• "Wakati anachukua madaraka mwamba Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso alichagua kuwa upande wa Urusi na kumtosa mfaransa, wakati huo waasi walikuwa wamechukua sehemu fulani ya ya nchi, faida ya Traore kuchagua upande wa mashariki ambao ni Urusi tunaiona hadi leo, nchi yake imetulia kwa kiasi kikubwa, waasi wanakiona cha moto, Urusi kupitia Wagner wameamua kuilinda mazima Burkina faso, mwisho wa siku Traore anaonekana kama shujaa wa nchi yake na Afrika kwa ujumla

    Somo kwa Rais Tshisekedi chagua upande acha kuwa vuguvugu hii haitosaidia Congo, hata vikao vya AU, SADC, NA EAC, havijasaidia chochote Congo, chagua upande papa Tshisekedi ili Congo ilindwe na waasi wapate upinzani , coz jeshi la Congo ni dhaifu mnoo halina hata uwezo nusu wa kukabiliana na waasi,chagua upande uikomboe Congo yako

    Changamoto kubwa Rais Tshisekedi na ufaransa ni pete na kidole na hakuna ubaya kwenye hilo lakini swali kubwa urafiki wa Congo na nchi za magharibi kama Ufaransa umeisadia vipi Congo tena dhidi ya waasi kama M23 ?

    Chagua upande Tshisekedi hakuna namna!! Vinginevyo wanakuchezea too bad" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.

    "Wakati anachukua madaraka mwamba Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso馃嚙馃嚝 alichagua kuwa upande wa Urusi na kumtosa mfaransa, wakati huo waasi walikuwa wamechukua sehemu fulani ya ya nchi, faida ya Traore kuchagua upande wa mashariki ambao ni Urusi tunaiona hadi leo, nchi yake imetulia kwa kiasi kikubwa, waasi wanakiona cha moto, Urusi kupitia Wagner wameamua kuilinda mazima Burkina faso馃嚙馃嚝, mwisho wa siku Traore anaonekana kama shujaa wa nchi yake na Afrika kwa ujumla Somo kwa Rais Tshisekedi chagua upande acha kuwa vuguvugu hii haitosaidia Congo, hata vikao vya AU, SADC, NA EAC, havijasaidia chochote Congo, chagua upande papa Tshisekedi ili Congo ilindwe na waasi wapate upinzani , coz jeshi la Congo ni dhaifu mnoo halina hata uwezo nusu wa kukabiliana na waasi,chagua upande uikomboe Congo yako Changamoto kubwa Rais Tshisekedi na ufaransa ni pete na kidole na hakuna ubaya kwenye hilo lakini swali kubwa urafiki wa Congo na nchi za magharibi kama Ufaransa umeisadia vipi Congo tena dhidi ya waasi kama M23 ? Chagua upande Tshisekedi hakuna namna!! Vinginevyo wanakuchezea too bad" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 158 Views
  • #PART5

    Baada ya M23 kukamata Goma walidai hawana mpango wa kuchukua miji mingine. Jeshi la Congo (FARDC) likarelax. Kumbe ilikua mbinu ya kivita. Ghafla M23 wakavamia na kuuteka mji wa Rutshuru wenye utajiri wa dhahabu, tin na Tungsten na mji wa Masisi wenye utajiri mkubwa wa dhahabu na cassiterite.

    Mpango wa M23 ni kufika Kinshasa na kuuangusha utawala wa Rais Felix Tshisekedi. Madai ya M23 ni yaleyale ya siku zote, ambayo ni kulinda maslahi ya Watutsi waishio mashariki mwa nchi hiyo, kupambana na wanamgambo wa Kihutu wa FDLR (Interahamwe), na kutaka Banyamulenge watambuliwe kama raia halali wa Congo.

    Mzozo wa mashariki mwa Congo umegharimu maisha ya mamilioni ya watu toka ulipoanza. Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umepeleka askari wa kulinda amani. Ikumbukwe askari hao hawapigani upande wa serikali wala wa waasi. Kuna watu wanadhani askari wetu wa JWTZ walioko Congo wanapigana upande wa jeshi la serikali (FARDC). Hapana. Hawapigani upande wowote. Wanalinda amani. Lakini ikitokea kuna upande unahatarisha amani utapewa haki yake ya kikatiba.

