• Klabu ya Simba leo hii imeingia makubaliano kampuni ya ujenzi ya KNAUF kutoka Ujerumani, mkataba wa Mwaka mmoja wenye thamani ya shilingi milioni 200 wenye kipengele cha kuongeza mkataba pindi utakapomalizika.

    Ni Mkataba wa Mwaka mmoja wenye lengo la kunufaisha pande zote mbili

    Simba tunayofuraha kubwa kumkaribisha Mwana Familia mpya katika taasisi yetu

    #paulswai
    ๐ŸšจKlabu ya Simba leo hii imeingia makubaliano kampuni ya ujenzi ya KNAUF kutoka Ujerumani, mkataba wa Mwaka mmoja wenye thamani ya shilingi milioni 200 wenye kipengele cha kuongeza mkataba pindi utakapomalizika. Ni Mkataba wa Mwaka mmoja wenye lengo la kunufaisha pande zote mbili Simba tunayofuraha kubwa kumkaribisha Mwana Familia mpya katika taasisi yetu #paulswai
    Like
    1
    1 Comments 0 Shares 51 Views
  • TAREHE 19/10/2024 NANI ATAONDOKA NA FURAHA
    TAREHE 19/10/2024 NANI ATAONDOKA NA FURAHA
    1
    1
    0
    0 Comments 0 Shares 37 Views
  • .WEWE UNAYEJISAHAU!
    Naomba Nikukumbushe!

    Umepata Maisha !
    Umejipata Sio!
    Unajiweza sana Ndugu!

    Acha Madharau Kwa Wengine!
    Acha kuwapuuza Watu Acha kufunga tinted kwa watu Mliofahamiana nao Kabla ya Hali yako ya Sasa!
    Unapigiwa Simu Hupokei!
    Unawapita Watu bila Salamu!
    Uko bize!
    Kila atakaye kusalimu unahisi anataka kukuomba! Au ana shida !
    Unaanza kukunja uso na kuweka Userious ili kujenga Mazingira ya kutokaribiwa!
    Unachagua Kushiriki Matukio ya Watu kwa Kuangalia Hali zao!

    Wewe ni Tajiri sio!
    Wewe una Mamlaka Sio!
    Wewe ni Maarufu sio!

    Nisikilize Ndugu yangu huenda Ukabadilika!

    Kwenye Maisha hakuna aliyefanikiwa bila ya Mkono wa Mtu( Ukiachana na Kudra za Mwenyezi Mungu).

    Sote tuna historia huko nyuma juu fulani na namna alivyotenda wema kwako na huwa unaukumbuka msaada wake!
    Ingawa wako pia wasiokumbuka mema ya waliowasaidia!
    Lakini kama Ulisaidika kwanini unafunga Milango kwa wengine?

    Sasa hawa unaowadharau na kuwaona sio katika hadhi yako huenda pia wengine dua zao huko nyuma zilikuwa msaada kwako!
    Hakuna mwanadamu asiye na maana, kila mwanadamu ana nafasi yake katika dunia hii ! Hivyo kumdharau mtu bila kosa yoyote kisa tu ana hali duni ! Kisa hana uwezo ulio nao wewe! Hilo ni kosa kubwa!
    Wako Watu wanaoharibikiwa kisa ni Kiburi cha Kuona wana mafanikio!
    Wako watu Walionguka na kuwa madhalili sababu ya kuwadharau viumbe wa mungu!

    Unaweza Ukawa na Kila Kitu Cheo , Mali, Umaaarufu , Afya Njema n.k, lakini ukakosa furaha kabisa, kila mara unajiona huna amani, unaishi kwa hofu , unaogopa kukutana na watu!

    Fahamu ya kuwa wewe unapitia magumu hayo sababu una Kiburi cha Mafanikio na Mungu akaamua akunyang’anye amani ya nafsi! Akaamua akupe Mali akupe vyote lakini ukose kufaidi kwa raha!
    Tabia na Matendo mabaya ya Mtu humfanya mungu abadilishe ile neema aliyokupa kuwa adhabu!

