Ameandika Castor Yanga (Shabiki wa Yanga)
Bado tuna ushamba sana haswa kwenye soka letu Kwa ujumla,,Duniani kote Kila timu inakuwa na mipango yake nini wanataka kufanya ndani msimu husika.Kupitia mkutano mkuu wa Yanga 2024 moja ya agenda kuu ilikuwa ni malengo ya klabu.
(01)Kutetea Ubingwa.(HADI SASA TIMU IPO NAFASI YA PILI )
(02)Kushinda Ngao ya jamii (100% TUMESHINDA UBINGWA WA NGAO YA JAMII)
(03)Kufuzu makundi CAF CHAMPIONS LEAGUE (TIMU IPO MAKUNDI)
Kwa mafanikio haya ni zaidi ya 80% Kocha Miguel Angel Gamondi amefanikiwa.Sijajua ni wapi tunaferi Yanga,,Tunafanya maamuzi Kwa mihemko sana 🫰 Kisa Kelele za watu Wachache ambao ndio wametufikisha hapa.
Gamondi toka aichukue Yanga haijafungwa mechi Zaidi ya 8 ana Ushindi zaidi ya 85% kwenye mashindano yote ambayo ameshiriki na kikosi chake,,Tuna mechi za kimataifa Bado siku 12 tu Leo hii Uongozi unamfukuza kocha,,Wapi tunataka kwenda Yanga...!!?
Kwanini tunashindwa kuamini Projects Zetu wenyewe Kwa kuwa wavumilivu,,Pep Guardiola amepoteza mechi Nne mfululizo hakuna Kelele wala mashabiki wa Manchester city ambaye anataka kuona Pep Guardiola anaondoka.Uongozi mmetukosea sana Wananchi.Hakuna timu duniani ambayo hajifungwi kuendelea kukarili kuwa na matokeo yetu vichwani kuwa Yanga ni bora kuliko Vilabu vingine ni ujinga.
Kama Viongozi mmeamua kufanya usafi basi fanyeni usafi hadi ndani ya Uongozi wenyewe,,Yanga princess haijashida hata mechi moja lakini hadi sasa Uongozi upo kimya kama matokeo mabovu wanayopata hawayaoni.Tunakimbilia kujifucha huku Kwa wakubwa ili tuone mpo active.
Mnaajili kocha mpya katikati ya msimu vipi akifeli nae,,Je Vipi kocha mpya nae akitoa project yake je tuakuwa na uvumilivu...? Binafsi nimeumia sana Miguel Angel Gamondi kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Yanga kwasababu ni kocha ambaye alishatengeneza patten nzuri ndani ya Yanga.
Kila la heri Gamondi.

·147 Views