0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·24 Visualizações
-
Ya Mange Kimambi kuhusu sakata la Mbosso na Zuchu kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi.
Mnaosema Mbosso bora angebaki wasafi hivi mnawaza nini? Hivi mnadhani hawa wasanii ni wajinga wanapoamua kutoka kwa Diamond?
Wanatoka coz wanaona hawapati matunda ya kazi zao, wanapiga kazi kubwa, wanakuwa famous nchi nzima ila hakuna pesa ya maana wanayopata, faida kubwa inaenda kwa kampuni ndo maana wanaona bora watoke wakajitafutie hata kama ni kidogo ila angalau ni chake na hatumiki tena kumtajirisha mtu.
Nawaambia hata Zuchu leo akiachwa na Dai kesho yake asubuhi na mapema anatoka Wasafi. kinachomuweka Zuchu wasafi ni kwamba yuko obsessed na kuolewa na Diamond.
Oh yeah, bado tukiwa kwenye hiyo topic ya king’ang’a ngoja niwaambie hivi, ni ngumu mnooo Diamond kumuacha king’ang’a, tena mnooooo. Hivi ndugu zangu mnajua maisha yalivyo magumu, mnataka Diamond amuache mwanamke anaemuingizia mabilioni ya pesa then aje kwenu vishanshuda wa mjini mnaosubiri kupewa? Itabidi akununulie gari, akupangie nyumba, akupe hela ya mawigi, akupe hela ya kulea ukoo wako, then uombe akujengee nyumba, why aingie kwenye matatizo hayo wakati Zuchu hayo mambo yote anajifanyia mwenyewe na on top of that anamwingizia pesa kwenye account? Yani aache mwanamke ambae hamcosti hata senti moja na bado anamwingizia mahela kwenye account aje kwenu omba omba na makalio yenu ya Uturuki? Itabidi Zuchu ashuke kimziki aache kumwingizia Diamond mahela ndo atapigwa chini. Yani Zuchu siku akishindwa kumwingizia Dai pesa kwenye account ndio ataachwa na sio kabla.Sasa acheni kujaji uzuri wako vs wa king’ang’a, jaji pesa utakayoweza kumwingizia Dai kwenye account Vs Zuchu anayomwingizia ndo utapata majibu. Na sasa hivi Zuchu kawaka moto Dai amuoe au anaingia mitini mnadhani Dai atachagua nini? Ampoteze top money maker wa Wasafi au aoe?Tumieni akili hapo, mnadhani atachagua nini?
Basi kwa hii posti kama namuona Dai atavyoniletea barua ingine ya lawyer huku Marekani . Weee mi sio kina Mwijaku uliowatishia na vibarua vya lawyer siku hizi wameufyata wooote. Weeee, mimi tutagaragazana mahakamani mpaka woote tufilisike kwa kulipa malawyer . Chezea wapare tunavyopenda kesi .Yes guys, kama mnenoti siku hizi hakuna mtu bongo anadhubutu kumchamba Dai, wooote kawanyoosha kwa kuwatishia lawyer.
