-
#Socialpop wamefanya #UBAYAUBWELA#Socialpop wamefanya #UBAYAUBWELA 🔥🔥
-
Ahmed Ally
MAZUNGUMZO YA URAIA
Mpanzu : Mimi nitakua Mpogoro
Ahoua : Mimi mdigo
Mpanzu : Au niwe Mgogo
Ahoua : Basi mie nitakua mzigua
Kibu : Wewe mbona makabila yako ya Tanga tuu
Ahoua : Napenda kuwa karibu na bahari
Mpanzu : Kibu nishauri mimi niwe kabila gani
Kibu : Kuwa Muha
Mpanzu : Muha hapana nikienda Kigoma napata hisia za Congo
Kibu : Basi Mnyakyusa
Mpanzu : Aaah niwe Mwaisa saafi sana ushauri mzuri huo nitakua naitwa Elia Mwampanzu
Ahoua : Jamani Mimi bado sijapata kabila
Kibu: Chukua Mrangi
Ahoua : Kabila gani wanasema Ubaya Ubwela
Kibu : Wazaramo
Ahoua : Hilo ndio kabila langu sasa, na jina langu John Chale Kambi
Ahmed Ally ✍️ MAZUNGUMZO YA URAIA Mpanzu : Mimi nitakua Mpogoro Ahoua : Mimi mdigo Mpanzu : Au niwe Mgogo Ahoua : Basi mie nitakua mzigua Kibu : Wewe mbona makabila yako ya Tanga tuu Ahoua : Napenda kuwa karibu na bahari Mpanzu : Kibu nishauri mimi niwe kabila gani Kibu : Kuwa Muha Mpanzu : Muha hapana nikienda Kigoma napata hisia za Congo Kibu : Basi Mnyakyusa Mpanzu : Aaah niwe Mwaisa saafi sana ushauri mzuri huo nitakua naitwa Elia Mwampanzu Ahoua : Jamani Mimi bado sijapata kabila Kibu: Chukua Mrangi Ahoua : Kabila gani wanasema Ubaya Ubwela Kibu : Wazaramo Ahoua : Hilo ndio kabila langu sasa, na jina langu John Chale Kambi -
"Habari za Asubuhi wana Simba
Baada ya jana kupokea hukumu ya CAF kuhusu kufungiwa Mashabiki katika mchezo wetu dhidi Costantine kumekua na mawazo na maoni mengi.
Wapo wanaosema tiketi ziendelee kuuzwa ili Wana Simba tuchangie faini iliyotozwa klabu yetu
Wapo wanaosema klabu iandae utaratibu maalumu watu wachangie kuipunguzia klabu mzigo wa adhabu ya faini hiyo
Na wengi wamesisitiza iandaliwe sehemu maalumu Wana Simba tukutane tuangalie kwa pamoja mechi
Kwanza niseme nimefurahishwa na fikra za Wana Simba kulichukua hili kuwa tatizo letu sote na tuko tayari kulitatua kwa pamoja
Pili niwaombe Wana Simba tutulie wakati huu ambao Viongozi wetu wakiangalia namna sahihi ya kuliendea jambo hili
Tatu niwatoe hofu Wana Simba kuwa adhabu yetu inahusu mechi moja tuu ya Jumapili, Robo Fainali tutaendelea na utaratibu wetu kama kawaida wa kwenda Uwanjani
Nichukue nafasi hii kuwapa pole Wana Simba wote ambao tumeumizwa na kadhia hii iliyotokea kwa mara ya kwanza katika maisha yetu
Mwisho kabisa ili kuepuka kupata maumivu kama haya ya kukosa kuiona Live timu yetu ikicheza mchezo muhimu kama huu hatuna budi sisi Mashabiki kujifunza kupitia sakata ili lisijirudie tena
Nguvu Moja - Ubaya Ubwela" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
"Habari za Asubuhi wana Simba Baada ya jana kupokea hukumu ya CAF kuhusu kufungiwa Mashabiki katika mchezo wetu dhidi Costantine kumekua na mawazo na maoni mengi. Wapo wanaosema tiketi ziendelee kuuzwa ili Wana Simba tuchangie faini iliyotozwa klabu yetu Wapo wanaosema klabu iandae utaratibu maalumu watu wachangie kuipunguzia klabu mzigo wa adhabu ya faini hiyo Na wengi wamesisitiza iandaliwe sehemu maalumu Wana Simba tukutane tuangalie kwa pamoja mechi Kwanza niseme nimefurahishwa na fikra za Wana Simba kulichukua hili kuwa tatizo letu sote na tuko tayari kulitatua kwa pamoja Pili niwaombe Wana Simba tutulie wakati huu ambao Viongozi wetu wakiangalia namna sahihi ya kuliendea jambo hili Tatu niwatoe hofu Wana Simba kuwa adhabu yetu inahusu mechi moja tuu ya Jumapili, Robo Fainali tutaendelea na utaratibu wetu kama kawaida wa kwenda Uwanjani Nichukue nafasi hii kuwapa pole Wana Simba wote ambao tumeumizwa na kadhia hii iliyotokea kwa mara ya kwanza katika maisha yetu Mwisho kabisa ili kuepuka kupata maumivu kama haya ya kukosa kuiona Live timu yetu ikicheza mchezo muhimu kama huu hatuna budi sisi Mashabiki kujifunza kupitia sakata ili lisijirudie tena Nguvu Moja - Ubaya Ubwela" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC. -
Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe.
"Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema.
Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe.
Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza.
Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo!
Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 🙏🏾🙏🏾" ameandika Wolper.
Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe. "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema. Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe. Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza. Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo! Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 🙏🏾🙏🏾" ameandika Wolper. -
Tumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao.
Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwikoTumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao. Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko -
Tunaishi chini ya jua lenye ushindani mwingi na wa kipuuzi sana kwa kizazi cha sasa.Wale tuliopaswa kurithi ama kujifunza mambo mema kutoka kwao ndo hao wengi wao wanafanya ujinga na kujificha kwenye kivuli cha unavyofikiri sivyo ilivyo.
Binadamu siku hizi anakufanyia ubaya alaf anakujia Kwa mgongo wa utani.Na bahati mbaya dini na charity siku hizi zinatumika kama kichaka cha kuficha uovu wa watu.Binadamu amekuwa si binadamu tena. Wakati mwingine anae kuchukia na asiyekutakia mema ni ndugu wa damu kabisa,ndo dunia ilipofika.
Tunaishi kwenye hatari tuliyoamua kuibatiza jina la salama.
Shari tumeigeuza shwari.
Maumivu na huzuni ya mtu ni furaha ya mwingine.Huku tukitumia hadhara kutengeneza mazingira ya kuendelea kutekeleza maovu.Kwa kivuli cha nani ameniona?au nani anajua?
Kile kitu Dunia imeshindwa kutambua majira na nyakati yamebadilika sana.
Zamani zile kulikuwa hakuna siri ya watu wawili ila zamani hizi hakuna siri ya mtu mmoja.Wakati twasema ni siri kuna mtu mahala fulani anaijua hiyo siri.
Na hapo ndo tunasema mtu anapigana na kivuli chake mwenyewe Kwa kujiongopea kuwa hakuna maumivi.
Lakini swali la kujiuliza kati ya kivuli cha mtu na mtu mwenyewe ni nani anaumia? TutafakariTunaishi chini ya jua lenye ushindani mwingi na wa kipuuzi sana kwa kizazi cha sasa.Wale tuliopaswa kurithi ama kujifunza mambo mema kutoka kwao ndo hao wengi wao wanafanya ujinga na kujificha kwenye kivuli cha unavyofikiri sivyo ilivyo. Binadamu siku hizi anakufanyia ubaya alaf anakujia Kwa mgongo wa utani.Na bahati mbaya dini na charity siku hizi zinatumika kama kichaka cha kuficha uovu wa watu.Binadamu amekuwa si binadamu tena. Wakati mwingine anae kuchukia na asiyekutakia mema ni ndugu wa damu kabisa,ndo dunia ilipofika. Tunaishi kwenye hatari tuliyoamua kuibatiza jina la salama. Shari tumeigeuza shwari. Maumivu na huzuni ya mtu ni furaha ya mwingine.Huku tukitumia hadhara kutengeneza mazingira ya kuendelea kutekeleza maovu.Kwa kivuli cha nani ameniona?au nani anajua? Kile kitu Dunia imeshindwa kutambua majira na nyakati yamebadilika sana. Zamani zile kulikuwa hakuna siri ya watu wawili ila zamani hizi hakuna siri ya mtu mmoja.Wakati twasema ni siri kuna mtu mahala fulani anaijua hiyo siri. Na hapo ndo tunasema mtu anapigana na kivuli chake mwenyewe Kwa kujiongopea kuwa hakuna maumivi. Lakini swali la kujiuliza kati ya kivuli cha mtu na mtu mwenyewe ni nani anaumia? Tutafakari -
MIXXY BY SIMBA ni!! Ubaya Ubwela + Pumzi ya Moto + Kumkaanga #paulswai
-
Hao ndiyo Ubaya ubwela
#SimbascHao ndiyo Ubaya ubwela #Simbasc -
Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy mukwala #paulswai
-
Bado hamja Sema huu ndio ubaya ubwela #paulswai
-
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·102 Visualizações
-
KIZURI KWAKO, KINAWEZA KIBAYA KWA WEMGINE.
