Upgrade to Pro

  • Sikia hii kutoka Kwa Rude boy: Kwa sababu ya pesa nlimpoteza mwanamke ambaye hata mama alijua nitamuoa - Rude boy

    Wimbo Reason with me ulisimulia kile kilichonitokea kweli, nlikuwa na msichana ambaye hata mama alijua nitakuja kumuoa, lakini wakaja wale big boys wakafanya Yao kila kitu , kila kitu nlichofanya kikawa kero kwake , hata salamu zangu, lakini hata hivyo nashukuru alinifanya niipambanie maisha yangu kwa ukubwa , unajua pesa inaweza kumfanya mwanamke akuache na kukutaftia sababu zisizo na maana - Rude boy

    Funzo: hakika pesa ni nzuri Mungu abariki kila juhudi halali unayoweka kwa ajili ya mafanikio yako...

    #jewajua
    Sikia hii kutoka Kwa Rude boy: Kwa sababu ya pesa nlimpoteza mwanamke ambaye hata mama alijua nitamuoa - Rude boy Wimbo Reason with me ulisimulia kile kilichonitokea kweli, nlikuwa na msichana ambaye hata mama alijua nitakuja kumuoa, lakini wakaja wale big boys wakafanya Yao kila kitu , kila kitu nlichofanya kikawa kero kwake , hata salamu zangu, lakini hata hivyo nashukuru alinifanya niipambanie maisha yangu kwa ukubwa , unajua pesa inaweza kumfanya mwanamke akuache na kukutaftia sababu zisizo na maana - Rude boy Funzo: hakika pesa ni nzuri Mungu abariki kila juhudi halali unayoweka kwa ajili ya mafanikio yako... #jewajua
    ·7 Views
  • POUL POGBA NDIYE ALIMPAMBANIA AMAD KUREJEA MANCHESTER UNITED

    Kiungo Fundi Mwenye Asili ya Guinea Poul Labile Pogba Ndiye aliempambania Winga Amad Dialo kurejea Kwenye Kikosi Cha Manchester United.

    AMAD DIALO Alisajiliwa na Manchester United mnamo Januari 2021, alijiunga na klabu ya Uingereza ya Manchester United, akitokea Atalanta ya Nchini Italy.

    Kutokana na kiwango alichokua nacho Amad Dialo hakikua kizuri Kocha wa United kipindi hicho Ole Gunnar Solskjær aliuambia Uongozi Amad Atolewee kwa Mkopo kitu Ambacho Marcus Rashford Pamoja na Pogba Waliweka Upingamizi lakini alitolewa kwa Mkopo na Kwenda Rangers .

    Michael Carrick alipopewa Nafasi ya kukinoa Kikosi Cha United kwa muda Pogba na Marcus Rashford walimwambia asaidie Amad kurejea Kikosini na Carick kabla hajaondoka alitoa pendekezo hilo na Amad alirejea kama Kipaji na Eric Ten Hag alivyokua Kocha wa Manchester United alikua Hana mamlaka ya kumuondoa Amad licha ya kua alikua akimweka Benchi lakini Amd aliisaidia United hata akitokea Benchi.

    Aliwafunga Liverpool robo Fainali kwenda Nusu Fainali ya FA na United wakashinda Kombe hilo mbele ya Manchester City.

    Licha ya Marcus Rashford na Pogba kutokua na Maelewano na Makocha wa Manchester United wapya kwakua mara nyingi hupishana Kauli na Namna ya kuendesha timu lakini Amad Dialo aliambiwa akomae apambane na yeye ni Manchester United.

    Hata hivyo Amad Dialo tangu akiwa mdogo alikua ni Shabiki Wa Chelsea na Real Madrid

    Amezaliwa: July 11, 2002 (age 22 years), Jijini Abidjan, Nchini Côte d’Ivoire mama yake ni Mzungu wa Italian mama yake ni Mwafrica wa Ivorcost 🇨🇮 AMAD DIALO amekulia sana kwao na mama yake kwa Sababu upande wa baba yake walikua hawamtaki kwa kile kilichosemekana kua yeye sio mzungu hivyo mimba ilitokea bahati Mbaya.

    Mpaka hapo baadae baba yake alivyomchukua na kumpeleka Kwao Italy na kuanza maisha na Mwanae na ndipo alipompeleka Shule ya Mpira ya Atalanta ambayo ni Klabu anayoishabikia pia baba yake na Amad Diallo ni Mwananchi wa Italy mwenye Asili ya Spain.

