Upgrade to Pro

  • If the earth rotate why I'm still in africa.
    Only geneus people can answer this
    If the earth rotate why I'm still in africa. Only geneus people can answer this
    Like
    1
    ·37 Views
  • Only African
    Only African
    Like
    1
    ·32 Views ·4 Views
  • Mechi za kwanza hatua ya makundi kombe la shirikisho Africa
    Mechi za kwanza hatua ya makundi kombe la shirikisho Africa
    Like
    1
    ·57 Views
  • Mechi za kwanza hatua ya makundi ligi ya mabigwa Africa
    Mechi za kwanza hatua ya makundi ligi ya mabigwa Africa
    Like
    1
    ·54 Views
  • Hii imetulia sana wananchi

    #youngafrica #wananchi #socialPop
    Hii imetulia sana wananchi #youngafrica #wananchi #socialPop
    Like
    Love
    2
    1 Yorumlar ·253 Views
  • Nyie hamuogopiiiiiiiiiiiiiii?? @Mr Smile #soccer #wananchi #youngafrica
    Nyie hamuogopiiiiiiiiiiiiiii?? [Mr_smile] #soccer #wananchi #youngafrica
    Like
    Love
    2
    1 Yorumlar ·93 Views
  • Home Kit Yang Africa
    Home Kit Yang Africa
    ·62 Views
  • .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi. Ally Kamwe #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    Sad
    5
    3 Yorumlar ·392 Views
  • "Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    "Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta Kocha Nabi akiwa ameachana na Al-Merrikh hakuna Mtanzania aliyejua nini kitatokea, Mwishowe Nabi ameondoka Young Africans akiwa na Medali ya CAF kwenye Begi lake, Kwa Gamondi ilikuwa hivyo hivyo, leo hii Uongozi umetuletea Ramovic, Uongozi wetu haujakurupuka upo makini na umefanya haya yote kwaajili ya Furaha ya Wananchi" Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    ·177 Views
  • Kocha mpya wa yanga raia wa ujerumani SEAD RAMOVIE #YoungAfricans sc
    Kocha mpya wa yanga raia wa ujerumani SEAD RAMOVIE #YoungAfricans sc 🇹🇿
    ·153 Views
  • Dah!! ata Sina usemi #YoungAfricans Sc
    Dah!! ata Sina usemi #YoungAfricans Sc
    ·104 Views
  • "Nimegundua wapinzani wangu wananiogopa sana wakatengeneza Mtego tupoteze mechi 2 mfululizo wakafanikiwa na Wakaanza kuwajaza upepo viongozi wangu ili nifukuzwe,Bahati nzuri nina viongozi weledi zaidi ya akili zao mbovu wameziba masikio"

    "Nami nasema hvi natoa Material yote kwa klabu yangu ya YANGA AFRICA hata kama ni kwa kutumia Gharama zangu binafsi ili niweze kuwafurahisha zaidi mashabiki wa Yanga na viongozi walionyesha ukomavu mkubwa"

    Miguel Gamondi kocha mkuu wa Yanga
    "Nimegundua wapinzani wangu wananiogopa sana wakatengeneza Mtego tupoteze mechi 2 mfululizo wakafanikiwa na Wakaanza kuwajaza upepo viongozi wangu ili nifukuzwe,Bahati nzuri nina viongozi weledi zaidi ya akili zao mbovu wameziba masikio" "Nami nasema hvi natoa Material yote kwa klabu yangu ya YANGA AFRICA hata kama ni kwa kutumia Gharama zangu binafsi ili niweze kuwafurahisha zaidi mashabiki wa Yanga na viongozi walionyesha ukomavu mkubwa" Miguel Gamondi kocha mkuu wa Yanga
    Like
    Love
    Haha
    4
    1 Yorumlar ·161 Views
  • Shata pampa king of amapiano for south Africa
    Shata pampa king of amapiano for south Africa
    Like
    1
    1 Yorumlar ·73 Views ·2 Oynat
  • NANI MWAMBA KATI YA SIMBA NA YANGA ?

    A. REKODI ZA YANGA:

    1. Kama kuna timu imewahi kuinyanyasa SIMBA, basi ni YANGA. Hakuna timu imeifunga SIMBA mara nyingi toka ianzishwe 8.8.1936 kama YANGA.

