• NENO LA LEO(MKABIZI MUNGU HAJA ZAKO)
    Mithali 16:3-4
    [3]Mkabidhi BWANA kazi zako,
    Na mawazo yako yatathibitika.
    [4]BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake;

    Ukimkabizi BWANA Mambo yako ,maana yake unataka Mungu aingilie kati kila jambo lako na kila jambo langu pia.

    Na tunakubaliana MUNGU ndo mwenye sababu ya uzima na kusudi letu la kuishi,k ukimkabizi maisha yako maana yake unataka Bwana aamue kuingilia kusudi lako na kulisimamia.

    1 Mambo ya Nyakati 17:27
    kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele..

    Tukimkabizi Mungu vitu vyetu akivizingira na kuvibariki vinadumu milele yote .

    Natamani sote tumpe Mungu na kumkabizi kila jambo kwetu ili Mungu aingilie kati maisha yetu .

    Na nikisema kumkabizi Bwana, namaanisha kwamba kuongozwa na Bwana na kupiga hatua katika maisha yako.

    Nakuombea Mungu akuongoze katika kila jambo na kila jambo liwe linaanza na Mungu wako.

    Nikutakie asubui njema na siku njema.

    Kwa mafundisho zaidi jiunge na link hapo chini

    https://chat.whatsapp.com/LAB9tcfvKq887DB9IDHvzf

    Sylvester Mwakabende (0622625340)
    #2026_sisi_ndio_wale_tunao piganiwa_na_Bwana.
    NENO LA LEO(MKABIZI MUNGU HAJA ZAKO) Mithali 16:3-4 [3]Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika. [4]BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake; Ukimkabizi BWANA Mambo yako ,maana yake unataka Mungu aingilie kati kila jambo lako na kila jambo langu pia. Na tunakubaliana MUNGU ndo mwenye sababu ya uzima na kusudi letu la kuishi,k ukimkabizi maisha yako maana yake unataka Bwana aamue kuingilia kusudi lako na kulisimamia. 1 Mambo ya Nyakati 17:27 kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele.. Tukimkabizi Mungu vitu vyetu akivizingira na kuvibariki vinadumu milele yote . Natamani sote tumpe Mungu na kumkabizi kila jambo kwetu ili Mungu aingilie kati maisha yetu . Na nikisema kumkabizi Bwana, namaanisha kwamba kuongozwa na Bwana na kupiga hatua katika maisha yako. Nakuombea Mungu akuongoze katika kila jambo na kila jambo liwe linaanza na Mungu wako. Nikutakie asubui njema na siku njema. Kwa mafundisho zaidi jiunge na link hapo chini https://chat.whatsapp.com/LAB9tcfvKq887DB9IDHvzf Sylvester Mwakabende (0622625340) #2026_sisi_ndio_wale_tunao piganiwa_na_Bwana.
    0 Comments 0 Shares 66 Views
  • NENO LA SIKU

    Isaya 43:18–19
    Msiyakumbuke ya kale, wala msiyatafakari ya zamani. Tazama, nitatenda jambo jipya; sasa litachipuka; je, hamtalijua? Nitaweka njia nyikani, na mito jangwani.

    Bwana anatutaka tumtazame yeye katika kila jambo ,

    Background,hadithi za zamani zisitufanye tujione kama wakosefu sana kiasi cha kushundwa kuomba tena.

    Historia ya familia unayo tokea isikufanye ujione kama uwezi kufanya jambo kubwa kesho ,Bwana anasema atafanya jambo jipya usilo liweza , atafanya mambo makuu usiyo yafikiri fikiri.

    Bwana anasema hivi tusitafakari juu ya njia zetu mbovu za kale badala yake tumuombe yeye tu afanye jambo jipya.

    BWANA akatende jambo jipya kwenye maisha yako na maisha yangu pia katika jina la YESU

    Yale yote tusiyo yaweza Bwana akatupe kusimama tena na kuyafanya kwa ukubwa Sana kwa kuwa mwaka umeanza kwa nguvu mpya naakiri mpya.

    2 Wakorintho 5:17
    [17]Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.

    Natamani jambo jipya kwetu kama Yesu alivyo tufanya tuwe viumbe vipya ndivyo jambo jipya lizaliwe katika maisha yetu.

    Sylvester Mwakabende (0622625340)
    #2026_sisi_ ndio_ wale_tunao_piganiwa_na _Bwana.
    NENO LA SIKU Isaya 43:18–19 Msiyakumbuke ya kale, wala msiyatafakari ya zamani. Tazama, nitatenda jambo jipya; sasa litachipuka; je, hamtalijua? Nitaweka njia nyikani, na mito jangwani. Bwana anatutaka tumtazame yeye katika kila jambo , Background,hadithi za zamani zisitufanye tujione kama wakosefu sana kiasi cha kushundwa kuomba tena. Historia ya familia unayo tokea isikufanye ujione kama uwezi kufanya jambo kubwa kesho ,Bwana anasema atafanya jambo jipya usilo liweza , atafanya mambo makuu usiyo yafikiri fikiri. Bwana anasema hivi tusitafakari juu ya njia zetu mbovu za kale badala yake tumuombe yeye tu afanye jambo jipya. BWANA akatende jambo jipya kwenye maisha yako na maisha yangu pia katika jina la YESU Yale yote tusiyo yaweza Bwana akatupe kusimama tena na kuyafanya kwa ukubwa Sana kwa kuwa mwaka umeanza kwa nguvu mpya naakiri mpya. 2 Wakorintho 5:17 [17]Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya. Natamani jambo jipya kwetu kama Yesu alivyo tufanya tuwe viumbe vipya ndivyo jambo jipya lizaliwe katika maisha yetu. Sylvester Mwakabende (0622625340) #2026_sisi_ ndio_ wale_tunao_piganiwa_na _Bwana.
    0 Comments 0 Shares 169 Views
  • Sumary ya kile tulicho jifunza .

    Somo jinsi ya kusikia sauti ya MUNGU 2026.

    Lengo la MUNGU kumuumba mwanadamu ni mwanadamu asikie fresh kutoka kwa MUNGU.

    Mwanadamu akuandaliwa ili kuteseka au kuangaika aishi vipi ila kwa makosa ya Adamu wa kwanza ndiyo mwanadamu akajitenga na wanadamu.

    Kumbe sasa sauti ya MUNGU imeandaliwa moja kwa moja kwa ajiri ya wanadamu.

    #Mithali 8:4

    Ukikosea kusikia umekosea kuamua hatma yako

    Mwanadamu aliye fanikiwa kumsikia Mungu ndo mwanadamu aliye fanikiwa katika maisha.

    Sauti ya Mungu inabeba maonyo ,maelekezo,inafundisha .