    Kwa mfano, mwaka 2012 Umoja wa mataifa uliunda jeshi la kulinda amani Congo (MONUSCO). Ndani yake kulikua na brigedi maalumu ya kunyang'anya silaha makundi ya wapiganaji - Force Intervention Bregade (FIB). Brigedi hiyo iliundwa na askari kutoka Tanzania, Malawi, Afrika Kusini na Uruguay.

    April 2012, M23 wakashambulia kambi ya FIB iliyokua mji wa Rutshuru na kuua askari watatu. Baada ya shambulio hilo, aliyekua Mkuu FIB, Jenerali James Mwakibolwa alipanga vikosi vyake kujibu mapigo. M23 walichakazwa vibaya ambapo zaidi ya askari 600 wa M23 waliuawa na wengi kujeruhiwa. Walipigwa bila huruma na kuachia miji yote waliyokua wameishikilia ikiwemo Rubaya, Kitchanga na Rutshuru. Askari 16 wa FIB nao walipoteza maisha.

    March 2013, M23 walisalimu amri na Kiongozi wao Bosco Ntaganda akakimbilia Rwanda kujisalimisha kwenye ubalozi wa Marekani. Alipelekwa ICC akahukumiwa miaka 30 na sasa anatumikia adhabu yake gereza la Leuze-en-Hainaut lililopo Ubelgiji. Moja ya makosa ambayo Ntaganda anayajutia hadi leo ni kuingia kwenye 18 za FIB iliyokua inaongozwa na Jenerali James Aloizi Mwakibolwa.

    Kumekua na jitihada mbalimbali za kumaliza mgogoro wa DRC kwa njia za kidiplomasia ikiwemo mkutano wa viongozi wakuu wa SADC na EAC uliofanyika leo jijini Dar.

    #MyaTake:
    1. Congo imeponzwa na ukarimu wake. Wakati wa vita vya Rwanda, Congo ilipokea Watutsi wengi na kuwapa hifadhi, akiwemo Kagame. Baada ya utawala wa Habyarimana kuangushwa Wahutu nao wakakimbilia Congo na kupewa hifadhi. Sasa hicho kimekua kigezo cha Rwanda kuingiza majeshi Congo kila mara kwa madai ya kuwatafuta Wahutu wa FDLR. Kwa lugha rahisi vita ya ndugu wawili (Wahutu na Watutsi) iliyopaswa kupiganwa Rwanda sasa inapiganwa Congo.

    2. Congo inateswa na mipaka ya kikoloni. Laiti wakati wa kuchora mipaka jamii yote ya Watutsi ingewekwa Rwanda, leo kusingekuwa na Banyamulenge Congo, kwahiyo Watutsi wasingepata sababu ya kuishi Congo na kujifanya raia. Ni sawa na kukuta Wamasai 1,000 pale Longido, halafu uambiwe kati yao wapo wa Kenya. Utawajuaje? Utawatofautishaje?

    3. Congo inateswa na rasilimali zake. Kama eneo la Kivu lisingekuwa na utajiri, mgogoro usingekuwa mkubwa kama ulivyo. Rejea #Part1 kujua utajiri uliopo Kivu. Kumbuka bila Kivu dunia haina laptop wala smartphones kwa sababu 80% ya coltan yote duniani inatoka Kivu.

    4. Rwanda na Uganda ni Keyplayers kwenye mgogoro wa Congo. Kwa miaka mingi majeshi yao yameigeuza Congo shamba la bibi. Waondoe majeshi yao Congo.

    5. Viongozi wengi wa M23 ni Wanyarwanda. Huu ni udhibitisho kuwa Rwanda ni kinara kwenye mgogoro huu.

    6. Congo ni kubwa sana na hivyo inakosa jeshi imara la kutosha kulinda mipaka yake yote. Congo ni kubwa mara 90 ya Rwanda. Wapo wanaoshauri igawanywe kama njia ya kutatua mgogoro. Kama ambavyo Yugoslavia iligawanywa na kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe.

    7. Kiongozi wa sasa wa M23 Corneille Nangaa alikua Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi 2019 na ndiye aliyemtangaza Tshisekedi kuwa Rais kwa ushindi wa 38%. Lakini alilaumiwa kupunguza kura za Martin Fayulu aliyepata 34%. Huenda kuna ahadi alipewa haikutimizwa ndio maana akaungana na Waasi.

    Sababu hizo hapo juu zikifanyiwa kazi, mgogoro wa Congo unaweza kupungua kwa kiasi kikubwa. Mnaopenda kujifunza zaidi, naandika Kitabu. Get ready to have your copy. MWISHO.!

