• Wakati kuna baadhi ya Wachezaji wanaenda kufanya maombi kwa viongozi wa dini ili kurudisha viwango vyao Mwamba wa uwagadugu anachage tuh nywele nyeusi kwenda nyeupe kiwango kimerudi

    Mechi 2 za mwisho CAF Champions magoli 2, Ki Aziz Kujiamini kumerudi, mashuti yamerudi namuona akiendelea na makali yake ya msimu uliopita

    #muslehelbarcaupdates

    #yangasc #CAFChampionsLeague
    Wakati kuna baadhi ya Wachezaji wanaenda kufanya maombi kwa viongozi wa dini ili kurudisha viwango vyao Mwamba wa uwagadugu anachage tuh nywele nyeusi kwenda nyeupe kiwango kimerudi 馃槀 Mechi 2 za mwisho CAF Champions magoli 2, Ki Aziz Kujiamini kumerudi, mashuti yamerudi namuona akiendelea na makali yake ya msimu uliopita 馃敟 #muslehelbarcaupdates 馃懡 #yangasc #CAFChampionsLeague
    Like
    2
    1 Reacties 0 aandelen 660 Views
  • Kila la heri @yangasc kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

    @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu @tanfootball
    Kila la heri @yangasc kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu @tanfootball
    Like
    2
    2 Reacties 0 aandelen 541 Views
  • Tumewasili Dodoma salama.
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #neliudcosiah
    Tumewasili Dodoma salama. #timuyawananchi #yangasc #neliudcosiah
    Like
    2
    0 Reacties 0 aandelen 526 Views
  • Habari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #daimambelenyumamwiko
    Habari za ahsubuh wananchi kutoka kwa mwana wa mfalme Prince Dube 馃槀馃榾馃挭 #timuyawananchi #yangasc #daimambelenyumamwiko
    Like
    1
    0 Reacties 0 aandelen 496 Views
  • Safari ya kurejea nyumbani imeanza
    #timuyawananchi
    #yangasc
    #neliudcosiah
    Safari ya kurejea nyumbani imeanza #timuyawananchi #yangasc #neliudcosiah
    Like
    3
    0 Reacties 0 aandelen 388 Views
  • Aliyewahi kuwa kocha wa klab ya YangaSc Cedric Kaze anarejea ndani ya klab hiyo.

    Cedric kaze anarejea kikosini humo kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye benchi la Ufundi lililo chini ya Kocha Saed Ramovic,

    Muda wowote kuanzia sasa Kocha Kaze atawaaga wachezaji wa klab yake ya sasa ya Kaizer Chiefs na kuanza safari ya Kuja Tanzania kuanza majukumu yake mapya ndani ya waajiri wake wa zamani Young Africans.
    Aliyewahi kuwa kocha wa klab ya YangaSc Cedric Kaze anarejea ndani ya klab hiyo. Cedric kaze anarejea kikosini humo kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye benchi la Ufundi lililo chini ya Kocha Saed Ramovic, Muda wowote kuanzia sasa Kocha Kaze atawaaga wachezaji wa klab yake ya sasa ya Kaizer Chiefs na kuanza safari ya Kuja Tanzania kuanza majukumu yake mapya ndani ya waajiri wake wa zamani Young Africans.
    Like
    1
    0 Reacties 0 aandelen 412 Views
  • Kikosi cha @yangasc kinachosafiri Leo kuelea DRC CONGO kuvaana na TP MAZEMBE klabu bingwa Africa, mchezo utapigwa tarehe 14/12/2024

    Kikosi cha @yangasc kinachosafiri Leo kuelea DRC CONGO kuvaana na TP MAZEMBE klabu bingwa Africa, mchezo utapigwa tarehe 14/12/2024
    Like
    1
    0 Reacties 0 aandelen 297 Views
  • #Yangasc
    #Simbasc
    #TFF#NBCPL
    #CAFCL
    #Yangasc #Simbasc #TFF#NBCPL #CAFCL
    Like
    1
    0 Reacties 0 aandelen 847 Views
  • Wameshenyetwa kweli CAFCL
    #Yangasc
    Wameshenyetwa kweli CAFCL #Yangasc
    Love
    1
    0 Reacties 0 aandelen 441 Views 15
  • YANGA SC mtamkumbuka Miguel Gamondi kwa matokeo haya
    #Sead Ramovic
    #Yangasc
    YANGA SC mtamkumbuka Miguel Gamondi kwa matokeo haya #Sead Ramovic #Yangasc
    Love
    1
    0 Reacties 0 aandelen 430 Views
  • NI KWELI YANGA IMEFUNGWA, LAKINI...