    Kila ambaye mekuwa domant kwenye maisha ni mtu ambaye bado ajamsikia Mungu

    Kila unacho kiomba kimebebwa katika sauti ya Mungu,kushindwa kumsikia Mungu maombi yanapoteza maana.

    Akuna aliye wahi msikia Mungu na akabaki kuwa wakawaida.

    Wanaofundishwa na Bwana peke yake ndio wanapiga hatua.
    #Torati 4:35-36

    Kila anaye ishi kwa mafanikio duniani ananguvu inayo msimamosha either kutoka kwa Mungu au shetani.

    https://chat.whatsapp.com/LAB9tcfvKq887DB9IDHvzf

    #2026_sisi_ndio_wale _tunapiganiwa_na_Bwana.
    Sumary ya kile tulicho jifunza . Somo jinsi ya kusikia sauti ya MUNGU 2026. ⏩Lengo la MUNGU kumuumba mwanadamu ni mwanadamu asikie fresh kutoka kwa MUNGU. ⏩Mwanadamu akuandaliwa ili kuteseka au kuangaika aishi vipi ila kwa makosa ya Adamu wa kwanza ndiyo mwanadamu akajitenga na wanadamu. ⏩Kumbe sasa sauti ya MUNGU imeandaliwa moja kwa moja kwa ajiri ya wanadamu. #Mithali 8:4 ⏩Ukikosea kusikia umekosea kuamua hatma yako ⏩Mwanadamu aliye fanikiwa kumsikia Mungu ndo mwanadamu aliye fanikiwa katika maisha. ⏩Sauti ya Mungu inabeba maonyo ,maelekezo,inafundisha . ⏩Kila ambaye mekuwa domant kwenye maisha ni mtu ambaye bado ajamsikia Mungu ⏩Kila unacho kiomba kimebebwa katika sauti ya Mungu,kushindwa kumsikia Mungu maombi yanapoteza maana. ⏩Akuna aliye wahi msikia Mungu na akabaki kuwa wakawaida. Wanaofundishwa na Bwana peke yake ndio wanapiga hatua. #Torati 4:35-36 Kila anaye ishi kwa mafanikio duniani ananguvu inayo msimamosha either kutoka kwa Mungu au shetani. https://chat.whatsapp.com/LAB9tcfvKq887DB9IDHvzf #2026_sisi_ndio_wale _tunapiganiwa_na_Bwana.
    0 Comments 0 Shares 197 Views
  • Kila mwanadamu aliye wahi kupendwa na Mungu zawadi kubwa Mungu aliyo mpa huyo mtu ni watu.
    Isaya 43:4
    [4]Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.

    Hivi umewahi kujiuliza kuwa pamoja na ujemedari wote wa Nahamani lakini ukoma wake ulibadilishwa kutoka kwa mtu aliye mpa code ya kuwa kuna mtu wa Mungu anaitwa Elisha.

    Musa pamoja na nguvu nyingi sana za Mungu alizo kuwa nazo bado alihitaji watu ili aweze kutimiza kusudi lake na Mungu akamchagulua Haruni ,wakina Yoshua ,Huri na wengine.

    Elia pamoja na kuwa na nguvu ya kusimamisha mvua lakini kuna muda alihitaji mtu ili apate kula chakula.

    Watu ni funguo na watu ni kufuli ukichanganya nama ya kuishi na watu umechanganya maisha.

    Kila unacho kihitaji kiko mikononi mwa wengine ni muhimu sana kumuomba Mungu akupe watu ili kupitia watu upate majibu.

    Unaomba Mungu akuoe kazi lakini uhalisia kazi unayo paswa kupewa iko mikononi mwa watu.

    Zaburi 2:8
    [8]Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako,
    Na miisho ya dunia kuwa milki yako.

    Usiogope omba Mungu ni mwaminifu atakupa watu ambao ndio watabadilisha maisha yako.

    Kuna kundi la watu wanaitwa destiny helper's,divine connector na destiny shapers kila unapo omba muombe Mungu akusogezeee watu hawa maisha yako hayatabaki kama ulivyo.

    Wanaweza wasiwe matajiri ila wanajua njia za kupita ambazo ukipita utakuwa gumzo kwa dunia.

    YESU pamoja na nafasi yake ya uungu lakini pia alihitaji watu ili akamilishe kusudi lake duniani.

    Nikutakie asubui njema na siku njema

    BNE , Sylvester mwakabende
    0622625340
    #buidneweden
    #restoremenposition
    Kila mwanadamu aliye wahi kupendwa na Mungu zawadi kubwa Mungu aliyo mpa huyo mtu ni watu. Isaya 43:4 [4]Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. Hivi umewahi kujiuliza kuwa pamoja na ujemedari wote wa Nahamani lakini ukoma wake ulibadilishwa kutoka kwa mtu aliye mpa code ya kuwa kuna mtu wa Mungu anaitwa Elisha. Musa pamoja na nguvu nyingi sana za Mungu alizo kuwa nazo bado alihitaji watu ili aweze kutimiza kusudi lake na Mungu akamchagulua Haruni ,wakina Yoshua ,Huri na wengine. Elia pamoja na kuwa na nguvu ya kusimamisha mvua lakini kuna muda alihitaji mtu ili apate kula chakula. Watu ni funguo na watu ni kufuli ukichanganya nama ya kuishi na watu umechanganya maisha. Kila unacho kihitaji kiko mikononi mwa wengine ni muhimu sana kumuomba Mungu akupe watu ili kupitia watu upate majibu. Unaomba Mungu akuoe kazi lakini uhalisia kazi unayo paswa kupewa iko mikononi mwa watu. Zaburi 2:8 [8]Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako. Usiogope omba Mungu ni mwaminifu atakupa watu ambao ndio watabadilisha maisha yako. Kuna kundi la watu wanaitwa destiny helper's,divine connector na destiny shapers kila unapo omba muombe Mungu akusogezeee watu hawa maisha yako hayatabaki kama ulivyo. Wanaweza wasiwe matajiri ila wanajua njia za kupita ambazo ukipita utakuwa gumzo kwa dunia. YESU pamoja na nafasi yake ya uungu lakini pia alihitaji watu ili akamilishe kusudi lake duniani. Nikutakie asubui njema na siku njema BNE , Sylvester mwakabende 0622625340 #buidneweden #restoremenposition
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • NASA yatahadharisha: uwezekano wa Dunia kukosa oksijeni Katika miaka ijayo.

    Shirika la Kitaifa la Anga na Nafasi ya Juu la Marekani (NASA) limetoa taarifa ya kisayansi inayoashiria uwezekano wa kutoweka kwa hewa safi ya oksijeni duniani katika kipindi cha miaka mingi ijayo.

