Passa a Pro

  • Baada ya kuwekwa hatiani siku kadhaa zilizopita, hatimaye Kiungo wa klabu ya Al Ahly ya Misri, Emam Ashour amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela baada ya Mahakama kumkuta na hatia ya kumshambulia Askari wa Usalama.

    ya Nchini humo

    Hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya Sheikh Zayed nchini Misri itamfanya Kiungo huyo kuikosa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Dunia la Vilabu ingawa anaweza kukata rufaa.

    #KastulElias
    🚨 Baada ya kuwekwa hatiani siku kadhaa zilizopita, hatimaye Kiungo wa klabu ya Al Ahly ya Misri, Emam Ashour amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela baada ya Mahakama kumkuta na hatia ya kumshambulia Askari wa Usalama. ya Nchini humo Hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya Sheikh Zayed nchini Misri itamfanya Kiungo huyo kuikosa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Dunia la Vilabu ingawa anaweza kukata rufaa. #KastulElias
    Like
    Love
    2
    1 Commenti ·179 Views
  • .MATCH YANGA vs AZAM


    Azam Wamegomea Hiyo Match Kupigwa Chamazi Kwa Sababu za Kiusalama

    Azam wanataka Ngoma Ikapigwe Aman Stadium au Taifa

    Taifa ipoo kwenye Ukarabati

    Yanga Uwanja wao Wa Nyumbani ni Azam Complex , Wamiliki Hawataki
    .⏩MATCH YANGA vs AZAM ➡️Azam Wamegomea Hiyo Match Kupigwa Chamazi Kwa Sababu za Kiusalama 😀 ⏩Azam wanataka Ngoma Ikapigwe Aman Stadium au Taifa ⏩Taifa ipoo kwenye Ukarabati ⏩Yanga Uwanja wao Wa Nyumbani ni Azam Complex , Wamiliki Hawataki
    Angry
    1
    8 Commenti ·199 Views
  • Hatari za Kiusalama:
    Wadukuzi na Teknolojia za Kisasa

    Maisha yetu yanabadilika na kuwa ya kiteknolojia kila siku. Wadukuzi sasa wanaweza kusikiliza mazungumzo yako kupitia AirPods za Apple kwa kutumia vipaza sauti. Pia, wanaweza kupata ufikiaji wa mbali kwenye vifaa vya kuchaji simu na kuzidisha nguvu za umeme, na kusababisha simu kulipuka wakati wa kuchaji.

    Udukuzi huu unajulikana kama BadPower, na unaweza kushambulia simu yoyote yenye teknolojia ya kuchaji haraka kama iPhones, Samsung Galaxy, na simu nyingi za kisasa. Hii inamaanisha kwamba watu wenye nia mbaya wanaweza kuingilia teknolojia zetu na kuzitumia vibaya, hata kutoka umbali mrefu.

    🛡Jihadharini na vifaa vyako vya kiteknolojia na kuwa makini na usalama wao!

    #Hora_Tech
    #Hatari #Wadukuzi #BadPower #teknolojia
    🔐 Hatari za Kiusalama: Wadukuzi na Teknolojia za Kisasa 🌐 😎 Maisha yetu yanabadilika na kuwa ya kiteknolojia kila siku. Wadukuzi sasa wanaweza kusikiliza mazungumzo yako kupitia AirPods za Apple kwa kutumia vipaza sauti. Pia, wanaweza kupata ufikiaji wa mbali kwenye vifaa vya kuchaji simu na kuzidisha nguvu za umeme, na kusababisha simu kulipuka wakati wa kuchaji. 🚨 🦠 Udukuzi huu unajulikana kama BadPower, na unaweza kushambulia simu yoyote yenye teknolojia ya kuchaji haraka kama iPhones, Samsung Galaxy, na simu nyingi za kisasa. Hii inamaanisha kwamba watu wenye nia mbaya wanaweza kuingilia teknolojia zetu na kuzitumia vibaya, hata kutoka umbali mrefu. 🛡Jihadharini na vifaa vyako vya kiteknolojia na kuwa makini na usalama wao! ➤ #Hora_Tech #Hatari #Wadukuzi #BadPower #teknolojia
    Like
    1
    ·960 Views
  • TAHADHARI

