Atualizar para Plus

  • Katika miaka yangu 20 kama mtaalamu wa soka, sijawahi kukutaba na mtu ambae ni mwaminifu na muwazi kwa wachezaji na wafanyakazi wote kwa jina la ukuaji binafsi, kuongezeka kiwango, katika maisha na katika soka yaani ndani na nje ya uwanja.
    Ilikuwa ni furaha kabisa kufundishwa na wewe vilevile msaada wa timu yako kiufundi, rafiki wa kweli, muungwana kweli kweli, kaka na mtu mkubwa ambae anataka tu kupambana kwa ajili ya mafanikio ya timu yake

    Nakutakia kila la heri katika juhudi zako za baadaye bwana.
    Upendo na baraka
    Katika miaka yangu 20 kama mtaalamu wa soka, sijawahi kukutaba na mtu ambae ni mwaminifu na muwazi kwa wachezaji na wafanyakazi wote kwa jina la ukuaji binafsi, kuongezeka kiwango, katika maisha na katika soka yaani ndani na nje ya uwanja. Ilikuwa ni furaha kabisa kufundishwa na wewe vilevile msaada wa timu yako kiufundi, rafiki wa kweli, muungwana kweli kweli, kaka na mtu mkubwa ambae anataka tu kupambana kwa ajili ya mafanikio ya timu yake Nakutakia kila la heri katika juhudi zako za baadaye bwana. Upendo na baraka 🙏
    Love
    2
    ·295 Visualizações
  • Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..?

    Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..?

    Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji

    Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo

    https://www.nyumbachap.com
    Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..? Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..? Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo 👇 https://www.nyumbachap.com
    ·198 Visualizações
  • Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..?

    Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..?

    Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji

    Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo

    https://www.nyumbachap.com
    Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..? Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..? Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo 👇 https://www.nyumbachap.com
    Like
    Love
    2
    ·204 Visualizações
  • Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..?

    Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..?

    Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji

    Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo

    https://www.nyumbachap.com
    Je umechoshwa na gharama pamoja na usumbufu wa madalali muda wa kutafuta chumba..? Au wewe ni mwenye nyumba unatamani kusajili nyumba Yako upate wapangaji ndani ya dakika 5..? Kama jibu ni ndio Basi shida Yako imeisha tuna vyumba mikoa yote Tanzania kuanzia Tsh 15000/= Hadi Tsh 1000000/= ni wewe tu kuchagua mkoa, wilaya, mtaa na Bei ya chumba unachotaka program yetu itakutafutia chumba ndani ya sekunde 15 tu kulingana na vigezo utakavyoitaji Gusa tovuti hii ufurahie Teknolojia na maendeleo 👇 https://www.nyumbachap.com
    Like
    Love
    2
    ·203 Visualizações
  • HALI HALISI YA MAISHA HUKO MTAANI .

    Baada ya kumaliza shule
    Wale wote uliosoma nao wanaenda maeneo mbalimbali duniani.

    Wengine wamemaliza chuo na sasa ni Madaktari, Wahandisi, Waalimu, Wanasheria, Wahasibu nk.

    Wengine wameoa/kuolewa. Wengine wana watoto. Wengine ndo bado wanatafuta ajira. Wengine wamekufa, usisahau hilo pia. Wengine ni wagonjwa vitandani, wengine wameendelea na elimu ya juu zaidi nk. Wengine wanamiliki kampuni, wengine ni mabosi na wanamiliki hisa katika makampuni makubwa duniani.

    Ila vipi wewe UNAJISIKIAJE unapokutana na wale uliosoma nao, ambao inaonekana wamefanikiwa katika NDOTO zao, wakati wewe bado unasuasua hata hujafanya chochote na hata kimshahara ulicho nacho hakikusogezi popote isipokuwa kula na kubadili nguo pamoja na kodi ya nyumba tu?

