Upgrade to Pro

  • SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..!

    Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa.

    Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious.

    Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana.......

    Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako.

    Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe."

    #SexIsNotLove
    #Inauma
    SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..! Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa. Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious. Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana....... Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako. Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe." #SexIsNotLove #Inauma
    ·533 Ansichten
  • Jacob alikuwa na mke aitwae Leah. Jacob tokea mwanzo hakumhitaji Leah kwa sababu tokea hapo awali Jacob alikuwa akimpenda mdogo wake na Leah aitwae Raheli.

    Leah alikuwa akilifahamu hilo. Sasa imagine maumivu aliyokua anayapata ya kumtazama mume wake akimpenda mwanamke mwingine na mbaya zaidi ni mdogo wake.

    Maandiko yanaeleza namna ambavyo Leah ali-expirience maumivu ya kutopendwa na Rejections kwa majina aliyowapa watoto aliozaa na Jacob.

    Muda mwingine katika safari ya mahusiano tunaumizwa kwa kupenda tusipopendwa. Tunapoteza muda mwingi sana kufanya kila jambo ili kujaribu kuwafanya wale tunaowapenda watambue upendo tulio nao juu yao.

    Tunajaribu kujipa moyo kwamba huenda tukiwapikia chakula kizuri, au tukiwanunulia zawadi, kuwapa pesa au kubeba ujauzito wao basi watatupenda na bahati mbaya haiwi hivyo, inauma mno.

    Wakati tukipoteza muda na watu wasiotupenda, wanaotupenda wako tu pembeni wanashuhudia namna tunavyoumia mioyo kwa kupenda tusipopendwa.

    Kama hataki mawasiliano na wewe au mawasiliano yako finyu ni kwamba hauko kwenye akili zake. Kama yeye anaona kwake ni sawa tu kuku-disappoint ni kwa sababu hakujali tena. Kama hafanyi jitihada zozote zile za kukaa chini na kuelewana ni kwamba haheshimu hata kdogo hisia zako na anaona unampotezea muda tu.

    Ni vigumu sana kwa mtu kutamka kuwa HAKUPENDI direct hasa ukizingatia kama hapo awali mlikua mko vizuri. Utaziona dalili tu za kubadilika kwake. Huo ni ujumbe kwamba ujiongeze, sikuhitaji tena.

    Mahusiano thabiti yanahusisha sana na kijitoa. Unahitaji mtu ambae atajitoa kwako kwa hali na mali. Unahitahiji kujibiwa texts zako, unahitaji kupigiwa simu, unahitaji kuonana nae na kupanga mikakati. Unahitaji kupendwa na zaidi unahitaji mahala salama pa kuegama!!

    Nakutakia kila la kheri katika kukabiliana na kutibu maumivu ya moyo wa kupenda usipopendwa!