    2. YANGA imetwaa ubingwa wa Ligi mara 30, SIMBA mara 22 ie Mama Samia ataondoka madarakani 2030 SIMBA ikiwa haijavunja rekodi hii hata ikishinda mfululizo!

    3. YANGA imeshinda mechi nyingi zaidi za ligi kuliko SIMBA.

    4. YANGA imefunga magoli mengi ya Ligi kuliko SIMBA. YANGA ndio imefungwa mabao machache zaidi mechi za watani.

    5. YANGA imeshinda mechi nyingi za watani kuliko SIMBA. Mechi 4 za mwisho, SIMBA kafa zote!

    6. YANGA ndio ilishinda pambano la kwanza la watani (Juni 7, 1965)

    7. YANGA imetoa mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi ya ligi kwa misimu mingi (Kitwana Manara).

    8. YANGA imetoa mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi kwa msimu mmoja (MOHAMMED HUSSEIN "MMACHINGA")

    9. YANGA imetoa Mchezaji Bora kuwahi kutokea nchini (SUNDAY MANARA "COMPUTER").

    10. YANGA ilitoa mchezaji wa _"Kombaini ya Afrika 1973"_ (MAULID DILUNGA)1973. Kamba za SIMBA kuwa nao walitoa mchezaji (OMAR MAHADHI ziliumbuliwa baada ya kubainika MAHADHI alijiunga SIMBA 1975. 1973 MAHADHI alikuwa African Sports!)

    11. YANGA ndio timu iliyoshinda pambano la Kihistoria na Bora kuliko yote ya watani (Nyamagana 10.8.1974: 2-1)

    12. YANGA ndio timu pekee iliyofika fainali kombe la 2 kwa ukubwa Afrika (CAF Confederation cup 2023). SIMBA ilifika fainali 1993 kwenye kombe lililokuwa la 3 kwa hadhi ie "Caf cup". Kombe hili lilikuwa nyuma ya Kombe la Klabu Bingwa na Kombe la Washindi). Kwenye fainali, YANGA ilikosa kombe kwa Kanuni ya goli la ugenini (2-2) ila SIMBA ilikandwa kiduwanzi 2-0.

    13. YANGA ndio timu pekee nchini iliyowahi kuingia "TOP 5" ya kinyang'anyiro cha timu bora Afrika (2023).

    14. YANGA ndio timu pekee iliyotwaa ubingwa nje ya nchi (1993 & 1999)

    15. YANGA ndio timu iliyoalikwa Ikulu na Marais wengi kuliko timu yeyote (Novemba 11, 1969 ilialikwa na Rais Nyerere, Februari 4, 1993 ilialikwa na Rais Mwinyi na Juni 4, 2023 ilialikwa na Rais Samia).

    16. YANGA ndiyo timu pekee nchini iliyowahi kualikwa kwenye sherehe za uhuru wa Taifa jingine (Malawi Julai 7, 2023).

    17. YANGA iliweka rekodi (2023) ya kuwa timu ya kwanza nchini kushinda mechi nyingi zaidi nje ya nchi michuano ya Afrika

    *NB:* Mashabiki maandazi wa SIMBA wanalialia eti YANGA inapata mafanikio kwaajili GSM anadhamini timu nyingi. Huu ni Upuuzi wa kiwango cha SGR! Kwani GSM alikuepo 1960s, 1970s, 1980s, nk ?

    B. REKODI MUJARAB ZA SIMBA:

    1. Bw. Ramadhani Ali, Mnazi kindakindaki wa SIMBA, aliweka rekodi ya watani baada ya kumkabidhi mkewe, Bi Mwajuma Sadiki Ali kwa mnazi wa Yanga, Bw. Juma Gobe, magomeni Juni 1, 1968 baada ya Yanga kuitandika SIMBA 5-0. Hao jamaa walikuwa wamepinga kabla ya mechi kuwa timu itakayofungwa, aliyefungwa atamgawa mkewe !.

    2. SIMBA ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuweka mpira kwapani mechi ya watani (Machi 3, 1969)

    3. Mnazi wa Simba wa Tabora aliandika rekodi ya kujiua kwa kujitumbukiza kwenye pipa la mafuta baada ya SIMBA kufungwa 2-1 Nyamagana 10.8.1974. Timu ya SIMBA ilionesha ubinadamu ilipoenda Tabora kuhani msiba. Abdallah Kibaden "King" ndiye aliyekabidhi ubani.