    (Malisa GJ )

    #PART5 Baada ya M23 kukamata Goma walidai hawana mpango wa kuchukua miji mingine. Jeshi la Congo (FARDC) likarelax. Kumbe ilikua mbinu ya kivita. Ghafla M23 wakavamia na kuuteka mji wa Rutshuru wenye utajiri wa dhahabu, tin na Tungsten na mji wa Masisi wenye utajiri mkubwa wa dhahabu na cassiterite. Mpango wa M23 ni kufika Kinshasa na kuuangusha utawala wa Rais Felix Tshisekedi. Madai ya M23 ni yaleyale ya siku zote, ambayo ni kulinda maslahi ya Watutsi waishio mashariki mwa nchi hiyo, kupambana na wanamgambo wa Kihutu wa FDLR (Interahamwe), na kutaka Banyamulenge watambuliwe kama raia halali wa Congo. Mzozo wa mashariki mwa Congo umegharimu maisha ya mamilioni ya watu toka ulipoanza. Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umepeleka askari wa kulinda amani. Ikumbukwe askari hao hawapigani upande wa serikali wala wa waasi. Kuna watu wanadhani askari wetu wa JWTZ walioko Congo wanapigana upande wa jeshi la serikali (FARDC). Hapana. Hawapigani upande wowote. Wanalinda amani. Lakini ikitokea kuna upande unahatarisha amani utapewa haki yake ya kikatiba. Kwa mfano, mwaka 2012 Umoja wa mataifa uliunda jeshi la kulinda amani Congo (MONUSCO). Ndani yake kulikua na brigedi maalumu ya kunyang'anya silaha makundi ya wapiganaji - Force Intervention Bregade (FIB). Brigedi hiyo iliundwa na askari kutoka Tanzania, Malawi, Afrika Kusini na Uruguay. April 2012, M23 wakashambulia kambi ya FIB iliyokua mji wa Rutshuru na kuua askari watatu. Baada ya shambulio hilo, aliyekua Mkuu FIB, Jenerali James Mwakibolwa alipanga vikosi vyake kujibu mapigo. M23 walichakazwa vibaya ambapo zaidi ya askari 600 wa M23 waliuawa na wengi kujeruhiwa. Walipigwa bila huruma na kuachia miji yote waliyokua wameishikilia ikiwemo Rubaya, Kitchanga na Rutshuru. Askari 16 wa FIB nao walipoteza maisha. March 2013, M23 walisalimu amri na Kiongozi wao Bosco Ntaganda akakimbilia Rwanda kujisalimisha kwenye ubalozi wa Marekani. Alipelekwa ICC akahukumiwa miaka 30 na sasa anatumikia adhabu yake gereza la Leuze-en-Hainaut lililopo Ubelgiji. Moja ya makosa ambayo Ntaganda anayajutia hadi leo ni kuingia kwenye 18 za FIB iliyokua inaongozwa na Jenerali James Aloizi Mwakibolwa. Kumekua na jitihada mbalimbali za kumaliza mgogoro wa DRC kwa njia za kidiplomasia ikiwemo mkutano wa viongozi wakuu wa SADC na EAC uliofanyika leo jijini Dar. #MyaTake: 1. Congo imeponzwa na ukarimu wake. Wakati wa vita vya Rwanda, Congo ilipokea Watutsi wengi na kuwapa hifadhi, akiwemo Kagame. Baada ya utawala wa Habyarimana kuangushwa Wahutu nao wakakimbilia Congo na kupewa hifadhi. Sasa hicho kimekua kigezo cha Rwanda kuingiza majeshi Congo kila mara kwa madai ya kuwatafuta Wahutu wa FDLR. Kwa lugha rahisi vita ya ndugu wawili (Wahutu na Watutsi) iliyopaswa kupiganwa Rwanda sasa inapiganwa Congo. 2. Congo inateswa na mipaka ya kikoloni. Laiti wakati wa kuchora mipaka jamii yote ya Watutsi ingewekwa Rwanda, leo kusingekuwa na Banyamulenge Congo, kwahiyo Watutsi wasingepata sababu ya kuishi Congo na kujifanya raia. Ni sawa na kukuta Wamasai 1,000 pale Longido, halafu uambiwe kati yao wapo wa Kenya. Utawajuaje? Utawatofautishaje? 3. Congo inateswa na rasilimali zake. Kama eneo la Kivu lisingekuwa na utajiri, mgogoro usingekuwa mkubwa kama ulivyo. Rejea #Part1 kujua utajiri uliopo Kivu. Kumbuka bila Kivu dunia haina laptop wala smartphones kwa sababu 80% ya coltan yote duniani inatoka Kivu. 4. Rwanda na Uganda ni Keyplayers kwenye mgogoro wa Congo. Kwa miaka mingi majeshi yao yameigeuza Congo shamba la bibi. Waondoe majeshi yao Congo. 5. Viongozi wengi wa M23 ni Wanyarwanda. Huu ni udhibitisho kuwa Rwanda ni kinara kwenye mgogoro huu. 6. Congo ni kubwa sana na hivyo inakosa jeshi imara la kutosha kulinda mipaka yake yote. Congo ni kubwa mara 90 ya Rwanda. Wapo wanaoshauri igawanywe kama njia ya kutatua mgogoro. Kama ambavyo Yugoslavia iligawanywa na kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe. 7. Kiongozi wa sasa wa M23 Corneille Nangaa alikua Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi 2019 na ndiye aliyemtangaza Tshisekedi kuwa Rais kwa ushindi wa 38%. Lakini alilaumiwa kupunguza kura za Martin Fayulu aliyepata 34%. Huenda kuna ahadi alipewa haikutimizwa ndio maana akaungana na Waasi. Sababu hizo hapo juu zikifanyiwa kazi, mgogoro wa Congo unaweza kupungua kwa kiasi kikubwa. Mnaopenda kujifunza zaidi, naandika Kitabu. Get ready to have your copy. MWISHO.! (Malisa GJ 鉁嶏笍)
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 729 Views
  • "Congo hawawezi kutuambia tukae kimya wakati wanasababisha matatizo makubwa ya kiusalama dhidi yetu, hakuna wa kutuambia tukae kimya, tumeongea na Congo mara nyingi tumewaita tukae tuongee hawataki"

