• Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen

    Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen .

    Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno na Ufaransa zilizochezwa Juni 4 na 8.

    Ripoti hiyo imeongeza:

    > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani ."

    Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa .

    Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo.

    Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay wakati wa Copa América 2024.

    Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni.

    #SportsElite
    馃毃 Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen 馃挵 Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen 馃. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno 馃嚨馃嚬 na Ufaransa 馃嚝馃嚪 zilizochezwa Juni 4 na 8. Ripoti hiyo imeongeza: > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani 馃嚛馃嚜." Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa 馃彞. Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo. Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania 馃嚜馃嚫 mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay 馃嚭馃嚲 wakati wa Copa América 2024. Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni. #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 145 Views
  • Klabu ya Everton imemkaribisha rasmi mshambuliaji chipukizi Thierno Barry ambaye awali alikuwa Villarreal. Barry, anayewakilisha timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa chini ya miaka 21, sasa atakuwa sehemu ya kikosi cha Everton kwa mkataba wa miaka minne. DDiili hilo linaripotiwa harimu takribani pauni milionii 27.5.

    #SportsElite
    Klabu ya Everton imemkaribisha rasmi mshambuliaji chipukizi Thierno Barry ambaye awali alikuwa Villarreal. Barry, anayewakilisha timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa chini ya miaka 21, sasa atakuwa sehemu ya kikosi cha Everton kwa mkataba wa miaka minne. DDiili hilo linaripotiwa harimu takribani pauni milionii 27.5. 馃數 #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 135 Views
  • 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Klabu ya Olympique Lyon imeshinda rufaa yake na sasa Klabu hiyo itashiriki Ligi kuu Ufaransa msimu ujao na pia itacheza Europa League.

    Olympique Lyon ilishushwa Daraja mwezi uliopita kutokana na madeni na sasa imekubaliwa rufaa yake.

    #SportsElite
    馃毃 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Klabu ya Olympique Lyon imeshinda rufaa yake na sasa Klabu hiyo itashiriki Ligi kuu Ufaransa msimu ujao na pia itacheza Europa League. Olympique Lyon ilishushwa Daraja mwezi uliopita kutokana na madeni na sasa imekubaliwa rufaa yake. #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 75 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Isak Jansson yuko mbioni kujiunga na OGC Nice kutokeanSK Rapid kwa gharama ya €10M na nyongeza zaidi..

    Anatarajia kuwasili Ufaransa ndani ya masaa 24-48 kukamilisha uhamisho wake..

    Jansson pia alikuwa anafatiliwa na vilabu kama Celtic na timu za Italia kabla kufanya maamuzi Nice.

    #SportsElite
    馃毃馃挘 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Isak Jansson yuko mbioni kujiunga na OGC Nice kutokeanSK Rapid kwa gharama ya €10M na nyongeza zaidi.. Anatarajia kuwasili Ufaransa ndani ya masaa 24-48 kukamilisha uhamisho wake.. Jansson pia alikuwa anafatiliwa na vilabu kama Celtic na timu za Italia kabla kufanya maamuzi Nice. #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 75 Views
  • Mamia ya Raia wa Burkina Faso wanaoishi Ufaransa wameandamana nchini Ufaransa kushinikiza Rais wa mpito wa Burkina Faso, Ibrahim Traore aondoke madarakani kwani wanadai kiongozi huyo ni Dikteta.

    Baada ya sakata hili baadhi ya Watu wanadai huenda Waandamanaji hao wamepangwa na Serikali ya Ufaransa baada ya hivi karibuni Ibrahim Traore kukata urafiki na mazoea na nchi hiyo ambayo kwa muda mrefu inadaiwa ilikuwa ikiinyonya Burkina Faso hasa kwenye eneo la madini.

    Traore tangu aingie madarakani amekuwa akipingwa sana na baadhi ya mataifa yenye nguvu Duniani, na hivi sasa Marekani inamtuhumu kuwa anatumia Madini ya Burkina Faso kwa manufaa yake binafsi siyo ya Wananchi wote.
    Mamia ya Raia wa Burkina Faso wanaoishi Ufaransa wameandamana nchini Ufaransa kushinikiza Rais wa mpito wa Burkina Faso, Ibrahim Traore aondoke madarakani kwani wanadai kiongozi huyo ni Dikteta. Baada ya sakata hili baadhi ya Watu wanadai huenda Waandamanaji hao wamepangwa na Serikali ya Ufaransa baada ya hivi karibuni Ibrahim Traore kukata urafiki na mazoea na nchi hiyo ambayo kwa muda mrefu inadaiwa ilikuwa ikiinyonya Burkina Faso hasa kwenye eneo la madini. Traore tangu aingie madarakani amekuwa akipingwa sana na baadhi ya mataifa yenye nguvu Duniani, na hivi sasa Marekani inamtuhumu kuwa anatumia Madini ya Burkina Faso kwa manufaa yake binafsi siyo ya Wananchi wote.
    Like
    3
    0 Comments 0 Shares 930 Views
  • Muigizaji maarufu na Mkongwe Duniani, Jean-Claude Van Damme anakabiliwa na mashtaka ya kujibu baada ya kudaiwa kufanya ngono na Wanawake waliotekwa nyara Nchini Romania .

    Kwa mujibu wa CNN, Idara ya Romania ya Uchunguzi wa Uhalifu wa kupangwa na Ugaidi (DIICOT) imewasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya Van Damme, ikidai alifanya ngono kwa kujua na Wanawake kadhaa waliokuwa wakitumiwa katika biashara haramu ya ngono.

    Kulingana na ripoti hiyo, Mwigizaji huyo Raia wa Ubelgiji anadaiwa kukutana na Watu kadhaa ambao pia wanachunguzwa kwa uhalifu wa usafirishaji wa Binadamu, ambao walimpa fursa ya kufanya ngono na Wanamitindo watano (5) wa Kiromania kama zawadi.

    Tukio hilo linaripotiwa kutokea Cannes Nchini Ufaransa hivyo, Serikali ya hiyo inapaswa kuidhinisha mashitaka hayo ya jinai lakini haikuwekwa wazi ni lini tukio hilo lilitokea hapo Ufaransa.

