• SACKED

    Fadlu Davids ameondoka Simba SC

    Uamuzi umefanywa na kukubaliwa, faili lake limefungwa.

    Kocha huyo raia wa Afrika Kusini alikeisha ifahamisha klabu hiyo msimamo wake baada ya kupoteza imani na kutojihisi salama tena kufuatia matamshi ya vitisho kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa klabu ya Simba SC Tanzania.

    FADLU anaona kwa usalama wake binafsi haupo na amepoteza kujiamini ndani ya klabu hiyo.
    Kocha FADLU ataondoka pamoja na benchi lake lote la ufundi isipokuwa kocha Seleman Abdallah Matola

    Thank you Fadlu

    Ozil Kiiza Morris
    Kita A Kita
    SACKED Fadlu Davids ameondoka Simba SC Uamuzi umefanywa na kukubaliwa, faili lake limefungwa. ✍️ Kocha huyo raia wa Afrika Kusini alikeisha ifahamisha klabu hiyo msimamo wake baada ya kupoteza imani na kutojihisi salama tena kufuatia matamshi ya vitisho kutoka kwa baadhi ya viongozi wa juu wa klabu ya Simba SC Tanzania. FADLU anaona kwa usalama wake binafsi haupo na amepoteza kujiamini ndani ya klabu hiyo. Kocha FADLU ataondoka pamoja na benchi lake lote la ufundi isipokuwa kocha Seleman Abdallah Matola Thank you Fadlu Ozil Kiiza Morris Kita A Kita
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·303 مشاهدة
  • RATIBA YA LEO JUMAPILI YA SEPTEMBER 21 - 2025

    13:30 - SS Lazio AS Roma

    15:00 - Rayo Vallecano Celta Vigo

    15:30 - PSV Eindhoven Ajax

    16:00 - Torino FC Atalanta BC

    16:00 - Sunderland Aston Villa

    16:00 - Bournemouth Newcastle United

    16:00 - Mashujaa FC Mtibwa Sugar

    16:30 - Frankfurt Union Berlin

    17:15 - Real Mallorca Atletico Madrid

    17:30 - Partick Thistle Celtic FC

    17:45 - Az Alkmaar Feyenoord

    18:15 - AS Monaco Metz

    18:30 - Bayer Leverkusen M'gladbach

    18:30 - Arsenal FC Manchester City

    19:00 - Namungo FC Tanzania Prisons

    19:00 - Fiorentina Como FC

    20:00 - Kasimpasa Fenerbahce FK

    20:30 - Dortmund Wolfsburg

    21:45 - Inter Milan Sassuolo

    21:45 - Marseille Paris Saint Germain

    22:00 - Barcelona Getafe FC
    🚨 RATIBA YA LEO JUMAPILI YA SEPTEMBER 21 - 2025 🇮🇹 13:30 - SS Lazio ⚔️ AS Roma 🇪🇸 15:00 - Rayo Vallecano ⚔️ Celta Vigo 🇳🇱 15:30 - PSV Eindhoven ⚔️ Ajax 🇮🇹 16:00 - Torino FC ⚔️ Atalanta BC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 16:00 - Sunderland ⚔️ Aston Villa 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 16:00 - Bournemouth ⚔️ Newcastle United 🇹🇿 16:00 - Mashujaa FC ⚔️ Mtibwa Sugar 🇩🇪 16:30 - Frankfurt ⚔️ Union Berlin 🇪🇸 17:15 - Real Mallorca ⚔️ Atletico Madrid 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 17:30 - Partick Thistle ⚔️ Celtic FC 🇳🇱 17:45 - Az Alkmaar ⚔️ Feyenoord 🇫🇷 18:15 - AS Monaco ⚔️ Metz 🇩🇪 18:30 - Bayer Leverkusen ⚔️ M'gladbach 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 18:30 - Arsenal FC ⚔️ Manchester City 🇹🇿 19:00 - Namungo FC ⚔️ Tanzania Prisons 🇮🇹 19:00 - Fiorentina ⚔️ Como FC 🇹🇷 20:00 - Kasimpasa ⚔️ Fenerbahce FK 🇩🇪 20:30 - Dortmund ⚔️ Wolfsburg 🇮🇹 21:45 - Inter Milan ⚔️ Sassuolo 🇫🇷 21:45 - Marseille ⚔️ Paris Saint Germain 🇪🇸 22:00 - Barcelona ⚔️ Getafe FC
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·173 مشاهدة
  • Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando almaarufu Baba Levo akisalimiana na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Katosho kunapofanyika kampeni za kuomba kura za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani wa mkoa huo kupitia CCM.
    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando almaarufu Baba Levo akisalimiana na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Katosho kunapofanyika kampeni za kuomba kura za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani wa mkoa huo kupitia CCM.
    Like
    2
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·322 مشاهدة
  • Msanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024.

    Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco.

    Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania katika anga ya kimataifa.

    | @errymars_

    #ManaraTV
    #ManaraTVUpdates
    Msanii wa Bongo Fleva, @officialzuchu , ataandika historia mpya leo akiwa kama msanii mkuu atakayetoa burudani katika Fainali za African Nation Champion League (CHAN) 2024. Zuchu atatoa burudani ya kipekee katika Tamasha hilo kubwa ambalo litafanyika leo Jumamosi, tarehe 30 Agosti 2025, katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi, Kenya, likiwakutanisha Madagascar dhidi ya Morocco. Wakati macho ya wapenzi wa soka yakiwa kwa fainali hiyo, masikio na mioyo ya mashabiki wa muziki yataelekezwa kwa Zuchu, ambaye atapanda jukwaani kuonyesha uwezo wake na kuwakilisha Tanzania 🇹🇿 katika anga ya kimataifa. ✍️| @errymars_ #ManaraTV #ManaraTVUpdates
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·843 مشاهدة
  • Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae

    haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini
    🚨🚨Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini😂😂😂😂
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·505 مشاهدة
  • Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu.

    Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ,imetoa Posho za wachezaji walizozipata baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia la vilabu kwa familia ya aliyekuwa mchezaji wa Liverpool marehemu Diogo Jota aliyefariki kwa ajali ya gari mwezi June mwaka huu. Chelsea wametoa kiasi cha dola milioni 15.5 ambazo ni zaidi ya bilioni 39 kwa pesa za Tanzania,jambo ambalo limewafurahisha mashabiki wengi wa soka ulimwenguni. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·673 مشاهدة
  • Klabu ya Yanga imekamlisha usajili wa Mchezaji Edmund John kutoka Singida Black Stars

    Edmund John ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao wamewasili Rwanda kwaajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports siku ya Ijumaa

    Edmund raia wa Tanzania anajiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili.


    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Yanga imekamlisha usajili wa Mchezaji Edmund John kutoka Singida Black Stars Edmund John ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao wamewasili Rwanda kwaajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports siku ya Ijumaa Edmund raia wa Tanzania anajiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·519 مشاهدة
  • Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Congo DR Malanga Horso Mwaku (21).

    Tayari ameshawaaga FC Lupopo , Mkataba wa miaka 3 umesainiwa tayari .

    Muda wowote kuanzia sasa kuwasili Tanzania ili kujiunga na waajiri wake hao wapya .

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Singida Black Stars imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Congo DR Malanga Horso Mwaku (21). Tayari ameshawaaga FC Lupopo , Mkataba wa miaka 3 umesainiwa tayari . Muda wowote kuanzia sasa kuwasili Tanzania ili kujiunga na waajiri wake hao wapya . #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·488 مشاهدة
  • Kelvin John mtanzania anaecheza Ligi kuu ya Denmark katika timu ya Aalborg fc ni kinara wa upachikaji mabao katika ligi hiyo baada ya kufunga tena leo magori mawili. Baada ya mpira kuisha mashabiki uwanja mzima wameiba jina lakee wakiita "Tanzanian John Kelvin John John John" Hongera kwake kwa kuiwakilisha vyema bendera ya Tanzania.

