ترقية الحساب

  • Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe.

    "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema.

    Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe.

    Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza.

    Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo!

    Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 🙏🏾🙏🏾" ameandika Wolper.

    Mwigizaji wa mrefu Tanzania, Jacqueline Wolper ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa Mumewe. "Hellow Mashabiki zangu, marafiki na Watanzania wote mnao nitakia mema. Ni kwa masikitiko mengi sana mmekuwa mkinitumia message, links, na Clips mbalimbali, huku mkinishauri, kuniombea na kunitia moyo. Nimepokea msg zenu zote kwa moyo wa Shukrani sana. Na Mungu awabariki wote mnao nitakia mema, na hata wale wenye nia tofauti na njema pia mbarikiwe. Lakini naomba niwatoe wasiwasi na mashaka juu ya furaha na amani ya moyo wangu. Mimi na mzazi mwenzangu Rich (Baba P) hatupo pamoja (TUMEACHANA). Nipo kwenye process za Divorce/Talaka. Hivyo, mashauri yote na huruma juu ya mambo yanayo endelea na mzazi mwenzangu, msiyalete kwangu tena. Ni mtu ambae yupo huru kufanya chochote kinacho mpendeza. Na hii niseme tu si kwa ubaya haijalishi mtalipokeaje wengine lakini maisha halisi ya ndoa yangu nayajua mimi na mwenzangu kwahiyo tutabaki kuheshimiana kama wazazi na kulea watoto wetu lakini swala la mahusiano ya ndoa hilo halipo! Nawapenda sana nashukuru kwa msg zenu nyingi za kunitia moyo kutokana na mambo mnayoyaona huko lakini niwaambie tu mimi nipo sawa na muache kunihusisha na mambo yanayoendelea kwa mzazi mwenzangu kwasababu hayanihusu na nisingependa kuongelea hayo 🙏🏾🙏🏾" ameandika Wolper.
    Wow
    1
    ·235 مشاهدة
  • Nimewahi onekana msumbufu kwake, wiki moja baada ya kuniambia ahsante kwa kunijali.

    Nilikuwa mstari wa mbele kwenye matatizo yake yanayohusu pesa, bila kujali umaskini wangu.

    Nilimpenda sana yule mwanamke, aliyewahi niomba nisichoweza kukimudu, ili anikasirikie.

    Kwangu haikuwa blue ticks zisizojibiwa, wala block, alikosa kabisa, muda wa kufungua jumbe nilizomtumia, licha ya kuwa online muda wote.

    Kuna siku aliniahidi kuja, halafu akanizimia simu, dakika chache baada ya kumtumia nauli.

    Hadi nikaitwa kitenzi king'ang'anizi, zilipokuja dalili za wazi, kuwa sitakiwi na yeye.

    Aliyesema mapenzi upofu, ni kama alitaka nisione nafasi yangu kwenye dharau zake.

    Corabo ya dunia isiyonihitaji, na shetani aliyefanikiwa, ikaniaminisha nipo sahihi, ili nizidi kupotea.

    Huzuni ikawa kurasa ya kwanza, kwenye daftari lililoandikwa ninavyostahili.

    Kabla yakuwa single, ilikuwa ngumu kuamini kama naweza kuishi bila yeye.

    Baada ya kuvipa onyo viungo vyangu vya uzazi, siku hizi upweke umekuwa rafiki anayeongozana na mimi kila mahali, nainjoi.

    Mwambieni nimemsamehe Farashuu, maana nikisema nilipize hastahili kuishi, ila msimtaje mbele yangu.

