• OFFICIAL : Garnacho, Sancho, Antony pamoja na Tyrell Malacia wote wameondolewa kwenye kikosi cha Man United kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.

    Harry Maguire hayupo na timu lakini kwa sababu za kibinafsi tu, ila atarejea hivi karibuni kambini

    Jadon Sancho, Alejandro Garnacho, Antony pamoja na Tyler Malacia wote wako Sokoni wanauzwa.

    #SportsElite
    👋🚨OFFICIAL : Garnacho, Sancho, Antony pamoja na Tyrell Malacia wote wameondolewa kwenye kikosi cha Man United kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.🔴 Harry Maguire hayupo na timu lakini kwa sababu za kibinafsi tu, ila atarejea hivi karibuni kambini Jadon Sancho, Alejandro Garnacho, Antony pamoja na Tyler Malacia wote wako Sokoni wanauzwa. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·13 Views
  • Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen

    Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen .

    Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno na Ufaransa zilizochezwa Juni 4 na 8.

    Ripoti hiyo imeongeza:

    > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani ."

    Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa .

    Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo.

    Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay wakati wa Copa América 2024.

    Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni.

    #SportsElite
    🚨 Barcelona kunufaika kwa €2 milioni kutokana na jeraha la Ter Stegen 💰 Ripoti ya habari imeeleza uwezekano wa klabu ya FC Barcelona kupokea kiasi cha €2 milioni kufuatia jeraha la mlinda mlango wao wa Kijerumani, Marc-André ter Stegen 🤕. Kwa mujibu wa Mundo Deportivo, Barcelona waligundua kwanza jeraha la Ter Stegen baada ya mechi za UEFA Nations League dhidi ya Ureno 🇵🇹 na Ufaransa 🇫🇷 zilizochezwa Juni 4 na 8. Ripoti hiyo imeongeza: > "Barcelona waliiarifu FIFA mapema kuhusu matatizo ya mgongo aliyopata Ter Stegen, ambayo yalitokana na mechi zake za hivi karibuni na timu ya taifa ya Ujerumani 🇩🇪." Kwa hivyo, FIFA huenda ikalazimika kulipa fidia kifedha kwa Barcelona ikiwa Ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya siku 28 mfululizo kutokana na jeraha alilopata akiwa kwenye majukumu ya kimataifa 🏥. Ripoti hiyo imeeleza kuwa klabu ya Catalonia inaweza kupata zaidi ya €2 milioni kutokana na hali hiyo. Barcelona tayari waliwahi kunufaika na mpango wa fidia wa FIFA ujulikanao kama Club Protection Program wakati Gavi alipoumia vibaya akiwa na timu ya taifa ya Hispania 🇪🇸 mwaka 2023, na pia walipopata fidia baada ya Ronald Araújo kuumia akiwa na Uruguay 🇺🇾 wakati wa Copa América 2024. Kwa upande wa Ter Stegen, ikiwa atakosa mashindano kwa miezi 4, Barcelona wangeweza kupokea hadi €2.46 milioni. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·161 Views
  • Sasa dili limetikiii rasmi club ya Barcelona imekubali kumsainii mchezaji Marcus Rashford wa Manchester united,, na club hyo ya Manchester imetoa tamko mchezaji huyo atajiunga na Club ya Barcelona hivi karibunii


    #SportsElite
    🚨 Sasa dili limetikiii rasmi club ya Barcelona imekubali kumsainii mchezaji Marcus Rashford wa Manchester united,, na club hyo ya Manchester imetoa tamko mchezaji huyo atajiunga na Club ya Barcelona hivi karibunii #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·55 Views
  • Al-Ettifaq iko karibu kufikia makubaliano na Pierre-Emerick Aubameyang kama mchezaji huru

    (Source: @ahmad2man)

    #SportsElite
    🚨 Al-Ettifaq iko karibu kufikia makubaliano na Pierre-Emerick Aubameyang kama mchezaji huru 🇬🇦🤝 (Source: @ahmad2man) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·120 Views
  • Aston Villa wako kwa ukaribu kuinasa saini yabAlejandro Garnacho wa Manchester United.

    #SportsElite
    🚨 Aston Villa wako kwa ukaribu kuinasa saini yabAlejandro Garnacho wa Manchester United. #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·95 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hugo Ekitike yuko karibu kujiunga na Newcastle United kutokea Eintracht Frankfurt kwa ada ya €78 million, na mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Hugo Ekitike yuko karibu kujiunga na Newcastle United kutokea Eintracht Frankfurt kwa ada ya €78 million, na mkataba hadi 2030. ⚪⚫ #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·101 Views
  • Frankie De Jong yuko karibu kuongeza mkataba Barcelona hadi 2029.

