Upgrade to Pro

  • Taswira mbalimbali za Serge Pokou akiwa mazoezini leo kwa mara ya kwanza

    #ArushaCamp #midseason #inawezekana
    Taswira mbalimbali za Serge Pokou akiwa mazoezini leo kwa mara ya kwanza 🐆 #ArushaCamp #midseason #inawezekana
    Like
    1
    1 Comments ·8 Views
  • Inawezekana kikao cha mwisho hakuwepo
    Inawezekana kikao cha mwisho hakuwepo 😆😂
    ·68 Views
  • .JEMEDARI SAID: MWENDA NI BONGE LA MCHEZAJI,YANGA WAMERAMBA DUME.
    .
    "Kumuona Israh kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga sio kitu cha ajabu sana maana tumewaona wengi mfano Feisal kutoka Yanga kwenda Azam ni vitu vya kawaida, Yanga wamepata mchezaji mzuri sana sina shaka nae"

    "Nina imani kocha amehusika kwa asilimia 100% maana wapo viongozi walisemaga kuwa sio rahisi kocha kusajili mwenyewe lazima ashirikishe viongozi ila inawezekana alimuhitaji mchezaji akaonyeshwa video zake nae akaridhika naye"

    "Ni ushamba tu wa mashabiki kuwasema wachezaji wakitanzania, watu walitaka kuona Simba au Yanga wanasajili wachezaji kutoka nje tu...huu ni ushamba na niwapongeze Yanga kufanya usajili wa Mwenda hata Kelvin Nashon"

    "Yanga wamefanya kitu cha maana isipokuwa wanahitaji kuvumilia hadi watakapokuwa vizuri kwenye kikosi chao"
    .
    “ Israel Mwenda ni mchezaji mzuri. Namjua tangu 2016. Dogo ana kipaji kizuri maana amefanya vyema akiwa na timu za Simba SC, KMC hadi timu ya Taifa. Kilichomuondoa Simba SC ni nafasi ya kucheza. Nifichue siri leo, hakuwa na mahusiano mazuri na Shomary Kapombe. Hawa wote ni wanangu. Muda mwingine unaona bora uondoke tu kutafuta changamoto nyingine"
    .
    "Kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga SC ni kitu cha kawaida kabisa. Lakini Yanga SC wamepata mchezaji mwenye uwezo, lakini arekebishwe mentality yake. Huyu ni mchezaji ambaye unaweza kumtumia katika mifumo mingi. Naamini kocha wa Yanga SC amehusika moja kwa moja na usajili huu “
    .
    JEMEDARI SAID,Mchambuzi CROWN FM.
    .JEMEDARI SAID: MWENDA NI BONGE LA MCHEZAJI,YANGA WAMERAMBA DUME. . "Kumuona Israh kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga sio kitu cha ajabu sana maana tumewaona wengi mfano Feisal kutoka Yanga kwenda Azam ni vitu vya kawaida, Yanga wamepata mchezaji mzuri sana sina shaka nae" "Nina imani kocha amehusika kwa asilimia 100% maana wapo viongozi walisemaga kuwa sio rahisi kocha kusajili mwenyewe lazima ashirikishe viongozi ila inawezekana alimuhitaji mchezaji akaonyeshwa video zake nae akaridhika naye" "Ni ushamba tu wa mashabiki kuwasema wachezaji wakitanzania, watu walitaka kuona Simba au Yanga wanasajili wachezaji kutoka nje tu...huu ni ushamba na niwapongeze Yanga kufanya usajili wa Mwenda hata Kelvin Nashon" "Yanga wamefanya kitu cha maana isipokuwa wanahitaji kuvumilia hadi watakapokuwa vizuri kwenye kikosi chao" . “ Israel Mwenda ni mchezaji mzuri. Namjua tangu 2016. Dogo ana kipaji kizuri maana amefanya vyema akiwa na timu za Simba SC, KMC hadi timu ya Taifa. Kilichomuondoa Simba SC ni nafasi ya kucheza. Nifichue siri leo, hakuwa na mahusiano mazuri na Shomary Kapombe. Hawa wote ni wanangu. Muda mwingine unaona bora uondoke tu kutafuta changamoto nyingine" . "Kutoka Singida Black Stars kwenda Yanga SC ni kitu cha kawaida kabisa. Lakini Yanga SC wamepata mchezaji mwenye uwezo, lakini arekebishwe mentality yake. Huyu ni mchezaji ambaye unaweza kumtumia katika mifumo mingi. Naamini kocha wa Yanga SC amehusika moja kwa moja na usajili huu “ . JEMEDARI SAID,Mchambuzi CROWN FM.
    Like
    Love
    5
    ·328 Views
  • 𝗜𝗸𝗶𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗶𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘂𝘁𝗮𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮𝗷𝗲 ?

    Unajua kupoteza simu yako baada ya kuingia maji ni jambo linaloumiza sana haswa ikiwa simu yako umenunua kwa gharama ?

    Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ?

    Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji

    1️⃣ Towel - dry your phone & remove cover
    Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe.

    2️⃣ Switch off & stay away from charger
    Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chaji.

    Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa.

    3️⃣ Bury your phone in rice
    Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk.

    Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu.