    Ni mawazo mengi huja akilini, Je huwa unawaonea wivu? Na huo wivu wako ni wa aina gani? Je ni wa kuwachukia au ule wivu wa wewe kupambana ufikie mafanikio kama wao?
    Kwanza watu wa namna hii huwa wanafikiria Mungu hawapendi kabisa.

    Usisahau pia kuna wale waliofariki... Bado unafikiria vilevile na unawaonea wivu?

    MY TAKE

    Usiruhusu nafasi ya KUKATA TAMAA. Sisi ni tofauti na njia zetu za kufanikiwa ni tofauti.

    Wengine wanafanikiwa haraka kabla yako na wengine baada yako na wewe unakuja kufanikiwa baada yao ndivyo ilivyo katika maisha. Ila katika hali yoyote unayojikuta upo sasa, tafadhali endelea kuvunja vizuizi na songa mbele huenda njia uliyo nayo ndiyo itakayo kutoa kamwe usijaribu kuishi maisha wanayoishi wengine kumbuka maisha ni vile unavyoamua kuishi wewe na si mwingine anavoishi.

    Unapoona wengine wanafanikiwa basi jitume na wewe uweze kufanikiwa, kubwa ni kuongeza juhudi katika kazi zako.

    Rafiki yako akinunua gari leo, furahi, kumbuka wakati utakaponunua la kwako litakuwa jipya zaidi kuliko la kwake na utatamba kwa wakati huo kiasi cha wao kukuonea wivu pia.
    Hakuna washindi wa kudumu katika maisha, ila kuna washindi kwa muda.

    Maisha siyo mashindano, usishindane na yoyote, kumbuka, kuwa maisha ni kama kitabu kwamba tunasoma kitabu kimoja lakini kurasa tofauti katika muda tofauti na kila mtu anafanikiwa kwa nafasi na wakati wake, inategemea unaanda mazingira yapi ya kufanikiwa...

    Usiruhusu woga ndani yako kuuwa ndoto ndani yako, baki ukichochea matamanio yako pia jaribu kuthubutu kufanya usiwe mtu wa kuogopa hasara katika jambo la mafanikio kwani bila changamoto huwezi kutoboa.

    Ni nini unatamani Leo...!?
    Andika kwa sababu siku moja dunia itatamani kukusoma, na itakuwa ni sehemu ya historia yako ya mafanikio.

    Hakuna mahali usipoweza kufika isipokuwa juani tu, jiamini, fanyia kazi malengo yako, tambua changamoto na zisikukatize tamaa. Usiumie kwa kuona wenzako wanafanikiwa, kumbuka anga ni pana sana na kila ndege anaweza kupaa bila kumgusa mwenzake.

    Thamini kila jambo dogo ambalo linakujia katika maisha. Chini ya dunia kila kitu kinawezekana ukiamua epuka kupoteza muda mwingi kuumizwa na vitu visivyo na msingi katika maisha yako na pindi litokeapo jambo ambalo unaona litakurudisha nyuma basi weka pembeni jambo hilo kisha elekeza akili katika njia ya kutafuta mafanikio ipo siku utafanikiwa na mambo yote yataenda sawa.

