• Читать далее
    David Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi. DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders. #paulswai
    Like
    Love
    2
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·416 Просмотры
  • Читать далее
    Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu. Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo. Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup). Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·2Кб Просмотры
  • Читать далее
    #JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE). Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali. Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani. Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii. #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·2Кб Просмотры
  • Читать далее
    Poleni Kilimanjaro Wonders. CRDBBankFederationCup #paulswai
    Like
    Love
    Angry
    7
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·575 Просмотры
  • Live 17'
    Simba 3 Kilimanjaro Wonders 0
    Live 17' Simba 3 Kilimanjaro Wonders 0
    0 Комментарии ·0 Поделились ·279 Просмотры
  • Читать далее
    Kikosi Cha Simba Vs Kilimanjaro Wonders 1.Ally Salum 2.Duchu 3.Nouma 4.Chamou 5.Hamza 6.Okejepha 7.Chasambi 8.Mzamiru 9.Mashaka 10.Awesu 11.Mutale
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·278 Просмотры
  • Simba vs Kilimanjaro wonders
    Simba vs Kilimanjaro wonders 👐
    Like
    1
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·244 Просмотры
  • Читать далее
    Mchezaji wa Simba SC Mzamiru Yassin, akizungumza kuelekea mchezo wa kesho wa CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Kilimanjaro Wonders utakaochezwa uwanja wa KMC, Mwenge #paulswai
    00:00
    00:00
    Like
    Love
    4
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·525 Просмотры
  • "MECHI YA KESHO NI KAMA FAINALI" | KOCHA MATOLA AFUNGUKA | KILIMANJARO KAZI WANAYO.

    #paulswai
    "MECHI YA KESHO NI KAMA FAINALI" | KOCHA MATOLA AFUNGUKA | KILIMANJARO KAZI WANAYO. #paulswai
    00:00
    00:00
    Like
    3
    · 2 Комментарии ·0 Поделились ·454 Просмотры
  • Читать далее
    "The Unforgetable THROW BACK 🔥🔥🔥 Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa 👑 NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa💪💪💪 Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·499 Просмотры
  • Mkazi wa Kijiji Cha Shimbi kati wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro mekamatwa na Polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
    Mkazi wa Kijiji Cha Shimbi kati wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro mekamatwa na Polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
    Haha
    Like
    3
    · 2 Комментарии ·0 Поделились ·308 Просмотры
  • Читать далее
    Nacho kifanya iga uone... Hakuna anae miliki ramani ya Money... Kama pesa makaratasi Yachane tuone... Miliki heshima speed Kwenye mapene... Zuga kama umenimiss.... Pis kama unanipenda shusha kiss... Chata ya kilimanjaro mchaga halis... Tena munigga tiih tiih Mweus... Pambana maisha magumu yawe Hadith...
    Like
    3
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·525 Просмотры
  • Kitu cha Maana Kilipo panda Mlima Kilimanjaro
    Kitu cha Maana Kilipo panda Mlima Kilimanjaro
    0 Комментарии ·0 Поделились ·347 Просмотры
  • Haya sasa tukutane Kilimanjaro
    #NBC
    Haya sasa tukutane Kilimanjaro #NBC
    Like
    Love
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·342 Просмотры
  • From Kilimanjaro mountain
    From Kilimanjaro mountain
    0 Комментарии ·0 Поделились ·179 Просмотры
  • Nje na mlima Kilimanjaro bado tuna ishu nyingine ya kujivunia (chemka
    Nje na mlima Kilimanjaro bado tuna ishu nyingine ya kujivunia (chemka🏄😋🔥🏊
    Love
    Yay
    3
    · 2 Комментарии ·0 Поделились ·378 Просмотры