    N.B, Hii Haina uhusiano wowote na mwandishi

    #neliudcosiah
    Nimewahi onekana msumbufu kwake, wiki moja baada ya kuniambia ahsante kwa kunijali. Nilikuwa mstari wa mbele kwenye matatizo yake yanayohusu pesa, bila kujali umaskini wangu. Nilimpenda sana yule mwanamke, aliyewahi niomba nisichoweza kukimudu, ili anikasirikie. Kwangu haikuwa blue ticks zisizojibiwa, wala block, alikosa kabisa, muda wa kufungua jumbe nilizomtumia, licha ya kuwa online muda wote. Kuna siku aliniahidi kuja, halafu akanizimia simu, dakika chache baada ya kumtumia nauli. Hadi nikaitwa kitenzi king'ang'anizi, zilipokuja dalili za wazi, kuwa sitakiwi na yeye. Aliyesema mapenzi upofu, ni kama alitaka nisione nafasi yangu kwenye dharau zake. Corabo ya dunia isiyonihitaji, na shetani aliyefanikiwa, ikaniaminisha nipo sahihi, ili nizidi kupotea. Huzuni ikawa kurasa ya kwanza, kwenye daftari lililoandikwa ninavyostahili. Kabla yakuwa single, ilikuwa ngumu kuamini kama naweza kuishi bila yeye. Baada ya kuvipa onyo viungo vyangu vya uzazi, siku hizi upweke umekuwa rafiki anayeongozana na mimi kila mahali, nainjoi. Mwambieni nimemsamehe Farashuu, maana nikisema nilipize hastahili kuishi, ila msimtaje mbele yangu. N.B, Hii Haina uhusiano wowote na mwandishi 😀😀🙌🙌 #neliudcosiah
    Like
    2
    1 التعليقات ·242 مشاهدة
  • Nipo zangu naangalia dunia epsode 32 ivi uyu mati atapona kweli?
    Nipo zangu naangalia dunia epsode 32 ivi uyu mati atapona kweli?
    Love
    1
    ·110 مشاهدة
  • MEMBERS NIPO TU HAPA HOME, AFYA NI NZURI KWA KULA NA KUNYWA CHOCHOTE, NAOMBENI MWALIKO
    MEMBERS NIPO TU HAPA HOME, AFYA NI NZURI KWA KULA NA KUNYWA CHOCHOTE, NAOMBENI MWALIKO 😊😊😊
    Like
    Love
    2
    2 التعليقات ·259 مشاهدة
  • MBONA SIJAELEWA HAPA!

    .Me:- mambo

    Dem:- poa

    Me:- unaishi wapi?

    Dem :- hapa tu Nairobi

    Me:- uko chuo?

    Dem:- ndio

    Me :- chuo gani

    Dem :- Urumah University
    Me:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako.

    Dem:- ohooo! I am already to deserve you

    Me:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla..."

    Dem:- Ahsante, una gari aina gani?!

    Me:- Nina land cruiser "

    Dem:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe".

    Me:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu".

    Dem:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana

    Me:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service"

    Dem:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single".

    Me:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni🥹"

    Dem:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawili"

    Me:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager.

    Dem:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto wote walifariki miaka minne iliyopita.

    Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!
    MBONA SIJAELEWA HAPA! .Me🧔:- mambo😊 Dem👰:- poa🤨 Me🧔:- unaishi wapi🙄? Dem 👰:- hapa tu Nairobi 😲 Me🧔:- uko chuo😊? Dem👰:- ndio😟 Me 🧔 :- chuo gani ☺️ Dem 👰:- Urumah University 🥰 Me🧔:- Si NAMI paci unionee uruma na unipe fursa ya life yako. Dem👰:- ohooo!🙆 I am already to deserve you 😍 Me🧔:- poa nimeangalia profile picture zako nimekupenda ghafla...😘" Dem👰:- Ahsante, una gari aina gani😒?! Me🧔:- Nina land cruiser 😊" Dem👰:- wahoo! Upo sahihi kunipenda najisikia raha ku chat na wewe😁". Me🧔:- Ila Gari sio langu nimesaidiwa na rafiki yangu🙄". Dem👰:- Nikuambie kitu!! Mimi nina boyfriend wangu na tunapendana sana💕 Me🧔:- land cruiser hiyo nimesadiwa na rafiki yangu kwasababu Gari yangu Harrier new model ilikuwa service😊" Dem👰:- nakutania tu sina boyfriend, Nilikua naye zamani mwenyewe tuliachana alikua mjinga mjinga sura mbaya walikua wananicheka wenzangu siku hizi nipo Single😁😁". Me🧔:- wahoo Safi my dear ila Jana bank wamenipigia simu wanakuja kukamata gari yangu nakupigwa mnada kwasababu sijamaliza Deni🥹" Dem👰:- acha ni kuambie ukweli tu, Nina mume na watoto wawili✌️" Me🧔:- poa usijali ila niliongea na boss wangu amesema watanilipia ilo Deni na pia wataniamishia China, jijini Bahijing kuna tawi la kampuni yetu, kule nitakuwa General Manager🕴️. Dem👰:- jamani my dear, Nikuambie ukweli kutoka moyoni Mume wangu na Watoto 👪wote walifariki miaka minne iliyopita. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wanawake mnatupeleka wapi Jameni?!!
    Love
    1
    ·371 مشاهدة
  • 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 (5) 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗢 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜

    haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa

    Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia.

    Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali?

    Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako.

    Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa.

    tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 (5) 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗢 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜 haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia. Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali? Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako. Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa. tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    Like
    1
    ·331 مشاهدة
  • Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ...............

    USIWAZE HELA KWANZA

    1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya )

    Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho

    A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita )

    Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo

    1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi

    1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni

    1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim

    1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona..

    1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu

    1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi

    NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo

    Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi

    1: KineMaster
    2: Inshort
    3: Yo Cut
    3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha

    Baada ya hayo Jifunze yafuatayo

    1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script

    2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti

    3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako

    4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O

    5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi)
    Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako

    Then Fanya pia yafuatayo

    Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao.

    Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu

    kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi

    3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa

    4: Tengeneza Logo Safi

    5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba

    6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo

    NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata

    7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo

    8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi
    9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo

    10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena

    11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana

    12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day




    📌 Yafuatayo Yanapaswa Kuzingitiwa kabla Ya Kufungua Channel ya YouTube ............... USIWAZE HELA KWANZA 😁😁 1: Uwe na Idea ( Topic ) ya Kitu Cha kufanya / Content Gani Unataka ufanye na Katika Hilo uwe Interested ( Uwe unakipenda unachotaka kufanya ) Baada ya kujua Topic / Idea fanya kifuatacho A: Tafuta Watu wanaofanya Hiyo idea Yako kama wapo angalia video zao zipoje Katika Mitandao yote ( YouTube,,, Facebook,, Instagram na TikTok and X( Twita ) Then Unapoangalia Video hizo hakikisha unazingatia yafuatayo 1A: Jinsi wanavyo andaa content/ Maudhui Yao wanafanyeje mpaka zinapata watazamaji wengi 1B: Tittle/ Vichwa vyao vya Habari vinaandikwaje angalia maneno ambayo mara nyingi wanatumia Hasa kwenye video Zenye watazamaji wengi Kuanzia 5k-100k nakuendelea Kisha Note Pembeni 1C: Angalia namna wanavyo edit / Hariri video zao wanatumia picha / Video na wanatumia video Kwa kuzipata wapi ila muhimu Kuzingatia Haki miliki unashauriwa kutumia picha kabla hujajua video wanatoa wapi usije pewa Copyright strike au claim 1D: Angalia Mda ambao wanaaplod video zao na urefu wa video zao upoje Ili na wewe ucheze ndani ya ule mda mpaka watazamaji wako watakapo Kupata mda sahihi ndani ya YouTube studio as day goes utaona.. 