Обновить до Про

  • .WEWE UNAYEJISAHAU!
    Naomba Nikukumbushe!

    Umepata Maisha !
    Umejipata Sio!
    Unajiweza sana Ndugu!

    Acha Madharau Kwa Wengine!
    Acha kuwapuuza Watu Acha kufunga tinted kwa watu Mliofahamiana nao Kabla ya Hali yako ya Sasa!
    Unapigiwa Simu Hupokei!
    Unawapita Watu bila Salamu!
    Uko bize!
    Kila atakaye kusalimu unahisi anataka kukuomba! Au ana shida !
    Unaanza kukunja uso na kuweka Userious ili kujenga Mazingira ya kutokaribiwa!
    Unachagua Kushiriki Matukio ya Watu kwa Kuangalia Hali zao!

    Wewe ni Tajiri sio!
    Wewe una Mamlaka Sio!
    Wewe ni Maarufu sio!

    Nisikilize Ndugu yangu huenda Ukabadilika!

    Kwenye Maisha hakuna aliyefanikiwa bila ya Mkono wa Mtu( Ukiachana na Kudra za Mwenyezi Mungu).

    Sote tuna historia huko nyuma juu fulani na namna alivyotenda wema kwako na huwa unaukumbuka msaada wake!
    Ingawa wako pia wasiokumbuka mema ya waliowasaidia!
    Lakini kama Ulisaidika kwanini unafunga Milango kwa wengine?

    Sasa hawa unaowadharau na kuwaona sio katika hadhi yako huenda pia wengine dua zao huko nyuma zilikuwa msaada kwako!
    Hakuna mwanadamu asiye na maana, kila mwanadamu ana nafasi yake katika dunia hii ! Hivyo kumdharau mtu bila kosa yoyote kisa tu ana hali duni ! Kisa hana uwezo ulio nao wewe! Hilo ni kosa kubwa!
    Wako Watu wanaoharibikiwa kisa ni Kiburi cha Kuona wana mafanikio!
    Wako watu Walionguka na kuwa madhalili sababu ya kuwadharau viumbe wa mungu!

    Unaweza Ukawa na Kila Kitu Cheo , Mali, Umaaarufu , Afya Njema n.k, lakini ukakosa furaha kabisa, kila mara unajiona huna amani, unaishi kwa hofu , unaogopa kukutana na watu!

    Fahamu ya kuwa wewe unapitia magumu hayo sababu una Kiburi cha Mafanikio na Mungu akaamua akunyang’anye amani ya nafsi! Akaamua akupe Mali akupe vyote lakini ukose kufaidi kwa raha!
    Tabia na Matendo mabaya ya Mtu humfanya mungu abadilishe ile neema aliyokupa kuwa adhabu!

    Kwanini hupokei simu ya wenzako ! Unaogopa kuombwa! Unaogopa wanaokuzunguka watakuona mshamba ? Hao unaowaona ni level yako umewahi kujiuliza wanakuthamini kwa lipi? Je? Wanakuthamini sababu ni binadamu kama wao au kwasababu ya kile unachomiliki!
    Ukigundua sasa weka fikra zako je kitu hicho kikiondoka utakuwa mgeni wa nani?

    Acha Kuiigiza maisha baki katika Uhalisia wako, Usikubali Mazingira Yakubadilishe bali wewe yabadilishe mazingira!

    Salimia watu ! Pokea Simu zao, kumbuka ulipotoka fahamu ya kuwa unaweza kurudi kama zamani ! Wewe sio kwanza kuwa hivyo! Ongea na watu Lugha nzuri hata iwe kweli kuwa anataka kukuomba na hutaki kutoa tafuta njia ya kiistarabu kumkwepa ili hata kama amekosa alichojia basi abaki na tabasamu!

    Watu wengi wanapenda kuheshimika bila kujali hali zao! Heshima ya Mtu ni kitu kikubwa sana! Na haipaswi kuvunjwa kwa namna yoyote ile!