    4️⃣ Put in the fridge
    Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi simu yako itakua fresh

    Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo simu yako inatoka safi tu

    Njia ya mwisho peleka kwa fundi ukiona Bado inazingua Sasa inabidi utumie gharama za kupeleka kwa fundi kwa msaada zaidi

    𝗜𝗸𝗶𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗶𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘂𝘁𝗮𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮𝗷𝗲 ? Unajua kupoteza simu yako baada ya kuingia maji ni jambo linaloumiza sana haswa ikiwa simu yako umenunua kwa gharama ? Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama 😀 sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua ❌ warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ? Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji 👇 1️⃣ Towel - dry your phone & remove cover Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe. 2️⃣ Switch off & stay away from charger Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi 😀 usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chaji✅. Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa. 3️⃣ Bury your phone in rice 🌾 Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk. Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu. 4️⃣ Put in the fridge Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi 💪 simu yako itakua fresh Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo 😋 simu yako inatoka safi tu Njia ya mwisho peleka kwa fundi ukiona Bado inazingua Sasa inabidi utumie gharama za kupeleka kwa fundi kwa msaada zaidi
    Like
    Love
    2
    ·247 Views
  • 𝗜𝗸𝗶𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗶𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘂𝘁𝗮𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮𝗷𝗲 ?

    Unajua kupoteza simu yako baada ya kuingia maji ni jambo linaloumiza sana haswa ikiwa simu yako umenunua kwa gharama ?

    Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ?

    Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji

    1️⃣ Towel - dry your phone & remove cover
    Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe.

    2️⃣ Switch off & stay away from charger
    Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chaji.

    Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa.

    3️⃣ Bury your phone in rice
    Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk.

    Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu.

    4️⃣ Put in the fridge
    Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi simu yako itakua fresh

    Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo simu yako inatoka safi tu

    Njia ya mwisho peleka kwa fundi ukiona Bado inazingua Sasa inabidi utumie gharama za kupeleka kwa fundi kwa msaada zaidi

    𝗜𝗸𝗶𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗶𝗺𝗲𝗶𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘂𝘁𝗮𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮𝗷𝗲 ? Unajua kupoteza simu yako baada ya kuingia maji ni jambo linaloumiza sana haswa ikiwa simu yako umenunua kwa gharama ? Unajua simu nyingi ambazo haziwezi kupitisha maji ni chache alafu za gharama 😀 sio poa. Ila unajua simu yako Ikingia maji jua ❌ warranty yako haifanyi kazi kwenye ilo hivyo utagharamia mwenyewe marekebisho ? Sasa Leo nimekuletea njia utazifuata ikiwa simu yako imeingia kwenye maji 👇 1️⃣ Towel - dry your phone & remove cover Ikiwa simu yako imeingia kwenye maji basi fanya hivi toa kava lake kama inatoka kava la betri pia litoe. 2️⃣ Switch off & stay away from charger Hata siku moja ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima Basi 😀 usichomeke chaji nakuomba hakikisha simu imezimwa pia kha mbali na chaji Yani usiweke chaji✅. Hata kama simu yako imeingia maji alafu ika Waka fresh TU bila shida basi usiweke kwenye chaji hapo kwa hapo kwani ikitokea umeweka chaji basi una asilimia kubwa ya kuiua kabisa. 3️⃣ Bury your phone in rice 🌾 Ikitokea simu yako imeingia maji na ikazima au bado haijazima ipige pige kwanza kwa mkono kisha weka kwenye mchele kwani mchele unasaidia kunyonya maji yote ambayo wewe umeshindwa kuyafikia kama vile kwenye kamera , speaker , kwenye glass screen protector nk. Hivyo hakikisha umeiweka simu yako kwenye mchele kwa muda wa siku mbili mpaka 3 pia usitumie ile hairdryer ya kukausha nywele utauq simu. 4️⃣ Put in the fridge Inawezekana ikawa ya kushangaza sana ila hakikisha umechukua mchele umeupika vizuri Yani umeiva au ule mkavu chukua chombo chochote Cha plastic weka mchele kisha simu iweke Kati Kati kisha tia kwenye friji subir kwa masaa tisa mpaka Kumi 💪 simu yako itakua fresh Ila njia hii hakikisha friji linagandisha kweli pia toa line yako au sd card zako ndo uweke baada ya hapo 😋 simu yako inatoka safi tu Njia ya mwisho peleka kwa fundi ukiona Bado inazingua Sasa inabidi utumie gharama za kupeleka kwa fundi kwa msaada zaidi
    Love
    1
    ·244 Views
  • Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma kwako.

    Mwanaume ambae hutakuja kumsahau maisha yako yote kwa mazuri. Nakupa guarantee, kama ukikutana na huyo mwanaume, usimdharau. Ametumwa na Mungu kuwa mwanaume wako, rafiki yako na mpenzi wako.

    Usimdharau...kuwa amani, faraja yake, mheshimu na kumtii, bila kusahau kumuombea. Fanya kila uwezalo kubaki na yeye kwa sababu hautakuja kujuta kupendwa na mwanaume anaempenda na kumfuata Mungu."

    Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma kwako. Mwanaume ambae hutakuja kumsahau maisha yako yote kwa mazuri. Nakupa guarantee, kama ukikutana na huyo mwanaume, usimdharau. Ametumwa na Mungu kuwa mwanaume wako, rafiki yako na mpenzi wako. Usimdharau...kuwa amani, faraja yake, mheshimu na kumtii, bila kusahau kumuombea. Fanya kila uwezalo kubaki na yeye kwa sababu hautakuja kujuta kupendwa na mwanaume anaempenda na kumfuata Mungu." 💯💯💯
    ·214 Views
  • F E W D A T I N G T I P S .