Ya Mange Kimambi kuhusu sakata la Mbosso na Zuchu kujitoa kwenye Lebo ya WCB Wasafi. Mnaosema Mbosso bora angebaki wasafi hivi mnawaza nini? Hivi mnadhani hawa wasanii ni wajinga wanapoamua kutoka kwa Diamond? Wanatoka coz wanaona hawapati matunda ya kazi zao, wanapiga kazi kubwa, wanakuwa famous nchi nzima ila hakuna pesa ya maana wanayopata, faida kubwa inaenda kwa kampuni ndo maana wanaona bora watoke wakajitafutie hata kama ni kidogo ila angalau ni chake na hatumiki tena kumtajirisha mtu. Nawaambia hata Zuchu leo akiachwa na Dai kesho yake asubuhi na mapema anatoka Wasafi. kinachomuweka Zuchu wasafi ni kwamba yuko obsessed na kuolewa na Diamond. Oh yeah, bado tukiwa kwenye hiyo topic ya king’ang’a ngoja niwaambie hivi, ni ngumu mnooo Diamond kumuacha king’ang’a, tena mnooooo. Hivi ndugu zangu mnajua maisha yalivyo magumu, mnataka Diamond amuache mwanamke anaemuingizia mabilioni ya pesa then aje kwenu vishanshuda wa mjini mnaosubiri kupewa? Itabidi akununulie gari, akupangie nyumba, akupe hela ya mawigi, akupe hela ya kulea ukoo wako, then uombe akujengee nyumba, why aingie kwenye matatizo hayo wakati Zuchu hayo mambo yote anajifanyia mwenyewe na on top of that anamwingizia pesa kwenye account? Yani aache mwanamke ambae hamcosti hata senti moja na bado anamwingizia mahela kwenye account aje kwenu omba omba na makalio yenu ya Uturuki? Itabidi Zuchu ashuke kimziki aache kumwingizia Diamond mahela ndo atapigwa chini. Yani Zuchu siku akishindwa kumwingizia Dai pesa kwenye account ndio ataachwa na sio kabla.Sasa acheni kujaji uzuri wako vs wa king’ang’a, jaji pesa utakayoweza kumwingizia Dai kwenye account Vs Zuchu anayomwingizia ndo utapata majibu. Na sasa hivi Zuchu kawaka moto Dai amuoe au anaingia mitini mnadhani Dai atachagua nini? Ampoteze top money maker wa Wasafi au aoe?Tumieni akili hapo, mnadhani atachagua nini? Basi kwa hii posti kama namuona Dai atavyoniletea barua ingine ya lawyer huku Marekani 🤣. Weee mi sio kina Mwijaku uliowatishia na vibarua vya lawyer siku hizi wameufyata wooote. Weeee, mimi tutagaragazana mahakamani mpaka woote tufilisike kwa kulipa malawyer 🤣. Chezea wapare tunavyopenda kesi 🤣🤣.Yes guys, kama mnenoti siku hizi hakuna mtu bongo anadhubutu kumchamba Dai, wooote kawanyoosha kwa kuwatishia lawyer.0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·29 Visualizações -
-
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·235 Visualizações
-
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·194 Visualizações
-
-
Hii ndio orodha ya Wasanii wa muziki bora barani Afrika kwa mujibu wa African Facts Zone.
1. Burna Boy
2. Wizkid
3. Davido
4. Rema
5. Diamond Platnumz
6. Mohamed Ramadan
7. Amr Diab
8.Tems
9.Tamer Hosny
10. Cheb Khaled
11. Saad Lamjarred
12. Sherine
13. Black Coffee
14. Ayra Starr
15. Asake
16. Seether
17. Soolking
18. Fally Ipupa
19. Tyla
20. Omah Lay
21.Tiwa Savage
22. Ahmed Saad
23. CKay
24. Yemi Alade
25. Angelique Kidjo
26. Hassan Shakosh
27. Kizz Daniel
28. Ruger
29. Joeboy
30. Spinall
31. Uncle Waffles
32. Black Sherif
33. Rayvanny
34. Harmonize
35. Zuchu
36. Libianca
37. Amaarae
38. Adekunle Gold
39. yler ICU
NB: African Facts Zone wamesema kuwa, wameangalia zaidi ziara za Wasanii, show, "streaming", "views" , ....