    "Mimi naomba tusiwe na vikao vingi sana kama ambavyo tayari tumeshakuwa navyo, hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda” - Paul Kagame, Rais wa Rwanda akiongea kwenye mkutano wa EAC na SADC.

    "Congo hawawezi kutuambia tukae kimya wakati wanasababisha matatizo makubwa ya kiusalama dhidi yetu, hakuna wa kutuambia tukae kimya, tumeongea na Congo mara nyingi tumewaita tukae tuongee hawataki" "Mimi naomba tusiwe na vikao vingi sana kama ambavyo tayari tumeshakuwa navyo, hatuwezi kila siku kukaa kujadili matatizo maana kinachoendelea pale ni vita ya Kikabila ni suala la kutambuana, kujadiliana na kuwapa haki yao, tutumie kikao hiki kupata suluhu ya kudumu na sio matatizo yatokee Congo kisha ubaya anapewa Rwanda” - Paul Kagame, Rais wa Rwanda 馃嚪馃嚰 akiongea kwenye mkutano wa EAC na SADC.
    Haha
    1
    0 Comments 0 Shares 192 Views
  • #PART12

    Baada ya M23 kukamata Goma walidai hawana mpango wa kuchukua miji mingine. Jeshi la Congo (FARDC) likarelax. Kumbe ilikua mbinu ya kivita. Ghafla M23 wakavamia na kuuteka mji wa Rutshuru wenye utajiri wa dhahabu, tin na Tungsten na mji wa Masisi wenye utajiri mkubwa wa dhahabu na cassiterite.

    Mpango wa M23 ni kufika Kinshasa na kuuangusha utawala wa Rais Felix Tshisekedi. Madai ya M23 ni yaleyale ya siku zote, ambayo ni kulinda maslahi ya Watutsi waishio mashariki mwa nchi hiyo, kupambana na wanamgambo wa Kihutu wa FDLR (Interahamwe), na kutaka Banyamulenge watambuliwe kama raia halali wa Congo.

    Mzozo wa mashariki mwa Congo umegharimu maisha ya mamilioni ya watu toka ulipoanza. Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umepeleka askari wa kulinda amani. Ikumbukwe askari hao hawapigani upande wa serikali wala wa waasi. Kuna watu wanadhani askari wetu wa JWTZ walioko Congo wanapigana upande wa jeshi la serikali (FARDC). Hapana. Hawapigani upande wowote. Wanalinda amani. Lakini ikitokea kuna upande unahatarisha amani utapewa haki yake ya kikatiba.