    1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi.

    2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa litakuja lenyewe tu.

    3. Mwanaume aliye bora na mwanamke aliye mzuri hapimwi kwa idadi ya watu aliolala nao, ila kwa idadi ya watu aliopata ujasiri wa kuwaambia mimi tayari niko na mtu licha ya ushawishi mkubwa aliokumbana nao.

    4. Kuna aina ya wanawake ambao mwanaume kwa namna yoyote unahitaji kuwaepuka. Yule mwanamke anaedhani uzuri wake ni zaidi kuliko tabia yake.

    5. Heshimu hisia za mwenzako, usitumie kama silaha ya ku-compromise kupata kile unachokitaka. Hicho ndicho kinachotofautisha kati ya 'Wavulana' na 'Wanaume' na 'Wasichana' na 'Wanawake'.

    6. Watu hatari sana katika mahusiano ni wale ambao huko mwanzo walidanganywa, walisalitiwa, na kuchezewa....

    7. Usimwite mwanamke kwamba yuko cheap kwa sababu amekua mrahisi kwako. Inawezekana kabisa amekua mrahisi kwako kwa sababu anakupenda, ila kwa wengine ni mgumu zaidi ya chuma cha pua.

    8. Wanaume na wanawake waliokamilika hawapo. Ila wanaume na wanawake bora wapo kila mahala.

    9. Kama unampenda mtu, mueleze ukweli ajue. Na kama humpendi pia mweleze ukweli. Tuko nyuma ya muda.. Achana na Masuala ya kupotezeana muda..huo ni utoto.

    10. Ajabu ni kwamba, mwanamke/mwanaume anaweza kukusaliti.
    Ila daima Mungu hawezi kukusaliti.
    Having GOD must be your primary focus then relationship should come second.

    Siku Njema..
    F E W D A T I N G T I P S . 1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi. 2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa litakuja lenyewe tu. 3. Mwanaume aliye bora na mwanamke aliye mzuri hapimwi kwa idadi ya watu aliolala nao, ila kwa idadi ya watu aliopata ujasiri wa kuwaambia mimi tayari niko na mtu licha ya ushawishi mkubwa aliokumbana nao. 4. Kuna aina ya wanawake ambao mwanaume kwa namna yoyote unahitaji kuwaepuka. Yule mwanamke anaedhani uzuri wake ni zaidi kuliko tabia yake. 5. Heshimu hisia za mwenzako, usitumie kama silaha ya ku-compromise kupata kile unachokitaka. Hicho ndicho kinachotofautisha kati ya 'Wavulana' na 'Wanaume' na 'Wasichana' na 'Wanawake'. 6. Watu hatari sana katika mahusiano ni wale ambao huko mwanzo walidanganywa, walisalitiwa, na kuchezewa.... 7. Usimwite mwanamke kwamba yuko cheap kwa sababu amekua mrahisi kwako. Inawezekana kabisa amekua mrahisi kwako kwa sababu anakupenda, ila kwa wengine ni mgumu zaidi ya chuma cha pua. 8. Wanaume na wanawake waliokamilika hawapo. Ila wanaume na wanawake bora wapo kila mahala. 9. Kama unampenda mtu, mueleze ukweli ajue. Na kama humpendi pia mweleze ukweli. Tuko nyuma ya muda.. Achana na Masuala ya kupotezeana muda..huo ni utoto. 10. Ajabu ni kwamba, mwanamke/mwanaume anaweza kukusaliti. Ila daima Mungu hawezi kukusaliti. Having GOD must be your primary focus then relationship should come second. Siku Njema..
    ·358 Views
  • HALI HALISI YA MAISHA HUKO MTAANI .

    Baada ya kumaliza shule
    Wale wote uliosoma nao wanaenda maeneo mbalimbali duniani.

    Wengine wamemaliza chuo na sasa ni Madaktari, Wahandisi, Waalimu, Wanasheria, Wahasibu nk.

    Wengine wameoa/kuolewa. Wengine wana watoto. Wengine ndo bado wanatafuta ajira. Wengine wamekufa, usisahau hilo pia. Wengine ni wagonjwa vitandani, wengine wameendelea na elimu ya juu zaidi nk. Wengine wanamiliki kampuni, wengine ni mabosi na wanamiliki hisa katika makampuni makubwa duniani.

    Ila vipi wewe UNAJISIKIAJE unapokutana na wale uliosoma nao, ambao inaonekana wamefanikiwa katika NDOTO zao, wakati wewe bado unasuasua hata hujafanya chochote na hata kimshahara ulicho nacho hakikusogezi popote isipokuwa kula na kubadili nguo pamoja na kodi ya nyumba tu?

    Ni mawazo mengi huja akilini, Je huwa unawaonea wivu? Na huo wivu wako ni wa aina gani? Je ni wa kuwachukia au ule wivu wa wewe kupambana ufikie mafanikio kama wao?
    Kwanza watu wa namna hii huwa wanafikiria Mungu hawapendi kabisa.

    Usisahau pia kuna wale waliofariki... Bado unafikiria vilevile na unawaonea wivu?