    AMAD DIALO kutokana na kukulia kwa mama yake Lugha anayoifahamu ni Kifaransa pia ana Uraia wa Nchi ya mama yake kwa Sababu ya mama yake kumpambania licha ya kidogo alichokipata Amad ni kaka wa Mdogo wake wa kike ambaye alimwacha kwa mama yake.

    Moja ya Ahadi ambayo Amad Diallo aliwahi kumuahidi mama yake ni kua atarudi kama mtu mkubwa na atarudi kumsaidia na ataichezea Nchi yake mama yake na atajitumaa sana.

    Kukubali Kujiunga na Manchester United na kuikata Chelsea ni kwa Sababu mama yake Mzazi anashabikia klabu hiyo ya Manchester United tangu akiwa Binti wa miaka 15 .

    Mama yake dini yake ni Muslim hivyo na Amad Diallo alichagua Upande wa mama yake pia aliwahi kusema anacheza kwa bidi kwenye Kila mechi anayopangwa kwa sababu mama yake Mzazi anakua Africa akimtazama ndani ya Klabu yake.

    Mara nyingi alikua akionekana na Marcus Rashford kwenye mazoezi binafsi ya Gym na mara Nyingi amekua akipokea ushauri kutoka kwa Pogba ambaye aliondolewa Manchester United.

    #JeWajua
    POUL POGBA NDIYE ALIMPAMBANIA AMAD KUREJEA MANCHESTER UNITED Kiungo Fundi Mwenye Asili ya Guinea Poul Labile Pogba Ndiye aliempambania Winga Amad Dialo kurejea Kwenye Kikosi Cha Manchester United. AMAD DIALO Alisajiliwa na Manchester United mnamo Januari 2021, alijiunga na klabu ya Uingereza ya Manchester United, akitokea Atalanta ya Nchini Italy. Kutokana na kiwango alichokua nacho Amad Dialo hakikua kizuri Kocha wa United kipindi hicho Ole Gunnar Solskjær aliuambia Uongozi Amad Atolewee kwa Mkopo kitu Ambacho Marcus Rashford Pamoja na Pogba Waliweka Upingamizi lakini alitolewa kwa Mkopo na Kwenda Rangers . Michael Carrick alipopewa Nafasi ya kukinoa Kikosi Cha United kwa muda Pogba na Marcus Rashford walimwambia asaidie Amad kurejea Kikosini na Carick kabla hajaondoka alitoa pendekezo hilo na Amad alirejea kama Kipaji na Eric Ten Hag alivyokua Kocha wa Manchester United alikua Hana mamlaka ya kumuondoa Amad licha ya kua alikua akimweka Benchi lakini Amd aliisaidia United hata akitokea Benchi. Aliwafunga Liverpool robo Fainali kwenda Nusu Fainali ya FA na United wakashinda Kombe hilo mbele ya Manchester City. Licha ya Marcus Rashford na Pogba kutokua na Maelewano na Makocha wa Manchester United wapya kwakua mara nyingi hupishana Kauli na Namna ya kuendesha timu lakini Amad Dialo aliambiwa akomae apambane na yeye ni Manchester United. Hata hivyo Amad Dialo tangu akiwa mdogo alikua ni Shabiki Wa Chelsea na Real Madrid Amezaliwa: July 11, 2002 (age 22 years), Jijini Abidjan, Nchini Côte d’Ivoire mama yake ni Mzungu wa Italian mama yake ni Mwafrica wa Ivorcost 🇨🇮 AMAD DIALO amekulia sana kwao na mama yake kwa Sababu upande wa baba yake walikua hawamtaki kwa kile kilichosemekana kua yeye sio mzungu hivyo mimba ilitokea bahati Mbaya. Mpaka hapo baadae baba yake alivyomchukua na kumpeleka Kwao Italy na kuanza maisha na Mwanae na ndipo alipompeleka Shule ya Mpira ya Atalanta ambayo ni Klabu anayoishabikia pia baba yake na Amad Diallo ni Mwananchi wa Italy mwenye Asili ya Spain. AMAD DIALO kutokana na kukulia kwa mama yake Lugha anayoifahamu ni Kifaransa pia ana Uraia wa Nchi ya mama yake kwa Sababu ya mama yake kumpambania licha ya kidogo alichokipata Amad ni kaka wa Mdogo wake wa kike ambaye alimwacha kwa mama yake. Moja ya Ahadi ambayo Amad Diallo aliwahi kumuahidi mama yake ni kua atarudi kama mtu mkubwa na atarudi kumsaidia na ataichezea Nchi yake mama yake na atajitumaa sana. Kukubali Kujiunga na Manchester United na kuikata Chelsea ni kwa Sababu mama yake Mzazi anashabikia klabu hiyo ya Manchester United tangu akiwa Binti wa miaka 15 . Mama yake dini yake ni Muslim hivyo na Amad Diallo alichagua Upande wa mama yake pia aliwahi kusema anacheza kwa bidi kwenye Kila mechi anayopangwa kwa sababu mama yake Mzazi anakua Africa akimtazama ndani ya Klabu yake. Mara nyingi alikua akionekana na Marcus Rashford kwenye mazoezi binafsi ya Gym na mara Nyingi amekua akipokea ushauri kutoka kwa Pogba ambaye aliondolewa Manchester United. #JeWajua
    ·9 Views
  • #JEWAJUA
    Jumba la Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson ambalo alilinunua mwaka 1987 kwa USD milioni 19.5 limenunuliwa na Tajiri Ron Burkle kwa kiwango kinachotajwa kufika USD milioni 22 (USD milioni moja ni sawa na Tsh. Bilioni 2.3 )

