• Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu.

    Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo.

    Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup).

    Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana

    #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu
    Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu. Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo. Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup). Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu
    0 Reacties 0 aandelen 619 Views
  • #JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE).

    Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali.

    Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani.

    Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii.

    #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia
    #JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE). Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali. Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani. Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii. #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia
    0 Reacties 0 aandelen 560 Views
  • Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo.

    " Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo.

    Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema

    "Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea?

    Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!!

    Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"

    Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛, Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo. " Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo. Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema "Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea? Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!! Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"
    0 Reacties 0 aandelen 171 Views
  • Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania kufuatia agizo la Rais wa Marekani , Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo:

    "Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo.

    .Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache . Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. … Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani .

    Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania 馃嚬馃嚳 kufuatia agizo la Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo: "Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo. .Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja 馃ぃ馃ぃ馃ぃAtapambana na serikali yake juu chini hadi waniache 馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ. Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. 馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ馃ぃ… Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani 馃嚭馃嚫.
    0 Reacties 0 aandelen 131 Views
  • Privaldinho amjia juu Juma Ayo (Mchambuzi) kisa chapisho lake pichani.

    "Ni kijana mtanzania anayechukia kijana Mtanzania mwenzake akipewa credit. Halafu kutwa agapiga simu kwa Injinia kuhitaji msaada.

    Tanzania tunajivunia kuwa na kiongozi mkubwa kwenye ngazi ya soka Kimataifa, lakini anatokea bumunda mmoja anataka kudogodesha jambo hili.

    Hawa ndio waliomsifia sana yule Dada aliyekuwa Ukoloni enzi hizo. Leo anajaribu kubadilisha agenda kuwa ACA sio chombo huru.

    Tazama huyu ni mwandishi ambaye hajui ACA inafanyaje kazi. Sasa kama ACA ni chombo kinachojumuisha viongozi wa vilabu ni kivipi CAF inaingilia utendaji wake?

    Shida tasnia ya habari imeruhusu vichwa maji wengi kutoa maoni kwenye platform kubwa. Tunakosa kusikiliza watu wenye weledi tunasikiliza waropokaji.

    Kuna muda unajiuliza hawa watu wanatumwa au wanatumika au hawana uelewa wa mambo unagundua inawezekana vyote kwa pamoja kwa sababu haiwezekan mtu mwenye akili akatumika kujidhalilisha.

    Wakati tunataka kuweka uhuru wa vilabu kwenye maamuzi anakuja kapuku mmoja anakwambia ACA ni chombo cha CAF.? Muulize uchaguzi wa ACA umefanyikaje! Hajui

    ACA sio chama kinachoongozwa na mtu, ni ushirika wa vilabu vyote ambavyo vimejisali. Mwenyekiti kazi yake kusimamia maamuzi ya msimamo wa Chama ikiwa ni pamoja na utekelezaji wake na kuwaongoza wenzake kulingana na maono yake.
    #
    Uanzishwaji wa ACA hauna tofauti na ECA. Je ECA s ndio hao hao ambao walikataa Superleague tena mwenyekiti wa ECA wakati ule Agnelli alikuwa muumini wa Superleague lakini aliheshimu maamuzi ya Chama.

    Maana yake nini? ACA ni chombo huru kinachojitegemea. Kazi yake kuu kulinda maslahi ya vilabu na sio maslahi ya CAF. Jifunzeni kufanya tafiti.

    Fanyeni kazi yenu kwa weledi. Acheni majungu na roho. Vijana wadogo mmejawa chuki na wivu usiokuwa na manufaa wala tija. Uchale chale unafanya mnataka kuiga watani na wasemaji kwenye utani wao mnauleta kwenye tasnia.

    St*pid" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.