    Kwa mujibu wa NASA, jambo hili halitasababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchafuzi wa mazingira pekee, bali linahusiana zaidi na mabadiliko ya kiasili ya Dunia na Jua. Katika uchambuzi wake, NASA inabainisha kuwa:

    "Katika mabilioni ya miaka iliyopita, Dunia haikuwa na oksijeni ya kutosha. Kwa hiyo, kuna uwezekano kuwa hali kama hiyo ikajirudia tena katika mamilioni ya miaka ijayo," wamesema watafiti wa NASA.

    Hali hii inaweza kuathiri sio tu maisha ya binadamu bali pia viumbe hai wote wanaotegemea oksijeni kuishi. Ingawa ni tukio linalotabiriwa kutokea baada ya mamilioni ya miaka, Wanasayansi wanasema ni muhimu kwa jamii ya kimataifa kulielewa na kuendelea na utafiti zaidi kuhusu maisha ya baadaye ya Dunia.

    Kwa sasa, hakuna sababu ya hofu ya moja kwa moja, lakini onyo hili linaongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kulinda mazingira na kuelewa kwa kina mfumo wa ikolojia wa sayari yetu.

    Toa maoni yako
    NASA yatahadharisha: uwezekano wa Dunia kukosa oksijeni Katika miaka ijayo. Shirika la Kitaifa la Anga na Nafasi ya Juu la Marekani (NASA) limetoa taarifa ya kisayansi inayoashiria uwezekano wa kutoweka kwa hewa safi ya oksijeni duniani katika kipindi cha miaka mingi ijayo. Kwa mujibu wa NASA, jambo hili halitasababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchafuzi wa mazingira pekee, bali linahusiana zaidi na mabadiliko ya kiasili ya Dunia na Jua. Katika uchambuzi wake, NASA inabainisha kuwa: "Katika mabilioni ya miaka iliyopita, Dunia haikuwa na oksijeni ya kutosha. Kwa hiyo, kuna uwezekano kuwa hali kama hiyo ikajirudia tena katika mamilioni ya miaka ijayo," wamesema watafiti wa NASA. Hali hii inaweza kuathiri sio tu maisha ya binadamu bali pia viumbe hai wote wanaotegemea oksijeni kuishi. Ingawa ni tukio linalotabiriwa kutokea baada ya mamilioni ya miaka, Wanasayansi wanasema ni muhimu kwa jamii ya kimataifa kulielewa na kuendelea na utafiti zaidi kuhusu maisha ya baadaye ya Dunia. Kwa sasa, hakuna sababu ya hofu ya moja kwa moja, lakini onyo hili linaongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kulinda mazingira na kuelewa kwa kina mfumo wa ikolojia wa sayari yetu. Toa maoni yako
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 901 Views
  • "Nani alaumiwe? Anaweza kuwa Injinia Hersi Said mwenyewe. Yanga ilifika fainali za Shirikisho miaka ya karibuni. Yanga ilitolewa robo fainali. Yanga ilitolewa pia makundi. Hersi anajua ndoto za Wanayanga. Huwa wananyanyasika kwa mashabiki wa mtani zao kwa kutofanya vizuri katika michuano ya CAF. Ligi ya Mabingwa.
    .
    Wakati huu wakiwa wamesajili wachezaji wazuri huku akiendelea kumiliki wachezaji mafundi kama kina Pacome Zouzoua, Hersi akaitafutia Yanga kocha mwanafunzi.

    Ukitazama wasifu wa Folz, alikuwa amepita katika klabu kadhaa akiwa kama kocha msaidizi. Hersi na wenzake walikuwa wamecheza kamari kwa kumleta Folz. Hajawahi kuwa kocha mkuu wala kutwaa taji lolote muhimu katika maisha yake ya mpira.

    Unawezaje kutimiza ndoto zako ukiwa na kocha wa namna hii. Katika lugha ya mtaani ya Waingereza tunaweza kusema Hersi na wenzake walikuwa wamecheza kamari. ‘Gambling’. Haukuwa muda wa Yanga kucheza bahati nasibu.

    Ulikuwa muda wa wao kuwa na kocha ambaye ana uzoefu na anaweza kuishi katika falsafa zao. Matokeo yake Yanga wamejiweka katika hatari. Wameshafungwa ugenini na wageni wao wanaweza kuja na mbinu za ajabu. Injinia Hersi na wenzake ambao wanaongoza Yanga sasa hivi hawakufikiria kama wanaweza kuwa katika nafasi hii kwa sasa. Wakati wao wanaiwaza nusu fainali au fainali, tayari wapo hatarini kutofika hata makundi.

    - Edo Kumwembe, Mchambuzi.
    "Nani alaumiwe? Anaweza kuwa Injinia Hersi Said mwenyewe. Yanga ilifika fainali za Shirikisho miaka ya karibuni. Yanga ilitolewa robo fainali. Yanga ilitolewa pia makundi. Hersi anajua ndoto za Wanayanga. Huwa wananyanyasika kwa mashabiki wa mtani zao kwa kutofanya vizuri katika michuano ya CAF. Ligi ya Mabingwa. . Wakati huu wakiwa wamesajili wachezaji wazuri huku akiendelea kumiliki wachezaji mafundi kama kina Pacome Zouzoua, Hersi akaitafutia Yanga kocha mwanafunzi. πŸ˜€ Ukitazama wasifu wa Folz, alikuwa amepita katika klabu kadhaa akiwa kama kocha msaidizi. Hersi na wenzake walikuwa wamecheza kamari kwa kumleta Folz. Hajawahi kuwa kocha mkuu wala kutwaa taji lolote muhimu katika maisha yake ya mpira. Unawezaje kutimiza ndoto zako ukiwa na kocha wa namna hii. Katika lugha ya mtaani ya Waingereza tunaweza kusema Hersi na wenzake walikuwa wamecheza kamari. ‘Gambling’. Haukuwa muda wa Yanga kucheza bahati nasibu. Ulikuwa muda wa wao kuwa na kocha ambaye ana uzoefu na anaweza kuishi katika falsafa zao. Matokeo yake Yanga wamejiweka katika hatari. Wameshafungwa ugenini na wageni wao wanaweza kuja na mbinu za ajabu. Injinia Hersi na wenzake ambao wanaongoza Yanga sasa hivi hawakufikiria kama wanaweza kuwa katika nafasi hii kwa sasa. Wakati wao wanaiwaza nusu fainali au fainali, tayari wapo hatarini kutofika hata makundi. - Edo Kumwembe, Mchambuzi.
    0 Comments 0 Shares 997 Views
  • Vurugu mitandaoni! Ned Nwoko amvaa Regina Daniels, asema "ameharibu familia yetu".