    Jumba hilo ambalo lipo Los Olivos, California likijulikana kwa jina maarufu la ‘Neverland’ likiwa ndani ya hekari 2700 na humo ndani lina zoo ya Wanyama mbalimbali kama Tembo na Twiga.

    Ron Burkle ni miongoni mwa Wamiliki wa Team ya mchezo wa Magongo unaochezwa kwenye barafu ya Pittsburgh Penguins, Michael Jackson alifariki mwaka 2009 kwenye jumba jingine alilokua anaishi Los Angeles Marekani.
    #JEWAJUA Jumba la Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson ambalo alilinunua mwaka 1987 kwa USD milioni 19.5 limenunuliwa na Tajiri Ron Burkle kwa kiwango kinachotajwa kufika USD milioni 22 (USD milioni moja ni sawa na Tsh. Bilioni 2.3 ) Jumba hilo ambalo lipo Los Olivos, California likijulikana kwa jina maarufu la ‘Neverland’ likiwa ndani ya hekari 2700 na humo ndani lina zoo ya Wanyama mbalimbali kama Tembo na Twiga. Ron Burkle ni miongoni mwa Wamiliki wa Team ya mchezo wa Magongo unaochezwa kwenye barafu ya Pittsburgh Penguins, Michael Jackson alifariki mwaka 2009 kwenye jumba jingine alilokua anaishi Los Angeles Marekani.
    Like
    1
    ·121 Views
  • Baada ya kutengana kutoka kwenye biashara waliyokuwa wanafanya pamoja ya viatu, Rudolf Dassler (Kaka) alienda kuanzisha kampuni yake ya Puma mwaka 1948 na Adolf Dassler (Mdogo) alienda kuanzisha Adidas mwaka 1949.

    Ugomvi wao ulisababisha mpaka upinzani mkubwa ndani ya mji wa Herzogenaurach', Watu walikua hawafanyi mawasiliano yoyote hata kuoana kati ya mtu anaependa bidhaa za Puma au Adidas lilikua ni kosa la jinai miaka ya 1950's na mpaka sasa upinzani mkubwa kwenye mji huo upo.
    #jewajua
    Baada ya kutengana kutoka kwenye biashara waliyokuwa wanafanya pamoja ya viatu, Rudolf Dassler (Kaka) alienda kuanzisha kampuni yake ya Puma mwaka 1948 na Adolf Dassler (Mdogo) alienda kuanzisha Adidas mwaka 1949. Ugomvi wao ulisababisha mpaka upinzani mkubwa ndani ya mji wa Herzogenaurach', Watu walikua hawafanyi mawasiliano yoyote hata kuoana kati ya mtu anaependa bidhaa za Puma au Adidas lilikua ni kosa la jinai miaka ya 1950's na mpaka sasa upinzani mkubwa kwenye mji huo upo. #jewajua
    Like
    1
    ·115 Views