    Kwanini hupokei simu ya wenzako ! Unaogopa kuombwa! Unaogopa wanaokuzunguka watakuona mshamba ? Hao unaowaona ni level yako umewahi kujiuliza wanakuthamini kwa lipi? Je? Wanakuthamini sababu ni binadamu kama wao au kwasababu ya kile unachomiliki!
    Ukigundua sasa weka fikra zako je kitu hicho kikiondoka utakuwa mgeni wa nani?

    Acha Kuiigiza maisha baki katika Uhalisia wako, Usikubali Mazingira Yakubadilishe bali wewe yabadilishe mazingira!

    Salimia watu ! Pokea Simu zao, kumbuka ulipotoka fahamu ya kuwa unaweza kurudi kama zamani ! Wewe sio kwanza kuwa hivyo! Ongea na watu Lugha nzuri hata iwe kweli kuwa anataka kukuomba na hutaki kutoa tafuta njia ya kiistarabu kumkwepa ili hata kama amekosa alichojia basi abaki na tabasamu!

    Watu wengi wanapenda kuheshimika bila kujali hali zao! Heshima ya Mtu ni kitu kikubwa sana! Na haipaswi kuvunjwa kwa namna yoyote ile!

    Ofisi ya Uma ! Nafasi za kuchaguliwa zina mwisho! Watu wengi hustaafu kisha hushindwa kurudi walikotoka, hujikuta wanaishia kuishi ugenini! Ukichunguza utakuta wengi wao sababu kuu ni kwamba hawakuwapa heshima iliyostahili wale waliowaacha huko makwao!hawakuwathamini, waliwadharau!

    Nakukumbusha Acha Kiburi, Acha Madharau! Acha Kujiona Umefika! Acha kuhisi kuwa hakuna wa kukueleza kitu!

    Hii Dunia iliumbwa ili sote tufurahie Maisha! Hao unaowakimbia kwa hofu ya kuwa watataka kitu kwako ! Kumbe na wao wala hata hawana habari na hicho unachodhani wanatufa tu furaha ya dunia! Na wengine Wanaangalia tu Sarakasi na Maigizo yako!

    Watu wengi wenye tabia ya aina hiii ni washamba wa maisha! Wengi Wamekutana Fedha za ghafla Ukubwani! Hivyo kinachowasumbua ni Ushamba wa Maisha!
    Kama gari uliizizoea kuziona toka zamani sidhani kama zitakupa kiherehere sasa ,eti mpaka Uwapite Watu bila ya Salamu!

    Juzi ulikuwa unasota na wenzako Kwenye Magheto au kwenye Nyumba za Kupanga! Eti Leo Umejenga yako basi unawaona wote wasio na nyumba wajinga wala hawana cha kukushauri katika Maisha!

    Eti Umepenya umekuwa Mbunge , Diwani , RC, DC , Waziri basi wengine wote hawawezi kukuambia kitu ! Wewe ndiye Mwenye kauli ya mwisho mjini hamna wa kukushauri iwe ni kwenye Familia au Mitaani! Wewe ndiye alfa na Omega!
    Huo ni Ushamba wa Madaraka Ndugu! Vyeo hivi huja na kuondoka! Na wewe sio wa kwanza kupata na kuikosa ! Kwanini Uvimbe Kichwa! Kwanini Uwadharau watu!

    Ishi Ukifahamu Ya Kuwa Cheo Chako , Mali yako ni Kwa Manufaa yako!
    Hakuna Mtu mwenye akili timamu atayejisifu au kuishi kwa kutegemea vitu vya mtu mwingine!

    Wanachohitaji watu kutoka kwako ni Heshima tu!