    Mitandao ya kijamii imewaka moto kufuatia tuhuma nzito zilizotolewa na Bilionea na mwanasiasa mashuhuri kutoka Nigeria, Prince Ned Nwoko, dhidi ya Mke wake, Mwigizaji maarufu wa filamu za Nigeria (Nollywood) Regina Daniels. Kupitia chapisho la video kwenye ukurasa wake wa Instagram, Nwoko amemshutumu Regina kwa kile alichokiita "vurugu za kupindukia" pamoja na matumizi mabaya ya dawa za kulevya na pombe.

    Katika maneno yake, Ned aliandika: “Hakuwa hivi mwanzo… kile kinachotokea sasa kimeharibu kabisa utulivu wa familia yetu.”

    Nwoko alieleza kuwa ndani ya saa 48, Regina alifanya fujo kubwa nyumbani kwao akiwapiga Wafanyakazi watatu wa ndani, kuharibu mali, na kusababisha uharibifu mkubwa bila sababu ya msingi.

    Kwa mujibu wa chapisho hilo la Instagram: “Nimetoa masharti ya wazi kwake. Lazima akubali kwenda kwenye tiba ya kuacha dawa, iwe ndani au nje ya Nchi. Vinginevyo, naogopa kwa usalama wake.” - Prince Ned Nwoko.

    Katika tuhuma hizo, Ned alimtaja mtu aitwaye Sammy kama Muuzaji mkuu wa dawa kwa Regina, huku pia akilitaja jina la Ann, akisema anahusika katika kile alichokiita “mzunguko wa maovu.”

    Tukio hili limetikisa jamii ya mtandaoni, huku baadhi ya mashabiki wakionesha mshangao, wengine wakimtetea Regina, na wengi wakitaka ukweli wa kina juu ya maisha ya kifahari ya wawili hao.

    Je, hii ni drama ya ndoa ya Mastaa au kuna jambo kubwa zaidi nyuma ya pazia?
    Vurugu mitandaoni! Ned Nwoko amvaa Regina Daniels, asema "ameharibu familia yetu". Mitandao ya kijamii imewaka moto kufuatia tuhuma nzito zilizotolewa na Bilionea na mwanasiasa mashuhuri kutoka Nigeria, Prince Ned Nwoko, dhidi ya Mke wake, Mwigizaji maarufu wa filamu za Nigeria (Nollywood) Regina Daniels. Kupitia chapisho la video kwenye ukurasa wake wa Instagram, Nwoko amemshutumu Regina kwa kile alichokiita "vurugu za kupindukia" pamoja na matumizi mabaya ya dawa za kulevya na pombe. Katika maneno yake, Ned aliandika: “Hakuwa hivi mwanzo… kile kinachotokea sasa kimeharibu kabisa utulivu wa familia yetu.” Nwoko alieleza kuwa ndani ya saa 48, Regina alifanya fujo kubwa nyumbani kwao akiwapiga Wafanyakazi watatu wa ndani, kuharibu mali, na kusababisha uharibifu mkubwa bila sababu ya msingi. Kwa mujibu wa chapisho hilo la Instagram: “Nimetoa masharti ya wazi kwake. Lazima akubali kwenda kwenye tiba ya kuacha dawa, iwe ndani au nje ya Nchi. Vinginevyo, naogopa kwa usalama wake.” - Prince Ned Nwoko. Katika tuhuma hizo, Ned alimtaja mtu aitwaye Sammy kama Muuzaji mkuu wa dawa kwa Regina, huku pia akilitaja jina la Ann, akisema anahusika katika kile alichokiita “mzunguko wa maovu.” Tukio hili limetikisa jamii ya mtandaoni, huku baadhi ya mashabiki wakionesha mshangao, wengine wakimtetea Regina, na wengi wakitaka ukweli wa kina juu ya maisha ya kifahari ya wawili hao. Je, hii ni drama ya ndoa ya Mastaa au kuna jambo kubwa zaidi nyuma ya pazia?
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • Mlinzi wa kushoto wa Bayern Munich Alphonso Davies akielezea namna anavyojiona amepoteza uhuru wake baada ya kuwa mchezaji professional

    “Nipo mbali na familia yangu , siishi na girlfriend wangu marafiki zangu hawafiki watano yote haya yananifanya nijione nimepoteza kila kitu kwenye maisha”

    “Maisha ya kuwa mchezaji ni magumu sana ,kuna muda baada ya mazoezi unatakiwa kulala na sio kufanya chochote”

    Mpira wa miguu ni mchezo unaohitaji kujitoa sana hasa unapokuwa professional , ili kuishi mpira unavyotaka basi ni lazima uipe mgongo dunia na hiko ndicho anachopitia Davies hadi kujiona amepoteza kila kitu , imagine pesa unayo ya kutosha ila unapangiwa vitamu usile

    #SportsElite
    Mlinzi wa kushoto wa Bayern Munich Alphonso Davies akielezea namna anavyojiona amepoteza uhuru wake baada ya kuwa mchezaji professional “Nipo mbali na familia yangu , siishi na girlfriend wangu marafiki zangu hawafiki watano yote haya yananifanya nijione nimepoteza kila kitu kwenye maisha” “Maisha ya kuwa mchezaji ni magumu sana ,kuna muda baada ya mazoezi unatakiwa kulala na sio kufanya chochote” Mpira wa miguu ni mchezo unaohitaji kujitoa sana hasa unapokuwa professional , ili kuishi mpira unavyotaka basi ni lazima uipe mgongo dunia na hiko ndicho anachopitia Davies hadi kujiona amepoteza kila kitu , imagine pesa unayo ya kutosha ila unapangiwa vitamu usile #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • Victor Boniface: πŸŽ™ "Kuidharau mili yenu na kupoteza pesa zenu kwa wanawake wengi hakutawapeleka popote maishani"

    "Sijui ni lini mtakuwa na hekima. Tafuteni mwanamke mmoja, au wawili, mkae nao vizuri! Ama Watatu na kama unapitia wakati mgumu sana, basi wanne wanakubalika."

    Iman Sport News
    Victor Boniface: πŸ‡³πŸ‡¬πŸŽ™ "Kuidharau mili yenu na kupoteza pesa zenu kwa wanawake wengi hakutawapeleka popote maishani" "Sijui ni lini mtakuwa na hekima. Tafuteni mwanamke mmoja, au wawili, mkae nao vizuri! Ama Watatu na kama unapitia wakati mgumu sana, basi wanne wanakubalika." Iman Sport News
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 869 Views
  • Lionel Messi katika maisha yake yote ya soka. 🫑

    🏟 Michezo - 1123
    ⚽️ Mabao - 882
    Asisst - 391
    🐐 πŸ‡¦πŸ‡· 🚨 Lionel Messi katika maisha yake yote ya soka. πŸ”₯ 🫑 🏟 Michezo - 1123 ⚽️ Mabao - 882 🎯 Asisst - 391
    Love
    1
    0 Comments 0 Shares 513 Views
  • IMANI KUBWA.