    !!
    Jacob alikuwa na mke aitwae Leah. Jacob tokea mwanzo hakumhitaji Leah kwa sababu tokea hapo awali Jacob alikuwa akimpenda mdogo wake na Leah aitwae Raheli. Leah alikuwa akilifahamu hilo. Sasa imagine maumivu aliyokua anayapata ya kumtazama mume wake akimpenda mwanamke mwingine na mbaya zaidi ni mdogo wake. Maandiko yanaeleza namna ambavyo Leah ali-expirience maumivu ya kutopendwa na Rejections kwa majina aliyowapa watoto aliozaa na Jacob. Muda mwingine katika safari ya mahusiano tunaumizwa kwa kupenda tusipopendwa. Tunapoteza muda mwingi sana kufanya kila jambo ili kujaribu kuwafanya wale tunaowapenda watambue upendo tulio nao juu yao. Tunajaribu kujipa moyo kwamba huenda tukiwapikia chakula kizuri, au tukiwanunulia zawadi, kuwapa pesa au kubeba ujauzito wao basi watatupenda na bahati mbaya haiwi hivyo, inauma mno. Wakati tukipoteza muda na watu wasiotupenda, wanaotupenda wako tu pembeni wanashuhudia namna tunavyoumia mioyo kwa kupenda tusipopendwa. Kama hataki mawasiliano na wewe au mawasiliano yako finyu ni kwamba hauko kwenye akili zake. Kama yeye anaona kwake ni sawa tu kuku-disappoint ni kwa sababu hakujali tena. Kama hafanyi jitihada zozote zile za kukaa chini na kuelewana ni kwamba haheshimu hata kdogo hisia zako na anaona unampotezea muda tu. Ni vigumu sana kwa mtu kutamka kuwa HAKUPENDI direct hasa ukizingatia kama hapo awali mlikua mko vizuri. Utaziona dalili tu za kubadilika kwake. Huo ni ujumbe kwamba ujiongeze, sikuhitaji tena. Mahusiano thabiti yanahusisha sana na kijitoa. Unahitaji mtu ambae atajitoa kwako kwa hali na mali. Unahitahiji kujibiwa texts zako, unahitaji kupigiwa simu, unahitaji kuonana nae na kupanga mikakati. Unahitaji kupendwa na zaidi unahitaji mahala salama pa kuegama!! Nakutakia kila la kheri katika kukabiliana na kutibu maumivu ya moyo wa kupenda usipopendwa! 🔥🔥🔥🍹🍹🍹!!
    ·365 Ansichten
  • TAFADHALI KUWA NA HURUMA...

    Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe ni wa tofauti na wale wote ambao wamekwisha muumiza kihisia hapo mwanzo.

    Anakuamini na anakukabidhi moyo, mapenzi na mwili wake, anakutegemea wewe, anapanga kesho yake pamoja na wewe, ana sucrifice kile kidogo alicho nacho kwa ajili yako.

    Anajivunia kuwa na wewe kiasi cha kukutambulisha kwa familia yake na marafiki zake wote wa mbali na wa karibu, anabadilisha tabia yake kwa ajili yako, anaacha tabia zake fulani kwa ajili yako.

    Muda mwingine anapoteza kazi fulani kukufuata wewe huko unakoishi kwa ajili ya wewe, anakuwa na maadui kwa ajili yako na anatukanwa na watu kwa ajili yako.

    Wewe kwa ujinga wako au kwa ujinga juu ya jambo la kipumbavu, unamuacha yeye au unamtelekeza au unamuumiza kihisia, haumpendi tena. Unasahau ni yepi amepitia au mlipitia pamoja. Umesahau ahadi nono ulizomueleza hapo mwanzo, umesahau kila kitu kabisa

    Unaanza kumuona ni mpumbavu na ni mbaya kiasi gani, unaanza kumuita majina ya ajabu ajabu na kumtukana matusi ya nguoni, unakana mbele yake na kumwambia watoto si wako

    Sio sawa ndugu yangu, inaumiza mno, ni maumivu makali sana moyoni, moyo unavuja damu, maumivu hayaponi kirahisi. Unaweza kuwa umefanya hivyo kwa kuwa na wewe ulifanyiwa hivyo kipindi cha nyuma na watu wengine ila sio busara kumfanyia mwenzako ambae hana hatia.

    Unaweza ukachukulia kama ni mchezo fulani. Ila amini me nakwambia MUNGU hana furaha na hicho ulichokifanya na wewe pia.

    Tafadhali sana nimejifunza kamwe usimfanye mtu akupende katika mahusiano wakati unajua kwamba haumpendi na hautadumu nae siku zote. Kamwe usimpumbaze mtu au kumtumia kwa faida zako.

    Kuwa na huruma na huo moyo wa mpenzi wako uliojaa mapenzi na ambao hauna hatia masikini ya Mungu. Bila shaka unanisoma hapa, nenda ukamwambie ukweli kuhusu mustakabari wa mahusiano yenu. Nenda tafadhali, mueleze ukweli! Usimfiche, usiendelee kumdanganya na kumpa ahadi kedekede wakati unaona kabisa hilo jambo haliwzekani.!