    Ofisi ya Uma ! Nafasi za kuchaguliwa zina mwisho! Watu wengi hustaafu kisha hushindwa kurudi walikotoka, hujikuta wanaishia kuishi ugenini! Ukichunguza utakuta wengi wao sababu kuu ni kwamba hawakuwapa heshima iliyostahili wale waliowaacha huko makwao!hawakuwathamini, waliwadharau!

    Nakukumbusha Acha Kiburi, Acha Madharau! Acha Kujiona Umefika! Acha kuhisi kuwa hakuna wa kukueleza kitu!

    Hii Dunia iliumbwa ili sote tufurahie Maisha! Hao unaowakimbia kwa hofu ya kuwa watataka kitu kwako ! Kumbe na wao wala hata hawana habari na hicho unachodhani wanatufa tu furaha ya dunia! Na wengine Wanaangalia tu Sarakasi na Maigizo yako!

    Watu wengi wenye tabia ya aina hiii ni washamba wa maisha! Wengi Wamekutana Fedha za ghafla Ukubwani! Hivyo kinachowasumbua ni Ushamba wa Maisha!
    Kama gari uliizizoea kuziona toka zamani sidhani kama zitakupa kiherehere sasa ,eti mpaka Uwapite Watu bila ya Salamu!

    Juzi ulikuwa unasota na wenzako Kwenye Magheto au kwenye Nyumba za Kupanga! Eti Leo Umejenga yako basi unawaona wote wasio na nyumba wajinga wala hawana cha kukushauri katika Maisha!

    Eti Umepenya umekuwa Mbunge , Diwani , RC, DC , Waziri basi wengine wote hawawezi kukuambia kitu ! Wewe ndiye Mwenye kauli ya mwisho mjini hamna wa kukushauri iwe ni kwenye Familia au Mitaani! Wewe ndiye alfa na Omega!
    Huo ni Ushamba wa Madaraka Ndugu! Vyeo hivi huja na kuondoka! Na wewe sio wa kwanza kupata na kuikosa ! Kwanini Uvimbe Kichwa! Kwanini Uwadharau watu!

    Ishi Ukifahamu Ya Kuwa Cheo Chako , Mali yako ni Kwa Manufaa yako!
    Hakuna Mtu mwenye akili timamu atayejisifu au kuishi kwa kutegemea vitu vya mtu mwingine!

    Wanachohitaji watu kutoka kwako ni Heshima tu!