1E: Katika hayo yote angalia Mtiririko na mpangilio wa Sauti Zao upoje Kisha tengeneza Sauti Yako Wala usiwaige ila kujifunza Muhimu 1F: Baada ya hapo jifunze kuediti video Kwa kutumia Simu au computer hili pia linategemeana na kifaa ambacho unacho kama unatumia Simu bas application za kueditia zipo nyingi NB: Zipo ambazo Zina logo na nyingine hazina Logo Mfano wa Application Ambazo zinapatikana Kwa urahisi 1: KineMaster 2: Inshort 3: Yo Cut 3: Free Mora kama sijakosea kuandika Watasahihisha 😁😁😁 Baada ya hayo Jifunze yafuatayo 1: Kuandika Script/ Kuandika Nini Unataka Kuzungumza kwenye video zako hata kama unafanya Movie za kushuti lazima ziwe na Script 2: Usitumie Background yeyote kama hujaitengeneza mwenyewe ila Ushauri Mzuri kabla ya monitization Tumia sauti Yako Tu na baada ya monitization unaweza tengeneza Music Yako ukaitumia chini ya Sauti 3: Tumia Picha/ Video nzuri If possible unapoandaa video zako Ili kuwavutia watazamaji wako 4: Usitumia lugha ya matusi au Lugha isiyo Rafiki Kwa watazamaji hutaonja pesa NG'O 😳😳 5: Penda kutumia Tittle ambayo inafanana au kuwiana na kile ulicho andaa ndani ya video ( uongo ni mzuri Kupata Temporary views ila Ukweli utakufanya udumu na watu wakupende zaidi) Uongo unaweza futiwa channel endapo wakaripoti channel Yako Then Fanya pia yafuatayo Hakikisha una email ambayo itakuruhusu Kufungu channel ,,, weka password strong fanya verification Kwa kufuata maelekezo Yao. Hamia kipengele Cha Kujua Channel Yako utaipa jina Gani na kwanini uipe jina Hilo? Usiweke jina gumu linaloshindwa kutafutwa na watu mfano ( Ngedere Media / Ngedere Movie/ Ngedere/ Ngedere Mitini ni Simple sana mtu kusearch channel Yako Sasa unakuta mtu kaandika ( Hy information today Upload ) jina refu kama njaa ya Asubuhi 3: Tengeneza Animation intro ya sec kuanzia 5-10 Hivi itakayo kusaidia kubust masaa 4: Tengeneza Logo Safi 5: Bana ya YouTube nayo iwe Bomba 6: Subscription Button yenye logo Yako nayo iwepo NB: Kwa MAHITAJI ya Animation intro, logo, Bana , subscription button nipo hapa gharama yake ni 15K Kwa Kila Kimoja na ofa flan ya kipekee utapata 7: Usipende kufuta video baada ya Kuwekewa matangazo na Kuanza kulipwa futa video ambayo unahisi haiko poa before monitization la sivyo utaja Kujuta... ( USHAURI WANGU USIFUTE VIDEO HATA 1 Hivyo hakikisha unapoandaa video zako zisiwe na kiashiria Cha baadae inakuja kufutwa noooo 8: Ukiaplod video zako YouTube usiangalie Either Kwa Simu Yako au Email Nyingine iliyopo kwenye Simu Yako ukifanya hivyo hutadumu Daima YouTube watakupa invalid click na kukufitia channel panapo bidi 9: Zingatia Device kifaa ambacho unaweza Tumia kuhifadhi au Kufungua account Yako ya YouTube kiwe salama kisiwe na Tatizo la kufutiwa channel Kwa copyright strike 3 za nguvu Tena ikiwezekana nunua Simu mpya kama Ulivyo nayo unamashaka nayo 10: Share video zako kwenye Mitandao ya kijamii Kwa kuwapa link kabla hujaingia Monitization then Baada ya hapo unaweza share video only sio link Tena 11: Kila video mpya unayopakia YouTube hakikisha inaubunifu mpya tofauti na wajana 12: Usikate Tamaa Kwa Kuanza Kupata views Wachache mwanzo labda wawili au 10 safari ya YouTube huanza chini Kisha kwenda juu japo wapo wanaoanza na views 100k then wanaishia 11 views pee day 🙏🙏🙏🙏🙏
    Like
    Love
    3
    ·644 مشاهدة
  • MTANDAO MPYA WA NYUMBANI TANZANIA