    Privaldinho amjia juu Juma Ayo (Mchambuzi) kisa chapisho lake pichani. "Ni kijana mtanzania anayechukia kijana Mtanzania mwenzake akipewa credit. Halafu kutwa agapiga simu kwa Injinia kuhitaji msaada. Tanzania tunajivunia kuwa na kiongozi mkubwa kwenye ngazi ya soka Kimataifa, lakini anatokea bumunda mmoja anataka kudogodesha jambo hili. Hawa ndio waliomsifia sana yule Dada aliyekuwa Ukoloni enzi hizo. Leo anajaribu kubadilisha agenda kuwa ACA sio chombo huru. Tazama huyu ni mwandishi ambaye hajui ACA inafanyaje kazi. Sasa kama ACA ni chombo kinachojumuisha viongozi wa vilabu ni kivipi CAF inaingilia utendaji wake? Shida tasnia ya habari imeruhusu vichwa maji wengi kutoa maoni kwenye platform kubwa. Tunakosa kusikiliza watu wenye weledi tunasikiliza waropokaji. Kuna muda unajiuliza hawa watu wanatumwa au wanatumika au hawana uelewa wa mambo unagundua inawezekana vyote kwa pamoja kwa sababu haiwezekan mtu mwenye akili akatumika kujidhalilisha. Wakati tunataka kuweka uhuru wa vilabu kwenye maamuzi anakuja kapuku mmoja anakwambia ACA ni chombo cha CAF.? Muulize uchaguzi wa ACA umefanyikaje! Hajui ACA sio chama kinachoongozwa na mtu, ni ushirika wa vilabu vyote ambavyo vimejisali. Mwenyekiti kazi yake kusimamia maamuzi ya msimamo wa Chama ikiwa ni pamoja na utekelezaji wake na kuwaongoza wenzake kulingana na maono yake. # Uanzishwaji wa ACA hauna tofauti na ECA. Je ECA s ndio hao hao ambao walikataa Superleague tena mwenyekiti wa ECA wakati ule Agnelli alikuwa muumini wa Superleague lakini aliheshimu maamuzi ya Chama. Maana yake nini? ACA ni chombo huru kinachojitegemea. Kazi yake kuu kulinda maslahi ya vilabu na sio maslahi ya CAF. Jifunzeni kufanya tafiti. Fanyeni kazi yenu kwa weledi. Acheni majungu na roho. Vijana wadogo mmejawa chuki na wivu usiokuwa na manufaa wala tija. Uchale chale unafanya mnataka kuiga watani na wasemaji kwenye utani wao mnauleta kwenye tasnia. St*pid" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.
    0 Reacties 0 aandelen 230 Views
  • "Faida ya kwanza ya Eng. Hersi na ACA ni kuwa sauti ya VILABU kwenye Mkutano wa Kamati Tendaji ya CAF

    Na moja ya Kilio kikubwa cha VILABU hapa Afrika ni kukosa Hela ya maandalizi kushiriki LIGI YA MABINGWA na KOMBE LA SHIRIKISHO

    Unapambana kupata nafasi kwenye Ligi, kisha upambane wapi utapata Hela ili ukashiriki HATUA 2 ZA AWALI ili baadae ukapate hela ya CAF kuanzia Hatua ya Makundi

    Timu nyingi ndogo Tanzania zilipata Tabu ya kushiriki michuano hii, Mfano wa wazi BIASHARA UNITED Kutoka Mara

    ENG Hersi amefika na kuhakikisha Timu zote za Hatua ya awali zinapata Fedha.

    Msimu huu ZAIDI YA BILIONI 13 kutoka CAF zimetoka kwa VILABU vilivyoshiriki Hatua ya awali.

    Makofi Mengi kwa Eng. Hersi Said" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.

    "Faida ya kwanza ya Eng. Hersi na ACA ni kuwa sauti ya VILABU kwenye Mkutano wa Kamati Tendaji ya CAF Na moja ya Kilio kikubwa cha VILABU hapa Afrika ni kukosa Hela ya maandalizi kushiriki LIGI YA MABINGWA na KOMBE LA SHIRIKISHO Unapambana kupata nafasi kwenye Ligi, kisha upambane wapi utapata Hela ili ukashiriki HATUA 2 ZA AWALI ili baadae ukapate hela ya CAF kuanzia Hatua ya Makundi Timu nyingi ndogo Tanzania zilipata Tabu ya kushiriki michuano hii, Mfano wa wazi BIASHARA UNITED Kutoka Mara ENG Hersi amefika na kuhakikisha Timu zote za Hatua ya awali zinapata Fedha. Msimu huu ZAIDI YA BILIONI 13 kutoka CAF zimetoka kwa VILABU vilivyoshiriki Hatua ya awali. Makofi Mengi kwa Eng. Hersi Said馃憦馃憦" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    Love
    2
    0 Reacties 0 aandelen 108 Views
  • "Faida ya kwanza ya Eng. Hersi na ACA ni kuwa sauti ya VILABU kwenye Mkutano wa Kamati Tendaji ya CAF