    Acha hizo Ndugu yangu ! !!
    .WEWE UNAYEJISAHAU! Naomba Nikukumbushe! Umepata Maisha ! Umejipata Sio! Unajiweza sana Ndugu! Acha Madharau Kwa Wengine! Acha kuwapuuza Watu Acha kufunga tinted kwa watu Mliofahamiana nao Kabla ya Hali yako ya Sasa! Unapigiwa Simu Hupokei! Unawapita Watu bila Salamu! Uko bize! Kila atakaye kusalimu unahisi anataka kukuomba! Au ana shida ! Unaanza kukunja uso na kuweka Userious ili kujenga Mazingira ya kutokaribiwa! Unachagua Kushiriki Matukio ya Watu kwa Kuangalia Hali zao! Wewe ni Tajiri sio! Wewe una Mamlaka Sio! Wewe ni Maarufu sio! Nisikilize Ndugu yangu huenda Ukabadilika! Kwenye Maisha hakuna aliyefanikiwa bila ya Mkono wa Mtu( Ukiachana na Kudra za Mwenyezi Mungu). Sote tuna historia huko nyuma juu fulani na namna alivyotenda wema kwako na huwa unaukumbuka msaada wake! Ingawa wako pia wasiokumbuka mema ya waliowasaidia! Lakini kama Ulisaidika kwanini unafunga Milango kwa wengine? Sasa hawa unaowadharau na kuwaona sio katika hadhi yako huenda pia wengine dua zao huko nyuma zilikuwa msaada kwako! Hakuna mwanadamu asiye na maana, kila mwanadamu ana nafasi yake katika dunia hii ! Hivyo kumdharau mtu bila kosa yoyote kisa tu ana hali duni ! Kisa hana uwezo ulio nao wewe! Hilo ni kosa kubwa! Wako Watu wanaoharibikiwa kisa ni Kiburi cha Kuona wana mafanikio! Wako watu Walionguka na kuwa madhalili sababu ya kuwadharau viumbe wa mungu! Unaweza Ukawa na Kila Kitu Cheo , Mali, Umaaarufu , Afya Njema n.k, lakini ukakosa furaha kabisa, kila mara unajiona huna amani, unaishi kwa hofu , unaogopa kukutana na watu! Fahamu ya kuwa wewe unapitia magumu hayo sababu una Kiburi cha Mafanikio na Mungu akaamua akunyang’anye amani ya nafsi! Akaamua akupe Mali akupe vyote lakini ukose kufaidi kwa raha! Tabia na Matendo mabaya ya Mtu humfanya mungu abadilishe ile neema aliyokupa kuwa adhabu! Kwanini hupokei simu ya wenzako ! Unaogopa kuombwa! Unaogopa wanaokuzunguka watakuona mshamba ? Hao unaowaona ni level yako umewahi kujiuliza wanakuthamini kwa lipi? Je? Wanakuthamini sababu ni binadamu kama wao au kwasababu ya kile unachomiliki! Ukigundua sasa weka fikra zako je kitu hicho kikiondoka utakuwa mgeni wa nani? Acha Kuiigiza maisha baki katika Uhalisia wako, Usikubali Mazingira Yakubadilishe bali wewe yabadilishe mazingira! Salimia watu ! Pokea Simu zao, kumbuka ulipotoka fahamu ya kuwa unaweza kurudi kama zamani ! Wewe sio kwanza kuwa hivyo! Ongea na watu Lugha nzuri hata iwe kweli kuwa anataka kukuomba na hutaki kutoa tafuta njia ya kiistarabu kumkwepa ili hata kama amekosa alichojia basi abaki na tabasamu! Watu wengi wanapenda kuheshimika bila kujali hali zao! Heshima ya Mtu ni kitu kikubwa sana! Na haipaswi kuvunjwa kwa namna yoyote ile! Ofisi ya Uma ! Nafasi za kuchaguliwa zina mwisho! Watu wengi hustaafu kisha hushindwa kurudi walikotoka, hujikuta wanaishia kuishi ugenini! Ukichunguza utakuta wengi wao sababu kuu ni kwamba hawakuwapa heshima iliyostahili wale waliowaacha huko makwao!hawakuwathamini, waliwadharau! Nakukumbusha Acha Kiburi, Acha Madharau! Acha Kujiona Umefika! Acha kuhisi kuwa hakuna wa kukueleza kitu! Hii Dunia iliumbwa ili sote tufurahie