    Onyesha hekima yako angalau mara moja tu sasa hivi na Mungu atakubariki. Natoa Pole kwa Wanawake na Wanaume wanaopitia wakati mgumu katika mahusiano yao...

    Dah inauma sana....!
    TAFADHALI KUWA NA HURUMA... Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe ni wa tofauti na wale wote ambao wamekwisha muumiza kihisia hapo mwanzo. Anakuamini na anakukabidhi moyo, mapenzi na mwili wake, anakutegemea wewe, anapanga kesho yake pamoja na wewe, ana sucrifice kile kidogo alicho nacho kwa ajili yako. Anajivunia kuwa na wewe kiasi cha kukutambulisha kwa familia yake na marafiki zake wote wa mbali na wa karibu, anabadilisha tabia yake kwa ajili yako, anaacha tabia zake fulani kwa ajili yako. Muda mwingine anapoteza kazi fulani kukufuata wewe huko unakoishi kwa ajili ya wewe, anakuwa na maadui kwa ajili yako na anatukanwa na watu kwa ajili yako. Wewe kwa ujinga wako au kwa ujinga juu ya jambo la kipumbavu, unamuacha yeye au unamtelekeza au unamuumiza kihisia, haumpendi tena. Unasahau ni yepi amepitia au mlipitia pamoja. Umesahau ahadi nono ulizomueleza hapo mwanzo, umesahau kila kitu kabisa Unaanza kumuona ni mpumbavu na ni mbaya kiasi gani, unaanza kumuita majina ya ajabu ajabu na kumtukana matusi ya nguoni, unakana mbele yake na kumwambia watoto si wako Sio sawa ndugu yangu, inaumiza mno, ni maumivu makali sana moyoni, moyo unavuja damu, maumivu hayaponi kirahisi. Unaweza kuwa umefanya hivyo kwa kuwa na wewe ulifanyiwa hivyo kipindi cha nyuma na watu wengine ila sio busara kumfanyia mwenzako ambae hana hatia. Unaweza ukachukulia kama ni mchezo fulani. Ila amini me nakwambia MUNGU hana furaha na hicho ulichokifanya na wewe pia. Tafadhali sana nimejifunza kamwe usimfanye mtu akupende katika mahusiano wakati unajua kwamba haumpendi na hautadumu nae siku zote. Kamwe usimpumbaze mtu au kumtumia kwa faida zako. Kuwa na huruma na huo moyo wa mpenzi wako uliojaa mapenzi na ambao hauna hatia masikini ya Mungu. Bila shaka unanisoma hapa, nenda ukamwambie ukweli kuhusu mustakabari wa mahusiano yenu. Nenda tafadhali, mueleze ukweli! Usimfiche, usiendelee kumdanganya na kumpa ahadi kedekede wakati unaona kabisa hilo jambo haliwzekani.! Onyesha hekima yako angalau mara moja tu sasa hivi na Mungu atakubariki. Natoa Pole kwa Wanawake na Wanaume wanaopitia wakati mgumu katika mahusiano yao... Dah inauma sana....!
    ·362 Ansichten
  • "Matokeo ni Yanga 1-3 Tabora United
    Ila Kuna kitu nimekiona Cha tofauti na Timu zingine, baada ya mechi kumalizika mashabiki wa Yanga walisimama na kuwapigia makofi kuwapongeza wachezaji wao licha ya kuchezea kipigo Cha goli tatu, inauma asikwambie mtu ingekuwa ni mashabiki wa Simba wachezaji na benchi la ufundi na viongozi wangetafuta sehemu za kukimbilia, Upande wa viongozi ungesikia wachezaji wakitupiwa maneno ya lawama Live bila chenga na kutangaza kuhamia Burundi.