    Acha hizo Ndugu yangu ! !!
    .WEWE UNAYEJISAHAU! Naomba Nikukumbushe! Umepata Maisha ! Umejipata Sio! Unajiweza sana Ndugu! Acha Madharau Kwa Wengine! Acha kuwapuuza Watu Acha kufunga tinted kwa watu Mliofahamiana nao Kabla ya Hali yako ya Sasa! Unapigiwa Simu Hupokei! Unawapita Watu bila Salamu! Uko bize! Kila atakaye kusalimu unahisi anataka kukuomba! Au ana shida ! Unaanza kukunja uso na kuweka Userious ili kujenga Mazingira ya kutokaribiwa! Unachagua Kushiriki Matukio ya Watu kwa Kuangalia Hali zao! Wewe ni Tajiri sio! Wewe una Mamlaka Sio! Wewe ni Maarufu sio! Nisikilize Ndugu yangu huenda Ukabadilika! Kwenye Maisha hakuna aliyefanikiwa bila ya Mkono wa Mtu( Ukiachana na Kudra za Mwenyezi Mungu). Sote tuna historia huko nyuma juu fulani na namna alivyotenda wema kwako na huwa unaukumbuka msaada wake! Ingawa wako pia wasiokumbuka mema ya waliowasaidia! Lakini kama Ulisaidika kwanini unafunga Milango kwa wengine? Sasa hawa unaowadharau na kuwaona sio katika hadhi yako huenda pia wengine dua zao huko nyuma zilikuwa msaada kwako! Hakuna mwanadamu asiye na maana, kila mwanadamu ana nafasi yake katika dunia hii ! Hivyo kumdharau mtu bila kosa yoyote kisa tu ana hali duni ! Kisa hana uwezo ulio nao wewe! Hilo ni kosa kubwa! Wako Watu wanaoharibikiwa kisa ni Kiburi cha Kuona wana mafanikio! Wako watu Walionguka na kuwa madhalili sababu ya kuwadharau viumbe wa mungu! Unaweza Ukawa na Kila Kitu Cheo , Mali, Umaaarufu , Afya Njema n.k, lakini ukakosa furaha kabisa, kila mara unajiona huna amani, unaishi kwa hofu , unaogopa kukutana na watu! Fahamu ya kuwa wewe unapitia magumu hayo sababu una Kiburi cha Mafanikio na Mungu akaamua akunyang’anye amani ya nafsi! Akaamua akupe Mali akupe vyote lakini ukose kufaidi kwa raha! Tabia na Matendo mabaya ya Mtu humfanya mungu abadilishe ile neema aliyokupa kuwa adhabu! Kwanini hupokei simu ya wenzako ! Unaogopa kuombwa! Unaogopa wanaokuzunguka watakuona mshamba ? Hao unaowaona ni level yako umewahi kujiuliza wanakuthamini kwa lipi? Je? Wanakuthamini sababu ni binadamu kama wao au kwasababu ya kile unachomiliki! Ukigundua sasa weka fikra zako je kitu hicho kikiondoka utakuwa mgeni wa nani? Acha Kuiigiza maisha baki katika Uhalisia wako, Usikubali Mazingira Yakubadilishe bali wewe yabadilishe mazingira! Salimia watu ! Pokea Simu zao, kumbuka ulipotoka fahamu ya kuwa unaweza kurudi kama zamani ! Wewe sio kwanza kuwa hivyo! Ongea na watu Lugha nzuri hata iwe kweli kuwa anataka kukuomba na hutaki kutoa tafuta njia ya kiistarabu kumkwepa ili hata kama amekosa alichojia basi abaki na tabasamu! Watu wengi wanapenda kuheshimika bila kujali hali zao! Heshima ya Mtu ni kitu kikubwa sana! Na haipaswi kuvunjwa kwa namna yoyote ile! Ofisi ya Uma ! Nafasi za kuchaguliwa zina mwisho! Watu wengi hustaafu kisha hushindwa kurudi walikotoka, hujikuta wanaishia kuishi ugenini! Ukichunguza utakuta wengi wao sababu kuu ni kwamba hawakuwapa heshima iliyostahili wale waliowaacha huko makwao!hawakuwathamini, waliwadharau! Nakukumbusha Acha Kiburi, Acha Madharau! Acha Kujiona Umefika! Acha kuhisi kuwa hakuna wa kukueleza kitu! Hii Dunia iliumbwa ili sote tufurahie Maisha! Hao unaowakimbia kwa hofu ya kuwa watataka kitu kwako ! Kumbe na wao wala hata hawana habari na hicho unachodhani wanatufa tu furaha ya dunia! Na wengine Wanaangalia tu Sarakasi na Maigizo yako! Watu wengi wenye tabia ya aina hiii ni washamba wa maisha! Wengi Wamekutana Fedha za ghafla Ukubwani! Hivyo kinachowasumbua ni Ushamba wa Maisha! Kama gari uliizizoea kuziona toka zamani sidhani kama zitakupa kiherehere sasa ,eti mpaka Uwapite Watu bila ya Salamu! Juzi ulikuwa unasota na wenzako Kwenye Magheto au kwenye Nyumba za Kupanga! Eti Leo Umejenga yako basi unawaona wote wasio na nyumba wajinga wala hawana cha kukushauri katika Maisha! Eti Umepenya umekuwa Mbunge , Diwani , RC, DC , Waziri basi wengine wote hawawezi kukuambia kitu ! Wewe ndiye Mwenye kauli ya mwisho mjini hamna wa kukushauri iwe ni kwenye Familia au Mitaani! Wewe ndiye alfa na Omega! Huo ni Ushamba wa Madaraka Ndugu! Vyeo hivi huja na kuondoka! Na wewe sio wa kwanza kupata na kuikosa ! Kwanini Uvimbe Kichwa! Kwanini Uwadharau watu! Ishi Ukifahamu Ya Kuwa Cheo Chako , Mali yako ni Kwa Manufaa yako! Hakuna Mtu mwenye akili timamu atayejisifu au kuishi kwa kutegemea vitu vya mtu mwingine! Wanachohitaji watu kutoka kwako ni Heshima tu! Acha hizo Ndugu yangu ! !!
    Like
    Love
    2
    ·654 Просмотры
  • " Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi ya 10 mapya hiyo inaweza kuwa faida kwao lakini pia kwakuwa nao hawajawahi kutuona pia ni faida kwetu kwakuwa hawajui ni namna gani tutaingia kwenye mchezo hivyo utakuwa mcheo wa wazi. "

