• Uganga maana yake ni kumtibu mtu, mtu anaumwa ukamtibu akapona; unapata malipo kwa mwenyezi Mungu kwa hiyo uganga haujakatazwa katika vitabu vyote vinne (4) vya mwenyezi Mungu; Torati, Zaburi, Injili,Quran. Lakini kilichokatazwa ni ushirikina'' - Sheikh Kipozeo
    Uganga maana yake ni kumtibu mtu, mtu anaumwa ukamtibu akapona; unapata malipo kwa mwenyezi Mungu kwa hiyo uganga haujakatazwa katika vitabu vyote vinne (4) vya mwenyezi Mungu; Torati, Zaburi, Injili,Quran. Lakini kilichokatazwa ni ushirikina'' - Sheikh Kipozeo
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·346 Visualizações
  • Naam dhambi zijapo nikabili na dunia #Kuniteka//

    Ntarudi msalabani neno nitaubiri watenda dhambi #Watanicheka//

    Wataona kama utani ntapost somo mtandaoni wengi #Watafoka
    Maandiko ya zaburi ntatoa ubaoni wakristo wenye viburi kwenye kipindi #Watatoka
    Bila ya kutaka ushauri wao na vileo wakipokezana #Bilauri
    Watasahau alieuawa kwa kombeo alidharau na kujawa #Kiburi
    Naamini Mungu yupo japo sijawai #Kumuona
    Soma bible upate michapo ilivyo teketea #Sodoma
    Nyakati mbaya zaja kila mmoja kwa mshtuko atabanwa na #Haja
    Guest zitafunguka bila funguo atatoa majibu alie datishwa na #Paja
    Naam dhambi zijapo nikabili na dunia #Kuniteka// Ntarudi msalabani neno nitaubiri watenda dhambi #Watanicheka// Wataona kama utani ntapost somo mtandaoni wengi #Watafoka Maandiko ya zaburi ntatoa ubaoni wakristo wenye viburi kwenye kipindi #Watatoka Bila ya kutaka ushauri wao na vileo wakipokezana #Bilauri Watasahau alieuawa kwa kombeo alidharau na kujawa #Kiburi Naamini Mungu yupo japo sijawai #Kumuona Soma bible upate michapo ilivyo teketea #Sodoma Nyakati mbaya zaja kila mmoja kwa mshtuko atabanwa na #Haja Guest zitafunguka bila funguo atatoa majibu alie datishwa na #Paja
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·1K Visualizações
  • Maisha ni kama #pushup, yanaenda juu na kushuka #chini!!
    Mc chana ubebe #cup, sio kutwa nzima battle #umimi!!
    Yesu alikuwa #ndimi, mchungaji bora mwenye #uzima!!
    Hakujitia vitu #umimi, ni kama MC mwenye #heshima!!
    Ukweli humo kwenye #zaburi, jifunze sana acha #kiburi!!
    Fanya mambo #mazuri, kioo cha jamii uwe #kivuli!!
    Nakuja kama #emcee, mwenye ushauri wa #mafumbo!!
    Natoa hadi #salutee, kwa wale wanaopinga #Mkumbo!!
    Maisha ni kama #pushup, yanaenda juu na kushuka #chini!! Mc chana ubebe #cup, sio kutwa nzima battle #umimi!! Yesu alikuwa #ndimi, mchungaji bora mwenye #uzima!! Hakujitia vitu #umimi, ni kama MC mwenye #heshima!! Ukweli humo kwenye #zaburi, jifunze sana acha #kiburi!! Fanya mambo #mazuri, kioo cha jamii uwe #kivuli!! Nakuja kama #emcee, mwenye ushauri wa #mafumbo!! Natoa hadi #salutee, kwa wale wanaopinga #Mkumbo!!
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·1K Visualizações
  • Zaburi 33:17-18
    An horse is a vain thing for safety: neither shall he deliver any by his great strength.
    [18]Behold, the eye of the LORD is upon them that fear him, upon them that hope in his mercy;
    Zaburi 33:17-18 An horse is a vain thing for safety: neither shall he deliver any by his great strength. [18]Behold, the eye of the LORD is upon them that fear him, upon them that hope in his mercy;
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·444 Visualizações
  • Ee Bwana, uniokoe na mtu mbaya, Unihifadhi na mtu wa jeuri.
    Zaburi 140:1
    🙏 Ee Bwana, uniokoe na mtu mbaya, Unihifadhi na mtu wa jeuri. Zaburi 140:1
    Like
    Love
    3
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·226 Visualizações