    Imani ni uhakika wa jambo bayana ya lile lisilo onekana.

    #Waebrania 11:1
    [1]Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

    Imani kubwa ni imani ya kulitazama neno na kutokea kwenye neno kila jawabu lako unaliona hapo.

    Mfano uhalisia madaktari wanasema huwezi kupona kisukari lakini neno linasema alichukua magonjwa yetu ,madhaifu yetu hivyo basi lwa kupigwa kwake sisi tumepona.

    Imani kubwa ni kuvuka mstari wa wanayo onekana na kisha kutazama neno na kuliishi.

    Akida alikuwa mfano wa jambo hili.

    #Luka 7:7
    [7]kwa hiyo nilijiona sistahili mwenyewe kuja kwako; lakini, sema neno tu, na mtumwa wangu atapona.

    Huyu akida akuhitaji kabisa hata Yesu aende eneo lile badala yake aliitaji alitume neno tu na yule mtumwa wake apone.

    Hii ndiyo imani kubwa ni wakati uhalisia unakataa lakini ndo kipindi ambacho unaona jibu hapo hapo.

    #Luka 7:7,9
    [7]kwa hiyo nilijiona sistahili mwenyewe kuja kwako; lakini, sema neno tu, na mtumwa wangu atapona.

    [9]Yesu aliposikia hayo alimstaajabia, akaugeukia mkutano uliokuwa ukimfuata, akasema, Nawaambia, hata katika Israeli sijaona imani kubwa namna hii.

    Wanao pokea wote kwa ukubwa lazima wawe na imani kubwa sana na chanzo cha imani kubwa ni kusikia neno la Mungu na kuligeuza kuwa lako la maisha.

    Kwa sababu Mungu huwa ana asili ya kulituma neno lake lake kisha likabadilisha yote.

    #Zaburi 107:20
    [20]Hulituma neno lake, huwaponya,
    Huwatoa katika maangamizo yao.

    Ko kama huamini neno Mungu hawezi kulituma neno ni lazima ufike kipindi uamue kulituma neno ili kutokea kwenye neno libadilishe yote.

    Mfano mwingine .

    Petro alipo kiuhalisia petro alikuwa mtaalamu wa uvuvi na kiasi cha kuwa amekesha kabisa kutafuta samaki .

    Na kanuni ya uvuvi samaki wanapatikana usiku , Yesu ameenda muda ambao hualisia wa kawaida haukubali kuvua.

    Na anamwambia Petro shusha nyavu kilindini,
    Petro sababu ya imani kubwa alimwambia kwa neno lako nashusha nyavu.

    #Luka 5:5
    [5]Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.

    Na kutokea kushusha nyavu walipata samaki wengi kiasi cha nyavu kukatika.

    #Luka 5:6-7
    [6]Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika;
    .
    [7]wakawapungia mikono washirika wao waliokuwa katika chombo cha pili, kuwasaidia; wakaja, wakavijaza vyombo vyote viwili, hata vikataka kuzama.

    Kumbe hata wewe upati majibu sababu utaki kujenga imani kubwa katika jambo unalo lifanya.

    Mfano moyoni mwako kila ukiwaza unasikia kuwa na real estate na uhalisia uoni lakini una kakiwanja mahali au unapo ishi kumbe imani kubwa ni kuanza hata na vyumba viwili ndo vitabadilisha maisha yako.

    Ni neno la uzima peke yake ndilo Lina badilishaga yote .

    Jifunze kutii kile unacho kiona kwenye neno na kutokea hapo maisha yako yote yatabadilika.

    Jitahidi sana kuomba kwa Mungu neno la uzima linabdailishaga yote.

    Imani inabadilisha yote kabisa na ukiamua kumfuata Yesu na ukalipenda neno maisha yako yatabadilika kabisa.

    Kuwa na imani kubwa harafu uone matokeo makubwa

    NAKUOMBEA MUNGU WANGU AKUPE NEEMA YA KUWA NA IMANI KUBWA KTIKA NENO LAKE NA KUTOKEA HAPO JANA YAKO IBADILIKE KABISA NA KUWA KESHO NJEMA KWA JINA LA YESU.

    Nikutakie asubui njema na siku njema .

    Naitwa sylvester Mwakabende
    Build new eden ministry
    0622625340

    #build new eden
    #restore men position
    IMANI KUBWA. Imani ni uhakika wa jambo bayana ya lile lisilo onekana. #Waebrania 11:1 [1]Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Imani kubwa ni imani ya kulitazama neno na kutokea kwenye neno kila jawabu lako unaliona hapo. Mfano uhalisia madaktari wanasema huwezi kupona kisukari lakini neno linasema alichukua magonjwa yetu ,madhaifu yetu hivyo basi lwa kupigwa kwake sisi tumepona. Imani kubwa ni kuvuka mstari wa wanayo onekana na kisha kutazama neno na kuliishi. Akida alikuwa mfano wa jambo hili. #Luka 7:7 [7]kwa hiyo nilijiona sistahili mwenyewe kuja kwako; lakini, sema neno tu, na mtumwa wangu atapona. Huyu akida akuhitaji kabisa hata Yesu aende eneo lile badala yake aliitaji alitume neno tu na yule mtumwa wake apone. Hii ndiyo imani kubwa ni wakati uhalisia unakataa lakini ndo kipindi ambacho unaona jibu hapo hapo. #Luka 7:7,9 [7]kwa hiyo nilijiona sistahili mwenyewe kuja kwako; lakini, sema neno tu, na mtumwa wangu atapona. [9]Yesu aliposikia hayo alimstaajabia, akaugeukia mkutano uliokuwa ukimfuata, akasema, Nawaambia, hata katika Israeli sijaona imani kubwa namna hii. Wanao pokea wote kwa ukubwa lazima wawe na imani kubwa sana na chanzo cha imani kubwa ni kusikia neno la Mungu na kuligeuza kuwa lako la maisha. Kwa sababu Mungu huwa ana asili ya kulituma neno lake lake kisha likabadilisha yote. #Zaburi 107:20 [20]Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao. Ko kama huamini neno Mungu hawezi kulituma neno ni lazima ufike kipindi uamue kulituma neno ili kutokea kwenye neno libadilishe yote. Mfano mwingine . Petro alipo kiuhalisia petro alikuwa mtaalamu wa uvuvi na kiasi cha kuwa amekesha kabisa kutafuta samaki . Na kanuni ya uvuvi samaki wanapatikana usiku , Yesu ameenda muda ambao hualisia wa kawaida haukubali kuvua. Na anamwambia Petro shusha nyavu kilindini, Petro sababu ya imani kubwa alimwambia kwa neno lako nashusha nyavu. #Luka 5:5 [5]Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Na kutokea kushusha nyavu walipata samaki wengi kiasi cha nyavu kukatika. #Luka 5:6-7 [6]Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika; . [7]wakawapungia mikono washirika wao waliokuwa katika chombo cha pili, kuwasaidia; wakaja, wakavijaza vyombo vyote viwili, hata vikataka kuzama. Kumbe hata wewe upati majibu sababu utaki kujenga imani kubwa katika jambo unalo lifanya. Mfano moyoni mwako kila ukiwaza unasikia kuwa na real estate na uhalisia uoni lakini una kakiwanja mahali au unapo ishi kumbe imani kubwa ni kuanza hata na vyumba viwili ndo vitabadilisha maisha yako. Ni neno la uzima peke yake ndilo Lina badilishaga yote . Jifunze kutii kile unacho kiona kwenye neno na kutokea hapo maisha yako yote yatabadilika. Jitahidi sana kuomba kwa Mungu neno la uzima linabdailishaga yote. Imani inabadilisha yote kabisa na ukiamua kumfuata Yesu na ukalipenda neno maisha yako yatabadilika kabisa. Kuwa na imani kubwa harafu uone matokeo makubwa NAKUOMBEA MUNGU WANGU AKUPE NEEMA YA KUWA NA IMANI KUBWA KTIKA NENO LAKE NA KUTOKEA HAPO JANA YAKO IBADILIKE KABISA NA KUWA KESHO NJEMA KWA JINA LA YESU. Nikutakie asubui njema na siku njema . Naitwa sylvester Mwakabende Build new eden ministry 0622625340 #build new eden #restore men position
    0 Comments 0 Shares 2K Views
  • Wokovu ni matokeo ya kinywa yaani kwa kinywa ndiyo mtu hupata wokovu.

