Atualizar para Plus

  • My sister, uzuri wako sio kama kitu cha kukiweka parade ili watu wakione na kukikubali, then wewe uridhike kutokana na hilo pekee.

    Huu Ulimwengu sio jumba la makumbusho kwamba uzunguke huku na huko kuvuta attention ya watu ili wakuone na kukukubali as if wewe ni kivutio cha utalii then ndio ujione umefanikiwa kwa hilo.

    Uzuri wako sio kama hifadhi ya Gombe, watalii walipe waje waone sokwe wanavoruka ruka, na kuondoka zao. Sio kama hifadhi ya Serengeti au grumeti watalii waje waone Nyumbu wanavyohama kutoka upande huu kwenda upande mwengine. Walipe dola zao na kuondoka.

    Ni bora zaidi uthaminiwe na mwanaume mmoja, kuliko kutamaniwa na dazani ya useless horny men.

    Ndio uwe mzuri, lakini mzuri kwa ajili yako peke yako..na sio kwa ajili ya ulimwengu. Hauwezi kushindana na ulimwengu kwa ku-base kwenye uzuri, makalio, shape, etc..ulimwengu unao wanawake wa aina hiyo wengi sana na ambao hawana wanaweza wakapata kwa artificial ways.

    Lakini roho nzuri, utu wema, tabia iliyo njema nani anaweza ku-fake? Beautiful mind nani anaweza kuipata? Sio vizuri hata kidogo kupiga picha za nusu uchi na kuziweka mitandaoni ili upate comments na likes za kutosha. Sio vema hata kidogo kuvaa nguo za mitego kwa minajili ya kusumbua vichwa vya wanaume wakware.

    Hata kama una-hustle, unajitafutia riziki yako kwa mikono yako wewe mwenyewe, vaa vizuri, ishi maisha mazuri yatakayowapendeza na kuwabariki wengine...ishi maisha ambayo watu watapenda kukusikia jinsi unavyoongea kuliko wanavyopenda kukuona ukiwa unatembea nusu uchi, kuna kitu Mwenyezi Mungu amekiweka kwenye ulimi wako...wewe ni mzuri zaidi ya sura na shepu yako.

    My wisdom, "The female brain itself is a highly intuitive emotion-processing machine, which when put to practice in the progress of the society, would do much more than any man can with all his analytical perspectives"
    My sister, uzuri wako sio kama kitu cha kukiweka parade ili watu wakione na kukikubali, then wewe uridhike kutokana na hilo pekee. Huu Ulimwengu sio jumba la makumbusho kwamba uzunguke huku na huko kuvuta attention ya watu ili wakuone na kukukubali as if wewe ni kivutio cha utalii then ndio ujione umefanikiwa kwa hilo. Uzuri wako sio kama hifadhi ya Gombe, watalii walipe waje waone sokwe wanavoruka ruka, na kuondoka zao. Sio kama hifadhi ya Serengeti au grumeti watalii waje waone Nyumbu wanavyohama kutoka upande huu kwenda upande mwengine. Walipe dola zao na kuondoka. Ni bora zaidi uthaminiwe na mwanaume mmoja, kuliko kutamaniwa na dazani ya useless horny men. Ndio uwe mzuri, lakini mzuri kwa ajili yako peke yako..na sio kwa ajili ya ulimwengu. Hauwezi kushindana na ulimwengu kwa ku-base kwenye uzuri, makalio, shape, etc..ulimwengu unao wanawake wa aina hiyo wengi sana na ambao hawana wanaweza wakapata kwa artificial ways. Lakini roho nzuri, utu wema, tabia iliyo njema nani anaweza ku-fake? Beautiful mind nani anaweza kuipata? Sio vizuri hata kidogo kupiga picha za nusu uchi na kuziweka mitandaoni ili upate comments na likes za kutosha. Sio vema hata kidogo kuvaa nguo za mitego kwa minajili ya kusumbua vichwa vya wanaume wakware. Hata kama una-hustle, unajitafutia riziki yako kwa mikono yako wewe mwenyewe, vaa vizuri, ishi maisha mazuri yatakayowapendeza na kuwabariki wengine...ishi maisha ambayo watu watapenda kukusikia jinsi unavyoongea kuliko wanavyopenda kukuona ukiwa unatembea nusu uchi, kuna kitu Mwenyezi Mungu amekiweka kwenye ulimi wako...wewe ni mzuri zaidi ya sura na shepu yako. My wisdom, "The female brain itself is a highly intuitive emotion-processing machine, which when put to practice in the progress of the society, would do much more than any man can with all his analytical perspectives"
    ·208 Visualizações
  • Mwanaume hahitaji mwanamke mwenye sura nzuri kama Miss Utalii na makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa unaopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi.... Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa za macho na ngono..... THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX...