    Nahitimisha kwa kusema "Katika harakati za mafanikio kuna vitu vingi sana ambavyo huwa tunatamani viende kwa pamoja lakini kwa bahati mbaya kuna vingine huangukia njiani hivyo basi vyote ambavyo vinaonekana kukukwamisha fanya kuviweka kando kwa muda kisha chukua hata moja katika vingi hivyo lipeleke hadi mwisho kisha anza kuyarudia haya mengine baada ya mafanikio.
    HALI HALISI YA MAISHA HUKO MTAANI . Baada ya kumaliza shule Wale wote uliosoma nao wanaenda maeneo mbalimbali duniani. Wengine wamemaliza chuo na sasa ni Madaktari, Wahandisi, Waalimu, Wanasheria, Wahasibu nk. Wengine wameoa/kuolewa. Wengine wana watoto. Wengine ndo bado wanatafuta ajira. Wengine wamekufa, usisahau hilo pia. Wengine ni wagonjwa vitandani, wengine wameendelea na elimu ya juu zaidi nk. Wengine wanamiliki kampuni, wengine ni mabosi na wanamiliki hisa katika makampuni makubwa duniani. Ila vipi wewe UNAJISIKIAJE unapokutana na wale uliosoma nao, ambao inaonekana wamefanikiwa katika NDOTO zao, wakati wewe bado unasuasua hata hujafanya chochote na hata kimshahara ulicho nacho hakikusogezi popote isipokuwa kula na kubadili nguo pamoja na kodi ya nyumba tu? Ni mawazo mengi huja akilini, Je huwa unawaonea wivu? Na huo wivu wako ni wa aina gani? Je ni wa kuwachukia au ule wivu wa wewe kupambana ufikie mafanikio kama wao? Kwanza watu wa namna hii huwa wanafikiria Mungu hawapendi kabisa. Usisahau pia kuna wale waliofariki... Bado unafikiria vilevile na unawaonea wivu? MY TAKE Usiruhusu nafasi ya KUKATA TAMAA. Sisi ni tofauti na njia zetu za kufanikiwa ni tofauti. Wengine wanafanikiwa haraka kabla yako na wengine baada yako na wewe unakuja kufanikiwa baada yao ndivyo ilivyo katika maisha. Ila katika hali yoyote unayojikuta upo sasa, tafadhali endelea kuvunja vizuizi na songa mbele huenda njia uliyo nayo ndiyo itakayo kutoa kamwe usijaribu kuishi maisha wanayoishi wengine kumbuka maisha ni vile unavyoamua kuishi wewe na si mwingine anavoishi. Unapoona wengine wanafanikiwa basi jitume na wewe uweze kufanikiwa, kubwa ni kuongeza juhudi katika kazi zako. Rafiki yako akinunua gari leo, furahi, kumbuka wakati utakaponunua la kwako litakuwa jipya zaidi kuliko la kwake na utatamba kwa wakati huo kiasi cha wao kukuonea wivu pia. Hakuna washindi wa kudumu katika maisha, ila kuna washindi kwa muda. Maisha siyo mashindano, usishindane na yoyote, kumbuka, kuwa maisha ni kama kitabu kwamba tunasoma kitabu kimoja lakini kurasa tofauti katika muda tofauti na kila mtu anafanikiwa kwa nafasi na wakati wake, inategemea unaanda mazingira yapi ya kufanikiwa... Usiruhusu woga ndani yako kuuwa ndoto ndani yako, baki ukichochea matamanio yako pia jaribu kuthubutu kufanya usiwe mtu wa kuogopa hasara katika jambo la mafanikio kwani bila changamoto huwezi kutoboa. Ni nini unatamani Leo...!? Andika kwa sababu siku moja dunia itatamani kukusoma, na itakuwa ni sehemu ya historia yako ya mafanikio. Hakuna mahali usipoweza kufika isipokuwa juani tu, jiamini, fanyia kazi malengo yako, tambua changamoto na zisikukatize tamaa. Usiumie kwa kuona wenzako wanafanikiwa, kumbuka anga ni pana sana na kila ndege anaweza kupaa bila kumgusa mwenzake. Thamini kila jambo dogo ambalo linakujia katika maisha. Chini ya dunia kila kitu kinawezekana ukiamua epuka kupoteza muda mwingi kuumizwa na vitu visivyo na msingi katika maisha yako na pindi litokeapo jambo ambalo unaona litakurudisha nyuma basi weka pembeni jambo hilo kisha elekeza akili katika njia ya kutafuta mafanikio ipo siku utafanikiwa na mambo yote yataenda sawa. Nahitimisha kwa kusema "Katika harakati za mafanikio kuna vitu vingi sana ambavyo huwa tunatamani viende kwa pamoja lakini kwa bahati mbaya kuna vingine huangukia njiani hivyo basi vyote ambavyo vinaonekana kukukwamisha fanya kuviweka kando kwa muda kisha chukua hata moja katika vingi hivyo lipeleke hadi mwisho kisha anza kuyarudia haya mengine baada ya mafanikio.
    ·375 Visualizações
  • Zungu