    4. Nicco Njohole wa SIMBA aliliaibisha Taifa baada ya kupigwa umeme 1979 Nchumbiji kwa kukojoa uwanjani!

    5. Mwaka 1987, Kiongozi 1 wa SIMBA alienda kwa Idd Pazi, kipa wa PILSNER wakakubaliana ampe Tshs 50,000 ili afungishe kwenye mechi ya kwanza. SIMBA ilikiwa inachungulia kaburi. Kiongozi huyo akampa Tshs 25,000/= tu, hakumalizia. SIMBA ikatandikwa 2-0.

    6. Kwenye mechi ya pili, PAZI aliitwa nyumbani kwa Mwenyekiti Yusuph Hazzali Ilala. Akamkuta na kapteni Malota Soma. Wakamsihi sana afungishe kwani ye ni "mwana" ila hawakumpa fedha. PAZI akamsimulia JAMHURI KIHWELU ambaye alikataa ujinga huo. Dakika ya 10 tu, Zicco wa Kilosa akafunga. Kabla ya HT, PAZI akaachia mpira uingie wavuni lakini JAMHURI akaenda kuuokolea kwenye chaki! Kipindi cha pili PAZI akaachia goli, SIMBA iliyopachikwa jina "Guluguja" kwa kufungwafungwa, ikaambulia sare !

    7. Mwaka 1987, SIMBA ilikuwa inashika mkia. Kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Bingwa mtetezi Tukuyu stars, ilitakiwa kutoa sare 5-5 ili inusurike kushuka daraja. Na kweli ikala njama na Tukuyu stars zikatoka sare 5-5. FAT ikaishia tu kuzionya!

    8. SIMBA imenusurika kushuka daraja mara 3 mfululizo (1987, 1988 & 1989).

    9. Novemba 30, 1993, SIMBA ililazimika kutia kiberiti makontena 5 ya Khanga zilizoandikwa _"SIMBA BINGWA CAF 1993"_ baada ya kufilimbwa 2-0 na Stela Abidjan.

    10. Manazi wa SIMBA waliandika rekodi ya kung'oa viti Oktoba 1, 2016.

    11. SIMBA ililiaibisha Taifa kwa uchawi kwa kuwasha moto uwanjani mbungi dhidi ya Orlando Pirates Aprili 25, 2022 na Caf kuilima faini $ 10,000

    12. Manazi wa SIMBA waliweka rekodi ya kulipiga mawe basi lao toka Ntwara hadi Dsm kote lilikopita baada ya kuchalazwa 2-1 na Azam Mei 8, 2023 uwanja wa Nangwanda Sijaona.

    13. SIMBA ina tabia za Mbwa koko- Mbwa koko hubweka nyumbani tu. SIMBA haijawahi kutwaa kombe nje ya nchi. SIMBA hutia aibu sana mechi za kimataifa nje ya nchi, inategemea Bongo _"Kwa Mkapa Hatoki Mtu"_!

    14. Manazi wa SIMBA walifanya tukio la hovyo kuwahi kutokea katika Historia ya mpira wa miguu. Hassan Dalali aliwahi kusimulia kwa uchungu :