    David Fadlu, Kocha Simba SC kuelekea mchezo vs Yanga.
    " Hakuna utofauti mkubwa wa ubora wa wachezaji baina ya Simba na Yanga lakini utofauti uliopo tu ni kwamba wao wamekaa muda mrefu na sisi tunamaingizo zaidi ya 10 mapya hiyo inaweza kuwa faida kwao lakini pia kwakuwa nao hawajawahi kutuona pia ni faida kwetu kwakuwa hawajui ni namna gani tutaingia kwenye mchezo hivyo utakuwa mcheo wa wazi. " David Fadlu, Kocha Simba SC kuelekea mchezo vs Yanga.
    Like
    2
    ·193 Просмотры
  • Am back again mwandamizi mfuwadhi wa tungo #salaries
    Michoro black combain kwa miluzi hii its not rap #siries
    ben wa michoro na tungo za kiimani Fanya moyo mnyofu taamka #kinywani
    Hichi kidonge cha mpenda rap kwenye map utusue #hewani
    Hip hop sio maji beba peleka bafuni lazma uumize kichwa kama umeng'atwa #kunguni
    Mwenda wa zimu aliechanganyikiwa kwa virusi vya #hip hop
    Natema ngumu kwenye beat napachika #mnofu
    Wananiita teacher ingawa me lecture wa #chuo
    All Mcz nawapa rhymes kwa mgao ili mnipe #cheo
    Ata Siku nikifa tungo zangu mtatumia kama #kombeo
    Paroko damu yangu ulimwengu umejaa #majungu
    Mcz na marapa bifu za kijinga tuzitupe kwenye #uvungu
    Vina kalandika pamoja toka ujana mpaka tuna #pinda
    Am back again mwandamizi mfuwadhi wa tungo #salaries Michoro black combain kwa miluzi hii its not rap #siries ben wa michoro na tungo za kiimani Fanya moyo mnyofu taamka #kinywani Hichi kidonge cha mpenda rap kwenye map utusue #hewani Hip hop sio maji beba peleka bafuni lazma uumize kichwa kama umeng'atwa #kunguni Mwenda wa zimu aliechanganyikiwa kwa virusi vya #hip hop Natema ngumu kwenye beat napachika #mnofu Wananiita teacher ingawa me lecture wa #chuo All Mcz nawapa rhymes kwa mgao ili mnipe #cheo Ata Siku nikifa tungo zangu mtatumia kama #kombeo Paroko damu yangu ulimwengu umejaa #majungu Mcz na marapa bifu za kijinga tuzitupe kwenye #uvungu Vina kalandika pamoja toka ujana mpaka tuna #pinda
    Like
    1
    ·1Кб Просмотры
  • Baba nioneshe Njia, Mama Niombee Kwa Mungu!!
    Ili Nisipoteze Nia, Kwa Hivi Vitu Vya Mzungu!!
    Dunia Tambara, Bovu!!
    Tunatoana Kafara, Nakuendekeza Maovu!!
    Hii Ni Vita Mgambo huna Cheo!!
    Risas zinazomiminika Huwez Ona Upeo!!
    Namilik silaha nch sita Naua mpk wakuu hua Sina Upendeleo!!!
    Baba nioneshe Njia, Mama Niombee Kwa Mungu!! Ili Nisipoteze Nia, Kwa Hivi Vitu Vya Mzungu!! Dunia Tambara, Bovu!! Tunatoana Kafara, Nakuendekeza Maovu!! Hii Ni Vita Mgambo huna Cheo!! Risas zinazomiminika Huwez Ona Upeo!! Namilik silaha nch sita Naua mpk wakuu hua Sina Upendeleo!!!
    ·163 Просмотры
  • Dunia ya leo
    marafiki ndyo vichocheo.
    Dunia ya leo marafiki ndyo vichocheo.
    Like
    1
    ·166 Просмотры
  • Kuna maisha baada ya cheo
    Kuna maisha baada ya cheo
    Like
    3
    ·150 Просмотры
  • USHAURI KWA WATU WOTE WALIOAJIRIWA:

    1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati mzuri ktk nyumba yako mwenyewe.

    2. Nenda nyumbani. Usiishie kazini mwaka mzima. Wewe si nguzo ya idara yako. Ikiwa utakufa leo, nafasi yako atapewa mwingine bila kuchelewa na shughuli zitaendelea kama kawaida. Ifanye familia yako kuwa kipaumbele.

    3. Usifukuzie kupandishwa cheo. Boresha ujuzi wako na uwe bora katika kile unachokifanya. Ikiwa wanataka kukupandisha ni sawa ikiwa hawatafanya hivyo sawa tu, wewe zingatia maendeleo yako binafsi.

    4. Epuka porojo za ofisini au kazini. Epuka mambo yanayochafua jina au sifa yako. Usijiunge na genge la kejeli kwa wakuu wako na wenzako. Kaa mbali na mikusanyiko hasi ambayo ajenda yao ni kujadili watu tu.

    5. Kamwe usishindane na mabosi zako. Utachoma vidole vyako wala usishindane na wafanyakazi wenzako, utakaanga ubongo wako.

    6. Hakikisha una biashara ya kando. Mshahara wako hautakidhi mahitaji yako kwa muda mrefu.

    7. Okoa pesa. ruhusu ikatwe moja kwa moja kwenye payslip yako.

    8. Kopa mkopo kuwekeza katika biashara au kubadilisha mazingira ya kipato siyo kwa ajili ya kutumia ktk mambo ya anasa. Tumia faida kufanya starehe zako.

    9. Hebu fanya maisha yako ya ndoa na familia kuwa ya faragha(siri). Waache wanafamilia wakae mbali na masuala yako ya kazi. Hii ni muhimu sana.

    10. Uwe mwaminifu kwako mwenyewe na uamini katika kazi yako. Kukaa karibu sana na bosi wako kutakufitinisha na wenzako na bosi wako hatimaye anaweza kukustukia na kukutenga.

    11. Jitahidi kustaafu mapema. Njia bora ya kupanga kuondoka kwako ilikuwa wakati ulipokea barua ya ajira. Wakati mwingine mzuri ni leo. Ktk umri wa miaka 40 hadi 50 uwe umestaafu.

    12. Jiunge na Taasisi ya Ustawi wa kazi na uwe mwanachama hai kila wakati. Itakusaidia sana wakati tukio lolote litatokea.