    Wapendwa wananchi, kwa taarifa yako: *Ilani ya Usalama wa Juu:* Tafadhali fahamu kuwa kuna kundi la watu wanaokwenda nyumba kwa nyumba wakijifanya kuwa wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani.    Wana hati na barua kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Ndani na wanadai wanahitaji kuthibitisha kuwa kila mtu ana kitambulisho halali kwa sensa ijayo.   Kumbe wanataka kuiba nyumba yako.    Wako kila mahali na wanaonekana maridadi.     Mtu atakuja nyumbani kwako na kusema *Nataka kuchukua picha/alama yako ya vidole kulingana na mpango fulani*.    Wana kompyuta ndogo, mashine ya biometriska na orodha ya majina yote.    Wanaonyesha menyu na kuuliza habari hii yote.     Tafadhali kumbuka kuwa hakuna mpango kama huo wa serikali.     Tafadhali fahamu kuwa haya yote ni bandia.    Usiwape taarifa yoyote.    Kila mtu anahitaji kuwa macho na *kufahamu*!     Tuma hii kwa vikundi vyako vyote vya jumuiya.    Tafadhali wajulishe familia yako na marafiki.

    *Be warned*
    TAHADHARI Wapendwa wananchi, kwa taarifa yako: *Ilani ya Usalama wa Juu:* Tafadhali fahamu kuwa kuna kundi la watu wanaokwenda nyumba kwa nyumba wakijifanya kuwa wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani.    Wana hati na barua kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Ndani na wanadai wanahitaji kuthibitisha kuwa kila mtu ana kitambulisho halali kwa sensa ijayo.   Kumbe wanataka kuiba nyumba yako.    Wako kila mahali na wanaonekana maridadi.     Mtu atakuja nyumbani kwako na kusema *Nataka kuchukua picha/alama yako ya vidole kulingana na mpango fulani*.    Wana kompyuta ndogo, mashine ya biometriska na orodha ya majina yote.    Wanaonyesha menyu na kuuliza habari hii yote.     Tafadhali kumbuka kuwa hakuna mpango kama huo wa serikali.     Tafadhali fahamu kuwa haya yote ni bandia.    Usiwape taarifa yoyote.    Kila mtu anahitaji kuwa macho na *kufahamu*!     Tuma hii kwa vikundi vyako vyote vya jumuiya.    Tafadhali wajulishe familia yako na marafiki. *Be warned*
    Like
    Haha
    2
    ·435 Views
  • Mnakumbuka kipindi cha Magufuli, mwanzoni kabisa tulikuwa tunasema Bashite kamloga Magu kwa jinsi ambavyo Bashite aliweza kumcontrol Magu na Magu alikuwa hasikii haoni kwa Bashite.

    Kwenye kipindi hiki ile nafasi ya Bashite kwa Rais anayo huyu jambazi anaitwa Waziri Salum.
    Kwa kifupi huyu jamaa anamtukana mpaka yule mzee wa Usalama wa taifa pamoja na mkurugenzi wa TCRA kama watoto wadogo.

    Jamaa ana majumba Masaki na Dubai kwa kuuza access ya Rais.

    Stay tuned! Mambo ni mengi muda mchache……. Haya ndio mambo nayapenda, Nakojoaaaaa
    Mnakumbuka kipindi cha Magufuli, mwanzoni kabisa tulikuwa tunasema Bashite kamloga Magu kwa jinsi ambavyo Bashite aliweza kumcontrol Magu na Magu alikuwa hasikii haoni kwa Bashite. Kwenye kipindi hiki ile nafasi ya Bashite kwa Rais anayo huyu jambazi anaitwa Waziri Salum. Kwa kifupi huyu jamaa anamtukana mpaka yule mzee wa Usalama wa taifa pamoja na mkurugenzi wa TCRA kama watoto wadogo. Jamaa ana majumba Masaki na Dubai kwa kuuza access ya Rais. Stay tuned! Mambo ni mengi muda mchache……. Haya ndio mambo nayapenda, Nakojoaaaaa 🤣🤣🤣
    Like
    Love
    4
    ·161 Views
  • Operation Treadstone ilikuwa ni program ambayo ni black-ops program ikisimamiwa na CIA.

    Black-ops program ndo nini? Hizi ni program zinazoanzishwa hususani na vyombo vya usalama kwa lengo fulani na zinakuwa na siri kubwa na takatifu, wakati mwingine hata organization husika inaweza kuwa haijui.

    Kikinuka hata organization inakana kabisa maana program inakuwa kama haieleweki eleweki ila wanaoshiriki wanajijua tena mnashiriki nao kwenye kushangaa pamoja

    Sasa Treadstone ilianzishwa na CIA kwa lengo la kutumia kitu kinaitwa 'Behavior modification protocol' kuwabadilisha watu ambao walikuwa recruited kuwa wauaji hatari kupindukia.