    Na moja ya Kilio kikubwa cha VILABU hapa Afrika ni kukosa Hela ya maandalizi kushiriki LIGI YA MABINGWA na KOMBE LA SHIRIKISHO

    Unapambana kupata nafasi kwenye Ligi, kisha upambane wapi utapata Hela ili ukashiriki HATUA 2 ZA AWALI ili baadae ukapate hela ya CAF kuanzia Hatua ya Makundi

    Timu nyingi ndogo Tanzania zilipata Tabu ya kushiriki michuano hii, Mfano wa wazi BIASHARA UNITED Kutoka Mara

    ENG Hersi amefika na kuhakikisha Timu zote za Hatua ya awali zinapata Fedha.

    Msimu huu ZAIDI YA BILIONI 13 kutoka CAF zimetoka kwa VILABU vilivyoshiriki Hatua ya awali.

    Makofi Mengi kwa Eng. Hersi Said" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.

    "Faida ya kwanza ya Eng. Hersi na ACA ni kuwa sauti ya VILABU kwenye Mkutano wa Kamati Tendaji ya CAF Na moja ya Kilio kikubwa cha VILABU hapa Afrika ni kukosa Hela ya maandalizi kushiriki LIGI YA MABINGWA na KOMBE LA SHIRIKISHO Unapambana kupata nafasi kwenye Ligi, kisha upambane wapi utapata Hela ili ukashiriki HATUA 2 ZA AWALI ili baadae ukapate hela ya CAF kuanzia Hatua ya Makundi Timu nyingi ndogo Tanzania zilipata Tabu ya kushiriki michuano hii, Mfano wa wazi BIASHARA UNITED Kutoka Mara ENG Hersi amefika na kuhakikisha Timu zote za Hatua ya awali zinapata Fedha. Msimu huu ZAIDI YA BILIONI 13 kutoka CAF zimetoka kwa VILABU vilivyoshiriki Hatua ya awali. Makofi Mengi kwa Eng. Hersi Said馃憦馃憦" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    0 Reacties 0 aandelen 139 Views
  • ...||TANZANIA NJIA NYEUPE KWENYE KUNDI C AFCON 2025.

