni kanuni na moja ya kanuni ni uzalishaji.*law of production*

    #Mathayo 25:14-30.
    Kwa kanuni kabla ujala kabisa pesa yoyote lazima uzalishe kwanza.

    2.Kuokoka bila kanuni za mafanikio *law of multiplying* hakuzuii kufa masikini.

    #Wafalme 4:1-7
    Unaweza kuwa unatoa pepi na unamcha sana Mungu lakini bado ukafa masikini.

    3.Mafanikio yanategemea sana uwezo wako ulio nao ,usipo kuwa na uwezo uwezi kufanikiwa

    #waamuzi 6:14

    4.ili Mungu akufanikishe akukute na kitu cha kuanzia .

    #2wafalme 4:2
    Mafanikio yake au ulipaji madeni ulianzia katika chupa ya mafuta.

    5.Utajiri ni nguvu anayo kupa Bwana ili aimaliahe agano na wewe.

    #Ndipo utamkumbuka Bwana Mungu wako akupaye nguvu ya kuupata utajiri.

    6.Akuna aliye fanikiwa arafu atoi fungu la kumi.

    Ibrahimu alikuwa mtu wa kwanza kabisa na alifanikiwa ndiye aliye anza kutoa fungu la kumi.

    Matajiri wote duniani wanajua siri ya hii na wanatoa either kwa waganga au kwa Mungu.
    #Malaki 3:10

    7.Mafanikio ya mtu yamebebwa ndani ya kitu kinacho itwa baraka ya Bwana.

    #Mithali 10:22

    8.Mafanikio yategemea sana na akiba unayo weka kipindi unacho .

    Yesu mwenyewe alijua hilo baada ya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili bado aliwambia wakusanye vipande vilivyo baki.

    9.mafanikio mara zote yanategemea sana na aina ya watu ulio chagua kuambatana nao.

    Mwana mpotevu aliambatana na watu waovyo akatapanya mali zote na akaanza kujiona sawa na nguruwe.

    Ko kumbe kabla ujaomba mali omba Mungu akupe watu wa maana.

    #isaya 43:4

    10.Mafanikio yote yanaanzia katika mawazo ndiko chimbuko la umasikini au utajiri .

    #Kwa maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.

    All in all mawazo ya mungu kwako ni kukufanya ufanikiwe ila bahati mbaya wewe ndiye una kiuka taratibu.
    #yeremia 29:11

    Kama unapenda kuendelea kujifunza tuma neno Add kwa namba 0622625340

    Ili uendelee kujifunza katika group zetu .

    Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)
    #build new eden
    #Restore men position
    Mambo kumi muhimu ambayo ukiyafuata yatakupa mafanikio . 1.Mafanikio ni kanuni na moja ya kanuni ni uzalishaji.*law of production* #Mathayo 25:14-30. Kwa kanuni kabla ujala kabisa pesa yoyote lazima uzalishe kwanza. 2.Kuokoka bila kanuni za mafanikio *law of multiplying* hakuzuii kufa masikini. #Wafalme 4:1-7 Unaweza kuwa unatoa pepi na unamcha sana Mungu lakini bado ukafa masikini. 3.Mafanikio yanategemea sana uwezo wako ulio nao ,usipo kuwa na uwezo uwezi kufanikiwa #waamuzi 6:14 4.ili Mungu akufanikishe akukute na kitu cha kuanzia . #2wafalme 4:2 Mafanikio yake au ulipaji madeni ulianzia katika chupa ya mafuta. 5.Utajiri ni nguvu anayo kupa Bwana ili aimaliahe agano na wewe. #Ndipo utamkumbuka Bwana Mungu wako akupaye nguvu ya kuupata utajiri. 6.Akuna aliye fanikiwa arafu atoi fungu la kumi. Ibrahimu alikuwa mtu wa kwanza kabisa na alifanikiwa ndiye aliye anza kutoa fungu la kumi. Matajiri wote duniani wanajua siri ya hii na wanatoa either kwa waganga au kwa Mungu. #Malaki 3:10 7.Mafanikio ya mtu yamebebwa ndani ya kitu kinacho itwa baraka ya Bwana. #Mithali 10:22 8.Mafanikio yategemea sana na akiba unayo weka kipindi unacho . Yesu mwenyewe alijua hilo baada ya muujiza wa mikate mitano na samaki wawili bado aliwambia wakusanye vipande vilivyo baki. 9.mafanikio mara zote yanategemea sana na aina ya watu ulio chagua kuambatana nao. Mwana mpotevu aliambatana na watu waovyo akatapanya mali zote na akaanza kujiona sawa na nguruwe. Ko kumbe kabla ujaomba mali omba Mungu akupe watu wa maana. #isaya 43:4 10.Mafanikio yote yanaanzia katika mawazo ndiko chimbuko la umasikini au utajiri . #Kwa maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. All in all mawazo ya mungu kwako ni kukufanya ufanikiwe ila bahati mbaya wewe ndiye una kiuka taratibu. #yeremia 29:11 Kama unapenda kuendelea kujifunza tuma neno Add kwa namba 0622625340 Ili uendelee kujifunza katika group zetu . Ahsante sana naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) #build new eden #Restore men position
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1K Views
  • 🏟 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜: Fainali ya Kombe la Dunia 2030 itapigwa katika Uwanja wa Santiago Bernabéu uliokarabatiwa upya!

    FIFA na Real Madrid tayari wamefikia makubaliano kuhusu uwanja huo kuwa mwenyeji wa tukio hilo kubwa duniani!

    #SportsElite
    🏟👑 𝗥𝗔𝗦𝗠𝗜: Fainali ya Kombe la Dunia 2030 itapigwa katika Uwanja wa Santiago Bernabéu uliokarabatiwa upya! FIFA na Real Madrid tayari wamefikia makubaliano kuhusu uwanja huo kuwa mwenyeji wa tukio hilo kubwa duniani! 🌍⚽ #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·400 Views
  • 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI.

    HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26.

    Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu.

    MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao.

    Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu

    1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu.

    2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF].

    𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000

    Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼

    Daima Mbele Nyuma Mwiko.
    𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI. HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26. Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu. MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao. Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu 1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu. 2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF]. 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000 ✅ Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼 Daima Mbele Nyuma Mwiko🔰.
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·913 Views
Sponsorizeaza Paginile