    Hakika uongozi wa Yanga na Mashabiki wamepiga hatua kisoka, hii ndo maana halisi ya timu yenye uongozi bora" - Oscar Oscar,
    "Matokeo ni Yanga 1-3 Tabora United Ila Kuna kitu nimekiona Cha tofauti na Timu zingine, baada ya mechi kumalizika mashabiki wa Yanga walisimama na kuwapigia makofi kuwapongeza wachezaji wao licha ya kuchezea kipigo Cha goli tatu, inauma asikwambie mtu ingekuwa ni mashabiki wa Simba wachezaji na benchi la ufundi na viongozi wangetafuta sehemu za kukimbilia, Upande wa viongozi ungesikia wachezaji wakitupiwa maneno ya lawama Live bila chenga na kutangaza kuhamia Burundi. Hakika uongozi wa Yanga na Mashabiki wamepiga hatua kisoka, hii ndo maana halisi ya timu yenye uongozi bora🙌" - Oscar Oscar,
    Love
    1
    ·159 Ansichten
  • Steve Nyerere amripua Haji Manara.

    "Nimekuskiliza mara 100 Sijakuelewa kabisa kabisa Kila saa Nasema hivi baada Ya kutolewa Baruti Simba Nani Alikuokota Kitaaaaa Napata jibu Hers,..

    Nikajiuliza Tena Hers hana Jema Nikajipa Jibu Binadamu Ameumbwa Na kusahau Samehe,....

    Ikaenda Nikajiuliza Tena Yanga Ulitaka wakufanyie nini Maana wewe Ulikuwa Mfungwa kazi ya Yanga ni kuhakikisha Mfungwa Anakula Na analala jela nzuri, Hilo Hers Alifanikiwa.,.,

    Ila Nimecheka kumbe GAMONDI alikulia Bati sasa mbona ulikuwa unamsifia bonge la kocha kumbe hata number yake huna,...Inaumaga hiyo Unamkubali mtu kumbe yeye hataki hata kukuona,.

    Nakukanya hata uyu kocha mpya Anayekuja Hakutaki kapata story zako long time broooo,...

    Ningekuwa mimi ndio wewe ningesha Rudisha kadi ya Yanga mapema, Maaana wana Yanga Ukiwambia Hers Hafai Dua utakazo ombewa Balaaaaa,...

    Hers Babalaoooooooo

    @caamil_88
    Ujafuta number tu Kibeko,....hahahahaha" - Steve Nyerere, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
    Steve Nyerere amripua Haji Manara. "Nimekuskiliza mara 100 Sijakuelewa kabisa kabisa Kila saa Nasema hivi baada Ya kutolewa Baruti Simba Nani Alikuokota Kitaaaaa Napata jibu Hers,.. Nikajiuliza Tena Hers hana Jema Nikajipa Jibu Binadamu Ameumbwa Na kusahau Samehe,.... Ikaenda Nikajiuliza Tena Yanga Ulitaka wakufanyie nini Maana wewe Ulikuwa Mfungwa kazi ya Yanga ni kuhakikisha Mfungwa Anakula Na analala jela nzuri, Hilo Hers Alifanikiwa.,., Ila Nimecheka kumbe GAMONDI alikulia Bati sasa mbona ulikuwa unamsifia bonge la kocha kumbe hata number yake huna,...Inaumaga hiyo Unamkubali mtu kumbe yeye hataki hata kukuona,. Nakukanya hata uyu kocha mpya Anayekuja Hakutaki kapata story zako long time broooo,... Ningekuwa mimi ndio wewe ningesha Rudisha kadi ya Yanga mapema, Maaana wana Yanga Ukiwambia Hers Hafai Dua utakazo ombewa Balaaaaa,... Hers Babalaoooooooo @caamil_88 Ujafuta number tu Kibeko,....hahahahaha" - Steve Nyerere, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
    Love
    1
    ·320 Ansichten
  • .ANAANDIKA MZEE WA KALIUA.

    Matokeo ni Yanga 1-3 Tabora United
    Ila Kuna kitu nimekiona Cha tofauti na Timu zingine, baada ya mechi kumalizika mashabiki wa Yanga walisimama na kuwapigia makofi kuwapongeza wachezaji wao licha ya kuchezea kipigo Cha goli tatu, inauma asikwambie mtu ingekuwa ni mashabiki wa Simba wachezaji na benchi la ufundi na viongozi wangetafuta sehemu za kukimbilia, Upande wa viongozi ungesikia wachezaji wakitupiwa maneno ya lawama Live bila chenga na kutangaza kuhamia Burundi.