Hii ndio orodha ya Wasanii wa muziki bora barani Afrika kwa mujibu wa African Facts Zone. 1. Burna Boy 🇳🇬 2. Wizkid 🇳🇬 3. Davido 🇳🇬 4. Rema 🇳🇬 5. Diamond Platnumz 🇹🇿 6. Mohamed Ramadan 🇪🇬 7. Amr Diab 🇪🇬 8.Tems 🇳🇬 9.Tamer Hosny 🇪🇬 10. Cheb Khaled 🇩🇿 11. Saad Lamjarred 🇲🇦 12. Sherine 🇪🇬 13. Black Coffee 🇿🇦 14. Ayra Starr 🇳🇬 15. Asake 🇳🇬 16. Seether 🇿🇦 17. Soolking 🇩🇿 18. Fally Ipupa 🇨🇩 19. Tyla 🇿🇦 20. Omah Lay 🇳🇬 21.Tiwa Savage 🇳🇬 22. Ahmed Saad 🇪🇬 23. CKay 🇳🇬 24. Yemi Alade 🇳🇬 25. Angelique Kidjo 🇧🇯 26. Hassan Shakosh 🇪🇬 27. Kizz Daniel 🇳🇬 28. Ruger 🇳🇬 29. Joeboy 🇳🇬 30. Spinall 🇳🇬 31. Uncle Waffles 🇸🇿 32. Black Sherif 🇬🇭 33. Rayvanny 🇹🇿 34. Harmonize 🇹🇿 35. Zuchu 🇹🇿 36. Libianca 🇨🇲 37. Amaarae 🇬🇭 38. Adekunle Gold 🇳🇬 39. yler ICU 🇿🇦 NB: African Facts Zone wamesema kuwa, wameangalia zaidi ziara za Wasanii, show, "streaming", "views" , ....0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·435 Visualizações -
Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK amefunguka kuhusu Diamond Platnumz kushindwa kutumbuiza huko Nchini Kenya usiku wa kuamkia leo. Hii baada ya Msanii wa kenya Willy Paul kudai kuwa Wasanii wa Tanzania wanapendelewa zaidi Nchini humo huku akimtaja Diamond Platnumz kutaka kutumbuiza kabla yake.
“Nadhani ifike mahali wasanii muwekeze bidii
kwenye kazi, kufeki story sababu ya fame ya kulazimisha bifu ili kutrend haisaidii, Msanii aitwae Willy aseme ukweli alikuwa anabishana na mtoto wa kike ( Zuchu ) aliblock njia Zuchu asipande kwenye steji akisema alikuwepo tokea mwanzo hivyo anataka pande yeye, ilhali wakati zamu yake allitwa apande kwenye stage aligoma na kusema hawezi kupanda yeye ni Headliner anataka Afunge show Mwisho, baada ya kuona wenzake wanapata shangwe akawa anforce kupanda kwenye Muda wa Zuchu na wala sio Diamond. Regarding why Diamond hajapanda is between us and organizer has nothing to do na msanii yoyote. Bless Up” - Sallam SK
Toa maoni yako
Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK amefunguka kuhusu Diamond Platnumz kushindwa kutumbuiza huko Nchini Kenya usiku wa kuamkia leo. Hii baada ya Msanii wa kenya Willy Paul kudai kuwa Wasanii wa Tanzania wanapendelewa zaidi Nchini humo huku akimtaja Diamond Platnumz kutaka kutumbuiza kabla yake. “Nadhani ifike mahali wasanii muwekeze bidii kwenye kazi, kufeki story sababu ya fame ya kulazimisha bifu ili kutrend haisaidii, Msanii aitwae Willy aseme ukweli alikuwa anabishana na mtoto wa kike ( Zuchu ) aliblock njia Zuchu asipande kwenye steji akisema alikuwepo tokea mwanzo hivyo anataka pande yeye, ilhali wakati zamu yake allitwa apande kwenye stage aligoma na kusema hawezi kupanda yeye ni Headliner anataka Afunge show Mwisho, baada ya kuona wenzake wanapata shangwe akawa anforce kupanda kwenye Muda wa Zuchu na wala sio Diamond. Regarding why Diamond hajapanda is between us and organizer has nothing to do na msanii yoyote. Bless Up” - Sallam SK Toa maoni yako -
Katika historia ya Muziki wa Bongo fleva, maisha ya Diamond Platinumz, Rich Mavoco na Harmonize matukio ya wasanii hawa kufanya kazi pamoja na kutengeneza moments zilizowaaminisha wananchi kwamba ushirikiano wao utadumu muda mrefu alafu wakapishana ghafla na kupelekana hadi Basata aisee ni katika mambo yaliotengeneza pressure kubwa baina yao na hata mitaani.