    Masaa yangu manne (4) mtandaoni nikipitia maoni ya wadau wa soka kuhusu matokeo ya @yangasc kufungwa mabao 2-0 na Al Hilal leo, yamenikumbusha Novemba 24, 2023 wakati Yanga hii hii ikifungwa mabao 3-0 na CR Belouizdad (ugenini).

    Maoni hayo ya wadau yakanipeleka Disemba 2, 2023 wakati Yanga ikilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Al Ahly (nyumbani), yote hayo kwenye hatua ya makundi ya michuano hii hii ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
    Mnakumbuka kilichofuata baada ya hapo?.

    Yanga walimaliza hatua ya makundi wakiwa nafasi ya pili na wakafuzu hatua ya robo fainali ambako waliondolewa tu kwa mambo yasiyofaa kuyaelezea sana.

    Leo wameanza tena hatua ya makundi kwa kupoteza, ni matokeo mabaya kwa klabu na watanzania kwa ujumla....ila nadhani kuna umuhimu wa kuhifadhi baadhi ya maneno yetu. Football ina mambo yake na inapenda sana kuheshimiwa na watu wa rika zote, tusijimalize.

    #Kumbukeni, 'wakali' kutoka @ligikuu ya @nbc_tanzania hawaanguki jumla, wanajikwaa wanainuka haraka, safari inaendelea

    #LadhaZaLigiKuu
    NI KWELI YANGA IMEFUNGWA, LAKINI... Masaa yangu manne (4) mtandaoni nikipitia maoni ya wadau wa soka kuhusu matokeo ya @yangasc kufungwa mabao 2-0 na Al Hilal leo, yamenikumbusha Novemba 24, 2023 wakati Yanga hii hii ikifungwa mabao 3-0 na CR Belouizdad (ugenini). Maoni hayo ya wadau yakanipeleka Disemba 2, 2023 wakati Yanga ikilazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Al Ahly (nyumbani), yote hayo kwenye hatua ya makundi ya michuano hii hii ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mnakumbuka kilichofuata baada ya hapo?. Yanga walimaliza hatua ya makundi wakiwa nafasi ya pili na wakafuzu hatua ya robo fainali ambako waliondolewa tu kwa mambo yasiyofaa kuyaelezea sana. Leo wameanza tena hatua ya makundi kwa kupoteza, ni matokeo mabaya kwa klabu na watanzania kwa ujumla....ila nadhani kuna umuhimu wa kuhifadhi baadhi ya maneno yetu. Football ina mambo yake na inapenda sana kuheshimiwa na watu wa rika zote, tusijimalize. #Kumbukeni, 'wakali' kutoka @ligikuu ya @nbc_tanzania hawaanguki jumla, wanajikwaa wanainuka haraka, safari inaendelea 馃敟 #LadhaZaLigiKuu
    Like
    Love
    4
    0 Reacties 0 aandelen 871 Views
  • 饾悗饾悈饾悈饾悎饾悅饾悎饾悁饾悑 饾悕EWS

    @fahadbayo22 raia wa Uganda amekamilisha usajili wa kujiunga na Yanga SC.
    Fahad Bayo anasubiri dirisha dogo la usajili lifunguliwe ili aanze kuitumikia klabu ya @yangasc

    Jean Baleke hatokuwa tena sehemu ya kikosi cha yangasc litakapofunguliwa dirisha dogo la usajili.

    饾悗饾悈饾悈饾悎饾悅饾悎饾悁饾悑 饾悕EWS @fahadbayo22 raia wa Uganda amekamilisha usajili wa kujiunga na Yanga SC. Fahad Bayo anasubiri dirisha dogo la usajili lifunguliwe ili aanze kuitumikia klabu ya @yangasc Jean Baleke hatokuwa tena sehemu ya kikosi cha yangasc litakapofunguliwa dirisha dogo la usajili.
    0 Reacties 0 aandelen 399 Views

  • Huu ndio Mpira sasa na hii ndio maana ya Ligi kuu,
    Tukubali leo tumejaa kwenye mfumo na tuwape hongera Tabora United.
    Tumepoteza Points Sita mfululizo lakini hatujanyang’anywa bado Ubingwa wetu.

    Yes ::kuna Siku kila kitu hukataa ndani ya Uwanja hata mkiwa bora kiasi gani, Hiyo ndio football tunayoijua sisi,
    Muhimu turudi kujipanga na kujiuliza nini kinatusibu kwa sasa na pia kuacha kujiamini kupitiliza.