    _"Simba tulipofungwa na Azzam 2-1, mashabiki wetu walifanya tukio la hovyo kupita kiasi. Walienda Kariakoo wakanunua mapera wakala. Zikaja coaster 3 nyumbani kwangu. Wakaanza kupiga mawe nyumba yangu. Haraka nikaificha familia yangu. Wakaingia wakaanza kunya sebuleni na kwingine. Nikawauliza wamemaliza? Nikawaambia waende uani kuna jaba la maji wakajisafishe. Walinisikitisha sana kwani walienda hadi chumba maalum nikako swalia wakanya. Nilihuzunika sana. Siku ya pili nikaenda klabuni nikajiuzulu"
    NANI MWAMBA KATI YA SIMBA NA YANGA ? A. REKODI ZA YANGA: 1. Kama kuna timu imewahi kuinyanyasa SIMBA, basi ni YANGA. Hakuna timu imeifunga SIMBA mara nyingi toka ianzishwe 8.8.1936 kama YANGA. 2. YANGA imetwaa ubingwa wa Ligi mara 30, SIMBA mara 22 ie Mama Samia ataondoka madarakani 2030 SIMBA ikiwa haijavunja rekodi hii hata ikishinda mfululizo! 3. YANGA imeshinda mechi nyingi zaidi za ligi kuliko SIMBA. 4. YANGA imefunga magoli mengi ya Ligi kuliko SIMBA. YANGA ndio imefungwa mabao machache zaidi mechi za watani. 5. YANGA imeshinda mechi nyingi za watani kuliko SIMBA. Mechi 4 za mwisho, SIMBA kafa zote! 6. YANGA ndio ilishinda pambano la kwanza la watani (Juni 7, 1965) 7. YANGA imetoa mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi ya ligi kwa misimu mingi (Kitwana Manara). 8. YANGA imetoa mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi kwa msimu mmoja (MOHAMMED HUSSEIN "MMACHINGA") 9. YANGA imetoa Mchezaji Bora kuwahi kutokea nchini (SUNDAY MANARA "COMPUTER"). 10. YANGA ilitoa mchezaji wa _"Kombaini ya Afrika 1973"_ (MAULID DILUNGA)1973. Kamba za SIMBA kuwa nao walitoa mchezaji (OMAR MAHADHI ziliumbuliwa baada ya kubainika MAHADHI alijiunga SIMBA 1975. 1973 MAHADHI alikuwa African Sports!) 11. YANGA ndio timu iliyoshinda pambano la Kihistoria na Bora kuliko yote ya watani (Nyamagana 10.8.1974: 2-1) 12. YANGA ndio timu pekee iliyofika fainali kombe la 2 kwa ukubwa Afrika (CAF Confederation cup 2023). SIMBA ilifika fainali 1993 kwenye kombe lililokuwa la 3 kwa hadhi ie "Caf cup". Kombe hili lilikuwa nyuma ya Kombe la Klabu Bingwa na Kombe la Washindi). Kwenye fainali, YANGA ilikosa kombe kwa Kanuni ya goli la ugenini (2-2) ila SIMBA ilikandwa kiduwanzi 2-0. 13. YANGA ndio timu pekee nchini iliyowahi kuingia "TOP 5" ya kinyang'anyiro cha timu bora Afrika (2023). 14. YANGA ndio timu pekee iliyotwaa ubingwa nje ya nchi (1993 & 1999) 15. YANGA ndio timu iliyoalikwa Ikulu na Marais wengi kuliko timu yeyote (Novemba 11, 1969 ilialikwa na Rais Nyerere, Februari 4, 1993 ilialikwa na Rais Mwinyi na Juni 4, 2023 ilialikwa na Rais Samia). 16. YANGA ndiyo timu pekee nchini iliyowahi kualikwa kwenye sherehe za uhuru wa Taifa jingine (Malawi Julai 7, 2023). 17. YANGA iliweka rekodi (2023) ya kuwa timu ya kwanza nchini kushinda mechi nyingi zaidi nje ya nchi michuano ya Afrika *NB:* Mashabiki maandazi wa SIMBA wanalialia eti YANGA inapata mafanikio kwaajili GSM anadhamini timu nyingi. Huu ni Upuuzi wa kiwango cha SGR! Kwani GSM alikuepo 1960s, 1970s, 1980s, nk ? B. REKODI MUJARAB ZA SIMBA: 1. Bw. Ramadhani Ali, Mnazi kindakindaki wa SIMBA, aliweka rekodi ya watani baada ya kumkabidhi mkewe, Bi Mwajuma Sadiki Ali kwa mnazi wa Yanga, Bw. Juma Gobe, magomeni Juni 1, 1968 baada ya Yanga kuitandika SIMBA 5-0. Hao jamaa walikuwa wamepinga kabla ya mechi kuwa timu itakayofungwa, aliyefungwa atamgawa mkewe !. 