    Ilipo Teknolojia nami nipo hapo, Mtanzania Mwenzetu na Mpambanaji Ameanzisha Mtandao wa Kijamii Mpya Kabisa Unaoitwa Social Pop ambao ni mtandao fanani kama Facebook but Humo ndani kwa Ubunifu wake Ameongeza Mambo Mbalimbali yenye Kuvutia na Kikubwa zaidi Mtu Anaweza Kujiingiza Kipato kupitia Posts na Video Pia kama Ilivyo Mitandao Mingine ya Kijamii.

    Ni Moja ya Hatua katika Ukuaji wa Teknolojia Nchini Tanzania Nimefurahishwa sana na Juhudi zake.

    Kwa Umoja wetu na Nguvu yetu Watanzania na Wana Teknolojia tukamuunge Mkono na Ikiwa Kuna Feature utaona Inastahili Kuongezwa basi Usisite Kuchangia Maoni (Rate App) katika Playstore ili Aendelee Kuboresha zaidi.

    Kuanzisha App si jambo rahisi ni Juhudi, Muda na Akili pia. Tumuunge Mkono.
    Ingia Playstore Search “SocialPop”

    Download https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mr.chatplace

    Website https://socialpop.online/

    Posted by ptechtanzania
    MTANDAO MPYA WA NYUMBANI TANZANIA Ilipo Teknolojia nami nipo hapo, Mtanzania Mwenzetu na Mpambanaji Ameanzisha Mtandao wa Kijamii Mpya Kabisa Unaoitwa Social Pop ambao ni mtandao fanani kama Facebook but Humo ndani kwa Ubunifu wake Ameongeza Mambo Mbalimbali yenye Kuvutia na Kikubwa zaidi Mtu Anaweza Kujiingiza Kipato kupitia Posts na Video Pia kama Ilivyo Mitandao Mingine ya Kijamii. Ni Moja ya Hatua katika Ukuaji wa Teknolojia Nchini Tanzania Nimefurahishwa sana na Juhudi zake. Kwa Umoja wetu na Nguvu yetu Watanzania na Wana Teknolojia tukamuunge Mkono na Ikiwa Kuna Feature utaona Inastahili Kuongezwa basi Usisite Kuchangia Maoni (Rate App) katika Playstore ili Aendelee Kuboresha zaidi. Kuanzisha App si jambo rahisi ni Juhudi, Muda na Akili pia. Tumuunge Mkono. Ingia Playstore Search “SocialPop” Download 👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mr.chatplace Website https://socialpop.online/ Posted by ptechtanzania
    PLAY.GOOGLE.COM
    SocialPop - Apps on Google Play
    Meet new friends from different parts of the world
    Like
    Love
    Yay
    4
    ·380 مشاهدة
  • Habari, nipo hapa kukupa Habari njema, hivi unafahamu Kuwa unaweza kutengeneza pesa nyingi popote ulip NA muda wowote unaotaka Kwa kutumia hiyo smartphone yako, Kuwa mjanja nicheki WhatsUp no 0762343308, nikuelekeze, wenzako tupo huku Saiv, Andika NIELEKEZE chap
    Habari, nipo hapa kukupa Habari njema, hivi unafahamu Kuwa unaweza kutengeneza pesa nyingi popote ulip NA muda wowote unaotaka Kwa kutumia hiyo smartphone yako, Kuwa mjanja nicheki WhatsUp no 0762343308, nikuelekeze, wenzako tupo huku Saiv, Andika NIELEKEZE chap
    Like
    1
    ·203 مشاهدة
  • Tiba Ya Jadi

    Tsh10000

     أخرى
    Kisemvule, Dar es salaam· جديد · في المخزون

    Karibuni kwa matibabu mbal mbal ya kidunia insha allah nipo Dar, Kisemvule 0736366536 / 0784366536.
    Karibuni kwa matibabu mbal mbal ya kidunia insha allah nipo Dar, Kisemvule 0736366536 / 0784366536.
    Like
    Love
    2
    ·478 مشاهدة
  • Karibu sana kwa huduma za kitiba kwa mawasiliano zaid 0736366536 / 0784366536 nipo dar kisemvule insha allah.
    Karibu sana kwa huduma za kitiba kwa mawasiliano zaid 0736366536 / 0784366536 nipo dar kisemvule insha allah.
    Like
    Love
    2
    ·211 مشاهدة ·4 مشاهدة
  • *Daah mapenzi yanauma nipo nafua mara tiriii demu wangu kanitext nikachoka baada ya kuniambia tumeachana kuanzia leo usinitafute nkasema huu ujinga nkachukua kamba nikafunga vizurii kabisa nkachukua sturi nikapanda juu yake nkachukua nguo nikaanika*
    *siwez kufa kijinga hivyo unavyowaza*
    *Daah mapenzi yanauma nipo nafua mara tiriii demu wangu kanitext nikachoka baada ya kuniambia tumeachana kuanzia leo usinitafute nkasema huu ujinga nkachukua kamba nikafunga vizurii kabisa nkachukua sturi nikapanda juu yake nkachukua nguo nikaanika* 😂😂😂😂😂😂 *siwez kufa kijinga hivyo unavyowaza*
    Haha
    Wow
    2
    2 التعليقات ·214 مشاهدة
  • 𝗕𝗨𝗚𝗔

    Ile siku ya Wananchi huwezi amini sijalipwa hata Senti moja (Akiwa Clouds FM)

    Mimi Yanga ni nyumbani nipo tayari kutoa 90%ya nguvu yangu kuitumikia Yanga,,Halafu watu walielewa vibaya mimi mbona sijamanisha kuwa na Siongeni na Eng Hersi,Nilichomanisha ni kuwa sijampigia simu muda mrefu kutokana na Kila mtu Kwa sasa yupo busy ila mbona huwa tunaonana sana Salamander Tower pale.