    @yangasc
    Huu ndio Mpira sasa na hii ndio maana ya Ligi kuu, Tukubali leo tumejaa kwenye mfumo na tuwape hongera Tabora United. Tumepoteza Points Sita mfululizo lakini hatujanyang’anywa bado Ubingwa wetu. Yes ::kuna Siku kila kitu hukataa ndani ya Uwanja hata mkiwa bora kiasi gani, Hiyo ndio football tunayoijua sisi, Muhimu turudi kujipanga na kujiuliza nini kinatusibu kwa sasa na pia kuacha kujiamini kupitiliza. @yangasc 馃檹
    Like
    Love
    Sad
    Haha
    15
    4 Reacties 0 aandelen 806 Views
  • Yanga imecheza mchezo wakirafiki leo 13/08/124 dhidi ya Green Warriors, yanga kaibuka na ushindi wa goli 4 Kwa 0. Vital'O' kazi wanayo.
    #sokachampions
    #yangasc
    #soccerSports
    Pia angalia marudio ya mechi zote NBC PREMIER LEAGUE
    https://youtu.be/3Rn1iT4bftE?si=UHVMU856_9CmAwIl
    Yanga imecheza mchezo wakirafiki leo 13/08/124 dhidi ya Green Warriors, yanga kaibuka na ushindi wa goli 4 Kwa 0. Vital'O' kazi wanayo馃弳馃弳馃弳. #sokachampions #yangasc #soccerSports Pia angalia marudio ya mechi zote NBC PREMIER LEAGUE 馃憞 https://youtu.be/3Rn1iT4bftE?si=UHVMU856_9CmAwIl
    Like
    Love
    Yay
    4
    2 Reacties 0 aandelen 763 Views
  • WILLIAN PACHO; Paris saint Germain ( PSG ) Imekamilisha usajili wa beki wa kati Willian Pacho raia wa Ecuador, akitokea Eintracht Frankfurt ya Ujerumani.
    #sokachampions
    #psg
    #NgaoYaJamii
    #simbasc
    #yangasc
    WILLIAN PACHO; Paris saint Germain ( PSG ) Imekamilisha usajili wa beki wa kati Willian Pacho raia wa Ecuador, akitokea Eintracht Frankfurt ya Ujerumani. #sokachampions #psg #NgaoYaJamii #simbasc #yangasc
    Like
    Love
    5
    1 Reacties 0 aandelen 905 Views
  • AHMED ALLY; Yaani katika makombe Lile nalo nikombe!!?
    #sokachampions
    #KaizerChiefsFC
    #yangasc
    ##toyotacup
    #ubayaubwela
    #junvetus
    AHMED ALLY; Yaani katika makombe Lile nalo nikombe!!?馃馃馃 #sokachampions #KaizerChiefsFC #yangasc ##toyotacup #ubayaubwela #junvetus
    Like
    3
    0 Reacties 0 aandelen 1K Views
  • Kumbe maana ya UBAYA UBWELA ndiyo hii
    #Simbasc
    #yangasc
    #Ngaoyajamii
    Kumbe maana ya UBAYA UBWELA ndiyo hii馃 #Simbasc #yangasc #Ngaoyajamii
    Like
    Haha
    Yay
    6
    1 Reacties 0 aandelen 895 Views 71
  • Record bado tunazo hatujasahau mpaka tarehe
    #Simbasc
    #yangasc
    #Soccersports
    #sinemazetu
    #sokachampions
    Record bado tunazo hatujasahau mpaka tarehe馃ぃ #Simbasc #yangasc #Soccersports #sinemazetu #sokachampions
    Like
    Love
    5
    1 Reacties 0 aandelen 1K Views
  • Mechi za kirafiki mpaka sasa zimecheza hizi zifuatazo;
    1.Orlando pirates Vs Sevilla 2-0.
    2.Young Africans Vs Augsburg 1-2.
    3.Azam Vs US mansour 3-0.
    WENGINE JANJA JANJA
    #Simbasc
    #Yangasc
    #Azam
    #soccersports
    Mechi za kirafiki mpaka sasa zimecheza hizi zifuatazo; 1.Orlando pirates Vs Sevilla 2-0. 2.Young Africans Vs Augsburg 1-2. 3.Azam Vs US mansour 3-0. WENGINE JANJA JANJA馃ぃ #Simbasc #Yangasc #Azam #soccersports
    Like
    Haha
    3
    1 Reacties 0 aandelen 1K Views
  • Huyu kibabage kumbe nizaidi ya lomalisa shusha comment @soccersports
    #kibabage
    #kibwana
    #job
    #mshely
    #Nkane
    #yangasc
    Huyu kibabage kumbe nizaidi ya lomalisa馃ぃ shusha comment 馃憞@soccersports #kibabage #kibwana #job #mshely #Nkane #yangasc
    Love
    Like
    3
    1 Reacties 0 aandelen 1K Views
Zoekresultaten