    Kwenye hii program ndio tunamkuta pia Jason Bourne. Sasa hii series ilikuwa inaangazia program kwa ujumla sio Jason Bourne, huyu case yake ni nyingine... pamoja na baadhi ya hao agents waliokuwa kwenye hiyo program.

    Mzigo una episodes 10 tu, ulikuwa cancelled though baada ya S01.
    Operation Treadstone ilikuwa ni program ambayo ni black-ops program ikisimamiwa na CIA. Black-ops program ndo nini? Hizi ni program zinazoanzishwa hususani na vyombo vya usalama kwa lengo fulani na zinakuwa na siri kubwa na takatifu, wakati mwingine hata organization husika inaweza kuwa haijui. Kikinuka hata organization inakana kabisa maana program inakuwa kama haieleweki eleweki ila wanaoshiriki wanajijua tena mnashiriki nao kwenye kushangaa pamoja 😄 Sasa Treadstone ilianzishwa na CIA kwa lengo la kutumia kitu kinaitwa 'Behavior modification protocol' kuwabadilisha watu ambao walikuwa recruited kuwa wauaji hatari kupindukia. Kwenye hii program ndio tunamkuta pia Jason Bourne. Sasa hii series ilikuwa inaangazia program kwa ujumla sio Jason Bourne, huyu case yake ni nyingine... pamoja na baadhi ya hao agents waliokuwa kwenye hiyo program. Mzigo una episodes 10 tu, ulikuwa cancelled though baada ya S01.
    Like
    Love
    4
    1 Commenti ·309 Views
  • Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji.

    Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano.

    Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa.

    Mungu Ibariki Afrika.
    Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji. Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano. Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa. Mungu Ibariki Afrika.
    Like
    Love
    6
    2 Commenti ·258 Views
  • Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji.

    Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano.

    Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa.

    Mungu Ibariki Afrika.
    Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji. Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano. Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa. Mungu Ibariki Afrika.
    Like
    Love
    4
    1 Commenti ·259 Views
  • *AFYA YA MACHO.*

    *Daniel S.W.*

    Macho ni kiungo Muhimu sana kwa kuona. Asilimia kubwa ya taarifa kwa sisi wanadamu tunazipata kwa kupitia macho.

    Lakini wengi hazituzingatii Afya ya macho yapokuwa tunayatumia mpaka pale ambapo tatizo linakuwa kubwa na ndio tunakumbuka kwenda kwa Madaktari.

    WHO inasema kuna takbrani watu billioni 2.2 wenye matatizo ya macho au Upofu. Na kati ya Hao watu Billioni 1 wana matatizo ya Macho ambayo yangeweza yatibu mapema *¹*

    Matatizo ya macho ni matatizo ambayo yanawaathiri watu wengi. Na hata kama hauna tatizo unajukumu la kuhakikisha usalama wa macho yako upo katika viwango vizuri.

    Kwanza kabisa tambua kuwa Jicho linahitaji mambo yafuatayo.

    *Vitamin A*. Vitamin Hii inahitajika sana kwaajili ya kuzalisha rhodopsin ambazo ni seli Muhimu sana ndani ya jicho zinazosaidia kuona. Na pia Vitamin A inasaidia sana kufanya jicho liwe na hali ya unyevu wakati wote.

    *Carotenoids*. Hizi ni vichembechembe vinavyofanya matunda yawe na rangi. Hivi husaidia katika kuondoa sumusumu kwenye jicho.

    *Vitamin C na E.* Hizi pia zinasaidi katika kulinda jicho dhidi ya sumusumu. Hizi vitamin zinapatikana sana kwenye matunda, nafaka, na Mboga mboga.