    Hakika uongozi wa Yanga na Mashabiki wamepiga hatua kisoka, hii ndo maana halisi ya timu yenye uongozi bora
    .ANAANDIKA MZEE WA KALIUA. Matokeo ni Yanga 1-3 Tabora United Ila Kuna kitu nimekiona Cha tofauti na Timu zingine, baada ya mechi kumalizika mashabiki wa Yanga walisimama na kuwapigia makofi kuwapongeza wachezaji wao licha ya kuchezea kipigo Cha goli tatu, inauma asikwambie mtu ingekuwa ni mashabiki wa Simba wachezaji na benchi la ufundi na viongozi wangetafuta sehemu za kukimbilia, Upande wa viongozi ungesikia wachezaji wakitupiwa maneno ya lawama Live bila chenga na kutangaza kuhamia Burundi. Hakika uongozi wa Yanga na Mashabiki wamepiga hatua kisoka, hii ndo maana halisi ya timu yenye uongozi bora🙌
    Like
    Love
    Haha
    Wow
    Sad
    Angry
    10
    7 Kommentare ·510 Ansichten
  • jana nilimwona na juma dk2 nyuma,, kainamishwa na suma,,mwanangu kweli inauma,, moyo inavunja lakini,,,
    try again,,,
    jana nilimwona na juma dk2 nyuma,, kainamishwa na suma,,mwanangu kweli inauma,, moyo inavunja lakini,,, try again,,,
    Like
    1
    ·103 Ansichten
  • Nilijitahidi kumhonga vijiefu mbili vya vocha ila kaniacha kisa kapewa efu 20 na msela ya kusukia inauma kwa kweli
    Nilijitahidi kumhonga vijiefu mbili vya vocha ila kaniacha kisa kapewa efu 20 na msela ya kusukia 🥵inauma kwa kweli
    Like
    Love
    Haha
    5
    1 Kommentare ·182 Ansichten
  • wanamke ni utukufu wa mwanaume kw babu ametoka kwenye ubavu wake. wanamke bora ni huyu hapa:

    Mwenye heshima kwa wadogo mpaka kubwa. (USAFI WA MWILI, MATENDO & OMO) o anatukana tu ovyo ovyo halafu we aenda kuoa, atakuja kutukana wazazi ko.

    Zaharibu watoto, mtoto akikosea amtukana matusi makubwa makubwa ku atakutia aibu mbele za watu.

    Anaekubali kuwa chini ya mme wake. <WELI UNAUMA)

    apa naongea hasa na wasomi.

    gombana kidogo tu atasema kila mtu mukue hamsini zake, wezi kuwa chini ya mwanaume kwa

    ingizio cha kumpanda kichwani.

    Muelewa wa elimu ya mambo ya JenyeEnzi Mungu vizuri. (MCHAMUNGU) kikosea hapa utalogwa wewe na famili Ko na wote mtakuwa chini yake.

    Muwazi na mkweli na mwenye upendo. Laonganisha familia.

    takusaidia kufahamu historia yake vizu ana kuna wengine wakisikia kuwa mke Kuwaga hivi au vile/ au ukijua kwa munguzi wako tu kuwa mkeo alipita pa na pale, ila yeye hakukuambia uma sana (ila wengi hujifanya yakale mepita ila moyoni mwao sivyo).Inauma a sababu umegundua mwenyewe ila ve hakukuambia (unaanza kujiuliza, anini hakukumbia kitu muhimu kama ho, kwanini alificha?). Ni vizuri ahamu historia ya mwenzio hata kama mbaya au inauma.