2. SIMBA ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuweka mpira kwapani mechi ya watani (Machi 3, 1969) 3. Mnazi wa Simba wa Tabora aliandika rekodi ya kujiua kwa kujitumbukiza kwenye pipa la mafuta baada ya SIMBA kufungwa 2-1 Nyamagana 10.8.1974. Timu ya SIMBA ilionesha ubinadamu ilipoenda Tabora kuhani msiba. Abdallah Kibaden "King" ndiye aliyekabidhi ubani. 4. Nicco Njohole wa SIMBA aliliaibisha Taifa baada ya kupigwa umeme 1979 Nchumbiji kwa kukojoa uwanjani! 5. Mwaka 1987, Kiongozi 1 wa SIMBA alienda kwa Idd Pazi, kipa wa PILSNER wakakubaliana ampe Tshs 50,000 ili afungishe kwenye mechi ya kwanza. SIMBA ilikiwa inachungulia kaburi. Kiongozi huyo akampa Tshs 25,000/= tu, hakumalizia. SIMBA ikatandikwa 2-0. 6. Kwenye mechi ya pili, PAZI aliitwa nyumbani kwa Mwenyekiti Yusuph Hazzali Ilala. Akamkuta na kapteni Malota Soma. Wakamsihi sana afungishe kwani ye ni "mwana" ila hawakumpa fedha. PAZI akamsimulia JAMHURI KIHWELU ambaye alikataa ujinga huo. Dakika ya 10 tu, Zicco wa Kilosa akafunga. Kabla ya HT, PAZI akaachia mpira uingie wavuni lakini JAMHURI akaenda kuuokolea kwenye chaki! Kipindi cha pili PAZI akaachia goli, SIMBA iliyopachikwa jina "Guluguja" kwa kufungwafungwa, ikaambulia sare ! 7. Mwaka 1987, SIMBA ilikuwa inashika mkia. Kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Bingwa mtetezi Tukuyu stars, ilitakiwa kutoa sare 5-5 ili inusurike kushuka daraja. Na kweli ikala njama na Tukuyu stars zikatoka sare 5-5. FAT ikaishia tu kuzionya! 8. SIMBA imenusurika kushuka daraja mara 3 mfululizo (1987, 1988 & 1989). 9. Novemba 30, 1993, SIMBA ililazimika kutia kiberiti makontena 5 ya Khanga zilizoandikwa _"SIMBA BINGWA CAF 1993"_ baada ya kufilimbwa 2-0 na Stela Abidjan. 10. Manazi wa SIMBA waliandika rekodi ya kung'oa viti Oktoba 1, 2016. 11. SIMBA ililiaibisha Taifa kwa uchawi kwa kuwasha moto uwanjani mbungi dhidi ya Orlando Pirates Aprili 25, 2022 na Caf kuilima faini $ 10,000 12. Manazi wa SIMBA waliweka rekodi ya kulipiga mawe basi lao toka Ntwara hadi Dsm kote lilikopita baada ya kuchalazwa 2-1 na Azam Mei 8, 2023 uwanja wa Nangwanda Sijaona. 13. SIMBA ina tabia za Mbwa koko- Mbwa koko hubweka nyumbani tu. SIMBA haijawahi kutwaa kombe nje ya nchi. SIMBA hutia aibu sana mechi za kimataifa nje ya nchi, inategemea Bongo _"Kwa Mkapa Hatoki Mtu"_! 14. Manazi wa SIMBA walifanya tukio la hovyo kuwahi kutokea katika Historia ya mpira wa miguu. Hassan Dalali aliwahi kusimulia kwa uchungu : _"Simba tulipofungwa na Azzam 2-1, mashabiki wetu walifanya tukio la hovyo kupita kiasi. Walienda Kariakoo wakanunua mapera wakala. Zikaja coaster 3 nyumbani kwangu. Wakaanza kupiga mawe nyumba yangu. Haraka nikaificha familia yangu. Wakaingia wakaanza kunya sebuleni na kwingine. Nikawauliza wamemaliza? Nikawaambia waende uani kuna jaba la maji wakajisafishe. Walinisikitisha sana kwani walienda hadi chumba maalum nikako swalia wakanya. Nilihuzunika sana. Siku ya pili nikaenda klabuni nikajiuzulu"
    Love
    Like
    Wow
    7
    3 Yorumlar ·845 Views