    "Mbali na matokeo inaelezwa kuwa Master Gamondi alipoteza mvuto kwenye dressing room

    Maelewano hafifu na viongozi wenzake, kingine kukubali Yanga kutokukaa kambini yani wachezaji kutokea makwao lilikuwa kosa kubwa ,Wenyeji wa mikocheni Masaki na Mbezi beach si ajabu kwao kukutana na wachezaji wa Yanga mtaani siku chache hata kabla ya mechi

    Kwa mfano mechi kati ya Yanga na Tabora wachezaji wa Yanga waliingia kambini masaa 24 kabla ya mechi husika yani waliingia kambini saa 12 jioni ya tarehe 6 jumatano na mechi ni alhamisi ya tarehe 7 !!!

    Kingine ni baadhi ya wachezaji muhimu vwa Yanga wanaoongoza kutoka na wadada wa mjini kuna kiungo wao mmoja mkabaji anatoka hapo nchi jirani kafa kaoza kwa dada yetu mmoja white, achilia mbali wale viungo wawili wa Ivor coast, na hivi hawana kambi ni mwendo wa kujiachia tu ,

    Hakuna shaka Yanga wanaenda kuvunja utaratibu wa kutokuwa na kambi, kambi ni muhimu Sana kwa mazingira ya wachezaji wa Tanzania , ukiwaachia uhuru umeumia

    Haya Matejoo tunalala sasa!!"
    Zungu ✍️ "Mbali na matokeo inaelezwa kuwa Master Gamondi alipoteza mvuto kwenye dressing room Maelewano hafifu na viongozi wenzake, kingine kukubali Yanga kutokukaa kambini yani wachezaji kutokea makwao lilikuwa kosa kubwa ,Wenyeji wa mikocheni Masaki na Mbezi beach si ajabu kwao kukutana na wachezaji wa Yanga mtaani siku chache hata kabla ya mechi Kwa mfano mechi kati ya Yanga na Tabora wachezaji wa Yanga waliingia kambini masaa 24 kabla ya mechi husika yani waliingia kambini saa 12 jioni ya tarehe 6 jumatano na mechi ni alhamisi ya tarehe 7 !!! Kingine ni baadhi ya wachezaji muhimu vwa Yanga wanaoongoza kutoka na wadada wa mjini 🤣 kuna kiungo wao mmoja mkabaji anatoka hapo nchi jirani kafa kaoza kwa dada yetu mmoja white, achilia mbali wale viungo wawili wa Ivor coast, na hivi hawana kambi ni mwendo wa kujiachia tu , Hakuna shaka Yanga wanaenda kuvunja utaratibu wa kutokuwa na kambi, kambi ni muhimu Sana kwa mazingira ya wachezaji wa Tanzania , ukiwaachia uhuru umeumia 🧐 Haya Matejoo tunalala sasa!!"
    Haha
    1
    1 Comentários ·109 Visualizações