    Kwa mfano, mwaka 2012 Umoja wa mataifa uliunda jeshi la kulinda amani Congo (MONUSCO). Ndani yake kulikua na brigedi maalumu ya kunyang'anya silaha makundi ya wapiganaji - Force Intervention Bregade (FIB). Brigedi hiyo iliundwa na askari kutoka Tanzania, Malawi, Afrika Kusini na Uruguay.

    April 2012, M23 wakashambulia kambi ya FIB iliyokua mji wa Rutshuru na kuua askari watatu. Baada ya shambulio hilo, aliyekua Mkuu FIB, Jenerali James Mwakibolwa alipanga vikosi vyake kujibu mapigo. M23 walichakazwa vibaya ambapo zaidi ya askari 600 wa M23 waliuawa na wengi kujeruhiwa. Walipigwa bila huruma na kuachia miji yote waliyokua wameishikilia ikiwemo Rubaya, Kitchanga na Rutshuru. Askari 16 wa FIB nao walipoteza maisha.

    March 2013, M23 walisalimu amri na Kiongozi wao Bosco Ntaganda akakimbilia Rwanda kujisalimisha kwenye ubalozi wa Marekani. Alipelekwa ICC akahukumiwa miaka 30 na sasa anatumikia adhabu yake gereza la Leuze-en-Hainaut lililopo Ubelgiji. Moja ya makosa ambayo Ntaganda anayajutia hadi leo ni kuingia kwenye 18 za FIB iliyokua inaongozwa na Jenerali James Aloizi Mwakibolwa.!
    (Malisa GJ)

    #PART12 Baada ya M23 kukamata Goma walidai hawana mpango wa kuchukua miji mingine. Jeshi la Congo (FARDC) likarelax. Kumbe ilikua mbinu ya kivita. Ghafla M23 wakavamia na kuuteka mji wa Rutshuru wenye utajiri wa dhahabu, tin na Tungsten na mji wa Masisi wenye utajiri mkubwa wa dhahabu na cassiterite. Mpango wa M23 ni kufika Kinshasa na kuuangusha utawala wa Rais Felix Tshisekedi. Madai ya M23 ni yaleyale ya siku zote, ambayo ni kulinda maslahi ya Watutsi waishio mashariki mwa nchi hiyo, kupambana na wanamgambo wa Kihutu wa FDLR (Interahamwe), na kutaka Banyamulenge watambuliwe kama raia halali wa Congo. Mzozo wa mashariki mwa Congo umegharimu maisha ya mamilioni ya watu toka ulipoanza. Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umepeleka askari wa kulinda amani. Ikumbukwe askari hao hawapigani upande wa serikali wala wa waasi. Kuna watu wanadhani askari wetu wa JWTZ walioko Congo wanapigana upande wa jeshi la serikali (FARDC). Hapana. Hawapigani upande wowote. Wanalinda amani. Lakini ikitokea kuna upande unahatarisha amani utapewa haki yake ya kikatiba. Kwa mfano, mwaka 2012 Umoja wa mataifa uliunda jeshi la kulinda amani Congo (MONUSCO). Ndani yake kulikua na brigedi maalumu ya kunyang'anya silaha makundi ya wapiganaji - Force Intervention Bregade (FIB). Brigedi hiyo iliundwa na askari kutoka Tanzania, Malawi, Afrika Kusini na Uruguay. April 2012, M23 wakashambulia kambi ya FIB iliyokua mji wa Rutshuru na kuua askari watatu. Baada ya shambulio hilo, aliyekua Mkuu FIB, Jenerali James Mwakibolwa alipanga vikosi vyake kujibu mapigo. M23 walichakazwa vibaya ambapo zaidi ya askari 600 wa M23 waliuawa na wengi kujeruhiwa. Walipigwa bila huruma na kuachia miji yote waliyokua wameishikilia ikiwemo Rubaya, Kitchanga na Rutshuru. Askari 16 wa FIB nao walipoteza maisha. March 2013, M23 walisalimu amri na Kiongozi wao Bosco Ntaganda akakimbilia Rwanda kujisalimisha kwenye ubalozi wa Marekani. Alipelekwa ICC akahukumiwa miaka 30 na sasa anatumikia adhabu yake gereza la Leuze-en-Hainaut lililopo Ubelgiji. Moja ya makosa ambayo Ntaganda anayajutia hadi leo ni kuingia kwenye 18 za FIB iliyokua inaongozwa na Jenerali James Aloizi Mwakibolwa.! (Malisa GJ)
    0 Comments 0 Shares 620 Views
  • ubaya ubwela
    ubaya ubwela馃榾
    Haha
    1
    1 Comments 0 Shares 161 Views
  • #Socialpop wamefanya #UBAYAUBWELA
    #Socialpop wamefanya #UBAYAUBWELA 馃敟馃敟
    Wow
    1
    0 Comments 0 Shares 613 Views
  • Ahmed Ally