    (Source: @NicoSchira)

    #SportsElite
    🚨 Frankie De Jong yuko karibu kuongeza mkataba Barcelona hadi 2029. (Source: @NicoSchira) #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·102 Views
  • Aston Villa iko karibu kukamilisha usajiri wa golikipa wa Brest Marco Bizot.

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    🚨 Aston Villa iko karibu kukamilisha usajiri wa golikipa wa Brest Marco Bizot. (Source: Sky Sports) #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·136 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wesley yuko karibu kujiunga na AS Roma kutokea Flamengo, kwa mkataba hadi 2030.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Wesley yuko karibu kujiunga na AS Roma kutokea Flamengo, kwa mkataba hadi 2030. ❤️💛
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·90 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain

    Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao
    Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain 💛💙🇹🇷 Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo🇪🇸🏁 #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·102 Views
  • Burnley iko karibu kukamilisha usajiri wa Kyle Walker.

    (Source: x / @David_Ornstein)

    #SportsElite
    🚨 Burnley iko karibu kukamilisha usajiri wa Kyle Walker. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 (Source: x / @David_Ornstein) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·78 Views
  • Inter inamfuatilia kwa ukaribu Marc-André ter Stegen wa Barcelona ili kumsajiri kutokana na golikipa Yann Sommer atatimkia Galatasaray.

    (Source: El Nacional)

    #SportsElite
    🚨 Inter inamfuatilia kwa ukaribu Marc-André ter Stegen wa Barcelona ili kumsajiri kutokana na golikipa Yann Sommer atatimkia Galatasaray. (Source: El Nacional) #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·89 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Sunderland iko karibu kuinasa saini ya Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea kwa uhamisho €25m
    reports @sachatavolieri. ⚪️

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇷🇸 Sunderland iko karibu kuinasa saini ya Djordje Petrovic (25) kutoka Chelsea kwa uhamisho €25m reports @sachatavolieri. 🔴⚪️ #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·132 Views
  • VITU VINAVYO VUTA UTAJIRI SEHEMU YA PILI.

    #isaya 1:19
    Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi

    Kutokea kwenye andiko hili tunapata kanuni ya pili ambayo ikifuatwa inavuta utajiri .


    Kanuni hiyo ni UTII

    Maandiko yanasema ili mema ya nchi ya kufuate ni lazima *ukubali na kutiii*

    Utii ni kanuni katika ulimwengu wa roho ambayo mtu akiifuata lazima itampa matokeo tu.

    Kama unamcha Mungu na utaki kumtii Mungu bsi pia kanuni inakukataa .

    Uzuri wa kanuni hizi ni kuwa hata kama mtu asali lakini amezifuata zitampa matokeo tu ,serikari inapenda watu watii matajiri wanafanya biashara na kuwaaamini na kubebana na watu watii.

    Kuna kundi kubwa sana umaskini kwao siyo pepo bali ni kwa sababu wamekataa kutii tu na dunia ya mafanikio imewatapika kabisa.

    #Mungu alipo wavusha wana islaeri aliwapa kanuni ambazo kama wakifuata na kuzitii ndipo baraka zitatufuata na kama wakitoka nje laana zitawafuata.

    Kanuni ni lazima izingatiwe ikifuatwa inakupa baraka usipo ifuata inakupa laana .

    #Torati 28:1-14

    Kumbukumbu la Torati 28:1-2
    [1]Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;

    [2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako.

    Baraka zinawafuata watu watii peke yake nje ya hapo baraka haziwezi kukufuata na matokeo yake utapata laana .

    Abrahamu sababu ya kutiii alistawi sana ,aliambiwa atoke kwenye nchi aliyo zaliwa aende nje ya kwao na sababu alitii mpaka leo anaitwa baba wa mataifa na baba wa imani.

    #Mwanzo 12:1-2
    [1]BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;

    [2]nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;

    Napenda kuiutia moyo kuwa utiii ni kanuni na inapaswa kuwa tabia yako .

    Katika maisha ya kawaida mwanamke mwenye matokeo katika nyumba yake ni yule anaye kubali kuongozwana mume wake yaani anaye mtii mume wake .

    Ukishindwa kumtii mume wako umeshindwa kumtii Mungu uwezi pia kuvuta utajiri .

    Niwatakie jion njema na baraka tele .

    Kwa majina naitwa mwl sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry).