    #sportselite
    Kelvin John mtanzania anaecheza Ligi kuu ya Denmark katika timu ya Aalborg fc ni kinara wa upachikaji mabao katika ligi hiyo baada ya kufunga tena leo magori mawili. Baada ya mpira kuisha mashabiki uwanja mzima wameiba jina lakee wakiita "Tanzanian John Kelvin John John John" 👏👏 Hongera kwake kwa kuiwakilisha vyema bendera ya Tanzania. #sportselite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·372 مشاهدة
  • Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Hussein Daudi Semfuko (21) raia wa Tanzania kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Coastal Union

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji Hussein Daudi Semfuko (21) raia wa Tanzania kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Coastal Union #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·522 مشاهدة
  • #CONFIRMED;Ligi kuu Tanzania Nbc premier league inatarajiwa kuanza September 16,2025

    #NBCPremierLeague #Tff #BodiYaLigi

    #SportsElite
    🚨#CONFIRMED;Ligi kuu Tanzania Nbc premier league inatarajiwa kuanza September 16,2025 #NBCPremierLeague #Tff #BodiYaLigi #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·958 مشاهدة
  • 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili beki wa kulia Israel Patrick Mwenda kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Singida Black Stars.

    Mwenda (25) raia wa Tanzania ambaye alicheza Yanga Sc kwa mkopo msimu uliopita ameamua kuendelea kuwatumikia Wananchi mpaka 2028.

    #SportsElite
    📝 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈: Klabu ya Yanga Sc imethibitisha kumsajili beki wa kulia Israel Patrick Mwenda kwa mkataba wa miaka mitatu utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2028 akitokea Singida Black Stars. Mwenda (25) raia wa Tanzania ambaye alicheza Yanga Sc kwa mkopo msimu uliopita ameamua kuendelea kuwatumikia Wananchi mpaka 2028. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·556 مشاهدة
  • RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! ⚽️

    Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania!

    Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali?
    Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! ⚽️

    Source:- Micky Jnr African Football Journalist

    #SportsElite
    🚨🚨 RASMI:CAF YATANGAZA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA DROO YA CAF 2025/26! 🇹🇿🔥⚽️ 🔸 Droo ya CAF Champions League na Confederation Cup itafanyika katikati ya Agosti hapa hapa Tanzania! 🤔 Je, Simba SC, Yanga SC, Azam FC kupangwa na nani hatua za awali? 🦁🟢🔵 Hii ni nafasi ya kutangaza Tanzania kwenye ramani ya soka Afrika! 🌍⚽️ Source:- Micky Jnr African Football Journalist #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·812 مشاهدة
  • Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.

    Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo.

    Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao.

    "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo.

    #SportsElite
    🚨🚨Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Young Africans kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Katika barua yake aliyoituma Julai 25 mwaka huu kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, Rais Infantino amesema juhudi walizofanya msimu mzima zimewalipa kwa kutwaa ubingwa huo. Pia amesema salamu zake za pongezi ziende kwa kila mwanachama wa Young Africans kwa kuwa wote ni sehemu ya mafanikio hayo makubwa kwa timu yao. "Nakushukuru wewe na Shirikisho lako kwa kazi nzuri ya kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu katika nchi yako, na ninatarajia tutaonana hivi karibu, " amesema Rais Infantino katika sehemu ya barua hiyo. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·942 مشاهدة
  • BREAKING: Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo namba 10 wa Stade Malien,Raia wa Mali Lassine Kouma (21)

    Simba walikuwa wa kwanza kuzungumza na Lassine Kouma,Kisha kinda huyo akampigia Simu Diarra ili kujua mazingira ya Tanzania,baada ya Diarra kujua kinda huyo hatari anaelekea Simba akamwambia Eng Heris aingilie haraka na mchakato wa kumsaini kuja Yanga ukaanza rasmi na Leo jioni kila kitu kimekamilika….Lassine Kouma Is now green & Yellow