    Haya hapa Makundi yote ya Afcon 2025,

    KUNDI A
    Morocco
    Comoros
    Zambia
    Mali

    KUNDI B
    Zimbabwe
    Angola
    South Africa
    Egypt

    KUNDI C
    Tanzania
    Uganda
    Tunisia
    Nigeria

    KUNDI D
    Botswana
    Benin
    Dr Congo
    Senegal

    KUNDI E
    Sudan
    Equatorial Guinea
    Burkina Faso
    Algeria

    KUNDI F
    Cameroon
    Mozambique
    Gabon
    Cotê D'Ivoire 馃嚚馃嚠

    Kila la kheri Tanzania
    馃毃...||TANZANIA 馃嚬馃嚳 NJIA NYEUPE KWENYE KUNDI C AFCON 2025. 馃拵Haya hapa Makundi yote ya Afcon 2025, KUNDI A Morocco馃嚥馃嚘 Comoros馃嚢馃嚥 Zambia馃嚳馃嚥 Mali馃嚥馃嚤 KUNDI B Zimbabwe 馃嚳馃嚰 Angola馃嚘馃嚧 South Africa馃嚳馃嚘 Egypt馃嚜馃嚞 KUNDI C Tanzania馃嚬馃嚳 Uganda馃嚭馃嚞 Tunisia馃嚬馃嚦 Nigeria馃嚦馃嚞 KUNDI D Botswana馃嚙馃嚰 Benin馃嚙馃嚡 Dr Congo馃嚚馃嚛 Senegal馃嚫馃嚦 KUNDI E Sudan馃嚫馃嚫 Equatorial Guinea馃嚞馃嚩 Burkina Faso馃嚙馃嚝 Algeria馃嚛馃嚳 KUNDI F Cameroon馃嚚馃嚥 Mozambique馃嚥馃嚳 Gabon馃嚞馃嚘 Cotê D'Ivoire 馃嚚馃嚠 馃拵Kila la kheri Tanzania 馃嚬馃嚳馃嚬馃嚳馃檹馃憡馃挭馃挋馃馃枻
    Like
    1
    0 Reacties 0 aandelen 163 Views
  • GROUP A
    Morocco
    Mali
    Zambia
    Comoros

    GROUP B
    Egypt
    South Africa
    Angola
    Zimbabwe

    GROUP C
    Nigeria
    Tunisia
    Uganda
    Tanzania


    GROUP D
    Senegal
    DR Congo
    Benin Republic
    Botswana


    GROUP E
    Algeria
    Burkina Faso
    Equatorial Guinea
    Sudan


    GROUP F
    Ivory Coast 馃嚚馃嚠
    Cameroon
    Gabon
    Mozambique

    #AFCON2025
    GROUP A Morocco 馃嚥馃嚘 Mali 馃嚥馃嚤 Zambia 馃嚳馃嚥 Comoros 馃嚢馃嚥 GROUP B Egypt 馃嚜馃嚞 South Africa 馃嚳馃嚘 Angola 馃嚘馃嚧 Zimbabwe 馃嚳馃嚰 GROUP C Nigeria 馃嚦馃嚞 Tunisia 馃嚬馃嚦 Uganda 馃嚭馃嚞 Tanzania 馃嚬馃嚳 GROUP D Senegal 馃嚫馃嚦 DR Congo 馃嚚馃嚛 Benin Republic 馃嚙馃嚡 Botswana 馃嚙馃嚰 GROUP E Algeria 馃嚛馃嚳 Burkina Faso 馃嚙馃嚝 Equatorial Guinea 馃嚞馃嚩 Sudan 馃嚫馃嚛 GROUP F Ivory Coast 馃嚚馃嚠 Cameroon 馃嚚馃嚥 Gabon 馃嚞馃嚘 Mozambique 馃嚥馃嚳 #AFCON2025
    Like
    Love
    5
    0 Reacties 0 aandelen 271 Views
  • AFCON Kundi C
    Nigeria
    Tunisia
    Uganda
    Tanzania
    AFCON Kundi C Nigeria馃嚦馃嚞 Tunisia 馃嚬馃嚦 Uganda馃嚭馃嚞 Tanzania馃嚬馃嚳
    Like
    1
    0 Reacties 0 aandelen 87 Views
  • Mshambuliaji Kassim Rajani (22) yupo kwenye majaribio Simba SC Tanzania

    Mchezaji huyo mwenye uraia wa Canada alikua akichezea klabu ya FC RUSHDEN& DIAMONDS ya nchini uingereza

    Nafasi yake anayoimudu uwanjani ni kiungo,yupo kwenye majaribio kwenye viunga vya msimbazi. #NestoShayoUPDATES
    Mshambuliaji Kassim Rajani (22) yupo kwenye majaribio Simba SC Tanzania Mchezaji huyo mwenye uraia wa Canada alikua akichezea klabu ya FC RUSHDEN& DIAMONDS ya nchini uingereza Nafasi yake anayoimudu uwanjani ni kiungo,yupo kwenye majaribio kwenye viunga vya msimbazi. #NestoShayoUPDATES
    Love
    1
    1 Reacties 0 aandelen 184 Views
  • Mwamba yupo Tanzania tayari
    Mwamba yupo Tanzania tayari馃憪
    Love
    1
    1 Reacties 0 aandelen 80 Views
  • "Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maisha yangu nimekuwa nikipokea maswali mengi kutoka kwa jamii na kwenu nyinyi waandishi wa habari kwamba ni nini siri ya mafanikio yangu, nini chanzo cha pesa zangu. Leo naomba nizungumze ukweli kwamba mnamo mwaka 2018 nilifanya tafiti kutaka kujua ni kitu gani ama ni biashara gani nitakayoifanya ambayo itakuwa kama biashara yangu ya pili ya kuniingizia pesa"