    Karibu katika group letu la watsap .
    Tuma neno Add kwa namba .0622625340

    #restore men position
    #build new eden
    VITU VINAVYO VUTA UTAJIRI SEHEMU YA PILI. #isaya 1:19 Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi Kutokea kwenye andiko hili tunapata kanuni ya pili ambayo ikifuatwa inavuta utajiri . ▪️Kanuni hiyo ni UTII Maandiko yanasema ili mema ya nchi ya kufuate ni lazima *ukubali na kutiii* Utii ni kanuni katika ulimwengu wa roho ambayo mtu akiifuata lazima itampa matokeo tu. Kama unamcha Mungu na utaki kumtii Mungu bsi pia kanuni inakukataa . Uzuri wa kanuni hizi ni kuwa hata kama mtu asali lakini amezifuata zitampa matokeo tu ,serikari inapenda watu watii matajiri wanafanya biashara na kuwaaamini na kubebana na watu watii. Kuna kundi kubwa sana umaskini kwao siyo pepo bali ni kwa sababu wamekataa kutii tu na dunia ya mafanikio imewatapika kabisa. #Mungu alipo wavusha wana islaeri aliwapa kanuni ambazo kama wakifuata na kuzitii ndipo baraka zitatufuata na kama wakitoka nje laana zitawafuata. Kanuni ni lazima izingatiwe ikifuatwa inakupa baraka usipo ifuata inakupa laana . #Torati 28:1-14 Kumbukumbu la Torati 28:1-2 [1]Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani; [2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako. Baraka zinawafuata watu watii peke yake nje ya hapo baraka haziwezi kukufuata na matokeo yake utapata laana . Abrahamu sababu ya kutiii alistawi sana ,aliambiwa atoke kwenye nchi aliyo zaliwa aende nje ya kwao na sababu alitii mpaka leo anaitwa baba wa mataifa na baba wa imani. #Mwanzo 12:1-2 [1]BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; [2]nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; Napenda kuiutia moyo kuwa utiii ni kanuni na inapaswa kuwa tabia yako . Katika maisha ya kawaida mwanamke mwenye matokeo katika nyumba yake ni yule anaye kubali kuongozwana mume wake yaani anaye mtii mume wake . Ukishindwa kumtii mume wako umeshindwa kumtii Mungu uwezi pia kuvuta utajiri . Niwatakie jion njema na baraka tele . Kwa majina naitwa mwl sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry). Karibu katika group letu la watsap . Tuma neno Add kwa namba .0622625340 #restore men position #build new eden
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·498 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Viktor Gyökeres yuko karibu kujiunga na Arsenal kutoka Sporting CP kwa mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Viktor Gyökeres yuko karibu kujiunga na Arsenal kutoka Sporting CP kwa mkataba hadi 2030. ⚪🔴 #SportsElite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·123 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham inamfuatilia kwa ukaribu Mohammed Kudus (24) kama chaguo lao pendwa.

    Ada ya uhamisho wa Kudus £85m na Tottenham wako tayari kutoa kiasi hicho...

    reports @Matt_Law_DT.

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇬🇭 Tottenham inamfuatilia kwa ukaribu Mohammed Kudus (24) kama chaguo lao pendwa. Ada ya uhamisho wa Kudus £85m na Tottenham wako tayari kutoa kiasi hicho... reports @Matt_Law_DT. #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·67 Views
  • Filip Kostic ataondoka Juventus baada ya mkataba wake wa mkopo kutamatika Fenerbahce.

    Atalanta wako kwa ukaribu zaidi kuinasa saini ya kinara huyo Filip Kostic mbele ya Roma na Bologna.

    (Source: Football Italia)

    #sportselite
    🚨 Filip Kostic ataondoka Juventus baada ya mkataba wake wa mkopo kutamatika Fenerbahce. Atalanta wako kwa ukaribu zaidi kuinasa saini ya kinara huyo Filip Kostic mbele ya Roma na Bologna. (Source: Football Italia) #sportselite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·184 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Roma na Sevilla zinamuwinda kwa ukaribu Nicolas Tagliafico.
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Roma na Sevilla zinamuwinda kwa ukaribu Nicolas Tagliafico. 🇮🇹🇪🇸
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·64 Views
  • Nguvu iliyoko kwenye neno part 3.

    #Baada ya kusikia neno na kuanza kulitenda kazi lazima mtizamo wako juu ya Mungu ubadilishwe.

    Ukifika kipindi ambacho katika maisha kabla ujatafakari chochote unamtafakari mungu kwanza jua tayari mtazamo wako kiakiri umelikubali neno la Mungu.