    Asiyehangaika na dunia hii kwa lolote (ULEVI,UMBEA, USENGENYAJI, STAREHE) siyependa starehe, asiyetumia kilevi apo wanawake walevi hukataa kuwa vi huvunja ndoa au mahusiano) ko hivi hata kama mwanaume ni

    uhuni na mlevi wa kutupwa, usidhani amba atachagua mtu wa aina hiyo, akupitia tu na kukuacha). fano: Unaweza kupata tom-boy (Japo vizuri kuwa tom-boy) na hawa huwa nawake waelewa sana na akija kuamu acha utom boy kwa umri fulani hapa -70% anakuwaga ni mke wa juu sana, wa wanawake ni ngumu kudanganywa hujua nini ampe mumewe na familia a ujumla, na maranyingi huwa na oyo meupe sana isiyohifadhi chuki,

    mchukiza anakwambia pohapo...wengiwao sio wasengenyaji n acha tabia zote hasa akishaanza kuwa ce. Achana na wale matom boy wahuni wavuta bhangi.

    Asiyependa matumizi ya vipodozi jichubua) wala vitu feki (kucha za Dandika na mawigi), na vitu vya kuvaa ma hereni, bangili, vikuku n.k. (NATURAL asikuletee mapepo na ibada za miung umbani, mikosi na mabalaa, hasa ajini mahaba.

    wenye quality na quantity unayoitaka

    we ya kimwili, asikulazimishe mtu ili kes e uje ujibu mwenyewe kwa Muumba ko kwa habari ya zinaa na kutowajibika wanya, lips, kiuno, miguu, shingo, abega, mgongo, hips, nywele au hata Ja.

    siye lazimisha ndoa ifanyike haraka. HAMIANENI VIZURI KWA MDA/ACHA JRUPUKAJI & UPELEKESHWAJI)

    "anawake wanaopenda ndoa, hupenda a, hupenda harusi halafu ndoa

    washinda. aepusha kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

    sa kwa wale wasiopenda wanawake liozaa.

    siye na tamaa, asiyeyumbishwa na

    ali au anayekataa kujamiiana kabla ya α.

    uyu ana msingi mzuri wa maisha na

    milia yako ya baadae itakuwa bora, yu ndio yule hasa kifo kitawatenganish

    Wewe mwenyewe mtafutaji mke uwe kichwa kizuri.

    io upoupo tu halafu unatafuta mke, ewe kwanza, jitambue na amua. Acha uata mkumbo.

    WISHO:

    ha kudharau wanawake, nao wana oyo na haki kama wewe, usichague ality wakati wewe mwenyewe huna

    ality, utaleta shida tu duniani. Bahati uri au mbaya ni kwamba, msipopatanc

    mkeo hata ufanyeje maombi yako yatakubaliwa. Mungu huwasikia sana o watu usije ukasema kuwa mwanamk

    yu ni mikosi, kumbe mikosi umeileta we mwenyewe kwa kumuonea venzio.