    MY TAKE

    Usiruhusu nafasi ya KUKATA TAMAA. Sisi ni tofauti na njia zetu za kufanikiwa ni tofauti.

    Wengine wanafanikiwa haraka kabla yako na wengine baada yako na wewe unakuja kufanikiwa baada yao ndivyo ilivyo katika maisha. Ila katika hali yoyote unayojikuta upo sasa, tafadhali endelea kuvunja vizuizi na songa mbele huenda njia uliyo nayo ndiyo itakayo kutoa kamwe usijaribu kuishi maisha wanayoishi wengine kumbuka maisha ni vile unavyoamua kuishi wewe na si mwingine anavoishi.

    Unapoona wengine wanafanikiwa basi jitume na wewe uweze kufanikiwa, kubwa ni kuongeza juhudi katika kazi zako.

    Rafiki yako akinunua gari leo, furahi, kumbuka wakati utakaponunua la kwako litakuwa jipya zaidi kuliko la kwake na utatamba kwa wakati huo kiasi cha wao kukuonea wivu pia.
    Hakuna washindi wa kudumu katika maisha, ila kuna washindi kwa muda.

    Maisha siyo mashindano, usishindane na yoyote, kumbuka, kuwa maisha ni kama kitabu kwamba tunasoma kitabu kimoja lakini kurasa tofauti katika muda tofauti na kila mtu anafanikiwa kwa nafasi na wakati wake, inategemea unaanda mazingira yapi ya kufanikiwa...

    Usiruhusu woga ndani yako kuuwa ndoto ndani yako, baki ukichochea matamanio yako pia jaribu kuthubutu kufanya usiwe mtu wa kuogopa hasara katika jambo la mafanikio kwani bila changamoto huwezi kutoboa.

    Ni nini unatamani Leo...!?
    Andika kwa sababu siku moja dunia itatamani kukusoma, na itakuwa ni sehemu ya historia yako ya mafanikio.

    Hakuna mahali usipoweza kufika isipokuwa juani tu, jiamini, fanyia kazi malengo yako, tambua changamoto na zisikukatize tamaa. Usiumie kwa kuona wenzako wanafanikiwa, kumbuka anga ni pana sana na kila ndege anaweza kupaa bila kumgusa mwenzake.

    Thamini kila jambo dogo ambalo linakujia katika maisha. Chini ya dunia kila kitu kinawezekana ukiamua epuka kupoteza muda mwingi kuumizwa na vitu visivyo na msingi katika maisha yako na pindi litokeapo jambo ambalo unaona litakurudisha nyuma basi weka pembeni jambo hilo kisha elekeza akili katika njia ya kutafuta mafanikio ipo siku utafanikiwa na mambo yote yataenda sawa.

