Atualize para o Pro

  • Boss kapata msiba kaenda Kyeeeeelaa
    Mbeya, Wanazika jumatatu kwahiyo ataunganisha tu na Xmass na Mwaka mpya huko huko!!

    Malipo January akigeuka!!
    Boss kapata msiba kaenda Kyeeeeelaa Mbeya, Wanazika jumatatu kwahiyo ataunganisha tu na Xmass na Mwaka mpya huko huko!! Malipo January akigeuka!!😁
    Like
    2
    1 Comentários ·78 Visualizações
  • YANGA SC U17 WATANGAZWA KUWA BINGWA

    RASMI: Kikosi cha Vijana cha Yanga Youth (U-17) Kimetwaa Ubingwa wa ligi kuu ya Vijana kabla ya Mchezo Mmoja wa Mwisho wa ligi hiyo kutamatika,

    👉🏿Mpaka sasa Yanga Youth wamecheza mechi 6
    👉🏿Wameshinda 5
    👉🏿Wamedroo 1
    👉🏿Wamevuna alama 16

    FT' Yanga Youth 2-1 Mbeya City - Huu ndio ulikuwa Mchezo wao Uliowapa Ubingwa Yanga huku wakisaliwa na Mchezo Mmoja dhidi ya TDS,

    RASMI : YANGA YOUTH MABINGWA WA LIGI HIYO YA VIJANA.
    YANGA SC U17 WATANGAZWA KUWA BINGWA 🏆 RASMI: Kikosi cha Vijana cha Yanga Youth (U-17) Kimetwaa Ubingwa wa ligi kuu ya Vijana kabla ya Mchezo Mmoja wa Mwisho wa ligi hiyo kutamatika, 👉🏿Mpaka sasa Yanga Youth wamecheza mechi 6 👉🏿Wameshinda 5 👉🏿Wamedroo 1 👉🏿Wamevuna alama 16 FT' Yanga Youth 2-1 Mbeya City - Huu ndio ulikuwa Mchezo wao Uliowapa Ubingwa Yanga huku wakisaliwa na Mchezo Mmoja dhidi ya TDS, RASMI : YANGA YOUTH MABINGWA WA LIGI HIYO YA VIJANA.
    ·243 Visualizações
  • Wachezaji wa kikosi cha Simbasc wakiwasili kutokea Mbeya baada ya mchezo wao Dhidi ya Tz Prisons hapo jana.

    #paulswai
    Wachezaji wa kikosi cha Simbasc wakiwasili kutokea Mbeya baada ya mchezo wao Dhidi ya Tz Prisons hapo jana. #paulswai
    Like
    1
    ·167 Visualizações
  • Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba kimerejea jijini Dsm kutoka Mbeya ambapo jana kilicheza na kushinda goli 1-0 dhidi ya Wajelajela Tz Prisons nakuvuna alama tatu zilizowafanya wafikishe alama 16 katika michezo 7 waliyocheza huku wakishika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu bara.

    Sasa Simba inajiandaa kuipokea Namungo fc mechi itakayopigwa October 25 jijini Dsm.

    #paulswai
    Kikosi cha wekundu wa msimbazi Simba kimerejea jijini Dsm kutoka Mbeya ambapo jana kilicheza na kushinda goli 1-0 dhidi ya Wajelajela Tz Prisons nakuvuna alama tatu zilizowafanya wafikishe alama 16 katika michezo 7 waliyocheza huku wakishika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu bara. Sasa Simba inajiandaa kuipokea Namungo fc mechi itakayopigwa October 25 jijini Dsm. #paulswai
    Like
    1
    ·117 Visualizações
  • Niko maeneo haya haya #socialpop
    #mbeya#Tanzania
    Niko maeneo haya haya #socialpop #mbeya#Tanzania
    Like
    Haha
    2
    1 Comentários ·190 Visualizações

  • ITALETA SHIDA KUTOPATA MATOKEO KWENYE MECHI TATU MFULULIZO SIMBASC

    Kikosi cha Simba tayari kiko mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Sokoine.

    Msafara wa Simba ulitua Mbeya jana jioni ambapo leo timu itafanya maandalizi ya mwisho katika uwanja wa Sokoine

    Mchezo dhidi ya Tz Prisons ni Muhimu ili kurejesha Morali na Utulivu kwa Wana Msimbazi wote.