    MAZUNGUMZO YA URAIA

    Mpanzu : Mimi nitakua Mpogoro

    Ahoua : Mimi mdigo

    Mpanzu : Au niwe Mgogo

    Ahoua : Basi mie nitakua mzigua

    Kibu : Wewe mbona makabila yako ya Tanga tuu

    Ahoua : Napenda kuwa karibu na bahari

    Mpanzu : Kibu nishauri mimi niwe kabila gani

    Kibu : Kuwa Muha

    Mpanzu : Muha hapana nikienda Kigoma napata hisia za Congo

    Kibu : Basi Mnyakyusa

    Mpanzu : Aaah niwe Mwaisa saafi sana ushauri mzuri huo nitakua naitwa Elia Mwampanzu

    Ahoua : Jamani Mimi bado sijapata kabila

    Kibu: Chukua Mrangi

    Ahoua : Kabila gani wanasema Ubaya Ubwela

    Kibu : Wazaramo

    Ahoua : Hilo ndio kabila langu sasa, na jina langu John Chale Kambi

    Ahmed Ally 鉁嶏笍 MAZUNGUMZO YA URAIA Mpanzu : Mimi nitakua Mpogoro Ahoua : Mimi mdigo Mpanzu : Au niwe Mgogo Ahoua : Basi mie nitakua mzigua Kibu : Wewe mbona makabila yako ya Tanga tuu Ahoua : Napenda kuwa karibu na bahari Mpanzu : Kibu nishauri mimi niwe kabila gani Kibu : Kuwa Muha Mpanzu : Muha hapana nikienda Kigoma napata hisia za Congo Kibu : Basi Mnyakyusa Mpanzu : Aaah niwe Mwaisa saafi sana ushauri mzuri huo nitakua naitwa Elia Mwampanzu Ahoua : Jamani Mimi bado sijapata kabila Kibu: Chukua Mrangi Ahoua : Kabila gani wanasema Ubaya Ubwela Kibu : Wazaramo Ahoua : Hilo ndio kabila langu sasa, na jina langu John Chale Kambi
    Like
    Love
    3
    0 Comments 0 Shares 212 Views
  • "Habari za Asubuhi wana Simba

    Baada ya jana kupokea hukumu ya CAF kuhusu kufungiwa Mashabiki katika mchezo wetu dhidi Costantine kumekua na mawazo na maoni mengi.

    Wapo wanaosema tiketi ziendelee kuuzwa ili Wana Simba tuchangie faini iliyotozwa klabu yetu

    Wapo wanaosema klabu iandae utaratibu maalumu watu wachangie kuipunguzia klabu mzigo wa adhabu ya faini hiyo

    Na wengi wamesisitiza iandaliwe sehemu maalumu Wana Simba tukutane tuangalie kwa pamoja mechi

    Kwanza niseme nimefurahishwa na fikra za Wana Simba kulichukua hili kuwa tatizo letu sote na tuko tayari kulitatua kwa pamoja

    Pili niwaombe Wana Simba tutulie wakati huu ambao Viongozi wetu wakiangalia namna sahihi ya kuliendea jambo hili

    Tatu niwatoe hofu Wana Simba kuwa adhabu yetu inahusu mechi moja tuu ya Jumapili, Robo Fainali tutaendelea na utaratibu wetu kama kawaida wa kwenda Uwanjani

    Nichukue nafasi hii kuwapa pole Wana Simba wote ambao tumeumizwa na kadhia hii iliyotokea kwa mara ya kwanza katika maisha yetu

    Mwisho kabisa ili kuepuka kupata maumivu kama haya ya kukosa kuiona Live timu yetu ikicheza mchezo muhimu kama huu hatuna budi sisi Mashabiki kujifunza kupitia sakata ili lisijirudie tena

    Nguvu Moja - Ubaya Ubwela" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.