    Nahitimisha kwa kusema "Katika harakati za mafanikio kuna vitu vingi sana ambavyo huwa tunatamani viende kwa pamoja lakini kwa bahati mbaya kuna vingine huangukia njiani hivyo basi vyote ambavyo vinaonekana kukukwamisha fanya kuviweka kando kwa muda kisha chukua hata moja katika vingi hivyo lipeleke hadi mwisho kisha anza kuyarudia haya mengine baada ya mafanikio.
    HALI HALISI YA MAISHA HUKO MTAANI . Baada ya kumaliza shule Wale wote uliosoma nao wanaenda maeneo mbalimbali duniani. Wengine wamemaliza chuo na sasa ni Madaktari, Wahandisi, Waalimu, Wanasheria, Wahasibu nk. Wengine wameoa/kuolewa. Wengine wana watoto. Wengine ndo bado wanatafuta ajira. Wengine wamekufa, usisahau hilo pia. Wengine ni wagonjwa vitandani, wengine wameendelea na elimu ya juu zaidi nk. Wengine wanamiliki kampuni, wengine ni mabosi na wanamiliki hisa katika makampuni makubwa duniani. Ila vipi wewe UNAJISIKIAJE unapokutana na wale uliosoma nao, ambao inaonekana wamefanikiwa katika NDOTO zao, wakati wewe bado unasuasua hata hujafanya chochote na hata kimshahara ulicho nacho hakikusogezi popote isipokuwa kula na kubadili nguo pamoja na kodi ya nyumba tu? Ni mawazo mengi huja akilini, Je huwa unawaonea wivu? Na huo wivu wako ni wa aina gani? Je ni wa kuwachukia au ule wivu wa wewe kupambana ufikie mafanikio kama wao? Kwanza watu wa namna hii huwa wanafikiria Mungu hawapendi kabisa. Usisahau pia kuna wale waliofariki... Bado unafikiria vilevile na unawaonea wivu? MY TAKE Usiruhusu nafasi ya KUKATA TAMAA. Sisi ni tofauti na njia zetu za kufanikiwa ni tofauti. Wengine wanafanikiwa haraka kabla yako na wengine baada yako na wewe unakuja kufanikiwa baada yao ndivyo ilivyo katika maisha. Ila katika hali yoyote unayojikuta upo sasa, tafadhali endelea kuvunja vizuizi na songa mbele huenda njia uliyo nayo ndiyo itakayo kutoa kamwe usijaribu kuishi maisha wanayoishi wengine kumbuka maisha ni vile unavyoamua kuishi wewe na si mwingine anavoishi. Unapoona wengine wanafanikiwa basi jitume na wewe uweze kufanikiwa, kubwa ni kuongeza juhudi katika kazi zako. Rafiki yako akinunua gari leo, furahi, kumbuka wakati utakaponunua la kwako litakuwa jipya zaidi kuliko la kwake na utatamba kwa wakati huo kiasi cha wao kukuonea wivu pia. Hakuna washindi wa kudumu katika maisha, ila kuna washindi kwa muda. Maisha siyo mashindano, usishindane na yoyote, kumbuka, kuwa maisha ni kama kitabu kwamba tunasoma kitabu kimoja lakini kurasa tofauti katika muda tofauti na kila mtu anafanikiwa kwa nafasi na wakati wake, inategemea unaanda mazingira yapi ya kufanikiwa... Usiruhusu woga ndani yako kuuwa ndoto ndani yako, baki ukichochea matamanio yako pia jaribu kuthubutu kufanya usiwe mtu wa kuogopa hasara katika jambo la mafanikio kwani bila changamoto huwezi kutoboa. Ni nini unatamani Leo...!? Andika kwa sababu siku moja dunia itatamani kukusoma, na itakuwa ni sehemu ya historia yako ya mafanikio. Hakuna mahali usipoweza kufika isipokuwa juani tu, jiamini, fanyia kazi malengo yako, tambua changamoto na zisikukatize tamaa. Usiumie kwa kuona wenzako wanafanikiwa, kumbuka anga ni pana sana na kila ndege anaweza kupaa bila kumgusa mwenzake. Thamini kila jambo dogo ambalo linakujia katika maisha. Chini ya dunia kila kitu kinawezekana ukiamua epuka kupoteza muda mwingi kuumizwa na vitu visivyo na msingi katika maisha yako na pindi litokeapo jambo ambalo unaona litakurudisha nyuma basi weka pembeni jambo hilo kisha elekeza akili katika njia ya kutafuta mafanikio ipo siku utafanikiwa na mambo yote yataenda sawa. Nahitimisha kwa kusema "Katika harakati za mafanikio kuna vitu vingi sana ambavyo huwa tunatamani viende kwa pamoja lakini kwa bahati mbaya kuna vingine huangukia njiani hivyo basi vyote ambavyo vinaonekana kukukwamisha fanya kuviweka kando kwa muda kisha chukua hata moja katika vingi hivyo lipeleke hadi mwisho kisha anza kuyarudia haya mengine baada ya mafanikio.
    ·683 Views
  • KWA WANANDOA NA WALE WANAOTARAJIA KUINGIA KATIKA NDOA.

    Mbebe mke wako pale anaposinzia akiwa sebuleni na mpeleke kulala, muda mwingine mfanye ajisikie kama mtoto mdogo.

    Ukweli ni kwamba kila mwanamke anapenda kudekezwa kama mtoto wa miaka miwili. Ndio maana muda mwingine wanawake hufanya mambo ya kitoto.

    Inawezekana ukawa na mabishano na mkeo na ukaona anafungasha mabegi yake na anataka kuondoka.

    Hiyo haimaanishi anataka kukuacha, ni utoto tu, anachotaka ni wewe umshike mkono, umvutie kwako, umtizame usoni kwake na umwambie 'Samahani kwa mabishano na kukukashifu, haitajirudia tena"

    Huyo ndiye mwanamke wako, ubavu wako, Eva wako. Kila Brother anahitaji kusoma chuo cha wanawake kabla hajaoa, soma vitabu kuhusu wao, soma vitabu vya dini vinasemaje juu ya kuishi nao na kamwe hautakuwa na tatizo la kuishi nae.

    Ingawa kunaweza kuwa na changamoto za hapa na pale, hiyo ni kwa sababu wote mmetoka katika familia tofauti, zenye malezi ya tofauti na historia tofauti.

    Hivyo basi soma vitabu kuhusu ndoa, pitia mafundisho mbalimbali ya walimu wa mahusiano kama Dr. Chris Mauki, Dr. Naahj Naahjum, Hezron, tizama mafunzo ya Dr. Myles Munroe katika Youtube, Ongeza maarifa kuhusu malezi ya watoto na umuhimu wa Ndoa na mengineyo.

    Usikimbilie tu ndoa kisa Washikaji zako wote wameshaoa au umechoka kula msosi wa hotelini, na huku kichwani bado kweupe kuhusiana na ndoa, utajiletea matatizo.

    Ni wanaume wangapi wanaeza vumilia wake zao wanaoongea sana na kushout kwa kila jambo? Kama vile ilivyo shida kwa mwenye miguu ya mzee kupanda mlima uliojaa
    mchanga, ndivyo ilivyo kwa mume mpole kuishi na mke mwenye makelele.

    Unaambiwa uwe mkimya pale mmoja wenu anapokuwa na hasira na kuongea sana, Mmoja wenu anapokuwa moto basi mwingine awe maji. Hapo mambo yataenda sawia.

    Kaka zangu, ukiwa kama mwanaume jifunze kupotezea baadhi ya vitu, sio kila jambo unakua mkali kama pilipili mpaka watoto wanaenda kujificha chini ya uvungu wa vitanda.

    Cheza michezo ya kitoto na mkeo, imba nae siku za weekend huku ukimsaidia kufua au kutengeneza bustani, kuwa serious sana kunamuogopesha mkeo na hawezi kuwa rafiki yako wa karibu.