  • UBAYA UBWELA MPAKA KWA MTAA
    #paulswai
    UBAYA UBWELA MPAKA KWA MTAA😁😁 #paulswai
    Like
    1
    ·183 Visualizações ·19 Visualizações
  • MZEE we NI maisha online si mtaani
    MZEE we NI maisha online si mtaani
    ·128 Visualizações
  • Anajifanya ni geti Kali online wakati mtaani anazurura kama mbwa kichaa
    Anajifanya ni geti Kali online wakati mtaani anazurura kama mbwa kichaa
    ·145 Visualizações
  • Anajifanya beautif kwa online wakati mtaani anakula ukoko
    Anajifanya beautif kwa online wakati mtaani anakula ukoko
    Like
    1
    1 Comentários ·130 Visualizações
  • Ukinikataa mtaani kwa jina langu mtaani nakufata na jina la online mpaka cheche ziweke
    Ukinikataa mtaani kwa jina langu mtaani nakufata na jina la online mpaka cheche ziweke
    ·136 Visualizações
  • "Mimi sasa hivi ukitaka kuongea na mimi usiniite kwenye vibao kata huko mtaani sijui kwenye visherehe vya hovyo, niite Ngorongoro au Mikumi huko kwenye sehemu za maana tukazungumze. Nimejitambua mimi ndiye Angelina Jolie wa Bongo "- Wema Sepetu, Mwigizaji wa filamu Tanzania.

    "Mimi sasa hivi ukitaka kuongea na mimi usiniite kwenye vibao kata huko mtaani sijui kwenye visherehe vya hovyo, niite Ngorongoro au Mikumi huko kwenye sehemu za maana tukazungumze. Nimejitambua mimi ndiye Angelina Jolie wa Bongo "- Wema Sepetu, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
    ·176 Visualizações
  • KWA HERI 2024
    naandika hii verse,
    nikiwa sina uhakika,
    kama mwaka huu 2025,
    nitavuka,
    maana maisha yamekuwa
    mafupi,
    muda wowote naweza
    nikakata pumzi,
    ila sina budi kushukuru,
    mpaka leo napumua,
    bila kulipa ushuru,
    na Mungu kaniwekea nuru,
    ili watesi wangu,
    wasije wakanidhuru,
    mwaka huu 2024 ulikuwa Mgumu,
    ndo mwaka tuliopoteza marafiki na Ndugu,
    kila la heri mwaka 2024,
    kwangu ulikuja kama mpizan,
    biashara zangu ziliingia kisiran,
    posho ikawa adimu nyumban,
    wife anauliza kulikon,
    namwambia tungoje mwakan,
    maana mwaka huu mtihan,
    nazid kuongeza juhud na sala,
    mwaka huu uwe mwaka
    mwema inshallah,
    posho ifike mpaka nyumban,
    madogo wapate ada
    waende shuleni,
    Mungu nikushukuru,
    kwa kuzid kunipigania
    Muhuni,
    japo bado najifunikia Ngumi,
    life tyt sana mtaani,
    kwako baba sijatoa Iman,
    nangoja baraka zangu
    mashakani,
    KWA HERI 2024 naandika hii verse, nikiwa sina uhakika, kama mwaka huu 2025, nitavuka, maana maisha yamekuwa mafupi, muda wowote naweza nikakata pumzi, ila sina budi kushukuru, mpaka leo napumua, bila kulipa ushuru, na Mungu kaniwekea nuru, ili watesi wangu, wasije wakanidhuru, mwaka huu 2024 ulikuwa Mgumu, ndo mwaka tuliopoteza marafiki na Ndugu, kila la heri mwaka 2024, kwangu ulikuja kama mpizan, biashara zangu ziliingia kisiran, posho ikawa adimu nyumban, wife anauliza kulikon, namwambia tungoje mwakan, maana mwaka huu mtihan, nazid kuongeza juhud na sala, mwaka huu uwe mwaka mwema inshallah, posho ifike mpaka nyumban, madogo wapate ada waende shuleni, Mungu nikushukuru, kwa kuzid kunipigania Muhuni, japo bado najifunikia Ngumi, life tyt sana mtaani, kwako baba sijatoa Iman, nangoja baraka zangu mashakani,
    ·338 Visualizações
  • cheki rhyme zangu, kila kona zinavyovuma/
    Mamceez wanadata, wanaelekeza kwangu shutuma/
    Lyrics zangu matata,ingekuwa uchoraji mi ni John Kaduma/
    nimebaki mwenyewe mtu kati/
    mistari ipo makini inastahili ya-juu Hati/
    na pia freestyle zangu sizitungi kwa bahati/
    sijui ingekuwa vipi kama mngeilipia Vat/
    Wasanii wenye chuki bado wananiwekea gundu/
    wanalonga mtaani 'eti wananitoa manundu/
    kuna siku mpaka walitaka kunichanja na Mundu/
    wanashindwa kutambua 'ben' ni msanii mtundu!/

