Upgrade to Pro

  • GUSA ACHIA TWENDE KWA MWAARABU: Congratulations yanga, mimi binafsi nasema Alger atakufa goli 3:1 Kwa mkapa Kwa bori nililo shuhudia katika mchezo wa ugenini Al hilal Yanga, aisee!!!! yanga BINGWA CAF CHAMPIONS 2025.
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #cafchampionsleague2024
    #milardayo
    #shortsvideos
    🇹🇿GUSA ACHIA TWENDE KWA MWAARABU🤝: Congratulations yanga, mimi binafsi nasema Alger atakufa goli 3:1 Kwa mkapa Kwa bori nililo shuhudia katika mchezo wa ugenini Al hilal 🆚 Yanga, aisee!!!! yanga BINGWA CAF CHAMPIONS 2025. #sokachampions #soccersportstz #cafchampionsleague2024 #milardayo #shortsvideos
    Like
    Love
    7
    1 Comments ·171 Views
  • AZAM FC; Hivi nyie azam alo wadanganya kuwa kinacho sababisha GUSA ACHIA TWENDE KWAO ni PACOME ZOUZOUA ninani!!!?
    Yaaani mmeona bora mkatafute walau ata zuzu(zouzou) yaweza kufaana poleni sana acheni kuigaiga msiyo yaweza this is DAR YOUNG AFRICANS .
    #sokachampions
    #milardayo
    #soccersportstz
    #cafchampionsleague2024
    AZAM FC; Hivi nyie azam alo wadanganya kuwa kinacho sababisha GUSA ACHIA TWENDE KWAO ni PACOME ZOUZOUA ninani!!!?🤣 Yaaani mmeona bora mkatafute walau ata zuzu(zouzou) yaweza kufaana🤣🤣 poleni sana acheni kuigaiga msiyo yaweza this is DAR YOUNG AFRICANS 🖐️💚💛💚💛. #sokachampions #milardayo #soccersportstz #cafchampionsleague2024
    Like
    Love
    Wow
    8
    1 Comments ·145 Views
  • KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya.
    Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele.
    #sokachampions
    #milardayo
    #cafchampionsleague2024
    #soccersportstz
    KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya. Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele🤣🤣. #sokachampions #milardayo #cafchampionsleague2024 #soccersportstz
    Like
    Love
    Sad
    4
    3 Comments ·214 Views
  • ETI ENZI IZOO WEWE ULIMKUBALI NANI KATIKA PICHA HII
    JIUNGE na GROUP LA MASHABIKI AFRICA https://chat.whatsapp.com/FIaOHgFUUhODCH1MFw5PWV
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #cafchampionsleague2024
    #milardayo
    ETI ENZI IZOO WEWE ULIMKUBALI NANI KATIKA PICHA HII👇 JIUNGE na GROUP LA MASHABIKI AFRICA👇 https://chat.whatsapp.com/FIaOHgFUUhODCH1MFw5PWV #sokachampions #soccersportstz #cafchampionsleague2024 #milardayo
    Like
    Love
    6
    ·276 Views
  • Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League).

    - Yanga SC 3-1 TP Mazembe
    - Al Hilal 2-1 MC Alger

    Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League). - Yanga SC 3-1 TP Mazembe - Al Hilal 2-1 MC Alger
    Like
    1
    ·158 Views
  • Cristiano Ronaldo kuhusu Ballon d'Or 2024

    "Kwangu mimi, Vinicius alistahili kushinda Ballon d'Or. Ilikuwa ni haki potofu, nasema hivi mbele ya kila mtu."

    "Rodri pia alistahili, lakini nadhani wangeweza kumtunuku Vinicius kwa sababu alishinda Ligi ya Mabingwa na alifunga kwenye fainali."

    "Ilikuwa ni Haki Potofu. Ndio maana napenda Globe Soccer Awards, wanakuwa waaminifu."

    Cristiano Ronaldo kuhusu Ballon d'Or 2024 "Kwangu mimi, Vinicius alistahili kushinda Ballon d'Or. Ilikuwa ni haki potofu, nasema hivi mbele ya kila mtu." "Rodri pia alistahili, lakini nadhani wangeweza kumtunuku Vinicius kwa sababu alishinda Ligi ya Mabingwa na alifunga kwenye fainali." "Ilikuwa ni Haki Potofu. Ndio maana napenda Globe Soccer Awards, wanakuwa waaminifu."
    ·82 Views
  • Jude Bellingham amechaguliwa kuwa Kiungo bora kwenye Tuzo za Globe Soccer Awards.