Maranyingi nimekua nikimtaja Harmonize kama msanii aliotoka WCB na kufanikiwa kutengeneza mianya mingi ya biashara na mafanikio nje ya WCB tofauti na ilivyokua ikizungumzwa na wengi.
Rich Mavoco nimemvulia kofia kwa sababu ni ngumu sana msanii kupitia mapito yake alafu akafanikiwa kurudi kwenye game na kua na nguvu kama ambayo anayo lakini umewahi kufikiria upande wa Diamond Platinumz ambae ali invest kuwapa thamani zaidi wasanii hawa na baadae akawapoteza katika mazingira ambayo naamini kabisa hata yeye hakua tayari.
Kuna tetesi kwamba Harmonize alikua na migogoro na Sallam SK kabla hajaondoka WCB na CEO alijikuta kaekwa kwenye kona ambayo ilimlazimu afanye maamuzi magumu la sivyo mambo yangezidi kuharibika. Nimeshuhudia wasanii wengi wakiua lebo zao kutokana na migogoro kama hio lakini pia wadau wengi wameachana na biashara ya muziki kutokana na sintofahamu nyingi zilizopo ndani ya Game.
Upande wa Diamond Platinumz ni tofauti kidogo, pamoja na drama zote anazopitia bado lebo yake ipo imara na wasanii waliobaki kama Mbosso, Zuchu, Lavalava na D Voice wanafanya vizuri kila mtu kwa nafasi yake.
Kwa kijana kutoka Tandale kuana uvumilivu, mbinu na mipango ya kukabiliana na changamoto zote alizokumbana nazo Diamond Platinumz anastahili pongezi maana inaonesha ukomavu wake na weledi mkubwa alionao kwenye field anayojihusisha nayo.
(Jr Junior)
Katika historia ya Muziki wa Bongo fleva, maisha ya Diamond Platinumz, Rich Mavoco na Harmonize matukio ya wasanii hawa kufanya kazi pamoja na kutengeneza moments zilizowaaminisha wananchi kwamba ushirikiano wao utadumu muda mrefu alafu wakapishana ghafla na kupelekana hadi Basata aisee ni katika mambo yaliotengeneza pressure kubwa baina yao na hata mitaani. Maranyingi nimekua nikimtaja Harmonize kama msanii aliotoka WCB na kufanikiwa kutengeneza mianya mingi ya biashara na mafanikio nje ya WCB tofauti na ilivyokua ikizungumzwa na wengi. Rich Mavoco nimemvulia kofia kwa sababu ni ngumu sana msanii kupitia mapito yake alafu akafanikiwa kurudi kwenye game na kua na nguvu kama ambayo anayo lakini umewahi kufikiria upande wa Diamond Platinumz ambae ali invest kuwapa thamani zaidi wasanii hawa na baadae akawapoteza katika mazingira ambayo naamini kabisa hata yeye hakua tayari. Kuna tetesi kwamba Harmonize alikua na migogoro na Sallam SK kabla hajaondoka WCB na CEO alijikuta kaekwa kwenye kona ambayo ilimlazimu afanye maamuzi magumu la sivyo mambo yangezidi kuharibika. Nimeshuhudia wasanii wengi wakiua lebo zao kutokana na migogoro kama hio lakini pia wadau wengi wameachana na biashara ya muziki kutokana na sintofahamu nyingi zilizopo ndani ya Game. Upande wa Diamond Platinumz ni tofauti kidogo, pamoja na drama zote anazopitia bado lebo yake ipo imara na wasanii waliobaki kama Mbosso, Zuchu, Lavalava na D Voice wanafanya vizuri kila mtu kwa nafasi yake. Kwa kijana kutoka Tandale kuana uvumilivu, mbinu na mipango ya kukabiliana na changamoto zote alizokumbana nazo Diamond Platinumz anastahili pongezi maana inaonesha ukomavu wake na weledi mkubwa alionao kwenye field anayojihusisha nayo. (Jr Junior) -
-
-
Diamond Platnumz amechapisha maneno aliyoandika Zuchu kama yalivyo kuhusu kuachana kwao kisha kuongeza "from the Queen her self" yaani kutoka kwa Malkia (Zuchu ) mwenyewe.