    ...........................2B Continued
    cheki rhyme zangu, kila kona zinavyovuma/ Mamceez wanadata, wanaelekeza kwangu shutuma/ Lyrics zangu matata,ingekuwa uchoraji mi ni John Kaduma/ nimebaki mwenyewe mtu kati/ mistari ipo makini inastahili ya-juu Hati/ na pia freestyle zangu sizitungi kwa bahati/ sijui ingekuwa vipi kama mngeilipia Vat/ Wasanii wenye chuki bado wananiwekea gundu/ wanalonga mtaani 'eti wananitoa manundu/ kuna siku mpaka walitaka kunichanja na Mundu/ wanashindwa kutambua 'ben' ni msanii mtundu!/ ...........................2B Continued
    Like
    1
    ·401 Visualizações
  • mtaa umepotea kwenye giza mi ndo taa

    unashangaa nang'aa ka mwanga wa mshumaa

    tambaa mi kachaa ntakutesa na kukuua ka njaa

    kaa mbali jifiche ka biashara ya chang'aa
    mtaa umepotea kwenye giza mi ndo taa unashangaa nang'aa ka mwanga wa mshumaa tambaa mi kachaa ntakutesa na kukuua ka njaa kaa mbali jifiche ka biashara ya chang'aa
    Love
    Like
    3
    ·200 Visualizações
  • nina pisi kali toka elfu mbili na ishirini..
    so unitishii kumchuku kisa vi elfu sabini..
    tulipo kosa chakula tulikula msoto sa awezi nipiga chini..
    hata uje na gari pesa umchukui labda umueweke jini..
    we ndo pisi kali mama mbona nishaweka nembo ya mtaa..
    sio corona wala ebola ukiniacha nitapata u kichaa..
    wakichafuka we unang'aa ndo maaana nakupenda balaa..
    i wish you all the best mi na-hustle kusaka chapaa..
    nina pisi kali toka elfu mbili na ishirini.. so unitishii kumchuku kisa vi elfu sabini.. tulipo kosa chakula tulikula msoto sa awezi nipiga chini.. hata uje na gari pesa umchukui labda umueweke jini.. we ndo pisi kali mama mbona nishaweka nembo ya mtaa.. sio corona wala ebola ukiniacha nitapata u kichaa.. wakichafuka we unang'aa ndo maaana nakupenda balaa.. i wish you all the best mi na-hustle kusaka chapaa..
    Like
    Love
    4
    ·228 Visualizações
  • Pesa aiwezi nunua #furaha//

