SEX SI UPENDO NA UPENDO SI SEX..!
Mwanaume anaweza akasex na wala asiwe na upendo na huyo mwanamke. Anaweza akakuchukia still akasex na wewe. Jaribu Kuwa na busara. Kutumia sex ukidhani unamtawala mwanaume ni ujuha kabisa.
Upendo wa kweli hautakulazimisha ku-engage katika sex. Mwanaume ambae hakupendi hawezi kubadilisha msimamo wake kwa sababu ana sex na wewe. Kama atakwambia umthibitishie kama unampenda kwa kumpa sex, basi huyo hayuko serious.
Kama yupo kwa ajili ya sex unayompa, basi akipata sex nzuri zaidi basi kaa ujuee kuwa atatokomea huko mazima. Kuwa mtumwa wake wa ngono ni upumbavu saana.......
Upendo hauwezi kukutia aibu na kukuvunjia heshima. Kama umefanya kosa la kujaribu kutumia sex kumpata huyo mwanaume, sasa ni wakati wa kujifanyia assessment juu ya huo uhusiano ili uujenge katika msingi uliosahihi. Kama atakuoa wewe kwa sababu unampa sex bora, basi hilo litakuja kuwa ni janga kubwa katika ndoa yako.
Kwanini usiruhusu mwanaume akuoe kwa sababu anakupenda, anakuheshimu, anajali hisia zako, anamtizamo chanya wa maisha, anakusaidia kwa kila jambo jema na kukunyanyua pale unapoanguka na anajihisi huru kuwa na wewe na anayo mental and spiritual connection na wewe pamoja na uhitaji wa ku-spend maisha yake yote yaliyobaki na wewe."
#SexIsNotLove
#Inauma

·546 Views