NB:Hii ni Kiki mana siyo mara ya kwanzaDiamond Platnumz amechapisha maneno aliyoandika Zuchu kama yalivyo kuhusu kuachana kwao kisha kuongeza "from the Queen her self" yaani kutoka kwa Malkia (Zuchu ) mwenyewe. NB:Hii ni Kiki mana siyo mara ya kwanza0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·353 Visualizações -
hivi majuZI,,stori mbili tatu nipo na machiZI,,,
#ghafla
Akatokea shoRI,,flani yupo kwenye gaRI,,,
#ghafla
Akastopisha ndiNGA,,kidogo tufe kwa uwoGA,,,
#Ghafla
ikashushwa tintED,,nikahisi kuna mwana ni wantED,,,
#ghafla
kwa ishaRA,, akaniita nikaitika fasta bila hiRA,,,
#ghafla
akaniuliza kwa utaTA,,ntafanya nini akinipa fasTA,,,
#ghafla
nikasita labda,,jini nikazama ndani
kabla,,,
#ghafla
akanigusa ruNGU,,mtoto white kama zuNGU,,,
#ghafla
kwa
uCHU,,nikamshika chuchu mlaini like zuCHU,,,
#ghafla
ile kushtuKA,,asubuhi kumepambazuKA,,,
#ghafla
njozi imekwiSHA,,na stori imeiSHA,,,hivi majuZI,,stori mbili tatu nipo na machiZI,,, #ghafla Akatokea shoRI,,flani yupo kwenye gaRI,,, #ghafla Akastopisha ndiNGA,,kidogo tufe kwa uwoGA,,, #Ghafla ikashushwa tintED,,nikahisi kuna mwana ni wantED,,, #ghafla kwa ishaRA,, akaniita nikaitika fasta bila hiRA,,, #ghafla akaniuliza kwa utaTA,,ntafanya nini akinipa fasTA,,, #ghafla nikasita labda,,jini nikazama ndani kabla,,, #ghafla akanigusa ruNGU,,mtoto white kama zuNGU,,, #ghafla kwa uCHU,,nikamshika chuchu mlaini like zuCHU,,, #ghafla ile kushtuKA,,asubuhi kumepambazuKA,,, #ghafla njozi imekwiSHA,,na stori imeiSHA,,, -
Jumapili utakula vitu vitamu ukiwa wapi
#socialpop
#socialpoptz
#tanzaniasocialmedia
#sunday
#food
#enjoying
[Neemadish] Zuchu WCB Diamond PlatnumzJumapili utakula vitu vitamu ukiwa wapi 🚩🌍🛰️ 😎😎😎😎😎😎😎 #socialpop #socialpoptz #tanzaniasocialmedia #sunday #food #enjoying [Neemadish] [Zuchu] [Emanuel] -
Ni wimbo ipi yangu imeshika mtaa yenu 🥰 🥰 #Zuchu #diamondplatnumz #still
-
Manchester United forever✌️✌️✌️💯 #ManchesterUnited #SocialPop [Zuchu]
-
Waarabu jaribuni kuwa na utu hata kidogo.
Kumfanyia hivi sio vizuri kabisa
Watu weusi tujitambue.
#Zuchuwcb #wcb
#wasafi #ukatili
#socialpop #Diamondplatnumz
😭😭😭Waarabu jaribuni kuwa na utu hata kidogo. Kumfanyia hivi sio vizuri kabisa 😭😭 Watu weusi tujitambue.🙏🙏 #Zuchuwcb #wcb #wasafi #ukatili #socialpop #Diamondplatnumz -
I wish you a good Sunday 💋🥰🥂🙏 #diamondplatnumz #wcb #Wasafi #Zuchu #KomasavaSongs #Socialpop
-
😅🥰🥰My friend Swahili kid #Wcb #Wasafi #Zuchu #Socialpop #Support
-
BOOSTER #Zuchu #Wasafi #Diamondplatnumz #socialpo
Páginas impulsionada