    Bongo ukweli unaua au chanzo cha #majeraha//

    narap adi jasho bado nyota #imekataa//

    Elimu ya mitaa michoro ya chuo #kikuu//

    Hip hop imeniteka kichwa chin miguu #juu//

    Nang'aa bila riflecter nyota ya #mtaa//

    Maamuzi ya gadhabu sio dawa ya tatizo #kujibu//

    Fikiri sumbua ubongo gain mawazo yenye #tiba//

    Kukata tamaa uvivu ni nyota ya #kuiba//

    Usiishi kivivu ata kama umekosa cha #kushiba/
    Pesa aiwezi nunua #furaha// Bongo ukweli unaua au chanzo cha #majeraha// narap adi jasho bado nyota #imekataa// Elimu ya mitaa michoro ya chuo #kikuu// Hip hop imeniteka kichwa chin miguu #juu// Nang'aa bila riflecter nyota ya #mtaa// Maamuzi ya gadhabu sio dawa ya tatizo #kujibu// Fikiri sumbua ubongo gain mawazo yenye #tiba// Kukata tamaa uvivu ni nyota ya #kuiba// Usiishi kivivu ata kama umekosa cha #kushiba/
    Like
    1
    ·704 Visualizações
  • Kwa hali na mali nitajitoa/
    Natumia grili kila kikwazo kutoboa/
    Maisha yemekaza mtaani kugumu sio poa/
    Mahali kubwa ndo maana vijana hatutaki ndoa/
    Kwa hali na mali nitajitoa/ Natumia grili kila kikwazo kutoboa/ Maisha yemekaza mtaani kugumu sio poa/ Mahali kubwa ndo maana vijana hatutaki ndoa/
    ·140 Visualizações
  • Huwa nacheza na akili.. Kama mchezo wa kubeti..
    Kwenye dundo nanesa hivi.. Kama mlevi wa kuberi..
    Nipe kipaza.. Unae taka midondoko..
    Ili, niwape somo vilaza.. Wanao taka miondoko..
    Nipe dili.. Ukitaka kuni wish..
    Usiwe muuza siri.. Kama unataka kuni snich..
    Hiphop chakula ya mtaa.. Namie ndo mpishi..
    Fundi najenga nyumba kishujaa.. Nanyie ndo msingi..
    Vitendo dhidi ya maneno.. Nawatongoza mpaka mabubu..
    Mc nasambaza mapendo.. Masnich wana tubu..
    Huwa nacheza na akili.. Kama mchezo wa kubeti.. Kwenye dundo nanesa hivi.. Kama mlevi wa kuberi.. Nipe kipaza.. Unae taka midondoko.. Ili, niwape somo vilaza.. Wanao taka miondoko.. Nipe dili.. Ukitaka kuni wish.. Usiwe muuza siri.. Kama unataka kuni snich.. Hiphop chakula ya mtaa.. Namie ndo mpishi.. Fundi najenga nyumba kishujaa.. Nanyie ndo msingi.. Vitendo dhidi ya maneno.. Nawatongoza mpaka mabubu.. Mc nasambaza mapendo.. Masnich wana tubu..
    Like
    1
    1 Comentários ·534 Visualizações
  • Huwa nacheza na akili.. Kama mchezo wa kubeti..
    Kwenye dundo nanesa hivi.. Kama mlevi wa kuberi..
    Nipe kipaza.. Unae taka midondoko..
    Ili, niwape somo vilaza.. Wanao taka miondoko..
    Nipe dili.. Ukitaka kuni wish..
    Usiwe muuza siri.. Kama unataka kuni snich..
    Hiphop chakula ya mtaa.. Namie ndo mpishi..
    Fundi najenga nyumba kishujaa.. Nanyie ndo msingi..
    Vitendo dhidi ya maneno.. Nawatongoza mpaka mabubu..
    Mc nasambaza mapendo.. Masnich wana tubu..
    Huwa nacheza na akili.. Kama mchezo wa kubeti.. Kwenye dundo nanesa hivi.. Kama mlevi wa kuberi.. Nipe kipaza.. Unae taka midondoko.. Ili, niwape somo vilaza.. Wanao taka miondoko.. Nipe dili.. Ukitaka kuni wish.. Usiwe muuza siri.. Kama unataka kuni snich.. Hiphop chakula ya mtaa.. Namie ndo mpishi.. Fundi najenga nyumba kishujaa.. Nanyie ndo msingi.. Vitendo dhidi ya maneno.. Nawatongoza mpaka mabubu.. Mc nasambaza mapendo.. Masnich wana tubu..
    Like
    1
    1 Comentários ·496 Visualizações
Páginas impulsionada