    13.Siku za likizo zitumie kwa kuendeleza nyumba au miradi ya siku zijazo, kwa kawaida unachofanya wakati wa siku za likizo ya mwaka huakisi jinsi utakavyoishi baada ya kustaafu. Hii ina maana kuwa kama utatumia muda huo kukaa kizembe kama vile kushinda unatazama tamthilia ktk TV yaani rimoti haitoki mikononi basi usitegemee chochote cha tofauti baada ya kustaafu.

    14. Anzisha mradi ukiwa bado unahudumu au unafanya kazi. Hebu mradi wako ufanyike ukiwa kazini na ikiwa haufanyi vizuri, anza mwingine hadi ufanye vizuri kabisa. Wakati mradi wako unaendelea vizuri basi staafu ili kusimamia biashara zako. Watu wengi au wastaafu wanashindwa maisha kwa sababu wanastaafu kuanzisha mradi badala ya kustaafu kuendesha mradi.

    15. Pesa ya pensheni si kwa ajili ya kuanzisha mradi au kununua shamba au kujenga nyumba bali ni fedha kwa ajili ya kukutunza au kujitunza katika afya njema. Pesa ya pensheni si ya kulipia karo ya shule au kuoa mke mdogo bali ni kujiangalia wewe mwenyewe na maisha yako ya uzeeni.

    16. Kila wakati ukumbuke kuwa, unapostaafu hutakiwi kuwa mfano wa kuishi maisha duni baada ya kustaafu bali uwe mfano wa kuigwa na wenzako kufikiria kustaafu pia.

    17. Usistaafu kwa sababu tu umezeeka au sasa wewe ni mzigo kwa kampuni na unasubiri siku yako ya kufa. Staafu ukiwa bado kijana au ukiwa bado una nguvu za kufurahia kuamka kwa kikombe cha kahawa, kufurahia jua, kupokea pesa kutoka kwa biashara yako, tembelea sehemu nzuri ambayo umeikumbuka na kutumia wakati mzuri na familia. Wale wanaostaafu wakiwa wamechelewa, hutumia takriban 95% ya muda wao kazini kuliko kuwa na familia zao na ndiyo maana wanaona ni vigumu kukaa na familia zao wanapostaafu lakini wanaishia kutafuta kazi nyingine hadi wanakufa. Wasipopata kazi nyingine, wanakufa mapema.

    18. Staafu ukiwa nyumbani kwako kuliko katika makazi ya serikali ili unapostaafu uweze kufaa katika jamii iliyokulea. Si rahisi kuzoea kuishi katika eneo baada ya kukaa kwa miaka mingi kwenye nyumba ya kampuni au katika nyumba ya serikali.

    19. Usiruhusu kamwe faida za ajira yako zikufanye usahau kuhusu kustaafu kwako. Manufaa ya ajira yanakusudiwa tu kukufanya uwe na utulivu, ujichokee wakati muda unasonga. Kumbuka ukistaafu hakuna mtu atakayekuita bosi ikiwa huna biashara inayoweza kukutegemeza.