    Ni wazi hautakua mchezo rahisi kwani Tanzania Prisons wamekuwa na historia ya kuisumbua Simba hasa wanapocheza katika uwanja wa
    Sokoine

    Simba haijapata ushindi katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Coastal Union na Yanga, hivyo hakuna namna alama tatu za mchezo dhidi ya Prisons zina umuhimu mkubwa

    #paulswai
    ITALETA SHIDA KUTOPATA MATOKEO KWENYE MECHI TATU MFULULIZO SIMBASC🦁💪 Kikosi cha Simba tayari kiko mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho Jumanne katika uwanja wa Sokoine. Msafara wa Simba ulitua Mbeya jana jioni ambapo leo timu itafanya maandalizi ya mwisho katika uwanja wa Sokoine Mchezo dhidi ya Tz Prisons ni Muhimu ili kurejesha Morali na Utulivu kwa Wana Msimbazi wote. Ni wazi hautakua mchezo rahisi kwani Tanzania Prisons wamekuwa na historia ya kuisumbua Simba hasa wanapocheza katika uwanja wa Sokoine Simba haijapata ushindi katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Coastal Union na Yanga, hivyo hakuna namna alama tatu za mchezo dhidi ya Prisons zina umuhimu mkubwa #paulswai
    Like
    2
    ·278 Visualizações
  • Sasa hivi, timu ikifungwa goli 1 na Yanga, inafanya sherehe. Hali hiyo ilianzia kwenye Ngao ya Jamii. Kisha itaenda Ethiopia, na leo tumeona Mbeya.
    Sasa hivi, timu ikifungwa goli 1 na Yanga, inafanya sherehe. Hali hiyo ilianzia kwenye Ngao ya Jamii. Kisha itaenda Ethiopia, na leo tumeona Mbeya.
    Like
    Love
    5
    ·349 Visualizações ·95 Visualizações
  • Karibu tukupe Huduma nzuri ya ulinzi na Usafi kwa Bei nafuu sana . Tupo Geita , Tarime , Mbeya , Simiyu na Dodoma.
    #Customer's Safety is Our Priority
    Contact Us+255 743 663 512
    Karibu tukupe Huduma nzuri ya ulinzi na Usafi kwa Bei nafuu sana . Tupo Geita , Tarime , Mbeya , Simiyu na Dodoma. #Customer's Safety is Our Priority Contact Us+255 743 663 512
    ·579 Visualizações
  • Tunatoa Huduma nzuri ya Ulinzi na Usafi kwa Bei nafuu sana . Tupo Geita , Tarime , Mbeya , Simiyu na Dodoma.
    #Customer's Safety is Our Priority
    Contact Us 0743 663 512
    Tunatoa Huduma nzuri ya Ulinzi na Usafi kwa Bei nafuu sana . Tupo Geita , Tarime , Mbeya , Simiyu na Dodoma. #Customer's Safety is Our Priority Contact Us 0743 663 512
    Like
    1
    ·587 Visualizações

  • Abdulrazack amewahi kukipiga ndani ya kikosi cha Mbeya City, KMC na Namungo FC.
    Abdulrazack amewahi kukipiga ndani ya kikosi cha Mbeya City, KMC na Namungo FC.
    Like
    1
    ·209 Visualizações
  • Rapper mbaya mwenye roho #nzuri
    Ukivamia hili Chaka utarudi #kivuri
    Napambania point japo #niposifuri
    Mafanikio yapombali #nakiburi
    Kurapu ni kazi rahisi kama kupka maharage ya #mbeya
    unaweza ukawa muongeaji na bado usiwe #mmbeya
    Rapper mbaya mwenye roho #nzuri Ukivamia hili Chaka utarudi #kivuri Napambania point japo #niposifuri Mafanikio yapombali #nakiburi Kurapu ni kazi rahisi kama kupka maharage ya #mbeya unaweza ukawa muongeaji na bado usiwe #mmbeya
    Like
    1
    ·744 Visualizações
  • Rapper mbaya mwenye roho #nzuri
    Ukivamia hili Chaka utarudi #kivuri
    Napambania point japo #niposifuri
    Mafanikio yapombali #nakiburi
    Kurapu ni kazi rahisi kama kupka maharage ya #mbeya
    unaweza ukawa muongeaji na bado usiwe #mmbeya
    Rapper mbaya mwenye roho #nzuri Ukivamia hili Chaka utarudi #kivuri Napambania point japo #niposifuri Mafanikio yapombali #nakiburi Kurapu ni kazi rahisi kama kupka maharage ya #mbeya unaweza ukawa muongeaji na bado usiwe #mmbeya
    ·728 Visualizações
  • mlimisi kuniona kusikia sauti yangu..
    Nilkuwa kama giza leo naibuka wanangu..
    Snich kaokoka kanisa sasa umbeya..
    Akuna tena neno wamemisi hadi kwaya..
    mlimisi kuniona kusikia sauti yangu.. Nilkuwa kama giza leo naibuka wanangu.. Snich kaokoka kanisa sasa umbeya.. Akuna tena neno wamemisi hadi kwaya..
    Like
    2
    ·210 Visualizações
  • Ni mependa song hili from Mrs energy at Mbeya Tanzania girls sings a song
    Ni mependa song hili from Mrs energy at Mbeya Tanzania girls sings a song
    Love
    Like
    8
    2 Comentários ·766 Visualizações ·74 Reproduzir