    Muigizaji maarufu na Mkongwe Duniani, Jean-Claude Van Damme anakabiliwa na mashtaka ya kujibu baada ya kudaiwa kufanya ngono na Wanawake waliotekwa nyara Nchini Romania 馃嚪馃嚧. Kwa mujibu wa CNN, Idara ya Romania ya Uchunguzi wa Uhalifu wa kupangwa na Ugaidi (DIICOT) imewasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya Van Damme, ikidai alifanya ngono kwa kujua na Wanawake kadhaa waliokuwa wakitumiwa katika biashara haramu ya ngono. Kulingana na ripoti hiyo, Mwigizaji huyo Raia wa Ubelgiji 馃嚙馃嚜 anadaiwa kukutana na Watu kadhaa ambao pia wanachunguzwa kwa uhalifu wa usafirishaji wa Binadamu, ambao walimpa fursa ya kufanya ngono na Wanamitindo watano (5) wa Kiromania kama zawadi. Tukio hilo linaripotiwa kutokea Cannes Nchini Ufaransa 馃嚝馃嚪 hivyo, Serikali ya hiyo inapaswa kuidhinisha mashitaka hayo ya jinai lakini haikuwekwa wazi ni lini tukio hilo lilitokea hapo Ufaransa.
    Like
    Love
    2
    0 Comments 0 Shares 724 Views
  • Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa , N’Golo Kanté, ameonyesha moyo wa upendo kwa jamii kwa kujenga hospitali ya kisasa yenye thamani ya dola milioni tano (5) Nchini Mali, ikiwa ni msaada kwa Watoto na familia zisizojiweza kupata huduma bora za afya.

    Kanté, ambaye alizaliwa Jijini Paris, Ufaransa, ana asili ya Mali, Wazazi wake wakiwa Wahamiaji waliotoka Nchini Mali mwaka 1980. Jina lake N’Golo linatokana na Mfalme wa zamani wa Mali aliyewahi kutawala. Katika ziara yake Mali, Kanté alitumia muda na familia yake huku akitoa heshima kwa Baba yake na Kaka yake Marehemu.

    Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa 馃嚝馃嚪, N’Golo Kanté, ameonyesha moyo wa upendo kwa jamii kwa kujenga hospitali ya kisasa yenye thamani ya dola milioni tano (5) Nchini Mali, ikiwa ni msaada kwa Watoto na familia zisizojiweza kupata huduma bora za afya. Kanté, ambaye alizaliwa Jijini Paris, Ufaransa, ana asili ya Mali, Wazazi wake wakiwa Wahamiaji waliotoka Nchini Mali mwaka 1980. Jina lake N’Golo linatokana na Mfalme wa zamani wa Mali aliyewahi kutawala. Katika ziara yake Mali, Kanté alitumia muda na familia yake huku akitoa heshima kwa Baba yake na Kaka yake Marehemu.
    0 Comments 0 Shares 943 Views
  • Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa , N’Golo Kanté, ameonyesha moyo wa upendo kwa jamii kwa kujenga hospitali ya kisasa yenye thamani ya dola milioni tano (5) Nchini Mali, ikiwa ni msaada kwa Watoto na familia zisizojiweza kupata huduma bora za afya.

    Kanté, ambaye alizaliwa Jijini Paris, Ufaransa, ana asili ya Mali, Wazazi wake wakiwa Wahamiaji waliotoka Nchini Mali mwaka 1980. Jina lake N’Golo linatokana na Mfalme wa zamani wa Mali aliyewahi kutawala. Katika ziara yake Mali, Kanté alitumia muda na familia yake huku akitoa heshima kwa Baba yake na Kaka yake Marehemu.
    Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa 馃嚝馃嚪, N’Golo Kanté, ameonyesha moyo wa upendo kwa jamii kwa kujenga hospitali ya kisasa yenye thamani ya dola milioni tano (5) Nchini Mali, ikiwa ni msaada kwa Watoto na familia zisizojiweza kupata huduma bora za afya. Kanté, ambaye alizaliwa Jijini Paris, Ufaransa, ana asili ya Mali, Wazazi wake wakiwa Wahamiaji waliotoka Nchini Mali mwaka 1980. Jina lake N’Golo linatokana na Mfalme wa zamani wa Mali aliyewahi kutawala. Katika ziara yake Mali, Kanté alitumia muda na familia yake huku akitoa heshima kwa Baba yake na Kaka yake Marehemu.
    0 Comments 0 Shares 915 Views
  • Rais wa Nchi ya Ukraine , Volodymyr Zelensky, ametabiri kuea Rais wa Urusi , Vladimir Putin, "atakufa hivi karibuni" huku kukiwa na tetesi kuwa afya ya Kiongozi huyo wa Urusi inazorota. Zelensky alitoa kauli hiyo katika mahojiano na Waandishi wa habari Jijini Paris, Ufaransa baada ya kukutana na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kusema kuwa "Putin atakufa hivi karibuni, na hilo ni jambo la uhakika."

    Picha za Putin zilizochunguzwa kwa muda zimezua uvumi kuhusu hali yake ya afya, hasa baada ya kuonekana na macho mekundu na alama ya ajabu kwenye mkono wake. Aidha, picha zingine zimeonyesha kovu shingoni mwake, likizua dhana kuwa huenda alipitia upasuaji wa saratani ya tezi dume.

    Ripoti za awali zilidai kuwa Putin alikuwa akifuatana mara kwa mara na Daktari bingwa wa saratani, huku uvujaji wa taarifa za kijasusi za Marekani ukionyesha kuwa alikuwa akipokea tiba ya saratani. Sanjari na hayo, amekuwa akionekana akiwa na miguu isiyo imara, akishika meza kwa nguvu, au akitikisa mguu wake mara kwa mara, hali inayoongeza mashaka kuhusu afya yake.