    "Habari za Asubuhi wana Simba Baada ya jana kupokea hukumu ya CAF kuhusu kufungiwa Mashabiki katika mchezo wetu dhidi Costantine kumekua na mawazo na maoni mengi. Wapo wanaosema tiketi ziendelee kuuzwa ili Wana Simba tuchangie faini iliyotozwa klabu yetu Wapo wanaosema klabu iandae utaratibu maalumu watu wachangie kuipunguzia klabu mzigo wa adhabu ya faini hiyo Na wengi wamesisitiza iandaliwe sehemu maalumu Wana Simba tukutane tuangalie kwa pamoja mechi Kwanza niseme nimefurahishwa na fikra za Wana Simba kulichukua hili kuwa tatizo letu sote na tuko tayari kulitatua kwa pamoja Pili niwaombe Wana Simba tutulie wakati huu ambao Viongozi wetu wakiangalia namna sahihi ya kuliendea jambo hili Tatu niwatoe hofu Wana Simba kuwa adhabu yetu inahusu mechi moja tuu ya Jumapili, Robo Fainali tutaendelea na utaratibu wetu kama kawaida wa kwenda Uwanjani Nichukue nafasi hii kuwapa pole Wana Simba wote ambao tumeumizwa na kadhia hii iliyotokea kwa mara ya kwanza katika maisha yetu Mwisho kabisa ili kuepuka kupata maumivu kama haya ya kukosa kuiona Live timu yetu ikicheza mchezo muhimu kama huu hatuna budi sisi Mashabiki kujifunza kupitia sakata ili lisijirudie tena Nguvu Moja - Ubaya Ubwela" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 519 Views
  • Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe.

    "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema.

    Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe.

    Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza.

    Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo!

    Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 馃檹馃従馃檹馃従" ameandika Wolper.

    Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe. "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema. Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe. Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza. Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo! Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 馃檹馃従馃檹馃従" ameandika Wolper.
    Wow
    1
    0 Comments 0 Shares 647 Views
  • Tumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao.

    Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    Tumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao. Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 720 Views
  • Tunaishi chini ya jua lenye ushindani mwingi na wa kipuuzi sana kwa kizazi cha sasa.Wale tuliopaswa kurithi ama kujifunza mambo mema kutoka kwao ndo hao wengi wao wanafanya ujinga na kujificha kwenye kivuli cha unavyofikiri sivyo ilivyo.
    Binadamu siku hizi anakufanyia ubaya alaf anakujia Kwa mgongo wa utani.Na bahati mbaya dini na charity siku hizi zinatumika kama kichaka cha kuficha uovu wa watu.Binadamu amekuwa si binadamu tena. Wakati mwingine anae kuchukia na asiyekutakia mema ni ndugu wa damu kabisa,ndo dunia ilipofika.
    Tunaishi kwenye hatari tuliyoamua kuibatiza jina la salama.
    Shari tumeigeuza shwari.
    Maumivu na huzuni ya mtu ni furaha ya mwingine.Huku tukitumia hadhara kutengeneza mazingira ya kuendelea kutekeleza maovu.Kwa kivuli cha nani ameniona?au nani anajua?
    Kile kitu Dunia imeshindwa kutambua majira na nyakati yamebadilika sana.
    Zamani zile kulikuwa hakuna siri ya watu wawili ila zamani hizi hakuna siri ya mtu mmoja.Wakati twasema ni siri kuna mtu mahala fulani anaijua hiyo siri.
    Na hapo ndo tunasema mtu anapigana na kivuli chake mwenyewe Kwa kujiongopea kuwa hakuna maumivi.
    Lakini swali la kujiuliza kati ya kivuli cha mtu na mtu mwenyewe ni nani anaumia? Tutafakari
    Tunaishi chini ya jua lenye ushindani mwingi na wa kipuuzi sana kwa kizazi cha sasa.Wale tuliopaswa kurithi ama kujifunza mambo mema kutoka kwao ndo hao wengi wao wanafanya ujinga na kujificha kwenye kivuli cha unavyofikiri sivyo ilivyo. Binadamu siku hizi anakufanyia ubaya alaf anakujia Kwa mgongo wa utani.Na bahati mbaya dini na charity siku hizi zinatumika kama kichaka cha kuficha uovu wa watu.Binadamu amekuwa si binadamu tena. Wakati mwingine anae kuchukia na asiyekutakia mema ni ndugu wa damu kabisa,ndo dunia ilipofika. Tunaishi kwenye hatari tuliyoamua kuibatiza jina la salama. Shari tumeigeuza shwari. Maumivu na huzuni ya mtu ni furaha ya mwingine.Huku tukitumia hadhara kutengeneza mazingira ya kuendelea kutekeleza maovu.Kwa kivuli cha nani ameniona?au nani anajua? Kile kitu Dunia imeshindwa kutambua majira na nyakati yamebadilika sana. Zamani zile kulikuwa hakuna siri ya watu wawili ila zamani hizi hakuna siri ya mtu mmoja.Wakati twasema ni siri kuna mtu mahala fulani anaijua hiyo siri. Na hapo ndo tunasema mtu anapigana na kivuli chake mwenyewe Kwa kujiongopea kuwa hakuna maumivi. Lakini swali la kujiuliza kati ya kivuli cha mtu na mtu mwenyewe ni nani anaumia? Tutafakari
    Like
    Love
    2
    0 Comments 0 Shares 659 Views
  • MIXXY BY SIMBA ni!!
    Ubaya Ubwela + Pumzi ya Moto + Kumkaanga