Maisha! Hao unaowakimbia kwa hofu ya kuwa watataka kitu kwako ! Kumbe na wao wala hata hawana habari na hicho unachodhani wanatufa tu furaha ya dunia! Na wengine Wanaangalia tu Sarakasi na Maigizo yako! Watu wengi wenye tabia ya aina hiii ni washamba wa maisha! Wengi Wamekutana Fedha za ghafla Ukubwani! Hivyo kinachowasumbua ni Ushamba wa Maisha! Kama gari uliizizoea kuziona toka zamani sidhani kama zitakupa kiherehere sasa ,eti mpaka Uwapite Watu bila ya Salamu! Juzi ulikuwa unasota na wenzako Kwenye Magheto au kwenye Nyumba za Kupanga! Eti Leo Umejenga yako basi unawaona wote wasio na nyumba wajinga wala hawana cha kukushauri katika Maisha! Eti Umepenya umekuwa Mbunge , Diwani , RC, DC , Waziri basi wengine wote hawawezi kukuambia kitu ! Wewe ndiye Mwenye kauli ya mwisho mjini hamna wa kukushauri iwe ni kwenye Familia au Mitaani! Wewe ndiye alfa na Omega! Huo ni Ushamba wa Madaraka Ndugu! Vyeo hivi huja na kuondoka! Na wewe sio wa kwanza kupata na kuikosa ! Kwanini Uvimbe Kichwa! Kwanini Uwadharau watu! Ishi Ukifahamu Ya Kuwa Cheo Chako , Mali yako ni Kwa Manufaa yako! Hakuna Mtu mwenye akili timamu atayejisifu au kuishi kwa kutegemea vitu vya mtu mwingine! Wanachohitaji watu kutoka kwako ni Heshima tu! Acha hizo Ndugu yangu ! !!
    Like
    Love
    2
    0 Comments 0 Shares 204 Views
  • “Ndani ya muda mfupi najisikia furaha kuwa hapa. Nilikuwa na wakati mzuri Misri ambako tuliweka kambi na kilikuwa kipindi kizuri kwangu kuanza kufahamiana na wachezaji wenzangu. Nashukuru kwamba kocha alikuwa wazi kwangu na wachezaji wengine juu ya namna ambavyo anataka kuona timu ikicheza,” Débora Fernandes Mavambo, kiungo wa boli.
    #paulswai
    ๐ŸŽ™๏ธ “Ndani ya muda mfupi najisikia furaha kuwa hapa. Nilikuwa na wakati mzuri Misri ambako tuliweka kambi na kilikuwa kipindi kizuri kwangu kuanza kufahamiana na wachezaji wenzangu. Nashukuru kwamba kocha alikuwa wazi kwangu na wachezaji wengine juu ya namna ambavyo anataka kuona timu ikicheza,” Débora Fernandes Mavambo, kiungo wa boli. #paulswai
    Love
    Haha
    2
    0 Comments 0 Shares 88 Views
  • Hii nchi uwe na bando tu furaha utaikuta mtandaoni
    #paulswai
    ๐Ÿšจ Hii nchi uwe na bando tu furaha utaikuta mtandaoni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ #paulswai
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 115 Views 26
  • .Nchini Africa kusini mtoto wa miaka 11 ajiua kama zawadi ya sikuya kuzaliwa kwa mama yake huku akimwachia barua iliyoandikwa leo ni siku yako muhimu mama nataka uwe na furaha milele, kila siku ulikuwa ukinambia furaha yako ilitoweka tangu siku uliponizaa mimi, ukanambia baba yangu piah alikuacha kwa sababu yangu mimi. Kwahiyo leo nimeamua kubadilisha hayo yote nataka uwe na furaha na uishi kama sikuwahi kuzaliwa. Ulinambia hukuwahi kunipenda tangu unizae lakini mimi nilikupenda na kukuona kama mama bora kwangu duniani. natumai siku moja utanikumbuka na utanifikiria, natumai mbinguni utanishika, utanikumbatia na kunibusu. Zawadi bora ambayo napaswa kukupatia ni kuondoka maishani mwako kama ulivyotamani usingenizaa. Nakupenda saaana mama. Heri ya siku yako ya kuzaliwa.
    Chanzo