    20. Usichukie kustaafu maana lazima ipo siku utastaafu tu ama kwa hiari au kwa kutopenda.

    USHAURI KWA WATU WOTE WALIOAJIRIWA: 1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati mzuri ktk nyumba yako mwenyewe. 2. Nenda nyumbani. Usiishie kazini mwaka mzima. Wewe si nguzo ya idara yako. Ikiwa utakufa leo, nafasi yako atapewa mwingine bila kuchelewa na shughuli zitaendelea kama kawaida. Ifanye familia yako kuwa kipaumbele. 3. Usifukuzie kupandishwa cheo. Boresha ujuzi wako na uwe bora katika kile unachokifanya. Ikiwa wanataka kukupandisha ni sawa ikiwa hawatafanya hivyo sawa tu, wewe zingatia maendeleo yako binafsi. 4. Epuka porojo za ofisini au kazini. Epuka mambo yanayochafua jina au sifa yako. Usijiunge na genge la kejeli kwa wakuu wako na wenzako. Kaa mbali na mikusanyiko hasi ambayo ajenda yao ni kujadili watu tu. 5. Kamwe usishindane na mabosi zako. Utachoma vidole vyako wala usishindane na wafanyakazi wenzako, utakaanga ubongo wako. 6. Hakikisha una biashara ya kando. Mshahara wako hautakidhi mahitaji yako kwa muda mrefu. 7. Okoa pesa. ruhusu ikatwe moja kwa moja kwenye payslip yako. 8. Kopa mkopo kuwekeza katika biashara au kubadilisha mazingira ya kipato siyo kwa ajili ya kutumia ktk mambo ya anasa. Tumia faida kufanya starehe zako. 9. Hebu fanya maisha yako ya ndoa na familia kuwa ya faragha(siri). Waache wanafamilia wakae mbali na masuala yako ya kazi. Hii ni muhimu sana. 10. Uwe mwaminifu kwako mwenyewe na uamini katika kazi yako. Kukaa karibu sana na bosi wako kutakufitinisha na wenzako na bosi wako hatimaye anaweza kukustukia na kukutenga. 11. Jitahidi kustaafu mapema. Njia bora ya kupanga kuondoka kwako ilikuwa wakati ulipokea barua ya ajira. Wakati mwingine mzuri ni leo. Ktk umri wa miaka 40 hadi 50 uwe umestaafu. 12. Jiunge na Taasisi ya Ustawi wa kazi na uwe mwanachama hai kila wakati. Itakusaidia sana wakati tukio lolote litatokea. 13.Siku za likizo zitumie kwa kuendeleza nyumba au miradi ya siku zijazo, kwa kawaida unachofanya wakati wa siku za likizo ya mwaka huakisi jinsi utakavyoishi baada ya kustaafu. Hii ina maana kuwa kama utatumia muda huo kukaa kizembe kama vile kushinda unatazama tamthilia ktk TV yaani rimoti haitoki mikononi basi usitegemee chochote cha tofauti baada ya kustaafu. 14. Anzisha mradi ukiwa bado unahudumu au unafanya kazi. Hebu mradi wako ufanyike ukiwa kazini na ikiwa haufanyi vizuri, anza mwingine hadi ufanye vizuri kabisa. Wakati mradi wako unaendelea vizuri basi staafu ili kusimamia biashara zako. Watu wengi au wastaafu wanashindwa maisha kwa sababu wanastaafu kuanzisha mradi badala ya kustaafu kuendesha mradi. 15. Pesa ya pensheni si kwa ajili ya kuanzisha mradi au kununua shamba au kujenga nyumba bali ni fedha kwa ajili ya kukutunza au kujitunza katika afya njema. Pesa ya pensheni si ya kulipia karo ya shule au kuoa mke mdogo bali ni kujiangalia wewe mwenyewe na maisha yako ya uzeeni. 16. Kila wakati ukumbuke kuwa, unapostaafu hutakiwi kuwa mfano wa kuishi maisha duni baada ya kustaafu bali uwe mfano wa kuigwa na wenzako kufikiria kustaafu pia. 17. Usistaafu kwa sababu tu umezeeka au sasa wewe ni mzigo kwa kampuni na unasubiri siku yako ya kufa. Staafu ukiwa bado kijana au ukiwa bado una nguvu za kufurahia kuamka kwa kikombe cha kahawa, kufurahia jua, kupokea pesa kutoka kwa biashara yako, tembelea sehemu nzuri ambayo umeikumbuka na kutumia wakati mzuri na familia. Wale wanaostaafu wakiwa wamechelewa, hutumia takriban 95% ya muda wao kazini kuliko kuwa na familia zao na ndiyo maana wanaona ni vigumu kukaa na familia zao wanapostaafu lakini wanaishia kutafuta kazi nyingine hadi wanakufa. Wasipopata kazi nyingine, wanakufa mapema. 18. Staafu ukiwa nyumbani kwako kuliko katika makazi ya serikali ili unapostaafu uweze kufaa katika jamii iliyokulea. Si rahisi kuzoea kuishi katika eneo baada ya kukaa kwa miaka mingi kwenye nyumba ya kampuni au katika nyumba ya serikali. 19. Usiruhusu kamwe faida za ajira yako zikufanye usahau kuhusu kustaafu kwako. Manufaa ya ajira yanakusudiwa tu kukufanya uwe na utulivu, ujichokee wakati muda unasonga. Kumbuka ukistaafu hakuna mtu atakayekuita bosi ikiwa huna biashara inayoweza kukutegemeza. 20. Usichukie kustaafu maana lazima ipo siku utastaafu tu ama kwa hiari au kwa kutopenda. 🤡🤡🤡
    Like
    Love
    Sad
    4
    2 Комментарии ·289 Просмотры
  • Mambo makuu matatu ni sababu ya kumfanya mwanamke awe mwenye furaha katika PENZI;
    1. MAWASILIANO
    2. ROMANCE
    3. KUFIKA KILELENI