    Rais wa Nchi ya Ukraine 馃嚭馃嚘, Volodymyr Zelensky, ametabiri kuea Rais wa Urusi 馃嚪馃嚭, Vladimir Putin, "atakufa hivi karibuni" huku kukiwa na tetesi kuwa afya ya Kiongozi huyo wa Urusi inazorota. Zelensky alitoa kauli hiyo katika mahojiano na Waandishi wa habari Jijini Paris, Ufaransa 馃嚝馃嚪 baada ya kukutana na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron na kusema kuwa "Putin atakufa hivi karibuni, na hilo ni jambo la uhakika." Picha za Putin zilizochunguzwa kwa muda zimezua uvumi kuhusu hali yake ya afya, hasa baada ya kuonekana na macho mekundu na alama ya ajabu kwenye mkono wake. Aidha, picha zingine zimeonyesha kovu shingoni mwake, likizua dhana kuwa huenda alipitia upasuaji wa saratani ya tezi dume. Ripoti za awali zilidai kuwa Putin alikuwa akifuatana mara kwa mara na Daktari bingwa wa saratani, huku uvujaji wa taarifa za kijasusi za Marekani 馃嚭馃嚫 ukionyesha kuwa alikuwa akipokea tiba ya saratani. Sanjari na hayo, amekuwa akionekana akiwa na miguu isiyo imara, akishika meza kwa nguvu, au akitikisa mguu wake mara kwa mara, hali inayoongeza mashaka kuhusu afya yake.
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • Nchi za Niger , Burkina Faso na Mali zimetangaza rasmi kujiondoa katika Shirika la Kimataifa la Mataifa yanayozungumza Kifaransa la ‘Francophonie’ (OIF). Uamuzi huo umefanywa na Viongozi wa mataifa hayo yenye Serikali za kijeshi, Niger inaongozwa na Jenerali Abdourahamane Tchiani, Mali inaongozwa na Kanali Assimi Goïta na Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traoré.

    Viongozi hao wamedai OIF na taasisi zingine zilizo chini ya Ufaransa ni ukoloni mamboleo. OIF ni Shirila lililoundwa kwa madhumuni ya kukuza lugha ya Kifaransa na kuimarisha ushirikiano kati ya nchi zinazozungumza Kifaransa.

    Gazeti la Le Monde la Nchini Ufaransa limeripoti kuwa taarifa ya pamoja ya Nchi hizo tatu ilisema kwamba OIF imegeuka kuwa ‘chombo cha kisiasa’ kinachoendeshwa na Ufaransa ili kuongeza unyonyaji wa rasilimali za mataifa hayo.

    Nchi za Niger 馃嚦馃嚜, Burkina Faso 馃嚙馃嚝 na Mali 馃嚥馃嚤 zimetangaza rasmi kujiondoa katika Shirika la Kimataifa la Mataifa yanayozungumza Kifaransa la ‘Francophonie’ (OIF). Uamuzi huo umefanywa na Viongozi wa mataifa hayo yenye Serikali za kijeshi, Niger inaongozwa na Jenerali Abdourahamane Tchiani, Mali inaongozwa na Kanali Assimi Goïta na Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traoré. Viongozi hao wamedai OIF na taasisi zingine zilizo chini ya Ufaransa 馃嚝馃嚪 ni ukoloni mamboleo. OIF ni Shirila lililoundwa kwa madhumuni ya kukuza lugha ya Kifaransa na kuimarisha ushirikiano kati ya nchi zinazozungumza Kifaransa. Gazeti la Le Monde la Nchini Ufaransa limeripoti kuwa taarifa ya pamoja ya Nchi hizo tatu ilisema kwamba OIF imegeuka kuwa ‘chombo cha kisiasa’ kinachoendeshwa na Ufaransa ili kuongeza unyonyaji wa rasilimali za mataifa hayo.
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 773 Views
  • Zungu

    Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso: na hii ni Ripoti tangu kuchukua uongozi wa Taifa hilo la Afrika Magharibi

    1. GDP ya Burkina Faso iliongezeka kutoka karibu dola bilioni 18.8 hadi $ 22.1 bilioni.

    2. Alikataa mikopo kutoka kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia, akisema, "Afrika haiitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika."

    3. Alikata mishahara ya mawaziri na wabunge kwa 30% wakati akiinua mishahara ya wafanyikazi wa umma na 50%.

    4. Alisafisha deni la ndani la Burkina Faso.

    5. Alianzisha mimea ya kwanza ya usindikaji wa nyanya.

    6. Mnamo 2023, alizindua mgodi wa dhahabu wa kisasa ili kuimarisha uwezo wa usindikaji wa ndani.

    7. Alisimamisha usafirishaji wa dhahabu isiyo wazi kutoka Burkina Faso kwenda Ulaya.

    8. Aliunda mmea wa pili wa usindikaji wa pamba wa Burkina Faso, na kuongeza kwenye ile iliyopo.

    9. Alianzisha Kituo cha Msaada wa Kitaifa cha Usindikaji wa Pamba ya Artisanal, wa kwanza wa aina yake, kusaidia wakulima wa pamba wa ndani.

    10. Alikataza matumizi ya wigs za kisheria za Uingereza na gauni katika korti za mitaa, na kuzibadilisha na mavazi ya jadi ya burkinabé.

    11. Alitanguliza kilimo kwa kusambaza matrekta zaidi ya 400, viboreshaji 239, pampu 710 za gari, na pikipiki 714 ili kuongeza uzalishaji na kusaidia jamii za vijijini.

    12. Aliwezesha ufikiaji wa mbegu zilizoboreshwa na pembejeo zingine za kilimo ili kuongeza mavuno ya kilimo.

    Uzalishaji wa nyanya ulikua kutoka tani 315,000 za tani mnamo 2022 hadi tani 360,000 za tani mnamo 2024.

    Uzalishaji wa Millet uliongezeka kutoka tani 907,000 za tani 2022 hadi tani milioni 1.1 mnamo 2024.

    15. Uzalishaji wa mchele uliongezeka kutoka tani 280,000 za tani 2022 hadi tani 326,000 mnamo 2024.

    16. Alipiga marufuku shughuli za kijeshi za Ufaransa huko Burkina Faso.

    17. Alikataza vyombo vya habari vya Ufaransa kufanya kazi nchini.

    18. Aliwafukuza askari wa Ufaransa kutoka Burkina Faso.

    19. Serikali yake inaunda barabara mpya, kupanua zile zilizopo, na kubadilisha barabara za changarawe kuwa nyuso za lami.