    #paulswai
    MIXXY BY SIMBA ni!! Ubaya Ubwela + Pumzi ya Moto + Kumkaanga #paulswai
    Like
    Love
    3
    1 Comments 0 Shares 284 Views 53
  • Hao ndiyo Ubaya ubwela
    #Simbasc
    Hao ndiyo Ubaya ubwela #Simbasc
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 386 Views

  • Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy mukwala
    #paulswai
    Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy mukwala #paulswai
    Love
    Like
    Yay
    5
    0 Comments 0 Shares 357 Views

  • Bado hamja Sema huu ndio ubaya ubwela

    #paulswai
    Bado hamja Sema huu ndio ubaya ubwela #paulswai
    Like
    Love
    4
    0 Comments 0 Shares 351 Views
  • Ubaya ubwela watakiwasha 8 December huko Algeria zidi ya Cs Constantine katika kombe la shirikisho Africa
    Ubaya ubwela watakiwasha 8 December huko Algeria zidi ya Cs Constantine katika kombe la shirikisho Africa
    0 Comments 0 Shares 204 Views
  • KIZURI KWAKO, KINAWEZA KIBAYA KWA WEMGINE.

    "Lazima ujue Unachokithamini wewe kinaweza kudharauliwa na wengine kipaumbele chako kinaweza kuwa SI kitu Cha Maana kwa wengine.Unachokipenda wewe kinaweza kuwa hakina Thamani kwa Mwingine,Usiruhusu Furaha Yako ipotezwe kwa kudharau unachotakiwa kukithamini kwa sababu ya wengine.Utaangushwa na uliowabeba,utazomewa na uliowasaidia,watasahau mazuri Yako na Kupambana na mabaya katika kurasa zako,na huu sio mtihani wa maisha haya ila ndo maisha yenyewe binadamu Tunajisahau sana" WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO. Kabla hujatuombea mabaya yatukute katika Maisha yetu hakikisha unao Uwezo na moyo wa kuwasaidia wale wote wanaotutegemea.
    KIZURI KWAKO, KINAWEZA KIBAYA KWA WEMGINE. "Lazima ujue Unachokithamini wewe kinaweza kudharauliwa na wengine kipaumbele chako kinaweza kuwa SI kitu Cha Maana kwa wengine.Unachokipenda wewe kinaweza kuwa hakina Thamani kwa Mwingine,Usiruhusu Furaha Yako ipotezwe kwa kudharau unachotakiwa kukithamini kwa sababu ya wengine.Utaangushwa na uliowabeba,utazomewa na uliowasaidia,watasahau mazuri Yako na Kupambana na mabaya katika kurasa zako,na huu sio mtihani wa maisha haya ila ndo maisha yenyewe binadamu Tunajisahau sana" WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO. Kabla hujatuombea mabaya yatukute katika Maisha yetu hakikisha unao Uwezo na moyo wa kuwasaidia wale wote wanaotutegemea.
    Like
    Love
    5
    2 Comments 0 Shares 425 Views
  • UBAYA UBWELA
    #paulswai
    馃馃馃馃挭馃敟馃敟 UBAYA UBWELA #paulswai
    Love
    Like
    5
    0 Comments 0 Shares 302 Views
  • Ubaya ubwela
    Ubaya ubwela馃憦馃憦馃憦
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 187 Views
  • MISIMAMO

    UBAYA UBWELA

    #paulswai
    MISIMAMO 馃馃馃敟馃敟 UBAYA UBWELA #paulswai
    Like
    Love
    2
    0 Comments 0 Shares 299 Views
More Results