    Wokovu huo unaongozwa na imani ,kumbuka mtu anaruhusiwa kukiri kile tu anacho kiamini.

    #warumi 10:8-10.

    Kumbe pamoja na wokovu kuwa wa thamani lakini ili uingie kwa mtu kwa njia ya imani na ukiri.

    Kumbe hata kama ungeamini lakini ujakili bado unakuwa uko katika njia panda.

    Kinywa ndicho kinacho kupa mamlaka ya kumshinda shetani na kukupa ujasiri wa kushinda .

    # 2 Corinth 4:4

    Kumbe kama moyo wako ujaamini injiri huwezi kupokea kwa ukubwa unao takiwa.

    Lazima uiamini injiri au neno la Mungu ligeuke kuwa maisha na ndipo utakuwa na ujasiri wa kukiri vyema na kuushinda ulimi wako kujinenea vibay.

    #mathayo 28:18

    Yesu ndiye mamlaka na alisema tumfuate na ukimfuata yeye lazima unakiwa na mamlaka.

    Nikutakie jion njema
    Kama unapenda kujifunza tuma neno add kwa namba 0622625340.

    Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)

    #restore men position
    #build new eden
    Wokovu ni matokeo ya kinywa yaani kwa kinywa ndiyo mtu hupata wokovu. Wokovu huo unaongozwa na imani ,kumbuka mtu anaruhusiwa kukiri kile tu anacho kiamini. #warumi 10:8-10. Kumbe pamoja na wokovu kuwa wa thamani lakini ili uingie kwa mtu kwa njia ya imani na ukiri. Kumbe hata kama ungeamini lakini ujakili bado unakuwa uko katika njia panda. Kinywa ndicho kinacho kupa mamlaka ya kumshinda shetani na kukupa ujasiri wa kushinda . # 2 Corinth 4:4 Kumbe kama moyo wako ujaamini injiri huwezi kupokea kwa ukubwa unao takiwa. Lazima uiamini injiri au neno la Mungu ligeuke kuwa maisha na ndipo utakuwa na ujasiri wa kukiri vyema na kuushinda ulimi wako kujinenea vibay. #mathayo 28:18 Yesu ndiye mamlaka na alisema tumfuate na ukimfuata yeye lazima unakiwa na mamlaka. Nikutakie jion njema Kama unapenda kujifunza tuma neno add kwa namba 0622625340. Naitwa sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) #restore men position #build new eden
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza

    Chelsea
    Paris Saint-Germain
    Eintracht Frankfurt
    Club Brugge
    Olympiacos
    Slavia Prague
    Copenhagen
    Newcastle

    Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu .

    #SportsElite
    🚨Mechi za Barcelona tutakazo Anza nazo awamu ya kwanza β€οΈπŸ’™ πŸ”₯ ✈️ Chelsea 🏠 Paris Saint-Germain 🏠 Eintracht Frankfurt ✈️ Club Brugge 🏠 Olympiacos ✈️ Slavia Prague 🏠 Copenhagen ✈️ Newcastle Hapa PSG - Paris Saint-Germain na Chelsea Football Club ndio tishio la maisha yetu πŸ₯Ά. #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 855 Views
  • Mikel Arteta Avutiwa na Kipaji cha Ajabu cha Kinda wa Miaka 15!

    Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amezungumza kwa hisia kuhusu kinda wa timu yao ya vijana, Max Dowman.

    "Kuna mtoto hapa hana woga kabisa na ana uhakika mkubwa kwamba akiwa na miaka 15 anaweza kufanya mambo makubwa," Arteta aliiambia BBC Sport.

    "Sijawahi kushuhudia kitu kama hicho maishani mwangu. Kwetu, analeta furaha, hisia, na kitu cha ziada kinachofanya kazi zetu kuwa nzuri zaidi."

    Dowman, mwenye miaka 15, ameanza kuvutia macho ya wengi na maneno ya Arteta yanaonyesha jinsi klabu inavyomthamini.

    #MaxDowman #Arsenal #MikelArteta #KipajiKipya #Gunners #Football #BBCSport #VijanaWaArsenal

    #SportsElite
    Mikel Arteta Avutiwa na Kipaji cha Ajabu cha Kinda wa Miaka 15! ✨ Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amezungumza kwa hisia kuhusu kinda wa timu yao ya vijana, Max Dowman. πŸ—£οΈ "Kuna mtoto hapa hana woga kabisa na ana uhakika mkubwa kwamba akiwa na miaka 15 anaweza kufanya mambo makubwa," Arteta aliiambia BBC Sport. πŸ—£οΈ "Sijawahi kushuhudia kitu kama hicho maishani mwangu. Kwetu, analeta furaha, hisia, na kitu cha ziada kinachofanya kazi zetu kuwa nzuri zaidi." Dowman, mwenye miaka 15, ameanza kuvutia macho ya wengi na maneno ya Arteta yanaonyesha jinsi klabu inavyomthamini. #MaxDowman #Arsenal #MikelArteta #KipajiKipya #Gunners #Football #BBCSport #VijanaWaArsenal #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 2K Views
  • Zaburi 34:8-9
    [8]Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema;
    Heri mtu yule anayemtumaini.
    .
    [9]Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake,
    Yaani, wamchao hawahitaji kitu.
    .
    Bwana ni mwema kwetu kila wakati kwa hakika kila mtu amwaminiye na amtumainiye Mungu humtukuza.