    20. Anajenga kinu kikubwa cha nyuklia kwa ajili ya umeme wa uhakika wa nchi yake ya Burkina faso

    Zungu 鉁嶏笍 Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso: na hii ni Ripoti tangu kuchukua uongozi wa Taifa hilo la Afrika Magharibi 1. GDP ya Burkina Faso iliongezeka kutoka karibu dola bilioni 18.8 hadi $ 22.1 bilioni. 2. Alikataa mikopo kutoka kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia, akisema, "Afrika haiitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika." 3. Alikata mishahara ya mawaziri na wabunge kwa 30% wakati akiinua mishahara ya wafanyikazi wa umma na 50%. 4. Alisafisha deni la ndani la Burkina Faso. 5. Alianzisha mimea ya kwanza ya usindikaji wa nyanya. 6. Mnamo 2023, alizindua mgodi wa dhahabu wa kisasa ili kuimarisha uwezo wa usindikaji wa ndani. 7. Alisimamisha usafirishaji wa dhahabu isiyo wazi kutoka Burkina Faso kwenda Ulaya. 8. Aliunda mmea wa pili wa usindikaji wa pamba wa Burkina Faso, na kuongeza kwenye ile iliyopo. 9. Alianzisha Kituo cha Msaada wa Kitaifa cha Usindikaji wa Pamba ya Artisanal, wa kwanza wa aina yake, kusaidia wakulima wa pamba wa ndani. 10. Alikataza matumizi ya wigs za kisheria za Uingereza na gauni katika korti za mitaa, na kuzibadilisha na mavazi ya jadi ya burkinabé. 11. Alitanguliza kilimo kwa kusambaza matrekta zaidi ya 400, viboreshaji 239, pampu 710 za gari, na pikipiki 714 ili kuongeza uzalishaji na kusaidia jamii za vijijini. 12. Aliwezesha ufikiaji wa mbegu zilizoboreshwa na pembejeo zingine za kilimo ili kuongeza mavuno ya kilimo. Uzalishaji wa nyanya ulikua kutoka tani 315,000 za tani mnamo 2022 hadi tani 360,000 za tani mnamo 2024. Uzalishaji wa Millet uliongezeka kutoka tani 907,000 za tani 2022 hadi tani milioni 1.1 mnamo 2024. 15. Uzalishaji wa mchele uliongezeka kutoka tani 280,000 za tani 2022 hadi tani 326,000 mnamo 2024. 16. Alipiga marufuku shughuli za kijeshi za Ufaransa huko Burkina Faso. 17. Alikataza vyombo vya habari vya Ufaransa kufanya kazi nchini. 18. Aliwafukuza askari wa Ufaransa kutoka Burkina Faso. 19. Serikali yake inaunda barabara mpya, kupanua zile zilizopo, na kubadilisha barabara za changarawe kuwa nyuso za lami. 20. Anajenga kinu kikubwa cha nyuklia kwa ajili ya umeme wa uhakika wa nchi yake ya Burkina faso
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • Historia ya Wazazi wa Jackie Chan inavutia zaidi hadi Jackie Chan aliamua kuandaa "Documentary" maalum kwa ajili ya kueleza Wazazi wake walivyokutana na walikuwa wanafanya kazi gani.

    Katika kipindi chote Jackie Chan alichoishi na Wazazi wake hakuwahi kufahamu Wazazi wake walikutana vipi pamoja na kazi halisi za awali za Wazazi wake mpaka hapo Baba yake alipokuwa ana umri wa miaka 80 akaamua kumwambia ukweli maana aliamini umri wake umeenda sana hivyo muda wowote anaweza kufariki bila kumueleza ukweli Jackie Chan.

    Baba Mzazi wa Jackie Chan, Charles Chan (1914 - 2008) siku moja akiwa barabarani kwenye gari na Jackie Chan alifunguka kuwa tangu zamani alikuwa Mpelelezi (Shushushu) kwenye Serikali ya China na Mama yake Jackie Chan, Lee-Lee Chan (1916-2002) alikuwa muuza madawa ya kulevya, siku moja katika "operation" ya kukamata Wauza madawa Charles Chan alimkamata Lee-Lee Chan lakini baada ya kumfikisha kwenye vyombo vya dola walijikuta wamependana na wakafunga ndoa.

    Hadithi hii ilimshitua sana Jackie Chan kwani amekua akijua kwamba Baba yake ni Mpishi na amewahi kuwa Mpishi kwenye ubalozi wa Ufaransa - Hong Kong, pamoja na ubalozi wa Marekani Nchini Australia .

    Taarifa nyingine iliyomshitua zaidi ni pale alipoambiwa kuwa kuwa jina la Baba yake sio Chan bali ni Fang Daolong, hivyo kama asingebadili jina, Jackie Chan hivi sasa angefahamika kama Jackie Fang, Baba Jackie Chan alikuwa "Spy" kwenye Serikali ya China iliyokuwa ikiundwa na Chama cha Kuomintang, mwaka 1949 baada ya vita kali ya wenyewe kwa wenyewe Chama cha Kikomunisti kikiongozwa na Mao Zedong kiliipindua Serikali ya Kuomintang kikachukua Nchi hapo ilibidi Baba Jackie Chan abadili jina kwa sababu ya kuficha utambulisho wake maana kulikuwa na vita kubwa baina ya vyama hivyo na baadhi ya makachero wa Kuomintang walikuwa wakikamatwa na kuuawa.

    Historia ya Wazazi wa Jackie Chan imeelezwa kwa urefu kwenye "Documentary" iliyoandaliwa na Jackie Chan "Traces of the Dragon: Jackie Chan and His Lost Family" (2003)

    "Baba alikua jasusi na Mama alikua Muuza madawa na mcheza kamari. Walikutana na wakaoana baada ya Baba yangu kumkamata Mama"

    "Tangu nilipokua Mdogo nilikua najua Baba yangu anafanya kazi ya upishi kwenye Ubalozi wa Marekani mpaka alipotimiza miaka 80 na akaniambia kazi yake ya kweli. Nilishtuka, nilishtuka"

    " Kwahiyo kuna siku moja nilikua naendesha gari nikiwa na Baba yangu ghafla, Baba akageuka na kusema: 'Jackie, Mimi ni Mzee sana na huenda nisiamke kesho. Kuna kitu lazima nikuambie, ni siri' kisha akasema: kwa kweli wewe sio Jackie Chan, jina lako unaitwa Fong.'