    Ndo maana utashangaa mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa mwanamke wa kawaidaaa sana, mwenye sura kama amepiga chafya ya ghafla, halafu unaanza kujiuliza huyu kaka amekosa nini... Yaani wanawake wote wakali aliotoka nao ndo kaishia hapa....!!?
    Jibu ni kuwa Hajakosa kitu, amevumbua DHAHABU.

    Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI....MSHAURI...MBEMBELEZAJI....MTIA MOYO...MWENYE MAONO na KHOFU YA MUNGU...
    Sio mwanamke anajua club zote mpya zilizofunguliwa wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plots zinauza Eneo fulani ili amshauri mmewe ku-acquire land.

    Endelea kushangaa na mkalio wako kama Dansa wa baikoko, umetemwa na anaolewa bishost ambae hajawahi hata kuvaa kipedo pengine tangu azaliwe, anavaa charanga..

    Kama unadhani makalio makubwa yenye kuweweseka mithili ya bendela kwenye upepo mkali na shepu ni dili sana nyakati hizi za ugumu wa maisha, nenda kaombe kazi kwenye baikoko....

    Acha Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu vina Akili sana na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama mtazamaji ili upate vya kusimulia na kukosoa..
    Mwanaume hahitaji mwanamke mwenye sura nzuri kama Miss Utalii na makalio yanayoweweseka akitembea kama mshumaa unaopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi.... Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa za macho na ngono..... THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX... Ndo maana utashangaa mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa mwanamke wa kawaidaaa sana, mwenye sura kama amepiga chafya ya ghafla, halafu unaanza kujiuliza huyu kaka amekosa nini... Yaani wanawake wote wakali aliotoka nao ndo kaishia hapa....!!? Jibu ni kuwa Hajakosa kitu, amevumbua DHAHABU. Mwanaume anahitaji Mwanamke MSAIDIZI....MSHAURI...MBEMBELEZAJI....MTIA MOYO...MWENYE MAONO na KHOFU YA MUNGU... Sio mwanamke anajua club zote mpya zilizofunguliwa wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plots zinauza Eneo fulani ili amshauri mmewe ku-acquire land. Endelea kushangaa na mkalio wako kama Dansa wa baikoko, umetemwa na anaolewa bishost ambae hajawahi hata kuvaa kipedo pengine tangu azaliwe, anavaa charanga.. Kama unadhani makalio makubwa yenye kuweweseka mithili ya bendela kwenye upepo mkali na shepu ni dili sana nyakati hizi za ugumu wa maisha, nenda kaombe kazi kwenye baikoko.... Acha Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu vina Akili sana na Vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama mtazamaji ili upate vya kusimulia na kukosoa..🤣🤣
    ·403 Visualizações
  • Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wamepata nafasi ya kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi leo mchana baada ya kuwasili visiwani Zanzibar.

    Katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu tumemkabidhi zawadi ya jezi Rais Dkt. Mwinyi pamoja na mke wake mama Mariam Mwinyi.

    Akizungumzia katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu, Rais Dkt. Mwinyi ametupongeza kwa namna tunavyoiwakilisha vyema nchi kimataifa kwani jambo hilo linasaidia kukuza utalii kupitia michezo.

    Pia Rais Dkt. Mwinyi amesema serikali yake imejipanga kuendelea kuboresha na kujenga viwanja vya michezo ambavyo vitakuwa na vigezo vya kutumika kwenye michuano ya AFCON 2027 na CHAN 2025 hivyo kutukaribisha muda wowote kuja kuchezea hapa michezo ya mashindano ya ndani na kimataifa.