    "Nilifanya utafiti kwenye biashara nyingi na hatimae mawazo yangu yalisimama kwenye kilimo, nilikuja kugundua kilimo ndicho kitakachonitoa, nikawekeza nguvu na mtaji wangu huko hatimae nikaanza kupata matunda ambayo pesa zake ndio hizi mnazoona nakula bata kila uchao, ndio maana nimekuja na kampeni yangu ya kuwasaidia wanawake kujikwamua kupitia kilimo kwasababu nimeona huko kuna pesa nyingi"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania na Mchungaji.

    "Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maisha yangu nimekuwa nikipokea maswali mengi kutoka kwa jamii na kwenu nyinyi waandishi wa habari kwamba ni nini siri ya mafanikio yangu, nini chanzo cha pesa zangu. Leo naomba nizungumze ukweli kwamba mnamo mwaka 2018 nilifanya tafiti kutaka kujua ni kitu gani ama ni biashara gani nitakayoifanya ambayo itakuwa kama biashara yangu ya pili ya kuniingizia pesa" "Nilifanya utafiti kwenye biashara nyingi na hatimae mawazo yangu yalisimama kwenye kilimo, nilikuja kugundua kilimo ndicho kitakachonitoa, nikawekeza nguvu na mtaji wangu huko hatimae nikaanza kupata matunda ambayo pesa zake ndio hizi mnazoona nakula bata kila uchao, ndio maana nimekuja na kampeni yangu ya kuwasaidia wanawake kujikwamua kupitia kilimo kwasababu nimeona huko kuna pesa nyingi"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania na Mchungaji.
    Like
    2
    0 Reacties 0 aandelen 182 Views
  • "Mtu anakupaje gari bure, walikusudia kuniua, msikie nimekufa, yaani wanitoea uhai uchawi upo alooo" - Goodluck Gozbert, Msanii wa muziki wa Injili Tanzania.

    "Mtu anakupaje gari bure, walikusudia kuniua, msikie nimekufa, yaani wanitoea uhai uchawi upo alooo" - Goodluck Gozbert, Msanii wa muziki wa Injili Tanzania.
    0 Reacties 0 aandelen 100 Views
  • "Mungu aliniambia niache kuendesha lile gari, na wala nisimpe mtu yeyote yule,.. Walitaka kuniua kupitia gari hata jina langu walilizika, pia nawajua wote Mungu alinifunulia" - Goodluck Gozbert, Msanii wa muziki wa Injili Tanzania.

    "Mungu aliniambia niache kuendesha lile gari, na wala nisimpe mtu yeyote yule,.. Walitaka kuniua kupitia gari hata jina langu walilizika, pia nawajua wote Mungu alinifunulia" - Goodluck Gozbert, Msanii wa muziki wa Injili Tanzania.
    0 Reacties 0 aandelen 129 Views
  • MEDICAL ATTENDANT PLATINUM MEDICAL

    Tsh234 - Tsh577 / Hour
    Locatie
    Dar es Salaam
    Type
    Tijd
    Status
    Open
    猸曪笍 *APPLY NOW*: MEDICAL ATTENDANT PLATINUM MEDICAL

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/medical-attendant-job-at-platinum-medical/


    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache
    Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    猸曪笍 *APPLY NOW*: MEDICAL ATTENDANT PLATINUM MEDICAL Bofya Hapa 馃憠https://jamiichecktz.com/job/medical-attendant-job-at-platinum-medical/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya馃憠https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup馃檹馃檹 馃挜Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 馃憠https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 馃憠https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Reacties 0 aandelen 155 Views
  • ASSISTANT NURSE PLATINUM MEDICAL

