16/21
BWANA ANATUTAKA TUONGEZE WENGINE
Ni rahisi sana watu tulio okoka kumwomba Mungu atuongeze ikiwa sisi hatuja fanya chochote juu ya ufalme wake.
Yohana15:1-5 BHN
1.“Mimi ni mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.
2.Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda yeye huliondoa, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate kuzaa zaidi.
3.Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Kaeni ndani yangu, nami nikae ndani yenu
4.Kama vile tawi haliwezi peke yake kuzaa matunda lisipobaki katika mzabibu, hali kadhalika nanyi hamwezi kuzaa matunda msipokaa ndani yangu.
5.“Mimi ni mzabibu, nanyi ni matawi. Akaaye ndani yangu, nami nikiwa ndani yake, huyo huzaa matunda mengi, maana bila mimi hamwezi kufanya chochote.
Ni maneno yaa Yesu aliyo kuwa akiwaambia wanafunzi wake kuwa yeye ni mzabibu na baba ni mkulima .
Katika maneno haya tukiangalia kwa upana zaidi kuna jambo kubwa tunakwenda kujifunza ambalo ni
1.Kama mtoto wa Mungu kujua nafasi yako katika ufalme wa Mungu.
2.kuzaa na kuongezeka ni kanuni ya kiungu kabisa .
2."Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda yeye huliondoa, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate kuzaa zaidi."
Ukisha okoka lazima ujenge tabia ya kuongeza wengine ili nawe uongezeke na kusitawi .
Kumbe kazi ya kushuhudia si ya mchungaji peke yake bali ya wote katika kuujenga mwili wa kristo.
3.Kuwa na moyo safi ni ishara ya kuwa ndani ya kristo.
Kumbe kama mapenzi ya Mungu ni sisi kukaa ndani yake ili tuweze kumpendeza yeye kisha yeye awe ndani yetu.
Na kama tunavyo jua ili Mungu akae ndani yetu lazima tuwe safi katika moyo wetu kwani yeye ni msafi kila wakati.
Hayo ndiyo mapenzi ya Mungu ni sisi tuzae matunda iliatuongeze sana lakini bahati mbaya sasa tumewaachia wachungaji ndio wazae matunda (wawalete watu kwa Yesu).
Ni vyema kama mwamini ukipata nafasi ya kuvuna nafsi ivune ili baba asije akakukata kwa kuwa ni mzabibu usio zaaa.
Natamani kama kila mtu ndani ya kanisa akaelewa yeye ni tawi ndani ya mzabibu ko lazima ategemee kuzaa wengine .
Bwana lengo lake ni kutupanda kuwa mzabibu mwema lakini sisi tumegeuka kuwa mzabibu mwitu..
Wakati mwingine kuna baraka tumezikosa kwa sababu tu ya kuto kuongeza watu wengine katika ufalme wa Mungu.
Lete mamilioni ya watu kwa Yesu na Yesu atajivunia wewe . Mbingu ilijivunia mitume sababu ya nguvu ya kutafuta wengine kwa ajiri ya ufalme vipi wewe na mimi tumefanya nini kwa ajiri ya ufalme?
Au tunasubiri kukatwa tawi letu ndipo tuelewe vizr , la hasha tunapaswa kusafishiwa ili tusitawi sana na kufanikiwa sana.
Kama ni prays unawezaje kuzaa wengine katika prays yako , kama ni mwimbaj unawezaj kuzaa wengine sababu ya uimbaji wako , na wengine katika hicho ulicho pewa unawezaje kuzaa wengine?
Bwana akusaidie sana na mimi anisaidie tugeuke tuzae matunda kabla tujakatwa au kudumaa kihuduma, kwani huduma ni zawadi tu ,,
Ahsante sana naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (BUILD NEW EDEN)
#build new eden
#restore men position

0 Commentaires
·0 Parts
·141 Vue