    Bwana ni mwema kwetu na sisi ni watu wake tunapaswa Mungu atupe nafasi ya kupendwa naye kila wakati.

    Bwana ni mwema kwetu sisi na wote wamchao na wote wamtumainio bwana hawata ogopa kitu.

    Zaburi 23:6
    [6]Hakika wema na fadhili zitanifuata
    Siku zote za maisha yangu;
    Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.

    Wema wa Bwana na fadhiri zake ni kwa watu wamchao na watu wamtafutao kwani wako watu wamepewa privilege na Bwana ya wao kumtumaini siku zote.

    Ukimpenda Bwana Bwana pia anakupenda na akikupenda lazima fadhiri zake zitakuwa na wewe.

    #Mit 3:5-6 SUV
    Na hili fadhiri zije kwetu ni lazima tumuamini Mungu kweli kweli.
    Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako

    Hivyo ndivyo tunaweza kuonja wema wa Bwana katika maisha yetu siku zote.

    Ni matumaini yangu hata kwako leo inawezekana ulikata tamaa lakini kwa jina la Yesu noamba nikwambie lipo tumaini katika mti ulio katwa ,ukachipuka tena.

    Natamani uchipuke tena uone wema wa Mungu katika maisha yako .

    Mungu anakupenda atafungua maisha yako na kukumbuka kwa sababu yeye awapenda wampendao na wamtafutao kwa bidii.

    Nikutakie jion njema na siku njem .

    Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka build new eden.

    Mawasiliano 0622625340.

    #build new eden
    #restore men position
    Zaburi 34:8-9 [8]Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini. . [9]Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake, Yaani, wamchao hawahitaji kitu. . Bwana ni mwema kwetu kila wakati kwa hakika kila mtu amwaminiye na amtumainiye Mungu humtukuza. Bwana ni mwema kwetu na sisi ni watu wake tunapaswa Mungu atupe nafasi ya kupendwa naye kila wakati. Bwana ni mwema kwetu sisi na wote wamchao na wote wamtumainio bwana hawata ogopa kitu. Zaburi 23:6 [6]Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele. Wema wa Bwana na fadhiri zake ni kwa watu wamchao na watu wamtafutao kwani wako watu wamepewa privilege na Bwana ya wao kumtumaini siku zote. Ukimpenda Bwana Bwana pia anakupenda na akikupenda lazima fadhiri zake zitakuwa na wewe. #Mit 3:5-6 SUV Na hili fadhiri zije kwetu ni lazima tumuamini Mungu kweli kweli. Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako Hivyo ndivyo tunaweza kuonja wema wa Bwana katika maisha yetu siku zote. Ni matumaini yangu hata kwako leo inawezekana ulikata tamaa lakini kwa jina la Yesu noamba nikwambie lipo tumaini katika mti ulio katwa ,ukachipuka tena. Natamani uchipuke tena uone wema wa Mungu katika maisha yako . Mungu anakupenda atafungua maisha yako na kukumbuka kwa sababu yeye awapenda wampendao na wamtafutao kwa bidii. Nikutakie jion njema na siku njem . Naitwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka build new eden. Mawasiliano 0622625340. #build new eden #restore men position
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • Sadio Mané: "Ilipofika zamu yangu ya kukaguliwa kulikuwa na mzee mmoja ambaye alinitazama kana kwamba nilikuwa mahali pabaya. Akaniuliza: "upo hapa kwa ajili ya majaribio?" nikasema ndio.
    "Kwa viatu hivyo? Viangalie, unawezaje kufikiria kucheza navyo?", aliniambia.
    Kwa kweli vilikuwa vichakavu, vyazamani na vimeharbiika.

    Kisha akaongeza, "Na hiyo kaptula? Je, huna kaptula yoyote ya soka?"
    Nilimwambia kwamba nilikuwa pale na vifaa bora zaidi nilivyokuwa navyo na kwamba nilitaka tu kucheza na kuonyesha uwezo wangu.

    Na nilipoenda uwanjani nikaona mshangao usoni mwake. Alikuja kwangu na kusema: "Nitakusaini mara moja, utacheza kwenye timu yangu."

    Niliishi maisha ya njaa, nilinusurika katika nyakati ngumu, nilicheza bila viatu na sikuenda shule.

    Sijui ni kitu gani cha kufurahisha, sijawahi kwenda kwenye sherehe kwa sababu najua siwezi kufanya vizuri uwanjani na sitafikia malengo yangu.

    Leo, kwa kile ninachopata, ninaweza kusaidia wengine.

    Nilijenga shule, uwanja wa michezo, tulitoa nguo, viatu na chakula kwa watu walio katika umaskini uliokithiri. Na kisha mimi huchangia euro 70 kwa mwezi kwa wakazi wote wa eneo maskini sana la Senegal, ili kukuza uchumi wa familia zao.

    Kwa nini nitake Ferrari kumi, saa ishirini za almasi na ndege mbili? Je, mambo haya yana faida gani kwa ulimwengu?

    Siwezi hata kucheza Playstation, ambayo ni hobi kubwa ya wachezaji wenzangu. Sijawahi kuitumia, nadhani ni njia tu ya kupoteza muda na sitaki kupoteza muda wangu bila sababu."

    Sadio Mané

    #SportsElite
    πŸ—£οΈπŸŽ™οΈπŸ˜’πŸ‡ΈπŸ‡³Sadio Mané: "Ilipofika zamu yangu ya kukaguliwa kulikuwa na mzee mmoja ambaye alinitazama kana kwamba nilikuwa mahali pabaya. Akaniuliza: "upo hapa kwa ajili ya majaribio?" nikasema ndio. "Kwa viatu hivyo? Viangalie, unawezaje kufikiria kucheza navyo?", aliniambia. Kwa kweli vilikuwa vichakavu, vyazamani na vimeharbiika. Kisha akaongeza, "Na hiyo kaptula? Je, huna kaptula yoyote ya soka?" Nilimwambia kwamba nilikuwa pale na vifaa bora zaidi nilivyokuwa navyo na kwamba nilitaka tu kucheza na kuonyesha uwezo wangu. Na nilipoenda uwanjani nikaona mshangao usoni mwake. Alikuja kwangu na kusema: "Nitakusaini mara moja, utacheza kwenye timu yangu." Niliishi maisha ya njaa, nilinusurika katika nyakati ngumu, nilicheza bila viatu na sikuenda shule. Sijui ni kitu gani cha kufurahisha, sijawahi kwenda kwenye sherehe kwa sababu najua siwezi kufanya vizuri uwanjani na sitafikia malengo yangu. Leo, kwa kile ninachopata, ninaweza kusaidia wengine. Nilijenga shule, uwanja wa michezo, tulitoa nguo, viatu na chakula kwa watu walio katika umaskini uliokithiri. Na kisha mimi huchangia euro 70 kwa mwezi kwa wakazi wote wa eneo maskini sana la Senegal, ili kukuza uchumi wa familia zao. Kwa nini nitake Ferrari kumi, saa ishirini za almasi na ndege mbili? Je, mambo haya yana faida gani kwa ulimwengu? Siwezi hata kucheza Playstation, ambayo ni hobi kubwa ya wachezaji wenzangu. Sijawahi kuitumia, nadhani ni njia tu ya kupoteza muda na sitaki kupoteza muda wangu bila sababu." Sadio ManéπŸ‡ΈπŸ‡³ #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 910 Views
  • Polisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita.

    Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana.

    Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyo
    Polisi nchini Gambia wamewafungulia mashtaka wanawake watatu kufuatia kifo cha mtoto wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja, aliyefanyiwa ukeketaji (FGM), tukio lililoibua hasira kitaifa licha ya marufuku iliyowekwa miaka kumi iliyopita. Kwa mujibu wa Polisi, mashtaka hayo yamewasilishwa chini ya Sheria ya Marekebisho ya Wanawake ya mwaka 2015, inayopiga marufuku ukeketaji. Mmoja wa wanawake hao anakabiliwa na kifungo cha maisha na amewekwa rumande, huku wengine wawili wakishtakiwa kama washirika na kupewa dhamana. Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (NHRC), Emmanuel Joof, amesema tukio hilo ni onyo kwa taifa, akisisitiza kuwa ukeketaji si utamaduni tu bali ni kosa la jinai, ukiukaji wa haki za binadamu, na katika visa vingine, husababisha vifo. NHRC inasisitiza kuwa hakuna sababu za kitamaduni au kiasili zinazoweza kuhalalisha madhara kwa watoto. Licha ya marufuku, ukeketaji bado umeenea nchini Gambia, na mwaka jana wabunge walikataa muswada wa kufuta marufuku hiyo
    0 Comments 0 Shares 1K Views
  • Games Fans

    Richarlison amebadilisha maisha ya familia ya mtangazaji wa mitandaoni Lalau, mkazi wa Serra do Mel, eneo la ndani la Rio Grande do Norte.

    Richarlison aliguswa na chapisho la Lalau mwaka 2024, ambapo aliwaomba wafuasi wake kusaidia kukarabati chumba cha nyumba kwa ajili ya ujio wa binti yake mdogo, aliyezaliwa kabla ya wakati.

    Nyumba hiyo ilikuwa katika hali mbaya, bila plasta, ilikuwa inavuja na nyaya zilizo wazi, kuta zenye nyufa, na bila bafu au choo cha maji.

    Mchezaji huyo alimtafuta ili kumsaidia na akaamua kugharamia ukarabati wa nyumba nzima, ambao umekamilika wiki hii.


    #SportsElite
    Games Fans Richarlison amebadilisha maisha ya familia ya mtangazaji wa mitandaoni Lalau, mkazi wa Serra do Mel, eneo la ndani la Rio Grande do Norte. Richarlison aliguswa na chapisho la Lalau mwaka 2024, ambapo aliwaomba wafuasi wake kusaidia kukarabati chumba cha nyumba kwa ajili ya ujio wa binti yake mdogo, aliyezaliwa kabla ya wakati. Nyumba hiyo ilikuwa katika hali mbaya, bila plasta, ilikuwa inavuja na nyaya zilizo wazi, kuta zenye nyufa, na bila bafu au choo cha maji. Mchezaji huyo alimtafuta ili kumsaidia na akaamua kugharamia ukarabati wa nyumba nzima, ambao umekamilika wiki hii. #SportsElite
    0 Comments 0 Shares 778 Views
  • Maisha yana changamoto sana
    Maisha yana changamoto sana
    0 Comments 0 Shares 648 Views
  • BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.
    .
    Q Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania:

    “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania,

    Source BBC Sports
    .
    DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL

    🏟 Michezo - 182
    ⚽️ Mabao - 65
    Asisst - 22

    Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki.

    Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii

    R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti
    .
    πŸ—£ Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota
    .
    πŸ•ŠπŸŽ™ " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu ΕΊa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"
    .
    Weka Alama hii Kama kumuombea Diogo Jota.

    Mungu Atupe mwisho Mwema πŸ•Š.
    .
    #RIPJOTA || #SportsElite #football
    πŸ‡΅πŸ‡Ή 😒 BREAKING Mshambuliaji wa Liverpool FC Diogo Jota na Kaka Yake wamefariki Dunia leo kwa Ajali.😒 . Q🚨 Taarifa ya Jeshi la Polisi kutoka huko Uhispania: “Diogo Jota na Andre Silva walikuwa kwenye Gari aina ya Lamborghini ambalo liliacha njia kutokana na tairi kupasuka na kulipiga gari jingine na kisha kuwaka moto. Ajali hiyo ilitokea Zamora, Uhispania, Source BBC Sports . 🚨 DIOGO JOTA MAISHA YAKE AKIWA NA LIVERPOOL 🏟 Michezo - 182 ⚽️ Mabao - 65 🎯 Asisst - 22 Chanzo cha Ajali ni Gari liliacha Njia na Kuwaka moto kwenye Gari Alikuwepo Diogo Jota mwenye miaka 28 na mdogo wake Andre Silva (25) wote wamefariki. 😒 Siku mbaya kwa wanamichezo Imenitoa machozi hii😭 R.I.P Liverpool Legend Mungu Akupe Kauli Thabiti πŸ’” . πŸ—£ Ujumbe wa Cristiano Ronaldo kwa Kifo cha Jota . πŸ•ŠπŸŽ™ " Haina maana. Juzi tulikuwa pamoja kwenye timu ya taifa na tumeshinda ubingwa pamoja mbaya zaidi Juzi tu Umefunga ndoa umemuacha mke wako na watoto inauma... Binafsi natuma salamu zangu ΕΊa rambirambi kwa Familia yako na kuwatakia Kila lenye Kheri najua Daima utakuwa nao Pumzika salama"😒 . Weka Alama hii πŸ™ Kama kumuombea Diogo Jota. πŸ’” Mungu Atupe mwisho Mwema πŸ’”πŸ™πŸ•Š. . #RIPJOTA || #SportsElite #football
    0 Comments 0 Shares 1K Views
More Results