    Mtazamo wako katika neno ukibadilishwa unakusaidia sana kuyajua uzuri wa mungu,mapenzi ya Mungu , ukamilifu wa Mungu na jinsi Mungu anavyo kuwazia mema.

    #Warumi 12:2
    [2]Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

    Usipo jua mapenzi ya Mungu katika maisha yako utashindwa kujua kusudi la maisha yako .

    Neno la Mungu moja ya kazi yake ni kukujulisha mapenzi ya Mungu katika maisha yako ambapo inapelekea kujua kusudi .

    #Mithali 29:18
    [18] *Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.*

    Neno lenyewe limejitosheleza kukujulisha kuwa Mungu anataka watu wanao jua kusudi lake.

    #Mtazamo ulio badilishwa inakupatia kusudi na mwelekeo wa maisha kulingana na kusudi la Mungu.

    Ukilijua neno kiasi cha kujua mapenzi ya mungu utakuwa unajua hakika Mungu anakuwazia mawazo ya amani na ustawi kila wakati.

    #Yeremia 29:11
    [11]Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.

    Hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwako na katika neno ni wewe kuwa na amani na kufanikiwa katika kila jambo.

    Shida ni kuwa ufanikiwi sababu ujui neno .

    Ngoja nikusaidie neno lenye matokeo ni lile linalo weza badilisha maisha yako lazima ulitendee mema.

    Ukisikia neno na lisikupe cha kufanya neno hilo kwako halina matokeo kwako .

    Karibu katika group

    https://chat.whatsapp.com/HhjVJc0bcdY5i5LCZnjHZ6

    Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka build new eden revival and restoration ministry

    #restore men position
    #build new eden
    Nguvu iliyoko kwenye neno part 3. #Baada ya kusikia neno na kuanza kulitenda kazi lazima mtizamo wako juu ya Mungu ubadilishwe. Ukifika kipindi ambacho katika maisha kabla ujatafakari chochote unamtafakari mungu kwanza jua tayari mtazamo wako kiakiri umelikubali neno la Mungu. Mtazamo wako katika neno ukibadilishwa unakusaidia sana kuyajua uzuri wa mungu,mapenzi ya Mungu , ukamilifu wa Mungu na jinsi Mungu anavyo kuwazia mema. #Warumi 12:2 [2]Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu. Usipo jua mapenzi ya Mungu katika maisha yako utashindwa kujua kusudi la maisha yako . Neno la Mungu moja ya kazi yake ni kukujulisha mapenzi ya Mungu katika maisha yako ambapo inapelekea kujua kusudi . #Mithali 29:18 [18] *Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.* Neno lenyewe limejitosheleza kukujulisha kuwa Mungu anataka watu wanao jua kusudi lake. #Mtazamo ulio badilishwa inakupatia kusudi na mwelekeo wa maisha kulingana na kusudi la Mungu. Ukilijua neno kiasi cha kujua mapenzi ya mungu utakuwa unajua hakika Mungu anakuwazia mawazo ya amani na ustawi kila wakati. #Yeremia 29:11 [11]Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho. Hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwako na katika neno ni wewe kuwa na amani na kufanikiwa katika kila jambo. Shida ni kuwa ufanikiwi sababu ujui neno . Ngoja nikusaidie neno lenye matokeo ni lile linalo weza badilisha maisha yako lazima ulitendee mema. Ukisikia neno na lisikupe cha kufanya neno hilo kwako halina matokeo kwako . Karibu katika group https://chat.whatsapp.com/HhjVJc0bcdY5i5LCZnjHZ6 Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka build new eden revival and restoration ministry #restore men position #build new eden
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·553 Views
  • | BREAKING:

    Barcelona wako kwenye mazungumzo ya hali ya juu kuhakikisha wanamsajili Zé Lucas, mmoja wa vijana wanaovuma zaidi nchini Brazil.

    Kiungo wa kati mwenye umri wa miaka 17 anachezea Sport Recife.

    Makubaliano ya mwisho kati ya pande zote yanatarajiwa hivi karibuni.

    — Felix Diaz | Marca

    #sportselite
    🚨| BREAKING: Barcelona wako kwenye mazungumzo ya hali ya juu kuhakikisha wanamsajili Zé Lucas, mmoja wa vijana wanaovuma zaidi nchini Brazil. Kiungo wa kati mwenye umri wa miaka 17 anachezea Sport Recife. Makubaliano ya mwisho kati ya pande zote yanatarajiwa hivi karibuni. — Felix Diaz | Marca 🥇 #sportselite
    0 Commentarii ·0 Distribuiri ·257 Views
Sponsorizeaza Paginile