    Tuwe makini na maneno kwa watoto tulio pata bila matarajio๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ
    .Nchini Africa kusini mtoto wa miaka 11 ajiua kama zawadi ya sikuya kuzaliwa kwa mama yake huku akimwachia barua iliyoandikwa leo ni siku yako muhimu mama nataka uwe na furaha milele, kila siku ulikuwa ukinambia furaha yako ilitoweka tangu siku uliponizaa mimi, ukanambia baba yangu piah alikuacha kwa sababu yangu mimi. Kwahiyo leo nimeamua kubadilisha hayo yote nataka uwe na furaha na uishi kama sikuwahi kuzaliwa. Ulinambia hukuwahi kunipenda tangu unizae lakini mimi nilikupenda na kukuona kama mama bora kwangu duniani. natumai siku moja utanikumbuka na utanifikiria, natumai mbinguni utanishika, utanikumbatia na kunibusu. Zawadi bora ambayo napaswa kukupatia ni kuondoka maishani mwako kama ulivyotamani usingenizaa. Nakupenda saaana mama. Heri ya siku yako ya kuzaliwa. Chanzo Tuwe makini na maneno kwa watoto tulio pata bila matarajio๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช
    Like
    Love
    Sad
    7
    4 Comments 0 Shares 307 Views
  • Always Furaha ya usoni mwangu huficha mengi Magumu nayo pitia
    Always Furaha ya usoni mwangu huficha mengi Magumu nayo pitia ๐Ÿค“
    Sad
    1
    0 Comments 0 Shares 106 Views
  • Jitahidi kutengeneza furaha yako mwenyewe, usimtegemee mtu mwingine, kwanini uwe na huzuni?? #Maishaplus #Afyayako #drmosessadaty
    Jitahidi kutengeneza furaha yako mwenyewe, usimtegemee mtu mwingine, kwanini uwe na huzuni?? #Maishaplus #Afyayako #drmosessadaty
    Like
    3
    0 Comments 0 Shares 423 Views
  • Nani mwingine anajua maana ya furaha ili tutoke 68 twende 100 ya 100 ndondosha maoni yako kwenye comment #furaha
    Nani mwingine anajua maana ya furaha ili tutoke 68 twende 100 ya 100 ndondosha maoni yako kwenye comment #furaha
    Like
    3
    1 Comments 0 Shares 181 Views
  • *TABIA 12 ZITAKAZOKUFANYA UWE MWENYE FURAHA MAISHANI*