"Lazima ujue Unachokithamini wewe kinaweza kudharauliwa na wengine kipaumbele chako kinaweza kuwa SI kitu Cha Maana kwa wengine.Unachokipenda wewe kinaweza kuwa hakina Thamani kwa Mwingine,Usiruhusu Furaha Yako ipotezwe kwa kudharau unachotakiwa kukithamini kwa sababu ya wengine.Utaangushwa na uliowabeba,utazomewa na uliowasaidia,watasahau mazuri Yako na Kupambana na mabaya katika kurasa zako,na huu sio mtihani wa maisha haya ila ndo maisha yenyewe binadamu Tunajisahau sana" WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO. Kabla hujatuombea mabaya yatukute katika Maisha yetu hakikisha unao Uwezo na moyo wa kuwasaidia wale wote wanaotutegemea.KIZURI KWAKO, KINAWEZA KIBAYA KWA WEMGINE. "Lazima ujue Unachokithamini wewe kinaweza kudharauliwa na wengine kipaumbele chako kinaweza kuwa SI kitu Cha Maana kwa wengine.Unachokipenda wewe kinaweza kuwa hakina Thamani kwa Mwingine,Usiruhusu Furaha Yako ipotezwe kwa kudharau unachotakiwa kukithamini kwa sababu ya wengine.Utaangushwa na uliowabeba,utazomewa na uliowasaidia,watasahau mazuri Yako na Kupambana na mabaya katika kurasa zako,na huu sio mtihani wa maisha haya ila ndo maisha yenyewe binadamu Tunajisahau sana" WEMA UNA MUENDELEZO ILA UBAYA UNA MWISHO. Kabla hujatuombea mabaya yatukute katika Maisha yetu hakikisha unao Uwezo na moyo wa kuwasaidia wale wote wanaotutegemea. -
UBAYA UBWELA
#paulswai🦁🦁🦁💪🔥🔥 UBAYA UBWELA #paulswai -
-
MISIMAMO 🦁🦁🔥🔥 UBAYA UBWELA #paulswai
-
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·134 Visualizações
-
UBAYA UBWELA 🔥🔥🔥 Umependa jezi ipi hapo #paulswai
-
AFCON YA UBAYA UBWELA 🔥🔥 #paulswai
-
Yamesemwa na Meja Kunta (Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania).
"Tuishi kwa kujifunza Mitazamo tofauti Ya watu wengi ina mshutumu Huyu dada Mdogo Mwenye Upeo Mkubwa wa kujiongeza. Kilasiku Anakuwa mkubwa zaidi sababu ya Utashi wake Na uthubutu wake Mwenyewe Haimbi wala Kuigiza but jina Lake Linapanda Kila leo
Kiukweli nina Washangaa wengi walio Ingilia Na kushadadia hili Suala tena Kwa ubaya mna Toa maneno ya moyoni Kisa huyu binti Kuchangisha kwa sababu ya watu je alichangisha kwa Siri..? Lengo lake lilikuwa Lipi..? Je wewe Unaesema yeye Mwizi wewe Umefanya lipi..? Why tunapenda kukuza Mambo ikiwa ata Kwenye mambo serious Je mnajua Jambo Mpaka Serikali ikiliingilia Mnajua yupo kwenye wakati gani ..?
Em wewe vaa kiatu chake sasahivi Mpaka Waziri Mkuu Ameingilia na kusema utafutwe Popote ulipo Ungefanya nini ??
Mimi nimevaa Na nimeona Niffer Anahitaji Huruma ya wengi ili Kumalizana na hili Suala"
Yamesemwa na Meja Kunta (Msanii wa muziki wa Singeli Tanzania). "Tuishi kwa kujifunza Mitazamo tofauti Ya watu wengi ina mshutumu Huyu dada Mdogo Mwenye Upeo Mkubwa wa kujiongeza. Kilasiku Anakuwa mkubwa zaidi sababu ya Utashi wake Na uthubutu wake Mwenyewe Haimbi wala Kuigiza but jina Lake Linapanda Kila leo Kiukweli nina Washangaa wengi walio Ingilia Na kushadadia hili Suala tena Kwa ubaya mna Toa maneno ya moyoni Kisa huyu binti Kuchangisha kwa sababu ya watu je alichangisha kwa Siri..? Lengo lake lilikuwa Lipi..? Je wewe Unaesema yeye Mwizi wewe Umefanya lipi..? Why tunapenda kukuza Mambo ikiwa ata Kwenye mambo serious Je mnajua Jambo Mpaka Serikali ikiliingilia Mnajua yupo kwenye wakati gani ..? Em wewe vaa kiatu chake sasahivi Mpaka Waziri Mkuu Ameingilia na kusema utafutwe Popote ulipo Ungefanya nini ?? Mimi nimevaa Na nimeona Niffer Anahitaji Huruma ya wengi ili Kumalizana na hili Suala"0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·296 Visualizações
Páginas Impulsionadas