    Tuendelee kujifunza ili tuweze zingatia macho yetu.
    *AFYA YA MACHO.* *Daniel S.W.* Macho ni kiungo Muhimu sana kwa kuona. Asilimia kubwa ya taarifa kwa sisi wanadamu tunazipata kwa kupitia macho. Lakini wengi hazituzingatii Afya ya macho yapokuwa tunayatumia mpaka pale ambapo tatizo linakuwa kubwa na ndio tunakumbuka kwenda kwa Madaktari. WHO inasema kuna takbrani watu billioni 2.2 wenye matatizo ya macho au Upofu. Na kati ya Hao watu Billioni 1 wana matatizo ya Macho ambayo yangeweza yatibu mapema *¹* Matatizo ya macho ni matatizo ambayo yanawaathiri watu wengi. Na hata kama hauna tatizo unajukumu la kuhakikisha usalama wa macho yako upo katika viwango vizuri. Kwanza kabisa tambua kuwa Jicho linahitaji mambo yafuatayo. *Vitamin A*. Vitamin Hii inahitajika sana kwaajili ya kuzalisha rhodopsin ambazo ni seli Muhimu sana ndani ya jicho zinazosaidia kuona. Na pia Vitamin A inasaidia sana kufanya jicho liwe na hali ya unyevu wakati wote. *Carotenoids*. Hizi ni vichembechembe vinavyofanya matunda yawe na rangi. Hivi husaidia katika kuondoa sumusumu kwenye jicho. *Vitamin C na E.* Hizi pia zinasaidi katika kulinda jicho dhidi ya sumusumu. Hizi vitamin zinapatikana sana kwenye matunda, nafaka, na Mboga mboga. Tuendelee kujifunza ili tuweze zingatia macho yetu.
    Love
    Like
    8
    6 Commenti ·286 Views
  • ⛳️ Sasisho la Kipengele Kipya cha
    WhatsApp: Uhamisho wa Faili Kupitia Bluetooth!

    ➤ Habari njema! WhatsApp inafanya kazi kwenye kipengele kipya kitakachorahisisha maisha yako: Uhamishaji wa Faili Kupitia Bluetooth!

    Jinsi Inavyofanya Kazi:

    ➤ Hakuna haja ya intaneti: Tumia Bluetooth kuhamisha faili kati ya akaunti za WhatsApp mbili tofauti.
    Haraka na salama: Faili zako zitahamishiwa kwa sekunde chache na kwa usalama.

    🖱Kipengele hiki bado kinaendelezwa, lakini kitapatikana hivi karibuni kwenye toleo jipya la WhatsApp.

    Stay home & follow for more! @Hora_Tech
    #WhatsApp #Bluetooth #UhamishajiFaili #Teknolojia #Habari #Hora_Tech
    ⛳️ Sasisho la Kipengele Kipya cha WhatsApp: Uhamisho wa Faili Kupitia Bluetooth! ➤ Habari njema! 🪀WhatsApp🪀 inafanya kazi kwenye kipengele kipya kitakachorahisisha maisha yako: Uhamishaji wa Faili Kupitia Bluetooth! Jinsi Inavyofanya Kazi: ➤ Hakuna haja ya intaneti: Tumia 🔋Bluetooth kuhamisha faili kati ya akaunti za WhatsApp mbili tofauti. Haraka na salama: 🎥Faili zako zitahamishiwa kwa sekunde chache na kwa usalama. 🖱Kipengele hiki bado kinaendelezwa, lakini kitapatikana hivi karibuni kwenye toleo jipya la WhatsApp. ©️Stay home & follow for more! @Hora_Tech #WhatsApp #Bluetooth #UhamishajiFaili #Teknolojia #Habari #Hora_Tech
    Like
    Love
    2
    ·458 Views
  • Sababu za Marekani kutaka kupiga marufuku TikTok:

    Serikali ya Marekani ina wasiwasi kuhusu usalama wa taifa unaohusiana na programu ya TikTok. Wasiwasi huo unazingatia mambo mawili makuu:

    1. Ufikiaji wa data ya watumiaji:

    Inaaminika kuwa serikali ya China inaweza kupata data ya watumiaji wa TikTok, ikijumuisha taarifa za kibinafsi na shughuli za mtandaoni.
    Hii inaleta wasiwasi kuhusu uwezekano wa serikali ya China kutumia data hii kwa ajili ya ujasusi au ushawishi.
    2. Udhibiti wa maudhui:

    Kuna wasiwasi kuwa TikTok inaweza kutumika kusambaza propaganda ya serikali ya China au kudhibiti maudhui yanayoonekana na watumiaji wa Marekani.
    Hii inaleta tishio kwa uhuru wa kujieleza na demokrasia nchini Marekani.
    Mambo mengine ya kuzingatia:

    Mvutano wa kisiasa kati ya Marekani na China unachangia wasiwasi kuhusu TikTok.
    Baadhi ya watu wanaamini kuwa marufuku ya TikTok ni hatua kali sana na haina msingi wa kutosha.
    Wengine wanaamini kuwa ni hatua muhimu ya kulinda usalama wa taifa.
    Hitimisho:

    Sababu za Marekani kutaka kupiga marufuku TikTok ni ngumu na zinahusisha masuala ya usalama wa taifa, ufikiaji wa data, udhibiti wa maudhui, na siasa za kimataifa. Ni muhimu kupata taarifa kutoka kwa vyanzo mbalimbali vya kuaminika ili kuunda maoni yako binafsi kuhusu suala hili.

