Mise à niveau vers Pro

  • Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limewaonya wananchi waliotaka kumshambulia mwananchi mmoja wakimtuhumu kuwa ni mbakaji maarufu kwa jina la ‘Teleza’.

    Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema kumekuwa na uvumi wa taarifa potofu zinazoenezwa kwenye maeneo hususan Kata ya Mkolani na Buhongwa mkoani humo zikieleza juu ya mtu aitwaye Teleza anayedaiwa kubaka, kulawiti wanawake pamoja na kuwajeruhi.

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limewaonya wananchi waliotaka kumshambulia mwananchi mmoja wakimtuhumu kuwa ni mbakaji maarufu kwa jina la ‘Teleza’. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema kumekuwa na uvumi wa taarifa potofu zinazoenezwa kwenye maeneo hususan Kata ya Mkolani na Buhongwa mkoani humo zikieleza juu ya mtu aitwaye Teleza anayedaiwa kubaka, kulawiti wanawake pamoja na kuwajeruhi.
    Like
    1
    ·35 Vue
  • Bombardier Q400 Next Generation.
    #Dash8 #Q400 #NextGen

    Uundaji: Canada
    Kampuni: De Havilland Canada/Bombardier Aeropace
    Abiria: 74-90
    Urefu: mita 32
    Kimo: futi 6.40
    Upana: futi 8
    Nguvu/Injini: Hp 10,142
    Mwendokasi: 666.7 km/h
    Umbali iendapo: km 2522
    Umbali wa juu: futi 27,000
    Uwezo/Ubebaji: tani 8.7
    Ubebaji Mafuta: lita 6617
    Barabara/kuruka: mita 1067
    Barabara/kutua: mita 1286
    Ulaji mafuta: lita 14/dakika
    Bei: U$d 27-33 Milion

    #Note:
    Mchanganuo mwepesi wa makadirio ya chini, kati, au juu kwa ndege husika.

    #karibu #Mwanza #BombardierQ400
    #TGFA #ATCL #TANZANIA #GOVERNMENT
    Bombardier Q400 Next Generation. #Dash8 #Q400 #NextGen Uundaji: Canada Kampuni: De Havilland Canada/Bombardier Aeropace Abiria: 74-90 Urefu: mita 32 Kimo: futi 6.40 Upana: futi 8 Nguvu/Injini: Hp 10,142 Mwendokasi: 666.7 km/h Umbali iendapo: km 2522 Umbali wa juu: futi 27,000 Uwezo/Ubebaji: tani 8.7 Ubebaji Mafuta: lita 6617 Barabara/kuruka: mita 1067 Barabara/kutua: mita 1286 Ulaji mafuta: lita 14/dakika Bei: U$d 27-33 Milion #Note: Mchanganuo mwepesi wa makadirio ya chini, kati, au juu kwa ndege husika. #karibu #Mwanza #BombardierQ400 #TGFA #ATCL #TANZANIA #GOVERNMENT
    ·37 Vue
  • *Mamba anayedaiwa kuua watu kadhaa wakiwa katika shughuli za kibinadamu ndani ya Ziwa Victoria katika Kijiji cha Kasenyi, Wilaya ya Sengerema, Mwanza, ameuawa na wananchi kwa kumtega kwa kutumia ndoano.*

    *Mamba anayedaiwa kuua watu kadhaa wakiwa katika shughuli za kibinadamu ndani ya Ziwa Victoria katika Kijiji cha Kasenyi, Wilaya ya Sengerema, Mwanza, ameuawa na wananchi kwa kumtega kwa kutumia ndoano.*
    ·63 Vue
  • Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) bila ruhusa.

    Hata hivyo, mshtakiwa alipopewa nafasi ya kujitetetea kwanini asipewe adhabu; aliomba mahakama hiyo imuachie huru kwa kuwa ni mkosaji wa mara ya kwanza na alivaa ili akubaliwe na mchumba wake.

    Mahakama ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemuhukumu kifungo cha miezi sita Rajabu Reli (22), mkazi wa Sengerema baada ya kukutwa na hatia ya kuvaa sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) bila ruhusa. Hata hivyo, mshtakiwa alipopewa nafasi ya kujitetetea kwanini asipewe adhabu; aliomba mahakama hiyo imuachie huru kwa kuwa ni mkosaji wa mara ya kwanza na alivaa ili akubaliwe na mchumba wake.
    Like
    1
    2 Commentaires ·69 Vue
  • Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Doto Maduhu Sita (32) mkazi wa Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ambaye ni baba wa kambo wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi kwa tuhuma za kumbaka, kumlawiti na kumshambulia mtoto huyo.

    Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema mtoto huyo alikuwa akifanyiwa ukatili huo mara kwa mara na kupelekea hali yake ya kiafya kuwa dhaifu, hivyo kuwafanya raia wema kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi kupitia Dawati la Jinsia na Watoto.
    #neliudcosiah
    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Doto Maduhu Sita (32) mkazi wa Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ambaye ni baba wa kambo wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi kwa tuhuma za kumbaka, kumlawiti na kumshambulia mtoto huyo. Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema mtoto huyo alikuwa akifanyiwa ukatili huo mara kwa mara na kupelekea hali yake ya kiafya kuwa dhaifu, hivyo kuwafanya raia wema kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi kupitia Dawati la Jinsia na Watoto. #neliudcosiah
    ·84 Vue
  • RALLY BWALYA yupo katika hatua za mwisho za kujiunga na PAMBA JIJI ya Mwanza akitokea Napsa Stars ya Zambia taarifa ni kuwa Maofisa wa Pamba Jiji wamesafiri kuelekea Zambia kukamilisha dili hilo huku mambo mengi ya msingi yakiwa yametimizwa na inaaminika Nyota huyo wa zamani wa Simba ataitumikia ardhi ya Sato na Sangara.

    🚨RALLY BWALYA yupo katika hatua za mwisho za kujiunga na PAMBA JIJI ya Mwanza akitokea Napsa Stars ya Zambia 🇿🇲 taarifa ni kuwa Maofisa wa Pamba Jiji wamesafiri kuelekea Zambia kukamilisha dili hilo huku mambo mengi ya msingi yakiwa yametimizwa na inaaminika Nyota huyo wa zamani wa Simba ataitumikia ardhi ya Sato na Sangara.
    ·163 Vue
  • MSAADA KITUO CHA ILEMELA MWANZA
    MSAADA KITUO CHA ILEMELA MWANZA
    Love
    1
    ·122 Vue
  • Bodi ya Ligi ya Kuu ya soka ya Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko kwenye mchezo wa NBC kati ya Pamba Jiji dhidi ya Simba, uliokuwa haujapangiwa tarehe baada ya kuondolewa Novemba 21, 2024.

    Taarifa kutoka TPLB zinasema kuwa mchezo huo sasa utachezwa utachezwa Novemba 22, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

    #KastulElias
    Bodi ya Ligi ya Kuu ya soka ya Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko kwenye mchezo wa NBC kati ya Pamba Jiji dhidi ya Simba, uliokuwa haujapangiwa tarehe baada ya kuondolewa Novemba 21, 2024. Taarifa kutoka TPLB zinasema kuwa mchezo huo sasa utachezwa utachezwa Novemba 22, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. #KastulElias
    Love
    Like
    3
    1 Commentaires ·239 Vue
  • Officials kisinza
    Mwanza
    Tz
    Officials kisinza Mwanza Tz
    ·267 Vue
  • #bernaldpeter #MAGU_MWANZA
    #bernaldpeter #MAGU_MWANZA
    Like
    Love
    5
    ·170 Vue
  • kuna jamaa yangu leo siku ya sita ktk week namkuta anakula dagaa wa mwanza nae akiwa dodoma!!
    NIMEMWAMBIA NATAKA KUFANYA BIASHARA YA DAGAA KANIJIBU hailipi na hakuna wateja hapa dodoma!!
    kuna jamaa yangu leo siku ya sita ktk week namkuta anakula dagaa wa mwanza nae akiwa dodoma!! NIMEMWAMBIA NATAKA KUFANYA BIASHARA YA DAGAA KANIJIBU hailipi na hakuna wateja hapa dodoma!!
    ·132 Vue
  • kuna jamaa yangu leo siku ya sita ktk week namkuta anakula dagaa wa mwanza nae akiwa dodoma!!
    NIMEMWAMBIA NATAKA KUFANYA BIASHARA YA DAGAA KANIJIBU hailipi na hakuna wateja hapa dodoma!!
    kuna jamaa yangu leo siku ya sita ktk week namkuta anakula dagaa wa mwanza nae akiwa dodoma!! NIMEMWAMBIA NATAKA KUFANYA BIASHARA YA DAGAA KANIJIBU hailipi na hakuna wateja hapa dodoma!!
    ·131 Vue
  • Lubinza#
    #mwanza#
    #arusha#
    #simiyu#
    @kisinza family#
    Lubinza# #mwanza# #arusha# #simiyu# @kisinza family#
    Like
    2
    ·261 Vue
  • #VisitMwanzaTanzania
    #VisitMwanzaTanzania
    Love
    Like
    5
    1 Commentaires ·320 Vue