    Kwa upande wa Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amempongeza Rais Dkt. Mwinyi kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuleta maendeleo lakini pia ametumia nafasi hiyo kuwasilisha ombi la Simba kupata eneo ambalo tutajenga kituo cha kukuzia vipaji vya mpira wa miguu (academy). #WenyeNchi #NguvuMoja
    #paulswai
    Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wamepata nafasi ya kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi leo mchana baada ya kuwasili visiwani Zanzibar. Katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu tumemkabidhi zawadi ya jezi Rais Dkt. Mwinyi pamoja na mke wake mama Mariam Mwinyi. Akizungumzia katika hafla hiyo fupi iliyofanyika Ikulu, Rais Dkt. Mwinyi ametupongeza kwa namna tunavyoiwakilisha vyema nchi kimataifa kwani jambo hilo linasaidia kukuza utalii kupitia michezo. Pia Rais Dkt. Mwinyi amesema serikali yake imejipanga kuendelea kuboresha na kujenga viwanja vya michezo ambavyo vitakuwa na vigezo vya kutumika kwenye michuano ya AFCON 2027 na CHAN 2025 hivyo kutukaribisha muda wowote kuja kuchezea hapa michezo ya mashindano ya ndani na kimataifa. Kwa upande wa Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amempongeza Rais Dkt. Mwinyi kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuleta maendeleo lakini pia ametumia nafasi hiyo kuwasilisha ombi la Simba kupata eneo ambalo tutajenga kituo cha kukuzia vipaji vya mpira wa miguu (academy). #WenyeNchi #NguvuMoja #paulswai
    Like
    3
    ·485 Visualizações
  • Kwasasa utalii unafanyika jangwani kupitia ilo kombe la crdb federation
    Kwasasa utalii unafanyika jangwani kupitia ilo kombe la crdb federation
    Like
    1
    2 Comentários ·217 Visualizações
  • Ukuta Mkuu wa China: Safari ya Kustaajabisha Kwenye Historia ya Kale

    Ndoto ya kutembelea Ukuta Mkuu wa China imekuwa moyoni mwangu kwa muda mrefu. Ukuta huu mkubwa, unaoenea kwa zaidi ya kilomita 21,000, ni alama ya kuvutia ya historia ya kale ya China na ufundi wa ajabu. Picha za mandhari ya kuvutia na maoni ya kupendeza yamenifanya nitamani kutembea kwenye mawe haya ya zamani na kuhisi ukuu wake kwa karibu.

    Ninafikiria kutembelea sehemu ya Mutianyu ya Ukuta Mkuu. Sehemu hii iko karibu na Beijing na inajulikana kwa mandhari yake nzuri na urahisi wa kufikia. Natumai kupanda hadi kileleni na kufurahia mandhari ya kuvutia ya milima na misitu inayozunguka. Pia napenda kutembelea minara ya ulinzi na kujifunza kuhusu historia ya Ukuta Mkuu na umuhimu wake kwa China.

    Safari hii itakuwa zaidi ya kutembelea tu kivutio maarufu. Ninaamini itakuwa safari ya kugundua utamaduni wa China, historia yake tajiri, na uzuri wake wa asili. Nina hamu ya kukutana na watu wa China, kujaribu vyakula vyao vya kupendeza, na kujifunza kuhusu mila zao za kale.

    Ninaamini Ukuta Mkuu wa China ni mahali pazuri pa kuanza safari yangu ya kugundua China. Nina hakika itakuwa uzoefu usioweza kusahaulika ambao utaniacha na kumbukumbu za kudumu.

    #socialpop #utalii #China #UkutaMkuuwaChina #historia #utamaduni #safari
    Ukuta Mkuu wa China: Safari ya Kustaajabisha Kwenye Historia ya Kale Ndoto ya kutembelea Ukuta Mkuu wa China imekuwa moyoni mwangu kwa muda mrefu. Ukuta huu mkubwa, unaoenea kwa zaidi ya kilomita 21,000, ni alama ya kuvutia ya historia ya kale ya China na ufundi wa ajabu. Picha za mandhari ya kuvutia na maoni ya kupendeza yamenifanya nitamani kutembea kwenye mawe haya ya zamani na kuhisi ukuu wake kwa karibu. Ninafikiria kutembelea sehemu ya Mutianyu ya Ukuta Mkuu. Sehemu hii iko karibu na Beijing na inajulikana kwa mandhari yake nzuri na urahisi wa kufikia. Natumai kupanda hadi kileleni na kufurahia mandhari ya kuvutia ya milima na misitu inayozunguka. Pia napenda kutembelea minara ya ulinzi na kujifunza kuhusu historia ya Ukuta Mkuu na umuhimu wake kwa China. Safari hii itakuwa zaidi ya kutembelea tu kivutio maarufu. Ninaamini itakuwa safari ya kugundua utamaduni wa China, historia yake tajiri, na uzuri wake wa asili. Nina hamu ya kukutana na watu wa China, kujaribu vyakula vyao vya kupendeza, na kujifunza kuhusu mila zao za kale. Ninaamini Ukuta Mkuu wa China ni mahali pazuri pa kuanza safari yangu ya kugundua China. Nina hakika itakuwa uzoefu usioweza kusahaulika ambao utaniacha na kumbukumbu za kudumu. #socialpop #utalii #China #UkutaMkuuwaChina #historia #utamaduni #safari
    Love
    Like
    7
    1 Comentários ·442 Visualizações