    Ulimwengu_Wako
    #TikTok #Marufuku #Marekani #Habari
    Sababu za Marekani kutaka kupiga marufuku TikTok: Serikali ya Marekani ina wasiwasi kuhusu usalama wa taifa unaohusiana na programu ya TikTok. Wasiwasi huo unazingatia mambo mawili makuu: 1. Ufikiaji wa data ya watumiaji: Inaaminika kuwa serikali ya China inaweza kupata data ya watumiaji wa TikTok, ikijumuisha taarifa za kibinafsi na shughuli za mtandaoni. Hii inaleta wasiwasi kuhusu uwezekano wa serikali ya China kutumia data hii kwa ajili ya ujasusi au ushawishi. 2. Udhibiti wa maudhui: Kuna wasiwasi kuwa TikTok inaweza kutumika kusambaza propaganda ya serikali ya China au kudhibiti maudhui yanayoonekana na watumiaji wa Marekani. Hii inaleta tishio kwa uhuru wa kujieleza na demokrasia nchini Marekani. Mambo mengine ya kuzingatia: Mvutano wa kisiasa kati ya Marekani na China unachangia wasiwasi kuhusu TikTok. Baadhi ya watu wanaamini kuwa marufuku ya TikTok ni hatua kali sana na haina msingi wa kutosha. Wengine wanaamini kuwa ni hatua muhimu ya kulinda usalama wa taifa. Hitimisho: Sababu za Marekani kutaka kupiga marufuku TikTok ni ngumu na zinahusisha masuala ya usalama wa taifa, ufikiaji wa data, udhibiti wa maudhui, na siasa za kimataifa. Ni muhimu kupata taarifa kutoka kwa vyanzo mbalimbali vya kuaminika ili kuunda maoni yako binafsi kuhusu suala hili. Ulimwengu_Wako #TikTok #Marufuku #Marekani #Habari
    Like
    Love
    3
    ·434 Views
  • Mtu asiyemwaminifu hata umfanyie nini hawezi kutosheka.

    Duniani kuna wanaume wa aina tatu

    1. Mla mizoga (Mwanamke yoyote kwake twende tu) hachagui muhimu ni mwanamke tu.

    2. Mwanaume muwindaji (huyu eat and run) anapitia na kusepa. Hutafuta walionona hatembei na wanawake wasionona.

    3. Mwanaume mkulima (mwaminifu) anayeamini katika shamba lake pekee (mkewe tu) hana mba mba mba na wanawake isipo mkewe pekee.

    Wanawake wao wapo makundi mawili (mkulima na kicheche)

    Tunahitaji watu wanaoweza kuzishinda hisia za tamaa kwa usalama wa afya, mioyo na hatma zetu kwa ustawi wa leo na kesho yetu.
    Mtu asiyemwaminifu hata umfanyie nini hawezi kutosheka. Duniani kuna wanaume wa aina tatu 1. Mla mizoga (Mwanamke yoyote kwake twende tu) hachagui muhimu ni mwanamke tu. 2. Mwanaume muwindaji (huyu eat and run) anapitia na kusepa. Hutafuta walionona hatembei na wanawake wasionona. 3. Mwanaume mkulima (mwaminifu) anayeamini katika shamba lake pekee (mkewe tu) hana mba mba mba na wanawake isipo mkewe pekee. Wanawake wao wapo makundi mawili (mkulima na kicheche) Tunahitaji watu wanaoweza kuzishinda hisia za tamaa kwa usalama wa afya, mioyo na hatma zetu kwa ustawi wa leo na kesho yetu.
    Love
    Like
    Haha
    5
    1 Commenti ·103 Views
  • PICHA: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama cha Mapinduzi, Vyombo vya ulinzi na usalama katika uwanja wa ndege wa Arusha leo tarehe 16 Mei 2024.