    Msaidie kazi za nyumbani, yeye si mfanyakazi wako wa ndani bali ni msaidizi, ulikuwa bachelor na kazi zote ulifanya mwenyewe sasa amekuja mke kukusaidia na sio kubadili kuwa kazi zake, menya viazi, teka maji, Oga nae, muamshe kwa ajili ya sala, mfindishe kupika chakula ambacho hajawahi kupika.

    Mpigie simu ukiwa kazini mwambie umemkumbuka na unampenda sana. Andika neno "I Love you" na uweke chini ya mto wake au pochi yake kabla hujaenda kazin.

    Mbusu siku zote, mkumbatie, mbembeleze. Siku zote mueleze kwamba yeye ni mzuri na una bahati ya kuwa mume wake.

    Yote haya ni sehemu ya kuwa romantic, pale mke anaposema kwamba hauko romantic, anamaanisha humfanyii haya mambo, hamaanishi romance mkiwa chumbani.

    Ni vitu fulani vidogo sana na vya kipuuzi ila kwa mwanamke vina maana kubwa sana, niamini mimi.

    Tamati nawashauri kaka zangu, gawanya usiku wako katika sehemu tatu.
    Moja ni kwa ajili yako (kuwaza mipango yako ya maendeleo na kulala).
    Mbili ni kwa ajili ya mke wako (ongea nae, kama uwezekano upo make love with her) na Tatu ni kwa ajili ya Mungu wako (Mshukuru kwa kukulinda siku nzima na kukufanikishia mipango yako)

    Nakuahidi huo utakuwa usiku bora kabisa ambao hujawahi kuupata!

    Mambo mawili ya kuzingatia na mtakua mmemaliza, wanawake watiini wanaume zenu, na wanaume wapendeni wake zenu. utii ni bora kuliko sadaka!

    Busara yangu, "A happy man, marry the woman he loves, but the happiest man keep loving the woman he marry!"
    KWA WANANDOA NA WALE WANAOTARAJIA KUINGIA KATIKA NDOA. Mbebe mke wako pale anaposinzia akiwa sebuleni na mpeleke kulala, muda mwingine mfanye ajisikie kama mtoto mdogo. Ukweli ni kwamba kila mwanamke anapenda kudekezwa kama mtoto wa miaka miwili. Ndio maana muda mwingine wanawake hufanya mambo ya kitoto. Inawezekana ukawa na mabishano na mkeo na ukaona anafungasha mabegi yake na anataka kuondoka. Hiyo haimaanishi anataka kukuacha, ni utoto tu, anachotaka ni wewe umshike mkono, umvutie kwako, umtizame usoni kwake na umwambie 'Samahani kwa mabishano na kukukashifu, haitajirudia tena" Huyo ndiye mwanamke wako, ubavu wako, Eva wako. Kila Brother anahitaji kusoma chuo cha wanawake kabla hajaoa, soma vitabu kuhusu wao, soma vitabu vya dini vinasemaje juu ya kuishi nao na kamwe hautakuwa na tatizo la kuishi nae. Ingawa kunaweza kuwa na changamoto za hapa na pale, hiyo ni kwa sababu wote mmetoka katika familia tofauti, zenye malezi ya tofauti na historia tofauti. Hivyo basi soma vitabu kuhusu ndoa, pitia mafundisho mbalimbali ya walimu wa mahusiano kama Dr. Chris Mauki, Dr. Naahj Naahjum, Hezron, tizama mafunzo ya Dr. Myles Munroe katika Youtube, Ongeza maarifa kuhusu malezi ya watoto na umuhimu wa Ndoa na mengineyo. Usikimbilie tu ndoa kisa Washikaji zako wote wameshaoa au umechoka kula msosi wa hotelini, na huku kichwani bado kweupe kuhusiana na ndoa, utajiletea matatizo. Ni wanaume wangapi wanaeza vumilia wake zao wanaoongea sana na kushout kwa kila jambo? Kama vile ilivyo shida kwa mwenye miguu ya mzee kupanda mlima uliojaa mchanga, ndivyo ilivyo kwa mume mpole kuishi na mke mwenye makelele. Unaambiwa uwe mkimya pale mmoja wenu anapokuwa na hasira na kuongea sana, Mmoja wenu anapokuwa moto basi mwingine awe maji. Hapo mambo yataenda sawia. Kaka zangu, ukiwa kama mwanaume jifunze kupotezea baadhi ya vitu, sio kila jambo unakua mkali kama pilipili mpaka watoto wanaenda kujificha chini ya uvungu wa vitanda. Cheza michezo ya kitoto na mkeo, imba nae siku za weekend huku ukimsaidia kufua au kutengeneza bustani, kuwa serious sana kunamuogopesha mkeo na hawezi kuwa rafiki yako wa karibu. Msaidie kazi za nyumbani, yeye si mfanyakazi wako wa ndani bali ni msaidizi, ulikuwa bachelor na kazi zote ulifanya mwenyewe sasa amekuja mke kukusaidia na sio kubadili kuwa kazi zake, menya viazi, teka maji, Oga nae, muamshe kwa ajili ya sala, mfindishe kupika chakula ambacho hajawahi kupika. Mpigie simu ukiwa kazini mwambie umemkumbuka na unampenda sana. Andika neno "I Love you" na uweke chini ya mto wake au pochi yake kabla hujaenda kazin. Mbusu siku zote, mkumbatie, mbembeleze. Siku zote mueleze kwamba yeye ni mzuri na una bahati ya kuwa mume wake. Yote haya ni sehemu ya kuwa romantic, pale mke anaposema kwamba hauko romantic, anamaanisha humfanyii haya mambo, hamaanishi romance mkiwa chumbani. Ni vitu fulani vidogo sana na vya kipuuzi ila kwa mwanamke vina maana kubwa sana, niamini mimi. Tamati nawashauri kaka zangu, gawanya usiku wako katika sehemu tatu. Moja ni kwa ajili yako (kuwaza mipango yako ya maendeleo na kulala). Mbili ni kwa ajili ya mke wako (ongea nae, kama uwezekano upo make love with her) na Tatu ni kwa ajili ya Mungu wako (Mshukuru kwa kukulinda siku nzima na kukufanikishia mipango yako) Nakuahidi huo utakuwa usiku bora kabisa ambao hujawahi kuupata! Mambo mawili ya kuzingatia na mtakua mmemaliza, wanawake watiini wanaume zenu, na wanaume wapendeni wake zenu. utii ni bora kuliko sadaka! Busara yangu, "A happy man, marry the woman he loves, but the happiest man keep loving the woman he marry!"
    ·588 Views
  • Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma kwako.