    "Nikahisi kupatwa na mshtuko, kwangu ilikua kitu cha kustaajabisha. Kwa haraka nikamuambia asiendelee kuongea nikampigia rafiki yangu ili tutengeneze documentary ya stori ya Baba yangu. Ilituchukua miaka 3 ya kumfata Baba yangu na kuongea nae kuhusu stori yote."

    " Nilihisi mimi ndiye Mwanae wa pekee lakini nilishtuka baada ya kujua kwamba nina ndugu zangu wanne kwa Wazazi wangu. Kaka zangu wawili, upande wa Baba na Dada zangu wawili upande wa Mama. Alilazimika kunificha yote hayo kwa sababu ya kazi yake, baba alikua jasusi. Nilivutiwa sana baada ya kujua kwamba Baba yangu alikua mpole sana. Miaka yote ile nilidhania ni Mpishi. Nimetengeneza movie kupitia hii stori." - Jackie Chan

    Historia ya Wazazi wa Jackie Chan inavutia zaidi hadi Jackie Chan aliamua kuandaa "Documentary" maalum kwa ajili ya kueleza Wazazi wake walivyokutana na walikuwa wanafanya kazi gani. Katika kipindi chote Jackie Chan alichoishi na Wazazi wake hakuwahi kufahamu Wazazi wake walikutana vipi pamoja na kazi halisi za awali za Wazazi wake mpaka hapo Baba yake alipokuwa ana umri wa miaka 80 akaamua kumwambia ukweli maana aliamini umri wake umeenda sana hivyo muda wowote anaweza kufariki bila kumueleza ukweli Jackie Chan. Baba Mzazi wa Jackie Chan, Charles Chan (1914 - 2008) siku moja akiwa barabarani kwenye gari na Jackie Chan alifunguka kuwa tangu zamani alikuwa Mpelelezi (Shushushu) kwenye Serikali ya China na Mama yake Jackie Chan, Lee-Lee Chan (1916-2002) alikuwa muuza madawa ya kulevya, siku moja katika "operation" ya kukamata Wauza madawa Charles Chan alimkamata Lee-Lee Chan lakini baada ya kumfikisha kwenye vyombo vya dola walijikuta wamependana na wakafunga ndoa. Hadithi hii ilimshitua sana Jackie Chan kwani amekua akijua kwamba Baba yake ni Mpishi na amewahi kuwa Mpishi kwenye ubalozi wa Ufaransa 馃嚝馃嚪 - Hong Kong, pamoja na ubalozi wa Marekani 馃嚭馃嚫 Nchini Australia 馃嚘馃嚭. Taarifa nyingine iliyomshitua zaidi ni pale alipoambiwa kuwa kuwa jina la Baba yake sio Chan bali ni Fang Daolong, hivyo kama asingebadili jina, Jackie Chan hivi sasa angefahamika kama Jackie Fang, Baba Jackie Chan alikuwa "Spy" kwenye Serikali ya China iliyokuwa ikiundwa na Chama cha Kuomintang, mwaka 1949 baada ya vita kali ya wenyewe kwa wenyewe Chama cha Kikomunisti kikiongozwa na Mao Zedong kiliipindua Serikali ya Kuomintang kikachukua Nchi hapo ilibidi Baba Jackie Chan abadili jina kwa sababu ya kuficha utambulisho wake maana kulikuwa na vita kubwa baina ya vyama hivyo na baadhi ya makachero wa Kuomintang walikuwa wakikamatwa na kuuawa. Historia ya Wazazi wa Jackie Chan imeelezwa kwa urefu kwenye "Documentary" iliyoandaliwa na Jackie Chan "Traces of the Dragon: Jackie Chan and His Lost Family" (2003) "Baba alikua jasusi na Mama alikua Muuza madawa na mcheza kamari. Walikutana na wakaoana baada ya Baba yangu kumkamata Mama" "Tangu nilipokua Mdogo nilikua najua Baba yangu anafanya kazi ya upishi kwenye Ubalozi wa Marekani mpaka alipotimiza miaka 80 na akaniambia kazi yake ya kweli. Nilishtuka, nilishtuka" " Kwahiyo kuna siku moja nilikua naendesha gari nikiwa na Baba yangu ghafla, Baba akageuka na kusema: 'Jackie, Mimi ni Mzee sana na huenda nisiamke kesho. Kuna kitu lazima nikuambie, ni siri' kisha akasema: kwa kweli wewe sio Jackie Chan, jina lako unaitwa Fong.' "Nikahisi kupatwa na mshtuko, kwangu ilikua kitu cha kustaajabisha. Kwa haraka nikamuambia asiendelee kuongea nikampigia rafiki yangu ili tutengeneze documentary ya stori ya Baba yangu. Ilituchukua miaka 3 ya kumfata Baba yangu na kuongea nae kuhusu stori yote." " Nilihisi mimi ndiye Mwanae wa pekee lakini nilishtuka baada ya kujua kwamba nina ndugu zangu wanne kwa Wazazi wangu. Kaka zangu wawili, upande wa Baba na Dada zangu wawili upande wa Mama. Alilazimika kunificha yote hayo kwa sababu ya kazi yake, baba alikua jasusi. Nilivutiwa sana baada ya kujua kwamba Baba yangu alikua mpole sana. Miaka yote ile nilidhania ni Mpishi. Nimetengeneza movie kupitia hii stori." - Jackie Chan
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • Nchi ya Ufaransa imepinga vikali kauli ya Waziri wa Ulinzi wa Israel , Israel Katz, aliyedokeza uwezekano wa Israel kutwaa baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Gaza iwapo Kundi la Hamas haitowaachia huru mateka waliosalia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot, amesema kuwa Ufaransa inapinga aina yoyote ya unyakuzi wa ardhi ya Palestina, iwe Gaza au Ukingo wa Magharibi. Kauli hiyo inakuja wakati ambapo Israel imezidisha mashambulizi yake Gaza, hali iliyosababisha maelfu ya wakazi wa maeneo ya Al-Salatin, Al-Karama, na Al-Awda kusini mwa Gaza kuamriwa kuyahama makazi yao kabla ya mashambulizi mapya.