    #SportsElite
    BREAKING: Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo namba 10 wa Stade Malien,Raia wa Mali 🇲🇱 Lassine Kouma (21)✅ Simba walikuwa wa kwanza kuzungumza na Lassine Kouma,Kisha kinda huyo akampigia Simu Diarra ili kujua mazingira ya Tanzania,baada ya Diarra kujua kinda huyo hatari anaelekea Simba akamwambia Eng Heris aingilie haraka na mchakato wa kumsaini kuja Yanga ukaanza rasmi na Leo jioni kila kitu kimekamilika….Lassine Kouma Is now green & Yellow #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·669 مشاهدة
  • Mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 19, Nestory Irankunda amejiunga na Klabu ya Watford FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza akitokea Bayern Munich kwa dau la Euro Milioni 4 ambayo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 12 za Kitanzania kwa Mkataba wa Miaka minne wenye kipengele cha kupata asilimia 50 ya mauzo yake.

    Irankunda ni mzaliwa wa Kigoma Tanzania kwenye kambi ya Wakimbizi kutoka kwa Wazazi wakimbizi kutoka Burundi huku yeye akiwa na uraia wa Australia .

    #SportsElite
    Mshambuliaji kinda mwenye umri wa miaka 19, Nestory Irankunda amejiunga na Klabu ya Watford FC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza akitokea Bayern Munich kwa dau la Euro Milioni 4 ambayo ni zaidi ya Shilingi Bilioni 12 za Kitanzania kwa Mkataba wa Miaka minne wenye kipengele cha kupata asilimia 50 ya mauzo yake. Irankunda ni mzaliwa wa Kigoma Tanzania 🇹🇿 kwenye kambi ya Wakimbizi kutoka kwa Wazazi wakimbizi kutoka Burundi 🇧🇮 huku yeye akiwa na uraia wa Australia 🇦🇺. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·571 مشاهدة
  • Mtanzania,Kwesi Zion Kawawa amejiunga na klabu ya Örebro Syrianska ya Sweden kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akitokea IFK Haninge.

    #SportsElite
    🚨Mtanzania,Kwesi Zion Kawawa amejiunga na klabu ya Örebro Syrianska ya Sweden kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akitokea IFK Haninge. #SportsElite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·422 مشاهدة
  • UPDATE

    Mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya CHAN 2024 utakuwa ni kati ya timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' dhidi ya Burkina Faso , mchezo utachezwa Agosti 2 pale Benjamin Mkapa.

    #sportselite
    UPDATE 🚨 🚨 Mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya CHAN 2024 utakuwa ni kati ya timu ya taifa ya Tanzania 🇹🇿 'Taifa Stars' dhidi ya Burkina Faso 🇧🇫, mchezo utachezwa Agosti 2 pale Benjamin Mkapa. #sportselite
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·514 مشاهدة
  • Early Bird Registration for the 12th Tanzania Health Summit is closing soon.
    Don’t miss out register by June 30th and save up to 40%

    Join 2,500+ health experts
    1–3 October 2025
    JNICC, Dar es Salaam

    Secure your spot today www.ths.or.tz/health-awards

    #THS2025 #TanzaniaHealthSummit #EarlyBird #HealthExperts #RegisterNow #HealthcareInnovation #savethedate
    Early Bird Registration for the 12th Tanzania Health Summit is closing soon. Don’t miss out register by June 30th and save up to 40% 📍 Join 2,500+ health experts 🗓️ 1–3 October 2025 📌 JNICC, Dar es Salaam Secure your spot today 👉 www.ths.or.tz/health-awards #THS2025 #TanzaniaHealthSummit #EarlyBird #HealthExperts #RegisterNow #HealthcareInnovation #savethedate
    Love
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·924 مشاهدة
  • BREAKING NEWS…..!!!!!

    FIFA itafanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na Migogoro ya kimaamuzi iliyotokea.

    Lakini pia imeiomba TFF kutoa ushirikiano katika masuala yote ili kuweza kupata uhalisia wa mambo yote yaliyotokea....

    #sportselite
    🚨BREAKING NEWS…..!!!!! FIFA itafanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na Migogoro ya kimaamuzi iliyotokea. Lakini pia imeiomba TFF kutoa ushirikiano katika masuala yote ili kuweza kupata uhalisia wa mambo yote yaliyotokea.... #sportselite
    Wow
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·849 مشاهدة
الصفحات المعززة