    *1. SAMEHE*
    Samehee hata wasiostahili kusamehewa.
    Usikubali kuwa na kinyongo au ugomvi na mtu yeyeto.
    Jifunze kupotezea.
    Usimjibu kila mtu kila kitu.
    Hata ukimya ni majibu.

    *2. JIAMINI*

    Hakuna lisilowezekana chini ya jua. Anza sasa.
    Wenye imani wana amani kila wakati.
    Wenye imani wanakuwa na uhakika wa kile wanachokitarajia.

    *3. JIFUNZE*

    Mungu hakumuumba mtu kuweza kila kitu wakati wowote.

    *4. JIPENDE*

    Umeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Usijidharau wala kujishusha kiwango. Jitamkia mambo mazuri kila wakati.

    *5. TABASAMU*

    Furaha ni tiba ya moyo
    Jifunze kuhesabu baraka ambazo Mungu amekupatia itakisaidia kutabasamu kila wakati.

    *6. USIHUKUMU*

    Hakuna mwaminifu chini ya jua. Kila mmoja anakosea hata wewe huwa unakosea na kuwakosea wengine.

    *7. JIHESHIMU*

    Mfumo wa maisha yako ndio utakuwa msaada kwa wengine. Wewe ndiye utakayewafanya wengine kukutafasiri.

    *8. PANGA MALENGO*

    Malengo ni taa, dira, ramani,kesho, mwelekeo, matumaini. Usiishi pasipo kujua kesho yako au pasipo kujua unapoelekea.

    *9. FANYA IBADA*

    Mahusiano yako pamoja na Mungu ndio chanzo cha kubarikiwa kwako.

    *10. KULA VIZURI*

    Mwili wako ni hekalu la Roho Mtakatifu kuwa makini sana kwenye ulaji wako. Usile chochote unachotaka Bali kula chochote kinachohitajika mwilini mwako.

    *11. KUWA MKARIMU*

    Hukuja duniani na kitu Bali vyote ulivyonavyo chanzo chake ni Mungu. Lakini pia vyote utaviacha duniani siku yako ya kufa itakapofika. Ukarimu ni akiba ya baadae kwa ajili yako na kizazi chako.

    *12. KUWA NA SHUKRANI*

    Ukitambua na kutafakari ulipotolewa na huyu Mungu hakika hautashindwa kusema asante kwake.
    Mshukuru Mungu kwa kila jambo hata kama mengine yanaenda vibaya endelea kumwambia Mungu asante.

    *MAISHA NI WATU*
    *TABIA 12 ZITAKAZOKUFANYA UWE MWENYE FURAHA MAISHANI* *1. SAMEHE* Samehee hata wasiostahili kusamehewa. Usikubali kuwa na kinyongo au ugomvi na mtu yeyeto. Jifunze kupotezea. Usimjibu kila mtu kila kitu. Hata ukimya ni majibu. *2. JIAMINI* Hakuna lisilowezekana chini ya jua. Anza sasa. Wenye imani wana amani kila wakati. Wenye imani wanakuwa na uhakika wa kile wanachokitarajia. *3. JIFUNZE* Mungu hakumuumba mtu kuweza kila kitu wakati wowote. *4. JIPENDE* Umeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Usijidharau wala kujishusha kiwango. Jitamkia mambo mazuri kila wakati. *5. TABASAMU* Furaha ni tiba ya moyo Jifunze kuhesabu baraka ambazo Mungu amekupatia itakisaidia kutabasamu kila wakati. *6. USIHUKUMU* Hakuna mwaminifu chini ya jua. Kila mmoja anakosea hata wewe huwa unakosea na kuwakosea wengine. *7. JIHESHIMU* Mfumo wa maisha yako ndio utakuwa msaada kwa wengine. Wewe ndiye utakayewafanya wengine kukutafasiri. *8. PANGA MALENGO* Malengo ni taa, dira, ramani,kesho, mwelekeo, matumaini. Usiishi pasipo kujua kesho yako au pasipo kujua unapoelekea. *9. FANYA IBADA* Mahusiano yako pamoja na Mungu ndio chanzo cha kubarikiwa kwako. *10. KULA VIZURI* Mwili wako ni hekalu la Roho Mtakatifu kuwa makini sana kwenye ulaji wako. Usile chochote unachotaka Bali kula chochote kinachohitajika mwilini mwako. *11. KUWA MKARIMU* Hukuja duniani na kitu Bali vyote ulivyonavyo chanzo chake ni Mungu. Lakini pia vyote utaviacha duniani siku yako ya kufa itakapofika. Ukarimu ni akiba ya baadae kwa ajili yako na kizazi chako. *12. KUWA NA SHUKRANI* Ukitambua na kutafakari ulipotolewa na huyu Mungu hakika hautashindwa kusema asante kwake. Mshukuru Mungu kwa kila jambo hata kama mengine yanaenda vibaya endelea kumwambia Mungu asante. *MAISHA NI WATU*
    Like
    Love
    2
    0 Comments 0 Shares 231 Views
More Results