    Katika tukio jingine, Jeshi la Israel lilidungua makombora mawili yaliyofyatuliwa na Hamas kuelekea mji wa Ashkelon, ambapo Hamas ilidai kuwa shambulio hilo ni jibu kwa mashambulizi dhidi ya raia wa Gaza. Waziri wa Ulinzi wa Israel ameapa kuendeleza mashambulizi ya angani, majini, na ardhini hadi mateka wote waachiliwe na Hamas ishindwe kabisa.

    Hatua hizi za Israel zimezua ukosoaji mkubwa kimataifa. Uturuki imelaani shambulio la Israel dhidi ya hospitali iliyojengwa na nchi hiyo huko Gaza, huku Rais wa Urusi , Vladimir Putin, akielezea kusikitishwa kwake na mashambulizi hayo.

    Nchi ya Ufaransa 馃嚝馃嚪 imepinga vikali kauli ya Waziri wa Ulinzi wa Israel 馃嚠馃嚤, Israel Katz, aliyedokeza uwezekano wa Israel kutwaa baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Gaza iwapo Kundi la Hamas haitowaachia huru mateka waliosalia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot, amesema kuwa Ufaransa inapinga aina yoyote ya unyakuzi wa ardhi ya Palestina, iwe Gaza au Ukingo wa Magharibi. Kauli hiyo inakuja wakati ambapo Israel imezidisha mashambulizi yake Gaza, hali iliyosababisha maelfu ya wakazi wa maeneo ya Al-Salatin, Al-Karama, na Al-Awda kusini mwa Gaza kuamriwa kuyahama makazi yao kabla ya mashambulizi mapya. Katika tukio jingine, Jeshi la Israel lilidungua makombora mawili yaliyofyatuliwa na Hamas kuelekea mji wa Ashkelon, ambapo Hamas ilidai kuwa shambulio hilo ni jibu kwa mashambulizi dhidi ya raia wa Gaza. Waziri wa Ulinzi wa Israel ameapa kuendeleza mashambulizi ya angani, majini, na ardhini hadi mateka wote waachiliwe na Hamas ishindwe kabisa. Hatua hizi za Israel zimezua ukosoaji mkubwa kimataifa. Uturuki 馃嚬馃嚪 imelaani shambulio la Israel dhidi ya hospitali iliyojengwa na nchi hiyo huko Gaza, huku Rais wa Urusi 馃嚪馃嚭, Vladimir Putin, akielezea kusikitishwa kwake na mashambulizi hayo.
    0 Comments 0 Shares 597 Views
  • “Wazazi wangu waliniita N’golo kwa sababu ni jina la mfalme wa zamani huko Mali. Mfalme ambaye alianza kutoka chini kushinda ufalme. Nilikuwa nakusanya taka. Leo nacheza mpira na wananitazama kwenye TV. Hadithi yangu pia ni nzuri, nilianzia chini.” - N'golo Kante, Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa mwenye asili ya Mali.

    “Wazazi wangu waliniita N’golo kwa sababu ni jina la mfalme wa zamani huko Mali. Mfalme ambaye alianza kutoka chini kushinda ufalme. Nilikuwa nakusanya taka. Leo nacheza mpira na wananitazama kwenye TV. Hadithi yangu pia ni nzuri, nilianzia chini.” - N'golo Kante, Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa mwenye asili ya Mali.
    0 Comments 0 Shares 579 Views
  • "Mimi sio Mcameroon mimi ni mfaransa, wakati naanza kucheza mpira, wakati nikiwa bado sijulikani Baba yangu aliwasiliana na Fecafoot(shirikisho la mpira la Cameroon) ili wanipe nafasi ya kucheza timu ya taifa ya Cameroon, lakini waliomba kiasi kikubwa sana cha fedha kwetu ndo mimi nipate nafasi ya kucheza"

    "Baba yangu alichukizwa na huo mtazamo wao akaamua kwenda kuomba Ufaransa, Ufaransa walinipa nafasi ili niionyeshe dunia ni kipi nilichonacho, leo hii nimekua mchezaji ghali duniani ndipo Cameroon wananiita na kunisifia kwa uraia usio wakwangu, mimi ni mfaransa na nitabaki kuwa Mfaransa" - Kilyan Mbappé, Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Real Madrid.

    "Mimi sio Mcameroon mimi ni mfaransa, wakati naanza kucheza mpira, wakati nikiwa bado sijulikani Baba yangu aliwasiliana na Fecafoot(shirikisho la mpira la Cameroon) ili wanipe nafasi ya kucheza timu ya taifa ya Cameroon, lakini waliomba kiasi kikubwa sana cha fedha kwetu ndo mimi nipate nafasi ya kucheza" "Baba yangu alichukizwa na huo mtazamo wao akaamua kwenda kuomba Ufaransa, Ufaransa walinipa nafasi ili niionyeshe dunia ni kipi nilichonacho, leo hii nimekua mchezaji ghali duniani ndipo Cameroon wananiita na kunisifia kwa uraia usio wakwangu, mimi ni mfaransa na nitabaki kuwa Mfaransa" - Kilyan Mbappé, Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Real Madrid.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 683 Views
  • "Wakati anachukua madaraka mwamba Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso alichagua kuwa upande wa Urusi na kumtosa mfaransa, wakati huo waasi walikuwa wamechukua sehemu fulani ya ya nchi, faida ya Traore kuchagua upande wa mashariki ambao ni Urusi tunaiona hadi leo, nchi yake imetulia kwa kiasi kikubwa, waasi wanakiona cha moto, Urusi kupitia Wagner wameamua kuilinda mazima Burkina faso, mwisho wa siku Traore anaonekana kama shujaa wa nchi yake na Afrika kwa ujumla

    Somo kwa Rais Tshisekedi chagua upande acha kuwa vuguvugu hii haitosaidia Congo, hata vikao vya AU, SADC, NA EAC, havijasaidia chochote Congo, chagua upande papa Tshisekedi ili Congo ilindwe na waasi wapate upinzani , coz jeshi la Congo ni dhaifu mnoo halina hata uwezo nusu wa kukabiliana na waasi,chagua upande uikomboe Congo yako

    Changamoto kubwa Rais Tshisekedi na ufaransa ni pete na kidole na hakuna ubaya kwenye hilo lakini swali kubwa urafiki wa Congo na nchi za magharibi kama Ufaransa umeisadia vipi Congo tena dhidi ya waasi kama M23 ?