    Rais Dk.Mwinyi kesho tarehe 17 Mei 2024 anatarajiwa kufungua semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha )AICC). #MillardAyoUPDATES
    PICHA: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama cha Mapinduzi, Vyombo vya ulinzi na usalama katika uwanja wa ndege wa Arusha leo tarehe 16 Mei 2024. Rais Dk.Mwinyi kesho tarehe 17 Mei 2024 anatarajiwa kufungua semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha )AICC). #MillardAyoUPDATES
    Like
    Love
    15
    3 Commenti ·464 Views
  • WAKATI MWINGINE KUENDELEA KULIBEBA LINALOHITAJI KUACHILIWA NDICHO CHANZO CHA STRESS

    Msongo wa mawazo unadhoofisha uwezo wa kufikri, unavurunga mfumo wako wa homoni, hisia, kujiamini, uchumi, utulivu nk katika maisha yako na unaweza kukusababishia maradhi yasiyopona.

    Yale usiyoweza kuyabadili yaachilie ili yawe sehemu ya hadithi ya maisha yako maana yashakuwa wala usiyabebe ukawa unajilaumu kila leo, ambayo hata ungelia au kujilaumu hayawezi kubadilika yapokee na yawe sehemu ya hadithi ya mapito yako.

    Fanya mabadaliko ili ubaki salama. Usiogope kufanya mabadaliko katika lile linalohitaji mabadaliko kwa usalama wako (afya, roho, uchumi) na kila eneo la ustawi wako.

    Kukosea au kuumizwa kupo ila litatue ili lisiongeze tatizo jingine katika maisha yako
    WAKATI MWINGINE KUENDELEA KULIBEBA LINALOHITAJI KUACHILIWA NDICHO CHANZO CHA STRESS Msongo wa mawazo unadhoofisha uwezo wa kufikri, unavurunga mfumo wako wa homoni, hisia, kujiamini, uchumi, utulivu nk katika maisha yako na unaweza kukusababishia maradhi yasiyopona. Yale usiyoweza kuyabadili yaachilie ili yawe sehemu ya hadithi ya maisha yako maana yashakuwa wala usiyabebe ukawa unajilaumu kila leo, ambayo hata ungelia au kujilaumu hayawezi kubadilika yapokee na yawe sehemu ya hadithi ya mapito yako. Fanya mabadaliko ili ubaki salama. Usiogope kufanya mabadaliko katika lile linalohitaji mabadaliko kwa usalama wako (afya, roho, uchumi) na kila eneo la ustawi wako. Kukosea au kuumizwa kupo ila litatue ili lisiongeze tatizo jingine katika maisha yako
    ·68 Views
  • Telegram vs Telegram X ..... Je, ni ipi bora kwako?

    Unatumia programu gani ya kutuma ujumbe? Je, unajua kuna programu mbili tofauti zinazoitwa Telegram?

    Zote mbili ni salama, za haraka, na zenye vipengele vingi, lakini zinatofautiana kidogo.

    Telegram:
    Ina usimbaji fiche wa hali ya juu
    Jamii kubwa na yenye shughuli nyingi
    Vipengele vingi vya bure na vya kulipisha

    Telegram X:
    baadhi wanaamini ni salama zaidi..
    Vipengele vya ziada vya kubinafsisha
    Jamii ndogo ..Lakini kuna siri moja kubwa: Telegram X ni haraka sana kuliko Telegram! ⚡️

    Jaribu zote mbili na uone ni ipi unayopenda zaidi!

    #telegram #telegramx #ufungashaji #faragha #usalama #programu #kutumaujumbe #kasi #Hora #Tech
    Telegram vs Telegram X ..... Je, ni ipi bora kwako? 💎 Unatumia programu gani ya kutuma ujumbe? Je, unajua kuna programu mbili tofauti zinazoitwa Telegram? Zote mbili ni salama, za haraka, na zenye vipengele vingi, lakini zinatofautiana kidogo. Telegram: ⬇️ Ina usimbaji fiche wa hali ya juu Jamii kubwa na yenye shughuli nyingi Vipengele vingi vya bure na vya kulipisha Telegram X: ⬇️ baadhi wanaamini ni salama zaidi.. Vipengele vya ziada vya kubinafsisha Jamii ndogo ..Lakini kuna siri moja kubwa: Telegram X ni haraka sana kuliko Telegram! ⚡️ Jaribu zote mbili na uone ni ipi unayopenda zaidi! #telegram #telegramx #ufungashaji #faragha #usalama #programu #kutumaujumbe #kasi #Hora #Tech
    Like
    Love
    6
    1 Commenti ·383 Views