    Jude Bellingham amechaguliwa kuwa Kiungo bora kwenye Tuzo za Globe Soccer Awards.
    ·57 Views
  • Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Vinicius amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwaka kwenye Tuzo za Globe Soccer Awards.
    Mchezaji wa klabu ya Real Madrid, Vinicius 🇧🇷 amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwaka kwenye Tuzo za Globe Soccer Awards.
    ·56 Views
  • Cristiano Ronaldo ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora anayecheza barani Asia kwenye Tuzo za Globe Soccer Awards.
    Cristiano Ronaldo ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora anayecheza barani Asia kwenye Tuzo za Globe Soccer Awards.
    ·52 Views
  • Kwa mujibu wa mtandao wa Africa soccer zone, jezi ya YANGA imeshika nafasi ya pili kwa ubora Africa..
    N.B, Wanasema kama huioni ya kwako, ongeza ubora kwenye ubunifu
    #neliudcosiah
    Kwa mujibu wa mtandao wa Africa soccer zone, jezi ya YANGA imeshika nafasi ya pili kwa ubora Africa.🔰😂💯. N.B, Wanasema kama huioni ya kwako, ongeza ubora kwenye ubunifu 😂 #neliudcosiah
    ·144 Views
  • ROBO FINAL 8%; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???.
    #sokachampions
    #cafchampionsleague2024
    #soccersportstz
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #milardayo
    #Sports
    ROBO FINAL 8%🌔; Katika kundi "A" la Ali hilal, Mc Alger, Tp mazembe, na Yanga, linazidi kuwa gumu Kwa yanga mpaka sasa anaburuza mkia, But bado Kuna asilimia 8% za kufuzu Robo fainal je,? Unashauri nini/kipi yanga wafanye ili waweze kusogea kileleni zaidi!???✍️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏. #sokachampions #cafchampionsleague2024 #soccersportstz #AzamTVBurudaniKwaWote #milardayo #Sports
    Like
    4
    1 Comments ·499 Views
  • SISEMI SANA MAANA NAOGOPA KUTUKANWA BUT TOMORROW 3:1.
    #sokachampions
    #milardayo
    #soccersportstz
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #cafchampionsleague2024
    #sports
    SISEMI SANA MAANA NAOGOPA KUTUKANWA🤐 BUT TOMORROW 3:1. #sokachampions #milardayo #soccersportstz #AzamTVBurudaniKwaWote #cafchampionsleague2024 #sports
    Love
    Haha
    3
    ·419 Views
  • IMEKUWA KINYUME ( Vice versa ); Hii yanga itatuua yaani hakuna siku imechana mikeka kama leo
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #cafchampionsleague2024
    #sports
    IMEKUWA KINYUME ( Vice versa ); Hii yanga itatuua yaani hakuna siku imechana mikeka kama leo😭😭😭 #sokachampions #soccersportstz #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #cafchampionsleague2024 #sports
    Love
    Haha
    2
    ·457 Views
  • MC ALGER YANGA 0:2; Unaweza usinielewe kwanini nimeandika hivi ila ukiwa na D2 Utaelewa nilicho maanisha, kilicho chakweli tuseme tu ukweli yanga Wana timu kubwa sio timu yakufananisha na VITAL"0" hii yanga KIBOKO ya waarabu/Mwewe na kuku keshoYANGA BINGWA
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #sports
    MC ALGER 🆚 YANGA 0:2; Unaweza usinielewe kwanini nimeandika hivi ila ukiwa na D2 Utaelewa nilicho maanisha, kilicho chakweli tuseme tu ukweli yanga Wana timu kubwa sio timu yakufananisha na VITAL"0" hii yanga KIBOKO ya waarabu/Mwewe na kuku💪💚💛💚💛 kesho👏YANGA BINGWA✍️ #sokachampions #soccersportstz #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #sports
    Like
    3
    1 Comments ·471 Views ·1 Shares
  • MC ALGER VS YANGA
    Ukiangalia takwimu hizi utagundua kuwa Point 3 ni za Dar young Africans
    2017 Benjamin mkapa
    Yanga 1:0 Mc Alger FT.
    2017Stade Du 5 Juillet 1962
    Mc Alger 4:0 Young Africans FT.
    #soccersportstz
    #milardayo
    #sokachampions
    #sports
    MC ALGER🇩🇿 VS YANGA 🇹🇿 Ukiangalia takwimu hizi utagundua kuwa Point 3 ni za Dar young Africans👇 2017🪐 Benjamin mkapa Yanga 1:0 Mc Alger FT. 2017🪐Stade Du 5 Juillet 1962 Mc Alger 4:0 Young Africans FT. #soccersportstz #milardayo #sokachampions #sports
    Love
    Yay
    2
    ·411 Views
  • Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Conferation Cup) inayotarajiwa kuchezwa Wikiendi hii.

    Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Conferation Cup) inayotarajiwa kuchezwa Wikiendi hii.
    Like
    1
    ·98 Views
  • Kwa mujibu wa Afica Soccer Zone, hizi ndizo klabu zilizoonyesha "Performance" bora barani Afrika.

    1. Al Ahly
    2. Simba SC
    Kwa mujibu wa Afica Soccer Zone, hizi ndizo klabu zilizoonyesha "Performance" bora barani Afrika. 1. Al Ahly 2. Simba SC
    Like
    1
    ·56 Views
  • KI AZIZ; Mbili ya shauri zangu kuhusu DIARA na DUBE tayari zimefanyiwa kazi, sasa kilicho baki ni Kwa STEPHANIE KI AZIZ, huyu mwamba bado anakitu Cha kutuonesha bado hajafeli sema kakosa FITNESS tu!, Ushauri wangu Kwa uongozi wa yanga huyu mwamba apumzishwe michezo kama mitatu hivi ama miwili Kwa lengo la kumpa HOW TO RETURN IN FOOTBALL IF YOU LOST FITNESS{ Jinsi ya kurudi kwenye mpira wa miguu ikiwa umepoteza usawa }.Nimeandika mimi #soccersports
    KI AZIZ; Mbili ya shauri zangu kuhusu DIARA na DUBE tayari zimefanyiwa kazi, sasa kilicho baki ni Kwa STEPHANIE KI AZIZ, huyu mwamba bado anakitu Cha kutuonesha bado hajafeli sema kakosa FITNESS tu!, Ushauri wangu Kwa uongozi wa yanga huyu mwamba apumzishwe michezo kama mitatu hivi ama miwili Kwa lengo la kumpa 🔥HOW TO RETURN IN FOOTBALL IF YOU LOST FITNESS🔥{ Jinsi ya kurudi kwenye mpira wa miguu ikiwa umepoteza usawa }.Nimeandika mimi #soccersports ✍️
    Love
    Like
    Yay
    7
    ·400 Views
  • KENNEDY MUSONDA; Huyu ndo yule musonda anakadiliwa kuachwa dirisha dogo, Acheni utani nyie huyu akiachwa akina Baleke, Aziz ki wabaki
    #sokachampions
    #cafchampionsleague2024
    #milardayo
    #soccersportstz
    KENNEDY MUSONDA; Huyu ndo yule musonda anakadiliwa kuachwa dirisha dogo🤔🤔, Acheni utani nyie huyu akiachwa akina Baleke, Aziz ki wabaki🤔🤔 #sokachampions #cafchampionsleague2024 #milardayo #soccersportstz
    Like
    Love
    6
    ·406 Views
  • RADA YETU; Jana katika mchezo wa Yanga Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING), hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na Kono lanyani Back again .
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #uefachampionsleague2024
    #tanzania
    #sports
    #milardayo
    #AzamTVBurudaniKwaWote
    #YoungAfricans
    #cafchampionsleague2024
    RADA YETU🌏; Jana katika mchezo wa Yanga 🆚 Al hilal Omdurman baada ya yanga kupeteza mchezo na kufungwa goli 2 Kwa 0, ilionekana kuwa kocha mpya SEAD RAMOVIC Hana uwezo wakuinoa timu kubwa Dar young Africa na wengine wakasema wachezaji wote wa yanga wameshuka kiwango!! Hii sio kweli baada ya kuwashia RADA yetu ituoneshe nini kimeisibu timu ya yanga tumepata majibu kwamba Wachezaji wote wana AGENDA NYETI waliyo nayo Kwa uongozi wa yanga sema wanakosa muda wataiwasilisha vip ndiomaana wanaionesha wazi wanapo kuwa mchezoni (wanacheza chini ya kiwango ) ili kusudi waketishwe na mjadara uanze, anaye Pinga hili basi atapata majibu sahihi baada ya kusikia wachezaji wa yanga waketishwa chini ( PLAYERS MEETING)🫂, hii itasaidia timu kurudi katika ubora wake na 🖐️Kono lanyani Back again 🙏. #sokachampions #soccersportstz #uefachampionsleague2024 #tanzania #sports #milardayo #AzamTVBurudaniKwaWote #YoungAfricans #cafchampionsleague2024
    Like
    Love
    Haha
    6
    3 Comments ·655 Views
More Results