    Tsh234 - Tsh577 / Hour
    Locatie
    Morogoro
    Type
    Tijd
    Status
    Open
    猸曪笍 *APPLY NOW*: ASSISTANT NURSE PLATINUM MEDICAL

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/assistant-nursing-officer-job-at-platinum-medical/


    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache
    Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    猸曪笍 *APPLY NOW*: ASSISTANT NURSE PLATINUM MEDICAL Bofya Hapa 馃憠https://jamiichecktz.com/job/assistant-nursing-officer-job-at-platinum-medical/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya馃憠https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup馃檹馃檹 馃挜Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 馃憠https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 馃憠https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Reacties 0 aandelen 150 Views
  • NAFASI KWA WAHUDUMU RAMADA RESORT

    Tsh234 - Tsh577 / Hour
    Locatie
    Tanzania
    Type
    Tijd
    Status
    Open
    猸曪笍 *APPLY NOW*: NAFASI KWA WAHUDUMU RAMADA RESORT- Hakuna elimu inayoitajika

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/hotel-waiter-waitress-jobs-at-ramada-resort/


    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache
    Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    猸曪笍 *APPLY NOW*: NAFASI KWA WAHUDUMU RAMADA RESORT- Hakuna elimu inayoitajika Bofya Hapa 馃憠https://jamiichecktz.com/job/hotel-waiter-waitress-jobs-at-ramada-resort/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya馃憠https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup馃檹馃檹 馃挜Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 馃憠https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 馃憠https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Reacties 0 aandelen 161 Views
  • NAFASI 4 KIWANDA CHA KILOMBERO SUGAR

    Tsh234 - Tsh456 / Hour
    Locatie
    Morogoro
    Type
    Tijd
    Status
    Open
    猸曪笍 *APPLY NOW*: NAFASI 4 KIWANDA CHA KILOMBERO SUGAR

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/4new-jobs-in-tanzania-at-kilombero-sugar-open-jan2025/


    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    猸曪笍 *APPLY NOW*: NAFASI 4 KIWANDA CHA KILOMBERO SUGAR Bofya Hapa 馃憠https://jamiichecktz.com/job/4new-jobs-in-tanzania-at-kilombero-sugar-open-jan2025/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya馃憠https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup馃檹馃檹 馃挜Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 馃憠https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 馃憠https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Reacties 0 aandelen 156 Views
  • ACCOUNTANT SHIRIKA LA LVIA TANZANIA

    Tsh123 - Tsh234 / Hour
    Locatie
    Tanzania
    Type
    Tijd
    Status
    Open
    猸曪笍 *APPLY NOW*: ACCOUNTANT SHIRIKA LA LVIA TANZANIA

    Bofya Hapa https://jamiichecktz.com/job/accountant-job-at-lvia-open-jan2025/


    Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofyahttps://cv.jamiichecktz.com

    Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup

    Junge na CHANNEL YA WHATSAPP
    kupata update na msaada
    https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k

    KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/

    馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    猸曪笍 *APPLY NOW*: ACCOUNTANT SHIRIKA LA LVIA TANZANIA Bofya Hapa 馃憠https://jamiichecktz.com/job/accountant-job-at-lvia-open-jan2025/ Tengeneza CV na Barua yako(stationary services) Hapa kwa hatua Chache Bofya馃憠https://cv.jamiichecktz.com Tafadhali Share link hii na rafiki au Magroup馃檹馃檹 馃挜Junge na CHANNEL YA WHATSAPP kupata update na msaada 馃憠https://whatsapp.com/channel/0029VaEGsli6LwHnfhKhO81k KUTAZAMA NAFASI NYINGINE MPYA, BONYEZA  HAPA 馃憠https://jamiichecktz.com/jobs-in-tanzania/ 馃檹馃徏SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI
    0 Reacties 0 aandelen 158 Views
Zoekresultaten