    Mimi ni Mwananchi hata familia yangu,, Watanzania wanalijua hilo.(Leo kwenye Manara TV)
    𝗕𝗨𝗚𝗔 Ile siku ya Wananchi huwezi amini sijalipwa hata Senti moja (Akiwa Clouds FM) Mimi Yanga ni nyumbani nipo tayari kutoa 90%ya nguvu yangu kuitumikia Yanga,,Halafu watu walielewa vibaya mimi mbona sijamanisha kuwa na Siongeni na Eng Hersi,Nilichomanisha ni kuwa sijampigia simu muda mrefu kutokana na Kila mtu Kwa sasa yupo busy ila mbona huwa tunaonana sana Salamander Tower pale. Mimi ni Mwananchi hata familia yangu,, Watanzania wanalijua hilo.(Leo kwenye Manara TV)
    Love
    Like
    3
    1 التعليقات ·257 مشاهدة
  • Habar zenu Mimi nikijana nipo tu Sina kazi Mwenye mishe anisaidie na Mimi nipate, Nipo Arusha
    Habar zenu Mimi nikijana nipo tu Sina kazi Mwenye mishe anisaidie na Mimi nipate, Nipo Arusha
    ·169 مشاهدة
  • Habari kaka James,mm ni kijana nashughulika na biashara ya kusambaza vifaa vya ujenzi,nahitaji mtu ambae anaweza kunikodishia gari aina town ace kwaajili ya kusambazia au kama anayo gari anataka tuwe partnership sawa pia.. Naomba nipostie kwenye page yako kaka,uwe na mchana mwema na mungu akubariki sana .... 0752289317
    Habari kaka James,mm ni kijana nashughulika na biashara ya kusambaza vifaa vya ujenzi,nahitaji mtu ambae anaweza kunikodishia gari aina town ace kwaajili ya kusambazia au kama anayo gari anataka tuwe partnership sawa pia.. Naomba nipostie kwenye page yako kaka,uwe na mchana mwema na mungu akubariki sana .... 0752289317
    Like
    Love
    8
    3 التعليقات ·553 مشاهدة
  • Karibu sana nipo manzese Argentina pembeni ya chaula pharmacy
    Usiishie ku view tu like share and comment follow to follow back
    Karibu sana nipo manzese Argentina pembeni ya chaula pharmacy Usiishie ku view tu like share and comment follow to follow back
    Like
    2
    3 التعليقات ·429 مشاهدة ·48 مشاهدة
  • Wale wateja zangu mliokua mnaitaji redio za piki piki zipi twita zipo koni za mziki na honi zipo oili aina zoote zipo na bira kasahau honi za haria na vitaaa mweku mweku
    Nipo manzese Argentina hapa
    Wale wateja zangu mliokua mnaitaji redio za piki piki zipi twita zipo koni za mziki na honi zipo oili aina zoote zipo na bira kasahau honi za haria na vitaaa mweku mweku Nipo manzese Argentina hapa
    Love
    Like
    3
    1 التعليقات ·336 مشاهدة
  • Nahuku nipo #be

    https://socialpop.online/paulswai
    Nahuku nipo #be https://socialpop.online/paulswai
    Like
    Love
    5
    1 التعليقات ·315 مشاهدة
  • Kuna siku nilisikia wapangaji wenzagu wananiteta kwamba ninafanya kazi gani.

    Maana nipo tu wao wanaamka asubuhi purukushani za kwenda kazini na kurudi jioni.

    Mimi niko ndani. Nikitoka naenda gym, Kariakoo one time, au sokoni.

    Assumptions zilikuwa nyingi ikiwemo kuhisiwa naiba au ***** kwasababu ninajenga six pack na kutanua kifua tu.

    Guys, sisi ni pioneers.

    Wazee hawatuelewi. Wengi wa rika letu waliokuwa serious sana shule nao hawatuelewi pia.

    Sema I have a feelings fainali uzeeni we will have the last laugh.
    #NaongeaNaWewe
    Kuna siku nilisikia wapangaji wenzagu wananiteta kwamba ninafanya kazi gani. Maana nipo tu wao wanaamka asubuhi purukushani za kwenda kazini na kurudi jioni. Mimi niko ndani. Nikitoka naenda gym, Kariakoo one time, au sokoni. Assumptions zilikuwa nyingi ikiwemo kuhisiwa naiba au shoga kwasababu ninajenga six pack na kutanua kifua tu. Guys, sisi ni pioneers. Wazee hawatuelewi. Wengi wa rika letu waliokuwa serious sana shule nao hawatuelewi pia. Sema I have a feelings fainali uzeeni we will have the last laugh. #NaongeaNaWewe
    ·589 مشاهدة