    6
    2 Yorumlar ·830 Views
  • htbonyeza link tps://lipaearn.com/register.php?ref=Daxzombie
    0% Tsh0 Raised of Tsh1000000
    Jaman Kuna platform inaitwa lipaearn nizaidi ya kupata hela humu utapata pesa kwa kuwatch video na kualika watu unapat zaidi ya elfu5000 kwa kuwatch video my god maelzo zaid nicheki 0672902731 hii ni fursa kwa Africa nzima ..... Bonyeza link here (https://lipaearn.com/register.php?ref=Daxzombie) utanishukuru baadae
    Jaman Kuna platform inaitwa lipaearn nizaidi ya kupata hela humu utapata pesa kwa kuwatch video na kualika watu unapat zaidi ya elfu5000 kwa kuwatch video my god maelzo zaid nicheki 0672902731 hii ni fursa kwa Africa nzima ..... Bonyeza link here (https://lipaearn.com/register.php?ref=Daxzombie) utanishukuru baadae 👏👏👏👏
    Like
    2
    3 Yorumlar ·175 Views ·0 Donations
  • Dance
    0% Tsh0 Raised of Tsh1000
    Music wa kimataifa, Africa mpaka marekani

    1 Yorumlar ·165 Views ·0 Donations
  • King of Africa
    King of Africa
    ·75 Views
  • .Young Africans SC kwa kushirikiana na @gsmfoundationtz tumechangia TZS Millioni 50 kwenye harambee maalum iliyoendeshwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete - JKCI kwa dhumuni la kusaidia matibabu ya watoto 1500 wanaotibiwa kwenye taasisi hiyo.

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete - JKCI imetoa tuzo ya heshima kwa kutambua mchango wetu wa uhamasishaji na uchangiaji fedha wa kusaidia matibabu ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo na imekabidhiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete na kupokelewa na Mkurugenzi wa Idara ya Masoko na Wanachama Young Africans SC, Ibrahim Samwel jana kwenye chakula cha jioni maalum cha kuchangisha fedha kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .Young Africans SC kwa kushirikiana na @gsmfoundationtz tumechangia TZS Millioni 50 kwenye harambee maalum iliyoendeshwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete - JKCI kwa dhumuni la kusaidia matibabu ya watoto 1500 wanaotibiwa kwenye taasisi hiyo. Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete - JKCI imetoa tuzo ya heshima kwa kutambua mchango wetu wa uhamasishaji na uchangiaji fedha wa kusaidia matibabu ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo na imekabidhiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete na kupokelewa na Mkurugenzi wa Idara ya Masoko na Wanachama Young Africans SC, Ibrahim Samwel jana kwenye chakula cha jioni maalum cha kuchangisha fedha kusaidia watoto wenye magonjwa ya moyo. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    4
    2 Yorumlar ·362 Views
  • “Tumedhamiria mambo makubwa mawili kama funzo la kuwapa Singida Black Stars, Funzo la kwanza kutaka kuwaonyesha kuwa wameingia chaka kuipeleka Young African visiwani Zanzibar sababu Zanzibar ni ngome ya timu kubwa yenye mashabiki wengi kama Young African kwahiyo wametupeleka nyumbani’’

    “Funzo la pili, kutaka kuwaonyesha kwa vitendo Singida Black Stars kuwa msimamo unapendeza pale ambapo Yanga anakaa kileleni, tutakwenda kulipambania hilo kwasababu ya kuhakikisha tunakaa nafasi ya kwanza. Tunafahamu Singida wanaperfomance nzuri, wanamatokeo mazuri na ukiulizwa mechi bora msimu huu basi itakuwa kati ya Yanga Sc dhidi ya Singida Black Stars’’

    “Kwenye hii mechi tunakwenda kikubwa, tunakwenda kwa hasira kubwa maana tunaamini ndio mechi ngumu kwenye msimu wetu,’’ - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.

    “Tumedhamiria mambo makubwa mawili kama funzo la kuwapa Singida Black Stars, Funzo la kwanza kutaka kuwaonyesha kuwa wameingia chaka kuipeleka Young African visiwani Zanzibar sababu Zanzibar ni ngome ya timu kubwa yenye mashabiki wengi kama Young African kwahiyo wametupeleka nyumbani’’ “Funzo la pili, kutaka kuwaonyesha kwa vitendo Singida Black Stars kuwa msimamo unapendeza pale ambapo Yanga anakaa kileleni, tutakwenda kulipambania hilo kwasababu ya kuhakikisha tunakaa nafasi ya kwanza. Tunafahamu Singida wanaperfomance nzuri, wanamatokeo mazuri na ukiulizwa mechi bora msimu huu basi itakuwa kati ya Yanga Sc dhidi ya Singida Black Stars’’ “Kwenye hii mechi tunakwenda kikubwa, tunakwenda kwa hasira kubwa maana tunaamini ndio mechi ngumu kwenye msimu wetu,’’ - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    ·228 Views
Arama Sonuçları