    Chagua upande Tshisekedi hakuna namna!! Vinginevyo wanakuchezea too bad" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.

    "Wakati anachukua madaraka mwamba Ibrahim Traore Rais wa Burkina Faso馃嚙馃嚝 alichagua kuwa upande wa Urusi na kumtosa mfaransa, wakati huo waasi walikuwa wamechukua sehemu fulani ya ya nchi, faida ya Traore kuchagua upande wa mashariki ambao ni Urusi tunaiona hadi leo, nchi yake imetulia kwa kiasi kikubwa, waasi wanakiona cha moto, Urusi kupitia Wagner wameamua kuilinda mazima Burkina faso馃嚙馃嚝, mwisho wa siku Traore anaonekana kama shujaa wa nchi yake na Afrika kwa ujumla Somo kwa Rais Tshisekedi chagua upande acha kuwa vuguvugu hii haitosaidia Congo, hata vikao vya AU, SADC, NA EAC, havijasaidia chochote Congo, chagua upande papa Tshisekedi ili Congo ilindwe na waasi wapate upinzani , coz jeshi la Congo ni dhaifu mnoo halina hata uwezo nusu wa kukabiliana na waasi,chagua upande uikomboe Congo yako Changamoto kubwa Rais Tshisekedi na ufaransa ni pete na kidole na hakuna ubaya kwenye hilo lakini swali kubwa urafiki wa Congo na nchi za magharibi kama Ufaransa umeisadia vipi Congo tena dhidi ya waasi kama M23 ? Chagua upande Tshisekedi hakuna namna!! Vinginevyo wanakuchezea too bad" - Zungu, Mtangazaji na Mchambuzi wa Siasa.
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 922 Views
  • #SportsElite TETESIArsenal, Chelsea na Liverpool wanavutiwa na mlinzi wa Bournemouth mwenye umri wa chini ya miaka 21 Dean Huijsen, ambaye ana kipengele cha kuachiliwa kwa pauni milioni 55 katika mkataba wake. (TBR Football),

    Liverpool wana nia ya kumsajili winga wa England chini ya miaka 21 mzaliwa wa Ufaransa Mohamed-Ali Cho, 21, kutoka Nice. (TeamTalks)

    Chelsea wanaandaa dau la pauni milioni 58.3 (euro milioni 70) msimu ujao kwa ajili ya beki wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 21 Pablo Barrios. (Fichajes)

    Klabu ya Saudi Pro-League Al-Nassr ilikaribia sana kufikia makubaliano ya mshambuliaji wa Uruguay Darwin Nunez kutoka Liverpool mnamo Januari kabla ya Reds kukataa mpango wa mchezaji huyo wa miaka 25. (Givemesport),
    #SportsElite TETESI馃審Arsenal, Chelsea na Liverpool wanavutiwa na mlinzi wa Bournemouth mwenye umri wa chini ya miaka 21 Dean Huijsen, ambaye ana kipengele cha kuachiliwa kwa pauni milioni 55 katika mkataba wake. (TBR Football), Liverpool wana nia ya kumsajili winga wa England chini ya miaka 21 mzaliwa wa Ufaransa Mohamed-Ali Cho, 21, kutoka Nice. (TeamTalks) Chelsea wanaandaa dau la pauni milioni 58.3 (euro milioni 70) msimu ujao kwa ajili ya beki wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 21 Pablo Barrios. (Fichajes) Klabu ya Saudi Pro-League Al-Nassr ilikaribia sana kufikia makubaliano ya mshambuliaji wa Uruguay Darwin Nunez kutoka Liverpool mnamo Januari kabla ya Reds kukataa mpango wa mchezaji huyo wa miaka 25. (Givemesport),
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • Kwa mujibu wa The Citizens, zaidi ya kampuni tano (5) za kigeni kutoka Nchini Ufaransa na Misri pamoja na Wawekezaji wa ndani ya Tanzania , wameonyesha nia ya kuwekeza katika usafirishaji wa nyaya yaani "cable" kwa lugha ya Kiingereza. Ili kufanikisha hilo sasa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) inakamilisha Kanuni za Usafiri wa Waya za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za Mwaka, 2024 katika ngazi ya Serikali.

    Kanuni zingine zinazoendelea zinazopendekezwa ni pamoja na Kanuni za LATRA (Utoaji Leseni kwa Waendeshaji Reli) 2024 na Kanuni ya Utoaji Leseni ya Usafiri (Leseni ya Kipekee ya Usafiri wa Umma), 2024. Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa LATRA, Salum Pazzy ameiambia The Citizen kwamba kampuni mbili kutoka Ufaransa na moja kutoka Misri zimejitokeza zikisubiri idhini ya kuwekeza katika sekta hiyo.

    Kampuni hizi zimewasilisha mapendekezo yao na yanasubiri kuidhinishwa kwa kanuni ili kujihakikishia mazingira mazuri kwani usafiri wa waya unaonekana kuwa fursa kubwa ya kiuwekezaji.

    Kwa mujibu wa The Citizens, zaidi ya kampuni tano (5) za kigeni kutoka Nchini Ufaransa 馃嚝馃嚪 na Misri 馃嚜馃嚞 pamoja na Wawekezaji wa ndani ya Tanzania 馃嚬馃嚳, wameonyesha nia ya kuwekeza katika usafirishaji wa nyaya yaani "cable" kwa lugha ya Kiingereza. Ili kufanikisha hilo sasa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) inakamilisha Kanuni za Usafiri wa Waya za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za Mwaka, 2024 katika ngazi ya Serikali. Kanuni zingine zinazoendelea zinazopendekezwa ni pamoja na Kanuni za LATRA (Utoaji Leseni kwa Waendeshaji Reli) 2024 na Kanuni ya Utoaji Leseni ya Usafiri (Leseni ya Kipekee ya Usafiri wa Umma), 2024. Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa LATRA, Salum Pazzy ameiambia The Citizen kwamba kampuni mbili kutoka Ufaransa na moja kutoka Misri zimejitokeza zikisubiri idhini ya kuwekeza katika sekta hiyo. Kampuni hizi zimewasilisha mapendekezo yao na yanasubiri kuidhinishwa kwa kanuni ili kujihakikishia mazingira mazuri kwani usafiri wa waya unaonekana kuwa fursa kubwa ya kiuwekezaji.
    Like
    Love
    2
    0 Comments 0 Shares 620 Views
  • Kwa sasa, hakuna klabu yoyote iliyojaribu kumchukua Paul Pogba! . Mchezaji huyo bado anamatumaini kurudi katika Timu ya Taifa ya Ufaransa na yuko tayari kusubiri hadi majira ya kiangazi akingojea ofa kutoka kwa klabu za Ulaya.