    PETRO 3:7

    adhalika ninyi waume, ishini na

    ake zenu kwa kuwahurumia,

    kitambua ya kuwa wao ni aifu na hivyo muwape heshima va maana ninyi ni warithi

    moja nao wa neema ya uzima. nyeni hivyo ili sala zenu

    sizuiliwe.
    wanamke ni utukufu wa mwanaume kw babu ametoka kwenye ubavu wake. wanamke bora ni huyu hapa: Mwenye heshima kwa wadogo mpaka kubwa. (USAFI WA MWILI, MATENDO & OMO) o anatukana tu ovyo ovyo halafu we aenda kuoa, atakuja kutukana wazazi ko. Zaharibu watoto, mtoto akikosea amtukana matusi makubwa makubwa ku atakutia aibu mbele za watu. Anaekubali kuwa chini ya mme wake. <WELI UNAUMA) apa naongea hasa na wasomi. gombana kidogo tu atasema kila mtu mukue hamsini zake, wezi kuwa chini ya mwanaume kwa ingizio cha kumpanda kichwani. Muelewa wa elimu ya mambo ya JenyeEnzi Mungu vizuri. (MCHAMUNGU) kikosea hapa utalogwa wewe na famili Ko na wote mtakuwa chini yake. Muwazi na mkweli na mwenye upendo. Laonganisha familia. takusaidia kufahamu historia yake vizu ana kuna wengine wakisikia kuwa mke Kuwaga hivi au vile/ au ukijua kwa munguzi wako tu kuwa mkeo alipita pa na pale, ila yeye hakukuambia uma sana (ila wengi hujifanya yakale mepita ila moyoni mwao sivyo).Inauma a sababu umegundua mwenyewe ila ve hakukuambia (unaanza kujiuliza, anini hakukumbia kitu muhimu kama ho, kwanini alificha?). Ni vizuri ahamu historia ya mwenzio hata kama mbaya au inauma. Asiyehangaika na dunia hii kwa lolote (ULEVI,UMBEA, USENGENYAJI, STAREHE) siyependa starehe, asiyetumia kilevi apo wanawake walevi hukataa kuwa vi huvunja ndoa au mahusiano) ko hivi hata kama mwanaume ni uhuni na mlevi wa kutupwa, usidhani amba atachagua mtu wa aina hiyo, akupitia tu na kukuacha). fano: Unaweza kupata tom-boy (Japo vizuri kuwa tom-boy) na hawa huwa nawake waelewa sana na akija kuamu acha utom boy kwa umri fulani hapa -70% anakuwaga ni mke wa juu sana, wa wanawake ni ngumu kudanganywa hujua nini ampe mumewe na familia a ujumla, na maranyingi huwa na oyo meupe sana isiyohifadhi chuki, mchukiza anakwambia pohapo...wengiwao sio wasengenyaji n acha tabia zote hasa akishaanza kuwa ce. Achana na wale matom boy wahuni wavuta bhangi. Asiyependa matumizi ya vipodozi jichubua) wala vitu feki (kucha za Dandika na mawigi), na vitu vya kuvaa ma hereni, bangili, vikuku n.k. (NATURAL asikuletee mapepo na ibada za miung umbani, mikosi na mabalaa, hasa ajini mahaba. wenye quality na quantity unayoitaka we ya kimwili, asikulazimishe mtu ili kes e uje ujibu mwenyewe kwa Muumba ko kwa habari ya zinaa na kutowajibika wanya, lips, kiuno, miguu, shingo, abega, mgongo, hips, nywele au hata Ja. siye lazimisha ndoa ifanyike haraka. HAMIANENI VIZURI KWA MDA/ACHA JRUPUKAJI & UPELEKESHWAJI) "anawake wanaopenda ndoa, hupenda a, hupenda harusi halafu ndoa washinda. aepusha kuuziwa mbuzi kwenye gunia. sa kwa wale wasiopenda wanawake liozaa. siye na tamaa, asiyeyumbishwa na ali au anayekataa kujamiiana kabla ya α. uyu ana msingi mzuri wa maisha na milia yako ya baadae itakuwa bora, yu ndio yule hasa kifo kitawatenganish Wewe mwenyewe mtafutaji mke uwe kichwa kizuri. io upoupo tu halafu unatafuta mke, ewe kwanza, jitambue na amua. Acha uata mkumbo. WISHO: ha kudharau wanawake, nao wana oyo na haki kama wewe, usichague ality wakati wewe mwenyewe huna ality, utaleta shida tu duniani. Bahati uri au mbaya ni kwamba, msipopatanc mkeo hata ufanyeje maombi yako yatakubaliwa. Mungu huwasikia sana o watu usije ukasema kuwa mwanamk yu ni mikosi, kumbe mikosi umeileta we mwenyewe kwa kumuonea venzio. PETRO 3:7 adhalika ninyi waume, ishini na ake zenu kwa kuwahurumia, kitambua ya kuwa wao ni aifu na hivyo muwape heshima va maana ninyi ni warithi moja nao wa neema ya uzima. nyeni hivyo ili sala zenu sizuiliwe.
    Like
    Love
    Haha
    9
    1 Kommentare ·654 Ansichten ·1 Anteile