    Mwanaume ambae hutakuja kumsahau maisha yako yote kwa mazuri. Nakupa guarantee, kama ukikutana na huyo mwanaume, usimdharau. Ametumwa na Mungu kuwa mwanaume wako, rafiki yako na mpenzi wako.

    Usimdharau...kuwa amani, faraja yake, mheshimu na kumtii, bila kusahau kumuombea. Fanya kila uwezalo kubaki na yeye kwa sababu hautakuja kujuta kupendwa na mwanaume anaempenda na kumfuata Mungu."
    Utakutana na mwanaume alie bora mara moja tu katika maisha yako. Inawezekana ukawa umepitia katika mahusiano na wanaume kadhaa lakini utakutana na mmoja tu ambae ni kama Mungu alimtuma kwako. Mwanaume ambae hutakuja kumsahau maisha yako yote kwa mazuri. Nakupa guarantee, kama ukikutana na huyo mwanaume, usimdharau. Ametumwa na Mungu kuwa mwanaume wako, rafiki yako na mpenzi wako. Usimdharau...kuwa amani, faraja yake, mheshimu na kumtii, bila kusahau kumuombea. Fanya kila uwezalo kubaki na yeye kwa sababu hautakuja kujuta kupendwa na mwanaume anaempenda na kumfuata Mungu."
    ·102 Views
  • Kila saa watu billion wanaingiza zaidi ya trillion je unaeza jua inawezekanaje
    Kila saa watu billion wanaingiza zaidi ya trillion je unaeza jua inawezekanaje
    ·162 Views
  • Mafanikio sio lelemama..
    Jitoe sadaka ili uweze kusimama..
    Usiwe mtu wa kulalama..
    Acha lawama mungu kakupa kalama..
    Wewe ni helo sio zero pambana inawezekana..
    Kwenye tatizo ndio kunamafanikio..
    Suruhisho kwako furusa na msaada kwa wenzio..
    Jichangechange tu upate kianzio..
    Jichanganye kwenye watu kisha tega sikio..
    Sikiliza mawazo ya wenzako..
    Story zitakuonesha mwanzo..
    Pata ushauri kwa watu walio karibu yako..
    Wakupe maoni chanya yawe ni nguzo kwako..
    Sio wote wataokuelewa..
    Wapo wataokupuuza kaza bado ujachelewa..
    Wakikufukuza muda unawapotezea..
    Waombee maisha malefu waje kujionea.
    Mafanikio sio lelemama.. Jitoe sadaka ili uweze kusimama.. Usiwe mtu wa kulalama.. Acha lawama mungu kakupa kalama.. Wewe ni helo sio zero pambana inawezekana.. Kwenye tatizo ndio kunamafanikio.. Suruhisho kwako furusa na msaada kwa wenzio.. Jichangechange tu upate kianzio.. Jichanganye kwenye watu kisha tega sikio.. Sikiliza mawazo ya wenzako.. Story zitakuonesha mwanzo.. Pata ushauri kwa watu walio karibu yako.. Wakupe maoni chanya yawe ni nguzo kwako.. Sio wote wataokuelewa.. Wapo wataokupuuza kaza bado ujachelewa.. Wakikufukuza muda unawapotezea.. Waombee maisha malefu waje kujionea.
    ·53 Views
  • Inawezekana Kupata Kwetu si Kwa sababu ya Juhudi , Wapo wenye Juhudi ata Kuzidi Lakini Hawana Tulichonacho
    Inawezekana Kupata Kwetu si Kwa sababu ya Juhudi , Wapo wenye Juhudi ata Kuzidi Lakini Hawana Tulichonacho
    Like
    Love
    2
    ·9 Views
  • Kila kitu kinawezekana kwa uwezo wa mungu
    Nyanyuka na ujaribu kufanya tena utafanikiwa
    Pia usisahau maombi.
    Kila kitu kinawezekana kwa uwezo wa mungu Nyanyuka na ujaribu kufanya tena utafanikiwa Pia usisahau maombi.
    Like
    Love
    6
    1 Comments ·22 Views
  • Dereva wa pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga ndege aina ya bundi na kisha pikipiki yake kupoteza mwelekeo na kuanguka na hatimaye kupoteza maisha yake.