    Nianze na MAWASILIANO kwa hakika hili ni suruhisho la kumpa mwanamke sababu ya kuendelea kukufikiria, ROMANCE ni kichocheo cha Mapenzi maana uki-kiss shingo ya mwanamke, Ukashika ziwa ama kulinyonya, Ndimi zenu zikanyonyana NI KAMA MOTO UWASHWAPO NA NJITI MOJA KATIKA MSITU MNENE hapo lazima msitu uteketee... Imekuwa wimbo kwa wanawake kulalamikia juu ya KUFIKA KILELENI na hili linasababishwa na mambo mengi ila kwa ufahamu wangu WANAUME WENGI hujiandaa wao kisaikolojia lakini wanashindwa kumuandaa mwanamke kisaikolojia, Na ukisoma vizuri ujumbe huu utabaini yale mambo matatu yanategemeana hivyo kwa mwanaume makini YAMPASA KUYASIMAMIA MAMBO HAYO MATATU ili kuileta maana ya yeye kuwa furaha kwa mwanamke, Ni kosa kubwa kwa mwanaume kufika KILELENI kabla ya mwanamke Kwani hilo humkosesha mwanamke maana ya TENDO LA NDOA! Jitume mtoto wa kiume, Mtulize mwanamke wako WAKITULIZWA HAO WANATULIA HASWAA.
    Mambo makuu matatu ni sababu ya kumfanya mwanamke awe mwenye furaha katika PENZI; 1. MAWASILIANO 2. ROMANCE 3. KUFIKA KILELENI Nianze na MAWASILIANO kwa hakika hili ni suruhisho la kumpa mwanamke sababu ya kuendelea kukufikiria, ROMANCE ni kichocheo cha Mapenzi maana uki-kiss shingo ya mwanamke, Ukashika ziwa ama kulinyonya, Ndimi zenu zikanyonyana NI KAMA MOTO UWASHWAPO NA NJITI MOJA KATIKA MSITU MNENE hapo lazima msitu uteketee... Imekuwa wimbo kwa wanawake kulalamikia juu ya KUFIKA KILELENI na hili linasababishwa na mambo mengi ila kwa ufahamu wangu WANAUME WENGI hujiandaa wao kisaikolojia lakini wanashindwa kumuandaa mwanamke kisaikolojia, Na ukisoma vizuri ujumbe huu utabaini yale mambo matatu yanategemeana hivyo kwa mwanaume makini YAMPASA KUYASIMAMIA MAMBO HAYO MATATU ili kuileta maana ya yeye kuwa furaha kwa mwanamke, Ni kosa kubwa kwa mwanaume kufika KILELENI kabla ya mwanamke Kwani hilo humkosesha mwanamke maana ya TENDO LA NDOA! Jitume mtoto wa kiume, Mtulize mwanamke wako WAKITULIZWA HAO WANATULIA HASWAA.
    Like
    3
    ·311 Просмотры