    Ikumbukwe kwamba adhabu yake ya kusimamishwa kwa sababu ya matumizi ya madawa ya kulevya itamalizika tarehe 11 Machi.

    Kwa sasa, hakuna klabu yoyote iliyojaribu kumchukua Paul Pogba! 馃嚝馃嚪. Mchezaji huyo bado anamatumaini kurudi katika Timu ya Taifa ya Ufaransa na yuko tayari kusubiri hadi majira ya kiangazi akingojea ofa kutoka kwa klabu za Ulaya. Ikumbukwe kwamba adhabu yake ya kusimamishwa kwa sababu ya matumizi ya madawa ya kulevya itamalizika tarehe 11 Machi.
    0 Comments 0 Shares 617 Views
  • Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo imeziandikia klabu za mpira wa miguu barani Ulaya zinazoingia mikataba ya ufadhili kutoka Serikali ya Rwanda kutopokea, "Fedha zinazotokana na umwagikaji wa damu", unaoendelea mashariki mwa DR Congo.

    Kwa mujibu Waziri wa mambo ya kigeni Nchini DR Congo, Therese Kayikwamba Wagner ameziandikia klabu za Arsenal FC ya England , Paris Sint-Germaine ya Ufaransa na FC Bayern München ya Ujerumani kusitisha ushirikiano wao wa ufadhili wa mauzo chini ya mpango wa "Visit Rwanda" wakidai kwamba idadi kubwa ya Wanajeshi wa Rwanda wanapigana na Jeshi la FARDC huko Mjini Goma wakisaidiana na kundi la Waasi la M23.

    Kwenye barua hiyo kwa klabu ya Arsenal FC, Waziri Wagner amesema kwamba, Rwanda inastahili kulaumiwa kwa hatua zake ndani ya DR Congo kwani Umoja wa mataifa umeripoti kwamba kikosi cha Wanajeshi 4,000 kutoka Rwanda kiko ndani ya DR Congo na kinashikriki kwenye vita vinavyoendelea Nchini humo.

    Sanjari na klabu hizo kusubiriwa kufanya uamuzi kuhusu ombi hilo la DR Congo na shutuma dhidi ya Rwanda, DR Congo imeendelea kuwasilisha hoja yao ya hali mbaya inayoshuhudiwa mashariki mwa nchi hiyo.

    Waziri Wagner ameiambia klabu ya Arsenal kwamba, "maelfu ya Watu wamekwama Jijini Goma, ambapo hakuna njia ya kuingiza chakula, huku huduma za kusambaza maji na umeme zikiwa zimekatizwa. Hakuna usalama, Watu wameuawa na wizi unakithiri Mjini humo. Mfadhili wenu anahusika moja kwa moja kwa mahangaiko haya ya wengi"

    Barua hiyo inaangazia mpango wa, "Visit Rwanda" unafadhiliwa moja kwa moja na uchimbaji madini haramu unaoendelea katika maeneo kadhaa yaliyokaliwa mashariki mwa DR Congo na kuvukishwa mpaka hadi Rwanda ambayo inasafirisha ughaibuni kama madini yake asilii.

    Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo 馃嚚馃嚛 imeziandikia klabu za mpira wa miguu barani Ulaya zinazoingia mikataba ya ufadhili kutoka Serikali ya Rwanda 馃嚪馃嚰 kutopokea, "Fedha zinazotokana na umwagikaji wa damu", unaoendelea mashariki mwa DR Congo. Kwa mujibu Waziri wa mambo ya kigeni Nchini DR Congo, Therese Kayikwamba Wagner ameziandikia klabu za Arsenal FC ya England 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩, Paris Sint-Germaine ya Ufaransa 馃嚝馃嚪 na FC Bayern München ya Ujerumani 馃嚛馃嚜 kusitisha ushirikiano wao wa ufadhili wa mauzo chini ya mpango wa "Visit Rwanda" wakidai kwamba idadi kubwa ya Wanajeshi wa Rwanda wanapigana na Jeshi la FARDC huko Mjini Goma wakisaidiana na kundi la Waasi la M23. Kwenye barua hiyo kwa klabu ya Arsenal FC, Waziri Wagner amesema kwamba, Rwanda inastahili kulaumiwa kwa hatua zake ndani ya DR Congo kwani Umoja wa mataifa umeripoti kwamba kikosi cha Wanajeshi 4,000 kutoka Rwanda kiko ndani ya DR Congo na kinashikriki kwenye vita vinavyoendelea Nchini humo. Sanjari na klabu hizo kusubiriwa kufanya uamuzi kuhusu ombi hilo la DR Congo na shutuma dhidi ya Rwanda, DR Congo imeendelea kuwasilisha hoja yao ya hali mbaya inayoshuhudiwa mashariki mwa nchi hiyo. Waziri Wagner ameiambia klabu ya Arsenal kwamba, "maelfu ya Watu wamekwama Jijini Goma, ambapo hakuna njia ya kuingiza chakula, huku huduma za kusambaza maji na umeme zikiwa zimekatizwa. Hakuna usalama, Watu wameuawa na wizi unakithiri Mjini humo. Mfadhili wenu anahusika moja kwa moja kwa mahangaiko haya ya wengi" Barua hiyo inaangazia mpango wa, "Visit Rwanda" unafadhiliwa moja kwa moja na uchimbaji madini haramu unaoendelea katika maeneo kadhaa yaliyokaliwa mashariki mwa DR Congo na kuvukishwa mpaka hadi Rwanda ambayo inasafirisha ughaibuni kama madini yake asilii.
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 924 Views
More Results