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando amesema tukio hilo limetokea mapema leo katika eneo la Sindeni jirani na kona ya PRS ambapo Dereva huyo alikuwa akiendesha pikipiki yenye namba za usajili STM 0232 .

    Msando amesema “Kwanza naomba nitolee ufafanuzi jambo hili kwani aliyefariki sio Afusa mifugo kama wengi walivyosema kwani Afisa mifugo wetu wa Wilaya ni Mwanamke na aliyefariki ni Mwanaume Dereva ambaye anamwendesha Afisa mifugo”

    “Ajali ni kama ajali nyingime lakini akishahusishwa bundi mara zote tayari kunakuwa na hizo imani za kishirikina na hofu kwa Watu kwamba amegonga bundi kafa na yeye mwenye amekufa lakini vilele inawezekana kwa kiasi kikubwa labda alivyomuona bundi katika kujaribu kumkwepa hakuchukua tahadhari akapata ajali ni uwezekano vilevile hakuwa amevaa kofia ngumu hivyo katika kuanguka akajigonga akapata madhara akafariki hivyo inawezekana ikawa ni ajali ya kawaida lakini kwasababu imemuhusisha bundi lazima ita letataharuki kuwa inahusiana na mambo ya kishirikina”

    Msando amesema kama Serikali ngazi ya Wilaya wana amini ni ajali kama ajali nyingine zinazotokea barabarani na hivyo ametoa wito kwa wale wote wanao tumia vyombo vya moto hususa pikipiki kuvaa kofia ngumu na kuchukua tadhari pindi wanapo kuwa barabarani na kutokwenda kwa spidi ili kuweza kuepuka kupata ajali. #MillardAyoUPDATES
    Dereva wa pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga ndege aina ya bundi na kisha pikipiki yake kupoteza mwelekeo na kuanguka na hatimaye kupoteza maisha yake. Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando amesema tukio hilo limetokea mapema leo katika eneo la Sindeni jirani na kona ya PRS ambapo Dereva huyo alikuwa akiendesha pikipiki yenye namba za usajili STM 0232 . Msando amesema “Kwanza naomba nitolee ufafanuzi jambo hili kwani aliyefariki sio Afusa mifugo kama wengi walivyosema kwani Afisa mifugo wetu wa Wilaya ni Mwanamke na aliyefariki ni Mwanaume Dereva ambaye anamwendesha Afisa mifugo” “Ajali ni kama ajali nyingime lakini akishahusishwa bundi mara zote tayari kunakuwa na hizo imani za kishirikina na hofu kwa Watu kwamba amegonga bundi kafa na yeye mwenye amekufa lakini vilele inawezekana kwa kiasi kikubwa labda alivyomuona bundi katika kujaribu kumkwepa hakuchukua tahadhari akapata ajali ni uwezekano vilevile hakuwa amevaa kofia ngumu hivyo katika kuanguka akajigonga akapata madhara akafariki hivyo inawezekana ikawa ni ajali ya kawaida lakini kwasababu imemuhusisha bundi lazima ita letataharuki kuwa inahusiana na mambo ya kishirikina” Msando amesema kama Serikali ngazi ya Wilaya wana amini ni ajali kama ajali nyingine zinazotokea barabarani na hivyo ametoa wito kwa wale wote wanao tumia vyombo vya moto hususa pikipiki kuvaa kofia ngumu na kuchukua tadhari pindi wanapo kuwa barabarani na kutokwenda kwa spidi ili kuweza kuepuka kupata ajali. #MillardAyoUPDATES
    Like
    Love
    Sad
    12
    8 Comments ·552 Views
  • Hivi inawezekana kupatikana kwa njia halali hii
    Wakuu wangu??
    😔🛌Hivi inawezekana kupatikana kwa njia halali hii 😱🤷 Wakuu wangu??
    Like
    Love
    10
    7 Comments ·228 Views
  • IFANYE PICHA YAKO ILIYO CHOKA KUWA MPYA

    Hii inawezekana kabisa .. kwakutumia teknolojia ya AI
    Imeandaa video ambayo imekuelekeza jinsi ya kufanya Video Nimeiweka Kwenye Channel yetu ya Telegram " ingia telegram Tafuta @Hora_Tech AU ili iwe laisi kuifikia post husika gusa link Yachini Hapa..

    👇🏻👇🏻
    https://t.me/Hora_Tech/236
    IFANYE PICHA YAKO ILIYO CHOKA KUWA MPYA ✨ Hii inawezekana kabisa .. kwakutumia teknolojia ya AI 🌐Imeandaa video ambayo imekuelekeza jinsi ya kufanya Video Nimeiweka Kwenye Channel yetu ya Telegram " ingia telegram Tafuta @Hora_Tech AU ili iwe laisi kuifikia post husika gusa link Yachini Hapa.. 👇🏻👇🏻 https://t.me/Hora_Tech/236
    Like
    Love
    7
    ·301 Views